text stringlengths 1 1.32k |
|---|
katika mazungumzo hayo rais kikwete alisema kuwa hajakata tamaa katika UNK vyama vya ccm na cuf ili kufikia mwafaka na hatimaye kutuliza hali inayoonekana kutishia amani ya nchini hasa visiwani zanzibar |
profesa lipumba alisema kuwa kauli ya rais kikwete UNK sana na kuwa anatoa kauli hizo kwa kujifurahisha yeye mwenyewe kwa kuwa inaenda kinyume na ukweli wa hali halisi |
kauli ya rais kikwete UNK sana tatizo lake hana kauli dhabiti kwa kuwa anaweza kusema kuwa anashughulikia lakini asifanye hivyo anatoa kauli za kujifurahisha alisema profesa lipumba |
pia alisema tatizo kubwa lilianzia katika hoja ya kura ya maoni visiwani zanzibar na hata pale UNK rais kikwete kuzungumza naye kipindi cha nyuma hakuwa tayari kufanya hivyo |
UNK suala hili zaidi ya mara moja UNK mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa ishirini sifuri moja ishirini sifuri saba sifuri nane lakini bado UNK mwisho alisema profesa lipumba |
baadhi ya maeneo ya wilaya ya UNK yakiwemo makazi ya waziri mkuu ubalozi wa uingereza china japan kenya na nigeria yatakosa umeme leo kuanzia saa mbili sifuri sifuri asubuhi hadi saa nane sifuri sifuri mchana ili kutoa fursa ya matengenezo yanayofanywa na shirika la umeme tanzania |
matengenezo hayo yanahusu UNK wa kifaa maalumu cha kusambaza umeme katika kituo cha umeme oysterbay kwa ajili ya kituo cha umeme kilichoko eneo la UNK |
maeneo UNK ni msasani eneo la mamwinyi msasani UNK UNK sehemu ya mikocheni kujumuisha masaki morogoro store UNK hotel and UNK centre UNK hotel tambwe UNK ofisi ya rais st |
UNK kwale street UNK street na international school of tanganyika |
sehemu nyingine ni hotel ya karibu hill road tour drive coco beach UNK club kahama mining sea cliff UNK village UNK road bandari quarters ccbrt hospital UNK flats atc quarters UNK UNK hotel na UNK way |
katika maeneo ya osterbay ni ubalozi wa kenya vodacom kwale street kinondoni government flats UNK bank ubalozi wa urusi na india UNK street kaunda road kinondoni hananasif kinondoni shamba mikocheni a na victoria drive UNK |
vyama vya tanzania UNK party na chama cha demokrasia na maendeleo vimesema haviko tayari kushirikiana na chama cha wananchi katika maandamano UNK kufanya kutokana na kutoa masharti |
chama cha cuf kupitia katibu mkuu wake seif sharif hamad UNK vyama vingine vya upinzani kushiriki katika maandamano ili kuonesha umoja wao na kutoa hisia zao za kidemokrasia kwa lengo la kuitaka tume ya uchaguzi UNK |
katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo daktari wilbrod slaa alisema kuwa wazo la cuf lakini mpango wake una dosari kubwa ya kuviomba vyama vingine vya upinzani kushiriki kupitia vyombo vya habari |
daktari slaa alisema kuwa chama hicho pia UNK vyama vyote UNK bila bendera zao kama utambulisho jambo ambalo hawawezi UNK |
sisi kama chama hatuwezi kushiriki katika maandamano ya aina hiyo kwani tutakuwa UNK haki kwa UNK utambulisho wetu alisema daktari slaa daktari slaa aliongeza kuwa UNK cuf barua ya kukitaka UNK mwongozo wa siku hiyo ikiwa ni pamoja na kukubali kushiriki wakiwa na bendera na kadi zao za chama |
UNK barua UNK kama UNK basi iko njiani wataipata kama UNK na masharti UNK UNK hatutakuwa tayari kushiriki maandamano hayo alisisitiza daktari slaa kwa upande wake mwenyekiti wa tanzania labour party bwana agustine mrema alionesha wasiwasi wake na kusema kuwa cuf imekuwa ikiomba msaada pindi inapopata matatizo tu lakin... |
bwana mrema alisema kuwa uamuzi wao wa kutoshiriki kwa tlp una lengo la kuwataka wajifunze ingawa amekiri kuwa wana hoja ya msingi na inatakiwa kuungwa mkono ingawa wao hawako tayari |
mimi niko mbele kutoa msaada pale UNK lakini wao wanasubiri pindi wanapopata matatizo ndio UNK sasa huo moyo wa kuwasaidia unatoka wapi ndugu UNK |
alisema mrema |
mtoto wa miaka kumi na mbili pendo mwaipopo mkazi wa kigamboni vijibweni UNK minyororo miguuni na kukaa chooni kwa siku nzima na babake mzazi bwana venance mwaipopo akishirikiana na mama wa UNK |
kana kwamba wazazi hao hawakuridhika UNK binti yao ndoo ya maji ya chooni na kikombe ili UNK maji hayo pindi akisikia kiu |
tukio hilo la lilitokea jumamosi iliyopita nyumbani kwao vijibweni kabla ya kupata msaada kutoka kwa majirani waliomsikia akilia kwa lengo la kuomba msaada |
baada ya wazazi hao kumfungia binti yao chooni na wenyewe walifunga nyumba na kuondoka |
mtoto huyo alianza kupiga kelele kuomba msaada na majirani wakasikia na UNK |
ukatili dhidi ya mtoto huyo anayesoma darasa la tano katika shule ya msingi vijibweni uliwashangaza wananchi waliofika kumpatia msaada baada ya kumkuta amekaa kwenye tundu la choo huku miguu yake ikiwa imefungwa mnyororo kama UNK UNK |
baada ya wananchi kufika akiwemo jirani ambaye kwa muda mrefu amekuwa akimsaidia binti huyo kwa kumpatia mahitaji muhimu kutokana na kunyanyaswa na wazazi walienda kutoa taarifa katika kituo polisi UNK |
baada ya polisi kufika nyumbani kwa mtoto huyo na kushuhudia ukatili huo walimpigia simu bwana mwaipopo na UNK maneno ya UNK ili aweze kurudi nyumbani |
alipofika alikuta umati wa watu na askari na UNK afungue nyumba yake |
baada ya kufungua mlango aliongozana na askari na kuingia ndani hadi kwenye mlango wa choo uliokuwa umefungwa kwa nje |
choo hicho kipo ndani ya nyumba hiyo na alikutwa akiwa kwenye giza kutokana na milango yote ya nyumba hiyo kufungwa ukiwemo ule wa choo |
binti huyo alikutwa amekaa kwenye tundu la choo |
askari walimbeba UNK na minyororo miguuni hadi kituo cha polisi |
wananchi wenye hasira walianza kushambulia nyumba ya bwana mwaipopo kwa mawe na kunggoa miti na mazao UNK shambani kwake |
iliwalazimu polisi kuingilia kati na kuwatuliza ili wasiendelee na uharibifu huo |
wakizungumzia tukio hilo majirani walisema mtoto huyo alianza kukumbana na ukatili baada ya mama yake mzazi kwenda kijijini kwao mbeya kutokana na maradhi |
walidai kuwa baada ya kuona mke wake ameondoka bwana mwaipopo alibadilisha dini na kuoa mke mwingine ambaye ni mfanyakazi mwenzake na kufunga naye ndoa ya kiislamu huku akiwa na ndoa ya kikristo UNK awali na mama wa mtoto huyo aliyeondoka mwaka mmoja uliopita |
mtoto huyo alipelekwa hospitali ya taifa ya muhimbili kufanyiwa uchunguzi na matibabu na baadaye kuruhusiwa na sasa UNK kwa UNK |
kamanda wa polisi mkoa wa temeke liberatus sabas hakupatikana ofisini jana wala kwenye simu yake kuzungumzia suala hilo |
wanafunzi wa shule za sekondari na msingi kibasila jana walifanya vurugu kubwa UNK kulala barabarani na kupiga mawe magari kwa lengo la kuishinikiza serikali kuweka matuta katika barabara ya changgombe baada ya wenzao kugongwa na gari |
vurugu hizo UNK na nyimbo na mayowe zilidumu kwa saa tano ambapo zilianza tatu sifuri sifuri hadi saa nane sifuri sifuri mchana huku UNK usumbufu mkubwa kwa wenye magari na UNK kwa miguu katika eneo hilo |
wanafunzi hao walikuwa na mabango yenye ujumbe leo lazima kieleweke tunataka haki zetu kama vile taa za kuongoza magari matuta katika barabara ya mandela na changombe na tumechoka kuzika kuzika bila UNK mgomo huo ulioshirikisha zaidi ya wanafunzi tatu sifuri sifuri sifuri kutoka katika shule hizo na wakazi mbalimbali ... |
mmoja wa shuhuda alisema kuwa jana asubuhi wanafunzi consolata kilaza na winston sango wote wa darasa la tano katika shule ya msingi kibasila UNK na kupata ulemavu wa kudumu wakati wakisaidiwa UNK na msamaria ambaye pia UNK |
alisema winston sango alivunjika mguu na kukimbizwa katika UNK ya muhimbili kitengo cha mifupa na kilaza alivunjika mkono na amelazwa katika hospitali ya wilaya ya manispaa ya temeke |
shuhuda huyo alisema siku ya septemba ishirini na tano mwaka huu katika makutano ya barabara hizo mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita katika shule ya sekondari kibasila UNK UNK aligongwa na kufa papo hapo wakati akijaribu UNK |
tukio hilo lilisababisha magari kutoka katika maeneo mbalimbali kupitia katika makutano hayo kushindwa kupita katika eneo hilo baada ya wanafunzi hao kufunga barabara na kurusha mawe kwa madereva waliokaidi amri |
katika hali iliyoashiria kuwa wanafunzi hao walikuwa tayari kukabiliana na jambo lolote kuna wakati walishikana mashati na askari wa kutuliza ghasia |
katika sakata hilo mkuu wa upepelezi kanda maalumu ya dar es salamu bwana charles mkumbo na askari wengine walikuwa na wakati mgumu UNK askari kadhaa waliokuwa wameshikwa na wanafunzi ambao walikuwa UNK mwenzao alikamatwa na polisi hao |
majira ilishuhudia msururu wa magari yakiwemo ya matatu yakiwa ya jeshi la wananchi wa tanzania polisi na jeshi la magereza yakiwa yamebeba askari aliokuwa wakienda katika vituo vyao vya kazi UNK kutii amri ya wanafunzi hao |
juhudi za bwana mkumbo UNK kuzima ghasia hizo hazikufanikiwa kutokana na wanafunzi kusisitiza kuwa walitaka mkuu wa mkoa aje kutoa UNK |
vurugu hizo UNK na mkuu wa wilaya ya kinondoni bwana jordan UNK aliyefika katika eneo hilo kama kaimu mkuu wa wilaya ya temeke ambaye aliitisha kikao cha dharula kilichohusisha uongozi wa wanafunzi walimu na wanahabari kujadili UNK la vurugu hizo |
wakizungumza katika kikao hicho viongozi wa wanafunzi walisema ni jambo la kusikitisha kuona serikali inashindwa kuweka alama za barabarani katika barabara hiyo muhimu |
eneo hili limepewa jina la barabara ya machinjio kutokana na umaarufu wake wa matukio kama haya watu wengi wamekufa na serikali inafahamu ilipaswa kuwa UNK kazi alisema mmoja viongozi wa wanafunzi hao kwa jazba |
rugimbana aliwaahidi wanafunzi hao kulifanyia kazi suala hilo haraka na kuwaomba waonane leo saa tatu kwa ajili ya majibu ya hatua UNK |
adaiwa kusema kazi ya rais ni kuchekacheka ameshindwa kuongoza na UNK mafisadi mbunge wa viti maalumu cuf bibi nuru awadh bafadhili na viongozi wengine UNK wa chama hicho wilaya ya tanga wamekamatwa na polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya mkutano bila kibali na kumkashifu rais jakaya kikwete |
mbunge huyo na wenzake walifikishwa jana katika mahakama ya wilaya ya tanga mbele ya hakimu mkazi bwana laurent UNK na kusomewa mashtaka matatu ya kula njama za kutenda kosa kukusanyika bila kibali na kutumia lugha ya kashfa kinyume cha sheria |
wakili wa serikali bibi UNK massawe aliiambia mahakama hiyo kuwa mnamo septemba ishirini na saba mwaka huu majira ya saa kumi hadi kumi na mbili jioni eneo la UNK jijini tanga mbunge huyo ambaye ni mshitakiwa wa kwanza na wenzake walifanya mkutano bila kibali na kumkashifu rais kikwete kuwa na kazi yake ni kuchekachek... |
wakili huyo wa serikali aliendelea kudai mahakamani hapo kuwa washtakiwa hao walisababisha usumbufu kwa majirani waliokuwapo katika eneo hilo |
mbunge huyo na wenzake rashid jumbe diwani wa kata ya UNK mussa mbarouk diwani wa kata ya UNK kusini UNK hassan mkurugenzi wa haki za binadamu wa chama hicho wilaya ya tanga amina yusuph na mohamed asilia kwa pamoja wamekana mashtaka hayo na wako nje kwa dhamana hadi oktoba kumi na mbili mwaka huu kesi yao itakapojatw... |
mamia ya wafuasi wa chama hicho walifurika katika mahakama hiyo wengi wao kutoka maeneo ya vijijini wakitaka kujua hatma ya viongozi wao UNK |
wakizungumza na gazeti hili nje ya mahakama ya hiyo wafuasi hao walieleza kuwa kukamatwa kwa viongozi hao UNK kuwa ndio mwisho wa kufanya mikutano na UNK tukio hilo kama ni vita ya kisiasa hasa katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika oktoba ishirini na tano mwaka huu |
kwa upande wao baadhi ya viongozi wa cuf ambao hawakutaka kutajwa majina yao walieleza kuwa pamoja na tukio hilo bado wataendelea kufanya mikutano ya hadhara ili kuwahamasisha wananchi kujiandikisha ili waweze kupata nafasi ya kushiriki uchaguzi huo |
mkuu wa wilaya ya kibaha bibi halima kihemba ametishia kuwacharaza bakora madereva wa pikipiki UNK abiria kwa madai kuwa wanavunja sheria za usalama barabarani makusudi |
bibi kihemba ametoa tishio hilo ikiwa imepita miezi tisa tangu rais jakaya kikwete UNK kazi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya bukoba bwana albert mnali kwa kuwacharaza bakora walimu wa shule za msingi UNK na UNK za wilayani humo |
akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani juzi mjini kibaha bibi kihemba alisema kuanzia sasa ataanza kutembea na bakora kwa ajili ya kuwacharaza madereva hao kwa kukaidi sheria na kusababisha ajali na vifo kwa abiria wao na wao wenyewe |
pikipiki za abiria UNK kero na kusababisha vifo madereva wake wanavunja UNK sheria za usalama barabarani wanabeba abiria zaidi ya mmoja wakiwaita UNK hawana UNK na hawavai UNK tangu sasa nitaanza kutembea na bakora kuwacharaza wote wanaovunja sheria za barabarani alisema bibi kihemba |
naomba jeshi la polisi tushirikiane kuifanya kazi hii tuifanye kwa makini na uangalifu mkubwa ili tusipoteze na kufutwa kazi alihimiza bibi kihemba |
bibi kihemba aliyemwakilisha mkuu wa mkoa wa pwani bibi amina said katika UNK jeshi la polisi mkoani hapa kuwakamata madereva wote wa pikipiki wanaovunja sheria za usalama barabarani na kuzuia pikipiki zao hadi makosa UNK |
pia alikemea vitendo vya baadhi ya wananchi kuvamia na kupora mizigo ya abiria mara UNK ajali na kuliagiza jeshi la polisi kufika kwa haraka na kudhibiti eneo la ajali ili uporaji wa mali za majeruhi UNK |
baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya korogwe UNK kazi mweka hazina wa halmashauri hiyo bwana UNK kiwelu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo halmashauri yao kupata hati ya mashaka |
pamoja na kumtimua bwana kiwelu pia wamewapa onyo mkurugenzi mtendaji wa halmashauri bibi lilian matinga mganga mkuu wa wilaya daktari rashid said ofisa elimu wilaya bwana shaaban UNK na ofisa ugavi wilaya bwana UNK UNK |
hata hivyo bibi matinga amekataa kutekeleza agizo hilo akisema mwenye mamlaka ni katibu mkuu wa ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa |
mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana UNK kallaghe alisema uamuzi huo ulifikiwa kwenye baraza maalumu la madiwani lililofanyika septemba ishirini na sita mwaka huu na wamemtaka mkurugenzi kumwandikia barua mara moja bwana kiwelu kumsimamisha kazi |
bwana kallaghe alisema bwana kiwelu pamoja na makosa mengi UNK kwenye ukaguzi wa mahesabu UNK juni thebathini ishirini sifuri nane bado ofisi yake ilizembea kujibu hoja za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali hivyo kuifanya halmashauri hiyo kupata hati ya mashaka |
alizitaja baadhi ya hoja kati ya kumi na moja UNK kujibiwa lakini wakashindwa UNK kwa wakati ni halmashauri kushindwa kuandaa taarifa za mwisho wa mwaka wa fedha kwa UNK taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo hivyo kushindwa kujua matumizi ya miradi ikiwa ni kinyume cha kifungu namba themanini na nne cha kanuni... |
bwana kallaghe alisema kwa upande wa idara ya elimu shilingi milioni ishirini na tatu moja zilitumika kama ziada wakati makisio ya bajeti kwa ajili ya mitihani ya darasa la saba ya ilikuwa shilingi milioni kumi tisa tisa lakini zikatumika shilingi milioni mia moja na thebathini na tatu moja huku watumishi UNK UNK kwa ... |
bwana kallaghe alisema kibaya zaidi ni bibi matinga kuukumbatia uozo uliopo kwenye idara ya fedha na yeye kudaiwa kughushi kwamba kamati ya uongozi fedha na mipango imekaa na kutoa maoni kuwa waandishi wa taarifa za fedha wawe makini suala hilo UNK |
mimi kwa mujibu wa sheria pia ndiye mwenyekiti wa kamati ya fedha uongozi na mipango iweje mkurugenzi UNK tumekaa na kutoa maoni yetu kwenye taarifa UNK kwa mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali |
tangu mweka hazina huyu amekuja hatujawahi kupata hati safi lakini mkurugenzi UNK alisema bwana UNK |
akizungumza na mwandishi wa habari bibi matinga alisema UNK barua bwana kiwelu kwa kuwa baraza hilo maalumu halikuwa kwa ajili ya kuhukumu watumishi bali ni kujadili hoja za mkaguzi na kusema sheria na kanuni za halmashauri haziruhusu kikao UNK jambo fulani kuingizwa jambo jingine |
kanuni ya nne inasema hakuna shughuli yeyote UNK katika mkutano maalumu wa halmashauri isipokuwa ile tu UNK kwenye taarifa ya UNK mkutano huo |
kwa maana hiyo mimi siwezi kumwandikia barua ya kumfukuza kazi mtu mwenye uwezo wa kufanya hivyo ni katibu mkuu wa tamisemi serikali wilayani handeni mkoani tanga imeamuru kufunga shule zote mia moja na sabini na mbili za msingi na sekondari wilayani humo kutokana na hali ya mlipuko kipindupindu kuzidi kuwa mbaya na k... |
mkuu wa wilaya ya handeni kapteni mstaafu seif mpembenwe amefikia uamuzi huo wa kufunga shule zote baada ya watu ishirini na mbili kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo wengi wao wakiwa ni wanafunzi |
alieleza kuwa shule hizo zitafungwa kwa kipindi cha mwezi mmoja wa oktoba ili kupisha ugonjwa huo na kwamba wanafunzi UNK na masomo huku UNK tahadhari ni wale wa kidato cha nne tu wanaokabiliwa na mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari baadae mwezi ujao |
pamoja na hatua hiyo serikali wilayani humo imefuta likizo kwa watumishi wote wa afya na kusitisha semina zilizokuwa zifanyike nje ya wilaya hiyo katika kipindi hicho cha mwezi mmoja |
hatua hiyo imelenga kuweka nguvu ya pamoja katika kukabiliana na ugonjwa huo hatari ambao unaendelea kupoteza watu wilayani humo |
pia serikali itatumia mahakama za UNK wananchi kwa lengo la kuwafungulia mashtaka na kuwashitaki wananchi wote watakaokuwa UNK UNK za usafi zilizowekwa ikiwemo biashara ya vyakula |
tangu kulipuka kwa ugonjwa huo agosti kumi na sita mwaka huu wilayani humo watu ishirini na mbili wameshafariki dunia huku wengine moja sifuri moja tisa UNK kutokana na maradhi hayo na hadi sasa eneo UNK zaidi na ugonjwa huo ni chanika |
kanisa la nyumba ya ufufuo wa uzima la ubungo dar es salaam limeingia katika mgogoro wa kugombea ardhi ambapo uongozi wa kanisa UNK kunggoa mipaka iliyokuwepo na UNK katika eneo la muuzaji wa kiwanja hicho |
maofisa wa ardhi wilaya ya kinondoni jana walilazimika kufika kwenye kanisa hilo UNK UNK maelfu ya waumini kupima upya mipaka ya eneo hilo UNK baina ya kanisa na bwana josiah baltazar |
bwana baltazar alidai kanisa hilo pamoja na kuwa na mgogoro wa siku nyingi wa umiliki wa kiwanja hicho bado limeendelea kunggoa mawe ya mpaka yaliyowekwa kutenganisha kiwanja chake na kile cha kanisa |
maofisa wa ardhi hao waliweka upya mipaka inayotenganisha nyumba ya mlalamikaji na kanisa hilo na UNK upya mawe UNK kunggolewa |
mmoja wa wachungaji wa kanisa hilo ambaye alikataa jina lake lisichapishwe gazetini alidai UNK mgogoro huo na kubainisha kuwa umegubikwa na utata mkubwa |
mchungaji alidai eneo UNK na kanisa kwa mujibu wa hati ni la kanisa isipokuwa kuna madai ya shilingi milioni kumi na tano yaliyokuwepo wakati wa kuuziana kiwanja hicho na kanisa UNK kumlipa bwana baltazar |
baada ya UNK na uongozi wa kanisa mchungaji huyo alidai kuwa walikubaliana kumlipa gari moja aina ya toyota land cruiser kompyuta na printa na baada ya kutumia vifaa bwana baltazar UNK kwa uongozi wa kanisa akidai UNK |
alidai kesi ya siku nyingi ni utata uliokuwepo wakati wa kuuziana kiwanja hicho ambayo bado ipo mahakamani moja mahakama ya hakimu mkazi kisutu na nyingine mahakama ya kinondoni |
mchungaji wa kanisa hilo bwana UNK UNK akizungumzia hilo UNK na mwenzake isipokuwa alikanusha kunggoa mawe ya mipaka na aliongeza kuwa hawakuwa na taarifa ya maofisa wa ardhi kufika katika eneo hilo na UNK |
wakati chama cha wananchi kimepanga kufanya maandamano makubwa kuanzia buguruni UNK hadi kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa msajili huyo amepiga marufuku maandamano kufika katika maeneo ya ofisi hizo |
taarifa za kupingana kwa taasisi hizo mbili zilitolewa jana kwa nyakati UNK na kila moja ikitoa sababu zake za kuchukua hatua husika |
mapema asubuhi mwenyekiti wa chama hicho profesa ibrahim lipumba alisema msimamo wao ni kumtaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi jaji lewis makame ajiuzulu kutokana na kushindwa kuzuia na kuhakikisha uwajibikaji na uwazi kwenye taratibu za uchaguzi na kutaka tume hiyo ivunjwe na kuweka watu safi wenye kuijua demokrasia |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.