text
stringlengths
1
1.32k
baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti walihoji iweje serikali UNK gharama ya kuwatibia na kuzika waliokufa kama tukio hilo la jana ni la ajali ya kawaida huku kwenye ajali nyingine imekuwa UNK UNK
diwani wa mbagala bwana anderson chale aliwaambia waandishi wa habari kuwa umefika wakati wa kuunda kamati maalumu ya kutafuta masalia ya mabomu maeneo yote ya mbagala vinginevyo yataendelea kuangamiza maisha ya watu
naye diwani wa mbagala bwana chale alisema baada ya kutokea milipuko ya kwanza maoafisa wa jwtz walianza kutafuta mabaki ya mabomu yaliyosambaa lakini baadaye UNK tena
askari wa jwtz walifika mapema katika eneo la tukio na kuweka uzio wa kuonesha kuwa eneo hilo ni la hatari huku wakiendelea na uchunguzi wa kubaini chanzo cha mlipuko huo
tukio hilo limekuja wakati serikali ikitumia shilingi bilioni nane tano kuwalipa fidia wakazi wa mbagala walioathirika na milipuko ya aprili ishirini na tisa mwaka huu katika kambi ya jwtz mbagala kizuiani
katika fedha hizo shilingi bilioni mbili nne UNK kwa ajili ya nyumba mia mbili na thebathini na tano UNK kabisa ambazo zinatakiwa kujengwa upya shilingi bilioni nne sita kwa ajili ya fidia ya nyumba nane mia tisa na sabini ambazo UNK lakini hazifai kukaliwa na vitu vingine UNK shilingi milioni hamsini na moja mbili UN...
alisema kuwa kazi UNK bwana mwakipesile katika jimbo lake ni sawa na kuuza kofia za polisi ambazo hazinunuliki na kwamba anajisumbua anajidhalilisha na kujifedhehesha licha ya kutumwa na mafisadi kwa ajili ya kufanya kazi hiyo
daktari mwakyembe alitoa kauli hizo za kejeli alipozungumza na gazeti hili kujibu hoja za bwana mwakipesile kuwa mbunge huyo anapotoshwa na wapambe wake wanaompa taarifa za uongo na kwamba hajawahi kuwaomba wazee wa mbeya ili UNK
ni lazima bwana mwakipesile atambue kuwa yeye ni rc na siyo mc kwa maana ya msema chochote
mkuu wa mkoa mmoja kati ya wakuu wa mikoa ishirini na moja kuzungumza magazetini kila siku UNK wabunge wanaopambana na ufisadi ni dalili ya UNK
ninalazimika kusema kuwa mwenzetu anahitaji ushauri nasaha waandishi UNK bwana mwakipesile ili kujua UNK na mbunge gani mkoani mbeya
alisisitiza daktari mwakyembe
daktari mwakyembe aliongeza kuwa kila mtu anatambua kuwa bwana mwakipesile anashinda kyela kufanya kampeni za kuhakikisha kuwa UNK mwaka ishirini moja sifuri katika uchaguzi mkuu na kwamba serikali inatambua jambo hilo
hili tatizo UNK tabu hata kidogo kwa sababu kazi anayofanya ni kama kuuza kofia za polisi mali ambazo hazinunuliki anajisumbua anajidhalilisha na kujifedhehesha alisema
daktari mwakyembe alisema kuwa alipata kura asilimia tisini na tatu katika uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri tano lakini anashangazwa na kauli aliyoitoa bwana mwakipesile katika gazeti hili kwamba wapambe ndio UNK na kumtaka atambue kuwa wapambe hao ni wananchi wote wa kyela
tatizo la bwana mwakipesile UNK sana na mafisadi ambao UNK kama wakala hiyo kazi waliyompa kwa kyela ni ngumu UNK ni sawa na kuuza kofia za polisi kwa wananchi hivyo ni lazima atambue kuwa mimi ni mti UNK UNK dawa alisisitiza daktari mwakyembe
alisema kuwa yeye alikuwa nje ya nchi na amerudi juzi ndipo UNK mwenzake akiongea hovyo katika vyombo vya habari huku akitoa malalamiko kwamba yeye ndiye anayekwamisha maendeleo ya mkoa wa mbeya
alipoulizwa kiini cha mgogoro kati yake na bwana mwakipesile unasababishwa na nini daktari mwakyembe alisema kuwa yeye hana mgogoro wowote na mkuu huyo wa mkoa bali yeye rc huyo anayekwamisha maendeleo ya mkoa huo kutokana na muda wote kukaa kyela kwa lengo la kumwondoa mbunge mwaka ishirini moja sifuri akizungumzia m...
aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba amebwaga mzigo wa upotevu wa mabilioni ya fedha kwa bodi wa wakurugenzi wa benki hiyo iliyokuwa ikiongozwa na gavana bwana daud balali
bwana liyumba alifikia hatua ya kusema hayo jana wakati wa usikilizwaji wa hoja za awali katika kesi inayomkabili ya kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi mbele ya jopo la mahakimu wanaoongozwa na bwana edson...
aliiambia mahakama kuwa hakuna fedha iliyokuwa inaweza kutolewa au kufanyika kwa mabadiliko yoyote ya mradi bila ya kupitia na kuridhiwa na bodi hiyo
hakuna fedha iliyokuwa ikilipwa bila bodi kujua na kama bodi ilijua kuwa mimi na balali tumebadili yaliyokubaliwa ndani ya mkataba wa majengo pacha na bodi ikashindwa kuchukua hatua basi bodi hiyo ilikuwa ni useless alisema bwana liyumba
kauli hiyo ya liyumba ilikuja baada ya upande wa mashitaka kumtuhumu kuwa yeye na marehemu balali walibadili makubaliano ya ujenzi huo na kufanya gharama za mradi huo kuongezeka kwa asilimia mia nne na themanini hatua iliyoisababishia hasara serikali ya tanzania
kwa mujibu wa sheria ya bot bodi ya wakurugenzi inaongozwa na gavana na kwa nafasi yake liyumba hakuwa mjumbe
alisema kuwa mabadiliko yote ya mradi yaliyofanywa yalipelekwa kwenye bodi na ilibariki mchakato wote huo kwa kuwa mradi huo ulikuwa ukisimamiwa na meneja mradi lakini pia mshauri wa mradi
nashangaa kuambiwa haya kwani mradi huu ulikuwa na meneja mradi ambaye hata hapa hajatajwa lakini mbali na hayo balali ndo alikuwa mwenyekiti wa bodi hivyo inashangaza kusikia mimi nilifanya mabadiliko hayo alisema bwana liyumba
awali upande wa mashitaka ukisoma maelezo ya kesi hiyo ulidai kuwa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini ilitolewa hoja ya ujenzi wa ofisi mpya za bot na michoro ya jengo hilo iliandaliwa na kampuni ya d s ltd na mradi huo ulijulikana kama kumi mirambo
ilidaiwa kuwa hoja ya ujenzi wa ofisi mpya ilikuja baada ya ofisi za benki hiyo kuungua moto mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nne lakini ilipofika mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa bwana balali alitoa hoja ya ujenzi wa majengo pacha hivyo mchora michoro aliambiwa kubadili michoro hiyo ili kukidh...
mkataba wa mradi huo ulisainiwa juni ishirini na tano ishirini sifuri mbili kati ya bot na kampuni ya ukandarasi ya group five east ltd kwa gharama za dola za marekani milioni sabini na tatu mradi ambao ulitakiwa umalizike ndani ya miaka mitatu
ilidaiwa kuwa bwana liyumba alikuwa na jukumu la kusimamia mradi huo lakini bila kupata idhini ya bodi akishirikiana na bwana balali walibadili makubaliano ya awali ya mkataba huo na kuongeza baadhi ya mambo ikiwemo kutoka ghorofa kumi na nne hadi kumi na nane kwa kila jengo
ilidaiwa kuwa mabadiliko haya yalibadili gharama za awali na kuwa dola za marekani mia moja na hamsini na tatu sifuri saba saba mia saba na kumi na tano sabini na tano hoja ambazo zilikanushwa na bwana liyumba
baada ya kusomwa kwa maelezo hayo na upande wa mashitaka kutaka kuwasilisha baadhi ya vilelezo ikiwemo mkataba wa mradi huo upande wa utetezi ulipinga vikali na nyaraka hizo kuwekwa sehemu ya vitu vinavyobishaniwa ambavyo vitataka mashahidi
mbali na hiyo upande wa mashitaka pia uliomba kupewa muda kwa ajili ya kuangalia ni mashahidi gani ambao watawaita kutokana na mambo yaliyobishaniwa mahakamani hapo
kwa upande wa utetezi ulisisitiza kutajwa kwa mashahidi hao pia kupewa maelezo ya mlalamikaji wa kesi hiyo ambaye alisababisha mteja wao kufikishwa mahakamani hapo
kutokana na hoja hizo idadi ya mashahidi wa upande wa mashitaka watatajwa oktoba mosi mwaka huu
serikali UNK zaidi ya shilingi bilioni thebathini na tatu nane kwenye halmashauri mbalimbali hapa nchini kwa ajili ya malipo ya walimu wa shule za msingi na sekondari yanayotakiwa kukamilika octoba kumi na tano mwaka huu
uamuzi huo una lengo la kuharakisha na kumaliza madeni ya walimu yanayohusiana na likizo matibabu kujikimu na marekebisho ya mishahara UNK kulingana na madai UNK uhakiki kwa utaratibu wa ana kwa ana chini ya usimamizi wa makatibu tawala wa mikoa yote nchini
waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bibi celina kombani aliyasema hayo jana dar es salaam alipokuwa akitoa taarifa juu ya walimu wapya walioripoti katika mamlaka za serikali za mitaa na malipo ya madai wa walimu
alisema kuwa ofisi yake imechukua hatua hiyo kwa lengo la kukabiliana na kero mbalimbali za walimu nchini ambazo zimekuwa UNK mara kwa mara na walimu hao
bibi kombani amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuwa makini katika zoezi hili ili kuondoa uwezekano wa kuwepo kwa malalamiko mengine yasiyokuwa na sababu za msingi
halmashauri zinaweza kupitisha malipo hayo moja kwa moja kwenye akaunti zao binafsi lakini ni muhimu walimu wahusika UNK kuhusu utaratibu huo alisema na kusisitiza uwazi na uwajibikaji katika kutekeleza zoezi la ulipaji wa madai ya walimu
akizungumzia suala la walimu wapya alisema serikali imedhamiria kulitekeleza na kuondoa kabisa kero ya walimu wapya kuchelewa kuingizwa kwenye mfumo wa malipo yaani payroll hivyo inajitahidi kuhakikisha walimu UNK walioripoti kwenye mamlaka za serikali za mitaa wanalipwa mishahara yao ya mwezi septemba sanjari na watu...
alisema kuwa ofisi yake UNK kuwa halmashauri nyingi UNK vizuri walimu hao na kuwalipa posho za kujikimu kwa wakati kama UNK
nawasihi walimu wote wapya waripoti na kuendelea kufanya kazi katika mamlaka walizopangiwa ili kuondoa uwezekano wa kukosa mishahara yao
alisema alisema kuwa ofisi yake UNK walimu na watumishi wote wanaoajiriwa na mamlaka za serikali za mitaa kwamba itaendelea kuboresha mapokezi na utoaji wa huduma kwa watumishi hao na watumishi wengine wote wakiwamo walimu
rais mstaafu wa awamu ya pili ali hassan mwinyi maarufu kama mzee ruksa amejikuta akilia kwa kwikwi huku akibubujikwa na machozi na kufanya viongozi alioambatana nao kuanza kumbembeleza baada ya kusikia kauli za kugusa hisia walizotoa walemavu wa viungo waliopewa msaada wa baiskeli
hali hiyo UNK juzi kwenye kijiji cha ndungu wilayani same ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa wodi ya watoto katika kituo cha afya ndungu iliyojengwa na mbunge wa same mashariki bibi anne kilango malecela
sanjari na uzinduzi wa wodi hiyo iliyojengwa kwa shilingi milioni sabini na tano kati yake shilingi milioni tano zikiwa zimechangwa na wananchi walemavu thebathini na mbili walikabidhiwa baiskeli ili ziweze kuwasaidia kwenda sehemu mbalimbali
mzee mwinyi UNK sifa kemkem kwa wananchi kutokana na sera zake za kulegeza masharti ya bishara na UNK jina la ruksa alipewa jukumu la kukabidhi baiskeli hizo na watu hao wenye ulemavu wakatoa shukurani kwa UNK ya kuvuta hisia UNK machozi kiongozi huyo
walemavu tulikuwa tunakosa fursa nyingi ikiwemo za kwenda kupiga kura kutokana na kutengwa na jamii ndugu kutotaka UNK UNK nje kwa kuwa ni aibu kwa familia lakini kwa viongozi pia UNK kwa kushindwa kutupa msaada wa aina yeyote ukiwemo wa kujiendeleza kiuchumi
lakini mbunge wetu mama anne kilango amekuwa kama mkombozi wetu tofauti na wabunge wote waliopita ambao UNK kama kuna kundi moja UNK la walemavu wa viungo lakini kwa kutupa baiskeli hizi UNK tuwe na uwezo wa kwenda kupiga kura alisema bwana charles kaoneka mkazi wa kijiji cha UNK
maneno hayo ndiyo yaliyomfanya mzee mwinyi UNK na machozi na kuwafanya baadhi ya viongozi alioambatana nao walie akiwemo kaimu mkuu wa wilaya ya same bwana athuman mdoe mbunge wa viti maalumu mkoa wa kilimanjaro bibi UNK raymond na mwenyekiti wa ccm wilaya ya same bwana UNK UNK
mzee ruksa alimmwagia sifa bibi kilango akisema kuwa uongozi ni fani na kipawa hivyo viongozi lazima wawe na sifa hizo ndiyo waweze kuwaongoza wananchi vizuri lakini kama kuna watu wataingia kwenye uongozi bila sifa hizo UNK
alisema chanzo cha ufisadi ni viongozi kukosa sifa za namna hiyo
mama kilango ni kiongozi wa kweli na ameweza kuongoza wananchi wake kwa kuwa uongozi ni fani na kipawa aliyekosa kipawa hicho UNK kiongozi mzuri kwa kuwa ameingilia shughuli za watu ndiyo maana unasikia kiongozi fulani ni fisadi alisema mzee mwinyi na kuongeza
ufisadi ni sawa na chuya ndani ya mchele inakuwa ni kitu kimoja kimoja lakini mwingi ni mchele
hivyo hiyo ni hila ya chuya sio ya mchele
na ccm vivyo hivyo yenyewe ni safi na viongozi wake ni wasafi lakini ndani yake kuna chuya na ukiamua kuondoa chuya unaweza kwa kuwa ni chache na UNK na mchele mzuri alisema mzee mwinyi
akizungumza na UNK huku akilia bibi kilango alisema UNK ni kuona wananchi wake ni maskini huku baadhi ya viongozi wachache ndani ya serikali na ccm UNK rasilimali ya nchi kwa manufaa yao huku jamii kubwa ya watanzania UNK
umasikini wa wananchi wangu ndiyo UNK niwe mkali bungeni
wengi wa wananchi wa vijijini ni masikini na najua serikali yao haina uwezo wa kuwahudumia kwa kila kitu hivyo UNK mtu anakula rushwa ama kufanya ufisadi kamwe UNK na nitapambana nao hadi kufa alisema bibi kilango
katika kituo hicho cha afya bibi kilango UNK wodi ya watoto kukarabati wodi ya wazazi na kuweka njia za kuunganisha wodi na wodi ili kuwawezesha wagonjwa UNK kwa urahisi na kujikinga na mvua na jua
inaelekea kwamba mabomu yanayozidi kulipuka na kuleta maafa katika eneo la mbagala kizuiani karibu na kambi ya jeshi la wananchi wa tanzania UNK serikali na sasa imelazimika kuunda tume mpya ya kufuatilia mabomu hayo
tume hiyo mpya UNK watalaamu wa jwtz polisi na usalama wa taifa ni ya tatu tangu maafa hayo yatokee aprili mwaka huu na iliundwa jana na mkuu wa mkoa wa dar es salaam william lukuvi kuchunguza masalia ya milipuko ya mabomu yaliyotokea aprili ishirini na tisa mwaka huu
kwa mujibu wa lukuvi watalaamu hao watapita sehemu zote wakiwa na vifaa maalumu vya kubaini wakianza na mbagala kizuiani ili kutafuta hata vipande vidogovidogo vilivyosalia ardhini
leo tumeunda tume ikiongozwa na jeshi la wananchi polisi na usalama wa taifa ili kuchunguza masalia ya mabomu yaliyosambaa ambao watapita sehemu zote wakiwa na vifaa maalumu vya kubaini mabomu wakianza na mbagala kizuiani ili kutafuta hata vipande vidogovidogo vilivyosalia ardhini alisema bwana lukuvi lukuvi alisema k...
pia daktari mwinyi aliwahi kusema kuwa serikali itatumia UNK maalumu ya kutambua masalia hayo na kukusanya mabomu UNK hatua ambayo UNK matokeo yake
tume hiyo ya lukuvi ni ya tatu baada ya zile zilizoundwa baada ya tukio la aprili ishirini na tisa mwaka huu moja ikiwa na kutafuta chanzo cha milipuko hiyo na nyingine ya kutathmini athali za milipuko hiyo hasa uharibifu wa mali
tume ya kutafuta chanzo cha milipuko hiyo UNK ripoti yake kwa daktari mwinyi lakini UNK hadharani wakati ile ya UNK iliwekwa hadharani kuwa shilingi bilioni nane tano zinahitajika kuwalipa fidia walioathirika na milipuko hiyo
mkuu wa mkoa alisema tukio lililotokea juzi na UNK vifo vya watoto wawili na kujeruhi wengine watatu limeonesha kuwa mabomu hayo yalisambaa katika eneo kubwa na yanahitaji utalaamu zaidi na kuwapatia vifaa vya kisasa ili kubaini masalia hayo
hata hivyo bwana lukuvi aliongeza kuwa timu hiyo ina vifaa vya kutosha na wataalamu UNK katika kuchunguza mabomu ya ardhini
aliwataka wananchi kutoa taarifa kwa wataalamu hao kama wanatilia shaka sehemu UNK ili kurahisisha shughuli hiyo
wananchi wote wanatakiwa kuchukua tahadhari ni sio kwa watu wa mbagala peke yake kwa kuwa mabomu hayo yalisambaa sehemu kubwa ya dar es salaam
na hatuwezi kujua UNK mpaka wapi hivyo watoe taarifa mara wanapokutana na chuma au kitu kisicho cha kawaida alisema
vile vile aliwataka wananchi wa mbagala UNK mashimo yasiyo na kazi na kutafuta sehemu maalumu ya UNK takataka pia kukaa mbali pindi kunapokuwa UNK UNK
wakati huo huo hali ya mtoto stella chawala aliyelazwa katika hospitali ya taifa muhimbili kutokana na mlipuko wa mabomu uliotokea juzi imeendelea kuwa mbaya na sasa amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum baada ya kufanyiwa upasuaji
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam ofisa uhusiano wa hospitali ya taifa muhimbili bwana jezza waziri alisema hali ya mtoto huyo bado ni tete tangu juzi alipofikishwa hapo na kufanyiwa upasuaji sehemu kadhaa UNK
hali bado ni tete na hasa baada ya kufanyiwa upasuaji ila madaktari wanafanya jitihada za kuokoa maisha yake na amewekwa icu kwa uangalizi maalum alisema
katika hatua nyingine watoto waliokufa juzi regina chawala na rajab saidi walizikwa jana huku serikali UNK shughuli zote za mazishi yao
majeruhi UNK na kuruhusiwa juzi katika hospitali temeke ni asha selemani na sada selemani ambapo hali zao zinaendelea vizuri
hadi sasa watu ishirini na nane wamekufa kutokana na milipuko ya mabomu yaliyotokea aprili ishirini na sita mwaka huu na kujeruhi watu kadhaa na kuzua hofu kwa wakazi wa mbagala
imeandikwa na godfrida jola benjamin masese na husna ridhiwan msekwa UNK yaliyotokea kenya zimbabwe
cuf yasema UNK huo ni usanii chama cha mapinduzi UNK na kutangaza kuwa UNK machafuko yaliyotokea kenya na zimbabwe yatokee zanzibar ndipo UNK serikali ya umoja wa kitaifa visiwani humo
kauli hiyo ya ccm imetolewa huku zikiripotiwa vurugu za mara kwa mara visiwani humo za kupinga utaratibu wa uandikishaji wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kutokana na vikwazo katika UNK wa vitambulisho vya ukaazi kiasi cha kusababisha jeshi la polisi kutumia mabomu kutuliza hali hiyo
akihojiwa katika kipindi cha jambo tanzania UNK dar es salaam jana na televisheni ya taifa makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius msekwa alisema kuwa chama chake UNK kuwa zanzibar kuna tatizo
UNK kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa
tatizo ni mfumo tulionao mtu akishindwa kwa kura chache anabaki nje ya serikali alisema bwana msekwa na kutahadharisha kuwa UNK matatizo yatokee kama ya zimbabwe na kenya ndipo iundwe serikali ya kitaifa
hayo ndiyo UNK
alitolea mfano uchaguzi wa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano ambapo mgombea wa ccm daktari salmin amour ilipata ushindi wa asilimia hamsini mbili na chama kilichofuatia UNK asilimia arobaini na tisa nane kikawa nje ya serikali
hii siyo hali nzuri alionya bwana msekwa
bwana msekwa UNK kutolea mfano tofauti iliyokuwepo kwa upande wa baraza la wawakilishi akisema chama kimoja kilikuwa na wawakilishi ishirini na tisa na kingine ishirini na nne hata hivyo alisema matatizo ya zanzibar UNK leo bali ni ya tangu nchi hiyo UNK uingereza ambapo kwenye uchaguzi wa kwanza zilitokea vurugu na k...
bwana msekwa alisema hali ya kutokubali matokeo iliendelea na utulivu uliokuwepo uliletwa na mfumo wa chama kimoja uliokuwa UNK
mfumo huu wa vyama vingi UNK matatizo ndipo UNK mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano tukapata muafaka lakini UNK mafanikio mwaka ishirini sifuri tano muafaka UNK tunaendelea alisema bwana msekwa
lakini kauli hiyo ya bwana msekwa UNK kwa shingo upande na chama cha cuf na UNK kuwa ni usanii wa kisiasa
mkurugenzi wa mawasiliano ya umma wa cuf bwana salim biman alisema mpango huo ni usanii wa kisiasa kwanza hatuwezi kumwamini kwa kuwa UNK na mwenyekiti wake
bwana biman alisema cuf haiwezi kukaa kwenye mazungumzo tena kwa kuwa muafaka UNK na kinachosubiriwa ni utekelezaji
UNK muundo wa serikali ya umoja utakavyokuwa wao walienda butiama wakarudi na pendekezo la kura za maoni kama wanataka wakutane makatibu wakuu wa vyama kwa ajili ya utekelezaji alisema bwana biman muafaka ulitolewa na chama cha cuf UNK ndiyo makubaliano ya kamati ya muafaka na ccm unaitaka katiba ya zanzibar iwe na ki...
kwa mujibu wa makubaliano hayo ambayo ccm UNK kutakuwa na msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya zanzibar ambaye atamsaidia rais kufuatilia utekelezaji wa siku hadi siku wa mambo ya muungano katika zanzibar
pia kikatiba ndiye atafanya kazi zote UNK na rais na UNK urais wakati rais hayupo nchini
pia kutakuwa na manaibu wawili wa rais naibu wa kwanza UNK chama cha pili katika uchaguzi na naibu wa pili atakayetoka chama sawa na UNK rais