text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kambi ya upinzani UNK kumuomba mheshimiwa waziri UNK takukuru na kuwataka wafanye kazi kwa mujibu wa sheria bila uoga wala upendeleo na bila kujali wadhifa alionao au aliokuwa nao mhusika alisema bibi UNK |
na grace michael hatimaye upande wa utetezi katika kesi ya vinara wa kampuni ya development entrepreneurship community initiative UNK upande wa mashitaka kwa kuutaka kuondoa hati ya kupinga dhamana kwa kuwa hali ya usalama kwa sasa ni shwari |
anguko hilo lilifanyika jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu mkazi bwana michael UNK wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa |
akiwasilisha maombi ya kuuomba upande huo wakili wa utetezi bwana abduel UNK alisema kuwa sababu zilizotolewa ndani ya hati ya mkurugenzi wa mashitaka nchini ya kupinga dhamana ya washitakiwa kwa sasa hazipo hivyo upande huo uone haja ya kuiondoa ili washitakiwa hao wapate haki yao ya dhamana |
mheshimiwa sababu za dpp kupinga dhamana ya washitakiwa kwa sasa hazipo tena kwani kama ni usalama upo wa kutosha na hakuna vurugu tena kama wenzetu UNK na kufikia hatua ya kupinga dhamana ya washitakiwa hivyo tunaomba hati hiyo UNK na washitakiwa wapewe dhamana yao alisema bwana UNK |
akijibu hoja hizo wakili wa serikali bwana UNK mganga alisema kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa tu na suala la dhamana tayari lilishatolewa uamuzi na hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo bibi addy lyamuya hivyo haiwezekani hakimu mwingine kutengua uamuzi huo |
kuhusiana na hoja ya sababu za dpp kutokuwepo kwa sasa alisema kuwa endapo dpp angeona sababu hizo hazifai kwa sasa angekuwa ameleta taarifa yoyote ya kutengua hati yake ya kuzuia UNK kwa kuwa yeye ndo anajua hali halisi ya jambo hilo |
upande wa utetezi pia kupitia wakili wao bwana hudson ndusyepo ulizidi kuuomba upande huo kupitia mawakili wa serikali UNK dpp kuona haja ya kutengua hati hiyo |
baada ya kuwasilishwa kwa hoja hizo za pande zote mbili mahakama ilisema kuwa haiko tayari kutengua uamuzi wa mwanzo wa bibi lyamuya kwa kuwa ulikuwa halali |
ninachoweza kusema ni kusisitiza upande wa mashitaka kuangalia kama hizo sababu hazipo tena UNK hati yake na washitakiwa wawe nje ya dhamana kama utaona kuna haja hiyo alisema bwana mteite |
washitakiwa katika kesi hiyo ni bwana jackson mtares bwana dominick kigendi bwana timotheo ole loitg nye bwana swamel mtares na bwana arbogast kipilimba wote wakazi wa dar es dar es salaam |
na grace michael wadau wa wizara ya maliasili na utalii UNK kupuuza simu UNK kuomba msaada wa fedha kwa kutumia jina la naibu waziri wa wizara hiyo bwana ezekiel maige |
kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kaimu katibu mkuu wa wizara hiyo bwana UNK kwa muda wa miezi sita sasa yamekuwepo matukio ya watu kupiga simu kwa watumishi wa wizara idara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuomba fedha huku wakijifanya ni bwana maige |
watu hao wamekuwa wakipiga simu kuomba msaada wa fedha au kukopa kwa shida binafsi na wadau waliopigiwa ni chuo cha wanyamapori mweka pori la akiba selous pori la akiba UNK idara ya misitu na nyuki tanapa na wadau wengine wengi imeeleza taarifa hiyo |
ilifafanua kuwa matukio hayo yamekuwa UNK bwana maige kwa kuwa ni udhalilishaji hivyo UNK UNK |
kutokana na matukio hayo bwana maige ameliomba jeshi la polisi kuendelea na uchunguzi wake juu ya suala hilo ili wahalifu hao waweze kutiwa mbaroni na kukomesha vitendo hivyo |
na grace michael serikali imekata rufaa katika mahakama ya rufaa tanzania kupinga kuwepo kwa mgombea binafsi kama ilivyokuwa UNK na mahakama kuu ya tanzania |
rufaa hiyo imekatwa kupitia mwanasheria mkuu wa serikali ambaye anapinga uamuzi uliotolewa na jopo na majaji watatu ambao ni jaji amir UNK jaji salum massati na jaji thomas mihayo ambao UNK kuwepo kwa mgombea huyo |
katika rufaa yake mwanasheria mkuu wa serikali anapinga uamuzi wa mahakama kuu uliotolewa mei tano mwaka ishirini sifuri sita akidai kuwa mahakama hiyo ilikosea kujipa mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo |
kwa mujibu wa mwanasheria mkuu wa serikali sababu nyingine za kupinga mgombea binafsi katika rufaa hiyo jopo la majaji hao UNK kutengua vifungu vya katiba ya nchi kwa kupunguza matakwa ya lazima ya katiba hasa katika ibara ya thebathini na ibara ya kumi na tatu |
aidha anapingana na uamuzi huo kwa kusema kuwa mahakama ilikosea kujipa mamlaka ya bunge ya kutunga sheria ikiwa ni pamoja na kuhusisha katiba ya nchi na sheria nyingine za kimataifa |
sababu ya nyingine ya kupinga uamuzi huo inadai kuwa mahakama kuu ya tanzania haikustahili kutoa uamuzi huo katika kesi hiyo bila ya kuwepo mambo UNK |
rufaa hiyo iliyopewa namba arobaini na tano ya mwaka huu imekatwa dhidi ya mchungaji christopher mtikila ambaye awali alifungua kesi ya kikatiba akiomba mahakama kuamuru kuwepo kwa mgombea binafsi kuanzia uchaguzi mkuu wa mwakani |
katika uamuzi huo mahakama kuu ilisema kuwa vipengele UNK kwenye katika kupinga kuwepo kwa mgombea binafsi ni batili hivyo ikaagiza serikali kuandaa utaratibu wa kisheria kwa kuwaingiza wagombea binafsi katika mchakato wa uchaguzi |
mchungaji mtikila katika kesi hiyo aliiomba mahakama kuchambua marekebisho ya katiba yaliyofanywa na bunge kama UNK na baadhi ya vifungu vya katiba yenyewe pamoja na haki za binadamu |
na john daniel dodoma wakati waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa anawasilisha bajeti ya wizara yake bungeni leo huku kukiwa na kila dalili kuzuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge spika wa bunge bwana samuel sitta ametoa mwongozo wake kuhusu hoja ya mbunge wa nzega bwana lucas selelii awali ndani ya bunge hi... |
akitoa mwongozo wake bungeni jana bwana sitta alisema baada ya kupitia maelezo ya serikali na utafiti wake katika vitabu vya UNK ya miradi ya maendeleo kuanzia mwaka ishirini sifuri sita sifuri saba na taarifa rasmi za bunge ameridhika kuwa fedha zinazotumika katika ukarabati wa barabara hiyo ya chalinze segera tanga ... |
mchakato wa matengenezo ya barabara hii ulianza mwaka ishirini sifuri sita fedha zake zimekuwa UNK na bunge kuanzia mwaka ishirini sifuri sita sifuri saba jumla ya shilingi bilioni kumi nne zilitengwa ishirini sifuri sita sifuri saba ukarabati wa barabara hii umeanza rasmi mwaka wa fedha ishirini sifuri nane sifuri ti... |
hata hivyo alikiri kwamba hoja ya bwana selelii ilikuwa ya msingi kwa kuwa katika vitabu vya makadirio ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri saba sifuri nane na ishirini sifuri nane sifuri tisa kwa wizara husika fedha hizo hazionekani kutengwa na badala yake shilingi bilioni ishirini na mbili nane ... |
alisema hali hiyo ilizua hofu kwamba fedha zilizoanza kutumika ni za mwaka huu wa fedha ambazo zilikuwa UNK na bunge wakati makamu wa rais daktari ali mohamed shein UNK jiwe la msingi ujenzi wa barabara hiyo |
kwa kuwa utata huu unatokana na mabadiliko ya miundo ni ushauri wangu kwamba ili kuondokana na matatizo kama haya kunapokuwa na mabadiliko ya miundo ndani ya wizara hasa mabadiliko yale yanayohusiana na miradi mikubwa ni vema fedha UNK katika miradi ya aina hii UNK kwa uwazi zaidi katika vitabu vya bajeti alishauri bw... |
mheshimiwa selelii alikuwa na haki ya kutaka ufafanuzi wa matumizi ya fedha za mradi kama ilivyokuwa UNK katika vyombo vya habari alisema bwana sitta |
alisema kiini cha tatizo hilo ni mabadiliko yaliyofanywa ndani ya wizara ya miundombinu baada ya kubadili idara ya UNK division kuwa transport UNK division hivyo kufanya uhamishaji wa fedha kwenda idara hiyo mpya kuleta mkanganyiko hivyo kufikia hatua hiyo |
akizungumza na majira bwana selelii alisema hawezi kusema lolote kwani alikuwa UNK mwongozo huo wa spika na kumwomba mwandishi kuvuta subira hadi leo wakati bajeti ya wizara hiyo UNK |
mimi sijapata nakala ya mwongozo wa mheshimiwa spika sasa siwezi kuzungumza kwa kile UNK tu lakini subiri kesho utasikia tu vizuri UNK sana shughuli za bunge alisema bwana selelii |
kauli za wenyeviti UNK jambo na said mwishehe kundi la watu waliojitambulisha kuwa wana ccm wa mrengo wa kati au wana ccm mseto limedai UNK mwenyekiti wa chama hicho rais jakaya kikwete kwenye mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho mwakani kama atashindwa kuwashughulikia mafisadi waliopo ndani ya... |
wanachama hao wamedai endapo chama hicho kitazidi kukumbatia mafisadi na kuwaonea haya kuwatosa kisiasa watakuwa tayari kuondoka ccm na kujiunga na kambi ya upinzani ili kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi |
kauli ya wanachama hao imekuja siku moja baada ya wenyeviti wa mikoa wastaafu wa ccm kutoa tamko la kupambana na wenye nia ya UNK kumpinga rais kikwete kwenye uchanguzi mkuu ujao mwakani |
hata hivyo walisema UNK mtu yeyote kugombea nafasi hiyo lakini hawaoni sababu ya kuwapo upinzani wakati rais kikwete anatarajia kumalizia kipindi chake cha pili |
wenyeviti hao UNK na aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa dodoma ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti wa mikoa yote wa ccm bwana pancras ndejembi walionya dhidi ya viongozi wa chama hicho wanaotaka kuyatumia mapambano ya rushwa kama mtaji wa kisiasa na kujipatia umaarufu |
wakizungumza dar es salaam jana na majira kwa masharti ya kutotajwa majina makada hao walidai dhamira ya kweli ya rais kikwete kupambana na mafisadi itaonekana pale tu UNK haraka ndani ya chama watuhumiwa wote wa ufisadi |
uhakika wa kweli kama ameamua kufa na mafisadi ni pale tu tutakapoona wale waliohusika katika tuhuma za ufisadi wanashughulikiwa kikamilifu ndani ya ccm mbali ya kujiuzulu serikalini kilisema chanzo hicho |
wanachama hao walisema wanataka kuona mafisadi wote waliohusika na kashfa za kagoda richmond buzwagi deep green meremeta rada iptl na zingine UNK kortini au kuvuliwa uanachama kabla ya ishirini moja sifuri vinginevyo UNK chama hicho |
umefika wakati kusema ukweli wa mwenendo mzima wa chama chetu |
haiwezekani chama kishindwe kuwachukulia hatua mafisadi na kuendelea kuwalea |
katika mazingira hayo lazima tumpinge kwa misingi ya kidemokrasia mwaka ishirini moja sifuri kushindwa kuwashughulikia mafisadi ni kushindwa kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama alisema kada huyo |
kada mwingine kutoka kundi hilo alisisitiza kuwa watakuwa tayari kumuunga mkono rais kikwete katika uchaguzi huo endapo atafanya kazi moja tu ya kuhakikisha mafisadi waliopo ndani ya chama wanachukulia hatua za kichama sasa ikiwa ni pamoja na kuvuliwa uanachama |
alisema endapo rais kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho ataongoza mapambano kuwatimua wote wanaoandamwa na kashfa za ufisadi atapita bila kupingwa |
kada mwingine wa mrengo wa kati ambaye naye aliomba kutotajwa jina gazetini aliwalaumu wenyeviti hao na kudai wameshindwa kutofautisha ukweli wa mambo na vita ya ufisadi inayoendelea |
hawa wenyeviti wanadhani mkakati wa kumpinga rais kikwete ishirini moja sifuri unaendeshwa na mafisadi hili si kweli bali mafisadi ndio UNK rais mbele ya wanachama safi kwa kushindwa UNK |
UNK mafisadi na tunataka chama UNK hata wakiomba kura hatuwapi ndio maana tunataka rais kikwete aoneshe njia kwa kuwatosa nje ya chama vinginevyo na yeye tumpinge kidemokrasia kwenye mchakato mwakani alisema kada huyo na kufafanua hawa wenyeviti ni kama UNK sisi tunasema viongozi hususani mwenyekiti rais kikwete aones... |
kumtetea mtu aliyeshindwa kuwanggoa mafisadi ndani ya chama ni kama kushabikia ufisadi na kuwabeza UNK kwa nguvu zote kupambana na ufisadi |
kada huyo alisema baadhi ya viongozi wa ngazi za kati ndani ya chama hicho wakiwemo wabunge wamefanya kazi nzuri ya kupambana na mafisadi zaidi ya viongozi wakuu wa chama hicho hivyo madai kwamba walio mstari wa mbele katika mapambano hayo UNK umaarufu hayana msingi |
alitoa mfano kwa mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe na mbunge wa nzega bwana lucas selelii kuwa wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kazi nzuri waliyoifanya katika kupambana na mafisadi |
wanaopambana na ufisadi kama hao UNK lazima UNK mkono binafsi sioni kama rais kikwete UNK mafisadi waliopo ndani ya ccm mambo ya chama na serikali ni tofauti UNK serikalini mnaanza kutafuta haki mahakamani lakini chama ni kama dini UNK na doa ni kuondoka kama hutaki UNK alisema |
alimtaka rais kikwete kufuata nyayo za baba wa taifa mwalimu nyerere katika kukiongoza chama na kusema kwamba UNK nafasi vitu hivyo na wote waliobainika UNK bila kujali hali na nafasi zao |
alikwenda mbali zaidi na kudai ana wasiwasi wenyeviti hao wasije wakawa wanatumiwa bila kujijua na baadhi ya watu ili kuwahadaa wanachama wengine na kupotosha dhana na matokeo ya vita ya ufisadi hadi sasa |
wenyeviti walioambatana na bwana ndejembi ni aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam bwana hemed mkali bwana UNK UNK na bwana jumanne UNK |
hadi sasa miongoni mwa wana ccm walioonesha nia ya kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho ni pamoja na mbunge wa maswa bwana john shibuda |
ndugu wa marehemu wagoma mwili wake kuchunguzwa na esther macha tunduma watu themanini na nane wanashikiliwa kwa tuhuma za kushambulia kituo cha polisi baada ya kutokea mauaji ya mfanyabiashara mmoja wa mjini hapa bwana frank UNK |
anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi |
akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana kamanda wa polisi mkoa wa mbeya bwana advocate nyombi alisema ulinzi umeimarishwa katika eneo hilo kutokana na vurugu hizo |
aliwataka wananchi wa mji wa tunduma kuacha kufanya fujo na kujichukulia sheria mikononi yanapotokea matatizo kama hayo badala yake wasubiri vyombo husika |
alisema katika vurugu za jana kulikuwa na kundi la watu ambao waliokuwa wakirusha mawe eneo la benki ya nmb katika tukio hilo kijana mmoja aitwaye eliud UNK mkazi wa UNK mbozi alijeruhiwa kwa risasi mkononi na mkononi na polisi waliokuwa UNK |
alisema kuwa kijana huyo amelazwa hospitali ya rufaa mbeya kwa matibabu zaidi |
akizungumzia kuhusu askari aliyetuhumiwa kuua alisema jeshi lake bado linafanya uchunguzi zaidi wa tukio hilo kwani linahitaji muda wa kutosha |
UNK muda tukio hili bado linafanyiwa uchunguzi ukikamilika tu nitawapa taarifa kamili alisema kamanda UNK |
aidha kamanda nyombi alisema wakati akiondoka tunduma saa tano asubuhi mwili wa marehemu ulikuwa unafanyiwa uchunguzi katika hospitali ya UNK wilayani mbozi na kwamba baada ya uchunguzi UNK kwa ndugu zake kwa maziko |
hata hivyo habari ambazo gazeti hili limezipata zinasema ndugu wa marehemu wamegoma mwili huo kufanyiwa uchunguzi baada ya kutokuwa na imani na madaktari na polisi UNK kuufanyia uchunguzi hivyo kulazimika kuahirisha shughuli hiyo |
juzi wananchi hao waliandamana na kushambulia magari wakishinikiza jeshi la polisi kuwajibika baada ya mmoja wa askari pc justin kudaiwa kumpiga risasi mfanyabiashara huyo mita hamsini kutoka nyumbani kwake kwa tuhuma za ujambazi |
mmoja asema mafunzo yao UNK taifa pabaya |
ataka mahakama ya kadhi ianzishwe haraka |
shibuda UNK UNK mahakama hiyo mbunge wa kigoma kusini bwana manju UNK UNK maaskofu wa kanisa katoliki waliotoa waraka unaoelekeza waumini wake jinsi ya kuchagua kiongozi bora na kwamba kwa viongozi hao kujihusisha katika siasa ni kinyume na maadili ya dini |
mbunge huyo pia ameitaka serikali kuanzisha haraka mahakama ya kadhi na kudai kwamba katika suala hili hata rais jakaya kikwete hana hati miliki ya taifa hili bali ni mwananchi binafsi |
akichangia katika bajeti ya wizara ya katiba ya sheria iliyowasilishwa bungeni jana mbunge huyo alidai kwamba viongozi wa dini waliotoa waraka kuhusu elimu ya demokrasia kwa waumini wao UNK taifa pabaya na kusema viongozi hao wanaelekeza waumini wao kuwachagua viongozi wakristo |
hivi karibuni viongozi wa dhehebu moja la kikristo wametoa waraka unaoelekeza waumini wao jinsi ya kuchagua viongozi kama hao mashehe nao wataanza tukumbuke yaliyotokea biafra na kwa nini waraka huo unatolewa na dhehebu moja tu hili maana yake nini kama si kuwaambia watu hao UNK huyu huyu mkristo kwa bahati mbaya wazi... |
kuhusu mahakama ya kadhi mbunge huyo aliitaka serikali kueleza tatizo la UNK kwa chombo hicho na kudai mtendaji mmoja serikalini hakumtaja alikwenda kuwasikiliza wakristo ambao walikataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo |
tatizo gani kuanza mahakama ya kadhi |
alisema anakwenda kusikiliza watu wa upande wa pili mimi ninavyojua watu wa upande wa pili ni makanisa hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii hata rais hana hati miliki ya nchi hii mnatupeleka wapi |
alihoji |
hata hivyo kwa mujibu wa taratibu nchi huru na isiyokuwa na dini kama tanzania dini yoyote ikitaka kuwa na chombo ca kidini kama mahakama ni wazi kuwa inatakiwa ifanye kazi hiyo kwa gharama zake na si za serikali kwa kuwa fedha za umma haziwezi kutumika kwa ajili ya imani ya kundi fulani ndani ya jamii |
akichangia hoja hiyo mbunge wa maswa bwana john shibuda UNK kanisa katoliki kwa kuamua elimu hiyo itumike ili kuwaondoa viongozi wasiofaa |
aliwataka wanaopinga jambo hilo kuondoa hofu kwa kuwa ni jema |
alisema viongozi wenye hofu wanaogopa wananchi kupewa elimu ya uraia ili kuelewa vizuri haki na wajibu wao |
kuhusu mahakama ya kadhi bwana shibuda ambaye ametangaza kugombea urais mwakani alisema mfumo wa sasa ni mzuri na hakuna sababu ya kuwa na mahakama hiyo huku UNK kuwa nchi inaweza kuingia katika machafuko ikiwa serikali italeta sheria za kidini |
na raphael okello musoma waziri mkuu bwana mizengo pinda amempa miezi sita mkuu wa mkoa wa mara kanali enos mfuru kukomesha mapigano ya mara kwa mara UNK katika wilaya za tarime na rorya |
hadi sasa katika mapigano hayo watu zaidi ya thebathini na mbili wamepoteza maisha na nyumba arobaini sifuri zimeteketezwa kwa moto nakusababisha watu zaidi ya tatu sifuri sifuri sifuri kukosa makazi |
akihutubia jana katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya serikali za mitaa iliyofanyika kitaifa mjini hapa bwana pinda alisema serikali haitavumilia kuona amani inakosekana mkoani mara |
tumewapa miezi sita kuanzia leo julai mosi hadi desemba thebathini na moja mkuu wa mkoa uwe umetoa UNK kuhusu mikakati ambayo mkoa wako UNK kukomesha mapigano haya alisema bwana pinda |
aliendelea kazi ya vyombo vya serikali ni kuleta amani na utulivu kwa hiyo ni UNK la serikali kuanzia ngazi ya vitongoji vijiji halmashauri mkoa hadi taifa kuhakikisha kuwa amani inapatikana katika maeneo yao |
waziri mkuu alionesha kukerwa na kitendo cha viongozi wa chama na serikali katika halmashauri za wilaya ya tarime na rorya kushindwa kudhibiti mapigano hayo na ametishia kuzifuta endapo zitaendelea kuruhusu uvunjifu wa amani |
alisema mapigano hayo yanasababishwa na tabia mbaya UNK katika wilaya ya tarime ya wizi wa mifugo mila na desturi za kupenda mapigano migogoro ya ardhi na matumizi ya bangi mambo ambayo serikali za wilaya na mkoa zinaweza UNK |
alisema katika kudhibiti hali hiyo kuanzia sasa wilaya ya tarime na rorya zitafanywa mkoa wa kipolisi na kwamba kamanda wa polisi wa eneo hilo atapewa mamlaka kamili ya UNK |
pia kikosi maalum cha jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania kitawekwa eneo hilo ili kudhibiti hali hiyo |
mbali na hilo serikali itafungua kambi ya jeshi la kujenga taifa ambayo mbali ya majukumu yake ya kawaida itasimamia amani na usalama katika barabara za UNK |
katika mapigano mapya UNK hivi karibuni katika ya wananchi wa wilaya ya tarime na rorya tayari jumla ya maiti thebathini na mbili zimeokotwa nyumba zaidi ya arobaini sifuri zimechomwa na zaidi ya kaya thebathini sifuri sifuri hazina makazi kutokana na mapigano hayo ambayo chanzo chake ni wizi wa mifugo |
rabia bakari na godfrida jola baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu wamepinga hatua ya serikali kutangaza kusitisha kuanzishwa mahakama ya kadhi nchini |
hatua hiyo imekuja siku moja baada ya waziri wa sheria na katiba bwana mathias chikawe kutoa msimamo huo bungeni mjini dodoma juzi na kueleza kuwa badala yake utawekwa mfumo wa sheria kukidhi haja ya waislam na kuingizwa kwenye sheria za nchi mwaka huu |
waumini hao walisema hatua hiyo ya serikali inalenga kuwakandamiza kwa kuwa sheria hizo UNK hata na mahakimu wasiojua maana ya UNK |
shekhe mkuu wa tanzania mufti shaban bin simba alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu suala hilo alisema wanafanyia uchunguzi kauli ya waziri na muda ukifika watatoa tamko |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.