text
stringlengths
1
1.32k
hii inadhihirisha kuwa ofisi ya dpp UNK na rais kumpatia taarifa kabla ya kesi kufikishwa mahakamani alisema bwana lissu
alibainisha kuwa kazi ya kuandaa mashitaka siyo ya rais kikwete bali ni ya ofisi dpp hivyo rais kikwete hakutakiwa kupelekewa taarifa hizo
hata kama hakutaja majina ya watu UNK kesi lakini alijuaje kuwa kuna kesi mbili UNK mashtaka mahakamani
alihoji bwana lissu na kuongeza hilo siyo jukumu lake rais hawezi kufanyakazi kila idara
wakiachiwa UNK
alipoulizwa kama anaungana na kauli ya jaji warioba kuwa washauri wa rais UNK vizuri bwana lisu alijibu inawezekana hana washauri wazuri au UNK inawezekana anashauriwa vizuri UNK
mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali davis mwamunyange leo anatarajia UNK kikosi kazi UNK masalia ya mabomu katika eneo la mbagala
mwamunyange anatembelea kikosi hicho ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa na gazeti hili pekee kuwa kimefanikiwa kupata mabomu manane moja likiwa kombora la kutungulia ndege UNK kwenye nyumba ya mtu
kikosi hicho kiliundwa wiki iliyopita baada ya mlipuko mpya kuua watoto watatu na kujeruhi mwingine mmoja
chanzo cha habari kutoka katika kikosi hicho kilisema mkuu huyo wa jeshi atawasili katika eneo hilo saa mbili sifuri sifuri asubuhi
kazi inakwenda vizuri na kesho mkuu wa majeshi anakuja UNK kuangalia jinsi kazi inavyokwenda kilisema chanzo hicho
alisema sasa watu wote wameanza kufanya kazi kwa bidii kubwa kutokana na kuanza kupewa huduma za msingi ambazo awali walikuwa UNK na hivyo katika siku ya jana UNK kupata risasi sita aina ya smg na flora amon dodoma polisi mkoani hapa wanamshikilia bwana maneno UNK mkazi wa kijiji cha msanga wilayani chamwino kwa tuhum...
akizungumza mjini hapa jana kamanda wa polisi wa mkoa wa dodoma bwana omari mganga alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba usiku katika kijiji hicho baada ya mtuhumiwa kwenda katika nyumba mojawapo na kufanikiwa kuingia ndani
alisema baada ya mtuhumiwa kuingia ndani aliwakuta mke na mume wakiwa wamelala na kuanza kumwingilia mwanamke bila mumewe kujua ambapo inadaiwa hufanya hivyo kwa imani za kishirikina akiwa amevaa UNK
hata hivyo mume wa mwanamke huyo alishituka na kuanza kupiga kelele
rpc alisema kelele hizo UNK majirani ambapo walifanikiwa kumkamata kijana huyo na kumfungia katika ofisi za serikali ya kijiji ambapo asubuhi wakazi hao UNK mtuhumiwa kuhusiana na tukio hilo
alisema siku za hivi karibuni kijana huyo UNK wanawake kumi na moja wakiwamo wanafunzi watatu wa kijiji hicho ambapo juzi ndipo UNK kumwingilia mama huyo na kukamatwa
mtuhumiwa alipohojiwa kuhusiana na tuhuma hizo alikiri kutenda kosa hilo ambapo alidai alipewa dawa hiyo na mama yake mzazi ambayo huwa UNK mkononi kama UNK
anatarajiwa kufikishwa kortini wakati wowote mara baada ya uchunguzi kukamilika
naye wilhelm mulinda anaripoti kutoka mwanza kuwa polisi inamshikilia mkazi wa nyamhongolo bwana said idd kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga fimbo kichwani
rpc wa mwanza bwana jamal rwambow alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa kumi alfajiri aprili kumi na tatu mwaka huu eneo hilo la nyamhongolo na kumtaja mwanamke huyo kuwa ni bibi UNK musa ambaye alikuwa mganga wa kienyeji
alisema chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo inadaiwa mara kwa mara bwana idd alikuwa UNK na kitendo cha mkewe kukamatwa ugoni kabla UNK miaka miwili iliyopita
pia katika tukio lingine bwana rwambow amesema UNK watu wawili kwa tuhuma za kumbaka bibi kizee mwenye umri wa miaka sitini katika eneo la UNK UNK
aliwataja watu waliokamatwa katika tukio hilo lililotokea juzi saa nane usiku kuwa ni bwana UNK juma na bwana UNK marwa ambaye umri wake UNK mara moja
alisema kabla ya tukio hilo ajuza huyo na wanaume hao walikuwa pamoja wakinywa pombe za kienyeji na baada ya kulewa wanaume hao walimbeba ili kumpeleka nyumbani ambapo wakiwa njiani UNK nguo na kuanza kumbaka
hatma ya watendaji wa mamlaka ya ustawishaji makao makuu wanaotuhumiwa kupokea rushwa na UNK wananchi kwa uwezo wao wa kifedha ipo mkononi mwa waziri mkuu mizengo pinda
hatua hiyo UNK jana baada ya tume iliyoundwa na bodi ya mamlaka hiyo kukabidhi taarifa yake iliyosheheni vielelezo kwa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo
kwa mujibu wa sheria UNK cda mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na nne mwenye maamuzi ya mwisho juu ya utendaji wa mamlaka hiyo ni waziri mkuu hivyo iwapo UNK maamuzi mazito ndiye UNK
akikabidhi taarifa hiyo ya vitabu vitabu kwa marmo mwenyekiti wa tume hiyo bibi UNK bidya alisema tume yake imefanya kazi kama ilivyoagizwa kwa muda wa siku ishirini na moja na kubaini mambo mbalimbali ambayo UNK
taarifa yetu imegawanyika katika sehemu kuu tatu kitabu cha kwanza ni taarifa ya malalamiko ya wananchi pili ni mchakato wa kufuatilia tuhuma hizo na cha tatu ni vielelezo kuhusu malalamiko hayo alisema
habari zilizolifikia majira tangu juzi zinaeleza kwamba tume hiyo imebaini mambo mengi yasiyofaa yakiwa na vielelezo ambavyo vinaweza kutumika kama ushahidi dhidi ya baadhi ya watendaji wa cda hasa kuhusu suala la viwanja vya wazi na vya michezo pamoja na minara ya simu
bwana marmo ambaye pia ni mwenyekiti wa bodi ya cda aliwataka wananchi watambue kwamba serikali UNK bali UNK kazi malalamiko yao juu ya cda marmo UNK kilichomo ndani ya taarifa hiyo
kwa sasa siwezi kueleza kwa kuwa tume UNK na bodi ya wakurugenzi wa cda na mimi ni mwenyekiti tu mpaka UNK hii taarifa kwenye bodi ili iamue nini cha kufanya alisema
hata hivyo alibainisha kwamba mapendekezo yote ya tume ya bidya yatatekelezwa ndani ya miezi sita hadi miezi kumi kuanzia sasa
kuhusu hatma ya wafanyakazi watatu wa cda waliosimamishwa kazi kwa tuhuma mbalimbali alisema bodi yake itatoa uamuzi juu yao ndani ya mwezi mmoja kuanzia jana
wajumbe wengine wa tume hiyo walikuwa bwana noel kazimoto hilda kabisa neema mwanda bwana martin mhagama UNK UNK bibi modesta UNK UNK UNK na bwana UNK UNK pia kutoka ofisi ya waziri mkuu
katibu mkuu wa chama cha wananchi maalim seif sharif hamad UNK tume ya uchaguzi ya zanzibar kuwa UNK na uchafuzi wa uchaguzi na sio usimamizi wa uchaguzi kama ambavyo UNK
katika barua yake iliyoelekezwa kwa mwenyekiti wa tume hiyo bwana khatib mwinyichande alisema kuwa lengo lake ni kuikumbusha tume hiyo kuwajibika ipasavyo ili kuepuka matatizo hapo baadaye
tume hiyo imekuwa mara kwa mara UNK utendaji wake kuwa unafuata sheria na kuwataka UNK kuwa na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi bali chama cha cuf ndicho kinasababisha vurugu visiwani humo
bwana seif alisema kwamba cuf ilifanya uchunguzi na kugundua kuwepo kwa tofauti kubwa katika uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa sababu tume hiyo UNK wapiga kura katika maeneo ambayo uboreshaji wa daftari hilo UNK
alidai tume hiyo UNK vitambulisho hivyo kama kigezo cha mtu kuandikishwa kwa kuwa idadi ya waliopewa vitambulisho hivyo na wale walioandikishwa na tume hiyo UNK
pia UNK zec na idara ya vitambulisho kuwa wanasema uongo katika takwimu zao za watu waliojiandikisha kwamba kuna watu UNK na masheha kutoka majimbo mengine ikiwa ni njama za UNK chama cha mapinduzi
maalim seif alisema kwamba vitendo hivyo UNK mazingira UNK baadhi ya watu kupiga kura zaidi ya mara moja
unapaswa kuifahamu hoja yetu kwamba wananchi UNK zoezi hili ambalo tume yako imelipa jina la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura ni kwa sababu wanafahamu kwamba ni mwendelezo wa uchafuzi na kwamba wewe na tume yako UNK uchafuzi wa haki ya wazanzibari alisema maalim seif
hata hivyo alisema kwamba cuf kamwe haitakubali kuwa sehemu ya uchafu huo na wameishauri tume hiyo UNK kwa kujitoa kwenye uandikishaji huo mchafu
azimio la viongozi dini kutaka kuvikutanisha tena vyama vya siasa UNK visiwani zanzibar UNK kwa hisia tofauti na vyama husika huku chama cha mapinduzi UNK kurejea mazungumzo na chama cha wananchi kutaka utaratibu mbadala
akizungumza na majira makao makuu ya cuf jana naibu mkurugenzi wa uenezi na mahusiano na umma bibi ashura mustapha alisema kuwa hawatakuwa tayari kurudi nyuma na kujadili yaliyopita bali UNK ni kufanya utekelezaji wa UNK
alisema kuwa ni furaha kwao kuona taasisi za dini UNK mbali na kuamua kuliingilia suala hilo ingawa amewataka katika utekelezaji wao wazingatie suala hilo lilipofikia ndipo waone UNK la sivyo watoe suluhisho mbadala
suala lililopo ni ccm kutekeleza UNK na sio kama UNK wenzetu kwa kulirudisha jambo hili kwa wanachi ili UNK maamuzi alisema
alisema kuwa wenzao wa ccm wamekuwa kigeugeu kwani makubaliano yao ya mwisho yalikuwa kwamba iundwe serikali ya mseto lakini wenzao walipokwenda butiama UNK maamuzi na kutaka kura ya maoni
kwa upande wake katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana john chiligati UNK hatua ya viongozi wa dini hao na kusema kuwa wako tayari kwa wito huo wa kutaka kuwakutanisha na mahasimu wao wa cuf alisema anashangaa siku cuf kutotaka kurejea katika meza ya mazungumzo huku UNK waanze utekelezaji wa makubaliano ambayo kwa u...
bwana chiligati alisema kuwa UNK sana endapo cuf hawatakubali UNK wito huo jambo litakaloashiria kuwa hawana nia ya dhati ya kutaka kumaliza mgogoro huo
ffu apigwa nondo UNK damu
viongozi wa cuf watiwa mbaroni eneo la njiapanda ya segera wilayani handeni mkoani tanga jana UNK uwanja wa vita kwa saa kadhaa baada ya wakazi wa vijiji jirani kufunga barabara kuu ya chalinze segera kwa zaidi ya saa sita kupinga hatua ya kubomolewa vibanda vyao vya biashara kwa lengo la kumpisha mwekezaji mwenye asi...
vurugu hizo zilisababisha mkazi mmoja wa kijiji cha michungwani bwana omari juma kuuawa kwa majeraha ya risasi huku askari wa kikosi cha kutuliza ghasia namba d ishirini sifuri nne UNK sajini ramadhani kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa nondo kichwani na wananchi wenye hasira
kipigo hicho kilimfanya atapike damu na kukimbizwa hospitali ya magunga wilayani korogwe ambako amelazwa kwa matibabu
vilio UNK eneo hilo wakati operesheni ya kubomoa vibanda hivyo ikiendelea huku wananchi hao wakimtaka mkuu wa mkoa wa tanga bwana said kalembo kufika eneo hilo kuona wazawa UNK kwani walidai hawakupewa taarifa ya bomoa bomoa hiyo
sisi hatuna ugomvi na mwekezaji tunachotaka kujua ni kwamba kwa nini waje UNK vibanda vyetu bila ya taarifa
tena mali zetu zikiwemo UNK hasara hii UNK nani
hivi kweli rais kikwete haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania
alisema mmoja wa wananchi hao aliyejitambulisha kwa jina moja la bakari huku akibubujikwa machozi
walisema hatua ya UNK vibanda UNK kwa kiasi kikubwa uchumi wao kwani eneo hilo UNK kuwaingizia kipato
UNK na gazeti hili katika hospitali ya magunga wilayani korogwe mkuu wa upelelezi mkoa wa tanga UNK mohamed alithibitisha kutokea kifo hicho na kuumia kwa askari huyo
alisema mwananchi huyo alifariki dunia baada ya gari ya benki lililokuwa UNK fedha kutoka tanga kwenda dar es salaam kufika eneo la segera na kukuta mkusanyiko huo mkubwa wa watu na magogo barabarani huku baadhi ya wananchi katika vurugu hizo wakidaiwa UNK mawe gari hilo
kutokana na hali hiyo askari wa benki waliokuwa kwenye gari hilo walilazimika kufyatua risasi kuwatawanya wananchi hao
katika purukushani za kuwatawanya wananchi hao ndipo risasi hiyo UNK mtu huyo na kufariki dunia
baada ya tukio hilo wananchi walimvamia askari huyo na kuanza kumpiga na kumjeruhi vibaya
askari wengine pia walijeruhiwa
watu kadhaa UNK kwa tuhuma za kuchochea vurugu hizo
hali ya askari huyo hadi jana jioni ilikuwa mbaya ambapo utaratibu wa kumhamishia hospitali ya mkoa wa tanga bombo ulikuwa UNK
kutokana na vurugu viongozi waandamizi wa chama cha wananchi kata ya segera wanadaiwa kushikiliwa na polisi wakituhumiwa kuhusika kuchochea vurugu hizo
viongozi hao ni pamoja na bwana nassoro UNK bwana hassan UNK ambao walikamatwa sambamba na watu wengine wanaosadikiwa kuwa vinara wa vurugu hizo
kutokana na kamata kamata hiyo baadhi ya wananchi wa eneo hilo waliingia mafichoni kwa muda UNK kukamatwa baada ya hali ya usalama kutokuwa nzuri siku ya jana
mkuu wa wilaya ya handeni kapteni mstaafu seif mpembenwe aliwasili eneo hilo saa nne na ffu na kuanza kuondoa magogo hayo barabarani kuruhusu magari kupita
alipotakiwa kueleza sababu za mgogoro huo alisema hapa hakuna mgogoro ni uhuni kwa sababu kama mgogoro wa kiwanja UNK na mahakama wao wanajua lakini wanafanya uhuni alieleza kuwa mtu huyo aliyeuawa kifo chake UNK na ffu bali ni wale wa benki waliokuwa UNK kutokana na UNK huo mkubwa ili UNK fedha hizo
aliongeza kuwa tayari mahakama ilishatoa uamuzi kuwa wafanyabiashara hao waondoke katika eneo hilo lakini wakaendelea UNK
kama kweli kuna tatizo hakuna kiongozi yeyote wa kijiji aliyekuja kunieleza chochote tangu nilipofika lakini kama UNK ya msingi UNK taratibu zinazostahili sio kufunga barabara alisema kauli za hivi karibuni za waziri mkuu mizengo pinda kuwa watanzania waache kununua suti kwa sababu zina gharama kubwa na ile ya kutaka ...
watu wa kada mbalimbali waliozungumza na majira wameonyesha kutokubaliana na kiongozi huyo na wengine kumshambulia kuwa ameanza kulalamika badala ya kuonyesha kuwa mtendaji
mbunge wa karatu daktari wilbroad slaa alimtaka pinda kuwa waziri mkuu mtendaji na siyo UNK
daktari slaa alisema kuwa waziri mkuu ni mtendaji na ndiye mwenye maamuzi anachotakiwa kufanya ni kuwachukulia hatua wale wote wanaokwenda kinyume na maagizo yake
pinda analalamika kama mimi UNK kuhusu mashangingi kambi ya upinzani UNK sana hilo toka mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita tulisema magari yanayotakiwa kutumika yawe suzuki tukatoa mifano mingi wenzetu wa nchi ya india viongozi walivyo na utaratibu mzuri wa kutumia magari
lakini UNK kama kauli yetu UNK kutoka mwaka huo tulipokuwa tunapiga kelele tungekuwa tumejenga zahanati ngapi nchini sasa
alihoji
alisema kuwa UNK ni pale anaposikia waziri mkuu analalamika wakati yeye anatakiwa kuchukua hatua na kwamba tatizo kubwa lililopo nchini ni kwamba hakuna watu wanaofikiria na UNK na ndio maana analazimika kusema kuwa serikali UNK
akizungumzia vazi la suti daktari slaa alisema kuwa anaunga mkono kauli ya bwana pinda kwa sababu anashangazwa na baadhi ya viongozi wanaokwenda kukagua bustani au mashamba wakiwa amevaa suti
sasa hivi hata bwana maji UNK anakwenda kukagua bomba akiwa amevaa suti na ndio maana mimi UNK hata siku moja nikiwa nimevaa suti UNK UNK wangu na kama wangekuwa wanaruhusu ningekuwa UNK hata bungeni alisema
mbunge wa viti maalum bibi anna abdallah aliunga mkono kauli ya bwana pinda akisema kuwa wanaovaa suti sehemu UNK UNK kama weu na ndio maana kazi nyingi zina mavazi yake rasmi
kila kazi ina miiko yake sisemi kuwa watu wasiwe nadhifu ni vema turudi UNK ila sijaona mbunge anayekwenda kuwatembelea wananchi wake akiwa amevaa suti labda kwa dar es salaam ila ninachoomba kuwepo vazi la kazi na rasmi alisema
naye mbunge wa ilala bwana mussa hassan zungu akizungumzia magari ya kifahari alisema kuwa suala hilo aliwahi kulipigia kelele bungeni na kwamba anashangazwa sana kuona kiongozi akiwa ametinga kwenye gari kubwa la kifahari akienda jimboni huku wananchi wake wakiwa hawana mbele wala nyuma
lakini bibi halima mdee ambaye ni mbunge wa viti maalum alisema umaskini wa watanzania hauwezi kwisha kwa UNK suti kwani wanaovaa vazi hilo ni matajiri na viongozi ambao ni sehemu ndogo
bibi mdee alisema kuwa vazi hilo hupendelewa kuvaliwa na viongozi wa serikali na watu wenye uwezo kwa sababu wanamudu gharama za manunuzi
nashangaa kusikia waziri mkuu kusema kuwa umaskini unachangiwa na kuvaa suti hii sio kweli kwani UNK wa vazi hilo hawajafika watu mbili sifuri sifuri sifuri kinachotakiwa aangalie kitu ambacho kinasababisha umaskini na sio hili UNK alisema bibi mdee
alisema kuwa kama pinda anataka wananchi wavae mavazi mengine serikali inatakiwa UNK viwanda vya kutengeneza nguo ili watanzania UNK nguo kutoka nje zikiwemo suti ambazo anasema zinauzwa kwa gharama kubwa
chukua hatua kwa kweli sisi ndio UNK mikoani na tunaona watanzania mavazi UNK ni ya kawaida ikiwemo mitumba ambayo wanamudu gharama zake alisema bibi mdee
kwa upande wake mbunge wa micheweni kwa chama cha wananchi bwana shoka khamis juma alisema kuwa kuvaa suti au UNK ni UNK la mtu
alisema kuwa kinachotakiwa waziri mkuu asiingilie utamaduni wa mtu kumtaka avae vazi gani na pia vazi hilo UNK umaskini wa nchi
kama waziri mkuu anataka watu waache kuvaa suti angeanza kuonesha mfano kwa kuwapiga marufuku watumishi wa serikali kama UNK nguo hizo lakini kama UNK haina haja ya UNK
naye mkazi wa jiji bwana UNK mdoe alisema uvaaji wa suti umetokana na ukuaji wa sayansi na teknolojia na watu wameanza kuiga vitu kutoka nchi za magharibi vikiwemo na UNK
jana pinda alikaririwa akisema kuwa vazi la suti UNK watanzania ni la gharama kubwa ukilinganisha na kipato chao cha kawaida na hivyo kushauri wavae mavazi mengine ya kawaida
imeandikwa na gladness mboma arusha rehema mohamed na rehema mwakasese dar asema lengo ni kutaka kulinda maslahi yao adai huo ni udhaifu dawa yake UNK waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo amekiri kuwapo kwa kasoro za kiuongozi katika serikali ya tanzania ikiwamo ile ya matajiri kuwa na msukumo mkubwa...