text stringlengths 1 1.32k |
|---|
tatizo ni kwamba wawakilishi wa serikali kwenye wdl hawajawahi kuhudhuria kikao hata kimoja na ndio maana kampuni hiyo iko kifua mbele |
uzembe huu ni wa kujitakia alisema |
wawakilishi wa serikali kwenye kampuni ya wdl UNK vikao kumi |
baadhi ya wawakilishi hao ni bwana fred mpendazoe bibi lucy mayenga na wengine kutoka wizara za nishati na madini na fedha na uchumi |
alisema hali hiyo ndiyo inayosababisha sekta hiyo ya madini kulegalega na baadhi ya kampuni kufaidika na madini huku serikali ikiachiwa mzigo mkubwa wa UNK |
awali kamati hiyo iliruhusu waandishi wa habari kuingia katika kikao hicho |
baada ya bwana ngeleja kusoma ripoti yake aliiomba kamati hiyo kuijadili wenyewe bila ya waandishi |
mvutano mkali uliibuka kati ya wabunge wa kamati hiyo ambao baadhi yao walitaka waandishi wabaki na wengine wakitetea kauli ya bwana ngeleja ambaye alisisitiza mwenyekiti atatoa taarifa kwa waandishi baada ya kumalizika kwa kikao hicho jambo ambalo wabunge hao UNK kwa shingo upande |
licha ya serikali kutafuta mabomu yanayoendelea kulipuka na kusababisha maafa mbagala panya waliohitimu digrii ya kutegua mabomu katika chuo kikuu cha kilimo sokoine UNK eneo hilo kusaidia kubaini mahali yalipo kwa sababu wanaweza kuchanganyikiwa |
akizungumza na gazeti hili kwa simu juzi mratibu wa mradi huo upande jeshi la wananchi wa tanzania brigedia jenerali charles UNK alisema panya hao UNK kubaini mabomu UNK kwa mpangilio maalumu na ambayo yanakuwa hayajalipuka |
wanafanya kazi katika eneo ambalo halina alama ya mlipuko kama kuna mlipuko UNK alisema brigedia jenerali UNK |
gazeti hili lilitaka kujua kama panya hao kwa sasa watapelekwa mbagala kufanya kazi ya utambuzi wa mabomu kufuatia kupungua kwa milipuko ikilinganishwa na ilivyokuwa aprili ishirini na tisa mwaka huu hivyo kuondoa uwezekano wa panya kuchanganyikiwa |
wasimamizi wa mradi huo waliwahi kulieleza gazeti hili wakati mabomu yalipokuwa UNK kwa wingi kuwa kwa hali ilivyokuwa kama wangepelekwa wangeweza kuchanganyikiwa |
panya hao UNK kufanyakazi ya uteguaji mabomu ya kutegwa ardhini kwa ufanisi nchini msumbiji |
uchunguzi wa kutumia panya kunusa na kuashiria UNK mabomu umetokana na faida mbalimbali alizonazo panya ikilinganishwa na wanyama wengine |
wataalam mbalimbali wanaeleza kuwa udogo wa panya huwafanya kuwa karibu zaidi na ardhi na uwezo mkubwa wa kunusa hivyo kuwa rahisi kwake kutambua mabomu |
utafiti huo unafanyika kwa ushirikiano mkubwa wa wataalamu wa milipuko wa jeshi la wananchi wa tanzania na unaoendeshwa chini ya mkataba wa ushirikiano baina ya sua na chuo kikuu cha UNK cha ubelgiji na shirika la kujitolea la uondoaji wa mabomu ya kutengwa ardhini |
mwisho mwendesha pikipiki bwana rajabu saidi mkazi wa minazi mirefu wilaya ya ilala UNK na UNK na kufariki dunia muda mfupi baada ya UNK na kutoka UNK |
tukio hilo lilitokea juzi saa kumi na moja jioni wakati said akitokea eneo la migombani alipojaribu UNK reli na pikipiki kuzimika ghafla huku treni ikiwa imekaribia eneo hilo |
akiwa UNK kuvuta pikipiki yake bila mafanikio huku mashuhuda waliokuwepo UNK mayowe kumtaarifu kukimbia lakini kabla UNK hatua ghafla UNK na kumburuza kama mita tano na baadaye kusimama |
mwili wa marehemu UNK UNK mkono miguu na upande mmoja wa kichwa kujeruhiwa vibaya ulipelekwa hospitali ya amana |
marafiki wa marehemu walisema kuwa pikipiki hiyo alikuwa UNK kwa jitihada zake mwenyewe na kuanza kuifanyia biashara katika kituo cha UNK kwenda temeke kiwalani na sehemu zingine |
wazazi wa marehemu walipata mshutuko baada ya kupata taarifa za kifo hicho na kuzimia kwa muda |
hadi jana tukio hilo halikuwa katika taarifa zilizotolewa na polisi na afisa mmoja alisema hawakuwa na tukio hilo |
watoto wenye makengeza kutoka mikoa yote ya tanzania wametakiwa kufika katika hospitali ya taifa muhimbili kwa ajili ya kupata matibabu ya ugonjwa huo bure |
rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na daktari christine mataka wa kitengo cha macho katika hospitali hiyo alipokuwa akitoa taarifa ya wagonjwa waliojitokeza kwa mkoa wa dar es salaam kwa kipindi cha wiki tatu |
alisema tangu walipotangaza kutoa tiba hiyo dar es salaam kwa watoto wenye umri usiozidi miaka kumi na tano ni watoto kumi na tano tu waliojitokeza kupata huduma hiyo |
watoto hao walifanyiwa uchunguzi kwa kushirikiana na madaktari kutoka marekani na kumi na mbili kati yao walibainika kuwa na makengeza watatu walikutwa na matatizo mengine ya macho ambayo hayahusiani na makengeza |
daktari mataka alisema kuna wagonjwa mbao wana makengeza lakini pia jicho au macho yote yanakuwa hayaoni hivyo hata akifanyiwa upasuaji hataweza kuona |
kwa wenye macho yasiyoona hatuwafanyii haraka upasuaji sababu hauna manufaa kwao kwani hata akifanyiwa bado atakuwa haoni isipokuwa sura yake itakuwa imekaa vizuri kwa mwonekano alisema |
alisema wanaofanyiwa haraka upasuaji ni wale wenye makengeza na macho yao yanaona kama kawaida |
akizungumzia watoto wachanga alisema akibainika ana makengeza hushauri asifanyiwe upasuaji haraka hadi atakapokua kidogo kwani akifanyiwa mapema macho yanarudia kupinda tena baada ya miaka mitano hadi sita |
kufuatia tangazo hilo wagonjwa zaidi wanaendelea kujitokeza na watoto kutoka mikoa mbalimbali wanaruhusiwa kufika kwa ajili ya kupata huduma hiyo baada ya kupata rufaa katika hospitali za mikoa wanamoishi |
hata hivyo alisema si lahisi huduma hiyo kutolewa mikoani kwani wako wachache na vifaa wanavyotumia ni vikubwa ambayo ni usumbufu kuvisafirisha |
mwisho zikiwa zimepita zaidi ya wiki tatu tangu chama cha demokrasia na maendeleo UNK mfumo wa UNK UNK kupata wanachama kupitia ujumbe wa simu na mtandao wa kompyuta bado UNK huo haujaanza kutumika |
katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa wapo hatua ya mwisho ya kukamilisha utaratibu huo UNK kuanza kutokana na mambo ya kitaalamu mfumo huo ulizinduliwa septemba tatu mwaka huu katika ukumbi wa shule ya sekondari ya mbezi beach na mwenyekiti wa chama hicho bwana freeman mbowe akitamba kuwa UNK chadema kuvuna ma... |
kwa mujibu wa bwana mbowe chama chake kitakuwa ni cha kwanza afrika kutumia mfumo huo ambao umekuwa ukitumiwa na vyama vingi katika nchi zilizoendelea |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana daktari slaa alisema mfumo huo uko katika hatua za mwisho kwani sasa kilichobaki ni mambo ya data base tumekuwa tukipata simu na ujumbe mfupi kutoka kwa wanachama wetu kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu mfumo huo lakini tumekuwa UNK kwa bado mambo ya kitaalamu ya... |
alisema hawezi kutoa siku kamili ya kuanza kufanya kazi kwa mfumo huo kwani yeye si mtalaamu lakini watakapomaliza kufanya kazi hiyo itatangazwa katika vyombo vya habari ili wanachi wote waelewe nini kinachofuata baada ya uzinduzi huo |
alisema mfumo huo utawezesha wanachama kujiunga na chadema kwa wingi kwani ndio mfumo unaotumiwa na vyama vingi nchini marekani |
daktari slaa alisema mpango huo utakiwezesha chama hicho kuwa na oganaizesheni ya kiteknolojia sanjari na oganaizesheni yake ya sasa ya matawi na vikao vyake vya UNK |
bwana slaa alisema kama mtu anayetaka kujiunga na chadema iwapo mfumo huo utakapokamilika atalazimika kutuma ujumbe mfupi wa simu yake ya mkononi kwa kuandika neno chadema kwenda namba elfu kumi na tano na mia saba na kumi na baada ya kufanya hivyo atakuwa UNK kiasi hicho cha shilingi thebathini sifuri kila mwezi |
mwisho aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi wa benki kuu ya tanzania bwana amatus liyumba amebwaga mzigo wa upotevu wa mabilioni ya fedha kwa bodi wa wakurugenzi wa benki hiyo iliyokuwa ikiongozwa na gavana bwana daud balali |
bwana liyumba alifikia hatua ya kusema hayo jana wakati wa usikilizwaji wa hoja za awali katika kesi inayomkabili ya kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya majengo pacha ya bot bila idhini ya bodi mbele ya jopo la mahakimu wanaoongozwa na bwana edson... |
aliiambia mahakama kuwa hakuna fedha iliyokuwa inaweza kutolewa au kufanyika kwa mabadiliko yoyote ya mradi bila ya kupitia na kuridhiwa na bodi hiyo |
hakuna fedha iliyokuwa ikilipwa bila bodi kujua na kama bodi ilijua kuwa mimi na balali tumebadili yaliyokubaliwa ndani ya mkataba wa majengo pacha na bodi ikashindwa kuchukua hatua basi bodi hiyo ilikuwa ni useless alisema bwana liyumba |
kauli hiyo ya liyumba ilikuja baada ya upande wa mashitaka kumtuhumu kuwa yeye na marehemu balali walibadili makubaliano ya ujenzi huo na kufanya gharama za mradi huo kuongezeka kwa asilimia mia nne na themanini hatua iliyoisababishia hasara serikali ya tanzania |
kwa mujibu wa sheria ya bot bodi ya wakurugenzi inaongozwa na gavana na kwa nafasi yake liyumba hakuwa mjumbe |
alisema kuwa mabadiliko yote ya mradi yaliyofanywa yalipelekwa kwenye bodi na ilibariki mchakato wote huo kwa kuwa mradi huo ulikuwa ukisimamiwa na meneja mradi lakini pia mshauri wa mradi |
nashangaa kuambiwa haya kwani mradi huu ulikuwa na meneja mradi ambaye hata hapa hajatajwa lakini mbali na hayo balali ndo alikuwa mwenyekiti wa bodi hivyo inashangaza kusikia mimi nilifanya mabadiliko hayo alisema bwana liyumba |
awali upande wa mashitaka ukisoma maelezo ya kesi hiyo ulidai kuwa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini ilitolewa hoja ya ujenzi wa ofisi mpya za bot na michoro ya jengo hilo iliandaliwa na kampuni ya d s ltd na mradi huo ulijulikana kama kumi mirambo |
ilidaiwa kuwa hoja ya ujenzi wa ofisi mpya ilikuja baada ya ofisi za benki hiyo kuungua moto mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nne lakini ilipofika mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa bwana balali alitoa hoja ya ujenzi wa majengo pacha hivyo mchora michoro aliambiwa kubadili michoro hiyo ili kukidh... |
mkataba wa mradi huo ulisainiwa juni ishirini na tano ishirini sifuri mbili kati ya bot na kampuni ya ukandarasi ya group five east ltd kwa gharama za dola za marekani milioni sabini na tatu mradi ambao ulitakiwa umalizike ndani ya miaka mitatu |
ilidaiwa kuwa bwana liyumba alikuwa na jukumu la kusimamia mradi huo lakini bila kupata idhini ya bodi akishirikiana na bwana balali walibadili makubaliano ya awali ya mkataba huo na kuongeza baadhi ya mambo ikiwemo kutoka ghorofa kumi na nne hadi kumi na nane kwa kila jengo |
ilidaiwa kuwa mabadiliko haya yalibadili gharama za awali na kuwa dola za marekani mia moja na hamsini na tatu sifuri saba saba mia saba na kumi na tano sabini na tano hoja ambazo zilikanushwa na bwana liyumba |
baada ya kusomwa kwa maelezo hayo na upande wa mashitaka kutaka kuwasilisha baadhi ya vilelezo ikiwemo mkataba wa mradi huo upande wa utetezi ulipinga vikali na nyaraka hizo kuwekwa sehemu ya vitu vinavyobishaniwa ambavyo vitataka mashahidi |
mbali na hiyo upande wa mashitaka pia uliomba kupewa muda kwa ajili ya kuangalia ni mashahidi gani ambao watawaita kutokana na mambo yaliyobishaniwa mahakamani hapo |
kwa upande wa utetezi ulisisitiza kutajwa kwa mashahidi hao pia kupewa maelezo ya mlalamikaji wa kesi hiyo ambaye alisababisha mteja wao kufikishwa mahakamani hapo |
kutokana na hoja hizo idadi ya mashahidi wa upande wa mashitaka watatajwa oktoba mosi mwaka huu |
chama cha wananchi kimesema wakati wa maandamano yake keshokutwa UNK baadhi ya barabara za jiji la dar es salaam ili kushinikiza kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi na kutungwa kwa katiba mpya ambayo UNK wigo kwa demokrasia nchini |
akizungumza jana dar es salaam katika kongamano la wanachama wa cuf katibu mkuu wa chama hicho seif sharif hamad alisema maandamano hayo yataanzia katika barabara ya uhuru bibi titi na maktaba hadi kwa msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa |
alisema kuwa maandamano hayo yatakuwa ya kihistoria UNK kuwa wananchi wamechoshwa na ubovu wa tume ya taifa ya uchaguzi ambayo imekuwa kichaka cha chama tawala katika maandamano yetu tunatoa wiki mbili kwa bwana tendwa kumaliza UNK hilo kama sivyo tutaandamana tena hadi ofisi ya waziri mkuu na UNK pia huko tutaandaman... |
akizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa alisema kuwa wananchi wanatakiwa kupewa haki ya kujiandikisha bila vikwazo na uhuru wa kuwachagua viongozi wanaowataka ili kuepusha migogoro ya kisiasa |
kwa upande wa kasoro zilizojitokeza katika shughuli za uboreshaji wa daftari la wapiga kura alisema ni chuki za kupandikizwa na baadhi ya viongozi na kutaka kuwanyima wananchi haki yao ya msingi ya kupiga kura katika uchaguzi wa wawakilishi |
naye mkurugenzi uenezi na mahusiano ya umma cuf bibi ashura mustafa UNK baada ya maandamano dar es salaam septemba thebathini oktoba moja UNK na wenzetu morogoro UNK tume huru ya uchaguzi kuundwa na kutupatia majibu ya kuridhisha kwa kile tunachokidai alisema bibi mustafa mwisho makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius mse... |
bwana msekwa ambaye kwa nyakato tofauti amewahi kuwa katibu wa bunge na spika wa bunge alitoa kauli hiyo dar es salaam jana wakati akihojiwa katika kipindi cha medani za siasa kilichorushwa na star tv |
kuwa na kikundi cha wabunge wachache wa kupambana na uovu siyo jambo baya alisisitiza bwana msekwa ambaye ni mjumbe wa kamati ya nec inayochunguza mahusiano ya wabunge wa ccm na serikali yao akiwa pamoja na abdulrahaman kinana na rais mstaafu ali hassan mwinyi anayeiongoza |
aliongeza kusema kuwa wakati akiwa spika ndani ya bunge kulikuwa na kikundi cha wabunge wachache wa kupambana na ukimwi chini ya bibi UNK UNK na kingine cha wabunge wachache kilichokuwa UNK na rushwa chini ya uongozi wa mbunge wa kibaha mjini bibi zainab gama |
sasa kuna uovu unaoitwa ufisadi kazi inayofanywa na kikundi cha wabunge hao kupambana na uovu huo ni sahihi kikundi hicho kinafuata nyayo za vikindi vilivyotangulia alisema bwana msekwa |
bwana msekwa alitoa kauli hiyo huku ndani ya ccm kukiwa na wanasiasa UNK vita wabunge wapambanaji wa ufisadi huku kukiwa na taarifa kuwa kikao cha halmashauri kuu ya taifa ya ccm iliyokutana hivi karibuni UNK azimio UNK kuwaziba midomo wabunge UNK wa ufisadi |
katika kikao hicho wabunge wapatao ishirini na mbili walichangia mada ya hali ya siasa na kumshambulia spika wa bunge samuel sitta na UNK kikundi chake cha wabunge wanaopambana na ufisadi kuwa UNK ccm na kuiweka pabaya serikali hivyo kutaka UNK kadi yake ya uanachama |
jambo ambalo UNK mjadala huo ni tuhuma za baadhi ya wanasiasa wa chama hicho tawala wakiwamo waliokuwa mawaziri UNK na ufisadi na hasa katika kashfa ya ukodishaji wa mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kutoka kwa kampuni tata ya richmond |
kundi hilo limekuwa likifanya chini juu na wakati mwingine kwa kutumia fedha nyingi kuhakikisha vita dhidi yao UNK na wabunge wanaopambana dhidi yake UNK |
wabunge ambao wamekuwa wakiendesha mapambano dhidi ya ufisadi wakiongozwa na sitta ni lucas selelii wa nzega daktari harrison mwakyembe wa kyela anne kilango malecela wa same mashariki aloyce kimaro wa vunjo james lembeli fredy mpendazoe wa kishapu na john shibuda wa maswa |
wabunge hao wake nyakato tofauti wamekuwa wakiapa UNK midomo yao hadi ufisadi UNK |
lakini siku chache baada ya ccm kutoa tamko la kuwabana UNK vikali na chama hicho kuwa katika wakati mgumu viongozi wa juu wa chama hicho wamegeuka na kuanza kuunga mkono harakati za wabunge hao |
wa kwanza kuzungumzia suala hilo ni mwenyekiti wa ccm rais jakaya kikwete UNK katibu na nec itikadi na uenezi john chiligati katibu mkuu yusuf makamba UNK hadi utambo na kumpigia debe spika sitta kwa kazi yake nzuri na sasa msekwa |
kujitokeza kwa msekwa na kutoa kauli hiyo UNK siku moja baada ya mzee mwinyi maarufu kama mzee ruksa anayeongoza kamati ya nec kukaririwa UNK mbunge wa same UNK anne malecela kwa UNK wake wa kupambana na na ufisadi |
mzee ruksa alikwenda mbali zaidi akisema mafisadi UNK kwenye nafasi za uongozi na sasa UNK |
mwisho nyaraka zote za uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwaka ujao UNK na idara ya mpigachapa mkuu wa serikali badala ya kuchapishwa nje ya nchi kama ilivyokuwa awali |
waziri katika ofisi ya waziri mkuu bwana UNK marmo alisema jana jijini dar es salaam kuwa hatua hiyo imechukuliwa ili kudhibiti wizi wa nyaraka za serikali na kuhakikisha usahihi wake |
bwana marmo alisema hayo alipozungumza na wafanyakazi wa idara hiyo baada ya kutembelea mitambo ya uchapaji inayosimamiwa na mpigachapa mkuu wa serikali na kuongeza kwamba serikali imejipanga vizuri kuhakikisha mitambo mipya ya kisasa UNK ili kutimiza lengo hilo |
alisema mitambo hiyo itakuwa na uwezo kubandika alama na namba za siri ili kudhibiti wizi na kwamba mpigachapa mkuu wa serikali na maafisa wa tume ya taifa ya uchaguzi UNK kutazama namna bora ya kufanikisha kazi hiyo |
pia alisema serikali itahakikisha wizara na idara zote UNK nyaraka zote kwa mpigachapa mkuu wa serikali ikiwa ni hatua ya kutunza siri za serikali na kudhibiti wizi wa nyaraka hizo |
akizungumzia suala hilo mpigachapa mkuu wa serikali bwana cassian UNK aliwataka wafanyakazi kutunza siri za serikali na kuonya kwamba watakaobainika UNK siri hizo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja |
kuna wafanyakazi hapa UNK kwa sababu tu ya tamaa |
UNK wapo wezi wapo na ndio wanaounda vikundi kuvuruga kiwanda hatutakubali kuendelea nao alionya |
katika risala yao kwa waziri wafanyakazi waliiomba serikali kuboresha mitambo iliyopo na majengo ambayo walisema yamechakaa kwa kuwa hayajafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu |
mjane wa baba wa taifa mama maria nyerere amesema tuzo aliyopewa marehemu mumewe na baraza la kuu la umoja wa mataifa imetia chachu katika maandalizi ya maadhimisho ya ya miaka kumi ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu |
akizungumza nyumbani kwake msasani mama maria aliwaambia waandishi wa habari kuwa tuzo hiyo ilitolewa na rais wa baraza hilo padre miguel d UNK imemtangaza mwalimu nyerere kuwa shujaa wa ulimwengu wa haki za jamii |
mama maria alishauri watanzania kutafakari kwa makini mawazo ya mfumo wa maendeleo walioachiwa na na viongozi akiwemo mwalimu nyerere kama njia mojawapo ya kupambana na changamoto zinazoikabili dunia |
tuzo hii ni heshima kubwa si kwangu na kwa marehemu mume wangu bali pia kwa viongozi wote waliopigania na wanaoendelea kutetea haki haki usawa na maendeleo ya binadamu wote bila kuzingatia rangi dini uwezo wa kiuchumi itikadi ama ukabila alisema mama maria ambaye hakutaka kujibu maswali mengine nje ya mada tuzo hiyo |
UNK marehemu mumewe mama maria alisema enzi za uhai wake alijulikana kwa kukemea rushwa katika sura zote kwa nguvu zote na kuifananisha na UNK |
pia alichukia na kupinga taasisi za kifedha za kimataifa UNK nchi zinazoendelea sera na mustakabali wao |
mwalimu aliamini na kutetea kwa nguvu na maarifa yake yote heshima ya utu na haki za binadamu wote kama zilivyoainishwa katika tamko la kimataifa la haki za binadamu alisema mama UNK |
aliongeza kwa kusema kuwa mwalimu nyerere alikuwa na maono kwamba baada ya giza nene la ukoloni na ubaguzi waafrika wataungana katika msingi wa kutafuta maendeleo ya bara lao |
aidha mama maria alisema tuzo hiyo imetia chachu katika maandalizi ya maadhimisho ya ya miaka kumbukumbu ya miaka kumi ya kifo cha mwalimu |
katika hafla hiyo mama maria UNK padre miguel machapisho mbalimbali ya mwalimu nyerere kuwa kumbukumbu ya kazi yake katika kutetea wanyonge |
mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba amesema rais jakaya kikwete anatoa kauli za UNK nafsi yake kuhusu mwenendo wa mazungumzo ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar |
alitoa kauli hiyo kufuatia taarifa zilizochapishwa jana katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kauli ya rais kikwete kuwa UNK kurejesha mazungumzo ya mwafaka wakati alipokuwa akizungumza na katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki moon ambaye alitaka kufahamu hali ya kisiasa visiwani zanzibar |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.