text
stringlengths
1
1.32k
akitumia kanuni za bunge bwana dialo aliomba bunge kutumia kanuni ya kumi mbili kukubali UNK ili bajeti hiyo ifanyiwe marekebisho kwanza ndipo UNK
kutokana na hali hiyo spika wa bunge bwana samuel sitta baada ya kuanza kikao cha jioni ambacho kilikuwa na lengo moja tu la kusikiliza majumuisho ya waziri wa wizara hiyo daktari shukuru kawambwa na kuomba bunge kupitisha bajeti hiyo alisema kuna hoja ya UNK hivyo kumpa nafasi waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera...
akiwasilisha hoja hiyo bwana marmo alisema anatoa hoja bunge UNK hadi leo asubuhi ili kamati ya miundombinu ikutane kujadili hoja ya bwana dialo kisha kutolewa maamuzi
kwa mujibu wa bwana dialo shilingi bilioni sitini na moja nne zilizotengwa kwa ajili ya barabara za dumila kilosa handeni mkata hadi same mkumba korogwe UNK na shilingi bilioni thebathini saba zipelekwe kwenye barabara za babati dodoma dodoma iringa kimara chalinze
alisema fedha hizo zinaweza kusaidia kutengeneza barabara hizo ambazo ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya taifa
akizungumza na majira nje ya ukumbi wa bunge wakati kamati ya miundombinu ikiwa imeanza kikao chake bwana kingunge ngombale mwiru alisema hali hiyo ni ya kawaida na kwamba bunge UNK kanuni zake bila kuingiliwa na mtu yeyote
kwa upande wake mbunge wa maswa bwana john shibuda alisema hiyo ni dalili ya watendaji wa serikali hususani makatibu wakuu wasaidizi wa mawaziri kutotimiza wajibu wao kwa UNK vipaumbele UNK na bunge baada ya UNK
siku chache baada ya waziri wa sheria na katiba bwana mathias chikawe kutangaza msimamo wa serikali UNK mahakama ya kadhi baraza kuu la waislam tanzania UNK tamko hilo na kumtaka waziri huyo kufuta kauli yake mara moja
akitangaza uamuzi wa serikali juzi bwana chikawe alisema unatokana na mapendekezo yaliyowasilishwa na UNK mkuu wa serikali na tume ya watalaamu waliochambua mapendekezo ya utafiti na kamati ya kurekebisha sheria
mapendekezo hayo UNK kutafsiri sheria za dini ya kiislam UNK katika sheria za kawaida za nchi
akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya bakwata kinondoni dar es salaam jana shekhe mkuu wa tanzania mufti issa bin shaaban simba alimtaka bwana chikawe arudi kukusanya maoni kwa watalaamu wa dini hiyo wa nchi mbalimbali ndipo UNK maamuzi
tumechoka UNK katika mambo yetu huwezi UNK joseph UNK sheria za kiislam kwani yeye hajui hata maana ya uislam alisema mufti simba huku akiungwa mkono na jopo la mashekhe kwa kuitikia UNK
alisema tamko hilo la serikali UNK haki waislam na imeonesha wazi kuwa nchi hii ina wenyewe na waislam ni tabaka la pili
mufti alisema serikali UNK na kauli ya vitisho ya makanisa kuwa UNK kura katika uchaguzi mkuu wa mwakani kwani nchi hii ni ya wakristo waislamu na wapagani
alisema waislam UNK UNK kwa muda mrefu kwani mahakama hiyo ilikuwepo na serikali ndiyo UNK hivyo UNK uzito kuirudisha kwani ziko mahakama nyingi kama ya kazi bishara ardhi na nyumba
aliendelea kusema rais jakaya kikwete UNK waislam kuwa bunge UNK suala hilo na kutoa maamuzi yatakayo UNK hivyo bwana chikawe UNK na rais
rais anania njema na waislam lakini bwana chikawe na jopo UNK nalo kufanya maamuzi hayo ndiyo UNK na nia ya rais alisema mufti simba
alifafanua kuwa mfano UNK bwana chikawe kufananisha uamuzi wake na utaratibu wa afrika ya kusini haufai kwani nchi hiyo ina waislam wachache ukilinganisha na tanzania
alishangaa kusikia bwana chikawe UNK na wataalamu ambao bakwata UNK wala hawajui utaratibu na sheria za kiislam
alimtaka waziri huyo na jopo lake kuiga mfano wa nchi za kenya uganda na zanzibar ambazo tayari UNK mahakama hiyo na kwamba tanzania ina waislam wengi kuliko nchi hizo
alisema mambo ya UNK mafuta kwa mgogo wa chupa UNK waislam hivyo amewataka mashekhe wote wa mikoa na wilaya kuunga makono tamko lake
baadhi ya mashekhe waliohudhuria mkutano huo UNK UNK baada ya mufti kumaliza kutoa tamko hilo mmoja wa shekhe alionesha kuguswa na tamko hilo ni shekhe issa ausi ambaye ni katibu wa baraza hilo wilaya ya ilala na kueleza kuwa baraza hilo sasa limeanza kurudi katika mstari na kuwataka waislam UNK nyuma kudai haki yao
alisema waislam wakati wakidai uhuru wakristo walikuwa nyuma wakiwa wamevaa soksi ndefu hivyo anashangaa kuona sasa ndiyo UNK nchi na UNK wakiwa nyuma
serikali UNK nchi hii inaongozwa na wakristo pekee ambao hawakuwepo wakati UNK uhuru mwaka ule UNK sana sisi leo hii wao ndiyo wasemaji wa serikali alisema kwa UNK shekhe UNK
mashekhe hao wameunda tume ya watu watatu ambao ni shekhe issa ausi mohamed UNK na haji UNK itakayokwenda leo dodoma kuonana na waziri mkuu bwana mizengo pinda ili kufikisha tamko hilo
UNK na kwa njia ya simu askofu mkuu wa kanisa anglikana tanzania daktari valentino mokiwa aliiomba bakwata UNK msamaha wa kodi uliotolewa na serikali na mahakama ya kadhi
alisema tafsiri inayotolewa na bakwata si sahihi kwani serikali inaongozwa kwa misingi ya sheria si misingi ya dini kama UNK baraza hilo
aonya UNK kifua bungeni
amtaka aende mahakamani UNK hatma ya kisiasa ya rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa imezidi kuwa tete baada ya mbunge wa kishapu kwa tiketi ya chama cha mapinduzi bwana fred mpendazoe kupinga hatua ya serikali kumkingia kifua na kutaka aburutwe mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili
bwana mpendazoe alitoa kauli hiyo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya miundombinu bungeni jana na kumtaka waziri mkuu bwana mizengo pinda kuacha kumsemea bwana mkapa badala yake kiongozi huyo aburutwe mahakamani ambako UNK na kujitetea mwenyewe
mbunge huyo alisema pamoja na UNK sana bwana pinda UNK naye kumtetea bwana mkapa kwani tuhuma zinazomkabili ufumbuzi wake utapatikana mahakamani na si kukingiwa UNK
rais mstaafu wa awamu ya tatu UNK sana katika tuhuma nyingi serikali UNK ajitokeze mbele ya watanzania kujibu tuhuma hizo
namheshimu sana waziri mkuu lakini katika hili UNK naye mkapa anatakiwa ajitokeze mahakamani
majibu aliyotoa waziri mkuu UNK mahakamani alisema bwana mpendazoe
bwana mpendazoe ambaye ni mmoja wa wabunge waliopanda chati kutokana na msimamo wao kupinga vitendo vya ufisadi bila woga alisema bwana mkapa hana tofauti na viongozi wengine wa serikali UNK ambao sasa UNK wanajitetea mahakamani wenyewe
katika hali iliyoonesha kukerwa na hatua hiyo ya waziri mkuu pinda kumtetea bwana mkapa bungeni bwana mpendazoe alisema wajibu wa waziri mkuu kama kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ni kusimamia utekelezaji wa maazimio ndani ya bunge na si kumtetea bwana mkapa
aliongeza kuwa kama serikali imeamua kumtetea bwana mkapa bungeni ifanye hivyo kwa viongozi wote wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi
serikali kazi yake ni kutekeleza maamizio ya bunge na kumwekea mazingira mazuri rais mkapa kujisafisha mbele ya sheria
wapo viongozi wamefikishwa mahakamani kwa ufisadi kama serikali inataka kuwatetea mafisadi UNK wote
alisema bwana mpendazoe
alionya kuwa vurugu zinazotokea katika nchi nyingi duniani hazitokani na wananchi bali chimbuko lake ni viongozi kutumia vibaya madaraka yao na kuhoji sababu za serikali kushindwa kuwachukulia hatua walioshiriki katika utiaji saini mikataba mibovu ya ticts na trl kodi za watanzania zitaendelea kutumika kuwalipa mishah...
naunga mkono ticts wafunge mizigo waondoke kesho lakini ni kwa nini waliosaini mikataba hiyo waendelee UNK
UNK bwana mpendazoe na kufananisha kitendo cha viongozi hao kutochukuliwa hatua na kuzunguka mbuyu bila kuwa na uwezo wa kuukumbatia kwa nini serikali inaogopa kuwachukulia hatua mafisadi
vurugu zinazotokea duniani kote zinatokana na viongozi kutumia vibaya madaraka
ni kama mtu kuzunguka mbuyu inakuwa rahisi likija suala la kuukumbatia anashindwa alisema mbunge huyo
kuhusu utekelezaji wa ahadi za serikali ya awamu ya nne alisema kuna viongozi UNK utekelezaji huo na kuingiza mambo yao kwa lengo la kutaka UNK rais jakaya kikwete na wananchi wake UNK na UNK kura nyingi kutokana na UNK
katika hatua nyingine mbunge wa kigoma mjini bwana peter UNK alionesha kukerwa na bwana mpendazoe na kuomba mwongozo wa spika akitumia kanuni ya sitini na nane na kuwataka wabunge wanaomtuhumu rais mstaafu bwana mkapa kuwasilisha nyaraka za ushahidi bungeni au kuacha kumgusa kiongozi huyo
akitoa mwongozo wake spika sitta alisema kwa bahati mbaya hana mamlaka ya kuwazuia wabunge kuzungumza mambo UNK yalitokea juu ya viongozi mbalimbali
wiki iliyopita waziri mkuu bwana mizengo pinda alikemea kauli za watu UNK bwana mkapa kwa ufisadi huku akieleza kuwa kiongozi huyo ni msafi mcha mungu na mtu wa kanisa
bwana mizengo alitoa kauli hiyo wakati akitoa majumuisho ya hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia bajeti ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi hadi leo mzee mkapa anapendwa na kutambulika kimataifa kama kiongozi mwadilifu alisema bwana pinda na kuongeza kama kweli ni fisadi basi tuoneshw...
alisema bwana mkapa hana akaunti anayomiliki nje ya nchi wala hamiliki ndege hivyo hana kitu cha kumfanya aitwe fisadi
naamini mzee huyo ni mtu safi sawa ipo kiwira hili tumesema tutalitolea maelezo alisema bwana pinda
bwana pinda alifafanua kuwa amefanyakazi na bwana mkapa akiwa msaidizi wake anamfahamu vizuri kuwa ni mtu safi mcha mungu na mtu wa kanisa
alisema mwelekeo wa sasa wa kuwasema vibaya viongozi hasa marais wastaafu si mzuri na hauwapi moyo wa kufanyakazi
kampuni za simu za mkononi nchini UNK kupandisha bei ya gharama za vocha zao UNK kuwa jambo hilo linafanywa kinyemela na wafanyabiashara wasio waaminifu
bei hizo UNK kupanda juzi katika maeneo mbalimbali nchini hususani jijini dar es salaam kwa kisingizio cha kupanda kwa ushuru wa kodi za simu katika kama ilivyotangazwa katika bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi uchunguzi ulifanywa jana na majira katika maeneo mbalimbali ulibaini kuwa karib...
vocha hizo ni zile za mitandao ya tigo zain vodacom na zantel na ttcl gharama za vocha zilizopanda kinyemela na bei mpya katika mabano ni kama ifuatavyo za shilingi hamsini sifuri moja sifuri sifuri sifuri mbili sifuri sifuri sifuri hamsini sifuri sifuri na kumi sifuri sifuri sifuri hali hii UNK wateja wengi wa simu h...
mmoja wa wateja wa simu bwana aziz UNK mkazi wa kinondoni alisema bei hizo ni wizi na kutaka vyombo vya dola kuingilia kati dhuluma hiyo na kuwakamata wafanyabiashara hao
vocha imeandikwa shilingi kumi sifuri sifuri sifuri na ndiyo bei halali kama sikosei sasa iweje UNK shilingi kumi na moja sifuri sifuri sifuri huu si wizi kampuni hizi UNK bei halisi kama kweli bei imepanda alisema bwana UNK
akizungumza na gazeti hili jana meneja masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya zain bwana kelvin twisa vocha UNK bei bali UNK kutokana na kupunguzwa kodi ya ongezeko la thamani kutoka asilimia ishirini hadi kumi na nane kampuni yetu haijapandisha gharama ya huduma za simu bali kiwango kimepungua kutokana na kupungua k...
alisema pamoja na serikali kupandisha ushuru wa kodi katika huduma hiyo bado kampuni yake inaendelea kutoza viwango vya mawasiliano vya zamani ikiwa ni pamoja na bei ya vocha zake hali ambayo imelenga kutoa nafuu kwa wateja
bwana twisa aliwataka wateja wa kampuni hiyo kutoa taarifa kwenye ofisi hizo dhidi ya wafanyabiashara wote waliopandisha bei ya vocha kinyemela
naye meneja masoko wa kampuni ya tigo bwana jackson UNK alisema kampuni yake haijapandisha gharama za vocha zake kadhalika mkuu wa kitengo cha biashara cha kampuni ya simu tanzania bwana adam issa alipinga na kukemea watu wanaofanya jambo hilo
watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa kughushi nyaraka mbalimbali za serikali na kujipatia fedha kinyume cha sheria
akizungumza dar es salaam jana kamanda wa polisi bwana suleiman kova alisema watu hao walikutwa katika maeneo ya mtaa wa mkwepu wakiwa na vitu mbalimbali vinavyotumika kutengeneza nyaraka hizo
alisema kampuni hiyo inatambulika kwa jina la pereira UNK UNK iliyopo mtaa wa mkwepu ambapo ndipo walikuwa wakiendesha shughuli zao za utapeli
kamanda kova alisema vitu UNK navyo ni pamoja na mihuri ya wizara ya elimu mambo ya ndani mshauri wa mgambo wa mkoa chuo cha ardhi na ofisa taaluma mkuu chuo kikuu cha dar es salaam
nyaraka nyingine zilizokutwa ni za ofisi ya wizara ya afya na ustawi wa jamii vyeti vya kuzaliwa fomu za benki ya barclays pamoja nyaraka za mamlaka ya mapato tanzania
aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni price shaibu mkazi wa yombo vituka victoria UNK mkazi wa tabata na david UNK mkazi wa ubungo nhc kamanda alisema kuwa watu hao walikamatwa baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kutoka kwa raia wema
aidha watuhumiwa watafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili baada ya upelelezi kukamilika
wakati watanzania wakisubiri kujua kilichomo kwenye ripoti ya tume maalum iliyoundwa na serikali kufuatilia malalamiko ya wafugaji kudhulumiwa mifugo yao na baadhi ya watendaji wilayani kilosa mbunge wa kongwa bwana job ndugai ametaka aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo UNK
kwa mujibu wa taratibu za nchi mwenye mamlaka ya UNK madaraka ua kumfukuza kazi mkuu wa wilaya ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hivyo kauli ya mbunge huyo ni mtihani mwingine kwa rais jakaya kikwete
akichangi katika mjadala wa bajeti ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi iliyowasilishwa bungeni jana na waziri wa wizara hiyo bwana john magufuli mbunge huyo bila kutaja jina la mkuu huyo wa wilaya alishangaa utaratibu wa serikali kuhamisha watendaji wake wanapofanya makosa na kuonya kuwa hali hiyo haiwezi kuvumi...
nashangaa dc aliyekuwa kilosa UNK sehemu nyingine ni kwa nini watu UNK halafu mhusika UNK tu hapana
hapa
serikali lazima tuwe wakali dhuluma iliyofanyika kilosa wamasai walilia machozi alisema bwana ndugai na kuongeza
UNK wafugaji UNK watalipwa fidia mheshimiwa waziri mkuu tunaomba tupate taarifa ya ile tume iliyoundwa na serikali alisisitiza
alisema aliwai kushuhudia aliyekuwa mkuu wa wilaya ya kiteto akiwashawishi wenzake wa wilaya jirani kuiga mfano wake wa jinsi alivyoshughulikia wafugaji kwa ubabe na UNK serikali kuwachukulia hatua kali baadhi ya viongozi wake wanaotumia ubabe dhidi ya wananchi kwa manufaa binafsi
kijana frank mboma aliyedaiwa kufa katika mji wa mbalizi kwa kupigwa na wananchi wenye hasira na kuzikwa eneo hilo juzi alizua tafrani baada ya kuibuka msibani akitokea tunduma
UNK hilo lilitokea jumatano wiki hii katika kijiji cha ddc mji mdogo wa mbalizi wilaya ya mbeya vijijini baada ya kijana huyo kufika nyumbani kwao na kukuta watu wameweka tanga
kitendo hicho kilizua tafrani na waombolezaji hao kutimua mbio wakidhani UNK UNK
majira baada ya kusikia taarifa hizo lilifuatilia hadi kijijini hapo umbali wa kilomita kumi na tano kutoka mbeya mjini kujionea kulikoni
akithibitisha kutokea tukio hilo mwenyekiti wa kijiji hicho bwana UNK mwalusanya alisema kifo hicho kilitokea UNK ishirini na saba mwaka
alisema UNK taarifa ofisi ya kijiji kuwa kuna kijana amepigwa na wananchi wenye hasira na amefia hospitali ya rufaa mbeya
alisema waliambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kutambua maiti hospitali ya rufaa mbeya na kubaini kuwa marehemu huyo alikuwa ni frank
hata hivyo alisema babu wa kijana huyo mzee UNK mboma alikataa kuwa kijana huyo si mjukuu wake frank kutokana na kuonesha tofauti za sehemu fulani mwilini japo alionekana kufanana naye kwa sehemu kubwa
baadaye alisema bibi wa kijana huyo na UNK aliyekuwa UNK walithibitisha kuwa ndiye na kuamua kuchukua kibali polisi na kuzika juni ishirini na tisa jioni na kuendelea na matanga nyumbani kwa mzee mboma eneo hilo la ddc naye mzee mboma ambaye UNK kijana huyo akitoa maelezo yake kwa waandishi wa habari alisema mjukuu wa...
alisema kuwa alishangaa jumatano kufuatwa na watu na kuambiwa mjukuu wake amefika eneo jirani na kwake na anaogopa kuingia ndani baada ya kuambiwa alikuwa amekufa na kuzikwa na watu wamekusanyika kwa ajili ya msiba wake
nilikwenda ingawa ilikuwa usiku wa manane nilishangaa kumkuta frank akiwa hai
UNK na kuingia naye ndani baada ya kumhoji UNK kuwa ni mjukuu wangu na UNK UNK alisema mzee UNK
alisema kuwa kesho yake walikwenda polisi kutoa taarifa na kuambia waende na frank kwa ajili ya mahojiano zaidi ili kuondoa utata
akiwa polisi frank alieleza kuwa baada ya kwenda tunduma kutafuta maisha alijisikia roho UNK na kuamua kurudi kwao mara moja ndipo UNK msiba wake bandia
kamanda wa polisi mkoa wa mbeya bwana advocate nyombi hakupatikana kuzungumzia sakata hilo lakini ofisa mmoja katika ofisi yake ambaye hakutaka kutajwa jina lake kwa kuwa si msemaji alisema wamepata taarifa za tukio hilo na walikuwa wanasubiri maelezo kamili kutoka kwa maafisa wa jeshi hilo waliokuwa wakifuatilia tuki...
jeshi la polisi mkoani arusha linamshikilia bwana simoni john mkazi wa UNK kata ya UNK kwa tuhuma za kumuua nduguye bwana george laizer katika ugomvi wa kifamilia usiku wa kuamkia juzi
kamanda wa polisi mkoa wa arusha bwana basilio matei amethibitisha kutokea tukio hilo na kwamba mtuhumiwa alikamatwa akiwa na kisu UNK kwenye tukio hilo
kamanda matei alisema marehemu UNK baada ya kuzuka ugomvi wa kifamilia kati yake nduguye ambapo alimchoma kisu kifuani na kumsababishia kifo
akizungumza na gazeti hili mama wa mtuhumiwa bibi rita john alisema mke wa marehemu bibi zainabu hassan alimfuata saa sita usiku na kumjulisha kuhusu ugomvi uliokuwa ukiendelea kati ya ndugu hao alisema alipokwenda kusuluhisha alimkuta marehemu ameanguka chini na UNK alibaini kuwa amekufa
mtuhumiwa atafikishwa mahakamani wakati wowote baada ya upelelezi wa tukio hilo kukamilika
na adam hussein mtandao wa jinsia tanzania UNK mahakama kuu kwa kutengua kufungiwa kwa baraza la wanawake tanzania
kwa mujibu wa taarifa ya mkurugenzi mtendaji wa mtandao huo bibi lilian liundi iliyotolewa dar es salaam jana kufuatia kutenguliwa kwa adhabu hiyo harakati za kupigania haki za wanawake zitaendelea kwa kasi