text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema katiba ya jamhuri ya mungano wa tanzania ya mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na saba inatoa uhuru wa kila mtu kuabudu dini apendayo pasipo kubuguziwa |
askofu kilaini alisema waislamu kama wanataka wanaweza kuanzisha mahakama ya kadhi bila ya kuihusisha serikali |
wana uhuru wa kuendesha mambo yao kwenye taasisi zao yanayoendana na masuala ya kiroho bila kuishirikisha serikali |
sisi wakatoliki tunazo mahakama zetu kuanzia ngazi ya parokia jimbo hadi roma tunafanya mambo yetu bila ya kuingiliwa na serikali |
alisema askofu kilaini |
alisema waislamu hawajakatazwa kuanzisha mahakama ya kadhi bali kinachokataliwa ni mahakama hiyo kuwa na mkono wa serikali |
alifafanua kuwa msimamo uliotolewa na waislam kuwa hawatachagua viongozi wa ccm ni sehemu ya uhuru wao wa kutoa mawazo |
kwa nchi isiyofungamana na misingi ya dini kila mtu ana haki ya kufanya hivyo alisisitiza |
askofu kilaini alisema hakuna sababu ya watu kuendelea kuhoji suala hilo kwa kuwa liliundiwa tume ya kukusanya maoni na uamuzi uliotangazwa ndiyo msimamo wa serikali |
akizungumza na mjira jumapili kuhusu suala hilo askofu wa kanisa la africa inland churc charles salala alisema waislam hawana sababu ya kuichukia serikali kwa kuwa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inatamka wazi kuwa serikali haina dini |
katiba ya nchi yetu imeweka bayana kuwa serikali haina dini hili ndilo chimbuko la amani tunayojivunia alisema askofu salala |
alisema iwapo serikali ingekubali kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi nchi ingeelekea pabaya |
ingekubalika kama nchi hii ingekuwa na dini moja lakini kwa mfumo tulionao wa dini nyingi ni vigumu kuwa na mahakama ya kadhi alisisitiza askofu salala |
alisema hatua ya serikali kuikataa mahakama hiyo inalenga kutoonesha upendeleo kwa dini yoyote |
alifafanua kuwa kama ingeanzishwa ingeendeshwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wakristo na wapagani |
wakristo na wapangani wasingekubali kuona fedha zao zinaendesha chombo ambacho hawanufaiki nacho alisema |
alisema kama waislam wanahitaji kuwepo kwa mahakama ya kadhi wanaweza kuianzisha bila ya kuihusisha serikali kama inavyofanya kwenye masuala ya usuluhishi wa ndoa na mirathi |
askofu salala alisema kitendo cha waislam kuahidi kutoipigia kura ccm kwa sababu ya serikali kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo siyo cha kiungwana |
naye askofu mkuu wa kanisa la anglikana tanzania daktari valentino mokiwa aliwataka mashekhe hao kutolinganisha msamaha wa kodi uliotolewa na serikali kwa taasisi za dini na mahakama ya kadhi kwani misamaha hiyo iko kwa pande za dini zote na hailengi kunufaisha upande mmoja |
alisema si vema kuchangganya mambo ya dini na sheria za nchi kwani huduma za serikali inahudumia watu wengi wa dini mbalimbali na si dini ya kiislam tu |
askofu mokiwa alisema kama kila dini itamua kuunda mahakama yake serikali itajikuta ikibeba mzigo mkubwa na kupunguza ufanisi katika idara ya nyingine |
hata hivyo askofu huyo alisema hapingani kwa uanzishwaji wa mahakama hiyo ndani ya dini hiyo kwani ndiyo utaratibu unaofanywa na madhehebu mengine ambayo yamekuwa na mabaraza yake ya usuluhishi |
makamu mwenyekiti mstaafu wa chama cha mapinduzi bwana john malecela kwa mara nyingine ndani ya miezi miwili UNK kifalme mjini dodoma baada ya kufanikisha mapambano ya kukomboa jimbo la biharamulo mkoani kagera na UNK kwa chama hicho |
mei mwaka huu mwanasiasa huyo mkongwe UNK kishujaa mjini hapa baada ya kufanikisha UNK ya ushindi wa kiti cha ubunge jimbo la busanda mkoni mwanza ambapo mgombea wa ccm bibi lolensia bukwimba aliibuka mshindi |
juzi ccm iliibuka kidedea baada ya mgombea wake bwana oscar mukasa kutangazwa mshindi kwa kupata asilimia hamsini tisa ya kura zote huku mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana anthony mbasa akiibuka na asilimia arobaini na nane arobaini na sita mapokezi hayo yalipambwa na msafara wa magari na pikipiki huku... |
katika mapokezi hayo bwana malecela UNK vyama vya upinzani kuepuka udini na ukabila kwani matokeo yake ni mabaya kwa mustakabali wa taifa |
ninachowaomba watanzania ni kuepuka mambo mawili kwanza ni ukabila pili udini UNK bwana malecela |
alisema binadamu wote ni sawa hivyo wanasiasa hawapaswi kuendekeza ubaguzi kwa kutumia nembo ya udini ama ukabila |
kauli hiyo aliitoa alipotakiwa kutoa maoni yake kutokana na hali ya vurugu zilizokuwa zikiripotiwa katika uchaguzi huo |
alipotakiwa kueleza changamoto alizopata kutokana na chama chake kushinda kwa asilimia chache alisema ushindi ni ushindi tu na wala UNK umeshinda kwa asilimia ngapi |
alisema kuwa hata timu ya taifa ya argentina ilishinda bao ikatwaa kombe la dunia hivyo hata ingekuwa kura moja bado ni washindi |
na edmund mihale mamlaka ya UNK wa nishati na maji imetangaza bei elekezi na kikomo ya petroli baada ya nishati hiyo kupanda bei katika soko la dunia |
bei hiyo itaanza kutumika julai nane mwaka huu |
taarifa iliyotolewa na mkurugenzi mkuu wa ewura bwana haruna masebu kwa vyombo vya habari jana imeeleza kuwa bei ya rejareja ya mafuta hayo imepanda kama ifuatavyo petroli itapanda kwa asilimia nne sifuri sifuri deseli nne sabini na nne deseli tatu hamsini na tano na mafuta ya taa kwa saba tisini na saba kwa mujibu wa... |
taarifa hiyo ilisema |
pia taarifa hiyo ilieleza kuwa kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa ya petroli kwa bei ya ushindani bila kukiuka bei ya kikomo iliyowekwa na mamlaka hiyo |
kwa sasa bei ya kikomo ni asilimia saba tano wamiliki wa vituo vya mafuta wametakiwa kuchapisha karatasi zitakazoonesha bei halisi ya bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana vizuri |
imeeleza kuwa ni kosa kwa kituo cha mafuta kuuza bila ya kuwa na bango linaloonekana vizuri na kuonesha bei ya mafuta UNK katika kituo hicho |
taarifa hiyo UNK vituo UNK UNK yenye ubora tofauti na hamsini sifuri ppm na hamsini sifuri sifuri ppm kuuonyesha kuwa pampu za visima husika na UNK yake |
hata hivyo taarifa hiyo imesisitiza kuwa endapo mfanyabiashara yeyote atabainika kuuza dizeli tofauti na ile UNK katika pampu atachukuliwa hatua za kisheria |
taarifa hiyo UNK wateja kuchukua stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo tarehe aina ya mafuta UNK na bei kwa kila lita ili kudhibiti manunuzi ya mafuta kulingana na kiwango kilichowekwa na ewura bawa kiti cha abiria navyo UNK na grace michael maiti kumi wa ajali ya ndege ya shirika la yemeni iliyoanguka bahari... |
mbali na miili hiyo vitu vingine UNK ni bawa la ndege hiyo lenye maneno UNK airbus mia tatu na kumi na chini yake liliandikwa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na kipande cha kiti cha abiria |
tukio la kupatikana miili hiyo UNK jana na mkuu wa wilaya ya mafia bwana manzie magonchie wakati akizungumza na majira kwa njia ya simu |
bwana magonchie alisema miili hiyo imepatikana katika maeneo tofauti |
aliyataja kuwa ni kisiwa cha juani ambapo miili minne iliopolewa kisiwa cha UNK mwili mmoja pamoja na kijiji cha jimbo ambapo maiti watano UNK |
taarifa za kukutwa kwa hiyo miili ni za kweli kabisa tunaamini marehemu hao waliokufa kwenye ajali hiyo ya ndege |
watu hao ni wazungu hivyo tulichofanya ni kutoa taarifa ngazi za juu ili hatua zaidi zichukuliwe alisema mkuu huyo wa wilaya |
alisema walipeleka taarifa kwa mkuu wa polisi mkoa wa pwani jeshi la ulinzi la wananchi na ubalozi wa ufaransa nchini |
ajali ya ndege hiyo ilitokea juni thebathini mwaka huu ambapo jumla ya watu mia moja na hamsini na tatu wengi wao wakiwa wakazi wa comoro waliokuwa wakirejea kutoka paris ufaransa walipoteza maisha |
aliyenusurika ni msichana mmoja tu mwenye umri wa miaka kumi na nne na gladness mboma rais jakaya kikwete ameitaka benki ya nmb kurudisha fedha alizozitoa kwa ajili ya mikopo maarufu kama mabilioni ya jk kwa kuwa UNK kazi kama UNK |
rais kikwete aliyasema hayo jana dar es salaam wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya thebathini na tatu ya biashara ya kimataifa ya dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu julius nyerere |
alisema fedha hizo ni zake kama wameshindwa kuzizungusha UNK kwa sababu alizitoa kwa nia kuzizungusha na UNK wananchi |
kauli hiyo alitoa alipokuwa katika banda la benki hiyo ambapo alisisitiza kuzungushwa kwa fedha hizo ili ziweze kuleta tija kwa walengwa ambao ni watanzania |
pia amewataka wafanyakazi wa shirika la reli tazara kuongeza juhudi za UNK msaada mjomba yupo UNK fanyeni kazi na UNK ambapo alisisitiza kuwa shirika hilo UNK wakati huo huo rais aliwaagiza wauzaji wa zana za kilimo nchini kupunguza bei za bidhaa zao |
akizungumzia kuhusu maonesho ya mwaka huu alisema utaratibu ni mzuri na kwamba yamepiga hatua ukilinganisha na mwaka jana |
maonesho ni mazuri yamefikia katika hatua nzuri utaratibu ni mzuri yamepiga hatua alisema rais kikwete |
bajeti ya wizara ya mambo ya ndani UNK bungeni leo huku ikiwa UNK na wabunge kadhaa kutokana na masuala kadhaa yenye utata ndani ya wizara hiyo |
wabunge kuhoji mazingira ya rushwa |
ucheleweshaji kesi kitanzi kingine hoja zinazotarajiwa kutikisa bunge leo ni pamoja na utata katika mradi wa vitambulisho vya utaifa ucheleweshaji kesi mbalimbali mahakamani pamoja na tabia ya baadhi ya askari UNK kesi raia wasio na hatia kwa lengo la kupata kitu kidogo wakizungumza na majira mjini hapa jana baadhi ya... |
walisema kupitia bajeti hiyo watataka kujua ukweli kuhusu uvumi kwamba zabuni ya mradi huo UNK na mazingira ya rushwa |
walisema mbali na utata wa mradi huo hawaridhishwi na kasi ya upelelezi wa kesi mbalimbali licha ya serikali kuliongezea jeshi la polisi bajeti vitendea kazi na kuboresha maslahi ya wafanyakazi |
wiki iliyopita serikali ililazimika kuingilia kati kuita wabunge wote wa chama tawala ccm kuweka mkakati wa pamoja UNK bajeti ya wizara ya miundombinu iliyokwama siku mbili mfululizo kutokana na mbunge wa ilemela anthony diallo kuwasilisha hoja binafsi kutaka UNK marekebisho kwa baadhi ya vifungu katika mradi wa barab... |
na waandishi wetu wafanyakazi wa bandari ya dar es salaam na maeneo jirani jana walikumbwa kiwewe kutokana na tishio la maharamia kuvamia bandari hiyo wakiwa ndani ya boti iliyosheheni mabomu |
tukio hilo la aina yake lilitokea jana saa nne asubuhi ambapo gari la kikosi cha usalama wa bandari lilizunguka eneo hilo huku UNK UNK kuashiria hatari katika eneo hilo |
waandishi wa habari hizi walishuhudia polisi na askari kanzu wakiwa wamemwagwa eneo hilo kuimarisha ulinzi huku wafanyakazi wa bandari wakihaha huku na kule kutafuta mwanya wa kuokoa maisha yao |
ilichukua takribani saa moja ambapo watuhumiwa hao maharamia hao bandia walinaswa wakiwa ndani ya boti huku wakiwa na mabomu UNK kwa kutumia UNK maji matango na UNK |
baada ya kunaswa watuhumiwa hao kikosi cha usalama cha bandari UNK wafanyakazi hao kurejea ofisini kuendelea na kazi zao |
akizungumza na gazeti hili mkuu wa kikosi cha usalama bandarini bwana david mranda alisema umoja wa mataifa kupitia taasisi na mashirika yake ulianza kulipa mtazamo wa pekee suala la kukabiliana na vitendo vya uhalifu kupitia taasisi inayoshughulikia usafiri wa majini |
bwana mranda alisema maazimio hayo yalifanyika mwaka ishirini sifuri mbili kufuatia mlipuko wa mabomu uliotokea mwaka ishirini sifuri moja katika ubalozi marekani na kuonekana kuwepo haja ya kujipanga upya kwa kuweka msisitizo kuimarisha hali ya ulinzi na usalama dhidi ya vitendo vya ugaidi |
kufuatia mlipuko wa mabomu imo ilikaa na kutafakari kwa kina na kuamua kuweka sheria ya kila mamlaka kuweka utayari wa ulinzi ndani ya bandari ambapo hufanyika kila baada ya miezi kumi na nane alisema |
kaimu meneja mawasiliano wa tpa bibi janeth UNK alisema katika operesheni hiyo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani baada ya kuwepo taarifa za boti hiyo kusimamishwa na kukataa kusimama huku ikiendeshwa kwa kasi ilitolewa taarifa katika vyombo vyote vya dola na kuzingira eneo hilo |
sio zoezi la UNK ndio maana UNK watu wengi hata hivyo tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliendesha vizuri alisema meneja huyo na kuomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza |
na gladness mboma katibu wa uchumi na fedha wa chama cha mapinduzi bwana amos makalla amesema makundi mengi UNK ndani ya chama hicho ni ya tangu mwaka ishirini sifuri sifuri hadi ishirini sifuri tano ambayo kwa sasa UNK kuwa miradi |
bwana makalla alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu na kamati za utekelezaji za jumuiya hiyo mkoa wa pwani mara baada ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya chama hicho |
inashangaza sana mpaka sasa watu wanaendeleza makundi na visasi ya uchaguzi mkuu wa tangu mwaka ishirini sifuri sifuri hadi ishirini sifuri tano na hayo makundi ndiyo UNK nyuma chama na si kitu kingine |
ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri unatakiwa kupunguza maadui na kuongeza marafiki |
ni lazima tuwe kitu kimoja makundi hayajengi bali UNK alisema |
alisema makundi hayo yamekuwa UNK ajenda ya kupambana na rushwa na ile ya ufisadi ambayo ni ya ccm huku wengine wakiwa wamesahau madhambi yao |
bwana makalla alisema alishangazwa na kauli ya waziri mstaafu bwana UNK kitine aliyoitoa hivi karibuni kwa vyombo vya habari kwamba serikali inaendeshwa kwa makundi na idara ya usalama wa taifa UNK |
bwana kitine akumbuke kuwa yeye ni miongoni mwa watu UNK huku akijua ana madhambi makubwa ambayo leo angekuwa UNK gerezani kwa kashfa ambayo iliwahi kumkumba ya matibabu ya mkewe |
je UNK |
kitine UNK watanzania UNK |
je anaweza kuwa miongozi mwa watu UNK |
ieleweke ajenda ya kupambana na rushwa na ufisadi ni ya ccm kama chama na si kikundi cha watu wachache alidai |
alisema wapo wana ccm ambao sasa wameamua kuibuka na kuikosoa serikali wakati wangekuwa vijijini au magerezani kwa kashfa ambazo ziliwahi kuwakumba enzi za uongozi wao |
wakati huo huo bwana makalla amedai rais jakaya kikwete ataendelea kuwa rais ishirini moja sifuri kwani wapinzani hawajawa tayari kwa urais bali wanataka kuokoteza mitaa vitongoji mwaka huu na mwakani wanajipanga kwa ubunge na udiwani na si urais |
aliwataka wana ccm kuhakikisha wanashinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu ili uchaguzi mkuu mwakani wapinzani UNK patupu |
aliwataka viongozi kutofanya mikutano ya ndani na badala yake wafanye mikutano mikubwa ya hadhara na kuzungumza na umma kile ambacho serikali UNK |
grace michael na gladys UNK imebainika kuwa jina la biashara UNK katika uchotaji mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje kupitia kada wa ccm bwana rajab maranda na bwana farijala hussein halikuwa la kwao |
hayo yalibainika jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam wakati shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka bwana noel shani ambaye ni msajili msaidizi wa brela akitoa ushahidi wake kuhusiana na kesi hiyo |
ushahidi huo ulitolewa mbele ya jopo la mahakimu watatu ambao ni bibi catherine UNK bibi fatuma masengi na bwana benedict UNK |
akitoa ushahidi wake alikiri UNK jina la kampuni la biashara la money UNK consultant ambalo ndilo linadaiwa kuchota jumla ya shilingi bilioni mbili mbili kutoka benki kuu ya tanzania ni kweli UNK hilo jina la biashara kwani ni moja ya majina yaliyoko brela na nilishiriki katika kutia saini katika usajili wake alidai b... |
alieleza kuwa majina ya wamiliki wa jina hilo yaliyoko brela ni la bwana paul UNK na bwana fundi UNK ambao ndio UNK kama wamiliki wa jina hilo la biashara |
alidai kuwa jina hilo UNK likiwa na majukumu mawili ya kukusanya madeni na ushauri wa mambo ya fedha |
kutokana na maelezo hayo na kwa mujibu wa majina yaliko ndani ya jalada la usajili inaonesha kuwa washitakiwa hao walitumia jina la biashara ambalo hawakuwa UNK |
na peter masangwa rais jakaya kikwete amesema udhaifu wa mamlaka ya mapato tanzani na tume ya ushindani tanzania vinakwamisha maendeleo ya viwanda vya ndani UNK mwanya kwa waingizaji bidhaa kukwepa kulipa kodi ipasavyo na kuuza kwa bei ya chini |
rais kikwete alitoa kauli hiyo dar es salaam jana wakati wa uzinduzi wa mtambo mpya wa UNK saruji katika kiwanda cha tanzania UNK cement ambao ni wazalishaji wa twiga cement kilichopo wazo hill |
rais alisema kama tra haitakuwa makini katika kuhakikisha inakusanya kodi ipasavyo kwa waingizaji wa saruji nchini kamwe hakutakuwa na ushindani ulio sawa hivyo kutasababisha kuuwa viwanda vya ndani |
aliongeza kuwa tume ya ushindani nchi nayo UNK kubwa katika kuhakikisha inatengeneza mazingira mazuri ya ushindani bila kupendelea mtu yeyote ili kujenga tija ya kuwa na uwezo wa viwanda vya ndani kuzalisha kwa ziada na kuuza nje |
sikilizeni niwambie uzalendo una ukomo wake kwani mimi siwezi kuendelea kununua bidhaa isiyo na ubora huku fedha ninazo na hii inasababisha kuendelea kuwepo magendo kwani UNK kelele magendo hayo UNK bidhaa hiyo alisema rais kikwete |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.