text
stringlengths
1
1.32k
bwana marmo aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza na majira ili kutoa maoni yake juu ya kauli ya viongozi wa dini walioitaka kuhakikisha matajiri UNK wananchi viongozi
alisema pamoja na kwamba sio rahisi kuwabaini kwa mara moja watu hao ila anafurahi kusikia wadau wa madhehebu ya kidini walivyoamua kulivalia njuga kwa lengo la kulinusuru taifa
hii inaashiria kuwa tumefikia mahala pazuri katika kupambana na watu wa aina hiyo alisema
kauli hiyo ya bwana marmo inakuja siku moja baada ya viongozi wa juu wa madhehebu ya dini nchini kukemea tabia ya matajiri wanaotumia mali zao vibaya kwa kuweka viongozi watakaolinda maslahi yao
viongozi waliofikia azimio hilo katika mkutano wa pamoja juzi ni wawakilishi wa baraza la waislamu tanzania baraza la maaskofu katoliki jumuiya ya kikristo tanzania ofisi ya mufti zanzibar na ofisi ya kadhi zanzibar
wawakilishi madhehebu hayo ni rais wa tec askofu yudda thaddaeus ruwa ichi mufti mkuu wa zanzibar harith khelef mwakilishi wa naibu kadhi mkuu wa zanzibar kadhi said mahmud mwenyekiti wa cct askofu peter kitula na mwakilishi wa mufti mkuu sheikh taufiq ibrahim
bwana marmo alisema kuwa miongoni mwa njia zitakazotumika kuwabaini watu wa aina hiyo ni pamoja kutungwa kwa sheria ya kusimamia matumizi ya fedha wakati wa uchaguzi kuanzia kwenye kura za maoni ambayo mchakato wake umeanza
sio rahisi kwa sasa kugundua ni kwa kiasi gani watu wanatumia fedha vibaya wakati wa uchaguzi na namna ya kuwabana na hii ni kutokana na kwamba hakuna sheria UNK mambo haya alisema
alisema kuwa muswada wa sheria hiyo unatarajiwa kuchapishwa wiki ijayo kwenye gazeti la serikali kupitia kwa mpiga chapa mkuu wa serikali ili watu UNK na kuupitia huku ukisubiri kupelekwa kusomwa kwa mara ya kwanza bungeni katika mkutano ujao kuanzia oktoba ishirini na saba mwaka huu
bwana marmo alisema kuwa sheria hiyo itakapokamilika hawezi kujihakikishia kwa asilimia mia kuwa itatekelezwa na kufuatwa katika nyakati za uchaguzi lakini anaamini kuwa itawabana na kuwawajibisha wahusika kama zilivyo sheria nyingine
alisema sheria hiyo mpya itawabana wagombea wa kila chama cha siasa kuonesha viwango halali vya fedha UNK katika kipindi chote cha uchaguzi hivyo kuepusha mianya ya matajiri kuendelea kuivuruga serikali katika kuwania madaraka
serikali imesema upatu unaoendeshwa na kampuni ya deci ni mfumo uliojaa ujanja ujanja na haujawahi kufanikiwa sehemu yoyote duniani
kutoka na ukweli huo imewataka wananchi kuzingatia onyo lililotolewa hivi karibuni na benki kuu ya tanzania na soko la mitaji kuepuka upatu huo kwa maslahi ya mitaji yao
akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari dar es salaam jana waziri mkuu bwana UNK pinda alisema deci inaendeshwa kinyume cha sheria na kamwe serikali haiwezi kukaa kimya kuacha wananchi wahatarishe mitaji yao
bwana pinda alisema sheria namba nane ya mwaka ishirini sifuri sita iliyosainiwa na rais na kuanza kutumia januari tano ishirini sifuri saba UNK michezo yote ya upatu
alieleza kuwa kifungu cha mia moja na sabini na moja na cha sheria hiyo kimeeleza wazi kuwa yeyote anayeongoza au kuendesha mchezo wa upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa mtu mmoja na kumpa mwingine kwa muda uliopangwa anafanya kosa
nilipokaa na wataalamu nikawauliza kuhusu jambo hili wameniambia mfumo huu ni upatu
upatu unaendeshwa kwa kuchukua fedha kutoka kwa mtu mwingine bila kumlipa riba ila ni fedha inayolipwa kutokana na ongezeko la wateja wapya nikasema makubwa haya
mbona itatuletea mgogoro
alihoji bwana pinda na kuongeza upatu unaoeneshwa na deci haujawahi kufanikiwa sehemu yoyote duniani ni mfumo uliojaa ujanja ujanja mwisho wa siku watu UNK
bwana pinda alisema deci UNK kwa wakala wa usajili wa kampuni julai ishirini na tano mwaka ishirini sifuri saba na imekuwa ikiendesha skimu mbili ambazo ni vuna UNK na mbegu uliyopanda na elimu skimu kwa kuboresha elimu taarifa za brella zimeonesha deci inamilikiwa na mchungaji jackson mtaresi mwenye hisa kumi na mbil...
alisema watu wengi sasa wanakimbilia kukopa kiasi kikubwa cha fedha benki na vyama vya akiba na mikopo na kuzipeleka deci jambo ambalo ni hatari kubwa kwa uchumi wa nchi
viwango vya deci ni vikubwa sana ukilinganisha na riba ya asilimia sita inayotolewa na mabenki wapo UNK benki na saccos wanachukua fedha nyingi wanapeleka deci hii UNK mambo yatakuwa kama yale ya marekani alionya bwana pinda
alisema hadi sasa deci ina matawi arobaini na sita katika mikoa kumi na nane nchini na jumla ya wanachama mia nne na ishirini na tatu mia nne na sabini na sita amana zao zikiwa jumla ya shilingi bilioni kumi na tatu sabini na tano wakati taarifa za mabenki zinaonesha kampuni hiyo ina shilingi bilioni moja themanini na...
ukilinganisha sehemu kubwa ya fedha za deci UNK nje mfumo wa benki maana yake deci ikifungwa leo na mali zake zote kukusanywa hazitoshi kuwalipa wanachama wake alisema na kusisitiza kuwa uhai wa deci unategemea idadi ya wanachama wapya
bwana pinda alisema skimu za namna hiyo UNK mara tu UNK wanachama wapya UNK
alitoa mfano wa albania mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita ambapo theluthi mbili ya wananchi wake walijiunga kwenye skimu kama hiyo
UNK mwamba watu wote waligeuka na kuilaumu serikali jambo UNK machafuko makubwa
alieleza kuwa taarifa zimeonesha kuwa deci kenya nayo ilisambaratika kadhalika nchini marekani skimu ya namna hiyo ilisambaratika na kuonya jambo hili leo laweza kuonekana rahisi lakini madhara yake UNK watu wengi wataumia
alisema serikali imeunda sekreterieti inayojumuisha bot polisi na soko la mitaji kuchunguza deci na UNK shughuli hiyo na kujua ukubwa wa tatizo hatua za haraka zitachukuliwa
mfumo huu ni kinyume cha sheria zetu sasa kama ni kinyume cha sheria vyombo vipo ni lazima sekreterieti hiyo UNK na hatua zichukuliwe alisema na kuongeza upatu huu si jambo ambalo katika ngazi ya serikali tunaweza kusema UNK
upatu huu UNK na wajanja wajanja na hakuna cha maono wala UNK
alisema bwana pinda
alisema mbali na deci amepewa taarifa za kuwepo taasisi zingine kama hiyo zinazoendesha shughuli kama hiyo nchini na kuahidi kufuatilia jambo hilo
UNK bot kwa kushindwa kuchukua hatua mapema dhidi ya deci kwani alisema yalikuwepo mawasiliano ya barua ya muda mrefu kati ya chombo hicho kuitaka deci kutoa maelezo ya kukiuka malengo ya usajili wake lakini UNK majibu
naye reuben kagaruki anaripoti kuwa wakati bot ikiendelea kuwahadharisha wana upatu wa deci kuwa wanahatarisha mitaji yao wateja hao UNK kiasi cha kufika makao makuu ya kampuni hiyo usiku wa manane kwa ajili ya kuwahi kupanda na kuvuna ili kukwepa msongamano wa watu
hali hiyo UNK uongozi wa deci kuwapiga marufuku kufika ofisini hapo kuanzia saa nane usiku vinginevyo itaimarisha ulinzi kuwadhibiti UNK agizo hilo
tahadhari hiyo ilitolewa makao makuu ya deci yaliyopo mabibo dar es salaam na mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo aliyekataa kutaja jina lake
kuanzia sasa ni marufuku watu kufika nyakati za usiku vinginevyo tutaimarisha ulinzi kuanzia saa nane usiku alisema ofisa huyo na kusisitiza kuwa wateja wanaofika usiku ili kuwahi nafasi wanakiuka taratibu hivyo watakaokamatwa UNK
pia ofisa huyo aliwaambia wateja hao kuwa deci haitatoa nauli kwa watu wanaokwenda kuvuna lakini kutokana wingi wa watu wakalazimika kuondoka bila kulipwa
wengine wamekuwa wakidai nauli deci haiwezi kufanyakazi zote hizo
kampuni haitatoa nauli kwa mtu anayedai alihadharisha ofisa huyo na kuongeza kuwa watakuwa wanatoa fedha hadi saa tisa alasiri
alisema utaratibu huo mpya UNK kufuatia kuongezeka kwa wateja wanaokwenda kuvuna tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma
awali ofisa huyo wa deci alizuiwa na wateja alipotaka kuondoka ofisi za mabibo huku wakishinikiza UNK utaratibu utakaotumika kuvuna na kupanda kutokana na kuongezeka kwa UNK
wateja wa deci waliendelea kuvuna na kupanda bila wasiwasi licha ya tangazo lililotolewa na bot na baadhi walisikika UNK waandishi wa habari kuwa wanashirikiana na serikali kuua kampuni hiyo
ninyi waandishi wa habari UNK na serikali UNK
lakini hata UNK bado tuna imani na deci alisema bwana salum abdallah
kutoka mbeya thompson mpanji anaripoti kuwa deci imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la wateja baada ya kusikia katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu manufaa ya huduma wanayoitoa ya kupanda na kuvuna
tumefanikiwa kwa asilimia tisini na tano kuwafikia walengwa wa huduma hii na hasa yule UNK UNK mwenye kipato cha chini ambaye hawezi UNK katika benki ya aina yoyote alisema mmoja wa watendaji wa tawi la mbeya aliyejitambulisha kwa jina la brother jackson aliyedai anazungumza kwa niaba ya meneja wa tawi hilo
alifafanua sababu UNK kuchagua neno la kupanda na kuvuna ni kuwa katika maandiko ya kidini na kwamba kutokana na deci kuendeshwa na shirika la dini la madhehebu ya kipentekoste waliona ni neno bora
baadhi ya wateja wa deci mbeya wakizungumza na majira UNK waasisi wa kampuni kwa kutoa huduma hiyo na kudai mungu UNK wahitaji wake
bibi asha mohamed mkazi wa block t jijini mbeya alisema viongozi wa dini mbalimbali wanapaswa kuiunga mkono deci kutokana na kuwasaidia watanzania wanyonge
watumishi kadhaa wa halmashauri ya jiji la mwanza wamekamatwa katika hifadhi ya taifa ya serengeti kwa tuhuma za kuingia kinyume cha sheria na kufanya ujangili katika hifadhi hiyo
akizungumza na mwandishi wa gazeti hili juzi ofisini mwake mjini bunda mkuu wa kikosi cha kudhibiti ujangili kanda ya serengeti bwana hassan nkussa alisema watu hao walikamatwa hivi karibuni katika hifadhi hiyo wakitumia gari aina ya toyota pick up lenye namba za usajili UNK elfu sita na mia tatu na sitini na sita mal...
ni kweli tukio hilo lipo
lakini kwa sasa hatuwezi kutoa taarifa zaidi wala kutaja majina ya watuhumiwa kwa vile uchunguzi bado unaendelea kuhusiana na suala hili alisema bwana UNK
hadi juzi alasiri wakati mwandishi wa habari hizi akitoka ofisini hapo gari hilo bado lilikuwa UNK katika yadi ya ofisi hiyo
hata hivyo bwana nkussa hakuwa tayari kueleza ni lini gari hilo UNK ili kuendelea kutumika katika shughuli za serikali
mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la mwanza bwana wilson kabwe alipoulizwa ni nani aliruhusu gari hilo kwenda huko alimwambia mwandishi wa habari hizi aende UNK mamlaka UNK na kumshangaa kwa nini UNK suala hilo
nendeni bunda mkawaulize UNK gari hilo
UNK sana mtu mwenye akili kama wewe kuniuliza kuhusu jambo hilo alieleza bwana kabwe bila kutoa ufafanuzi zaidi
rais jakaya kikwete ambaye pia ni mlezi msaidizi wa chama cha mabunge ya jumuiya ya madola ameyataka mabunge wanachama wa jumuya hiyo kuwa na mikakati ya kuzijenga nchi na si UNK na kuziingiza kwenye vurugu zinazoweza kuleta machafuko makubwa duniani
rais kikwete alitoa kauli hiyo jana mjini arusha alipokuwa akifungua mkutano wa hamsini na tano wa cpa ambapo alidai kuwa mabunge hayo UNK kubwa katika kuhakikisha nchi hizo UNK
rais kikwete pia alizitaka nchi tajiri kutimiza ahadi zake walizozitoa kwa zile nchi masikini ili ziweze kufanikisha malengo ya milenia UNK ikiwa ni pamoja kuwajibika kutokana na uharibifu wa mazingira duniani
alisema kuwa kama mabunge hayo hayatakuwa makini katika kutekeleza majukumu yao yanaweza kupelekea mazingira yasiyo na matumaini kwa vizazi vijavyo hivyo UNK kutekeleza majukumu yao na si vinginevyo
hali hii inapaswa UNK na wanachama wote wa cpa zikiwamo nchi masikini na tajiri ili kuimarisha ustawi wa maendeleo ya mataifa husika ikiwa ni pamoja na kuhakikisha UNK mikakati na kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili nchi hizo alisema
rais kikwete pia alizitaka nchi tajiri kutimiza ahadi zao kwa nchi masikini ili ziweze kufanikisha malengo ya milenia wakati kukiwa UNK muda mfupi kabla ya muda uliopangwa wa mwaka ishirini moja tano alisema changamoto nyingine kwa cpa ni kuwezesha mataifa wanachama UNK malengo hayo ya milenia pamoja na mikakati ya ku...
rais kikwete aliongeza kuwa kwa kiasi kikubwa nchi zinazoendelea bado hazijafikia yale malengo waliyojiwekea hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kupewa msaada zaidi kuhakikisha UNK
aliitaka cpa kuwa na mikakati UNK kutatuliwa kwa changamoto mbalimbali UNK dunia hivi sasa ikiwamo ya mtikisiko wa kiuchumi ambao umesababisha mataifa mengi kuyumba kiuchumi
akizungumzia mabadiliko ya hali ya hewa rais kikwete alisema cpa pia inajukumu la kuweka mikakati ya kupambana na tatizo hilo linalosababisha kuathiri maisha ya viumbe hai ulimwenguni
rais kikwete alisema kuwa tayari athari za hali hiyo zimeanza kutishia viumbe duniani ambapo alitoa mfano kupanda kwa joto la dunia kumesababisha barafu kwenye mlima kilimanjaro na maeneo ya kusini mwa kaskazini mwa dunia UNK
alisema uoto wa asili umeanza kupotea jangwa limezidi kuenea mifugo inakosa malisho mbu UNK na kusababisha ugonjwa wa malaria katika maeneo ambayo awali hayakuwa na ugonjwa huo
naye rais wa cpa ambaye pia ni spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samuel sitta alisema mkutano huo ni sehemu muhimu kwa nchi wanachama kupata nafasi ya kubadilishana mawazo na kuweka mikakati mbalimbali ya kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa nchi za jumuiya ya madola
ni kwa kauli UNK UNK kuwadhalilisha chama cha walimu tanzania kimemtaka naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi bibi mwantumu mahiza kuomba radhi walimu wote nchini na kufuta kauli yake aliyoitoa wakati UNK walimu na wanachuo wa chuo cha songea agosti ishirini na mbili mwaka huu kuwa wanaodai mishahara mikubwa UNK ...
hayo yalisemwa dar es salaam jana na rais wa cwt bwana gratian mukoba alipokuwa akielezea jinsi kauli hiyo UNK walimu nchini akisema ililenga kuwakejeli na UNK
bwana mukoba alisema katika kikao cha dharura cha baraza la taifa la cwt wajumbe walijadili kwa kina kauli hiyo aliyoitoa na kumtaka aombe radhi na kuifuta vinginevyo walimu nchini wataendelea kuongozwa na mtu wasiokuwa na imani naye
nasema kauli ya kusema kama unaona mshahara ni mdogo wa ualimu toka sasa nenda UNK biashara au siasa ili uwe mwanasiasa ni mbaya na inaumiza alisema
alisema kauli hiyo iliyojaa dharau udhalilishaji na kupuuza hadhi ya walimu na uhuru wa walimu kuhoji na kujieleza ilitolewa na kiongozi wa serikali akijua kuwa mishahara ya walimu ipo chini
alisema UNK UNK kuhusu serikali kuona umuhimu wa mishahara ya walimu kuongezwa alikuwa na hoja huku yeye kama naibu waziri UNK na kuwataka wanaotaka mishahara mikubwa kuondoka chuoni hapo kwani UNK serikali UNK
alisema baraza linatambua yeye mwenyewe katika kusoma kwake hakusoma sayansi ya siasa wala uongozi wa biashara bali amesomea ualimu hivyo ni mwalimu wenzao na kwamba UNK UNK nao alipewa na wananchi ambao UNK walimu
aidha alisema serikali inatakiwa kulipa madeni yote ya walimu wakiwemo walimu wa sekondari vyuo vya ualimu na wakaguzi ifikapo oktoba thebathini na moja mwaka huu vinginevyo chama kitaamua kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria za kazi
alisema madai mbalimbali yaliyotokana na likizo matibabu walimu kupandishwa madaraja ajira mpya bila ya mafanikio hadi agosti ishirini sifuri tisa jumla ya shilingi bilioni thebathini na tano zimelipwa bali walimu wa wanaohudumiwa na katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ni shilingi bilioni kumi na nane ...
alisema pia walimu wa shule za sekondari wanadai shilingi bilioni kumi na nane lakini bado hawajalipwa isipokuwa zaidi ya shilingi bilioni moja UNK kuwa ni madai halali
mtoto wa aliyekuwa waziri wa kilimo bwana charles keenja bibi UNK keenja ameburutwa katika mahakama ya wilaya ya ilala akikabiliwa na makosa ya kukutwa na dawa za UNK kinyume cha sheria
mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya hakimu wa wilaya bibi janeth UNK
bibi keenja anatuhumiwa kwa makosa ya kupatikana na dawa za kulevya kinyume cha kifungu kumi na mbili cha sheria ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya
alidaiwa kuwa oktoba mosi mwaka huu katika mtaa wa UNK dar es salaam alikamatwa na gramu sita sita za dawa ya kulevya aina ya UNK yenye thamani ya shilingi sitini sifuri sifuri sifuri hata hivyo mshitakiwa huyo alikana kutenda makosa hayo na upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika
mshitakiwa huyo aliiomba mahakama kumpatia dhamana ambapo ilimtaka kuwa na wadhamini wawili wa kuaminika ambao watasaini dhamana ya shilingi hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri alitimiza masharti ya dhamana na kesi yake itatajwa tena novemba mbili mwaka huu
ni baada ya mwenzao kugongwa na kufa siku chache baada ya wanafunzi wa sekondari ya kibasila dar es s UNK kuandamana na kufunga barabara kwa saa kadhaa wanafunzi wengine tena wa sekondari ya temboni kimara wamefanya vivyo hivyo na kusababisha dhahama kubwa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam
wanafunzi wao walichukua uamuzi huo baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari maeneo ya kimara temboni na kufariki dunia wakati akiwa kituoni akisubiri kupanda gari
wakizungumza na gazeti hili mashuhuda wa tukio hilo walisema mwanafunzi huyo aliyetajwa kwa jina la sebastian fabian wa kidato cha tatu temboni sekondari mkazi wa mbezi UNK alikuwa akisubiri usafiri kituoni kabla UNK na gari hilo
unajua ilikuwaje kulikuwa na gari kubwa UNK ikitokea mjini kufika hapa ikawa ina UNK sasa yule dereva aliyesababisha ajali akaona watavaana uso kwa uso UNK hatari hiyo ile kutoka tu barabarani akakuta mbele yake kuna dcm UNK kituoni akaamua kutoka zaidi nje ndio ajali hiyo ikatokea alisema bwana peter mwakyusa na kuon...
shuhuda mwingine ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini alisema baada ya ajali hiyo wanafunzi waliamua kufunga barabara kwa amani kwa kuweka mawe na magogo njiani
ghafla walifika vijana wanne amabo walichukua mawe yale na magogo na kuanza kuwatupia wanafunzi ambao nao waliamua kujibu mapigo
mwanzoni walikuwa wamesimama barabarani wengine wakicheza bila kufanya vurugu yeyote wala kumdhuru mtu yeyote wakisema wanamtaka mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya aje waongee naye sasa walipokuja wale UNK wale ndio UNK mambo yote lakini kitu walichokosea wanafunzi badala ya kuwalenga wale vijana wakaamua kumalizia hasira...
gazeti hili lilishuhudia eneo la tukio likiwa UNK mawe vipande vya magogo na vioo vya magari UNK magari yakiwa UNK mawe
huku shuhuda mwingine akisema kuwa mwanafunzi aliyegongwa alikufa wakati akipelekwa hospitali ya UNK
habari zinasema magari zaidi ya matano yalivunjwa vioo katika vurugu hizo
mkuu wa wilaya ya kinondoni bwana jordan rugimbana aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa kwanza kufika eneo la tukio alisema kuwa kitendo walichofanya wanafunzi wale ni uvunjifu wa sheria za nchi
unajua serikali ili UNK wanafunzi wa kibasila kwa sababu wao pamoja na kwamba walifanya makosa lakini bado UNK vurugu wala kuhatarisha amani na kuharibu mali za watu kiasi walichofanya hawa