text stringlengths 1 1.32k |
|---|
mauaji hayo yamekuwa yakiongezeka katika nchi za maziwa makuu na julai mwaka huu mhakama ya nchi jirani burundi UNK kifungo cha maisha jela na vifungo vingine tofauti watu wengine wanane kwa mauaji ya albino ambao viungo vyao vinadaiwa kuuwa tanzani |
inakadiliwa kuwa watu wapato kumi na saba sifuri sifuri sifuri wenye ulemavu wa ngozi wanaishi nchini tanzania |
asema hana tatizo naye UNK na jk akana kuwaomba wazee wa mbeya UNK mkuu wa mkoa wa mbeya bwana john mwakipesile amesema mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe anapotoshwa na wapambe wake kwa kumpa taarifa za uongo bila yeye UNK na kujua ukweli wake |
vile vile alisema kuwa hana tatizo na mbunge huyo kwa kuwa tofauti zao UNK kupitia tume iliyoundwa na rais jakaya kikwete iliyoongozwa na bwana UNK kinana |
bwana mwakipesile alitoa ufafanuzi huo jana alipozungumza na gazeti ili ikiwa ni siku chache tangu daktari mwakyembe adai kwenye vyombo vya habari kuwa anatishiwa kuuawa na hivyo kumfanya ashindwe kukaa kwa amani |
ninashangazwa sana na kauli zinazotolewa na daktari mwakyembe za kudai kuwa anatishiwa maisha mara anataka kuuawa mpaka anashindwa kukaa kwenye nyumba yake na kumfanya UNK wapambe wake wanampa taarifa za uongo ambazo UNK kazi alisema |
alisema kuwa tangu UNK mgogoro wao na kushikana mikono yeye hana tatizo lolote na daktari makyembe lakini anashindwa kuelewa UNK nyingine zinatokea wapi |
nimeshangazwa na baadhi ya vyombo vya habari hivi karibuni kuandika habari kuwa eti mimi niliwaomba wazee wa mbeya UNK mimi na daktari makyembe kwa kosa gani wakati UNK na UNK |
alihoji |
alisema kuwa kauli hizo za kuuawa kwa daktari mwakyembe amekuwa akizitoa kwenye mikutano kwa wapiga kura wake taarifa ambazo anadai kuwa anapewa na wapambe wake bila ya kuzifanyia kazi |
mimi ndiye mtawala wa mkoa wa mbeya sina tatizo na mbunge yoyote yule nashindwa kuelewa haya mambo ya UNK yanatoka wapi tangu UNK sijawahi kuzungumza lolote kuhusu daktari mwakyembe hivyo ninashangazwa na kauli zake za mara kwa mara kuhusu kutishiwa kuuawa alisema |
alisema kuwa alipokutana na baraza la wazee mkoani mbeya hivi karibuni walimuuliza swali kuhusiana na mgogoro wake na daktari mwakyembe ambapo yeye aliwaeleza kwamba UNK baada ya rais kuunda tume UNK lakini cha kushangaza baadhi ya vyombo vya habari UNK maneno na kudai kuwa mimi niliwaomba wazee UNK jambo ambalo siyo ... |
bwana mwakipesile alisema kuwa hakuna mwenye muda wa kutaka kumuua daktari mwakyembe kama ambavyo anadai na na kusisitiza kwamba hana tatizo lolote na yeye kama ambavyo inadaiwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na kumtaka kabla ya kupokea taarifa kutoka kwa wapambe wake akae chini kwanza na UNK taarifa hizo kabla ya... |
muulizeni daktari mwakyembe mwenyewe labda bado ana tatizo na mimi UNK lakini mimi nasisitiza kwamba sina tatizo lolote na yeye UNK UNK alisema |
mgogoro kati ya daktari mwakyembe na bwana mwakipesile umedumu kwa muda mrefu ambapo daktari mwakyembe amekuwa akidai kutishiwa maisha mara kwa mara za kutaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa kumtumia ujumbe mfupi katika simu yake ya mkononi naye daktari UNK alipoulizwa juu ya mgogoro huo kati yake na bwana mwakipesil... |
mgogoro kati ya wanasiasa hao ni majeraha ya uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini sifuri tano walipokuwa wanawania uteuzi wa kugombea katika jimbo la kyela na mwakyembe akaibuka mshindi |
UNK mkuu bwana mizengo pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia mfuko wa elimu wa wilaya ya mbozi mkoani mbeya ambapo zaidi ya shilingi milioni ishirini nane zinatarajiwa kupatikana kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu katika wilaya hiyo |
akizungumza na waandishi wa habari mjini mbeya mkuu wa wilaya ya mbozi bwana UNK kimollo alisema kuwa tayari waziri mkuu amekubali kufanya jukumu hilo la kimaendeleo kesho |
alisema kwamba mkakati wa kuwa na mfuko huo ulianzishwa mwaka jana baada ya kuonekana mahitaji mkubwa ya uboreshaji wa miundombinu ya elimu hasa baada ya kufanikiwa kuwa na sekondari zaidi ya mbili kwa kila kata na hivyo kuvuka lengo la serikali |
bwana kimollo alisema kuwa kutokana na ongezeko kubwa la sekondari katika kata limefanya kuwapo kwa wanafunzi wengi UNK kila mwaka wanaojiunga na elimu ya sekondari na hivyo kuhitajika miundombinu mingine kwa ajili ya kukidhi mahitaji |
alisema hali hiyo imefanya kuwapo kwa mahitaji makubwa kama nyumba za walimu mia nne na kumi na mbili maabara kumi nne madarasa mia mbili na arobaini na moja na mabweni arobaini na sita hali iliyofanya waamue kubuni mpango wa kuwa na mfuko UNK kazi ya kutatua matatizo hayo |
wakati uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapigakura ukiwa umegubikwa na kasoro za malalamiko kwa baadhi yao kunyimwa fursa ya kuandikishwa kwa kukosa sifa kundi lingine UNK daftari hilo kwa madai ya UNK mgogoro wa ardhi wa muda mrefu uliopo katika shehia ya jongowe kisiwani tumbatu |
shehia hiyo inayokadiriwa kuwa na wakazi moja sifuri sifuri sifuri UNK kujiandikisha katika daftari la kudumu tangu uandikishwaji uanze katika kisiwa cha tumbatu huku lawama UNK kwa mwakilishi wa jimbo hilo bwana haji omar kheri |
wakizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kisiwani humo wakazi hao walisema kuwa wameamua kutojiandikisha kwa kuwa hakuna umuhimu wa kufanya hivyo huku kilio chao cha mgogoro wa ardhi kikiwa hakina ufumbuzi |
wananchi wa shehia ya tumbatu jongowe na tumbatu kichangani wako katika mgogoro wa ardhi ya mashamba kwa zaidi ya miaka mitano na kusababisha wakazi wa shehia hizo mbili kususia kuzikana na kutishia kuuana kutokana na sehemu moja ya ardhi kuzidi upande mmoja |
akizungumza na waandishi wa habari sheha wa shehia ya jongowe bwana mwadini makame UNK alisema wananchi wameamua kutojiandikisha kwa kuwa tatizo lao la ardhi halijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu na kwamba sehemu moja ya tumbatu kichangani ina eneo kubwa kuliko lile la tumbatu jongowe |
alisema kutokana na hali hiyo alifikisha kilio cha wananchi hao kwa mwakilishi wa jimbo la tumbatu bwana kheri ambapo hata hivyo hakuna ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wakazi hao |
majira ilibaini kuwa mgogoro uliopo baina ya wakazi wa shehia hiyo haukuwa na itikadi za kisiasa kama shehia nyingine bali wananchi wote kwa umoja wao bila kujali itikadi zao za vyama wameamua kuungana na kuonesha msimamo wa kutojiandikisha hadi hapo mgogoro wa ardhi UNK ufumbuzi |
hakuna haja ya kujiandikisha mwakilishi wetu UNK UNK UNK maneno ya UNK kwamba hatuna elimu |
UNK kwamba sisi tuna elimu au la |
asubiri mwaka ishirini moja sifuri alisikika mmoja wa wakazi wa shehia hiyo aliyejitambulisha kuwa ni mwanachama wa ccm naye bwana zuberi bakari ali mkazi wa eneo hilo alisema kuwa mwakilishi huyo amekuwa akitoa upendeleo kwa watu wa kichangani kwa kuwa yeye ni mmoja wa wakazi wa eneo hilo na kwamba kutokana na hali h... |
tunaomba serikali UNK kati mgogoro huu |
kwani watu UNK wala UNK majumbani |
wakati sote tu ndugu moja huyu UNK yule na yule UNK kwa huyu |
UNK uadui huu |
UNK wenyewe kwa wenyewe alisema mmoja wa wakazi hao |
tunakaribia wana ccm mia tatu na sitini sote UNK na UNK |
UNK tutabaki na ujinga wetu |
UNK UNK mwenyewe alisikika mama mmoja mkazi wa shehia ya jongowe |
mkuu wa kituo cha uandikishaji katika shehia ya jongowe bwana suluhu ali rashid alisema kuwa wananchi wameamua kususia uandikishaji katika shehia hiyo kwani hakuna mtu hata mmoja aliyejitokeza kujiandikisha tangu siku ya kwanza |
akizungumzia mgogoro huo mkuu wa mkoa wa kaskazini unguja bwana pembe juma alisema kuwa mgogoro huo ni wa muda mrefu serikali ilipeleka ramani kwa wakazi wa shehia hiyo ambayo UNK |
tunawaomba wananchi UNK |
suala lao linashughulikiwa kujiandikisha ni haki yao ya msingi alisema bwana juma |
jitihada za kumpata mwakilishi wa jimbo la tumbatu bwana kheri zilishindikana kutokana na simu yake ya mkononi kutopatikana kwa muda mrefu |
mtoto ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa muhimbili kutokana na homa ya mafua ya nguruwe ametokea kenya |
mgonjwa huyo ambaye ni mwanafunzi mwenye jinsia ya kike aligundulika kuwa na ugonjwa huo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere baada ya kushuka akitokea kenya hivi karibuni |
ingawa hakutaka kutoa taarifa za kina kuhusiana na mgonjwa huyo mkurugenzi wa huduma ya tiba mnh profesa andrew swai alisema kuwa mgonjwa huyo ni mtanzania na hali yake inaendelea vizuri |
hofu ya ugonjwa wa mafua ya nguruwe imezidi kushika kasi siku hadi siku baada ya idadi ya waliowahi kuugua ugonjwa huo nchini kufikia wanne |
mgonjwa wa kwanza hapa nchini kuwa na ugonjwa huo aligundulika julai nne mwaka huu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere wakati akiingia nchini kwa ndege ya shirika la ndege la kenya |
wagonjwa wengine walikuwa ni raia wa uingereza ambao ni ndugu wa familia moja wanaoishi mbezi beach jijini dar es saalam nao walibainika kuwa na ugonjwa huo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere wakati wakirejea kutoka nairobi kenya walikokwenda kukutana na ndugu zao |
profesa swai UNK hofu watanzania na kudai kwamba UNK kukabiliana na ugonjwa huo kila kona kuanzia katika mipaka ya kuingia nchini bandarini na viwanja vya ndege |
hatimaye waliokuwa mawaziri waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu bwana basil mramba wa fedha na bwana daniel yonna wa nishati na madini wamefanikiwa kuwaficha mashahidi wao kinyume na matakwa ya upande wa mashitaka |
kufikiwa kwa hatua hiyo kunaifanya kesi hiyo kuanza kusikilizwa kwa mashahidi wa upande wa mashitaka novemba mbili hadi tano mwaka huu |
hatua hiyo ilifikiwa jana baada ya malumbano ya kisheria katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa muda wa siku tatu mbele ya jopo la mahakimu bwana john utamwa bwana saul kinemela na bwana sam rumanyika |
mahakama hiyo ilikubaliana na sababu za upande wa utetezi kuwa kwa sasa hawawezi kuwataja mashahidi wake kwa kuwa hawajui kitakachofumka ndani ya kesi hiyo baada ya mashahidi wa upande wa mashitaka kutoa ushahidi wao |
uamuzi huo ulifikiwa baada ya busara za mahakama kutumika na kutumia muda mrefu UNK upande wa utetezi kuhusiana na malumbano hayo ya kisheria ambayo yalilenga UNK waraka wa aliyekuwa jaji mkuu francis nyalali UNK pande zote mbili kutaja mashahidi wake katika hatua za awali |
tunadhani tulikuwa na kazi kubwa ya kusikiliza kesi hii na sio malumbano UNK upande wa utetezi UNK kazi na upande wa mashitaka ambao umesema kuwa kama hamjui kilichomo ndani ya kesi kwa sasa hamuwezi kuwataja mashahidi hao mpaka baada ya kumalizika kusikilizwa kwa mashahidi hao alisema bwana john utamwa mwenyekiti wa ... |
awali akijibu hoja za upande wa mashitaka wakili wa bwana mramba bwana herbert nyange alisema kuwa upande wao una wasiwasi wa kutishwa kwa mashahidi wao endapo UNK mapema kwa kuwa kesi hiyo ni ya serikali ambayo UNK vyombo vingi vya dola na washitakiwa hawawezi kushindana na serikali |
kutajwa kwa mashahidi wa serikali ni sawa kwa kuwa wateja wetu kwanza hawana uwezo wa kuwatisha mashahidi hao ambao wengi wao wanatoka idara mbalimbali serikalini na hivyo kutishwa kwa mashahidi wetu UNK pale pale endapo watatajwa alisema bwana nyange |
wakili mkuu wa serikali aliutaka upande wa mashtaka kuchagua moja ama kutaja mashahidi wake au kusema hawajui kitakachofumka ndani ya kesi ili waachwe mpaka mashahidi wa mashitaka UNK ushahidi wake |
hatua hiyo ya bwana boniface iliwafanya upande wa utetezi kuomba mahakama UNK mashahidi hao kwa madai ya kutojua kilichomo ndani ya kesi na hatua hiyo wataifanya baada ya kukutwa na kesi ya kujibu |
baada ya upande wa utetezi kuomba kufanya hivyo mahakama iliamuru kuwa malumbano kuhusiana na waraka wa jaji mkuu UNK kando na kesi itaendelea kusikilizwa kwa mashahidi wa upande wa mashitaka |
mbali na hayo washitakiwa wote akiwemo bwana gray mgonja aliyekuwa katibu mkuu wa fedha wameruhusiwa kusafiri nje ya mkoa wa dar es salaam kwa shughuli zao ambapo kwa upande wa bwana mramba atakwenda jimboni kwake kutembelea wapiga kura na kazi zingine za bunge |
washitakiwa wote wanakabiliwa na mashitaka ya kuingiza hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba kwa serikali kutokana na matumizi mabaya ya ofisi ambapo walitoa misamaha ya kodi kwa kampuni ya alex UNK |
adhabu ya kifo iliyotolewa kwa watu watatu wilayani kahama mkoani shinyanga baada ya kupatikana na hatia ya kumuua albino imepokewa kwa hisia tofauti na wanaharakati na wanasheria baadhi UNK wengine UNK kuwa UNK haki za binadamu |
kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kuwa mahakama kuu kanda ya shinyanga imetekeleza sheria mbovu katika kutoa hukumu ya washitakiwa wa mauaji ya mlemavu wa ngozi kwani mshitakiwa UNK haki ya msingi ya kuishi kikatiba |
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binaadamu bwana francis kiwanga ofisini kwake wakati akitoa maoni yake juu ya adhabu ya kifo iliyotolewa jaji gabriel rwakibalila juzi |
waliohukumiwa ni masumbuko madata mkazi wa kijiji cha ituga wilayani bukombe bwana emmanuel masangwa mkazi wa kijiji ca bunyihuna na bwana charles masangwa mkazi wa kijiji cha nanda bukombe baada ya kupatikana na hatia kumuua kwa albino matatizo dunia |
bwana kiwanga alisema hukumu hiyo ni sahihi kwa kuwa imefuata taratibu na matakwa ya kisheria lakini sheria inayotoa dhabu ya kifo ni miogoni mwa sheria mbovu na katili UNK katiba na haki za binadamu |
hatuwezi kuilaumu mahakama kwa kutoa adhabu hiyo kwa kuwa mahakama inapaswa kutafsiri na kutumia sheria zilizopo tatizo ni katika adhabu yenyewe jamii haipati lolote kutoka katika kuwaua wauaji na hilo ndilo UNK alisema bwana UNK |
alisema adhabu ya kifo ni adhabu UNK kwa kuwa kila rais anayeongoza tanzania anakwepa UNK kunyongwa kwa watu hao |
kulingana na takwimu za tanzania zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita hakuna mshitakiwa UNK licha ya kuwa adhabu hiyo inatolewa mara kwa mara |
fikiria sasa jamii itapoteza watu wengine watatu wakati UNK mmoja je familia na jamii ya kijana aliyeuawa inapata nini kutoka katika adhabu ya kifo |
alilalamika kuwa baadhi ya wafungwa wamekuwa wakiishi maisha ya taabu kutokana na kuhukumiwa adhabu hiyo muda mrefu na kushindwa kutekelezwa |
tofauti ya wale UNK albino na hawa UNK UNK kwa sasa kwa sababu wote watakuwa wameua UNK adhabu mbadala kwa mfano kifungo cha maisha gerezani ili UNK taifa na si kuuawa |
alisema |
pia alisema kuwa katika mila na desturi za watanzania hakuna hata kabila moja lenye hukumu ya kuua alisema kuwa mtu anapopatikana na hatia hata ya kuua UNK fidia na adhabu nyingine kama njia mbadala |
akizungumzia hilo mwanasheria maarufu profesa abdallah safari alisema kuna ushahidi wa aina mbili ushahidi wa moja kwa moja na ushahidi wa mazingira na kama jaji alifuata ushahidi wa mazingira kuwatia hatiani washitakiwa ni sawa washitakiwa wanayo nafasi ya kukata rufaa |
profesa safari alisema adhabu ya kifo imekuwa UNK na baadhi ya majaji na wanaharakati wakidai kwamba ni adhabu ya kinyama lakini kuna swali la kujiuliza nani mnyama kati ya mshitakiwa aliyeanza kuua na huo uamuzi wa UNK |
wakili damas ndumbaro akizungumzia hukumu hiyo alisema ni nzuri na muhimu kwa wakati huu kwani sheria inatakiwa kuondoa matatizo yaliyopo katika jamii |
naye wakili evarist UNK alisema watuhumiwa kutokuwepo eneo la tukio sio kigezo cha mahakama kuwaachia huru lakini kwa mujibu wa jaji kulikuwa na dosari katika ushahidi UNK na kisheria kunapokuwa na shaka lolote uamuzi hutolewa kwa manufaa ya mshitakiwa |
alisema hajajua hiyo shaka ina ukubwa kiasi gani kumfanya jaji kutozingatia matakwa ya sheria kwa sababu katika ushahidi wa kimazingira tahadhari kubwa inapaswa kuchukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwepo ushahidi mwingine wa kuunga mkono |
katibu mkuu shura ya maimamu shekhe ponda issa ponda akizungumzia hilo alisema adhabu ni sawa na kwa kuwa imefuata taratibu wanakubaliana na uamuzi wa mahakama kwani hata katika dini UNK kuwa washitakiwa UNK wanastahili kuuawa |
shekhe ponda alisema jamii haipaswi kuangalia uzito wa adhabu badala yake waangalie athari zinazoweza kupatikana kutokana na utekelezaji wa adhabu hiyo |
UNK ni uamuzi wa waziri mkuu bwana mizengo pinda kwamba UNK naye auawe papo hapo kawaida katika dini na sheria inapaswa UNK kwanza kama mshitakiwa alitenda kosa alisema |
imeandikwa na UNK katimba kulwa mzee na makumba mwemezi tahadhari iliyotolewa na waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa daktari husein mwinyi kuwa mbagala siyo salama kwa kuishi UNK jana baada bomu kulipuka na kuua watoto wawili na wengine watatu kujeruhiwa |
bomu hilo liliibua upya vilio na simanzi kwa wakazi wa mbagala na kuwakumbusha tukio la aprili ishirini na tisa mwaka huu ambapo ghala la jeshi la ulinzi wa wananchi wa tanzania UNK na kusabisha vifo vya watu ishirini na sita tukio la jana lilitokea mbagala kizuiani na kusababisha vifo vya watoto wawili jirani regina ... |
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi aliwaambia waandishi wa habari katika hospitali ya temeke kuwa mbali na maafa hayo kwa watoto mlipuko huo UNK uharibifu wa mali |
bwana lukuvi alisema timu ya wataalam kutoka polisi na jeshi la wananchi walifika eneo la tukio ili kubaini chanzo cha mlipuko na aina ya bomu UNK |
inawezekana bomu hilo lilikuwa eneo hilo kwa muda mrefu hivyo UNK takataka likapata joto na kulipuka alisema na kuongeza kuwa uchunguzi wa awali umeonesha kuwa tukio hilo ni ajali kama ajali zingine |
kama ilivyokuwa kwa maafa ya awali lukuvi aliahidi kuwa serikali itagharamia gharama za matibabu ya watoto waliojeruhiwa na zile za mazishi ya UNK |
hivi karibuni daktari mwinyi alisema mbagala siyo mahali salama kwa kuishi kutokana na kuwepo uwezekano mkubwa wa mabomu yaliyosambaa kutokana na tukio la aprili ishirini na tisa hata hivyo ushauri huo wa daktari mwinyi UNK na baadhi ya wakazi wa mbagala |
bomu hilo lililipuka huku daktari mwinyi akiwa ameahidi kujiuzulu endapo itabainika kuwa milipuko ya aprili ishirini na tisa ilitokana na uzembe wa kiutendaji |
hatima ya daktari mwinyi kujiuzulu au la itajulikana baada ya ripoti ya uchunguzi wa tukio hilo UNK na maofisa wa jwtz na wizara ya ulinzi UNK hadharani |
mlipuko huo wa jana ulitokea saa mbili asubuhi na mashuhuda walisema kuwa ulisababishwa na takataka zilizokuwa zikichomwa moto |
bibi eva paul ambaye ni mama wa asha na sada ambao waliojeruhiwa alisema baada ya kusikia mlipuko alitoka nje na kuwakuta watoto hao wametapakaa damu ndipo UNK hospitali |
mashuhuda hao walisema mpangaji katika nyumba ya bibi UNK komba ambaye jina lake halikupatikana alikuwa akifanya usafi na baada ya kumaliza UNK takataka na kuzichoma moto |
walieleza kuwa muda mfupi baada ya takataka hizo kuchomwa moto ndipo ulitokea mlipuko wa bomu uliosababisha vifo na majeruhi kwa watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo hilo |
vifo vya watoto hao UNK idadi ya waliokufa kutokana na mlipuko wa mabomu kufikia ishirini na nane katika tukio la mlipuko wa kwanza walikufa raia ishirini na wanajeshi sita |
wakati wa UNK ya aprili ishirini na tisa serikali iligharamia matibabu na mazishi ya waliokufa lakini imekuwa UNK na kugharimia matukio ya ajali za kawaida |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.