text
stringlengths
1
1.32k
tukio hilo kubwa na la pili kutokea katika kipindi kisichozidi wiki tatu jijini hapa lilitokea jumamosi iliyopita baada ya polisi kufika eneo hilo saa saba mchana na kukuta sherehe za harusi zikiendelea huku bibi harusi UNK bwana harusi tayari kwa kuozwa na shekhe wa UNK
baadhi ya watu walilieleza gazeti hili kwamba polisi walipofika eneo hilo UNK mkusanyiko huo ikiwemo ngoma maarufu ya baikoko iliyokuwa UNK na kuingia ndani ambako waliwakamata bibi harusi mtarajiwa na mama wa bibi harusi huyo
polisi walipofika kulikuwa na ngoma ya baikoko inapiga tulikuwa UNK pilau na kumsubiri bwana harusi ndoa ilikuwa ifungwe baada ya swala ya mchana lakini polisi UNK UNK wengine wakaondoka na sufuria za pilau alisema bwana ally bakari
akithibitisha tukio hilo kamanda wa polisi mkoani tanga bwana simon sirro alisema wamefanikiwa kumkamata mama mzazi wa mwanafunzi huyo anayetajwa kwa jinala bibi mainda ally na kumchukua mwanafunzi huyo kwa ajili ya kutoa maelezo kabla UNK mahakamani
kamanda sirro alisema tukio hilo limetokana na taarifa UNK na baba wa mwanafunzi huyo bwana salehe salum ambaye alipata taarifa kwamba bwana ahmed UNK anataka kumuoa binti yake huyo ambaye hakuwa ameenda shule tangu januari mwaka huu licha ya UNK karo
hili ni tukio la pili sasa hapa tanga inasikitisha sana kuona wazazi UNK mabinti zao wanaosoma huku si kuwatendea haki mabinti zetu alisema bwana UNK
jeshi la magereza mkoani shinyanga UNK kazi askari wake wa gereza la maswa koplo UNK masokolo kwa kitendo cha kumwoa mke wa mahabusu UNK gerezani hapo
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana mkuu wa jeshi hilo mkoani hapa bibi UNK pesha alisema mbali na kosa hilo askari huyo amefukuzwa kutokana na utoro kazini
askari huyo anatuhumiwa kumuoa mke wa mahabusu wa gereza hilo aliyetajwa kwa jina la bwana jilala UNK
alisema askari huyo mwenye namba a elfu tisa na mia nne na sabini na tatu amefukuzwa kazi kuanzia juni ishirini na saba mwaka huu baada ya kamishna mkuu wa magereza nchini bwana agustino nanyaro kuridhika kuwa alikiuka maadili ya jeshi hilo
alisema kitendo alichokifanya koplo masokolo kumrubuni na kumuoa mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la bibi ngholo shija kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo hakiwezi UNK macho kwani UNK jeshi hilo na kufanya wananchi UNK kwamba mahabusu na wafungwa hawana haki wakiwa gerezani
bibi pesha alionya askari wengine wa jeshi hilo UNK maadili ya kazi na kueleza kamwe UNK askari UNK jeshi hilo na UNK doa UNK jamii
alisema jeshi la magereza lina kanuni taratibu na sheria ambazo ziko wazi na kila askari UNK na jeshi hilo UNK
kufuatia kitendo cha askari huyo kumuoa bibi ngholo baadhi ya wabunge walilalamikia kitendo hicho bungeni wakati wakichangia hotuba ya ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma pamoja na ile ya utawala bora
waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti na utumishi wa umma
bibi hawa ghasia ambaye alikuwa akijibu hoja za wabunge alisema serikali haiwezi kukaa kimya kutokana na kitendo kilichofanywa na askari huyo kudhalilisha utumishi wa umma
serikali yazindua sheria ya mikopo
hati za kimila UNK kutumika
UNK benki zote kuepuka urasimu serikali imezindua sheria mpya itakayowawezesha wananchi kuondokana na adha ya kuishi kwenye nyumba za kupanga kwa kuanzisha mfumo utakaowawezesha kumiliki nyumba zao wenyewe
hayo yalibainishwa na waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi bwana john chiligati wakati wa uzinduzi wa kuanza kutumika kwa sheria ya miliki za sehemu za jengo na sheria ya mikopo ya nyumba uliofanyika dar es salaam jana
alisema utafiti umeonesha kuwa nyumba mpya zipatazo ishirini sifuri sifuri sifuri sifuri zinatakiwa kujengwa kila mwaka ili kukidhi ongezeko la watu mijini na vijijini lakini UNK ni wastani wa nyumba kumi na tano sifuri sifuri sifuri hali inayosababisha wapangaji kupewa masharti magumu na kulazimishwa kulipa kodi kwa ...
bwana chiligati alisema kupitia sheria hizo tatizo la uhaba wa nyumba litapata jawabu kwani wawekezaji wa kujenga nyumba za kuuza wataongezeka
kupitia sheria ya mikopo ya nyumba wanunuzi watakuwepo pia soko la kuuza nyumba hasa zile za UNK katika maghorofa UNK kupitia sheria ya umiliki wa sehemu ya nyumba alisema bwana chiligati
alifafanua kuwa uzuri wa sheria hiyo ni kuwa nyumba UNK au vyumba katika maghorofa hayo ndiyo itakuwa dhamana ya kupatia mkopo benki
bwana chiligati alisema sheria hiyo inaweka utaratibu usio wa kawaida ambapo mmiliki zaidi ya mmoja watakuwa wanamiliki sehemu ya jengo moja
ndani ya jengo moja panaweza kukawa na wamiliki wengi au ndani ya kiwanja kimoja kunaweza kukawa na nyumba zaidi ya moja na kila mwenye nyumba akawa na hatimiliki yake alisema bwana chiligati
alifafanua kuwa sheria hiyo imeweka mwongozo UNK wamiliki wa jengo au kiwanja kuunda umoja UNK kutatua matatizo UNK
aliongeza kuwa serikali inaendelea na mpango wa kupima mashamba ya wakulima na wafugaji na kutoa hati miliki za kimila kwani zina nguvu ya kisheria
UNK benki zote nchini kuanza kupokea hati hizo kama dhamana ya kuwapa mikopo ya nyumba wakulima na wafugaji
UNK benki zote nchini ziingie kikamilifu kwenye biashara ya kutoa mikopo ya nyumba watanzania UNK sana kujaribu kujenga nyumba kwa fedha za mfukoni alisema
alifafanua kuwa ili kuharakisha upatikanaji wa hati hizo na kwa gharama nafuu wizara yake imepeleka huduma ya kuandaa na kusaini hati hizo karibu na wananchi
bwana chiligati alisema tayari wataalam wa wizarani yake wapo kwenye ofisi za kanda tano wakiendelea na kazi ya kutayarisha hati miliki za UNK
alisema chini ya sheria ya usajili wa ardhi urasimu usiokuwa wa lazima UNK kwenye mchakato wa kutoa hati miliki za ardhi na ule wa kusajili hati za mikopo ya nyumba
alisema utaratibu wa sasa wa kusajili hati UNK rehani kwa ajili ya mkopo UNK katika ofisi za kanda
alisema serikali inatambua kuwa changamoto kubwa inayowakabili ni riba kubwa ya asilimia kumi na saba kwa mwaka inayotozwa kwa mikopo ya nyumba
alisema changamoto hiyo inashughulikiwa na serikali kwa namna mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuanzisha chombo cha fedha UNK mabenki kupata fedha kwa ajili ya kutoa mikopo ya nyumba
hata hivyo alionya wakopaji kama watashindwa kurejesha mikopo hiyo sheria mpya inampa UNK haki ya kuuza mali iliyowekwa rehani bila urasimu kama ilivyokuwa zamani
kutokana na unyeti wa jambo hilo bwana chiligati alisema sheria hiyo imeweka sharti kuwa mwanandoa mmoja wapo UNK rehani mali ni lazima mwenzake UNK
wadai pinda UNK hawana mamlaka kujadili kero
wataka mkataba wake sasa ujadiliwe bungeni
wahoji kufutwa serikali ya tanganyika
serikali yasema wenye tanganyika walishakufa
spika sitta UNK john cheyo bungeni katika hali isiyotarajiwa wabunge wote wa zanzibar jana waliungana UNK muungano huku wakidai kuwa waziri mkuu bwana mizengo pinda na waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar bwana shamsi vuia nahodha hawana mamlaka kujadili kero za muungano huo
akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya makamu wa rais iliyowasilishwa bungeni jana na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais daktari batilda burian mbunge wa UNK bwana yahya kassim issa alisema tanzania bara UNK na kuwarudisha nyuma wazanzibar katika nyanja UNK ikiwemo elimu na biashara
wenzetu UNK vikwazo bandari ya zanzibar imekufa watu walikuwa wanachukua vitu kwenda na kurudi lakini sasa hakuna vikwazo UNK ni matatizo UNK vitu vya kiuchumi vitakavyosaidia zanzibar hatutaki kusikia UNK
mafuta ni haki ya zanzibar sisi UNK sisi tulikuwa nchi kamili kama ilivyokuwa tanzania bara mtu UNK UNK hatajua UNK sisi wazanzibari tunashindwa kujizuia kuhusu mambo ya muungano alisema bwana issa na kusisitiza kuwa mwaka ishirini moja moja watakaporudi bungeni UNK mambo yakienda mrama
kwa upande wake msemaji wa kambi ya upinzani katika masuala ya muungano mbunge wa viti maalum bibi riziki omar juma alilitaka bunge kuiagiza serikali kuvunja haraka UNK kati ya waziri mkuu bwana pinda na waziri kiongozi bwana nahodha na kuwasilisha mkataba wa muungano bungeni ili ujadiliwe kwa lengo la kumaliza matati...
hatuoni kwamba vikao hivi vya pamoja vinakuja na suluhisho la tatizo la muungano vyenyewe ni sehemu ya tatizo ili kutimiza wajibu wetu kama bunge la watu lenye jukumu la kusimamia matumizi ya fedha za walipa kodi UNK serikali ya muungano isitishe mara moja vikao hivi badala yake mkataba wa muungano UNK hapa bungeni ka...
ofisi ya waziri mkuu na waziri kiongozi hazina uwezo wa kujadili muungano hapa ni UNK kinachofanyika
katika mkataba wa muungano hakuna sehemu inayosema kufutwa kwa serikali ya tanganyika alisema bibi juma
alisema kambi ya upinzania inaona kazi inayofanywa sasa na waziri mkuu na waziri kiongozi kujadili muungano ni kama sehemu ya kuongeza kero kwa kuwa ajenda kuu UNK ni ukiukwaji wa mkataba wa muungano hivyo kero UNK ni matokeo ya tatizo na si tatizo lenyewe
UNK UNK radhi kusema kwamba wakubwa wetu UNK muungano huu UNK sana na kile kisa cha mfalme UNK UNK kwenye riwaya ya kusadikika akiwa amekaa katika eneo ambapo mto uliokuwa UNK kila kitu mawe magogo majengo UNK kinywani na kuishia tumboni lakini mara alisikika akilia njaa
njaa
kiu
kiu
alisema bibi juma
alisema katika suala la muungano hakuna mkubwa wala mdogo na kusisitiza kuwa nchi zilizoungana zilikuwa nchi kamili na suala la udongo halipaswi kuwepo na kuongeza kwamba serikali ya muungano ndio inayopaswa kubeba lawama kuhusu muungano
alidai kuwa mazungumzo yanayofanywa kati ya waziri mkuu na waziri kiongozi ni sawa na watu wanaokutana kunywa kahawa au chai na si kufanya jambo la maana
naye mbunge wa mkanyageni bwana mohamed habib mnyaa alisema timu ya waziri mkuu na waziri kiongozi hazitoshi kujadili suala la muungano kwani linawagusa watanzania wengi hivyo lilipaswa kushirikisha nyanja mbalimbali
bwana mnyaa alikwenda mbali zaidi na kutoa mfano wa swali la mwanawe kuhoji uhalali wa kiongozi mmoja kuonekana UNK udongo peke yake jambo linalotia dosari kwenye misingi ya muungano humo
bwana mnyaa alisema tangu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini hadi ishirini sifuri sifuri zimeundwa tume kumi na mbili kushughulikia matatizo ya muungano lakini hadi sasa hakuna muafaka UNK
hivi karibuni serikali iliweka wazi mambo matatu yaliyopatikana kupitia mazungumo kati waziri mkuu na waziri kiongozi kuwa ni pamoja na tume ya haki za binadamu na utawala bora uvuvi katika bahari kuu na shughuli za biashara ya meli
katika hotuba yake daktari burian alisema serikali imepiga hatua katika mazungumzo kati ya viongozi hao wawili na kueleza kwamba vikao hivyo vitaendelea kwa kasi zaidi ili kuboresha muungano
akijibu hoja hizo waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais bwana muhammed seif khatib alisema suala la serikali ya tanganyika kwa sasa halina nafasi kwani wenye tanganyika walishakufa
alisema wakati wa muungano tanzania ilikuwa na watu milioni kumi tu na sasa wapo zaidi ya milioni arobaini alisisitiza kuwa waziri mkuu na waziri kiongozi wana uhalali kujadili kero za muungano kwani mwenyekiti suala hilo ni makamu wa rais
askari adaiwa kuua mfanyabiashara
barabara tunduma UNK kwa saa tisa
wananchi wavunja magari jwtz ofisi UNK
mbio za mwenge wa uhuru UNK risasi UNK kituo UNK mji mdogo wa tunduma uliopo mpakani wa tanzania na zambia jana UNK uwanja wa vita baada ya mamia ya wananchi kuandamana kurusha mawe na kushambulia magari kushinikiza jeshi la polisi kuwajibika baada ya UNK wa askari kudaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara wa k...
mfanyabiashara huyo aliuawa kwa kupigwa risasi ubavuni saa nne usiku wa kuamkia jana na askari aliyefahamika kwa jina la pc justin mita chache kutoka nyumbani kwake
wananchi hao wakiwemo wafanyabiashara wa mji huo wa tunduma walikuwa wakiandamana kuelekea kituo cha polisi wakiwa na mawe kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kusababisha mauaji hayo huku wakisema jeshi hilo limekuwa likiacha majambazi na kuwaua raia wasio na hatia
hata hivyo askari huyo baada ya tukio hilo alitoweka na hajulikani alipo hadi sasa
hatua hiyo ilisababisha barabara kuu ya tunduma kufungwa kwa takribani saa tisa kutokana na vurugu hizo ambapo mbio za mwenge wa uhuru uliokuwa UNK eneo hilo UNK
inadaiwa kuwa askari huyo alikuwa akifuatilia tukio la ujambazi ulitokea tunduma hivi karibuni na mara alipoona gari la mfanyabiashara huyo lenye namba za usajili t mia nane na themanini na nane aea toyota UNK ambalo alikuwa akiendesha mfanyabishara huyo alianza UNK kwa nia ya UNK
taarifa zimeelezwa kuwa wakati askari huyo UNK gari hilo akiwa ndani ya gari suzuki UNK namba t mia tano na hamsini na tisa afa marehemu naye aliongeza mwendo UNK kuwa alikuwa akifukuzwa na majambazi ndipo alipoanza UNK risasi
hali hiyo ilisababisha marehemu aongeze mwendo zaidi kwa kuhofia usalama wake na baadaye gari lake kukutwa na gari hilo ambalo lilikuwa ni la kiraia na askari huyo kumuua mfanyabishara huyo mita hamsini kutoka nyumbani kwake
mara baada ya kufanya mauaji hayo inadaiwa kuwa askari huyo UNK gari lake kwa mwendo kasi na kuelekea tunduma na UNK bastola eneo ambalo marehemu UNK
muda mfupi baada ya kufanya mauaji hayo baadaye lilikuja gari ya polisi landrover defender likiwa na machela ndani na kuuchukua mwili wa marehemu kwa nia ya kuupeleka katika kituo cha afya cha tunduma
akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa serikali za mtaa wa sogea bwana ali mwafongo alisema kuwa yeye alipata taarifa za kutokea kwa tukio hilo saa nne za usiku aliposikia milio ya UNK
bwana mwafongo alisema asubuhi UNK UNK taarifa kuwa kuna mtu ameuawa na baadaye walipofika eneo la tukio walielezwa kuwa jirani yao ameuawa na askari polisi na baadaye kufuatilia kituo cha afya ndipo UNK kuwa aliyefariki ni jirani yao bwana frank
tukio hilo lilisababisha wananchi hao kufanya maandamano ambapo kikosi cha askari wa kutuliza ghasia walianza kurusha mabomu ya machozi pamoja na risasi za moto kwa nia ya kuwatawanya wananchi waliokuwa wakifanya maandamano hayo
hali ambayo ilisababisha hasira kwa wananchi ambao walianza kurusha mawe na kuvunja vioo vya magari
magari mawili moja la jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania na la ofisi ya mkuu wa mkoa lilivunjwa vioo vya mbele
mmoja wa ndugu wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la bwana joseph UNK ametaka iundwe tume kuchunguza kifo hicho
kamanda wa polisi wa mkoa wa mbeya bwana advocate nyombi alisema alikuwa kwenye mbio za mwenge wa uhuru na kuona mawe yamepangwa barabarani ndipo kusitisha mbio hizo na kwamba wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
iliomba kibali cha mikopo tu
haina kibali cha kupokea fedha na reuben kagaruki benki kuu ya tanzania imesisitiza kuwa haijawahi kuipa kampuni ya upatu ya deci limited kibali cha kuiruhusu kupokea fedha kutoka kwa wananchi kama ambavyo imekuwa ikifanya hivyo biashara hiyo ni haramu
akijibu maswali ya waandishi wa habari dar es salaam jana mkurugenzi wa kusimamia mabenki bwana joseph massawe alisema mwaka ishirini sifuri saba deci ilipeleka barua bot ikiomba UNK barua ya kwenda kuombea leseni wizara ya viwanda na biashara ili kupatiwa kibali cha kukopesha fedha
alisema baada ya kupitia makabrasha ya deci yaliyopelekwa bot waliridhika kuwa malengo yao ni ya kukopesha fedha kwa wananchi na hakukuwa na kipengele chochote ambacho kilionesha itakuwa ikipokea fedha kutoka kwa wananchi
baada ya kupitia maombi yao tuliona kazi wanayotaka kufanya UNK kupokea amana ndiyo maana tukawapa barua ya kwenda kuombea leseni kutoka ofisi za viwanda na biashara alisisitiza bwana massawe
alifafanua kuwa badala ya deci kufanya biashara kama ilivyoomba ya kutoa mikopo kwa wananchi UNK na kuanza kujihusisha na biashara haramu
kutokana na kujihusisha na biashara haramu bwana massawe alisema tayari suala hilo limefikishwa kwa mkurugenzi wa upelelezi na makosa ya jinai ambapo tangu desemba mwaka jana alifungua jalada la kuichunguza deci alipoulizwa kama bot iliwahi kupokea maombi kutoka deci ya kutaka kuanzisha benki bwana massawe alikiri hil...
januari tulipata barua kutoka kwa promota wao wakiomba mkutano wa kwanza wa maombi ya benki UNK na UNK alisema na kusisitiza kuwa suala lao lilikuwa bado linashughulikiwa
alipoulizwa ni kwa nini ofisi za deci UNK ulinzi wa polisi ambao wanaendelea kusimamia biashara haramu iendelee kufanyika bwana massawe alisema suala hilo kwa sasa lipo kwenye vyombo vya sheria
tangu wiki iliyopita bot ilitoa matangazo kwenye vyombo vya habari UNK wananchi kuwa makini na biashara ya deci ijulikanayo kama vuna kutokana na mbegu uliyopanda kwa kuwa haijatoa leseni ya biashara hiyo
tangazo hilo lilieleza kuwa wananchi UNK na shughuli za deci watakuwa wanahatarisha mitaji yao
tangu tangazo hilo litolewe kwenye vyombo vya habari kumekuwa na hali ya mgawanyiko ambapo baadhi ya wanachama wanataka UNK fedha walizopanda huku wengine wakiendelea kupanda na kuvuna
na john daniel dodoma kambi ya upinzani bungeni imeitaka serikali UNK taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa kile ilichodai chombo hicho nyeti kinafanya kazi kwa upendeleo na kuogopa viongozi waandamizi wanaojihusisha na rushwa
akisoma maoni bungeni jana msemaji wa kambi hiyo katika wizara ya katiba na sheria bibi fatma UNK alisema hawaridhishwi na utendaji wa takukuru katika kushughulikia rushwa nchini kwa kuwa hakuna sheria UNK viongozi UNK mali
mtu akikutwa na fedha au mali inayozidi kipato chake halali achukuliwe kwamba ametenda kosa la kupokea rushwa inakuwa wajibu wake kuthibitisha kuwa mali hiyo alipata kihalali kifungu hiki ni muhimu sana katika kufanikisha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi