text stringlengths 1 1.32k |
|---|
bwana mramba alisema kuwa mwanamke ni chachu ya maendeleo dunia kote kuanzia ngazi ya familia hivyo lazima UNK na kupewa elimu |
wanawake wamechelewa kupata elimu ndiyo maana wamekuwa nyuma kwa miaka mingi hivyo kuna haja ya kuanzisha mkakati wa kuwapatia elimu dunia ili waweze kujikwamua kiuchumi waondokane na utegemezi alisema bwana mramba |
alisema hoja ya usawa katika kupata madaraka ni jambo la msingi na kuipongeza serikali kuanzisha sera ya uwakilishi sawa wa wanawake bungeni wa asilimia hamsini kwa hamsini maiti UNK dar kupimwa vinasaba na grace ndossa miili ya watu kumi na nne wanaosadikiwa kufa katika ajali ya ndege ya shirika la yemeni iliyoanguka... |
maiti hao walipokelewa uwanja wa ndege wa kimataifa dar es salaam na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa bwana bernard membe akiwemo pia makamu rais wa visiwa vya comoro bwana idi UNK |
baada ya kupokelewa uwanjani hapo jana jioni UNK moja kwa moja hospitali ya jeshi la lugalo kuhifadhiwa kabla ya taratibu zingine kufuata |
awali katika eneo la tukio jeshi la waokoaji wakitumia helikopta na meli za kivita kutoka ufaransa UNK shughuli za uopoaji miili hiyo |
helikopta hiyo pamoja na meli UNK nanga jana katika pwani ya kisiwa cha mafia tayari kwa shughuli hiyo |
akizungumza na majira kwa njia ya simu kaimu mkuu wa wilaya ya mafia bibi halima kihemba alisema maiti waliopatikana hadi jana wamefikia kumi na sita alisema jeshi la waokoaji kutoka ufaransa likishirikiana na jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania wanaendelea na shughuli nzito kutafuta miili hiyo |
tumekuwa tukipata mwili mmoja mmoja lakini bado tunaendelea na utafutaji hadi sasa jumla ya maiti waliopatikana wanafikia kumi na sita na kumi na nne UNK kwenda dar es salaam alisema bibi kihemba alasiri wakati miili hiyo ikiwa njiani kupelekwa dar es salaam |
alisema miili hiyo itafanyiwa vipimo jioni kutoka kisiwani hapo kuletwa dar es salaam ili kufanyiwa vipimo |
aliongeza kuwa hali za maiti hao si nzuri kwa kuwa UNK vibaya na kubadilika rangi huku wengine wakiwa hawana vichwa na miguu hali UNK kufanyika kipimo cha vinasaba kutambua ndugu zao |
bibi kihemba alisema utambuzi huo utahusisha raia wa nchi tatu yaani ufaransa yemen na comoro maeneo ambayo walitoka abiria hao |
naye kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es saalam bwana suleman kova alisema polisi imeunda vikosi viwili mafia na dar es salaam kwa ajili ya kushughulikia ajali hiyo |
alisema taarifa muhimu kuhusu tukio hilo zitakuwa UNK siku katika viwanja vya karimjee ambapo wageni kutoka nje ya nchi UNK kwa ajili ya kutambua ndugu zao |
ndege hiyo ya shirika la yemeni ilianguka juni thebathini mwaka huu na kusababisha vifo vya abiria mia moja na hamsini na tatu binti wa miaka kumi na tatu pekee ndiye UNK kwenye ajali hiyo na sasa anapatiwa matibabu nchini ufaransa |
wabunge wadai ana majibu ya kitoto |
wajipanga kuwasilisha hoja binafsi |
yeye asema si kila mwenye akili ana busara na john daniel dodoma siku moja baada ya waziri wa mambo ya ndani bwana lawrence masha kujibu hoja za wabunge kuhusu mradi wa vitambulisho vya taifa mzimu wa mradi huo umezidi kumwandama baada ya baadhi ya wabunge kuapa UNK hoja binafsi bungeni kutaka ufafanuzi wa kina kuhusu... |
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti wabunge hao walisema hawaridhiki na majibu UNK na waziri masha juzi usiku wa wakati akihitimisha hoja yake ambapo waziri huyo aliwahoji wabunge kuwa kuna nini katika mradi huo |
mimi UNK kuwasilisha hoja binafsi na kumpa waziri mkuu mh |
pinda nyaraka zenye takwimu zinazoonesha hasara ambazo taifa linapata kutokana uzembe wa wizara ya mambo ya ndani chini ya waziri masha unajua UNK uongozi wa UNK unapaswa kuelewa muda wa kuwachezea walipa kodi ya watanzania sasa umekwisha |
yale majibu yaliyotolewa juzi unaweza kusema ni ya kitoto kama alivyosema mheshimiwa naibu spika kwamba watanzania hawahitaji yale majibu wanachohitaji ni vitambulisho hivi sasa kuna walipa kodi si zaidi ya hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri lakini tuko watu milioni arobaini watu milioni kumi na nane tu wakilipa kodi... |
alieleza kusikitishwa na majibu ya waziri masha kwa kuwa yeye na watanzania UNK kwa kukosa huduma muhimu kutokana na ukosefu wa fedha UNK UNK na jibu zuri zaidi kuhusu mradi huo badala ya maneno ya mchakato unaendelea ambalo limekuwa wimbo wa kawaida |
kama UNK wakati UNK hotuba ya waziri mkuu sasa majibu yale yasiyokidhi haja UNK UNK hoja yangu na tayari UNK takwimu zote na UNK UNK haraka alisisitiza bwana shibuda |
mbunge mwingine machachari wa ccm aliapa kuwasilisha hoja binafsi katika mkutano ujao wa kumi na saba wa bunge iwapo hataona UNK mzuri wa suala hilo na kuongeza kwamba ameamua kuipa serikali muda kwa kuwa anaamini kwamba ujumbe uliotolewa juzi wakati waziri masha akihitimisha hoja yake inaweza kuleta sura mpya katika ... |
mradi wa vitambulisho umejaa mchezo mchafu waziri hataki kampuni UNK zabuni ya kutengeneza vitambulisho anataka nyingine kwa sababu zake unajua tayari kuna mtambo UNK upo dar es salaam ndio maana ile kampuni haitakiwi ili mwingine UNK agiza mitambo ndiye apate hii ndio maana unaona hili suala mara eti inarudishwa bara... |
sisi wenye uchungu na nchi hii hatuwezi kukubali mambo kama haya nakuhakikishia niliamua kuwasilisha hoja binafsi kuhusu mradi huo wiki hii lakini nimeshauriwa kuwa nisubiri kwanza tuone atafanya nini na baraza la mawaziri UNK nini UNK yale yale nakuapia nitawasilisha hoja bunge lijalo alisema mbunge huyo kwa sharti l... |
alisema kitendo ca waziri masha kutaka kuwasilisha waraka huo tena katika baraza la mawaziri ni udhalilishaji kwa baraza UNK waraka kama huo mara ya kwanza |
upole wa rais unaweza UNK anatakiwa aingilie kati suala hili kabla ya kumharibia zaidi siamini kama kweli kuna ukweli kuhusu maelezo ya waziri kuhusu mradi huo kuna kitu nyuma ya yale yote aliyoeleza lakini subiri nimeshauriwa tuvute kwanza subira tuone hatua zitakazochukuliwa alisisitiza mbunge huyo |
alisema yeye kama mbunge UNK vikao mbalimbali vya kimataifa wamekuwa wakipata aibu kila wakati wakihojiwa uwezekano wa tanzania kuwa soko la watu wa mataifa ya nje kufanya kila UNK kwa kuwa hakuna vitambulisho vya taifa |
majira ilipomtafuta waziri masha ili kujua ukweli wa madai hayo na hatua UNK iwapo wabunge hao UNK hoja binafsi hakupatikana ofisini wala bungeni kwa maelezo kwamba yupo safari nje ya dodoma kikazi |
akizungumza na majira kwa njia ya simu bwana masha alisema hawezi kuzungumzia waraka unaotarajiwa kuwasilisha katika baraza la mawaziri na kusisitiza kwamba mchakato wa mradi huo bado unaendelea na kwamba watanzania watapata majibu sahihi baada ya hatua hiyo na kila kitu kitakuwa wazi |
alipoulizwa kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwake na wabunge hao kwamba mchakato huo una mchezo mchafu jambo UNK yeye kuingilia mchakato huo na kuandaliwa upya kwa waraka huo wa mawaziri alisema anachoamini ni kwamba si kila mwenye akili ana busara |
UNK ni kwamba acha waseme mchakato unaendelea baada ya waraka wa baraza la mawaziri kila kitu kitakuwa wazi watanzania UNK kila kitu lakini nataka ujue kwamba si kila mtu mwenye akili ana busara acha waseme bado naamini majibu sahihi UNK jana bungeni bado nauliza hivi kuna nini kwenye mradi huo mpaka UNK hivyo |
alihoji waziri masha |
juzi wakati bwana masha akihitimisha hoja yake bungeni jana mbunge wa kilindi bibi beatrice shelukindo alimtaka waziri huyo kueleza bunge sababu zilizomfanya aingilie mchakato huo wakati kazi hiyo ilikuwa UNK na katibu mkuu wa wizara hiyo na kuweka wazi jinsi watu UNK mchakato huo UNK kinachoendelea wakati suala hilo ... |
akijibu hoja hiyo waziri masha alihoji kuna nini katika mradi huo mpaka wabunge UNK na kutaka taarifa hiyo wakati hata rais wa jamhuri ya muungano UNK |
kwa upande wao kambi ya upinzani ilimtaka bwana masha kulieleza bunge matumizi ya shilingi bilioni nne tatu zilizotengwa kwa ajili ya kazi hiyo na kueleza wasiwasi kwamba huenda wapo watu wachache wanafaidi kodi za watanzania kupitia mradi huo |
na said UNK lindi miili ya watu wawili wanasadikiwa kuwa kuwa ni miongoni mwa abiria wa ajali ya shirika la ndege la yemen iliyoanguka hivi karibuni kwenye bahari ya hindi jirani na kisiwa cha comoro zimeokotwa katika kisiwa cha songosongo wilaya ya kilwa mkoani lindi |
mkuu wa mkoa huo bwana said UNK sadiki amesema maiti hizo zimeokotwa kwenye bahari ya kisiwa hicho julai sifuri nane mwaka huu mchana |
bwana sadiki amesema maiti hizo mwanaume na mwanamke UNK kuwa ni miongoni mwa abiria wa ajali ya ndege aina ya airbus a mia tatu na kumi iliyokuwa na watu mia moja na hamsini na tatu wakiwemo wafanyakazi wake kumi na moja UNK na wakazi wa kisiwa hicho muda mfupi baada ya UNK kabla ya kutoa taarifa kwa uongozi wa serik... |
wamekwenda kutoa taarifa wilayani huku tayari UNK kwa maelezo miili hiyo ilikuwa imeshaanza kuharibika vibaya UNK maelezo aliyopewa |
kutokana na kitendo kilichofanywa na wakazi hao kuamua kuzika miili hiyo mkuu huyo wa mkoa wa lindi amewataka wananchi hususani wale waishio karibu na maeneo ya pwani kutochukua uwamuzi wa UNK maiti UNK badala yake watoe taarifa kwa uongozi wa serikali |
ninachowaomba wananchi wenzangu wa lindi wakiwemo wale waishio maeneo ya pwani wasichukue uwamuzi wa kuzika maiti UNK zikielea katika maeneo yao kabla ya kutoa taarifa serikalini kwanza UNK maiti zikielea au kando ya pwani watoe taarifa kwa uongozi wa serikali UNK kwa mujibu wa taratibu zilizopo ikiwa ni pamoja na kuz... |
hata hivyo sadiki alisema hakuna hatua iliyochukuliwa zidi ya wakazi wa kisiwa hicho sanjari na UNK maiti hizo kutokana na taarifa za wananchi hao kwamba hali za miili hiyo ilikuwa katika mazingira UNK |
ndege hiyo ya yemen aina ya airbus UNK hivi karibuni ikiwa na abiria wapatao mia moja na hamsini na tatu ambao inasadikiwa mia moja na hamsini na mbili kati yao wamepoteza maisha na kubaki UNK rabia bakari UNK na kulazwa moroni kisiwa cha comoro kwa matibabu na kurejeshwa nchini kwao ufaransa |
peter masangwa na salum pazzy mbunge wa same mashariki bibi anna kilango malecela jana alikataa kuunga mkono hoja ya bajeti ya wizara ya maliasili na utalii iliyowasilishwa bungeni na waziri wa wizara hiyo bibi shamsa mwangunga kwa kile alichoeleza ufisadi uliokithiri katika wizara hiyo |
akichangia hotuba hiyo bibi kilango alisema amefanya utafiti kuhusu kontena mbili zilizosheheni nyara za serikali zilizoibwa nchini na kukamatwa vietnam na kubaini mbinu za kifisadi zilizotumika UNK mzigo huo UNK moja kwa moja mamlaka ya bandari tanzania na wizara hiyo |
ndugu wabunge mimi UNK katika suala hili nimefanya utafiti wa kina UNK wa kutosha hadi majina ya watu waliohusika ninayo hawa ni mafisadi UNK ccm na serikali yetu alisema bibi kilango |
alisema kuwa wizara imeshindwa kusimamia utajiri wa taifa na kulisababishia hasara kubwa kutokana na ufisadi unaofanyika kwani haiwezekani kontena mbili zilizosheheni nyara za serikali kutoweka nchini bila mamlaka husika kubaini |
ningekuwa na muda mheshimiwa spika UNK walau dakika tano UNK kwanza ndipo niendelee na kueleza ufisadi huu kwani inauma sana kuona watu wachache UNK taifa kwa kiasi kikubwa kama hiki alisema bibi kilango |
alisema ana ushahidi wa kutosha jinsi ufisadi huo ulivyofanyika kwani kontena hizo zilipita na kukaguliwa na tpa na kutolewa taarifa kuwa UNK malighafi zilizotumika za plastiki |
alisema aliposoma nyaraka za kusafirisha kontena hizo zilionekana kuwa zilipitishwa na maofisa wote wa bandari kwa kukaguliwa na kuidhinishwa kama malighafi ya plastiki |
mzigo huo ulipofika vietnam ilibainika kuwa UNK uliofanyika kughushi na kupitisha kontena hizo kwani ndani yake UNK nyara za serikali |
tumshukuru mungu serikali ya vietnam ambayo ilitoa taarifa baada ya kukagua kontena hizo na kubaini kuwa kuna nyaraka za serikali kwenye shehena hiyo alisema |
alihoji jinsi kontena hizo UNK na kuitaka serikali UNK maelezo ya kina sambamba na kuwabaini waliofanya ufisadi huo kwani kuna ushahidi wa kutosha na amefanya utafiti kujiridhisha jinsi ulivyofanyika na kukuta majina ya watu mawili yaliyoandikwa katika nyaraka hizo |
bibi kilango ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya mwanamke jasiri iliyotolewa na serikali ya marekani alisema watendaji wa kifisadi ndani ya ccm wanapaswa kunggolewa mara moja kwani UNK chama na viongozi wake UNK |
alisema kuna harufu kubwa ya ufisadi unaofanywa na baadhi ya watu ndani ya ccm na hao ndio wanakwamisha ilani ya uchaguzi ya chama hicho kusonga mbele kwani wamekuwa UNK ubinafsi badala ya kuweka mbele maslahi ya taifa |
rais wetu anajitahidi kusafiri kujaribu kutafuta wahisani UNK nchi ili kuinua uchumi wa nchi lakini kuna watu wenye roho za kifisadi hawaishi kusema na kuzidi UNK taifa kwa namna hii |
alisema |
naye mbunge wa viti maalum bibi magdalena sakaya alisema taifa linapoteza fedha nyingi katika wizara hiyo kwani kodi inayotolewa na wamiliki wa hoteli ni kidogo ukilinganisha na fedha wanazolipwa na watalii |
alisema kwa sasa UNK mmoja analipa dola kumi sifuri hadi mia mbili na hamsini kwa siku huku kodi ikiwa ni dola tano hadi kumi kwa mtu mmoja |
alisema kuwa serikali inapoteza fedha nyingi katika sekta ya misitu inayouzwa kwa bei nafuu mbali na ushauri wa kitaalam kutolewa kwa serikali |
haya yanatokana na serikali kuingiza siasa katika mambo ya kitaalamu kwa kutoa matamko ambayo yanakinzana na kanuni na sheria zilizopo alisema bibi sakaya |
yadaiwa kushika nafasi ya nane duniani |
yaelezwa ina jumla ya wagonjwa mbili sifuri saba sita |
mgonjwa aliyelazwa muhimbili UNK na waandishi wetu tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi kumi zinazoongoza duniani kwa kuwa na wagonjwa wengi UNK homa ya mafua ya nguruwe |
kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana na gazeti la the sun la uingereza tanzania inashika nafasi ya nane ikiwa na jumla ya wagonjwa mbili sifuri saba sita walioripotiwa kukumbwa na ugonjwa huo |
marekani imetajwa kuwa ya kwanza kwa kuwa na jumla ya wagonjwa thebathini na tatu tisini mbili ikifuatiwa na mexico yenye wagonjwa kumi mia mbili na sitini na mbili gazeti hilo limedai nchi ya tatu ni uingereza yenye wagonjwa kumi sifuri sifuri sifuri miongoni mwao arobaini wamepoteza maisha na wengine arobaini na tat... |
katika UNK hizo canada inashika nafasi ya nne ikitajwa kuwa na jumla ya wagonjwa saba mia tisa na themanini na tatu ikifuatiwa na chile wagonjwa saba mia tatu na sabini na sita australia argentina tanzania china na japan wagonjwa moja mia saba na tisini majira lilipozungumza na naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ... |
alisema hadi kufikia juzi mtu mmoja tu aliripotiwa kuwa na ugonjwa huo nchini ambaye si mtanzania bali mwanafunzi mgeni kutoka uingereza |
ni watu wa ajabu sana waache kupotosha ukweli jana tulisema kuna mgonjwa mmoja tu naye si mtanzania bali mgeni alilazwa muhimbili na hali yake imeripotiwa kuendelea vizuri na huenda madaktari UNK baadae leo na akitoka hatutakuwa na mgonjwa mwingine |
mambo hayo ni ya uongo alisema daktari kigoda |
naye mganga mkuu wa serikali daktari deogratius mtasiwa alisema takwimu zilizotolewa na gazeti hilo ni za kutisha kwani hazipo katika shirika la afya duniani |
alisema hata UNK nchi zote UNK na ugonjwa huo idadi ya wagonjwa waliotajwa kuwepo tanzania haiwezi UNK |
daktari mtasiwa alisema gazeti hilo litakuwa na matatizo katika utendaji wake kutoka na takwimu za uongo UNK |
kwa kuwa ni gazeti la uingereza nadhani madai hayo UNK katika ngazi ya kimataifa kwani takwimu hizo hazipo hata ukichanganya nchi zote zilizoathirika na ugonjwa huo UNK idadi hiyo alisema daktari UNK |
aliwataka watanzania kutumia kuamini takwimu zilizotolewa juzi na naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii daktari aisha kigoda na kuachana na uvumi huo |
wakati huo huo mgonjwa wa mafua ya nguruwe aliyelazwa hospitali ya taifa ya muhimbili ameruhusiwa kutoka hospitalini hapo |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana jioni profesa andrew swai wa hospitali ya muhimbili alisema dalili zote alizokuwa nazo mgonjwa huyo zimekwisha |
UNK mgonjwa wetu kutokana na hali yake kwa sasa inaendelea vizuri dalili zote alizokuwa nazo zimekwisha kabisa alisema profesa swai |
alisema uchunguzi waliofanyiwa wanafunzi wengine kwenye msafara huo pamoja na walimu wao UNK kuwa na ugonjwa huo |
mgonjwa huyo akiwa na wenzake waliwasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere mwishoni mwa wiki iliyopita wakitokea uingereza kwa ndege ya shirika la ndege la kenya |
wanafunzi hao walikuja nchini kwa ziara ya mafunzo pamoja na kupanda UNK |
kabla ya kufika nchini ndege hiyo ilipitia nairobi kenya |
mgonjwa huyo aligundulika mara alipowasili uwanja hapo na kujaza fomu za uhamiaji ambazo hujazwa na abiria wote wanaotoka nje ya nchi |
wakati huo huo wizara ya afya na ustawi wa jamii imeanza kusambaza vipeperushi UNK jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo |
vipeperushi hivyo UNK jinsi ya kubaini ugonjwa huo ambao UNK kwa njia ya hewa na chafya pamoja na dalili zake |
wa mujibu wa taarifa iliyotolewa na naibu waziri wa wizara daktari kigoda wananchi wanapaswa kuwahi katika vituo vya afya pindi wanapopata mafua makali na homa za ghafla |
zaidi ya ekari mia moja na hamsini sifuri za ngano maharage na alizeti katika shamba la kafoi estate lililopo eneo la west kilimanjaro wilaya ya siha mkoani kilimanjaro zimeteketezwa na wanyama pori |
mazao hayo ambayo yalikuwa yamefikia kuvunwa UNK katika kipindi cha miezi miwili ambapo wamiliki wa eneo hilo walitoa taarifa kwa serikali na mamlaka husika bila mafanikio |
akizungumza na waandishi wa habari mtendaji mkuu wa shamba la kafoi estate bwana UNK mosha alisema wanyama hao aina ya nyumbu na pundamilia UNK mashamba hayo nyakati za usiku na kuanza mashambulizi ambapo wakulima wamejitahidi kulinda kwa usiku kucha lakini kutokana na kundi hilo la wanyama kuwa kubwa UNK |
kundi hili la wanyama sasa UNK kutokana na kwamba huwa kundi kubwa na pamoja na wakulima kukesha usiku kucha wakizunguka mashamba yao kwa taa bado hilo UNK msaada kwao na badala UNK wamejikuta wakiambulia patupu alisema bwana mosha |
wakizungumza baadhi ya wakulima wa shamba hilo walisema kuwa UNK UNK katika mashamba hayo hawawezi kuielezea kutokana na kwamba walitumia fedha nyingi katika mashamba hayo kulima na hadi kufikia mahali UNK |
wakulima hao wamedai kuwa walikopa UNK katika vikundi vya saccos ili kuweza kufanikisha UNK zao za kilimo lakini kwa sasa wameambulia vumbi na hasara huku wakiwa hawajui mahali pa kutoa fedha za kurudisha katika UNK |
kufuatia hali hiyo wakulima hao wameiomba serikali na idara ya maliasili kuingilia kati suala hilo na kuangalia uwezekano wa kuweza kuwasaidia kutokana na ukweli kwamba wametumia fedha nyingi katika shughuli zao za kilimo ambacho ndicho tegemeo lao na kujikuta wakilia njaa huku wakidaiwa na UNK wao |
tatizo hilo limekuja wakati maeneo UNK hapa nchini yakiwa yamekumbwa na janga la njaa kutokana na hali ya ukame iliyosababishwa na uhaba wa mvua |
kaimu mkuu wa mkoa wa tanga bibi sarah dumba amesema watendaji kwenye halmashauri ya wilaya ya kilindi wasitumie mazingira magumu ya kufanyia kazi katika wilaya hiyo kama kigezo cha kuharibu shughuli za maendeleo ya wananchi badala yake kila mmoja awajibike kwenye nafasi yake |
aliyasema hayo juzi kwenye baraza la madiwani kwa ajili ya kupokea ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa halmashauri ya wilaya ya kilindi UNK juni thebathini ishirini sifuri nane ambapo halmashauri ya kilindi imepata hati ya masharti |
huu ni uzembe ambao hauna sababu ya kuwepo na umetokana na watu kushindwa kuwajibika ninachowaomba watendaji waache visingizio vya mazingira magumu na kila mtu atimize wajibu wake ambapo tukiweza hivyo UNK kero hizi ndogo ndogo alisema bibi dumba ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya kilindi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.