text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema kuwa tanzania UNK nyingi ya kutengenezea saruji kuliko sehemu yoyote afrika hivyo viwanda vya ndani vinatakiwa kuitumia fursa hiyo kuzalisha kwa wingi ili kuchochea uchumi wa taifa |
aliitaka wizara ya viwanda biashara na masoko pamoja na wizara ya nishati na madini kushirikiana kuhakikisha viwanda vya kutengeneza gypsum vinapatikana nchini ili kuondokana na utegemezi wa kuagiza bidhaa hiyo nje kwani taifa lina malighafi ya UNK |
ni aibu kuagiza gypsum nje ya nchi huku tanzania imejaa malighafi hiyo kila kona hivyo UNK tena kuona UNK tutatengeneza viwanda vyetu hapa ili kuzalisha na kuuza nje alisema rais kikwete |
naye mkurugenzi mtendaji wa UNK kanda ya afrika mashariki bwana klaus hvassing alisema kuwa mtambo huo umegharimu zaidi ya dola milioni kumi nane za marekani na UNK wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja nne za saruji kwa mwaka |
bwana hvassing alisema kuwa wanategemea kupunguza bei kwa asilimia kumi na tano watakapo kuwa wamemaliza kulipa deni UNK kuwekeza katika mtambo huo wenye teknolojia ya juu ambapo uzalishaji wake UNK mazingira kwa asilimia tisini rais kikwete pia alipokea zawadi ya mifuko nne sifuri sifuri sifuri ya saruji kutoka na ku... |
na edmund mihale jeshi la polisi kitengo cha viwanja vya ndege linamshikilia mwanamke mmoja bibi UNK kasoro mkazi wa tabora kwa kukutwa na nyara za serikali katika uwanja wa kimataifa wa julius nyerere dar es salaam |
watu wengine wanaoshikiliwa na jeshi hilo ni wafanyakazi wa kitengo cha usalama ukaguzi wa kutumia mashine uwanjani hapo bwana edmund UNK bwana UNK jeremia na bwana bakari rashid wanaotuhumiwa kushirikiana na mwanamke huyo |
akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana kamanda wa polisi wa viwanja vya ndege nchini kamishna msaidizi bibi mwajuma UNK alisema mwanamke huyo alikamatwa jana baada ya polisi aliyekuwepo lango la kuingilia uwanjani kutilia shaka begi lake |
UNK jana UNK saa sita arobaini na tano katika sehemu ya UNK akiwa na mabegi mawili moja ndogo na lingine kubwa ndipo askari aliyekuwepo hapo UNK shaka katika begi lake na kuamuru ukaguzi ufanyike alisema bibi UNK |
alisema baada ya ukaguzi huo polisi walibaini kuwepo meno ya tembo matano vinyago hamsini na tano vyenye sura ya binadamu vijiti themanini na sita vinyago kumi na nne vikiwa na sura ya UNK UNK viwili vyote vikiwa vimetengenezwa kwa meno ya tembo |
vingine alivyokamatwa navyo ni bangili ishirini na nane vinyago vitano vinyago vitano vinyago vitano pete ishirini na nane vibanio vya nywele UNK sabini na tatu UNK ya kutundikia nguo moja stendi za meza mbili UNK arobaini na nne na pembe nne vyote vikiwa vimetengenezwa kwa meno ya tembo |
nyara zingine ni meno ya simba kumi na moja kucha za simba sitini bangili kasa themanini na mbili pete nane zilizotengenezwa kwa maganda ya kasa na UNK kilo tano |
alisema bibi kasoro aliingia katika uwanja huo bila kutumia tiketi baada ya kushirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu ambao jeshi hilo linawashikilia kwa mahojiano zaidi |
siku chache baada ya waziri mkuu bwana pinda kutangaza hatua kadhaa za kurejesha amani wilayani tarime serikali jana imetangaza kuundwa rasmi mkoa wa kipolisi rorya na tarime chini ya kamanda costantine massawe |
uamuzi huo ulitangazwa bungeni jana na waziri wa mambo ya ndani bwana lawrence masha wakati akifanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge baada ya kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo |
akitoa majumuisho ya bajeti ya bajeti hiyo bwana masha alisema serikali imefanya juhudi za maksudi kuunda kanda hiyo ili kukomesha mapigano hayo tatizo la UNK hayo ni tangu ukoloni hivyo ni jambo la kihistoria na juhudi za serikali zitakuwa bure iwapo wananchi hao hawatabadilika alisema bwana masha alisema tatizo la m... |
mimi naomba bunge UNK nafasi nimalize maradi huo majalada ya kwenda katika kikao cha baraza la mawaziri yameandaliwa baada ya hapo UNK majibu kwa katibu mkuu na bunge UNK alisema |
UNK ya upinzani bungeni iliitaka serikali kulieleza bunge hatua iliyofikiwa katika mradi wa utengenezaji vitambulisho vya taifa huku UNK hadithi mpya katika maendeleo ya mradi huyo mkubwa na kudai kuwa shilingi bilioni nne tatu zilizotengwa kwa ajili ya mradi huo zinaendelea UNK watu wachache |
pia kambi hiyo ilitaka serikali kuchukua hatua ya haraka kulinda hali ya amani na utulivu nchini kwa kukomesha vitendo vya UNK wa kutumia silaha UNK kuibuka tena nchini kwa kasi |
akiwasilisha maoni ya kambi hiyo kwa wizara ya mambo ya ndani msemaji wa kambi hiyo bwana ibrahim mohammad UNK alisema ni wakati muafaka kwa serikali kuwaeleza UNK hatua iliyofikiwa katika mradi wa vitambulisho na kuhoji sababu zinazofanya serikali kushindwa kukabidhi kazi hiyo kwa rita tangu mwaka ishirini sifuri sit... |
alihoji bwana UNK |
katika kile kinachoonekana kutokubaliana na msimamo wa benki kuu ya tanzania kupinga shughuli za kampuni ya upatu ya deci baraza la maaskofu wa makanisa ya pentekoste tanzania UNK leo dar es salaam kutoa mustakabali wa suala hilo |
akizungumza na majira kwa simu jana mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo askofu UNK sheggah alisema wamesikitishwa na hatua hiyo kwani deci imesaidia wanyonge wengi nchini |
mwenyekiti huyo anayetoka kanisa la UNK community UNK church alisema mkutano huo UNK ukumbi wa UNK uliopo viwanja vya maonesho vya mwalimu nyerere maarufu kama sabasaba barabara ya kilwa kuanzia saa tatu asubuhi |
alisema UNK maaskofu wote wa makanisa ya pentekoste dar es salaam na mikoa jirani na kuhudhuriwa pia na katibu mkuu wa pct askofu david mwasota na wadau mbalimbali |
askofu sheggah alisema hawaoni sababu za kufungiwa deci kwani imesaidia wananchi wengi masikini kupata maisha bora |
katika mkutano huo UNK serikali kuhusu mambo mbalimbali ya deci na namna jamii UNK kupitia biashara hiyo ambayo sasa imekumbwa na utata |
UNK serikali juu ya deci chombo hiki kimesaidia watu wengi kupata maisha bora UNK uchumi wao UNK biashara zao wengine wamepata elimu na ajira alisema askofu UNK |
aliongeza wao wakiwa viongozi wa dini wana wajibu wa kuishauri serikali kwani wanakutana na kuishi na jamii mbalimbali mitaani hivyo wanaelewa matatizo yao |
tumeona wanawake wakiwemo wajane wakilia kupitia vyombo mbalimbali vya habari baada ya kusikia kufungwa shughuli za deci alisema |
hata hivyo askofu huyo alikataa kubainisha kwa undani kuhusu tamko lao kwa madai ni mapema mno na uamuzi wote mzito utajulikana kesho |
alipotakiwa kueleza watachukua hatua gani endapo deci itapigwa marufuku alisema hana jibu la moja kwa moja kwani uamuzi huo umejikita ndani ya nafsi za wadau hivyo hawezi kujua nafsi ya kila mmoja UNK kufanya nini |
tumejitahidi sana kuwatuliza watu |
sisi tutazungumza na serikali tunaamini UNK UNK kwani imekuwa ikienda vizuri bali mtiririko huo UNK na wachache alisema bila kuwataja watu hao |
juzi bot katika mkutano wake na waandishi wa habari dar es salaam ilisema biashara inayoendeshwa na deci ni batili kwa kuwa haina leseni |
mkurugenzi wa idara ya usimamizi wa bot bwana joseph massawe alikaririwa kuwa biashara hiyo ni batili kwa kuwa deci ilipewa leseni ya kukopesha fedha si kuchangisha na kuchezesha upatu maarufu kwa jina la vuna kutokana na mbegu UNK |
alisema bot ilipokea barua ya deci mwaka ishirini sifuri saba ikiomba idhini ya benki hiyo ili ofisi ya biashara na viwanda itoe leseni ya biashara ya kukopesha fedha |
bwana massawe alisema bot UNK kuona kampuni hiyo UNK wananchi fedha kwa njia ya upatu na UNK kitendo hicho kuwa ni kosa la jinai |
deci inasimamiwa na kuendeshwa chini ya madhehebu ya kipentekoste |
naye peter masangwa anaripoti kuwa mkurugenzi wa upelelezi na makosa ya jinai bwana robert manumba amesema kamati iliyoundwa kuichunguza deci bado inaendelea na uchunguzi na taarifa itatolewa baada ya kukamilika uchunguzi huo |
akizungumza kwa simu jana baada ya waandishi kufika ofisini kwake kwa lengo la kupata taarifa ya deci kama ilivyoripotiwa na baadhi ya magazeti kuwa UNK taarifa hiyo bwana manumba alisema bado kamati inaendelea na uchunguzi |
mimi UNK press UNK nashangaa kila mmoja anasema leo nitatoa taarifa ya deci suala hili linashughulikiwa na kamati maalumu iliyoundwa alisema bwana UNK |
mbali na deci kujihusisha na shughuli hiyo tangu novemba mwaka jana na jeshi la polisi kupewa jukumu la kuchunguza kampuni hiyo tangu januari mwaka huu taarifa hiyo bado haijakamilika hivyo kuwapa wakati mgumu wateja kuchukua uamuzi wa kuendelea kuwa wanachama au kujitoa |
naye said mwishehe anaripoti kuwa wakazi wa dar es salaam ambao walikuwa wamepanda fedha zao deci baadhi yao wameanza kupunguza kiwango cha kupanda kwa kuhofia huenda UNK kama inavyodaiwa na baadhi ya watu |
hatua hiyo inatokana taarifa iliyotolewa na bot kuwa deci haijasajiliwa na UNK kisheria ambapo maeneo mbalimbali kumekuwa na mijadala UNK juu ya kuwepo kwa taasisi hiyo ambayo tangu ilipoanza kutoa huduma hiyo ya kifedha baadhi ya watu wanadai wamefanikiwa |
uchunguzi uliofanywa na majira tangu UNK taarifa ya bot umebaini kuwa wakati baadhi ya wanachama UNK kiwango cha kupanda wapo wengine wameamua kusimama kabisa hadi watakapopata uhakika kuwa UNK kama inavyodaiwa |
pia lipo kundi lingine la wanachama ambao wao wameamua kupanda fedha kama kawaida na wapo tayari kwa lolote linaloweza kutokea |
bibi mariam juma mmoja wa wana deci alisema binafsi UNK na kuwepo kwa taasisi hiyo lakini kutokana hali ilivyo sasa ameamua kupanda kiasi kidogo tofauti na mwanzoni |
nimeamua kupanda kidogo tu naogopa kwani hata nilipoona tangazo la bot nilipata presha nikajua sasa fedha yangu UNK |
lakini wahusika wanatupa matumaini hivyo naendelea lakini nipo makini hata wakikimbia UNK hasara alisema |
bwana ramadhan UNK wa kimara alisema ataendelea kupanda lakini si kama alivyokuwa akifanya zamani kwa kuweka fedha nyingi zaidi ili kuepusha matatizo kama UNK |
mkazi wa mbagala bwana UNK salum alisema ingawa bot imetoa hadhari ataendelea kupanda kwani UNK kwa kiasi kikubwa na deci na anaona ni mkombozi wa maisha yake |
pamoja na serikali kutoa tamko kuzuia kupanda bei ya kadi za maongezi kwa simu za mkononi hali imeendelea kuwa tofauti ambapo imebainika kuwa kadi za kampuni nne kati ya tano zinazofanya biashara hiyo nchini zimeendelea kuuzwa kwa bei ya kuruka huku wauzaji wa reja reja wakilalamika kuwa wao hawahusiki na kuwatupia la... |
hali hiyo ya kupanda kwa bei za kadi imeendelea kwa takribani wiki moja sasa huku kila upande kuanzia kampuni mawakala na wauzaji wa reja reja ukidai kuwa UNK na upandaji wa bei huo |
uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika mitaa ya jiji la dar es salaam UNK bei zilipoanza kupanda umebaini kuwa kadi za kampuni ya vodacom tigo zain ttcl zimepandishwa bei kinyemela na wauzaji hao wa reja reja hali zile za zantel zimeendelea kuuzwa bei za zamani |
gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na wauzaji wa reja reja ambapo walidai kuwa wanaonewa katika suala hilo |
kweli UNK |
kwa sababu sisi ndio UNK mzigo ili tuonekane kuwa UNK watumiaji wa mwisho wa kadi hizi kuwa UNK bei kinyemela ili kupata faida kubwa huo sio ukweli |
kama wakala UNK nanunua vocha UNK bei unategemea mimi UNK kuuza kwa bei ya zamani kweli |
alisema wakala mmoja eneo la kariakoo jijini ambaye hakutaka kuandikwa jina gazetini |
aliendelea kwa mfano vocha nilizokuwa UNK kwa bei ya shilingi mia nne na sabini ili UNK shilingi hamsini sifuri zimepandishwa hadi shilingi mia nne na themanini na tano katika mazingira hayo lazima bei itapanda uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kadi ambazo walikuwa UNK kwa shilingi kumi sifuri sifuri kwa wateja w... |
badala ya wao kuzinunua kwa mia tisa na thebathini na tano kama iliyokuwa awali sasa wanalazimika kuzinunua kuanzia mia tisa na arobaini mpaka mia tisa na sitini na tano kwa upande wa kadi za shilingi mbili sifuri sifuri sifuri kumekuwepo ongezeko la kati ya shilingi kumi sabini kutegemeana na kampuni pia ingawa kuna ... |
tatizo hilo la kupanda kwa bei za kadi kinyemela huku kauli iliyotolewa na serikali kupitia waziri wa sayansi teknolojia na mawasiliano profesa peter UNK ikisisitiza kuwa kuwa wanaouza bei za kuruka wanapaswa kukamatwa imezidi kuonekana kuwa haina utekelezaji |
kampuni kubwa zinazofanya biashara hii mpaka sasa hapa nchini ni tigo vodacom zantel zain na ttcl wataka maslahi yao UNK |
wahoji kunyimwa pesa za uhamisho |
wataka kozi koplo sajini UNK mbunge wa jimbo la UNK bwana issa kassim issa UNK viongozi wa juu wa polisi visiwani zanzibar kwa madai kwamba UNK wenye vyeo vya chini na kumtaka mkuu wa jeshi la polisi nchini igp said mwema kusafisha jeshi hilo haraka ili kuondoa kero za askari hao |
pia mbunge huyo amemtaka igp mwema kufanya ziara tanzania visiwani na kuzungumza na askari wa chini kwa madai kwamba makamishna UNK wanampigia saluti bila kumweleza ukweli kuhusu madai ya askari wa chini ambao ndio watendaji wakuu katika ulinzi wa raia na mali zao |
akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani bungeni jana mbunge huyo alisema amewahi kufika ofisi za polisi visiwani kufuatilia madai ya askari mbalimbali mara kumi bila mafanikio jambo ambalo ni hatari |
igp mwema nenda zanzibar wewe mwenyewe UNK na askari wewe mwenyewe |
hawa makamishna hawasemi ukweli kuhusu walio chini yao |
wanakuja wanapiga saluti tu hawasemi ukweli |
UNK UNK pale makao makuu ya polisi zanzibar |
nimeenda kudai haki za polisi mara kumi kwani mie nimekuwa mfanyakazi wa polisi |
askari wanaopambana na UNK ni wale wa chini mheshimiwa ninayo orodha ya madai ya UNK tangu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tatu ishirini sifuri moja ishirini sifuri nne wengine walifariki lakini hawajapata malipo yao mpaka leo |
hivi kweli mnajua dhiki ya malipo ya waliokufa ninyi |
alihoji mbunge huyo |
mbunge huyo ambaye alimsifu igp mwema kwa kazi kubwa ya kurejesha imani ya wananchi kwa jeshi hilo kutokana kuchapa kazi alisema anamini kwamba wanaosabisha matatizo kwa jeshi la polisi hususan malimbikizo ya madai ni waliopewa madaraka ya kupitisha madai hayo na si igp mimi nimekuwa mpole sana sijui UNK msamaha mtu l... |
askari mia mbili na hamsini walihamishiwa bara toka zanzibar sasa ni miezi sita hawajalipwa haki zao hawa askari sio kuku ni watu |
UNK haki zao |
alisisitiza |
kwa upande wake mbunge wa viti maalum ccm bibi UNK emmanuel aliitaka serikali kutoa tamko kuhusu hali mbaya ya uhalifu uliokithiri wilayani maswa mkoani shinyanga |
naye mbunge wa UNK bwana khalifa seleman khalifa aliitaka serikali kutoa kauli kuhusu hali mbaya ya kisiasa tanzania visiwani inayosababisha kuzuiwa watu wenye sifa za kuandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura kufanya hivyo kwa kuwekewa mizengwe katika upatikanaji wa vitambulisho vya zanzibar ambacho ndicho... |
hata katika nchi zilizokuwa na hali mbaya ni kutokana na raia kuchoka na kuamua kufanya wanaloweza hata kama UNK lakini watakuwa UNK hasira zao msije UNK kwenye yale ya mwaka ishirini sifuri moja naomba sana rais wetu mpendwa makamu wa rais waziri mkuu UNK suala hili alisema bwana khalifa |
alisema kila mtanzania ana imani kubwa na utendaji wa igp mwema na kusifu makao makuu ya polisi kwa huduma nzuri huku ofisi za chini zikiwa na sura tofauti na kuvunja sheria kwa kunyanyasa raia jambo alilosema ni hatari kwa kuwa UNK sifa nzuri ya jeshi hilo |
naye mbunge wa mkwajuni bwana mzee ngwali zuber aliitaka serikali kujenga nyumba na ofisi ya mkuu wa polisi mkoa wa kaskazini unguja na kudai kwamba kamanda wa polisi wa mkoa huo UNK kama mtoto wa paka kutokana na tatizo la nyumba |
alisema imefika wakati kwa serikali kuboresha jeshi hilo kwa kujali maslahi ya polisi wa chini badala ya kuangalia wale wa juu pekee huku akidai kwamba ofisi za idara ya UNK za mipakani ni sawa na makontena ya kuuzia vipodozi jambo ambalo ni aibu kwa tanzania |
naye mbunge wa sumbawanga mjini bwana paul kimiti aliitaka serikali kuangalia upya suala la haki za askari polisi pamoja na kuwahamisha wale waliokaa muda mrefu katika eneo moja na kuhoji uhalali wa askari walioko mkoa wa rukwa UNK bila kupandishwa vyeo wala kulipwa mafao yao mapema |
pia wabunge waliitaka serikali kuangalia upya sera ya jeshi hilo hususan katika upandishwaji vyeo na kutaka cheo cha sajini na koplo kuwa sawa au kupandisha askari bila kumlazimu kurejea chuoni kwa kuwa masomo ya vyeo hivyo UNK |
walisema kumrejesha askari chuoni kusomea cheo cha sajini baada ya koplo ni matumizi mabaya ya fedha za umma |
peter masangwa na salum pazzy wabunge wameitaka serikali kuanzisha mahakama ya kadhi nchini mara moja kwani chombo hicho ni muhimu katika kutetea haki za wanawake wajane wa kiislam |
wakichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya wanawake jinsia na watoto iliyowasilishwa jana bungeni na waziri wa wizara hiyo bibi margaret sitta walisema tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi nchini wamepoteza haki zao na kuishi maisha hatarishi kutokana na kukosekana mahakama ya kadhi ambayo walisema ina uwezo mkubwa... |
akichangia bajeti hiyo mbunge wa viti maalum bibi mgeni UNK alisema mahakama hiyo inahitajika ili kutoa fursa kwa wanawake kuamuliwa mambo yao kutokana na imani yao |
mimi nashindwa kuelewa kwa nini serikali inapiga chenga kuanzishwa mahakama ya kadhi ikiwa jirani zetu kenya uganda na zanzibar wana mahakama hiyo huku zikiwa na watu wa imani tofauti iweje sisi UNK vikwazo |
alihoji bibi kadida |
alifafanua kuwa kukosekana mahakama ya kadhi inawanyima wanawake wa kiislam haki zao UNK na waume zao kwani baadhi ya wajane UNK na ndugu kabla ya kipindi cha eda UNK |
mwanamke wa kiislam anahaki ya kukaa ndani ya nyumba na kupata matunzo hadi eda iishe lakini hilo UNK kwa ajili ya kuogopa kudhulumiwa kwa sababu hakuna sheria UNK alisema bibi kadida |
naye mbunge wa viti maalum bibi anna komu alitaka ufafanuzi wa fedha za kuanzisha benki ya UNK na kuhoji zimetoka wapi na UNK na nani kwani wamekuwa wakipata taarifa tu kuwa uanzishwaji benki hiyo umekamilika |
bibi komu aliitaka wizara kuhakikisha kuwa asilimia sabini ya hisa katika benki hiyo zinaelekezwa vijijini kwenye idadi kubwa ya wanawake wenye maisha duni kiuchumi |
UNK haki akinamama walioko vijijini kwani benki imeanzishwa mjini na hisa zote ziuzwe kwao hivyo lazima kuwe na usawa na kutoa kipaumbele kwa watu wenye kipato duni alisema bibi UNK |
mbunge wa rombo bwana basil mramba alisema wizara hiyo imekuwa UNK bajeti ndogo kuliko hadhi yake kwani ndiyo wizara mama katika wizara zote |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.