text
stringlengths
1
1.32k
pia UNK kuwa rais atashirikiana na naibu wa kwanza wa rais katika uundaji wa baraza la mawaziri baraza la mapinduzi na nafasi zipi chama chake UNK kupata
muda wa kushika madaraka wa mtu aliyechaguliwa kuwa naibu wa kwanza wa rais utakuwa sawa na ule wa rais na mazingira ya kuacha madaraka yatakuwa sawa na yale yanayomhusu rais
UNK kwamba kiti cha naibu wa kwanza wa rais kikawa wazi kutokana na masharti hayo ya kikatiba rais UNK mtu mwingine UNK na chama cha siasa UNK naibu wa kwanza wa rais aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo kuwa naibu wa kwanza wa rais kwa muda UNK
mbali na kuzungumzia umuhimu ya serikali ya umoja wa kitaifa bwana msekwa alisema malumbano ambayo yamekuwa yakiendelea ndani ya baraza la wawakilishi na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania yanadhohofisha nguvu za chama na kukifanya kishindwe kuelekea UNK kwenda
malumbano yanadhohofisha nguvu ya pamoja ya kutaka kuelekea kule tunapotaka kuelekea alisema bwana msekwa
alisema kutokana na hali hiyo ndiyo maana mwenyekiti wa ccm kwa kutumia busara zake aliamua kuunda kamati ili kufuatilia hali hiyo na kutoa mapendekezo ya kuiondoa
aliongeza kuwa hatua ya kikao cha halmashauri kuu ya taifa kukutana na kuunda kamati ambayo yeye ni mjumbe ni utaratibu wa kawaida ndani ya chama
wengine wanaounda kamati hiyo ni bwana abdulrahaman kinana na rais mstaafu mzee ali hassan mwinyi anayeiongoza
hii siyo kwamba imetokea mara ya kwanza kwenye nec miaka yote tumekuwa tukizungumzia hali ya siasa katika kikao kilichopita UNK macho yetu katika malumbano yaliyotokea katika baraza la wawakilishi na bungeni alisema watoto wenye makengeza kutoka mikoa yote ya tanzania wametakiwa kufika katika hospitali ya taifa muhimb...
rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na daktari christine mataka wa kitengo cha macho katika hospitali hiyo alipokuwa akitoa taarifa ya wagonjwa waliojitokeza kwa mkoa wa dar es salaam kwa kipindi cha wiki tatu
alisema tangu walipotangaza kutoa tiba hiyo dar es salaam kwa watoto wenye umri usiozidi miaka kumi na tano ni watoto kumi na tano tu waliojitokeza kupata huduma hiyo
watoto hao walifanyiwa uchunguzi kwa kushirikiana na madaktari kutoka marekani na kumi na mbili kati yao walibainika kuwa na makengeza watatu walikutwa na matatizo mengine ya macho ambayo hayahusiani na makengeza
daktari mataka alisema kuna wagonjwa mbao wana makengeza lakini pia jicho au macho yote yanakuwa hayaoni hivyo hata akifanyiwa upasuaji hataweza kuona
kwa wenye macho yasiyoona hatuwafanyii haraka upasuaji sababu hauna manufaa kwao kwani hata akifanyiwa bado atakuwa haoni isipokuwa sura yake itakuwa imekaa vizuri kwa mwonekano alisema
alisema wanaofanyiwa haraka upasuaji ni wale wenye makengeza na macho yao yanaona kama kawaida
akizungumzia watoto wachanga alisema akibainika ana makengeza hushauri asifanyiwe upasuaji haraka hadi atakapokua kidogo kwani akifanyiwa mapema macho yanarudia kupinda tena baada ya miaka mitano hadi sita
kufuatia tangazo hilo wagonjwa zaidi wanaendelea kujitokeza na watoto kutoka mikoa mbalimbali wanaruhusiwa kufika kwa ajili ya kupata huduma hiyo baada ya kupata rufaa katika hospitali za mikoa wanamoishi
hata hivyo alisema si lahisi huduma hiyo kutolewa mikoani kwani wako wachache na vifaa wanavyotumia ni vikubwa ambayo ni usumbufu kuvisafirisha
UNK risasi mmoja UNK gari
wasichana wawili wanusurika kifo
polisi wadai hawana mafuta vocha majambazi yakiwa na bunduki jana yalimvamia msichana na kumjeruhi vibaya kaka yake maeneo ya sinza UNK jijini dar es salaam katika tukio linaloweza kufananishwa na mchezo wa kuigiza
sakata hilo lilitokea eneo hilo usiku wa kuamkia juzi ambapo watu wawili wakiwa na bastola UNK mabinti wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana waliokuwa ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa nje ya nyumba ya mama abdul mkazi wa sinza kumekucha
katika tukio hilo ambalo iliwachukua polisi wa kituo cha mabatini kijitonyama zaidi ya saa nzima kufika eneo la tukio abdalah amrani mtoto wa mama abdul alijeruhiwa kwa risasi na majambazi hayo
watu walioshuhudia tukio hilo wakiwemo mabinti hao UNK vitu na majambazi hayo pamoja na mama abdul walisema mpaka sasa UNK nia ya majambazi hayo ilikuwa ni nini
majambazi hao walifuatilia nyendo za mabinti hao na jinsi ambavyo hawakuonesha nia ya kupora gari hilo lakini wakaonekana kutaka pochi na simu walizokuwa nazo mabinti hao baada ya kuwa UNK kioo cha gari kwa kutumia nyundo na kisha kuanza kutoa vitisho vya kuwapiga risasi kabla UNK na watu
akizungumza na gazeti hili mama abdul alisema akiwa yuko sebuleni kwake katika muda wa saa sita usiku alisikia honi ya gari getini kwake UNK watoto wake aliambiwa kuwa hao rafiki zake na watoto wake waliokuwa wamekwenda UNK mmoja wa mabinti wa mama huyo kwenda UNK
kwa kweli mpaka sasa hatuwezi kuelewa nini hasa ilikuwa nia ya watu hao kwa sababu kwa mujibu wa watu waliokuwa nje walisema kuwa walishushwa na gari aina ya prado iliyokuwa UNK upande ambako mabinti zangu hao walikuwa wameelekeza gari baadaye UNK
alisema kuwa dulla alipofungua geti hakuweza kuelewa haraka kilichokuwa kikiendelea pale hivyo aliuliza kilichokuwa kikiendelea pale na kuwataka watu wale waondoke mara moja eneo hilo
aliongeza kuwa wakati watu hao wakiondoka mmoja wa walinzi wa maeneo hayo akawa amejitokeza kutoa ushirikiano wa kutaka kumkamata mmoja wao ndipo jambazi mmoja aliyekuwa na bunduki UNK risasi UNK dulla mguuni eneo la paja
kwa upande wao mabinti UNK na kuporwa fedha taslimu shilingi sitini sifuri sifuri sifuri pamoja na vitu vingine vyenye thamani kama vile simu za mkononi
alisema kuwa kitu cha ajabu UNK kufungua milango majambazi wale walitumia nyundo kupasua kioo na kuwaamuru UNK pochi na simu zao za mkononi huku wakiwa UNK mmoja wao bastola UNK
wakizungumzia jinsi walivyopata msaada wa polisi walisema walishangazwa jinsi askari hao UNK muda mrefu kufika eneo la tukio hata baada ya kuwa wameenda kuripoti mapema kituo cha mabatini kwa kisingizo kuwa magari hayakuwa na mafuta na wala hawakuwa na vocha kwa ajili ya kuwapigia simu wakubwa wao kupata maelekezo zai...
kauli za kuwa gari halina mafuta na kutokuwa na vocha zilikuwa UNK mara kwa mara huku wakitaka mwanangu UNK maelezo ndio apatiwe pf tatu wakati yuko katika hali mbaya mpaka UNK basi mimi UNK hapo ili UNK hospitali UNK kuondoka
kwa mujibu wa mama abdul hali ya dulla ilikuwa inaendelea vizuri katika hospitali ya taifa muhimbili na alitarajiwa kuruhusiwa wakati wowote jana hiyo baada ya kuonekana risasi UNK sehemu ya UNK wowote
mgogoro UNK kati ya mwekezaji katika mashamba ya chai yaliyoko katika mikoa ya iringa na tanga umechukua sura mpya baada ya ikulu ya dar es salaam kuhusishwa nao
mwekezaji huo nawab mulla ambaye ndiye mmiliki mwenye hisa nyingi katika kampuni ya chai lupembe iliyoko njombe mkoani iringa na mponde iliyoko korogwe tanga UNK uzalishaji kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa baada ya kundi la watu wanaojiita mungiki kuvamia viwanda hivyo kujeruhi watu na kupora mali ya mamilioni ya shiling...
serikali iliuza viwanda vya chai vilivyokuwa chini ya mamlaka ya chai tanzania ambapo mulla pamoja na wawekezaji wengine UNK kwa kufuata taratibu zote kupitia tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya umma lakini machi na agosti mwaka jana mungiki walianza uvamizi huo katika msitu wa sakare uliopo korogwe na ule wa iye...
mgogoro wa hivi karibuni umeibuka baada ya waandishi wa habari watano waliokwenda kufuatilia sakata hilo kupigwa na kujeruhiwa na mungiki kabla hawajafika kwenye kiwanda cha lupembe kilichoko njombe julai kumi na tano mwaka huu ambapo hadi leo hakuna hatua UNK dhidi ya wahalifu hao
UNK malalamiko yetu hadi kwa igp mwema akaahidi kulishughulikia ndani ya siku kumi na nne lakini hakuna kinachoendelea
ila tumeambiwa na mmoja wa maafisa polisi iringa kwamba munguki hawawezi kutishika kwa sababu wanakingiwa kifua na wakubwa ikulu alisema carlos UNK mmoja wa waandishi waliojeruhiwa vibaya katika vurugu hizo
mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai robert manumba alipoulizwa kuhusu sakata hilo hakutaka kulizungumzia na badala yake alimwelekeza mwandishi wa habari hizi kuwasiliana na makamanda wa polisi wa mikoa kuhusika
alipoulizwa juzi kamanda wa polisi wa mkoa wa iringa UNK mangalla alisema mmoja wa watuhumiwa hao alikamatwa na kufikishwa kortini na kwamba polisi inafanya uchunguzi kuhusu wengine waliohusika kuwajeruhi waandishi
kuhusu mungiki kukingiwa kifua na vigogo alisema hana uhakika
hili suala UNK mara kwa mara
tumemkamata mmoja na kumfungulia mashitaka
kuhusu watuhumiwa kulindwa na wakubwa hilo sina uhakika nalo alisema UNK
hata hivyo walioshuhudia tukio hilo wanasema UNK waandishi wapo kiwandani hapo hawawezi kuguswa kwa kuwa wana kinga ya ikulu na kwamba ndio maana polisi wanashindwa kwenda UNK
machi mwaka jana kundi la mungiki lilivamia msitu wa sakare ulioko korogwe na kusababisha kiwanda cha chai mponde nusura kifungwe lakini UNK na ushirika wa wakulima wa chai wa lushoto utega wakiongozwa na william shelukindo mbunge wa bumbuli ccm kujitolea kutafuta vyanzo vingine vya kuni kwa ajili ya kusindika chai
agosti mwaka jana kundi hilo UNK mashambulizi yao katika kiwanda cha chai lupembe iringa wakafanya uharibifu mkubwa wa miundombinu na kusababisha kifungwe hadi leo
mwaka jana mahakama kuu ya ardhi UNK kampuni ya udalali ya yono kuwaondoa wavamizi kwenye kiwanda cha chai lupembe lakini maafisa wa kampuni hiyo waliambulia kipigo na kupewa matibabu lakini cha ajabu hakuna mungiki UNK hadi leo
hisia kwamba mungiki hao wanaweza kuwa wanakingiwa kifua na baadhi ya vigogo ikulu inaelezwa na ukweli kwamba hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa na pili kutokana na ukweli mwingine kwamba katibu mkuu kiongozi philemon luhanjo alitoa kauli iliyoashiria kuwapa nguvu mungiki
luhanjo ambaye hivi karibuni alikuwa akizungumza kwenye msiba wa chifu mbanga ambaye ni babake khamis chifupa kijijini kwake lupembe gerezani aliwahamasisha vijana kumuenzi chifu UNK
chifu mbanga alikuwa mlezi wa mungiki ambao wengi wao ni wanachama wa vyama vya wakulima lupembe
katibu huyu kiongozi pia anatuhumiwa kumpigia simu mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya lupembe tea estate yussuf mulla akimtaka kuruhusu kuuzwa kwa miti katika msitu wa iyembele unazalisha kuni za kukaushia chai huku mgogoro ukiwa bado UNK ufumbuzi
hata hivyo UNK alinukuliwa na gazeti moja la kila wiki hivi karibuni akikanusha habari hizo kwamba mungiki UNK na ikulu na kwamba habari hizo UNK na watu wachache wenye lengo la kumharibia jina kisiasa
wafuatiliaji wa sakata hilo wanasema kwamba mungiki pia UNK na wafanyabiashara wenye maslahi katika biashara ya chai ambao wanaotumia siasa na hujuma kuwamaliza mwenzao kibiashara na kisiasa
mulla ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm mkoani mbeya anasema amepata hasara kubwa kwa kuwa amewekeza jumla ya shilingi bilioni tano kwenye miradi hiyo ambayo imefungwa na kwamba wafanyakazi zaidi ya kumi na tano sifuri sifuri sifuri wamekosa ajira tanga na iringa
anasema kila anapolalamika anaambiwa uzalishaji hauwezi kuanza kwa sababu ya machafuko ya hali ya siasa
lakini mbona maeneo mengine yenye vurugu za uwekezaji polisi wanachukua hatua
nahisi kuna watu wanataka kutupora mali iliyopatikana kihalali kwa sababu tu za kisiasa analalamika UNK
ni kupitia mchongo wa watumishi moja mia tano na kumi na moja
hata waliokufa UNK mabilioni kiaina
waziri UNK aapa kuwaburuta vigogo kortini serikali imepoteza shilingi bilioni nne arobaini na nane kwa kuwalipa mishahara wafanyakazi hewa wa sekta ya afya moja mia tano na kumi na moja wakiwemo waliokufa wastaafu waliohamishwa na ambao hawajulikani walipo
wafanyakazi hao hewa wamebainika kutokana na uhakiki uliofanywa na ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma kati ya aprili na julai mwaka huu ambapo wizara ya afya na ustawi wa jamii inaongoza kwa kuwa na watumishi mia tatu na tisini na tano hayo yalisemwa dar es salaam na waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti...
alisema kiasi hicho cha shilingi bilioni nne arobaini na nane UNK kulipa wafanyakazi hao hewa tangu mwaka ishirini sifuri tano hadi machi mwaka huu
tatizo la kuwepo kwa watumishi hewa limeonekana kuwa sugu waajiri walio wengi wanashindwa kuwatafuta watumishi walio katika orodha ya malipo ya mishahara alisema bibi ghasia
bibi ghasia alisema hospitali ya taifa muhimbili inashikilia nafasi ya pili kwa kuwa na watumishi hewa mia tatu na sitini na nne mikoa mingine na watumishi hewa kwenye mabano kama ilivyoainishwa na bibi ghasia ni arusha tanga tabora pwani ruvuma mwanza lindi sabini na moja iringa na morogoro
alitaja mikoa mingine kuwa ni dodoma kagera kilimanjaro manyara mbeya shinyanga dar es salaam singida mara mtwara na kigoma
alisema watumishi hao hewa waligundulika kutokana na uhakiki uliofanyika wizara ya afya hospitali za rufaa hospitali za mikoa hospitali za mshirika ya dini hospitali teule hospitali za wilaya vyuo taasisi za afya wakala vituo vya afya na zahanati
bibi ghasia alisema waliogundulika wakilipwa mishahara wakati hawafanyi kazi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kufariki kustaafu kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine
alisema wengine wamebainika wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko stahili zao
alifafanua kuwa tatizo hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa uwajibikaji miongoni mwa wenye dhamana ya masuala ya UNK
serikali itachukua hatua kali kwa wale wote watakaobainika kushiriki kwa namna moja au nyingine na kusababisha watumishi hewa kuingizwa kwenye malipo ya mishahara serikalini alisema bibi ghasia
aliwaagiza waajiri kuangalia suala zima la watumishi ili kuondoa upotevu wa fedha za serikali zinazolipwa kwa watu ambao UNK taifa
hii ni mara ya pili kwa serikali ya awamu ya nne kufanya uhakiki wa watumishi tangu iingie madarakani
uhakiki wa kwanza ulifanyika katika sekta ya elimu mwaka juzi ambapo waligundulika watumishi hewa moja mia nne na kumi na tatu ambao walikuwa wameisababishia UNK hasara ya shilingi bilioni tatu sifuri nne nne watumishi wa sekta ya afya na elimu kwa pamoja wameisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni saba tisa b...
boti mpya UNK uwezo wa kuchukua abiria hamsini sifuri imezinduliwa jijini dar es salaam na itakuwa inafanya safari kati ya dar es salaam unguja na pemba
pamoja na uzinduzi huo wamiliki wa boti hiyo wameiomba serikali kuangalia upya kodi za vipuri vya magari na boti ili kusaidia kupunguza gharama za usafiri kwa wananchi
ushauri huo ulitolewa jijini juzi na meneja mkuu wa kampuni za azam marine na coastal fast marine bwana hussein mohamed issa katika uzinduzi wa boti mpya ya kilimanjaro inayomilikiwa na kampuni ya azam uliofanyika bandarini jijini dar es salaam
alisema kuwa wawekezaji wengi katika usafirishaji wamekuwa wakijitahidi kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa bei nafuu lakini suala hilo linashindikana kutokana na kodi ya vipuri kuwa kubwa
bwana issa alisema kuwa ni boti hiyo ni mpya na ya kisasa ikiwa UNK katika madaraja matatu upande wa viongozi v p na daraja la kawaida
boti hii UNK kwa oda maalumu kutoka australia na ilichukua muda wa miezi nane kutengenezwa ina kila kitu mpaka huduma kwa wagonjwa ambapo kwa wale UNK wagonjwa wana uhakika wa kupata sehemu nzuri yenye usalama
ni boti yenye thamani kubwa kiasi kwamba baadhi ya nchi nyingi afrika hawana kama hii alisema
aliongeza kuwa katika utengenezaji wamezingatia watu wenye ulemavu na huduma kwao vikiwamo vyoo viwili kwa ajili yao
mbali na fundi UNK na masuala ya umeme kutoka australia bwana matt francis hakuna UNK wa kigeni UNK boti hiyo
kapteni ni yule yule bwana clement UNK na mafundi ni walewale na wafanyakazi wote ni watanzania hakuna mgeni alisisitiza meneja huyo
chama cha demokrasia na maendeleo kimesema hakitambui muungano wa uliofanywa kati ya wanachama wake na wale wa chama cha wananchi juu ya kuachiana mitaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika octoba ishirini na tano mwaka huu
afisa habari na uenezi bwana erasto tumbo kuwa chama hakitambui muungano huo UNK mwenyekiti wa UNK mtaa wa picha ya ndege lulanzi mkoani pwani bwana jumanne mohamed
bwana tumbo alisema makao makuu ya chama haitambui muungano huo kwa kuwa hatua hiyo imefikiwa bila idhini ya makao makuu
chama chetu hakitambui jambo hilo na UNK wagombea katika kila mtaa na hatupo tayari kuacha sehemu eti kwa UNK ya chama fulani kina nguvu katika eneo fulani huu siyo msimamo wa chama alisema bwana tumbo
alisema maamuzi yaliyofanywa na kiongozi huyo yalikuwa ni ya kwake binafsi na chama UNK mgombea kila mtaa ili kushindana na vyama vingine
mohamed alikaririwa na gazeti hili juzi akisema juzi kuwa chama chake mtaa wa picha ya ndege lulanzi UNK na cuf kuachiana mitaa ambayo chama kinakubalika ili kuongeza nguvu katika uchaguzi wa serikali za mitaa
alisema vyama hivyo katika eneo hilo vipo katika mchakato wa kubaini chama kipi kinakubalika wapi na yeye amesimamishwa kugombea nafasi hiyo picha ya ndege lulanzi UNK mtaa wa UNK UNK kwa mgombea wa cuf na gladness mboma kamati ya bunge ya nishati na madini imemtaka waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja ku...
kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika ndani ya kamati hiyo iliyokutana dar es salaam jana bwana ngeleja alitakiwa kupeleka taarifa zilizojitosheleza baada ya kuwasilisha ripoti inayohusu mgodi huo ambayo UNK kwa UNK
ripoti tumeipokea lakini UNK hata kidogo hivyo tumemtaka bwana ngeleja UNK nyingine na kutuletea taarifa kamili
tumemtaka pia UNK taarifa za siri zilizojitosheleza na mikataba ya mgodi wa wdl kwani ripoti nzima haijitoshelezi kilisema chanzo hicho
bwana ngeleja UNK wabunge katika maelezo yake baada ya kuwaeleza kuwa kampuni ya petra diamonds limited ambayo imenunua kampuni ya willcroft UNK asilimia sabini na tano bila ya kutolea ufafanuzi
kamati imemtaka bwana ngeleja kutupa ufafanuzi ni kwa nini kampuni hiyo ichukue asilimia sabini na tano
kuna mkanganyiko mkubwa katika ripoti hii UNK sisi watanzania tutavuna nini kwenye mgodi huo chanzo hicho UNK
pia kamati UNK na deni kubwa la dola za marekani milioni themanini na saba tano lililoachwa na willcroft ambalo serikali inapaswa UNK kabla ya kununuliwa na petra diamonds limited