text stringlengths 1 1.32k |
|---|
jambo hili si la mufti peke yake ni la waislam wote UNK tayari kusema chochote kwa sasa isipokuwa bado UNK uchunguzi kauli ya waziri UNK tamko bado tunajadili mimi pamoja na wenzangu alisema mufti simba |
akizungumza na gazeti hili shekhe hamis mataka kwa upande wake alisema haelewi serikali inakusudia kufanya nini |
UNK serikali kuahidi kukaa nasi tutakapokutana pamoja ndipo tutawaeleza yale tunayohitaji tutawaeleza faida na hasara kwa hicho wanachotaka UNK |
tunasisitiza kuwa umuhimu wa mahakama ya kadhi bado upo pale pale kwani kazi ya mahakama hii ni kusimamia sheria za kiislam kama mirathi na talaka na si jinai mambo ya jinai yataenda mahakama za kawaida kama ilivyo sasa |
UNK kwamba UNK sheria zetu katika mahakama ya kawaida huo ni ukiukwaji wa mambo kwani sheria hizo UNK na hakimu yeyote hata yule asiyejua uislam wakati mahakama ya kadhi itasimamiwa na waislam wenyewe alisema shekhe UNK |
naye shekhe aboubakary UNK wa dodoma alisema kwa hali iliyopo sasa ni kwamba sisi wenyewe waislam UNK sawa hatuna maelewano hivyo ni vigumu kuamua jambo kama hilo ndio maana UNK |
kwa upande wake aliyekuwa imamu wa msikiti wa mtoro jijini dar es salaam shekhe khalifa hamis alidai wamechoshwa na vitendo vya serikali kupendelea dini moja na kusahau nyingine |
ndugu mwandishi tamko letu tutatoa jumapili ni wazi kuwa hatutaki sheria za kiislam ziingie katika mahakama ya kawaida tunataka kitengo cha peke yake kama vile mahakama ya biashara ardhi na nyinginezo alidai shekhe khalifa |
aliongeza kuwa kauli ya serikali kudai kuwa haina dini si ya kweli kwani kuna bidhaa nyingi UNK na serikali kwa ajili ya shughuli za dini |
kama kweli haitambui dini ifute dini zote UNK sambamba na kufuta msamaha wa kodi kila mtu awe analipa kodi |
serikali yetu UNK ndio maana waziri alithubutu kusema kuwa kitu kinachohusu waislam mpaka UNK wakristo wanasema nini |
ndio maana viongozi wa dini ya kikristo UNK ccm kutoipigia kura kwa kufuta misamaha ya kodi nayo UNK |
hivi na sisi waislam tuseme kwamba UNK kupiga kura baada ya ccm kushindwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi ya kuweka mahakama ya kadhi si tayari tutakuwa tumeleta UNK |
alihoji shekhe khalifa |
alieleza kuwa waislam wanataka mtu anayejua sheria za kiislam ambaye UNK vizuri na si kupelekwa mahakama za kawaida ambapo kila hakimu UNK na sheria hizo |
kwa mujibu utaratibu uliotolewa na waziri chikawe bungeni viongozi wa dini wakikubaliana kuhusu misingi hiyo waziri wa sheria atatoa tamko UNK na makubaliano hayo baada ya tamko hilo sheria hiyo UNK na mahakama zote nchini |
na theonestina juma bukoba mtoto UNK omary mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi mabuye kata ya UNK wilayani missenyi mkoa wa kagera ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga kisha kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili mithili ya kuku |
kwa mujibu wa mwenyekiti wa kijiji cha mabuye bwana charles mwenge mwili wa mtoto huyo UNK katika pori lililoko kijijini hapo baada ya kutafutwa takribani wiki tatu bila mafanikio |
bwana charles alisema mtoto huyo alitoweka tangu juni mbili mwaka huu baada ya kuondoka nyumbani kwao kuelekea shuleni hadi juni ishirini na tano mwaka huu saa tano asubuhi UNK huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kichwa kikiwa UNK |
alisema mtoto huyo UNK wazazi wake walitoa taarifa kituo cha polisi cha kyaka na kwa uongozi wa kijiji hicho na juhudi zilifanywa za kutafutwa bila mafanikio yoyote |
hata hivyo chanzo cha mauaji hayo bado UNK ambapo inadaiwa kuwa huenda wauaji walimteka nyara mtoto huyo kabla ya kumfanyia unyama huo na haijajulikana kama walichukuwa kiungo chake chochote |
jeshi la polisi mkoani humo limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo jumla ya watu wanne wanashikiliwa hadi sasa wilayani humo kwa mahojiano zaidi katika uchunguzi wa mauaji hayo |
trl nyumba za serikali vurugu tupu ripoti ya kawambwa hadharani leo wakati waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa anatarajiwa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu kampuni ya kupakua makontena katika bandari ya dar es salaam na ya reli leo kamati ya bunge ya miundombinu imeitaka serika... |
pia kamati hiyo imeitaka serikali kuvunja mkataba wake na kampuni ya rites ya india trl kwa kushindwa kutimiza wajibu wake wa kuboresha shirika hilo badala yake kufuja fedha huku wananchi wanaotegemea usafiri huo wakiteseka |
akiwasilisha maoni ya kamati hiyo bungeni jana mwenyekiti wa kamati hiyo bwana mohammed missanga alisema kamati yake inasikitishwa na hali ya bandari ya dar es salaam na trl ambayo alisema imechangiwa na mikataba mibovu |
tatizo la msongamano wa makontena katika bandari ya dar es salaam kamati UNK serikali kufanya maamuzi na kutekeleza maazimio ya bunge yaliyotolewa katika mkutano wa kumi na moja kuhusu marekebisho ya baadhi ya UNK vya mkataba wa ticts vyenye UNK |
kusitisha nyongeza ya miaka kumi na tano UNK bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka ishirini sifuri nne kuondoa ukiritimba wa ticts na kufungua wigo wa huduma hiyo bandarini na kuwachukulia hatua za kinidhamu na kisheria wote UNK serikali kusaini mikataba yenye upungufu kama huu wa ticts alisema bwana missan... |
wakati kamati hiyo ikiitaka serikali kusitisha mkataba wake na ticts wadau wa bandari hiyo wakiwemo wamiliki wa bandari kavu UNK lawama uongozi wa ticts kwa kushindwa kuwajibika na kudharau hata agizo la rais jakaya kikwete la januari mwaka huu kuhusu kumaliza mrundikano wa makontena bandarini hapo |
wakizungumza na majira jana wadau hao walidai kinachosababisha mrundikano wa makontena bandarini na kuwafukuza wafanyabiashara wengi kwenda nchi jirani ni ukiritimba wa ticts kukataa kuhamisha makontena katika bandari kavu |
ili ticts wapate pesa waliamua kuweka ukiritimba wa kuchelewesha utoaji makontena na UNK katika bandari kavu ili waweze kuvuna hizo dola kwa siku hiki ndicho kiini hasa cha mrundikano wa makontena bandarini sasa baada ya mheshimiwa rais kuona hali ya mrundikano huo UNK ikulu januari mwaka huu na UNK kwamba kazi ya tic... |
kwa mantiki hiyo tulikubaliana kwamba ticts itoe makontena kwenda bandari kavu ili ipate nafsi ya kupoke mengine na kupunguza mrundikano usio wa lazima |
mkurugenzi mkuu wa ticts bwana UNK bisset alikubali na yeye ndiye aliandika muhtasari wa kikao chetu ikulu ukumbi wa simba hall lakini cha ajabu ticts ilikubali kuhamisha makontena ishirini sifuri kwa siku kwenda UNK kwa mwezi mmoja na nusu baada ya hapo akawa UNK idadi ya makontena hadi thebathini au ishirini kwa sik... |
wadau hao wadai UNK bwana bisset sababu za kukiuka mkataba waliokubaliana ikulu alijibu kwamba mkataba wake UNK sehemu ya kuhamisha makontena katika bandari kavu kwa kuwa kufanya hivyo UNK mapato |
majira ilipomtafuta kwa njia ya simu meneja mkuu wa ticts bwana donald tawala ili kupata ufafanuzi wa madai hayo alisema hawezi kuzungumzia masuala hayo na kwamba kwa utaratibu UNK ofisa habari bwana ibrahim kyaruzi ndiye anayeweza kuzungumza masuala yote yanayotoka katika vyombo vya habari |
majira ilipomtafuta bwana kyaruzi kama ilivyoelekezwa na UNK huyo alisema leo mkurugenzi mkuu ana mkutano na waandishi wa habari jijini dar es salaam hivyo mwandishi wetu UNK UNK maswali yote |
kwanza UNK sana ndugu yangu kuwa mwandishi wa kwanza kupiga simu kutaka kujua upande wa pili siku zote wengi wenu UNK upande mmoja tu UNK sana kututambua kwamba na sisi tunaweza kusema |
lakini leo mkurugenzi atakuwa na press na waandishi wa habari naomba uje UNK maswali yote alisema bwana kyaruzi |
alipoombwa kutoa ufafanuzi kwa kuwa mwandishi wa habari hizi alikuwa dodoma hivyo ni vigumu kuhudhuria mkutano dar es salaam alisema kama upo mbali basi mtumie mwandishi wenu wa dar es salaam atakayekuja atapata majibu yote alisema bwana kyaruzi |
hata hivyo mwandishi wetu alipojaribu kuuliza maswali hayo bwana bisset alikataa kujibu kwa madai kwamba alikuwa na ajenda yake maalum hivyo hawezi kujibu swali lolote |
wakati huohuo wabunge wameapa kufa na serikali hususan wizara ya miundombinu iwapo hawatapata majibu ya kuridhisha kuhusu UNK wa azimio la bunge kuhusu kampuni hiyo kuhusu na kuitaka kurekebisha mkataba wake na ticts au UNK kabisa |
wakizungumza na majira baada ya mwenyekiti wa bunge bibi jenista mhagama kutangaza kwamba ripoti hizo zitatolewa leo badala ya jana wabunge hao walisema hivi sasa wanachohitaji ni utekelezaji na si UNK na ahadi zisizotekelezeka |
kuhusu trl bwana missanga alisema kamati imeelezwa hatua za serikali kutafuta UNK ajili ya ujenzi na kuimarisha reli pamoja na shughuli za UNK wa kampuni ya trl kamati UNK kuwa fedha UNK kamwe UNK kwa menejimenti iliyopo ya trl mpaka yafanywe marekebisho ya uongozi wa juu kwa kuhusisha watanzania |
menejimenti ya trl inafanya matumizi makubwa bila kushirikisha serikali ya tanzania ambayo ina hisa asilimia arobaini na tisa na kwamba manunuzi mengi yanafanyika india bila ya sababu za msingi na bila kufuata taratibu za zabuni alisema bwana missanga na kuongeza |
tunasisitiza trl hawako tayari kutoa ushirikiano kwa serikali juu ya marekebisho ya mkataba mbovu uliopo sasa serikali ichukue hatua ya kuvunja mkataba wa ukodishaji wa UNK kuanza mkakati mpya wa kumtafuta mwekezaji mwingine huduma ya usafiri wa reli ikabidhiwe kwa kampuni ya serikali ya rahco alisema bwana missanga |
kwa mujibu wa mhagama serikali itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa UNK ya bunge kuhusu ticts trl na nyumba za serikali leo huku wabunge wakihoji uhalali wa taarifa hiyo kuwasilishwa leo badala ya jana kwani UNK wengi wao fursa ya UNK wakati UNK bajeti ya wizara hiyo UNK jana asubuhi na daktari kawambwa |
majira UNK spika wa bunge bwana samuel sitta kutoa sababu za ripoti hizo kuwasilishwa leo badala ya jana alisema hakukuwa na njama zozote za kuwaziba mdomo wabunge kuchangia taarifa hizo katika mjadala wa bajeti ya wizara hiyo na kuongeza kwamba bado wana muda kwa kuwa zitajadiliwa kwa pamoja julai thebathini mwaka hu... |
mwili wa mfanyabiashara bwana frank mwachembe anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi pc justine umeendelea kusota chumba cha maiti tunduma kusubiri uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha kifo hicho |
hatua hiyo imetokana na kuibuka utata kutoka kwa ndugu na kudai wana shaka kuhusu mazingira ya kifo cha ndugu yao kwani eneo la tukio hakukuwa na damu na kwamba huenda aliuawa kwa kunyongwa kisha kuchomwa kitu ubavuni kuhalalisha kuwa aliuawa kwa risasi |
akizungumza sababu za kuchelewa kwa mazishi ya marehemu frank mdogo wake UNK kwa jina la bwana UNK mwachembe alisema UNK baada ya kuona mwili wa marehemu na jeraha UNK kuwa limetokana na risasi |
amesema UNK mwili wa marehemu ukiwa na jeraha dogo lakini tundu la risasi UNK UNK upande wa pili na wao kama familia wanatilia shaka kifo hicho |
alisema wanapata shaka pia kwani baada ya ndugu yao kufa polisi walizuia watu kuingia chumba cha maiti hadi wananchi UNK mlango na dirisha na kuuona mwili ndipo walipoanza maandamano kushinikiza polisi aliyedaiwa kuua UNK |
ameeleza kuwa ili kujiridhisha kama familia UNK daktari wao ambapo upande wa polisi umesema UNK wataalamu kutoka dar es salaam kuchunguza mauaji hayo |
mke wa marehemu bibi lucia anthony alisema kwamba alisikia milio ya risasi na baadaye honi na UNK wa gari la mumewe hivyo aliposikia taarifa kuwa kuna mtu amepigwa risasi na kufa UNK huenda si mumewe bali ni mtu mwingine aliyekuwa akiendesha gari la mumewe |
tunataka haki itendeke na ukweli UNK na UNK bayana chanzo cha mauaji hayo kama kulikuwa na uadui kati ya huyo askari na mume wangu iwekwe wazi alisema mjane huyo aliyeachiwa watoto wanne |
chanzo kutoka jeshi la polisi kimeeleza kuwa shughuli za mazishi zimesitishwa kutoa nafasi kwa wataalam kutoka dar es salaam kufanyia uchunguzi wa kina mwili wa marehemu |
mkuu wa wilaya ya ruangwa mkoani lindi bibi hawa mchopa amelazwa katika hospitali ya mission ya UNK halmashauri ya lindi vijijini baada ya gari lake kugongana na lori la mafuta |
kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa lindi bwana sifuel shirima ajali hiyo ilitokea juzi saa moja thebathini usiku eneo la kata ya UNK barabara kuu ya UNK UNK |
bwana shirima alisema bibi mchopa alikumbwa na mkasa huo wakati akirejea ruangwa akitokea kwenye kikao cha kupanga mikakati ya kilimo kwanza kilichofanyika ukumbi wa andrew UNK mjini lindi |
alisema bibi mchopa alikuwa akisafiri na gari namba str elfu tatu na mia nane na ishirini na saba toyota land UNK iliyokuwa ikiendeshwa na bwana abdulrahaman UNK mkazi wa ruangwa |
gari hilo liligongana uso kwa uso na lori la mafuta mitsubishi t mia tano na kumi na tatu UNK iliyokuwa ikiendeshwa na bwana UNK raphael mkazi wa UNK mtwara |
mkuu huyo wa wilaya amepata majeraha kichwani na upande wa jicho la kushoto |
alisema ndani ya gari hilo walikuwepo abiria watatu |
alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa lori la mafuta kutokana na kuendesha gari akiwa UNK kitendo kilichomfanya kuyumba barabarani na kuendesha upande usio kwa kwake |
huyu dereva tunamshikilia na tayari UNK damu kupelekwa kwa mkemia mkuu dar es salaam ili kudhibitishwa kilevi UNK alisema bwana shirima |
kamanda huyo wa polisi alisema hali za wengine akiwemo dereva na abiria mmoja aliyetajwa kwa jina la george zinaendelea vizuri dereva wa lori hilo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya kukamilika uchunguzi |
hii ni ajali ya tatu kutokea ndani ya wiki moja mkoani hapa |
juni ishirini na sita dereva wa hiace namba t mia nne na kumi na tatu UNK bwana UNK UNK alipoteza maisha baada ya kugongana na lori la mafuta scania t mia sita na sabini na tano UNK juni ishirini na saba kaimu mufti wa tanzania shekhe suleiman gorogosi naye alipata ajali mbaya na kupoteza maisha |
kiongozi huyo wa kidini alikuwa akisafiri kwenye gari namba t mia tisa na sitini na nane UNK toyota prado UNK eneo la kijiji cha mnolela lindi vijijini |
pikipiki UNK moto ikiwa zimesalia siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika jimbo la biharamulo magharibi mkoani kagera damu UNK baada ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo wilaya ya chato bwana stephen nyororo kujeruhiwa kwa kukatwa mapanga na pikipiki moja kuteketezwa kwa moto |
tukio hilo lilitokea juzi saa kumi jioni katika kijiji cha kagoma kata ya runazi wilayani biharamulo baada ya mwenyekiti huyo na wafuasi wengine wawili wa chadema kushambuliwa kwa kipigo na kukatwa mapanga na watu UNK kuwa ni wafuasi wa chama cha mapinduzi |
akizungumza na waandishi wa habari katika wodi namba tatu ya hospitali teule ya wilaya ya biharamulo bwana nyororo alisema alifikwa na mkasa huo baada ya vijana wapatao kumi na tano kuwavamia walipokuwa wamekaa chini ya mti wakiongea katika kijiji cha UNK |
kwa kweli sielewi kwa nini tulishambuliwa siku hiyo sisi tulikuwa tumekaa chini ya mti na wenzangu wawili UNK pale katika kijiji cha kagoma ghafla lilipita gari la watu wa ccm akiwemo mwenyekiti wa taifa wa uwt bibi sophia simba UNK kwa ishara yao ya kuweka UNK gumba na sisi UNK kumjibu lakini baada kama ya dakika kum... |
alisema baadaye UNK vijana wengine kutoka ndani ya gari hilo huku wakiwa na mapanga UNK na kuanza kuwashambulia kwa fimbo huku UNK mapanga hali ambayo ilisababisha wenzake wawili aliowataja kwa jina moja moja la bwana juma na bwana UNK wakimbie |
bwana nyororo aliendelea kueleza kuwa baada ya wenzake kukimbia kundi la vijana hao walimfuata yeye alipokuwa amesimama na wakaanza kumshambulia kwa kumkata mapanga sehemu za kichwani na mikononi na kusababisha kujeruhiwa vibaya kiganja chake cha mkono wa kushoto |
hii mikono UNK wakati UNK ili panga UNK shingoni ndipo UNK kiganja cha mkono wa kushoto huku UNK fimbo hali iliyosababisha nianguke chini na mmoja wa wale vijana alichukua chupa aliyokuwa nayo na UNK dawa usoni ambayo ilikuwa kali na nikashindwa kuona alidai bwana nyororo |
alisema baada ya kuona hali hiyo alisimama kwa tabu na kuanza kukimbia ambapo alikimbilia katika ofisi ya mtendaji wa kijiji lakini hata hivyo ofisa mtendaji aliyekuwa nje ya ofisi yake alimfukuza akimueleza kuwa aondoke eneo hilo kwa vile anaweza kumsababishia vurugu |
bwana nyororo ambaye ni meneja kampeni wa mgombea ubunge katika jimbo la biharamulo magharibi kwa tiketi ya chadema katika kata ya UNK alisema baadae alikimbilia shuleni ambako aliokolewa na mwalimu wa shule hiyo aliyemtaja kwa jina la moja la mwalimu george |
alisema baadaye walipiga simu kuomba msaada wa polisi pamoja na UNK viongozi wa chadema waliokuwa katika mkutano wa kampeni eneo runazi ambapo walikwenda katika kituo cha polisi UNK fomu namba tatu na kupelekwa hospitali teule ya wilaya kwa ajili ya kupatiwa matibabu |
hata hivyo alisema mbali ya wao kushambuliwa pia vijana hao waliharibu pikipiki moja waliyokuwa wakiitumia kufanyia kampeni ambayo UNK moto na kuteketea kabisa |
kwa upande wake kamanda wa operesheni uchaguzi jimbo la biharamulo magharibi bwana UNK anaclet alikiri kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari polisi ilikuwa UNK watu UNK |
ni kweli tukio hilo limetokea ambapo watu watatu wamejeruhiwa |
tumepeleka vijana wetu UNK na wananchi kuwasaka wahusika pamoja na gari lao lenye namba t mia nane na tisini na tano anc ili tuweze kuwakamata alieleza kamanda UNK |
kamanda anaclet alisema gari linalodaiwa kutumiwa na watuhumiwa hao lilikuwa aina ya toyota land cruiser lenye rangi nyeupe na nembo ya wanyama na maandishi ya UNK ambalo linadaiwa kutoroka mara tu baada ya tukio hilo na kwamba pikipiki moja UNK kwa kuchomwa moto |
azimio la bunge UNK mbunge wa kahama bwana jemes lembeli ameitaka serikali UNK haraka kampuni ya kupakia na kupakia mizigo bandarini kwa madai kuwa imeshindwa kuboresha huduma |
sambamba na hilo mbunge huyo UNK kampuni ya rites kutoka india UNK kampuni ya reli na kuwaita wawekezaji hao kuwa wezi wanaopaswa kufukuzwa haraka |
akichangia mjadala wa bajeti ya wizara ya miundo mbinu bungeni jana bwana lembeli alisema anasikitishwa na hali ilivyo katika bandari ya dar es salaam na jinsi serikali UNK kuwachukulia hatua waliosaini mkataba wa ticts mheshimiwa spika hawa ticts waondoke kesho haiwezekani bandari yetu ndio inafanya vibaya wakati ban... |
tunataka hatua zichukuliwe kwa watu UNK taifa katika mkataba huu hii rushwa UNK |
alionya bwana lembeli bila kufafanua waliokula rushwa hiyo |
kuhusu kampuni ya rites mbunge huyo alisema hawa watu wanaoongoza hii reli ni wezi waondoke |
walikuja kuomba kazi mikono ikiwa mbele sasa wamepata kazi mikono nyuma |
UNK lakini mheshimiwa spika wakati UNK mkatab huu kabla ya kusainiwa ndugu yetu chenge alisema hawa ni watu wazuri alisema bwana lembeli |
kwa upande wake mbunge wa UNK bibi tatu UNK aliitaka serikali kuiondoa mara moja rites na watanzania walipo hivi sasa katika kampuni hiyo na kuibua tuhuma mpya kwamba ana taarifa za uhakika kwamba shilingi bilioni kumi UNK katika akaunti ya kampuni hiyo kupelekwa nchini UNK |
mbunge huyo ambaye pia UNK mkono bajeti hiyo aliitaka serikali kurejesha trc ya zamani na kukabidhiwa watanzania na kutaka hatua dhidi ya waliosaini mktaba huo |
kwa upande wake mbunge wa nzega bwana UNK selelii alisema viongozi wa rites kutoka india ni UNK uchumi na kuongeza kwamba walikuja wakiwa na ajenda ya siri kuhujumu uchumi wa tanzania na kuhoji ni mwekezaji yupi UNK wala kuwa na mtaji hivyo kuitaka serikali kuvunja mkataba wao mara moja |
kwa upande wake mbunge wa musoma vijijini UNK mkono alisema hawezi kuunga mkono hoja hiyo mpaka serikali ieleze ahadi ya miaka mingi ya kutengeneza barabara ya lami toka kyabakari butiama fort UNK hadi arusha na kuongeza kwamba mkoa wa mara UNK licha ya baba wa taifa mwalimu julius nyerere kutumikia taifa kwa uadilifu... |
kwa upande wake mbunge wa iramba mashariki bwana mgana msindai aliwataka wabunge kuwa na msimamo na kuitaka serikali UNK kwa kile alichoita kuwa ni maneno ya ujanja na kutaka serikali UNK kwamba ujenzi wa barabara UNK badala ya kuibua ambazo UNK |
katika hatua nyingine serikali imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa azimio la bunge kuhusu ticts trl na uuzaji nyumba za serikali |
kwa mujibu wa taarifa hiyo serikali imeshindwa kuchukua hatua dhidi ya ticts kama ilivyoagizwa na bunge badala yake sasa baraza la mawaziri linaendelea na mjadala na kampuni hiyo baada ya kampuni hiyo UNK timu ya majadiliano na serikali na ticts kuhusu trl taarifa hiyo ya serikali inaeleza kwamba rites na serikali wam... |
kwa upande wa uuzwaji holela nyumba za serikali taarifa hiyo imebainisha majina lukuki wa watu walionunua nyumba hizo kwa bei UNK katika kinyume cha sheria UNK maeneo nyeti ambayo UNK huku yakiwemo majina UNK ya wakubwa |
taarifa hiyo imeeleza kwamba wizara ya miundo mbinu imetenga jumla ya shilingi bilioni moja tano kwa ajili UNK watumishi wa umma UNK mikataba na kwamba kazi ya kurejesha nyumba hizo itakamilika mara baada ya bunge kuidhinisha fedha hizo katika bajeti ya ishirini sifuri tisa kumi katika isiyokuwa ya kawaida bajeti ya w... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.