text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisisitiza kuwa kama ni hivyo basi magereza yote UNK ili watu wote wawe huru |
daktari slaa alisema hadi leo mzee mkapa hajawahi kujitokeza hadharani na kujibu tuhuma zinazoelekezwa kwake ili asamehewe |
daktari slaa alisema inashangaza kuona watu wanajitokeza kwa ajili ya kumsafisha wakati wakijua kuwa taratibu za tenda UNK |
kuhusu mgodi wa kiwira kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara kwa miezi kumi alisema serikali ilipaswa UNK kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa kampuni ya reli tanzania alisisitiza kuwa wataendelea kupiga kelele |
kwa upande wake mwanasheria wa chadema bwana tindu lisu alisema jaribio la pinda ni kutaka kubadilisha ufisadi kwa lengo la kumtetea alisema na kuongeza kama mzee mkapa sio fisadi kwa nini wanataka kumnyangganya mgodi wa kiwira |
alisema mzee mkapa akiwa rais alivunja sheria ya maadili ya viongozi wa umma kwa kujimilikisha mgodi huo wakati akijua fika kuwa kufanya hivyo ni makosa |
serikali inajua kuwa alivunja kiapo chake ndiyo maana inataka kurejesha mgodi huo mikononi mwake alisema na kusisitiza kuwa waziri pinda alitakiwa kuwaeleza wananchi ni kwa mazingira gani mzee mkapa UNK mgodi huo |
alisema fisadi anaweza akawa mtu anayetumia madaraka aliyopewa na umma kujimilikisha mali hivyo sio lazima awe UNK |
juzi waziri pinda alimtetea mzee mkapa akisema ni mwadilifu mcha mungu na mtu anayependa kanisa |
hadi leo mzee mkapa anapendwa na kutambulika kimataifa kama kiongozi mwadilifu alisema bwana pinda na kuongeza kama kweli ni fisadi basi tuoneshwe ufisadi wake kauwekeza wapi |
kauli ya waziri pinda inalenga kujibu madai ambayo yamekuwa yakitolewa na wanasiasa dhidi ya mzee mkapa ambapo anadaiwa kujimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira |
wanasiasa hao wanadai kuwa kila kukicha mgodi huo umekuwa ukimwingizia mamilioni ya fedha |
madai mengine ni kuwa mzee mkapa UNK akiwa ikulu |
naibu waziri wa ajira kazi na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga amesema utekelezwaji ilani ya chama cha mapinduzi na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kutamaliza tatizo la migomo ya wanafunzi vyuoni |
daktari mahanga aliyasema hayo dar es salaam jana wakati UNK tawi jipya la wanafunzi wanachama wa ccm wa chuo kikuu cha sayansi ya afya na tiba muhimbili katika viwanja vya karimjee |
alisema mpango mkakati wa ccm ni kushirikisha wanafunzi wa vyuo vikuu ili waweze kushiriki katika shughuli za chama na kusimamia ilani kwa lengo la kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa |
ccm UNK kwa kuwa na wanachama wengi wa fani mbalimbali wakiwemo madaktari walimu UNK na wengineo ikiwa ndio sababu wananchi kutupa ridhaa ya kuongoza kutokana na imani waliyonayo kwetu na utekelezwaji mzuri wa ilani ya ccm kwa vitendo alifafanua daktari mahanga |
daktari mahanga aliongeza kuwa suala la migogoro katika vyuo mbalimbali nchini halipo katika ilani ya ccm ambapo jukumu la wanafunzi wanachama ccm ni kuhakikisha kuwa wanasimamia na kuitekeleza ilani hiyo ili kuepusha migomo inayotokea mara kwa mara |
familia ya marehemu amina chifupa inatarajia kuanika siri nzito alizokuwa nazo marehemu huyo pamoja na kutaja majina aliyokuwa UNK mara kwa mara wakati akiwa mahututi UNK |
akizungumza na majira jana baba wa marehemu amina bwana hamis chifupa alisema familia hiyo imeona ni vyema kutaja majina hayo baada ya kukaa na kutafakari |
ndani ya miezi mitatu inaweza ikawa kesho au wiki ijayo lakini ndani ya muda huo tutaweka wazi siri zote alizokuwa nazo amina alizotoa wakati anaumwa alisema bwana chifupa |
alisema marehemu amina alikuwa akitaja majina ya watu wanne mara kwa mara wakati anaumwa hivyo familia hiyo UNK majina hayo hadharani |
hata hivyo mzee UNK hakufafanua kuwa ni ya wabaya wake au watu wa namna gani |
sio kwamba hao watu ndio walishiriki kumuua |
hapana hatujui ni kwa nini hao watu kila muda alikuwa akiwataja hivyo tutaweka majina yao wazi alisisitiza bwana chifupa |
alisema familia hiyo iliamua kubaki kimya kwa kipindi kirefu kwa ajili ya kutafakari jambo hilo na kwa sasa uamuzi umeshafanyika na siri UNK marehemu zitawekwa wazi |
familia hiyo pia imeomba serikali kuweka bayana majina ya wauzaji na wasambazaji dawa za kulevya kwa kuwa hata marehemu amina alipiga vita jambo hilo na kusimama kidete kutetea vijana ambao wengi wao ndio waathirika wa dawa hizo |
alisema hadi sasa familia hiyo inaendelea kutafuta chanzo cha kifo cha marehemu amina na inaamini alikufa UNK |
marehemu amina alifariki dunia juni ishirini na sita mwaka jana katika hospitali ya lugalo dar es salaam |
rais jakaya kikwete amesema serikali yake haina nia ya kukandamiza madhehebu ya dini na kamwe UNK kuona inaleta msuguano wa dini nchini |
aliwataka watu wanaoeneza uvumi huo kuacha mara moja kwani alisema ni uchonganishi usio na msingi aliyasema hayo mwishoni mwa wiki juzi wakati akihutubia wananchi baada ya kufungua hospitali teule ya wilaya ya kilindi iliyopo kwenye mji wa UNK |
alisema baadhi ya watu walitaka kutumia malumbano ya kuondolewa msamaha wa kodi kwa madhehebu ya dini kwa lengo la UNK kashfa serikali yake |
naambiwa eti serikali yangu inataka kukandamiza dini nyingine UNK kupotosha waumini wetu mbona serikali yenyewe haina ubaguzi katika kuajiri hata UNK wenyewe tra kuna waumini mchanganyiko akiwemo kitilya ambaye ni mkristo anaweza kuwakandamiza wenzake |
alihoji rais kikwete |
rais kikwete alisema kwenye kikao kilichofanyika kati ya viongozi wa dini na serikali hata wao viongozi wa dini walikiri ukiukwaji mkubwa uliokuwa unafanywa na baadhi yao katika msamaha wa misaada hiyo ikiwemo magari matairi na vifaa vya ujenzi |
wenyewe viongozi wa dini wamekiri wapo wenzao wanaotumia misamaha hiyo vibaya mfano kiongozi mmoja ana gari moja lakini anaagiza matairi arobaini na tano kwa mwaka ina maana kila mwezi UNK matairi UNK |
mwingine ameagiza magari thebathini na tano lakini UNK na huku mwingine anaagiza UNK ujenzi kumbe ni kwa ajili ya nyumba yake alisema rais kikwete |
alisema umefika wakati viongozi wa dini na serikali kushirikiana ili kuwabaini wale wote UNK viongozi wa dini kwa kujivika UNK ya utume na kufanya maovu ndani |
alisema viongozi wa dini ni kimbilio la waumini lakini kama waumini UNK tamaa na viongozi wao watakosa mahali pa UNK |
tunaamini kiongozi wa dini ndiye wenye heshima na maadili kwa kuwa kilele cha uaminifu na waumini wanajifunza kupitia kwao lakini kama watapoteza imani kwa viongozi wao watakuwa hawana mahali pa kukimbilia hivyo maadili UNK alisema rais kikwete |
naye askofu wa UNK kiinjili la kilutheri tanzania dayosisi ya kaskazini mashariki daktari stephen munga alisema hatua ya kurejesha msamaha wa kodi kwa taasisi za dini itaharakisha maendeleo na kutaka watu wasitumie nguvu katika kujadili mambo bali wakae na kufikia muafaka |
katibu wa dayosisi hiyo mchungaji james mwinuka alisema hospitali hiyo ambayo inajengwa kwa ufadhili wa serikali ya finland kupitia shirika la UNK evangelical UNK mission itagharimu shilingi bilioni nne mbili hadi itakapokamilika |
apinga wabunge kuwa mawaziri mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi bwana nape nnauye ametaka kuwepo ukomo wa ubunge ili kuwapa nafasi zaidi vijana kwenye nafasi hiyo |
bwana nape aliyasema hayo jana katika kipindi cha mambo leo kinachorushwa na kituo cha redio cha kumi sifuri tano times fm wakati akichambua sera ya taifa maendeleo ya vijana ya mwaka ishirini sifuri saba bwana nape alisema unggangganizi wa madaraka unaofanywa na wazee unakwamisha juhudi za vijana kupata nafasi hizo a... |
unakuta mtu ana miaka nenda rudi bungeni hataki kuachia nafasi hiyo na kwa kuwa ana fedha ni lazima nafasi hiyo aipate tofauti na kijana anayetafuta nafasi hiyo kwa jasho lake bila kuwa na fedha |
ifike mahali kuwepo mabadiliko ambayo yatakuwa na ukomo katika nafasi hiyo kama ilivyo kwa rais alisema bwana nape |
aliiomba serikali kuwaangalia zaidi vijana katika uteuzi wa nafasi hususan wa bodi mbalimbali ambapo kwa sasa nafasi hizo UNK na wazee wengi wao wakiwa UNK |
alisema ili kuwepo changamoto katika utendaji mfumo wa sasa wa kuteua mawaziri kutokana na wabunge UNK ili mawaziri watoke nje ya bunge |
mawaziri watoke nje ya bunge wabaki na kazi moja tu ya uwaziri hii itasaidia kwa kiasi kikubwa katika uwajibikaji hata malalamiko ya upendeleo majimboni UNK alisema |
alisema mabadiliko hayo pia UNK fursa kwa vijana kupata nafasi za uongozi na kuonesha uwezo wao wa kuleta mabadiliko badala ya nafasi hizo kuendelea kushikiliwa na wazee alisema bwana nape akizungumzia sera ya vijana alisema UNK vizuri eneo la siasa kwa vijana hivyo akaiomba serikali kuangalia kwa makini eneo hilo na ... |
naye mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa arusha bwana james millya aliiomba serikali kuwa na mpango maalum wa kuwapandisha vijana na kuachana na wazee ambao utendaji kazi wao hauna kasi ya kutosha |
ujue tuko katika kipindi cha teknolojia ambapo vijana wako kasi katika hili hawa wazee unakuta hata komputa tu hawezi kutumia hivyo ifike mahali nao wakubali kuwa UNK na vijana katika mambo mengi |
akizungumzia ziara za nje za rais bwana millya alishauri pia UNK vijana wenye taaluma ili kuwapa uzoefu katika mambo mbalimbali |
kuhusu sera ya vijana bwana millya alisema bado ina upungufu katika baadhi ya maeneo hivyo akaomba kuwepo mabadiliko ambayo yatawawezesha vijana kuwa na fursa zaidi katika mambo mbalimbali hasa ya ajira |
chanzo cha kifo hakijafahamika |
kuzikwa leo zanzibar mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha dar es salaam profesa haroub miraji othman amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini hapa |
msemaji wa familia bwana ali miraji alithibitisha kifo hicho na kusema ni cha ghafla na chanzo chake hakijafahamika |
bwana miraji alieleza kuwa profesa othman saa chache kabla ya kufikwa na mauti alionekana mwenye afya njema na kushiriki matukio kadhaa mjini hapa |
alisema mchana kabla ya kifo chake alihudhuria uzinduzi wa kitabu cha simulizi za maisha ya mwanasiasa mkongwe ali sultani issa ambacho UNK uhakiki |
wengine waliohudhuria hafla hiyo ni katibu mkuu wa chama cha wananchi maalim seif shariff hamad |
mbali na hilo usiku alihudhuria uzinduzi wa tamasha la UNK ambalo hufanyika kila mwaka kwa ajili ya kutangaza utamaduni wa zanzibar katika sekta ya utalii |
mgeni wa rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana shamsi vuai nahodha |
hadi kifo chake profesa othman alikuwa mwenyekiti wa kituo cha huduma za sheria cha zanzibar kilichoanzishwa kwa ajili ya kutoa msaada wa kisheria kwa watu wenye kipato cha chini |
kwa mujibu wa bwana miraji marehemu anatarajiwa kuzikwa leo mjini zanzibar |
maisha na uzoefu baada ya kumaliza masomo yake ya juu nchini urusi profesa othman alirudi zanzibar lakini kwa kipindi hicho alishindwa kupata ajira na kufanyiwa mipango na serikali kwenda kufanya kazi tanzania bara |
alifanya kazi chuo kikuu cha dar es salaam kuanzia miaka ya elfu moja na mia tisa na sabini akiwa katika kitivo cha sheria na UNK vingine hadi mauti UNK profesa othman atakumbukwa kwa moyo wake wa kupenda maendeleo ya demokrasia na dhana ya utawala bora katika bara la afrika na dunia kwa ujumla |
uwezo wake ulimfanya kujumuishwa na kuwa mjumbe katika tume mbali mbali ikiwemo ile ya kufanya marekebisho ya katiba na tume ya UNK |
tume ya nyalali ilikuwa ikiangalia mfumo gani wa siasa nchini unaofaa kufuatwa kutokana na dunia kukumbwa na wimbi la mabadiliko ya kisiasa baada ya kumalizika vita baridi vya kambi ya magharibi na mashariki mwanzoni mwa miaka ya elfu moja na mia tisa na tisini alipata pia kuwa mwenyekiti wa bodi ya lililokuwa shirika... |
UNK ilitoa taarifa kwamba uchaguzi huo haukuwa wa haki na kukinzana na taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi zanzibar mei mwaka huu profesa othman alihudhuria semina UNK waandishi wa habari waandamizi visiwani hapa kwa lengo la kuwaelimisha masuala mbalimbali ya uchaguzi huru na haki katika chaguzi UNK |
nikiwa hai nataka kushuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri unafuata misingi yote ya demokrasia zaidi kwa vyombo vya habari ni moja ya kauli aliyotoa msomi huyo kwenye semina hiyo ambayo itazidi UNK |
akizungumzia kifo hicho katibu mkuu wa zamani wa uliokuwa umoja wa afrika daktari salim ahmed salim alieleza kushtushwa na tukio hilo kwani mchana wote walishinda na marehemu katika matukio mbalimbali |
nimesikitika sana na huo ndio ukweli kwamba kifo hakina huruma wala taarifa kwani kwa siku nzima nilikuwa naye katika shunguli mbali mbali alisema daktari salim ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa profesa UNK |
mbunge wa kilindi bibi beatrice shelukindo na naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari aisha kigoda UNK misuli mbele ya rais jakaya kikwete baada ya kutofautiana maelezo wakati wa kuwasilisha matatizo ya waganga na wauguzi wilayani kilindi |
sakata hilo UNK baada ya daktari kigoda kutaka UNK mdomo bibi shelukindo UNK rais kikwete matatizo yanayoikabili wilaya hiyo kukimbiwa na watumishi wa idara ya afya na kuzua malumbano kati ya wanasiasa hao |
akiwasilisha taarifa ya mkoa kwa rais kikwete mwishoni mwa wiki kwenye ikulu ndogo mjini UNK wilayani kilindi ambapo alifika kwa ajili ya kufungua hospitali teule ya kilindi mkuu wa mkoa wa tanga meja jenerali said kalembo UNK kipengele cha idara ya afya rais kikwete alitaka ufafanuzi kuhusu kilindi |
kaimu mganga mkuu wa mkoa wa tanga na katibu wa afya hospitali ya bombo bwana pascal kanyinyi alisema wilaya ya kilindi ina upungufu mkubwa wa matabibu na wauguzi na kila UNK aidha UNK kabisa na wanaokwenda wanafanya kazi lakini baada ya muda UNK kwa kuwa mazingira ya kuishi ni magumu |
bwana kanyinyi alitolea mfano mwaka ishirini sifuri saba sifuri nane ambapo kilindi walipewa kibali cha kuajiri matabibu hamsini na mbili lakini UNK kufanya kazi wilayani humo ni wanne tu jambo linalofanya upungufu wa watumishi hao kuongezeka mwaka hadi mwaka |
katika kuchangia ili kuondoa tatizo bibi shelukindo alimwomba rais kikwete UNK kuondoa kero hiyo ambapo wao kama wilaya wanaweza kuanzisha mfuko wa motisha na rais kikwete UNK angalau shilingi milioni tano ili UNK na watumishi |
kutokana na kauli hiyo ndipo mvutano uliibuka baada ya daktari kigoda kueleza kuwa suala hilo lipo ndani ya uwezo wa halmashuri na bibi shelukindo hakupaswa kumwambia rais ama kumuomba msaada wa namna hiyo |
baada ya kauli hiyo bibi shelukindo naye alijibu mapigo na kusema ana haki ya kumwambia rais |
katika kuweka sawa suala hilo rais kikwete alitumia hekima na kuwataka wasiendelee kuitangaza wilaya ya kilindi kuwa ina mazingira magumu ya kufanya kazi badala yake waweke mikakati itakayowezesha watumishi hao kubaki na kuendelea na kazi |
rais kikwete alitolea mfano kuwa wanaweza kuamua UNK ekari tano za mazao mganga na kumwambia mazao yale ni yake na yeye UNK jambo ambalo linaweza kuwavutia zaidi |
akizungumza na mwandishi wa habari daktari kigoda alisema UNK bibi shelukindo ni sahihi kwani wao kama wilaya wanapaswa kutafuta watumishi na kuwapa motisha lakini sio suala la kumwambia rais kikwete |
mimi UNK ndiyo sahihi hawawezi kuomba rais awatafutie watumishi ama kuwachangia fedha wao kama halmashauri ni lazima wakatafute wenyewe watumishi vyuoni na kuwaeleza mikakati yao watakapofika kilindi lakini yeye alikuwa na kazi ya kunipinga tu |
alisema daktari kigoda |
alipoulizwa kama malumbano hayo yanatokana na yeye kuonekana mara kwa mara wilayani kilindi na kudaiwa yupo kwenye mbio za kutaka kugombea ubunge kwenye jimbo hilo daktari kigoda alisema wakati wa kuchukua fomu haujafika lakini yeye kama naibu waziri ana haki ya kuitembelea wilaya yoyote |
wakati wa kuchukua fomu haujafika na hapo ndipo unaweza kumjua mtu nia yake lakini mimi kama kiongozi wa serikali nina haki ya kufika kilindi wakati wowote kuangalia shughuli za maendeleo ni kama vile ninavyoweza kwenda lindi mtwara ama kigoma alisema daktari kigoda |
naye bibi shelukindo alisema yeye kama mwakilishi wa wananchi alikuwa na haki ya kumwomba msaada rais wake kwani shida wanazopata wananchi wa kilindi katika sekta ya afya UNK rais kikwete na ni tishio kwa ccm kwenye uchaguzi mkuu mwakani |
hana uwezo wa kunizuia UNK rais waganga na wauguzi kwa kuwa mimi ni mwakilishi wa wananchi na athari zake UNK zinaweza kujitokeza kwenye uchaguzi mkuu mwakani ndiyo maana nikamjibu kama watumishi hao sio tatizo kuwapata mbona yeye hakuja nao kilindi ambapo kila siku yupo wilayani humo |
alihoji bibi shelukindo |
bibi shelukindo alisema nia yao ni kufanya kama mkoa wa rukwa ambapo watumishi UNK na wenyeji wao kwa kupewa mpaka nyumba nzuri za kuishi usafiri chakula na mahitaji mengine hivyo kwa jambo kama hilo si dhambi rais kikwete kuwasaidia |
na makumba mwemezi mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam imeamuru kuuzwa kwa samaki wenye uzito wa tani mia mbili na tisini na sita thebathini na mbili waliopatikana kutokana na msako wa uvuvi haramu |
uamuzi huo ulifikiwa jana kortini hapo na hakimu mkuu mfawidhi bibi addy lyamuya wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya uamuzi wa mambo mbalimbali yaliyokuwa UNK na upande wa mashitaka |
bibi lyamuya alitoa uamuzi huo baada ya upande huo kuiomba kuruhusu kuuzwa kwa samaki hao kutokana na kuwepo uwezekano wa kuoza |
akiwasilisha ombi hilo wakili wa serikali bwana boniface stanslaus alidai licha ya samaki hao kuwa ni sehemu ya ushahidi lakini kutokana na kuwepo uwezekano wa kuoza ni vyema UNK wauzwe kwa njia ya mnada na fedha zitakazopatikana UNK katika mfuko maalum wa kijamii |
upande wa utetezi ulioongozwa na wakili ibrahim bendera haukuwa na pingamizi lolote kuhusiana na ombi hilo |
mbali na kutokuwa na pingamizi upande huo UNK mfumo wa uuzaji kwa njia ya mnada ukidai UNK thamani halisi ya maliasili hiyo hivyo kupendekeza samaki hao wauzwe kwa njia ya tenda |
kutokana na malumbano hayo mahakama ilikubaliana na matumizi ya njia zote mbili na kuutaka upande wa mashitaka kupanga tarehe na mfumo wa uuzaji wa samaki hao na UNK hadharani |
pia upande wa utetezi uliiomba korti kumruhusu mhandisi wa meli hiyo bwana UNK dong na bwana UNK UNK ambaye ni msaidizi wake kwenda UNK kwa ajili uangalizi wa meli hiyo ambao ambalo UNK |
polisi jijini tanga wamefanikiwa kuvunja jaribio la kuozeshwa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya UNK baada ya kuvamia sherehe ya harusi eneo la UNK nyumbani kwa binti huyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.