text stringlengths 1 1.32k |
|---|
tutaendelea na maandamano hayo bila kuchoka na yatafanyika nchi nzima kwani tume imeshindwa kuunda asasi za kuhakikisha usalama na uwazi katika vipindi kadhaa vya uchaguzi hapa nchini |
alisema profesa lipumba |
lakini ilipofika mchana msajili wa vyama vya siasa nchini bwana john tendwa naye aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kueleza kuwa yupo tayari kupokea ujumbe wao katika maandamano yanayofanyika leo lakini wapange maeneo tofauti na viwanja vya eneo la ofisi yake |
ofisi ya msajili wa vyama vya siasa iko katika barabara ya UNK ikiwa takriban mita thebathini sifuri kutoka kwenye geti la ikulu ya rais jakaya kikwete ofisi ndogo ya bunge na maeneo mengine nyeti ya serikali |
UNK kuwapokea lakini UNK kuwa eneo letu ni dogo na hapa tupo karibu na ofisi mbalimbali ikiwa ni benk kuu ofisi ndogo ya bunge shule ya msingi wizara ya fedha pamoja na magereza tunahitaji kulinda usalama alisema bwana tendwa |
alisema kuwa katika maandamano hayo si kila mmoja ana nia ya kufikisha ujumbe kama ulivyokusudiwa bali miongoni mwao wapo watu wanaoweza kufanya vurugu na kuvunja amani iliyopo |
katika msafara wa mamba hata kenge wamo sisi tunaangalia usalama pia kesho ni siku ya kazi UNK na pia UNK msisitizo kuwa tupo tayari kuwapokea mahali popote alisema bwana tendwa alifafanua kwamba baada ya kupata taarifa kuwa wanataka kuandamana aliamua kuwapa taarifa kuwa yupo tayari kukutana katika maeneo mbalimbali ... |
tatizo la cuf ni kuwa namba UNK katika paper yao UNK UNK mpaka UNK mtu binafsi alisema |
wakati hayo yakiendelea cuf kwa upande wake ilikuwa ikiendelea na maandalizi ya maandamano na profesa lipumba alipoulizwa msimamo wa tendwa alisema hakuwa na taarifa nao lakini kijana wake alikuwa polisi akizungumzia suala hilo |
imeandikwa na prosper mosha yusuph katimba na husna ridhiwan mkazi wa vijibweni kigamboni dar es salaam bwana venance mwaipopo amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya temeke akikabiliwa na mashitaka mawili ya kumfanyia ukatiri mwanawe kwa kumfungia mnyororo UNK |
mshitakiwa huyo alifikishwa jana mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na mwendesha mashitaka bwana UNK kombe mbele ya hakimu mkazi bibi rose UNK ikiwa ni siku moja baada ya gazeti hili pekee kuripoti habari hizo |
katika mashitaka ya kwanza bwana mwipopo anakabiliwa na makosa ya ukatiri kwa watoto kinyume na kifungu mia moja na sitini na tisa a cha kanuni ya adhabu ambapo alifanya ukatiri kwa mtoto upendo mwipopo kwa kumfunga mnyororo miguuni na mikononi katika chumba cha choo |
alidaiwa kuwa kitendo cha kumfunga mtoto huyo UNK majeraha na maumivu makali |
shitaka la pili ambalo ni mbadala na shitaka la kwanza ambalo ni kumzuia mtoto huyo isivyo halali kinyume na kifungu cha mia mbili na hamsini na tatu cha kanuni ya adhabu mshitakiwa huyo anadaiwa kumfungia mtoto huyo isivyo halali |
baada ya kusomwa kwa mashitaka hayo bwana mwaipopo alikana kutenda makosa hayo na upande wa mashitaka uliiambia mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika |
mshitakiwa huyo alitakiwa kuwa na wadhamini wawili wa kuaminika hata hivyo alirejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti hayo na kesi itatajwa tena oktoba kumi na tatu mwaka huu |
mada ya rushwa na ufisadi ambayo imekuwa UNK nchini kwa muda sasa itakuwa miongoni mwa agenda ya za mkutano wa hamsini na tano wa chama cha mabunge ya jumuiya ya madola unaoendelea mjini arusha |
rais wa cpa bwana samwel sitta ambaye amekuwa kinara wa mapambano dhidi ya ufisadi nchini aliyasema hayo jana wakati UNK waandishi wa habari kuhusu mada zitakazojadiliwa katika mkutano huo UNK na rais jakaya kikwete |
bwana sitta UNK mkutano huo UNK shilingi bilioni tatu kuwa ni wa mafanikio makubwa ukijumuisha wabunge kutoka nchi mbalimbali duniani themanini sifuri wakiwa tayari wamewasili mjini arusha |
rais kikwete atawasili mjini humo kesho akitokea UNK dc marekani alikokwenda kwa ajili ya uzinduzi wa ubalozi mpya wa tanzania nchini humo na UNK mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa |
katika mkutano huu UNK thebathini na nane na manaibu spika kumi na saba UNK huku kaulimbiu ikiwa ni kukabiliana na changamoto mbalimbali wakati ujao alisema |
mada nyingine zitakazojadiliwa katika mkutano huo kuwa ni jinsi mtindo wa serikali za mseto UNK demokrasia nchi zifanye nini kukabili mtikisiko wa uchumi duniani na jukumu la wabunge kupambana na uhalifu wa kisiasa |
ufisadi na rushwa UNK katika mkutano huo kwa sababu inawezekana mtikisiko wa uchumi unaweza UNK na rushwa na kwamba ndio maana wabunge wa tanzania wamekuwa UNK sana rushwa alisema sitta |
kwa mujibu wa sitta kwa mwaka jana tanzania ilipoteza karibu dola bilioni ishirini zilizotokana na mikataba mibovu na ufisadi na kwamba mikataba hiyo UNK vizazi vijavyo UNK shida ya kulipa madeni wakati waliokuwa wanafaidi wamefariki dunia |
bwana sitta alitaja mada nyingine zitakazojadiliwa kuwa ni mabadiliko ya hali ya hewa inayotokana na vitendo vya uchafuzi wa mazingira unaotokana na wanadamu pamoja na kutazama sababu zipi UNK migongano ndani ya jamii kama vile vita katika nchi za afrika zinazosababisha vifo vya watu wasiokuwa na hatia |
mada zote hizi zitajadiliwa mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano huu oktoba mbili hadi mwisho wa mkutano huu na oktoba tatu UNK wajumbe wetu katika maeneo mbalimbali ya vivutio vya utalii kama vile mlima kilimanjaro na wale wenye uwezo watapanda mita kumi sifuri sifuri wengine watakwenda mbuga za wanyama ngorongoro... |
alisema |
bwana sitta alisema kuwa pamoja na tanzania UNK mkutano huo kwa gharama kubwa ya shilingi bilioni tatu fedha hizo zote UNK kutokana na kila mshiriki kulipia gharama ya mkutano huo |
wakati huo huo bwana sitta alisema kuwa nchi ya rwanda iliomba kushirikishwa katika jumuiya hiyo ambapo ombi lao litajadiliwa katika kamati ya sekretarieti leo na kwamba ana imani kuwa ombi lao UNK |
UNK kikwete kusema ni mpasuko kidogo yeye asisitiza uliopo ni mkubwa UNK taifa asema tatizo ni tofauti ya kipato cha tajiri maskini waziri mkuu mstaafu jaji joseph warioba amevunja ukimya na kusema kuwa upo mpasuko mkubwa ndani ya chama cha mapinduzi ambao unaweza kuwagawa watanzania katika matabaka ya udini na ukabil... |
jaji warioba alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na baadhi ya vyombo vya habari ofisini kwake dar es salaam ili kutoa ujumbe wa miaka kumi ya tanzania bila baba wa taifa mwalimu julius nyerere |
alisema watanzania wanafahamu kuwa upo mpasuko ndani ya chama ambao pia ulithibitishwa na mwenyekiti wa ccm rais jakaya kikwete alipozungumza na wananchi kupitia televisheni ya taifa kuwa upo mpasuko kidogo |
hata hivyo jaji warioba aliyeshika UNK ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais kati ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tano tisini alisema kauli hiyo ya rais kikwete ilimshangaza kwa mwenyekiti wa chama kusema kuwa upo mpasuko mdogo wakati uliopo ni mkubwa |
alisisitiza kuwa ndani ya ccm kuna mpasuko mkubwa akitolea mfano kauli ya rais kikwete kuwa wabunge wa ccm sasa hawaaminiani hata kuachiana glasi zao za maji kwa kuhofia kuwekeana sumu jambo ambalo jaji UNK alisema linathibitisha kuwa kuna mpasuko mkubwa UNK ya chama |
kiongozi huyo alisema wakati taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka ishirini moja sifuri yameibuka makundi na matabaka kiasi kwamba mtu akitangaza adhima ya kugombea uongozi ndani ya vyama vya siasa anaonekana kuwa adui kiasi cha kutafutiwa sababu tofauti na zamani ambapo wagombea uongozi UNK kabla ya kushindana |
kwa mujibu wa jaji warioba msingi umeanza kusambaratika tofauti na enzi za mwalimu nyerere ambapo wananchi walikuwa na mshikamano bila ubaguzi UNK ndugu tofauti na sasa ambapo wamegawanyika katika makundi na UNK |
akizungumzia sababu ya mgawanyiko huo jaji warioba alisema unatokana na tofauti kubwa kati ya matajiri na masikini jambo ambalo UNK wakati wa utawala wa mwalimu nyerere ambaye alijitahidi kuleta usawa kwa wananchi |
wananchi walikuwa na sauti katika kuongoza nchi leo matajiri ndio wenye UNK |
viongozi wako karibu na matajiri zamani ukiwa serikalini lazima UNK siri za serikali leo siri UNK sana watu wanaona yanayotendeka wengine wanalipwa milioni tano na marupurupu wengine UNK laki moja ndio maana sasa kuna migomo ya walimu wanafunzi na wananchi alisema |
jaji warioba alisema imani ya wananchi kwa serikali imepungua matokeo yake yameibuka matabaka huku wengine UNK mkono wabunge UNK mapambano dhidi ya ufisadi na wengine UNK tamaa kwa kuwaona wasaliti ndani ya chama |
jamii UNK nini kuhusu mgawanyiko ulioibuka ndani ya ccm na kusababisha spika bwana samuel sitta kukumbwa na wakati mgumu na baadaye tuhuma zake kumalizwa kimya kimya |
nec ilitoa msimamo kuwa spika anafanya mambo peke yake baadaye UNK mgogoro huu UNK kimya kimya UNK maswali mengi kwa wananchi alisema jaji warioba na kufafanua kuwa ccm ina ushawishi mkubwa mgawanyiko UNK ndani yake unaweza kuigawa tanzania nzima |
alizungumzia pia tanzania kujiunga oic na waraka wa maaskofu jaji warioba niliangalia majadiliano ndani ya bunge akisimama mbunge UNK anapinga hoja akisimama mwislamu anaunga mkono baada ya hapo umekuja waraka na mwongozo sijui msingi wake kila UNK uchaguzi mkuu mambo haya hujitokeza ilianza elfu moja na mia tisa na t... |
jaji warioba amesema watanzania wameanza kuchanganya dini na siasa wakati wa pasaka mtu UNK watu sikukuu kwa msingi wa siasa hivyo hivyo wakati wa mwezi wa ramadhani kiongozi wa siasa UNK futari wakati UNK jambo ambalo amesema UNK nafasi na watanzania jaji warioba amesema hayati mwalimu nyerere alifanya kazi kwa uadil... |
kuhusu vita dhidi ya ufisadi jaji warioba amesema inatia matumaini baada ya watu wazito kufikishwa kwenye vyombo vya sheria huku akitoa UNK kuwa kesi za aina hii zinatokana na msukumo wa kisiasa na kwamba kuna hatari zake akitoa mfano kesi za uhujumu uchumi mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tatu ambapo serik... |
na mwandishi wetu kuanzia mwaka ujao wa fedha serikali itaongeza madaraja ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini kutoka matano ya sasa na kufikia kumi na moja akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake dar es salaam jana waziri mkuu bwana mizengo pinda alisema hatua hiyo imelenga kutoa... |
alisema utaratibu wa sasa UNK makundi hayo katika madaraja matano ambapo kundi la a UNK mkopo wa UNK kumi sifuri kundi b asilimia themanini kundi c asilimia sitini kundi d asilimia arobaini na kundi e asilimia ishirini UNK mwaka ujao wa fedha ishirini sifuri tisa kumi serikali itaongeza madaraja hayo ambapo kundi a li... |
UNK mambo mengi ikiwa ni pamoja na hali ya mwombaji wazazi shughuli za kiuchumi mali za mwombaji wazazi hali ya maisha ya mwombaji na hali ya kijamii ya mwombaji alisema |
alisema pamoja na nia njema ya serikali UNK wanafunzi wote wenye sifa wanapata elimu ya juu chini ya utaratibu huo bado kuna ugumu wa kutoa mikopo wa asilimia kumi sifuri kwa kila wanafunzi kutokana na matatizo ya kiuchumi |
hata hivyo alisema sera ya uchangiaji elimu ya juu si mbaya na kuwataka wenye uwezo kuitekeleza ili kutoa nafasi kwa wanafunzi wengine kupata elimu |
akizungumzia madai ya mishahara ya walimu alisema serikali imejitahidi kwa kiasi kikubwa kulipa madai hayo na kuahidi kuendelea kutekeleza jambo hilo hilo |
hata hivyo alisema UNK mambo yanayochangia ulipaji madai mbalimbali ya walimu na kuyataja kuwa ni pamoja na kukosekana kwa nyaraka na viambatanisho vingine vyeti vya ndoa na watoto fomu za likizo barua za uhamisho na vibali vya waajiri vivuli vya risiti udanganyifu wa kughushi |
alisema serikali itaendelea kulipa madeni hayo na kukubaliana na hoja inayotolewa na walimu kuwa matatizo yao mengine yamechangiwa na idara hiyo kuwekwa katika mamlaka mbalimbali |
akizungumzia matokeo ya kidato na sita aliwataka walimu UNK taarifa za alama za majaribio ya wanafunzi kuhakikisha wanatekeleza jambo hilo haraka vinginevyo watachukuliwa hatua stahiki |
hali ya chakula alisema taarifa zilizopo zinaonesha kuwa hali ya chakula nchi si nzuri na kuwataka wananchi kutunza chakula na kueleza kuwa serikali itaendelea kudhibiti UNK chakula nje ya nchi |
alisema tatizo hilo limechangiwa na baadhi ya mikoa nchini kukosa mvua za vuli na hivi sasa serikali inafanya utaratibu kusambaza mbegu mazao ya muda mfupi yanayostahimili ukame mihogo na UNK |
UNK baadhi ya mikoa yenye nafuu ya chakula kuwa ni pamoja na kigoma rukwa mbeya iringa morogoro dodoma singida manyara na tabora |
mikoa inayokabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula ni pamoja na pwani lindi mtwara na dar es salaam |
alisema mtikisiko wa uchumi duniani umeathiri bei ya zao la pamba katika soko la dunia hata hivyo alisema bei za mazao mengine kama sukari tumbaku korosho chai UNK zimeendelea kuwa nzuri |
dar es salaam kampuni ya simu za mikono ya zain tanzania UNK miaka mitano ya mpango wake wa kusaidia jamii wa build our nation ambao unalenga kusaidia sekta ya elimu nchini |
akizungumza na waandishi wa habari jana jijini dar es salaam meneja wa huduma kwa jamii wa zain bibi tunu kavishe alisema kampuni ya zain imewekeza UNK ya shilingi bilioni moja kwenye program ya bon kwa kipindi cha miaka mitano |
kupitia bon tumeweza kuchangia katika jamii na kuimarisha jukumu letu la kusaidia sekta ya elimu hapa tanzania |
tunaamini kwamba tumeleta mabadiliko mazuri katika elimu na tutaendelea kutoa msaada wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia kwa shule zisizo na vifaa au zenye upungufu mkubwa wa vifaa vya kujifunzia bibi tunu alisema ameongeza kuwa kupitia mpango huo shule zipatazo mia sita na sabini za mikoa yote tanzania UNK kwa ku... |
alisema zain pia UNK katika elimu ya juu kupitia mpango wake wa kusomesha wanafunzi ambapo wanafunzi nane bora wa kike na kiume waliosajiliwa katika vyuo vikuu nchini huteuliwa na tume ya vyuo vikuu kwa ajili ya kupata ufadhili wa zain |
UNK wanafunzi thebathini na moja ambao kati ya hao watatu wamemaliza masomo yao na mmoja tayari ameajiriwa na zain hadi kufikia mwisho wa mwaka UNK wanafunzi thebathini na tisa kupata elimu ya juu kupitia mpango huo ili kuboresha maisha yao na mwezi oktoba ni wa bon bibi kavishe alisema |
mradi wa uzalishaji na ushindani wa sekta ndogo ya chai UNK dola za marekani milioni tisa kwa ajili ya kuboresha sekta ndogo ya chai na kukuza uchumi kwa miaka sita |
hayo yalisemwa juzi dar es salaam na waziri wa kilimo chakula na ushiriki bwana stephen wasira katika uzinduzi wa mradi huo |
alisema mradi huo utasaidia kuongeza uzalishaji na ubora wa chai ili kuongeza soko la chai nje ya nchi ambapo fedha hizo zitatolewa na kampuni ya UNK UNK foundation ya UNK |
katika dunia nzima tanzania ni nchi ya nane katika uzalishaji wa chai kwa kiasi cha tani thebathini na mbili sifuri sifuri sifuri mradi huu una mpango wa kuongeza uzalishaji hadi tani arobaini na mbili hamsini sifuri kwa mwaka ifikapo mwaka ishirini moja tatu alisema bwana wasira naye UNK kampuni hiyo bwana UNK UNK al... |
aliongeza mradi huo ni sehemu ya UNK wa mpango wa taifa wa maendeleo ya nchi katika maeneo UNK ili kuongeza hamasa na kutangaza sekta ndogo ya chai kwa kuimarisha matumizi ya rasilimali asilia |
morogoro mkoa wa morogoro unakabiliwa na upungufu wa tani kumi na tisa mia sita na kumi na tano za chakula kutokana na ukame ulioikumba nchi hali itakayochangia watu zaidi ya mia nne na ishirini na nane mia nane na themanini na saba kukosa uhakika wa chakula katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu |
akitoa taarifa ya mkoa wa morogoro kwa makamu wa rais daktari ali mohamed shein katika ikulu ndogo mjini hapa jana mkuu wa mkoa wa morogoro luteni kanal mstaafu issa machibya alisema wilaya za kilosa na mvomero ndizo UNK na upungufu huo wa chakula kwa asilimia kubwa |
bwana machibya alisema wakazi wa wilaya hizo UNK na upungufu huo wa chakula katika kipindi cha mwaka huu na februari mwakani na tayari juhudi mbalimbali UNK na serikali ya mkoa ili kutatua tatizo hilo |
alisema katika mpango huo wa kilimo cha umwagiliaji wanatarajia kupata hekta hamsini na tatu sifuri saba sita za kilimo cha umwagiliaji ifikapo mwaka ishirini moja tano ili kuongeza tani nyingine kutoka tani kumi na nane mia tatu na ishirini na moja za kipindi hiki kama wataongeza eneo la umwagiliaji |
zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi bwana yussuf makamba ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya kigoma na wilaya ya biharamulo kagera kwa lengo la kukutana na kamati za siasa na kuimarisha chama |
taarifa ya makao makuu wa ccm ilisema jana kuwa makamba atatembelea wilaya za kigoma mjini kigoma vijijini kasulu na UNK na biharamulo ambako pia atazungumza na mabalozi wa nyumba kumi wa ccm wilaya UNK bwana makamba UNK kuwa ngumu kwa chama hicho katika uchaguzi huo utakaofanyika oktoba ishirini na tano mwaka huu kwa... |
wakati chama hicho cha upinzani kinaongoza halmashauri ya kigoma UNK wilayani biharamulo kilitoa upinzani mkali wakati wa uchaguzi mdogo na kuilazimisha ccm kupata ushindi mwembamba |
katika ziara hiyo bwana makamba atapokea taarifa mbalimbali za maendeleo za wilaya hizo na kukagua kazi za ujenzi wa chama kukutana na kamati za siasa za wilaya pamoja na kuzungumza na halmashauri kuu za wilaya |
chama cha mapinduzi na chama cha wananchi UNK kuacha kufanyiana vitendo vya UNK ili kufikia makubaliano na hatimaye kutuliza vurugu za kisiasa zinazoendelea sasa visiwani zanzibar |
kauli hiyo ilitolewa na msajili wa vyama vya siasa nchini bwana john tendwa alipozungumza na waandishi wa habari juzi dar es salaam ofisini kwake huku akisisitiza kuwa mgogoro huo UNK kama wadau hao UNK pamoja na UNK |
alisema kuwa cuf ndio walio na jukumu kubwa la kusaidia kutuliza vurugu katika kisiwa cha pemba kwa kuwa wao ndio walio na nafasi kubwa ya kulea amani kisiwani humo |
katika utatuzi wa suala hili lazima ujue mdau wa kwanza ni nani wanaoweza kutatua tatizo hilo ni wadau wenyewe cuf watasaidia kuleta amani kule pemba kwa kuwa wana nafasi kubwa ya kufanya hivyo alisema bwana tendwa |
alisema kuwa amani ya nchi au eneo UNK kwa kuwatuma wafuasi UNK nyumba moto UNK upupu au kulipua madaraja bali kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa katika kudai haki |
pia alisema kuwa polisi wana kila sababu ya kutumia nafasi yao katika kukabiliana na hali yoyote ya uvunjifu wa amani endapo inaonekana kutaka kutokea |
hata hivyo alikiri kuwa matumizi ya nguvu kama kukamata watu au kutoa adhabu yoyote sio suluhisho la upatikanaji wa amani isipokuwa mazungumzo yanayolenga kufikia muafaka |
alisema kutokana kwa malalamiko ya mara kwa mara baada ya uchaguzi serikali imeamua kuanzisha baraza la ushauri wa kisiasa ili kushughulikia matatizo hayo |
baraza hili UNK vyama vyote vya siasa nchini lakini UNK kutokana na taratibu na kanuni zake UNK alisema |
na kulwa mzee mahakama ya wilaya ya ilala dar es salaam imemwachia huru mtoto wa naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga bwana nixon mahanga baada ya upande wa mashitaka kuamua kuifuta kesi hiyo |
uamuzi wa kumwachia huru mshitakiwa ulitolewa jana na hakimu mkazi bibi UNK chande baada ya mwendesha mashitaka wa polisi bwana denis mujuba kudai upande wao hawaoni haja ya kuendelea na kesi hiyo |
bwana mujuba alidai upande wa mashitaka unaomba kuondoa kesi hiyo chini ya kifungu cha sheria ya makosa ya jinai namba tisini na nane a kwani wamezingatia ushauri wa mwathirika ambaye aliomba kesi ifutwe |
hakimu chande alikubali maombi hayo na kumwambia mshitakiwa yuko huru anaweza kuondoka |
mshitakiwa alimshukuru hakimu na kuondoka |
bwana mahanga ambaye ni meneja wa chuo cha ugavi cha UNK chanika alifikishwa mahakamani machi tano mwaka huu UNK kwa kumjeruhi bwana joseph daudi kwa chupa usoni |
ilidaiwa kortini kuwa machi mosi mwaka huu saa tatu usiku katika baa ya UNK iliyopo chanika kinyume cha sheria mshitakiwa alimpiga bwana daudi kwa chupa ya bia na kumsababishia majeraha usoni |
sakata la malipo ya wafanyakazi waliohamishwa baraza la mitihani la taifa kwenda kwenye idara nyingine za elimu bado ni tete kutokana na serikali kushindwa kuwalipa mishahara yao ya agosti kama ilivyokuwa imeahidi juzi |
wakizungumza na gazeti hili dar es salaam wafanyakazi hao walisema hawajalipwa mishahara yao ya agosti na septemba kutokana na katibu mkuu utumishi kushindwa kuidhinisha mishahara hiyo |
kiongozi wa wafanyakazi hao alisema katibu mkuu huyo hajatoa kibali cha wao kuingizwa katika orodha ya malipo ya utumishi kwa kisingizio kuwa mishahara hiyo ni mikubwa licha ya katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuomba kibali hicho |
UNK kwa taratibu zisizo sahihi lakini sisi hatuna mgogoro na hilo tunachohitaji ni kulipwa mishahara yetu tuko hapa tangu jumatatu UNK tu hatuelewi nini hatima ya malipo yetu alisema kiongozi huyo |
wafanyakazi hao waliongeza kuwa kuna mvutano unaoendelea kati ya katibu mkuu utumishi na katibu mkuu wizara ya elimu jambo ambalo limesababisha kuchelewa kulipwa mishahara yao |
baraza la mitihani ni taasisi UNK tunashangaa uhamisho huo kufanyika kienyeji bila kushirikishwa hata mwenyekiti wa bodi profesa UNK mkandala hakuwa na taarifa ya uhamisho huo ambao kwetu ni kama adhabu aliongeza kiongozi huyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.