text stringlengths 1 1.32k |
|---|
wenzetu UNK hata uwezo wa kulipa mishahara UNK |
leo hii wana miezi kumi UNK wafanyakazi wao mishahara alisema bwana pinda na kuongeza mzee yule ni msikivu sana kama tutachukua hisa tutawapa tanesco waziri pinda alitamka wazi kuwa anaungana na wabunge UNK na vitendo vya kumsakama bwana mkapa |
kauli ya waziri pinda inalenga kujibu madai ambayo yamekuwa yakitolewa na wanasiasa dhidi ya bwana mkapa kudaiwa kujimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira |
wanasiasa hao wanadai kuwa kila kukicha mgodi huo umekuwa ukimwingizia mamilioni ya fedha |
kashfa nyingine ambayo imekuwa UNK kiongozi huyo ni madai ya kufanyabiashara akiwa ikulu |
akizunguzia sekta ya elimu waziri pinda alionekana kukubaliana na hoja iliyotolewa na mbunge wa karatu daktari wilbroad slaa ambapo alisema serikali UNK posho zisizo za lazima ili fedha hizo zitumike kujenga nyumba za walimu |
daktari slaa alilalamikia kitendo cha serikali kutenga kiasi cha shilingi bilioni kumi na tisa katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya vitafunwa na chai kwa wizara zote |
suala la miundombinu ni jambo la msingi sehemu zenye posho UNK UNK alisema na kuahidi kupitia posho zote kuona eneo wanaloweza kumega ili fedha hizo zisaidie kujenga miundombinu ya shule |
alisema tayari serikali imechukua hatua kwa kupiga marufuku semina na warsha zisizo za lazima na kusisitiza kuwa utaratibu huo utaendelea kusimamiwa |
kuhusu ujenzi wa barabara eneo ambalo UNK na baadhi ya wabunge wakidai maeneo mengine UNK bwana pinda alisema serikali inaendelea na ujenzi huo kwa kuangalia uwiano wa barabara za lami |
alisema kuna mikoa yenye barabara za lami zenye urefu usiozidi kilometa sita |
wakati huo huo hata wale wenye barabara za lami za kilometa hadi themanini sifuri nao wanataka kujengewa barabara |
inabidi tuangalie uwiano UNK alisema |
alisema ujenzi wa barabara unaendelea vizuri na kutoa mfano kuwa kati ya miradi ya barabara ishirini na saba iliyoanza kutekelezwa wakati wa utawala wa rais jakaya kikwete miradi tisa imekamilika na ifikapo uchaguzi mkuu mwakani sehemu kubwa itakuwa imekamilika |
alisema bwana mkapa alipoingia madarakani aliibua miradi kumi na saba na wakati anamaliza kipindi chake cha uongozi miradi tisa ilikuwa imekamilika |
alisema miradi mingine UNK katika kipindi cha uongozi wa rais kikwete na sehemu iliyobaki ni ndogo |
UNK sana wanaomsema mzee huyo lakini hiyo ndiyo shukurani ya punda alisema |
kwa upande wa sekta ya afya aliahidi kuwa serikali itaendelea kujenga vituo vya afya na zahanati ili kupunguza kiwango cha vifo vya wanawake na watoto |
bwana pinda alikiri kuwa hali ni mbaya katika eneo hilo lakini serikali inaendelea kuchukua hatua kwa kujenga vituo vya afya na zahanati |
polisi UNK UNK |
mwenzake UNK kwa risasi na mohammed mhina jeshi la polisi wananchi zaidi ya arobaini sifuri wa vijiji vya songambele na mwenge vilivyopo tarafa ya UNK wilayani shinyanga vijijini wamevamia kituo kidogo cha polisi cha kata ya salawe juzi mchana na kuwaua watuhumiwa wawili waliokimbilia hapo kwa lengo la kujisalimisha |
kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga kamishna msaidizi shaibu ibrahimu alisema jana kuwa watuhumiwa hao waliokuwa wanashikiliwa na askari wa jadi sungusungu UNK na kukimbilia kituoni hapo ndipo kundi la watu hao UNK na kukishambulia kwa fimbo na mawe kuvunja milango na madirisha na kuwatoa watuhumiwa kabla ya kuwaua... |
alisema kundi hilo lilivamia kituoni na kuwazidi nguvu askari waliokuwepo na kuwatoa nje watuhumiwa hao wasiofahamika na kuwaua |
kamanda shaibu alisema kabla ya tukio hilo watuhumiwa ambao majina yao bado hayajafahamika inadaiwa walimvamia mfanyabiashara bibi mary UNK nyumbani kwake UNK na kumshambulia kwa silaha za jadi na kabla ya kupora mama huyo alipiga kelele za kuomba msaada ambapo watuhumiwa UNK |
alisema hata hivyo watuhumiwa hao ambao mama huyo aliwatambua kwa sura walikamatwa na kundi la sungusungu na wakati UNK ndipo UNK na kukimbilia kwenye kituo hicho huku UNK na kundi la watu |
kamanda shaibu alisema watuhumiwa hao UNK kwa vile sio wakazi wa vijiji hivyo |
hata hivyo alisema polisi wanafanya uchunguzi wa kina ili kuwabaini wote waliohusika katika tukio hilo la mauaji hayo kuwakamata na kufikishwa kortini |
alitoa mwito kwa wananchi kuepuka kujichukulia sheria mkononi hata kama watakuwa UNK mhalifu na badala yake amewataka kumkamata na kumfikisha polisi kwa hatua zaidi |
naye benedict kaguo anaripoti kutoka tanga kuwa polisi mwenye namba d elfu tatu na mia saba na hamsini na tano sajini hussein amemuua kwa risasi mkazi wa kijiji cha michungwani wilayani muheza kwa tuhuma za kutaka kumchinja polisi mwenye namba f thebathini saba tano pc ismail |
tukio hilo la aina yake UNK machi ishirini na sita mwaka huu saa tatu asubuhi baada ya polisi wanne kwenda kijijini hapo kusuluhisha mgogoro huo kati ya mkazi huyo na wananchi wa UNK |
mgogoro kati ya wanakijiji hao na mkazi huyo bwana said malick ambaye kwa sasa ni marehemu ulizuka baada ya kuwazuia wanakijiji hao kuteka maji katika kisima kilichopo jirani na nyumba yake ambapo watu mbalimbali walijitokeza kumshauri kuacha tabia hiyo na kutakiwa UNK wateke maji |
mzee mmoja wa kijiji hicho bwana mohamed omari aliamua kulivalia njuga suala hilo kwa kumfuata kijana huyo na kumsihi asitishe uamuzi wake huo na kumtaka UNK wananchi hao wateke maji jambo ambalo UNK |
baada ya mzee omari kumweleza hayo bwana malick alitoka ndani akiwa na panga na UNK sehemu mbalimbali za mwili mzee huyo ambaye alikimbizwa hospitali teule wilayani muheza kwa ajili ya matibabu baada ya kuvuja damu nyingi |
kufuatia tukio hilo wananchi walitoa taarifa polisi na ndipo kikosi cha askari wanne wakiwa na silaha kilifika kijiji hapo kutafuta suluhu |
mara baada ya kufika eneo hilo bwana malick alitoka nje kwa nguvu na kufanikiwa kumdhibiti pc ismail ambapo UNK chini na kutaka kumchinja kwa panga |
kuona hivyo katika kile kinachoonekana kutaka UNK mwenzao d elfu tatu na mia saba na hamsini na tano sajini hussein alimpiga risasi bwana malick na kufariki dunia papo hapo |
kamanda wa polisi mkoa wa tanga bwana simon sirro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mara baada ya polisi kufika kijijini hapo walibaini kuwa marehemu alikuwa ametoka kutumikia kifungo jela siku chache zilizopita |
alisema mama wa marehemu alikiri kuwa mtoto wake alikuwa ameathirika na matumizi ya dawa za kulevya na siku chache zilizopita alitoka hospitali alipokuwa kwa matatizo hayo ya akili |
mbunge wa peramiho jenista mhagama jana alitoa vielelezo na majina bungeni kuthibitisha kwamba wafanyakazi waliotajwa na waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma bibi hawa ghasia kuwa hawakuwa na sifa ya kuingizwa kwenye orodha ya malipo walikuwa na sifa hizo |
alitoa uthibitisho huo siku moja baada ya waziri mkuu kuingilia tuhuma dhidi ya bibi ghasia akisisitiza kwamba wafanyakazi hao hawakuwa na sifa kama ilivyoelezwa na mbunge huyo |
kutokana na vielelezo hivyo kuna uwezekano kwamba waziri ghasia alimpa waziri mkuu majibu yenye UNK ambayo sasa itahitaji uchunguzi wa kina ili kujua kama yeye bibi ghasia alisababisha kiongozi huyo UNK bunge au la |
akiwasilisha vielelezo kwa spika wa bunge bwana samwel sitta bungeni jana wakati bunge UNK kama kamati ya matumizi kupitia vifungu ili kupitisha bajeti ya ofisi ya rais bibi mhagama alisema ameamua kuwasilisha nyaraka hizo kwa spika kama ushahidi wa hoja yake na UNK umma kwamba alihoji jambo ambalo ana uhakika nalo |
mheshimiwa mwenyekiti naomba kuwasilisha kwako nyaraka hizi za baadhi ya watumishi wale ambao waziri alidai hawana elimu ya kutosha na kueleza kwamba wana elimu ya darasa la saba mmoja ana elimu ya kidato cha nne na mwingine kidato cha sita sasa hivi UNK kwako alisema b UNK |
akijibu hoja hiyo waziri ghasia alisema licha ya nyaraka hizo kuonesha kwamba watumishi hao wana sifa za elimu zinazotakiwa kwa kada zao lakini nyaraka zilizopo utumishi zinaonesha kwamba ni darasa la saba |
lakini UNK lawama hizi UNK mimi wakati huo nilikuwa darasa la tano lawama zinapaswa kuelekezwa kwa mawaziri waliokuwepo wakati huo wakurugenzi na makatibu wakuu na siyo mimi alisema bibi ghasia |
sakata la kujaribu kuuza nyumba ya bwana ally libanguka iliyopo katika kitalu namba sabini na nane eneo la gerezani manispaa ya ilala katika mahakama ya hakimu mkazi ya ilala UNK kuwa ni zenye utata mkubwa |
nyumba hiyo iliyokuwa mali ya shirika la reli tanzania na kuuzwa kwa bwana ally libanguka iliingia katika mkasa huo baada ya mgogoro wa kifamilia dhidi ya bwana libanguka na bibi UNK heri ambao walikuwa ni mke na mume |
nyumba hiyo UNK kwa amri ya mahakama ya hakimu mkazi wa ya ilala katika hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama hiyo bibi joyce minde bila ya mwenye nyumba kuwa na taarifa yeyote ya kimahakama hali ambayo inamfanya aishi katika maisha ya UNK yeye pamoja na wapangaji wake |
tayari bwana libanguka UNK UNK katika nyumba hiyo na kumuacha mpangaji wa nyumba hiyo bwana nuhu mringo anayeendesha biashara ya hoteli inayojulikana na kwa jina la city fast food katika nyumba hiyo akipata adha kubwa kutokana na vijana wanajiita madalali kutoka katika kampuni ya udalali ya nsombo UNK nyumba hiyo na k... |
uchunguzi huo umebaini kuwa moja ya sharti la lililowekwa katika umilikishwaji wa nyumba hiyo ambayo ilikuwa ni mali ya iliyokuwa trc na baadaye kuuzwa kwa bwana UNK hairuhusiwi kuuzwa au kuweka rehani na kupisha uwekezaji wa aina yeyote ambao UNK kuhamisha umiliki wa mtu wa awali wa nyumba hiyo kwa kipindi cha miaka ... |
utata mwingine ni kukinzana katika namba zinazoonyesha kitalu katika hati hiyo ambayo UNK na hakimu wa mahakama hiyo bibi joyce minde ambayo majira jumapili inayo nakala yake imeonekana kufutwa jina halisi la mdaiwa na kuandikwa jina la bwana ally libanguka na kuonesha nyumba UNK ni yenye kitalu namba thebathini na si... |
majira jumapili ilishuhudia mara kadha madalali waliojitambulisha kutoka katika kampuni ya udalali ya nsombo wakiwa na polisi wenye gari namba pt sifuri moja saba nne ambao wamekuwa na kuharibu mali katika hoteli hiyo licha ya pingamizi UNK na mahakama ya nyumba |
naibu msajili wa wilaya wa mahakama kuu tayari ameitisha faili hilo na ambalo limekabidhiwa juzi baada ya kusuasua kutoka katika mahakama ya ilala |
akizungumza kwa njia ya simu kutoka tabora mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya UNK nsombo ambaye alijitambulisha kwa jina la bwana selemani UNK alisema kampuni yake haifahamu shughuli yeyote inayoendeshwa na katika nyumba hiyo |
naye mmliki wa hoteli ya city food bwana nuhu mringo alisema kuwa sakata hilo limesababisha hasara ya shilingi milioni sabini na kuathiri kwa kiwango kikubwa UNK yake kutokana na kukimbiwa na wateja waliokuwa wakifika katika hoteli hiyo |
kaimu mufti mkuu sheikh UNK gorogosi amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea jana mchana mkoani lindi |
habari ambazo gazeti hili limezipata jana na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani lindi bwana sifuel shirima zilieleza kuwa sheikh gorogosi alikuwa akitokea mtwara kuelekea lindi |
akizungumza na gazeti hili kamanda shirima alisema ajali hiyo ilitokea katika kijiji cha UNK lindi vijijini baada ya gari UNK na watu wengine wawili kupasuka tairi la mbele na kisha kupinduka |
alimtaja mwingine aliyejeruhiwa ni bwana bakari UNK |
hadi gazeti hili linakwenda mitamboni jina la majeruhi mwingine lilikuwa UNK |
ajali hiyo ilitokea saa nane thebathini mchana |
kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huyo sheikh gorogosi alikuwa msemaji wa baraza kuu la waislamu tanzania sheikh gorogosi aliteuliwa kukaimu wadhifa huo na mufti mkuu sheikh issa shabaan simba baada ya yeye kuwa akisumbuliwa na ugonjwa UNK kwenda nchi india kwa matibabu |
habari zaidi za kifo cha sheikh gorogosi UNK kwa UNK na gazeti la majira kesho |
aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi tanzania bara bwana wilfred lwakatare amefichua mambo mbalimbali ambayo anadai alikumbana nayo ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na UNK kuwa sio mwaminifu katika masuala ya fedha |
bwana lwakatare ambaye amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo amefichua siri hiyo kupitia hotuba yake aliyoitoa ndani ya kikao cha baraza kuu kilichofanyika juni tisa mwaka huu katika agenda ya UNK muhtasari wa kikao cha baraza kuu kilichofanyika februari ishirini na nane mwaka huu |
kupitia hotuba ambayo nakala yake ameitoa kwa gazeti hili bwana lwakatare alisema baada ya mmoja wa viongozi wa chama hicho kuhoji sababu za jina lake kuenguliwa katika kinyangganyiro cha unaibu katibu mkuu alijibiwa kuwa ana matatizo mengi |
alisema kiongozi huyo aliambiwa kuwa bwana lwakatare ana matatizo na si mwaminifu katika masuala ya fedha ni UNK na anatumia madaraka yake vibaya kwa kulazimisha hati za malipo anazotaka zifanyiwe malipo ili UNK iwe UNK |
bwana lwakatare alisema kiongozi huyo UNK kuwabana viongozi wenzake na kuhoji ni kwa nini UNK kuhusu tabia hiyo kuliko kuacha jina lake kabisa alijibiwa kwamba kashindwa kujirekebisha kabisa |
kiongozi huyo alijibiwa kuwa mimi anaweza UNK na kujirekebisha lakini kwa masuala ya fedha ni sugu hawezi kusikia la mtu alisema bwana lwakatare katika hotuba yake hiyo akimnukuu kiongozi huyo |
bwana lwakatare alisema mkasa mwingine UNK nao ndani ya cuf kuwa ni UNK gari alilokuwa akitumia akiwa naibu katibu mkuu katika mazingira ya kutatanisha |
alisema katika hali ya kushangaza mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na makamu mwenyekiti mzee hamis machano na kushuka chini alikuta gari dereva na mlinzi aliyekuwa UNK hawapo tena katika mamlaka yake |
wote walikuwa wamepewa maelekezo mengine na wala UNK tena alisema bwana lwakatare |
alisema UNK ni kuwa gari lake lilikuwa na wiki moja tangu litolewe gereji na alilokuwa UNK katika ofisi za cuf na funguo zikiwa kwa UNK hivyo aliondoka mwenyewe kwa kujiendesha |
alisema baada ya kuondolewa katika wadhifa wake wa naibu katibu mkuu aliitwa ofisini kwa mwenyekiti profesa ibrahim lipumba na katibu mkuu maalim seif sharrif hamad na kuzungumza mambo ya msingi hasa ya kutibu majereha na makovu aliyokuwa amepata baada ya mabadiliko ya ghafla |
waliomba msaada ikashindikana watu watano wa familia moja wamekufa kwa kuteketea kwa moto baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto usiku wa kuamkia jana |
tukio hilo la kusikitisha limetokea saa saba usiku maeneo ya UNK UNK wilayani kinondoni dar es salaam |
waliokufa katika tukio hilo kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni bwana mark UNK ni bwana greyson naftari na mke wake bibi modesta UNK |
wengine ni wajukuu wao lugano richard clementina UNK ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi UNK na msichana wa kazi aliyetambulika kwa jina moja la tabasamu |
UNK tukio hilo mmoja wa majirani wa marehemu hao bwana UNK hassan alidai kuwa wakati akiwa nyumbani kwake amelala ghafla alisikia akiitwa na watoto wake na kumtaarifu kuwa nyumba yao ilikuwa UNK kwa moto |
alisema baadaye aligundua kuwa nyumba UNK siyo yao bali ni ya jirani yake bwana naftari |
alidai alikimbia kwenye nyumba hiyo na kuanza kuwaamsha kwa lengo la kuwaokoa ambapo UNK na waliomba UNK UNK UNK |
nilienda kwenye dirisha la chumba chake na kuanza kuzungumza naye nilimuomba anipe UNK akakubali lakini alipoona moshi umezidi alirudi chumbani kwake alisimulia bwana hassan |
alieleza kuwa kuona hivyo familia yake yote UNK kwa imani kuwa wangeweza kupona matokeo yake wote UNK wakiwa UNK |
alidai kuwa juhudi za kuwaokoa zilishindikana kwani kila UNK kubomoa nyumba ilishindikana kutokana na uimara wake |
alisema magari ya kikosi cha zima moto yalifika na kuanza kusaidiana na wananchi kuzima moto huo na kufanikiwa kuuzima lakini wanafamilia hao tayari walikuwa tayari wamepoteza maisha |
UNK kubomoa nyumba tulikuta wote wamekufa wakiwa ndani ya chumba kimoja alisema |
jirani mwingine alidai kuwa baada ya kusikia kelele UNK kwenye nyumba hiyo na kuzungumza na mfanyakazi wa ndani kwa simu akitaka ampe UNK lakini UNK |
baada ya muda mfupi akawa hawezi kuzungumza nikajua kuwa atakuwa UNK na moto alisimulia shuhuda huyo |
kamanda kalunguyeye aliwaambia waandishi wa habari kuwa marehemu naftari alikuwa mstaafu wa shirika la reli |
alisema inasemekana chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme |
alisema moto huo ulianzia sebuleni kwenye UNK ya kuwasha televisheni |
miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala |
wataka afikishwe mbele ya sheria |
mwingine UNK UNK |
aambiwa alikiuka sheria ya maadili siku moja baada ya serikali kumsafisha rais mstaafu mzee benjamin mkapa kutokana na tuhuma za ufisadi ambazo zinaelekezwa kwake katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa amesema kamwe UNK kimya kwa kuwa rais huyo mstaafu hayupo juu ya sheria |
sheria inafanyakazi kama msumeno haina ubaguzi ukiona tunaanza kuwa na sheria za aina hiyo ujue nchi inaenda pabaya alisema daktari slaa |
daktari slaa ambaye pia ni mbunge wa karatu kwa tiketi ya chadema alitoa kauli hiyo alipozungumza na gazeti hili jana akiwa mjini bukoba kwa njia ya simu |
alisema hata wabunge wanaopiga kelele kumtetea mzee mkapa nao wanastahili UNK |
mimi nawaheshimu sana viongozi wetu na ninamheshimu waziri mkuu pinda ni mwanasheria anajua kuwa hata mtu UNK sheria inakata kama UNK |
hauwezi kumuacha aliyetenda kosa kwa sababu ya kupitiwa alisema |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.