text
stringlengths
1
1.32k
baraza la mitihani liliamua kuikopesha wizara ya elimu shilingi milioni thebathini na mbili kwa ajili ya malipo ya wafanyakazi hao baada ya wizara hiyo kushindwa kuwalipa wafanyakazi hao lakini malipo hayo UNK kwa sababu hundi iliyotolewa haikufuata taratibu za kibenki kwa kuwa ilikuwa inazidi shilingi milioni kumi ku...
mfumo wa utendaji wa fedha serikali kuu ni tofauti na necta hundi hii inapaswa UNK vipande vinne ili iweze kukubalika na benki kuu kwa taratibu za kibenki zilivyo malipo haya yatakuwa tayari hapo ijumaa alisema mhasibu mmoja mwandamizi kutoka wizara ya elimu
pamoja na ufafanuzi huo wafanyakazi hao hawakuridhishwa na majibu kutoka ofisi ya uhasibu na kuapa kuwa hawataondoka katika majengo ya wizara hiyo hadi waonane na katibu mkuu ili awapatie nauli za kurudi kwao
wafanyakazi hao zaidi ya sabini kutoka mikoa mbalimbali wamekusanyika makao makuu ya wizara ya elimu kudai mishahara yao tangu UNK kutoka necta julai mwaka huu
wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha waliofanyiwa mtihani wa hesabu na wanafunzi wa sekondari ya azania UNK kuti kavu na mchakato wa kushughulikia adhabu yao umeanza huku ikielezwa kuwa adhabu yao ni kufukuzwa chuo
akizungumza na majira dar es salaam jana mkuu wa chuo hicho profesa edwin mjema alisema wanafunzi hao wa mwaka wa tatu walikamatwa wiki UNK nje ya eneo la chuo wakisubiri wanafunzi wa azania waliokuwa wanawafanyia mtihani
kwa kweli tukio hilo UNK sana kwa sababu sheria kanuni na taratibu za mitihani zinatolewa siku ambayo mwanafunzi anajiunga kwa mara ya kwanza lakini lazima UNK na kujieleza UNK na tukio hilo ikiwa ni pamoja na kutaka kujua njia wanazotumia kufanya ujanja huo alisema profesa mjema na kusisitiza kuwa adhabu ya kosa hilo...
alisema bwana frank kaduma aliyekuwa mwanafunzi wa sekondari ya azania alikuwa anamfanyia mtihani bibi tina wakati bwana john kapinga mhitimu wa kidato cha sita ishirini sifuri tatu alikuwa anamfanyia bwana UNK UNK anayesoma stashahada ya juu
profesa mjema alisema wanafunzi hao wa azania UNK walikiri kufanya hivyo kwa ahadi ya kupewa shilingi mia moja na hamsini sifuri sifuri sifuri kila mmoja baada ya kufanya mtihani huo
hatua hiyo imekuja baada ya wanafunzi hao wakiwa mwaka wa kwanza UNK somo hilo kuwalazimu UNK somo sasa na kwa kuwa hawakuwa UNK vyema walilazimika kukodisha vijana hao kutoka sekondari kuwafanyia mtihani huo
profesa mjema alisema pamoja na kwamba wakati tukio hilo yeye hakuwepo lakini atahakikisha zinachukuliwa hatua kali kukomesha tabia hiyo ambayo inaendelea kukithiri chuoni hapo
alisema kabla ya kuanza kwa muhula wa mwaka huu lazima kesi zote ikiwamo ya hao wanafunzi zitajadiliwa na kutolewa adhabu ambayo itakuwa fundisho kwa wanafunzi wengine
mashahidi wanaotarajiwa kumbana aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba katika kesi inayomkabili ya kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja watatajwa leo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu
mashahidi hao watatajwa na upande wa mashitaka baada ya kuchambua na aina ya mashahidi wanaohitajika
bwana liyumba alisomewa maelezo yake ya awali wiki iliyopita ambapo aliieleza kuwa michakato yote ya ujenzi wa mradi wa majengo pacha ya benki kuu ya tanzania ilikuwa na baraka ya bodi ya wakurugenzi
mtuhumiwa huyo alikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa kama bodi hiyo iliona amebadili makubaliano ya awali kwa kushirikiana na marehemu bwana daud balali na ikashindwa kumwajibisha basi haikuwa na maana lakini akasisitiza kuwa hakukuwa na malipo yoyote bila idhini ya bodi hiyo
kutajwa kwa mashahidi hao UNK kesi hiyo sasa ianze kuunguruma moja kwa moja kwa mashahidi hao kufika mahakamani hapo na kueleza namna mshitakiwa huyo alisababisha hasara ya mabilioni ya fedha
mbali na hiyo pia upo uwezekano wa upande wa mashitaka kumtaja mbaya wa bwana liyumba ambaye ndiye alisababisha mshitakiwa huyo kufikishwa mahakamani hapo
upande wa utetezi tayari UNK ombi mahakamani hapo la kutaka maelezo ya mlalamikaji wa kesi hiyo ili ujue kilichomo ndani yake hatua UNK upande huo kujiandaa kwa kesi yake
serikali imeshauriwa kuhakikisha huduma za dharula kwa wajawazito zinatolewa kuanzia ngazi ya zahanati ili kupunguza vifo vitokanavyo na matatizo ya uzazi
ushauri huo ulitolewa dar es salaam jana na mwenyekiti wa chama cha madaktari wanawake daktari UNK njelekela wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu jukwaa la wazi UNK vifo vitokanavyo na uzazi na ulemavu UNK jumatatu ijayo
huduma ya dharura ni haki ya kila mwanamke kwani madaktari UNK kati mjamzito anaweza kupoteza maisha alisema daktari UNK
akizungumzia vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia daktari njelekela alisema kwa kiasi kikubwa UNK vifo vya wajawazito
alitoa mfano akisema baadhi ya wajawazito wamekuwa wakipigwa bila kujali hali waliyonayo na matokeo yake kusababishiwa matatizo wakati wa kujifungua
alisema vifo vya wajawazito vimekuwa UNK na sababu mbalimbali mbali ya unyanyasaji wa kijinsia
daktari njelekela aliongeza kuwa UNK damu kwa akina mama wajawazito husababisha vifo vya wajawazito kwa asilimia themanini sifuri alitaja sababu nyingine kuwa ni uzazi pingamizi mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida wakati wa ujauzito na maambukizi ya magonjwa
kikosi kazi UNK na mkuu wa mkoa wa dar es slaam bwana william lukuvi kwa ajili ya kutafuta masalia ya mabomu katika eneo la mbagala kimefanikiwa kupata mabomu manane likiwemo kombora moja la UNK ndege lilikuwa ndani ya nyumba ya makazi wa mtaa wa kipata
UNK hayo ambayo ni masalia ya mabomu yaliyolipuka kuanzia april ishirini na tisa mwaka huu na kuua jumla ya raia ishirini na tisa wakiwemo askari sita na kuharibu nyumba tisa mia mbili na arobaini na saba na mali nyingine katika kambi jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania ya iliyoko mbagala kizuiani
kikosi hicho UNK polisi jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania na usalama wa taifa kiliundwa kwa mara nyingine tena baada ya kutokea mlipuko mwingine ambao ulisababisha kifo cha watoto watatu stella chavala regina chavala na rajabu said na kumjeruhi mwenzao UNK suleiman
chanzo cha habari kutoka katika eneo la tukio kilisema kuwa mabomu hayo yaliokotwa katika maeneo mbalimbali moja katika eneo la UNK ambalo ni kombora la kutungulia ndege UNK na UNK mabomu matano
kwa mujibu wa chanzo hicho shughuli hiyo bado inaendelea katika maeneo UNK hadi hapo watakapojiridhisha kuwa mabomu hayo UNK na UNK eneo hilo kuwa salama
hata hivyo chanzo hicho kilisema kuwa pamoja na kazi nzuri inayofanywa na askari walio katika UNK hicho zimeanza UNK kutokana na kukosa huduma za msingi kama chakula na maji kwa wakati wote wa shughuli hiyo
majira UNK na bwana lukuvi alisema kuwa tayari UNK timu hiyo madaraka yote na hawezi kuzungumzia jambo hilo na kumtaka mwandishi kuwasiliana na mkuu ya timu hiyo ambaye hata hivyo juhudi za kumpata jana UNK
viongozi wa juu ya dini kubwa nchini wamesema matajiri UNK kuamua mustakabali wa nchi kwa kutumia fedha zao kuwaweka madarakani viongozi watakaolinda maslahi yao badala ya maslahi ya umma
viongozi hao ambao UNK kwa nadra wametoa kauli hiyo ya pamoja wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi huu na uchaguzi mkuu mwakani huku kukiwa na tishio la matumizi makubwa ya ya fedha kwenye chaguzi hizo
tayari serikali UNK sheria UNK bunge kuweka ukomo wa matumizi ya fedha kwa wagombea na vyama vya siasa lakini pia kukiwa na wimbi la wafanyabiashara wakubwa kujipenyeza kwenye siasa kwa maslahi binafsi waliofikia azimio hilo dar es salaam jana ni wawakilishi wa baraza la waislamu tanzania baraza la maaskofu katoliki j...
wawakilishi hao ni rais wa tec askofu yudda thaddaeus ruwa ichi mufti mkuu wa zanzibar harith khelef mwakilishi wa naibu kadhi mkuu wa zanzibar kadhi said mahmud mwenyekiti wa cct askofu peter kitula na mwakilishi wa mufti mkuu sheikh taufiq ibrahim
viongozi hao pia waliwataka UNK kutotumia dini kujipatia madaraka
tunawataka wanasiasa wa vyama vyote kutotumia dini kwa siri au kwa wazi kujipatia kura na madaraka walisema katika maazimio ya mkutano huo
aidha waliazimia kuvikutanisha vyama vya siasa vya ccm na cuf na UNK kufikia muafaka kumaliza mgogoro kati yao uliodumu kwa muda sasa huku juhudi za kutafuta muafaka zikionekana UNK
viongozi hao wanaoheshimika katika jamii waliafikiana kushiriki katika kutoa elimu ya uraia kufanya juhudi kufahamu yanayofanywa na serikali kwa kuitaka iwaruhusu kushiriki kikamilifu katika michakato ya utengenezaji sera sheria na taratibu na masuala muhimu ya kitaifa
katika kikao hicho waliitaka serikali kuweka bayana wizara au idara inayoshughulikia mambo UNK vyombo vya dini
tunatoa wito wa pamoja kuwakumbusha wadau wote wa uchaguzi kuwa mchakato wa uchaguzi uwe wa amani na huru na tumeazimia kuitisha mkutano wa viongozi wote wa vyama vya siasa na tume ya uchaguzi ili kutoa nasaha za viongozi wa dini kuhusu umuhimu wa amani uhuru na haki katika uchaguzi mkuu ujao
mapema akifungua mkutano huo mwenyekiti wa juhudi za viongozi wa dini kuimarisha amani tanzania askofu UNK sendoro aliwaasa viongozi wa dini kutojihusisha moja kwa moja au kutumiwa kwa manufaa ya chama kimoja au mgombea
tafakarini kwa makini UNK kuona chaguzi zijazo za serikali za mitaa na ule wa mwakani wa rais wabunge na madiwani zinafanyika kwa amani ili kupata viongozi bora alisema askofu sendoro ambaye askofu mstaafu wa kkkt dayosisi ya mashariki na pwani
viongozi wa dini UNK kujihusisha moja kwa moja na chama kimoja yaani isije ikaonekana kuwa kiongozi fulani UNK kampeni mgombea au chama fulani UNK vyama au mgombea alisema
alisema UNK kampeni mgombea au chama chochote kutasaidia viongozi wa dini kuingilia kati UNK migogoro na kusikilizwa na pande zote
katika shughuli na mijadala yetu kama watanzania lazima tufuate falsafa ya kukubali kutokubaliana lakini UNK wala kuwekeana uadui alisisitiza
UNK pia kuwa viongozi wa dini watumie nafasi zao kukemea uendeshaji wa shughuli za kisiasa kiuchumi kidini na kijamii usio na maslahi kwa taifa
akichangia katika mkutano askofu wa kkkt dayosisi ya iringa daktari UNK UNK alisema amani UNK nchini kutokana na kutopewa umuhimu katika mambo na alama mbalimbali za kitaifa ukiwamo wimbo wa taifa
naye askofu john nkola alipendekeza iundwe kamati ya kitaifa ya viongozi wa dini kuishauri serikali katika mambo ya dini
mamia ya wafuasi wa chama cha wananchi jana walifanya maandamano makubwa UNK buguruni na kupokewa msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa katika viwanja vya kidongo UNK
ulinzi mkali wa polisi wenye sare na wasiokuwa na sare wakiwamo askari wa usalama barabarani kikosi cha kuzuia ghasia huku gari la upupu lenye maji ya kuwasha UNK barabara ya uhuru walipokuwa UNK waandamanaji hao
wafuasi wa cuf walionekana wakiwa na mabango yenye kueleza hisia zao kwa ujumbe tofauti kama vile UNK vitambulisho vya watu UNK na zanzibar iunde serikali ya umoja wa kitaifa kabla ya uchaguzi mkuu ishirini moja sifuri vinginevyo hatutakuwa na uchaguzi
ujumbe mwingine ulikuwa tunataka tume ya uchaguzi ivunjwe na iundwe tume UNK demokrasia ya kweli kwa dhamana ya muungano ni hivi UNK wazanzibar na tunasema muungano basi UNK tena waandamanaji hao waliongozwa na magari kadhaa ya polisi pt elfu moja na mia nne na arobaini na nne pt sifuri saba tano nne na pt sifuri mbil...
alisema demokrasia ya nchi yoyote akitolea mfano tanzania kuwa kamwe UNK kutokana na kuwa na watendaji wabovu UNK kupokea na kukubali changamoto za kuleta maendeleo hali inayotishia tanzania kuingia kwenye machafuko ya kisiasa endapo UNK kubadilika
akizungumzia suala la mwenyekiti wa nec jaji lewis makame kujiuzulu ikiwa ni pamoja na tume hiyo kuvunjwa alisema kuwa tume hiyo imeshindwa kuwa na meno kwa sababu watendaji wake wengi huteuliwa na rais jambo linalowafanya kuwa wazito kuchukua hatua dosari zinapojitokeza nyakati za uchaguzi
bwana tendwa aliwasihi wanachama hao na kuwataka kuwa wavumilivu katika kipindi chote UNK malalamiko yao huku yakifanyiwa kazi na kuahidi kuwa UNK katika mahala UNK
naahidi kushiriki kikamilifu katika kulitekeleza hili na kulifikisha ingawa ni suala la mchakato hivyo nidhamu na uvumilivu kwenu iwe silaha alisema bwana tendwa katika hatua nyingine reuben kagaruki anaripoti kuwa mwanachama wa cuf na wakili wa kujitegemea profesa abdalla safari alisema maandamano yanayofanywa na cuf...
akizungumza na gazeti hili dar es salaam jana profesa safari alisisitiza wanachofanya ni uhuni wa kisiasa UNK watu masikini kwenye jua lakini hakuna UNK
alidai kuwa mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba na katibu mkuu wake maalim seif sharrif hamad wanachotaka ni ruzuku maana sheria inaeleza kuwa chama UNK ruzuku bila kugombea
kama hawana imani na tume ya uchaguzi ni kwanini washiriki uchaguzi
UNK profesa safari ni kwa nini chama chake kinashiriki uchaguzi kama hakina imani na tume alisisitiza
alisema chama hicho kimekuwa kikipata fedha za ruzuku matokeo yake maalim seif anaenda nje kila siku huku wananchi wakiwa hawana wanachopata
asema kila mtu ana haki kugombea hata yeye akitaka chiligati tumepokea maoni UNK na wastaafu makalla UNK jaji warioba adai haoni mema ya jk katibu mkuu wa chama cha mapinduzi bwana yusuf makamba amesema ni ruksa kwa waziri mkuu mstaafu daktari salim ahmed salim kujitosa kwenye kinyangganyiro cha urais kupitia chama hi...
bwana makamba alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na gazeti hili kufuatia kauli ya daktari salim kutaka ccm iruhusu wagombea zaidi ndani ya chama hicho kupambana na rais jakaya kikwete kwenye uchaguzi mkuu mwakani
kwenye uchaguzi mkuu ujao hata yeye kama anataka kuingia katika kinyangganyiro hicho anaruhusiwa kufanya hivyo sababu ccm haina pingamizi kwa wanaotaka kugombea alisema bwana makamba
kauli ya makamba UNK na iliyowahi kutolewa na makamu mwenyekiti wa chama hicho pius msekwa kuwa kila mwanachama anaruhusiwa kuwania nafasi hiyo ingawa kwa utaratibu UNK ccm ni kumpisha rais aliyeko madarakani kumalizia kipindi chake bila kupingwa
alisema ushahidi uko wazi kwani mbunge wa maswa bwana john shibuda tayari ametangaza azma yake kugombea nafasi hiyo na UNK kwa hilo wala UNK
akizungumzia kauli nyingine iliyotolewa na jaji joseph warioba kuwepo mpasuko ndani ya ccm bwana makamba alisema hajui mwanasiasa huyo anazungumzia mpasuko upi
ndani ya chama hakuna mpasuko na kama upo UNK yeye chama kipo imara na kina viongozi makini hivyo UNK kupongezwa badala ya kulaumiwa kwani kinapiga vita ubaguzi ukabila na udini kwa nguvu zote alisema bwana makamba naye katibu mwenezi wa ccm bwana john chiligati alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu kauli za wanasiasa h...
ccm haitaki malumbano na wazee wetu hayo waliyotoa ni maoni yao hakuna binadamu mkamilifu UNK ni mungu peke yake alisema
bwana chiligati alisema kama kuna UNK kwamba ndani ya ccm kuna upungufu wanashukuru na kama upo wataufanyia kazi
naye katibu wa halmashauri kuu ya ccm uchumi na fedha bwana amos makalla amepinga kauli ya jaji warioba na kudai kuwa jaji warioba amekuwa mtu wa kulaumu bila kutoa hoja za kujenga
nimesoma kwa makini dukuduku la waziri mkuu mstaafu joseph warioba UNK na vyombo vya habari kuwa nchi inaelekea UNK imani ya wananchi kwa serikali imepungua na pia mgawanyiko katika chama UNK nchi kwa kifupi niseme namheshimu sana mzee warioba kwanza kama kiongozi mkuu mstaafu na pia kama mzee wangu ila nataka niseme ...
bwana makalla alidai kwamba kwa muda mrefu matamshi ya jaji warioba yamekuwa UNK kuilaumu serikali ya rais jakaya kikwete jambo linalochangia wananchi kujenga chuki
mimi nachelea kusema kuwa mzee warioba amekuwa mzee UNK namba moja kutengeneza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao
UNK watanzania UNK ni kuwa mzee warioba ni miongoni mwa wanaccm waliokuwa na wagombea wao katika kinyangganyiro cha urais ishirini sifuri tano na yeye mgombea wake alikuwa salim a salim ambaye alishindwa na jakaya kikwete
kauli zake zimeelekea siku zote kutaka kuwaonesha watanzania kuwa serikali ya awamu ya nne haijafanya jambo hata moja jema alisema bwana makalla alidai kuwa ni vigumu mwanasiasa huyo kusifia mafanikio ya serikali ya awamu ya nne kwani dhamiri UNK kuwa hakupenda mgombea wake UNK
nashangaa mzee warioba hataki kuamini utafiti uliofanywa na watafiti bado serikali ya chama cha mapinduzi UNK
hivi jitihada za serikali kuwachukulia hatua watuhumiwa ufisadi kwake yeye serikali ya kikwete haijafanya lolote
alihoji bwana makalla
alisema ccm imeendelea kushinda chaguzi nyingi ndogo jambo linaloonesha iko imara na wananchi wana imani nayo na kuongeza kuwa vita ya UNK inayoendeshwa sasa utekelezaji wa mambo UNK ndani ya katiba ya chama hicho
alimtaka jaji warioba kuacha kueneza propaganda za kuichafua serikali kwa malengo yake ya kisiasa
namuomba mzee warioba akumbuke kuwa ukijua kukosoa ujue pia kusifia
UNK ni kwa kiasi gani yeye alipambana na rushwa na UNK ni namna gani tume yake UNK hatimaye ndugu UNK kiula UNK kwa ushauri wake na matokeo yake kiula UNK kesi
namwomba mzee warioba aiche serikali iendelee kuwatumikia wananchi kuwaletea maendeleo na kukabiliana na changamoto mbalimbali
msingi wa umoja amani na mshikamano kwa watanzania ni mambo muhimu kwa ustawi wa nchi yetu kwa kauli za warioba anataka kuvunja misingi hiyo
aliwataka watanzania kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali ya ccm na rais kikwete na kuchukulia kauli za jaji warioba kama ni za ubinafsi zenye harufu ya makundi ya urais mwaka ishirini sifuri tano akizungumzia kauli ya daktari salim mwanasheria wa chadema bwana tindu lissu alisema inadhihirisha kuwa ndani ya ch...
kauli hiyo siyo ya kupuuza atakuwa UNK UNK na kauli utendaji wake alisema bwana lissu
lakini kuhusu kauli ya jaji warioba mwanasheria mwandamizi profesa abdallah safari alisema rais kikwete alikuwa sahihi kusema hivyo ili wananchi waelewe hatua zinazochukuliwa katika vita ya ufisadi
aliulizwa na wananchi UNK ingekuwa aibu kwa rais kuulizwa vitu ikaonekana hafahamu alisema na kuongeza ni lazima kesi kubwa UNK nchi UNK leo waziri hawezi kufikishwa mahakamani rais akawa hafahamu dpp kama anajua kitu kikubwa lazima UNK na rais ili aone kama kuna tatizo
alizidi kusema kuwa kuna mambo mengi UNK na rais kikwete lakini kwa hili siwezi kusema ana washauri wabaya
alisema kila kiongozi ana stahili yake ya UNK
katika kipindi hiki cha kupambana na ufisadi na kuelekea uchaguzi ni lazima rais aoneshe anafanya nini alisema
profesa safari alisema ni jambo la kawaida rais kupokea taarifa kutoka kwa wasaidizi wake
itakuwa ni jambo la ajabu kama kuna taarifa kubwa mkurugenzi wa usalama au dpp anaifahamu rais UNK alisema profesa safari
kwa upande wake lissu aliunga mkono kauli ya jaji warioba akifafanua kuwa ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali ipo huru kulingana na mabadiliko yaliyofanyika katika katiba
alisema katiba inaeleza kuwa ofisi ya dpp ni chombo huru itafanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yeyote
sasa rais alijuaje kuwa kuna kesi zinatakiwa kufunguliwa mahakamani