text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema si vema kuchangganya mambo ya dini na sheria za nchi kwani huduma za serikali inahudumia watu wengi wa dini mbalimbali na si dini ya kiislam tu |
askofu mokiwa alisema kama kila dini itamua kuunda mahakama yake serikali itajikuta ikibeba mzigo mkubwa na kupunguza ufanisi katika idara ya nyingine |
hata hivyo askofu huyo alisema hapingani kwa uanzishwaji wa mahakama hiyo ndani ya dini hiyo kwani ndiyo utaratibu unaofanywa na madhehebu mengine ambayo yamekuwa na mabaraza yake ya usuluhishi |
na daud magesa mwanza siku chache baada ya mwili wa mlemavu wa ngozi jesca charles kukutwa umefichwa mlimani igoma jijini mwanza viungo vyake UNK UNK |
marehemu huyo alitoweka nyumbani kwao juni ishirini na moja mwaka huu saa kumi na moja jioni baada ya kuaga kuwa anakwenda kuhudhuria mkutano wa injili uliokuwa ukifanyika jirani na eneo la UNK |
kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa mwanza bwana jamal rwambow viungo hivyo ambavyo ni viganja na nyayo vilipatikana pamoja na nguo alizovaa marehemu huyo nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo |
bwana rwambow alisema kupatikana viungo kulitokana na mmoja wa watuhumiwa wa mauaji hayo ambaye hakumtaja jina kukiri kuhusika |
upelelezi wa polisi na mahojiano ya watuhumiwa UNK umewezesha mmoja wao kukiri kuhusika na mauaji hayo UNK viungo hivyo na nguo za marehemu alisema bwana rwambow |
aliwataja watuhumiwa wanaoshikiliwa na jeshi hilo kuwa ni bibi vumilia julius na bwana UNK manumbu wote wakazi wa igoma na bibi UNK UNK mkazi wa UNK bariadi mkoani shinyanga |
kamanda huyo alieleza kusikitishwa na mauaji ya albino yaliyotokea mfululizo jijini hapa |
alisema UNK wa jeshi lake ulibaini kuwa marehemu jesca aliuawa kikatili kwa kukatwa mapanga na kutenganishwa kiwiliwili na viungo hivyo |
alisema jeshi lake hivi sasa linaendesha msako mkali kubaini mtandao uliofanya mauaji hayo na yale ya albino mwingine bwana aron UNK aliyeuawa nyumbani kwake UNK relini mjini hapa na kukatwa mapanga na wauaji kutoweka na miguu yake |
bwana rwambow aliwashukuru wananchi kwa kuwezesha kukamatwa watuhumiwa hao na kupata viungo hivyo |
aliwaomba kuzidi kutoa taarifa za siri dhidi ya UNK na UNK |
aliwataka viongozi wa vitongoji vijiji mitaa na kata kuanzisha na kuimarisha ulinzi wa jadi katika maeneo yao na kutoa taarifa za wageni UNK shaka ili kusaidia kudhibiti vitendo vya uhalifu |
UNK wa tunduma marehemu frank mwachembe UNK kwa kupigwa risasi jumapili iliyopita UNK kwa taratibu za kimila huku mazishi hayo UNK na watu wasiozidi kumi |
pamoja na kuzikwa hali bado tete baada ya kiongozi wa kabila la UNK chifu UNK soja kulitaka jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali askari wote wanaodaiwa kuhusika na mauaji hayo |
chifu soja alizungumza hayo wakati wa mazishi ya mfanyabiashara huyo katika kijiji cha UNK wilaya ya mbeya na kuweka bayana kuwa kuna orodha ya askari kumi ambao alidai kuwa ana vielelezo kutokana na kuhusika kwao kwa namna moja ama nyingine kushinikiza kufanyika mauaji hayo kwa maslahi binafsi |
nina takwimu ya idadi ya watu kumi waliohusika katika mauaji hayo UNK na hatia hakuna haja ya kuachishwa kazi au kuhamishwa adhabu ya watu hao ni kunyongwa kama UNK wauaji wengine alisema chifu soja huku akipigiwa vigelegele na umati wa waombolezaji waliohudhuria mazishi hayo |
alilitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina UNK ukweli wa mauaji hayo ikiwa ni pamoja na kuweka maslahi ya watu binafsi pembeni na UNK kwa kufanya hivyo UNK imani kwa wananchi ambao wamekuwa mstari wa mbele kushiriki katika falsafa ya ulinzi shirikishi na polisi jamii |
akizungumza kwenye msiba huo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi shirikishi katika mji mdogo wa tunduma bwana herode jivava alisema kuwa wafanyabiashara wa mji mdogo wa tunduma walikuwa mstari wa mbele katika kulisaidia jeshi la polisi katika mapambano ya uhalifu na kwamba kitendo kilichofanywa na jeshi hilo UNK moyo wafan... |
mwili wa marehemu ulilazimika kuzikwa kwa desturi za kimila ambapo umati wa watu waliohudhuria maziko hayo UNK kwenda makaburini na kuwaacha baadhi ya wazee wa kimila na wanandugu wasiozidi kumi kuuzika mwili huo |
mmoja wa watu waliokuwepo katika maziko hayo ambaye hakupenda kutajwa jina lake alisema kuwa sababu za kutoruhusu watu kushiriki katika UNK mwili wa marehemu ni kutokana na mazingira ya kifo hicho ikiwa ni pamoja na matambiko ikiwemo UNK mhusika halisi wa mauaji hayo na kuchukua hatua za kimila dhidi ya wahusika wa ma... |
na edson kamukara kumbukumbu ya miaka kumi na tano ya mauaji ya kimbari ya rwanda imefanyika dar es salaam jana huku jumuiya za kimataifa UNK wanyarwanda kusamehe yaliyopita na kuhakikisha mauji mengine UNK |
akizungumza kwa niaba ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa mwakilishi mkazi wa UNK r bwana UNK el UNK alisema umoja huo umechukua hadhari kubwa tangu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na nne kuhakikisha rwanda inakuwa na amani ya kudumu |
naye balozi wa afrika kusini nchini tanzania bwana UNK UNK ambaye pia ni mwakilishi wa UNK wa afrika nchini alisema vyama makabila na mataifa UNK katika mauaji hayo hayana budi kufanya UNK ya kudumu |
alisema juhudi zilizofanywa na mahakama ya kimataifa ya mauaji ya rwanda iliyoko tanzania pamoja na zile mahakama za UNK za UNK UNK utengamano mkubwa na kurejesha amani ya rwanda baada ya watuhumiwa kuhukumiwa |
akishukuru kwa niaba ya nchi yake balozi wa rwanda nchini bwana UNK UNK ili kutafakari mauaji yale ni vyema jumuiya za kimataifa na wanyarwanda UNK maswali ya nani alisababisha mauaji na ni hatua gani zimefanyika kuyamaliza |
alisema rwanda kwa sasa imepiga hatua kubwa kiuchumi chini ya utawala wa chama cha UNK na kuongeza kuwa serikali imejikita katika kutekeleza dira yake ya maendeleo ya ishirini mbili sifuri ambayo inalenga kuweka mazingira safi ya kiuchumi kisiasa na kijamii |
mgeni rasmi kaimu katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bwana francis UNK alisema tanzania iko tayari wakati wote kusaidia majirani zake na kutolea mfano hatua ya hivi karibu ya nchi kukubali ombi la jumuiya ya UNK kuweka mahakama ya kikanda ya haki za binadamu hapa nchini |
selelii UNK hoja binafsi siku chache baada ya bajeti ya wizara ya miundombinu kupita kwa mbinde bungeni waziri wa wizara hiyo daktari shukuru kawambwa anakabiliwa na mtihani mwingine mzito kujitetea kutokana na mbunge wa nzega bwana lucas selelii kuwasilisha hoja binafsi kwa spika akitaka serikali itoe maelezo ya kina... |
kabla ya kukwaa kisiki mara mbili mfululizo bungeni baada ya mbunge wa UNK bwana anthony diallo kutaka yafanyike marekebisho makubwa kabla ya bajeti hiyo kupitishwa tayari bwana selelii alionesha shaka juu ya matumizi ya pesa zilizotengwa kwa baadhi ya barabara |
katika hoja yake kwa spika sitta mbunge huyo machachari ameeleza kwamba katika mkataba UNK na wizara ya miundombinu wiki iliyopita siku moja tu kabla ya kuwasilisha bajeti yake bungeni zipo barabara ambazo hazikwepo kwenye mpango wa mwaka uliopita huku zingine zilizokuwepo UNK bila sababu jambo ambalo pia ni upendeleo... |
katika kikao cha bunge kilichokaa jumamosi spika sitta alikiri kupokea hoja hiyo na kuahidi kutolea uamuzi mchana kabla ya kuahirisha bunge lakini ilipofika saa sita mchana wakati akihitimisha shughuli za bunge kiongozi huyo alitangaza kwamba hajapokea taarifa kamili hivyo atalitolea uamuzi baada ya kupata taarifa wik... |
unajua barabara UNK mheshimiwa ni shinyanga lamadi manyoni itigi tabora na dodoma babati ambazo zilikuwepo kwenye bajeti mwaka jana na katika kundi la barabara kumi UNK fedha za nyongeza shilingi bilioni kumi sifuri hizo zimo hata sisi tunashangaa kwenye ule mkataba sasa hazionekani huyu mbunge hana haki na hapa serik... |
kwa mujibu wa barua yenye kumbukumbu namba ac hamsini na nne tisini na mbili sifuri mbili ya juni kumi na sita mwaka ishirini sifuri nane iliyotoka kwa daktari kawambwa kwenda kwa waziri wa fedha jumla ya shilingi bilioni kumi sifuri UNK na waziri huyo kama fedha za nyongeza katika bajeti ya mwaka wa fedha ishirini si... |
kwa mujibu wa barua hizo barabara ya shinyanga lamadi iliombewa shilingi bilioni saba dodoma babati shilingi bilioni kumi na manyoni itigi singida iliombewa bilioni kumi na tano uchunguzi zaidi wa majira ulibaini kwamba katika barua yenye kumbukumbu namba c ba hamsini na nne mia sita na sabini na moja sifuri moja sabi... |
majira ilipomtafuta bwana selelii kujua undani wa madai yake mbunge huyo alisema yeye anachoamini kwamba tatizo la roho mbaya kwa baadhi ya viongozi wa serikali kwa kujipendelea na kuacha vipaumbele vya UNK ndio chanzo cha matatizo na kusisitiza kwamba anao ushaidi wa madai yake na kwamba kama hatapata maelezo ya kina... |
ninao vielelezo japo siwezi kukupa wala UNK kama UNK UNK UNK ni kwamba barabara za shinyanga lamadi manyoni itigi tabora na dodoma babati UNK fedha kama chambo kisha fedha hizo zimepelekwa kwenye barabara za watu wanaojiona kuwa ndio wenye nchi hii hii ni roho mbaya tu ya viongozi alisisitiza bwana selelii na kuongeza... |
wewe kama juzi wiki iliyopita ulikwepo kwenye kusaini mkataba wa zile UNK kumi niambie kama hizi barabara zimo sasa kama UNK UNK vipi barabara mpya kabla ya kutekeleza vipaumbele vya taifa |
haya ni mambo ya roho mbaya tu lakini pia zile fedha zinatoka katika bajeti hii iliyopitishwa leo sasa walisaini vipi mkataba kabla fedha UNK ba bunge |
haya ndiyo majibu ninayotaka serikali UNK alisema mbunge huyo |
wiki iliyopita siku moja kabla ya daktari kawambwa kuwasilisha bajeti yake bungeni wizara yake ilisaini mkataba wa ujenzi wa barabara kumi katika kiwango cha lami zenye urefu wa kilomita mia tano na sitini na tatu tatu kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni mia tano na themanini na nne hatua ambayo UNK kuwa ni serik... |
mkataba huo wa ujenzi wa barabara ulisainiwa kwa niaba ya waziri kawambwa na mkurugenzi wa wakala wa barabara nchini bwana ephraem mrema huku UNK barabara za kagoma lusahunga UNK chunya sumbawanga UNK UNK kibaoni UNK turiani dumila ludewa mkata handeni korogwe handeni ubungo kigogo pamoja na makutano ya barabara ya ki... |
daktari shein alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua maonesho ya thebathini na tatu ya biashara ya kimataifa dar es salaam yanayofanyika katika viwanja vya mwalimu julius nyerere barabara ya kilwa |
alisema hatua hiyo inafanya bidhaa za tanzania kuuzwa kwa bei ndogo ikilinganishwa na gharama za uzalishaji |
mbali na kukabiliwa na changamoto hiyo daktari shein alisema tanzania bado inategemea mazao ya asilia kama chanzo kikuu cha mapato yake hali ambayo imeendelea kuathiri mapato ya serikali pindi bei ya mazao hayo inapoporomoka katika soko la dunia |
daktari shein alisema maonesho kama ya sabasaba yanatoa fursa kubwa kwa wafanyabiashara wazalishaji na wawekezaji kujifunza kutoka kwa wenzao |
kwa kujifunza ndipo mnaweza kuongeza thamani ya mazao yetu tunayozalisha na hata kutengeneza bidhaa zenye ubora unaokubalika katika soko la kimataifa na hatimaye kukabiliana na bei ya ushindani alisema daktari shein |
alisema ili tanzania iweze kushiriki kikamilifu katika biashara ya kimataifa inahitaji kuimarisha masoko la ndani |
alielezea kufurahishwa na maonesho ya mwaka kutokana na kuongeza kwa idadi ya wajasiriamali hasa wanawake |
haya ni maendeleo yanayotia moyo hasa ikizingatia kuwa viwanda vidogo vina mchango mkubwa kwa sekta binafsi alisema |
daktari shein alisema asilimia sabini ya nguvu kazi inatumika katika sekta binafsi kwa kuzalisha asilimia hamsini na nane ya pato la taifa |
aliwataka wafanyabiashara wadogo kujiwekea mtandao wa masoko na kuimarisha ubora wa ufungashaji |
daktari shein aliwataka wafanyabiashara kuchangamkia kuchangamkia kuuza bidhaa kwenye nchi zisizotoza ushuru india na japan |
UNK kufanyika nchi nzima |
jk UNK ahadi yake UNK |
waumini sasa kukesha kusoma dua taasisi mbalimbali za kiislam nchini zimetangaza kufanya maandamano makubwa nchi nzima kupinga hatua ya serikali kukataa hoja ya kuanzishwa mahakama ya kadhi |
sambamba na hilo waumini wa dini hiyo wamepanga kukesha misikitini kuendesha dua maalum kushinikiza kuanzishwa mahakama hiyo |
sakata la mahakama ya kadhi UNK wakati mgumu rais jakaya kikwete serikali yake na chama chake ccm kwani ni moja ya ahadi zilizoainishwa ndani ya ilani ya uchaguzi mwaka ishirini sifuri tano na sasa utekelezaji wake unaonesha kusuasua |
waumini hao wamepania kufanya maandamano makubwa ya aina yake ijumaa wiki hii kwa lengo la kushinikiza serikali kurejea upya mtazamo wake juu ya hoja ya kuanzishwa mahakama ya kadhi |
baada ya baraza kuu la waislamu tanzania kutoa msimamo wake kutaka mahakama ianzishwe haraka hatua hiyo imepata mwitikio mkubwa kutoka kwa taasisi mbalimbali za kiislam nchini ambazo UNK na kuzungumza lugha moja katika suala hilo |
taarifa yao iliyotolewa kwa vyombo vya habari dar es salaam jana ilisema katika maandamano hayo watatoa tamko lao na kuonesha azma UNK adhabu kali kwa wote walioshiriki katika kile walichoeleza kuangamiza haki UNK |
rais jakaya kikwete japo ni UNK ana hiyari ya kuamua kuomba kura na ridhaa ya waislamu au la na tumeazimia kutoa adhabu kwa walioshiriki UNK uislam alisema shekhe ponda issa ponda wakati akihojiwa na gazeti hili |
shekhe ponda ambaye ni katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania UNK lawama rais kikwete katika suala hilo na kudai kuwa anaonekana kusikiliza upande mmoja na kushauri UNK pande zote |
tumekuwa tukifuatilia sana hatua za rais kwa mfano novemba kumi na moja mwaka ishirini sifuri saba katika hafla ya kusimikwa askofu alex malasusa alitamka suala la kadhi UNK ufumbuzi ifikapo februari ishirini sifuri nane lakini hadi leo linaendelea kupigwa danadana alisema shekhe UNK |
naye UNK wa taasisi hizo shekhe UNK kilemile alisema wamesikitishwa na taarifa ya serikali ya ccm na kusisitiza kuwa hatua hiyo imekwenda kinyume na kauli ya rais kikwete ya novemba kumi na moja mwaka ishirini sifuri saba UNK kuwa hadi kufikia februari ishirini sifuri nane suala la mahakama ya kadhi lingekuwa limepata... |
waislamu kwa ujumla wetu tumepokea tamko la serikali kwa hasira na masikitiko makubwa kwamba serikali haiko tayari kurejesha mahakama ya kadhi bali UNK sheria za kiislamu katika mfumo wa sheria zilizoko ili mahakama zifanye kazi iliyokuwa ifanywe na mahakama ya kadhi ilisema taarifa hiyo |
naye katibu wa kamati maalum ya kuokoa mali za waislam tanzania shekhe khalifa khamis alisema wamesikitishwa pia na tamko la waziri mkuu bwana mizengo pinda alipokuwa akijibu maswali ya wabunge dodoma wiki iliyopita na kusema masuala yanayohusu imani lazima UNK taratibu uchunguzi wa kina na hekima kwani yanaweza kulet... |
shekhe khalifa alitoa kauli hiyo jana mbele ya waumini zaidi ya hamsini sifuri katika msikiti wa mtoro dar es salaam na kulaani kitendo cha serikali kukataa kurejesha mahakama ya kadhi nchini |
alisema kuwa kauli hiyo inaonesha dhahiri ni jinsi gani serikali inapata ushawishi kutoka madhehebu mengine ili kuwanyima haki waislam huku wengine wakiendelea kunufaika |
ameiomba serikali itambue kuwa mahakama ya kadhi pia ni shughuli ya kijamii inayohusu dini na waislam ni sehemu ya walipa kodi katika kuchangia pato la nchi na wana haki sawa katika kutumia fedha hizo |
kwa tamko hilo tunaona kabisa UNK hivyo tumeazimia kuanza mchakato sisi wenyewe kuhusu uwepo wa mahakama hiyo nchini kwakuwa tunaona kila kukicha mambo yanazidi kwenda kombo kwa waislam alisema shekhe khalifa |
uchaguzi mdogo katika jimbo la biharamulo magharibi mkoani kagera umekamilika huku matokeo ya awali UNK chama cha mapinduzi na chama cha demokrasia na maendeleo UNK UNK koo huku ccm ikiongoza kwa kura chache |
matokeo ya awali yaliyopatikana ni vituo vya kata ya mjini biharamulo ambapo kwa kawaida vyama vya upinzani huwa na wapenzi wengi lakini mpaka jana jioni ccm ilikuwa ikiongoza katika vituo ishirini na moja vilivyokuwa UNK zoezi la uhesabuji wa kura |
kwa mujibu wa matokeo hayo ccm kilikuwa kimepata kura mbili mia nne na thebathini na tatu chadema kura mbili mia tatu na thebathini na tatu na tlp ilikuwa imeambulia kura kumi na moja hata hivyo habari kutoka katika vituo vilivyopo nje ya makao makuu ya wilaya UNK kuwa ccm ilikuwa ikiongoza ikifuatiwa na chadema ambap... |
matokeo yaliyotangazwa katika kituo cha biharamulo shule ya msingi penye vituo vinne yalionesha ccm na chadema UNK kura kuwa kupata kila kimoja kura thebathini tano huku tlp ikiambulia kura moja |
katika kituo cha UNK ambako asubuhi ya jana mgombea alipiga kura yake chadema ilipata ushindi kwa kura mia mbili na sitini na nne ccm mia moja na tisini na tano na tlp kura mbili ambapo katika shule ya msingi umoja chadema pia iliibuka na ushindi wa kura mia tatu na kumi na moja ccm mia mbili na sabini na tano na tlp ... |
chadema pia iliweza kuibuka na ushindi katika kituo cha ofisi ya kata ambako ilipata kura hamsini mbili ccm mia tatu na arobaini na nne na tlp kura tano wakati katika kituo cha UNK kilichopo nje ya makao makuu ya wilaya ccm iliongoza kwa kupata kura mia tatu na sitini na saba chadema kura mia moja na sabini na saba na... |
kituo cha UNK ccm iliongoza kwa kupata kura mia tano na hamsini na tatu chadema mia mbili na arobaini tlp sifuri ambapo katika kituo cha UNK kata ya mjini chadema ilipata kura mia moja na arobaini na moja ccm arobaini na sita na tlp sifuri |
huko katika kituo cha UNK kata ya mjini pia chadema waliongoza kwa kupata kura mia moja na tisini na nane ccm kura hamsini na nne na tlp sifuri ambapo katika kituo cha UNK ccm ilipata kura mia mbili na tisini na nne chadema mia tatu na thebathini na sita na tlp sifuri |
msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo bwana UNK UNK alisema matokeo kamili yalitarajiwa kutangazwa leo hii asubuhi baada ya kazi ya UNK kura itakapokamilika |
uchaguzi huo ulifanyika kwa hali ya amani na utulivu japo hiyo jana asubuhi kulitokea kikundi cha vijana waliojaribu kufunga barabara na kuzuia watu kwenda kupiga kura hata hivyo jeshi la polisi UNK na kudhibiti hali hiyo |
yawaagiza makatibu wa mikoa wasipuuze |
maaskofu waunganana na serikali |
wasema italeta mgongano wa kimaslahi tamko lililotolewa na baraza kuu la waislamu tanzania kupinga uamuzi wa serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi umewashutua viongozi wa chama cha mapinduzi na kulazimika kukesha wakijadili suala hilo |
habari za kuaminika ambazo gazeti hili limezipata zimeeleza kuwa tangu juzi baadhi ya viongozi wa ccm walikuwa wakikutana mara kwa mara kujadili tamko hilo |
kwa mujibu wa vyanzo vya gazeti hili viongozi hao wa ccm juzi walikuwa na mkutano wa kujadili msimamo wa bakwata uliotangazwa na mufti wa tanzania sheikh issa shabaan simba hadi usiku |
viongozi hao walifikia hatua hiyo kwa kile wanachodai kuwa tamko hilo ni sumu kali kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa |
ili kukabiliana na madhara yanayoweza kusababishwa na tamko hilo la bakwata ccm imewaagiza makatibu wa mikoa na wilaya kutofanyia mzaha tamko hilo tamko hilo kwani linaweza kukikosesha ushindi chama hicho |
viongozi wetu wameshutushwa zaidi na jambo hili hasa kutokana uamuzi huo wa serikali kujadiliwa kwenye misikiti mbalimbali kilisema chanzo hicho na kuongeza tumeona kuwa kama hatutajihami tunaweza kukutana na kipindi kigumu wakati uchaguzi |
chanzo hicho kilisema ccm inahofia vyama vingine kutumia mwanya huo wa serikali wa kukataa kuanzisha mahakama ya kadhi kujinadi ili kujipatia kura kutoka kwa waislamu ambao hawakufurahishwa na hatua hiyo ya serikali |
kwa muda mrefu mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema amekuwa akiitaka serikali ianzishe mahakama ya kadhi ambapo amekuwa akiungwa mkono na masheikh wa dini hiyo |
bwana mrema aliwahi kuwasilisha hoja binafsi bungeni ya kutaka serikali ianzishwe mahakama ya kadhi lakini hoja yake hiyo ilikwaa kisiki |
chanzo chetu kimeeleza kuwa bwana mrema na viongozi wa vyama vingine wanaweza kutumia fursa hiyo kupindisha msimamo wa serikali kwa lengo la kujipatia kura ndiyo maana imeanza kujihami mapema iwezekanavyo |
akizungumza na waadishi wa habari sheikh simba aliweka mabaya jinsi ambavyo bakwata haikufurahishwa na uamuzi uliotolewa na serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo nchini |
wakati huo huo maaskofu nchini wameunga mkono uamuzi wa serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi wakidai suala hilo likikubaliwa linaweza kuleta mgongano wa kimaslahi baina ya wakristo na waislamu ndani ya nchi |
wakati maaskofu wakiunga mkono uamuzi huo wa serikali tayari waislamu kupitia kamati kutetea haki za waislam wametangaza kuandamana siku ya ijumaa kupinga uamuzi huo |
maskofu hao walisema uamuzi wa serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi utakuwa umezingatia maoni ya wananchi waliyotoa kwenye tume iliyoundwa baada ya kubaini mahakama hiyo haitakuwa na maslahi kwa taifa |
askofu mkuu msaidizi wa jimbo kuu katoliki dar es salaam methodius kilain alisema msimamo wa serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo ni mzuri kwa kuwa tanzania haina dini |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.