text stringlengths 1 1.32k |
|---|
unaona UNK mawe magogo na kibaya kabisa wahuni pia wamepitia humo na kufanya uharibifu mkubwa |
katika kuonesha kuwa dhahama ilikuwa kubwa iliwalazimu wanajeshi kadhaa waliokuwa katika magari yao yenye na |
elfu tano na mia tano na kumi na nane jw o saba elfu tano na mia nne na tisini na tisa jw sifuri saba elfu tano na mia nne na tisini na tisa jw sifuri saba thebathini nne tatu jw sifuri nne na mengine kushuka na kuanza kuwaamuru baadhi ya madereva kupisha njia magari ya jeshi yaliyoonekana kuwa na mizigo |
wakati wanafunzi wa kibasila walifunga barabara ya changgombe jijini dar es salaam wale wa temboni UNK barabara ya morogoro moja ya njia kuu za kuingia katika jiji la dar es salaam katika maeneo ya kimara kwa tembo |
katibu wa halmashauri kuu ya taifa uchumi na fedha ya chama cha mapinduzi bwana amos makalla amezidi kumshambulia waziri mkuu mstaafu jaji joseph warioba na kudai kiongozi huyo hapendi kupingwa wala kukosolewa bali anapenda hoja zake zionekane ndio fikra sahihi |
bwana makalla ametoa hoja hiyo jana kufuatia kauli za jaji warioba kupitia gazeti moja la kila siku nchini kudai kuwa amemtukana na anajipendekeza kwa mwenyekiti wa ccm rais kikwete baada ya kujibu hoja zake za hivi karibu UNK masuala mbalimbali ya chama na utendaji wa serikali |
katika taarifa yake UNK kwa gazeti hili jana bwana makalla alisisitiza kuwa anamheshimu sana jaji warioba na hajawahi kumtukana bali alimlaumu mwanasiasa huyo kuwa hapendi kukosolewa wala kupingwa hoja zake |
nimesoma majibu ya mzee warioba katika gazeti leo |
katika utetezi wake anadai nimemtukana UNK kwa kikwete UNK mtandao na pia amesema yeye UNK matatizo yaliopo sasa ya udini na matabaka yanayohatarisha amani na alitumia fursa hiyo kuishauri serikali |
naomba niseme tena namheshimu sana mzee warioba na si kweli kama mimi nimemtukana ila mzee warioba ni miongoni mwa wazee wasiopenda kupingwa wala UNK na anapenda hoja yake ichukuliwe ni fikra sahihi ambayo kila mtanzania anapaswa UNK |
UNK kama kweli yeye ni mwana ccm thabiti tena waziri mkuu mstaafu UNK kutumia uzoefu wake kutoa ushauri kwa viongozi wa chama na serikali katika vikao vyao au kuwaona moja kwa moja maofisini awe rais waziri mkuu na viongozi wa juu katika chama |
je fursa hizo kwake yeye anaona zimeshindikana na anaona ni vema ashauri kupitia vyombo vya habari |
au ni UNK gani ya kushauri serikali kwa kuita waandishi wa habari |
kwanini yeye anapenda kukosoa kupitia vyombo vya habari |
alihoji bwana makalla |
bwana makalla alisema kama jaji warioba anataka kuendelea kuheshimika akubali ushauri wake na akitumia staili hii ajiandae pia kupokea changamoto kama hizi za kupingwa hadharani |
mimi UNK kwa kikwete kama anavyodai yeye mimi ni wajibu wangu kama mwana ccm na kiongozi kutetea chama changu na serikali ya ccm |
yeye mwenzangu ameamua kutafuta umaarufu wa kuikosoa serikali ya chama chake hadharani kwa maslahi binafsi alidai bwana makalla |
alikana madai ya kuendekeza mtandao na kudai kuwa jaji warioba UNK sauti kwa hoja dhaifu na kueleza kwamba UNK ni kuambiwa ukweli kuwa kasoro UNK na kulaumu zinasababishwa na kinyongo cha kushindwa mgombea aliyemuunga mkono mwaka ishirini sifuri tano daktari salim ahmed salim |
namshukuru amekiri kwa mara ya kwanza wazi wazi kuwa alikuwa kwa salim ishirini sifuri tano hivi kama inajulikana hivyo sasa UNK nini UNK serikali hata jambo moja la kusifia hana kwanini nisiamini kuwa UNK makundi |
mimi sina kinyongo na salim namheshimu sana ila nina tatizo na wapambe kama anavyofanya mzee wangu warioba UNK tu |
hivi anataka UNK kuwa siku ya mkutano wa kupata mgombea urais ishirini sifuri tano yeye tayari UNK shati lake safi la ccm lenye nembo ya bendera ya taifa huku UNK kuwa salim akishinda anakuwa mgombea UNK |
kwanini nisiamini kuwa salim UNK kushindwa lakini yeye UNK umakamu basi hasira zake ndiyo kushambulia serikali UNK anasema UNK |
alilalamika bwana makalla |
alimtaka jaji warioba kutafakari upya namna bora ya kutoa ushauri kwa serikali na chama pasipo kuingia katika njia ambazo zitawaingiza watanzania katika malumbano |
nachelea kuamini kama uzee ni dawa lakini si kila mzizi ni dawa ipo mizizi mingine ni sumu |
mimi niliamini kuwa mzee warioba UNK rais alipoongea na wananchi juu ya udini UNK vizuri sana |
sasa kama mkuu UNK hakuwa na sababu tena ya kuitisha mkutano |
suala la tabaka la UNK na UNK ni changamoto kwetu sote kushirikiana na serikali kutafuta majawabu |
UNK kwa UNK pasipo kutoa majawabu |
UNK mzee warioba na watanzania wote tushirikiane na serikali kujenga nchi yetu tuache siasa UNK umoja wetu na amani tuliyonayo alisema bwana makalla |
ni kawambwa wasira masha na kapuya |
kama UNK UNK ishirini moja sifuri maaskofu na wachungaji ishirini na tano kutoka makanisa mbalimbali nchini wamemtaka rais jakaya kikwete kuwawajibisha mawaziri wake wanne ambao wamedai wameshindwa kutekeleza wajibu wao na kutishia kuwa asipofanya hivyo watahamasisha waumini wao UNK kura viongozi hao katika uchaguzi m... |
mawaziri waliotajwa na wizara zao katika mabano ni daktari shukuru kawambwa bwana stephen wasira bwana lawrance masha na profesa juma kapuya |
wakizungumza katika shamba la rais jakaya kikwete UNK wilayani bagamoyo juzi maaskofu hao walidai mawaziri hao wanatia doa serikali na kuonekana kuwa ina upungufu katika katika utendaji wake |
rais ana muongozo mazuri lakini sasa watendaji wake ndio UNK UNK UNK ingawa naye ana upungufu katika ucheleweshaji wa kutoa majibu yanayohusu masuala magumu yanayolikabili taifa kama mambo yanayoendelea sasa visiwani zanzibar alisema askofu thomas faida wa kanisa la UNK assemblies of god shinyanga |
walifafanua kuwa waziri kawambwa ameshindwa kusimamia shughuli za kampuni ya reli tanzania na kumuachia mwekezaji kufanya jambo lolote analotaka huku akiwadanganya wananchi kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea katika ya serikali na mwekezaji huyo |
kuhusu profesa kapuya walidai amekuwa kimya katika wizara yake badala ya kutafuta mbinu mbadala za kupunguza UNK mitaani na vijana wanaoishi katika mazingira magumu ambao wizara yake UNK |
walimlalamikia waziri mwingine bwana masha na kudai kuwa amekuwa UNK katika mradi wa vitambulisho vya utaifa na hoja iliyozua malumbano katika mkutano wa kumi na sita wa bunge wa bunge la jamhuri ya muungano jambo walilodai ni hatari kwa taifa |
maaskofu hao ambao walifika kujionea jinsi rais kikwete anavyofanya shughuli zake binafsi kama kilimo walifurahishwa na shamba lake linalotumia mbolea ijulikanayo kama earth food kutoka marekani na kusambazwa nchini na kampuni ya UNK internation ltd |
shamba hilo lenye hekari ishirini na tano ambalo limepandwa UNK migomba pamoja na minazi lipo katika mkoa wa pwani wilaya ya bagamoyo kata ya UNK |
maaskofu UNK wamemtaka waziri wa kilimo na chakula bwana wasira naye UNK wadhifa wake baada ya kushindwa kujifunza jinsi ya utumiaji wa mbolea kutoka katika shamba hilo na kutoa elimu kwa wananchi |
walisema bwana wasira amekuwa akitoa elimu ya kutumia mbolea ya chumvi chumvi yenye kemikali kali UNK rutuba katika ardhi na kusababisha njaa katika mikoa kumi na saba walisema waziri huyo anapaswa kujua mbolea inayotumiwa katika shamba la rais kikwete ndiyo mkombozi wa wakulima wa tanzania kwa kuwa UNK kwa kutumia ta... |
akizungumza kwa niaba ya wachungaji wenzake mchungaji william mwamalanga wa shirika la UNK and UNK UNK association alisema lengo la ziara hiyo ni kujifunza namna mbolea hiyo inayotumika katika shamba hilo |
mchungaji mwamalanga alisema UNK hatua ya kusambaza mbolea ya UNK mikoani hivyo wanaandaa maandamano nchi nzima kupinga matumizi ya mbolea hiyo pamoja na kudai fidia UNK yatokanayo na mbolea hiyo |
alisema kuwa wanahitaji kuonana uso kwa uso na rais kikwete ili kutoa sababu za msingi juu ya mbolea hiyo huku wakisisitiza athari kubwa ya uingizaji na usambazaji wa mbolea hiyo kwa mkulima na mazingira |
wakizungumzia siasa nchini walidai kuwa kuna utata ulioibuka kati ya wanasiasa na dini hivyo wameahidi kufanya mdahalo nchi nzima kati ya wanasiasa na dini zote ili kutofautisha vitu hivyo |
naye mchungaji wa kanisa la UNK to all people lililopo dar es salaam UNK UNK alisema kuhusu matumizi ya mashangingi UNK la suti UNK na waziri mkuu bwana pinda hivi karibuni yeye mwenyewe anapaswa kuonesha mfano kwa kuanza kutumia gari la kawaida badala ya UNK |
hakuna maana yoyote kukataa kitu kwa wengine kisha UNK wewe mbona hajafanya msafara na bajaj au teksi ili awe mfano kwa wenzake |
alihoji mchungaji UNK |
matatizo yanayojitokeza kati ya wapangaji wa shirika la nyumba la taifa na serikali yalisababishwa na maamuzi ya kutaka shirika hilo UNK mwelekeo ili lianze kujenga nyumba na kuuza badala ya UNK |
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na waziri wa nyumba na makazi bwana john chiligati alipokutana na wapangaji hao waliomtaka kukutana naye ili kuelezea kero zao na kutaka ufafanuzi jinsi nyumba hizo UNK hapo baadaye |
bwana chiligati alisema kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi serikali imeamua kubadilisha mwelekeo wa nhc wa kupangisha na kuwa na majukumu ya kujenga nyumba na kuuza tu |
serikali imeamua kubadilisha mwelekeo wa shirika hilo na sasa UNK na kujenga nyumba na kuuza na si kupangisha tena kama ilivyo sasa alisema bwana chiligati na kuongeza kwamba kutokana na maamuzi hayo serikali tayari imeimarisha utaratibu wa kuwakopesha wananchi ili waweze kununua nyumba au kujenga nyumba zao hapo baad... |
akijibu baadhi ya madai ya wapangaji hao kuwa nhc imeamua kupandisha kodi kiholela waziri alisema kuwa nhc UNK kodi kiholela na kuwa kodi UNK na nhc ni ya kiwango cha chini sana lakini pia kuwa mabadiliko ya kodi lazima UNK ili shika hilo UNK kibiashara |
aidha alifafanua kwamba utaratibu wa nhc kuamua kuingia ubia na baadhi ya mashirika katika ujenzi wa nyumba hizo ulitokana na shirika hilo kutokuwa na pesa za kujiendeleza hivyo iliamua kuendelea kuwapatia huduma wananchi kwa kutumia mfumo huo |
bwana chiligati alisema kuwa kutokana na umuhimu wa nyumba hizo kumilikiwa na watu binafsi aliamua kutoa maagizo kuwa baadhi ya nyumba hizo ziuzwe UNK kauli hiyo ukumbi wote UNK na mashaka na kuwa na hamu kubwa ya kutaka kujua mchanganuo wa nyumba zitakazouzwa kwao na zile UNK katika mikono ya nhc alisema kuwa nyumba ... |
wajumbe wa mkutano wa hamsini na tano wa mabunge ya jumuiya ya madola UNK unggangganizi wa baadhi ya viongozi a afrika kwenye madaraka kuwa UNK demokrasia na kulazimisha serikali za mseto katika nchi zao |
kauli hizo zilitolewa jana na UNK wa cpa wakati walipokuwa wakichangia mada ya namna serikali za mseto UNK demokrasia duniani |
katika mada hiyo ambayo ilikuwa ni vute nikuvute mjadala mkali ulizuka katika mkutano huo kuhusu suala la serikali ya mseto katika nchi ya zimbambwe na kenya kama ni za mseto au la hali iliyosababisha kuzua utata |
wajumbe hao walisema kuwa ili kunusuru balaa hilo ni vema viongozi waliokaa madarakani kwa muda mrefu kuwaachia wengine |
hata hivyo aliyekuwa spika wa bunge la afrika bibi getrude mongela ambaye ni mbunge wa ukerewe ccm alifafanua maana ya demokrasi akisema kwamba ni mfumo ambao maamuzi UNK kwa kuangalia kura za wengi |
alisema serikali za mseto maana yake ni UNK wa vyama wa kuunda serikali baada ya mojawapo ya chama kushindwa kupata kura UNK kuunda serikali |
alionya kuwa kulingana na mfumo huo serikali za kenya na zimbabwe siyo za mseto hivyo UNK wajumbe kuwa makini wakati wa mjadala huo naye mbunge wa viti maalum bibi halima mdee akichangia mada alisema kwamba serikali za mseto UNK pale vyama UNK na wawakilishi wengi bungeni kwa kiwango UNK hivyo kuonekana kuwa ipo haja ... |
lakini akasema pia serikali ya mseto huweza pia kuundwa pale inapotokea kutoelewana katika matokeo ya uchaguzi na hata kusababisha UNK |
kwa sababu hiyo kama njia ya kusuluhisha mgogoro wanaunda serikali ya pamoja yaani mseto alisema alisema pia kuwa kuunda kwa serikali ya mseto inawezekana kuwa ni UNK wa kulazimishwa na jumuia ya kimataifa |
professa UNK UNK alisema kuwa hata muundo wa serikali za umoja wa kitaifa kama ilivyo zimbabwe na kenya unakandamiza demokrasia |
naye mchambuzi wa mambo ya siasa nchini jenerali ulimwengu alielezea maana ya serikali ya mseto kuwa ni muungano unaotokea baada ya chama kimoja kushindwa kuwa na haki ya kuunda serikali peke yake |
alitoa mfano wa mataifa hayo kuwa ni india pakistani australia na uswizi |
akichangia mada hiyo mbunge wa UNK kupitia chama cha pnu nchini kenya bwana njoroge UNK alisema kwamba muundo wa serikali ya umoja wa kitaifa kama ulivyo nchini kwake unaelekea UNK hata kwa nchi nyingi afrika |
naye mbunge wa jimbo la UNK kupitia UNK bwana UNK UNK alisema kwamba muundo wa serikali ya kenya ulitokana na chama cha pnu kung ang ania kuendelea kuwa madarakani |
alisema ni tatizo ambalo limetokea kenya na zimbabwe lakini pia UNK nchi ya uganda kutokana na hali UNK |
mjadala huo umekuja wakati kuna shinikizo la kuvitaka vyama vya ccm na cuf kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kuongoza visiwa vya zanzibar |
mtihani wa kidato cha nne kwa shule za sekondari na wa maarifa unaanza hii leo nchini kote huku wizara ya elimu UNK dhidi ya udanganyifu |
kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa dar es salaam jana kwenye vyombo vya habari na waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi profesa jumanne maghembe jumla ya watahiniwa mia tatu na hamsini na moja mia tisa na hamsini na nane watafanya mtihani huo ambao utamalizika oktoba ishirini na tatu mwaka huu |
kutokana na unyeti wa mtihani huo serikali imewaonya wale baadhi ya watahiniwa na wasimamizi wasio waaminifu ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya udanganyifu katika mitihani |
watahiniwa watakaobainika kufanya udanganyifu wamekuwa UNK mitihani na matokeo yao yote kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa mitihani taifa ilisema ilisema kuwepo na vitendo hivyo kunaweza kulisababishia taifa kupata wataalamu UNK ubora na hivyo kurudisha nyuma juhudi za serikali za kutoa elimu bora kwa wote |
wizara inapenda kuwaasa watahiniwa wasimamizi walimu na wananchi wote kwa ujumla kujiepusha na vitendo vya udanganyifu wa aina yoyote katika kipindi chote cha mtihani ili kuhakikisha mtihani unafanyika katika hali ya amani na UNK ilisema |
ilisema yeyote atakayebainika kukiuka taratibu za uendeshaji mitihani hatua kali za kinidhamu na za kisheria zitachukuliwa |
mfanyabiashara maarufu wa zanzibar bwana mohamed raza ameibuka na kusema kuwa bila bunge la tanzania chini ya spika samuel sitta kusimama kidete katika mambo kadhaa yanayoendelea hivi sasa nchini watanzania wangekuwa watumwa wa UNK wachache wenye pesa |
pia katika hali ambayo inaweza kuzua mjadala mkubwa ndani ya ccm na bila shaka nchi nzima bwana raza alisema kuwa haoni sababu ya chama hicho kutoa karipio kwa wabunge ambao wameamua kusimama kidete kupinga ufisadi wala kuunda kamati ya kuwachunguza akisema hiyo ni kazi bure kwani mambo yanayosumbua UNK |
mbali na hilo bwana raza ambaye alisema alivuka bahari jana kuja kuongelea masuala matatu ya kitaifa hasa katika wakati huu ambapo taifa liko katika maombolezo ya miaka kumi ya kifo cha baba wa taifa hayati mwalimu julius nyerere aliwataka watu kadhaa wakiwemo makada wa ccm wanaotuhumiwa kwa ufisadi kupisha katika nya... |
bwana raza alisema kuwa kwa sasa bunge la tanzania ndio kimbilio cha kilio na uhai wa watanzania |
alisema kwa kusimama kwao kidete kupinga ufisadi na kuikosoa serikali wabunge wakiongozwa na sitta wameweka heshima kubwa kwa nchi na walipaswa kupongezwa na kupewa heshima hapa hapa nyumbani ikibidi kwa kuitisha maandamano nchi nzima |
mheshimiwa spika kada wa ccm yule na wabunge wanaopinga ufisadi wameweka heshima kwa nchi yetu |
sasa tunashuhudia wanapewa tuzo za heshima na nchi kama marekani kwa kupinga ufisadi kwa nguvu zote bila UNK wanapongezwa kwa mapambano yao |
kwa nini UNK |
alihoji |
tulipaswa kuandaa maandamano nchi nzima kuwapongeza sio kutoa karipio karipio la nini UNK |
sasa imeundwa kamati ya kuwachunguza ya kazi gani hiyo |
mbona UNK kazi mzee wa watu mwinyi bila sababu ya msingi |
masuala yaliyosababisha yote hayo UNK alisema kada huyo |
bwana raza alikuwa anabeza kazi iliyoundwa kuchunguza mahusiano ya wabunge wa ccm na serikali yao UNK na halmashauri kuu ya taifa ya ccm ikiongozwa na rais mstaafu ali hassan mwinyi na wajumbe wawili makamu mwenyekiti wa ccm pius msekwa na spika wa zamani wa bunge la afrika mashariki UNK kinana |
alisema ni wakati mwafaka sasa kwa viongozi kuchukua hatua katika masuala hasa yanayohusiana na ufisadi na uhujumu uchumi yanayoendelea nchini badala ya kuishia kuunda tume ambazo zinatumia pesa nyingi lakini inapofikia wakati wa kuchukua maamuzi kunakuwepo na UNK |
tume nyingi tu zinaundwa zinatoa taarifa lakini ikifika UNK pa kutoa maamuzi watu UNK na UNK |
sasa kitu cha busara wale wote ambao wanatuhumiwa kwa ufisadi ni bora UNK katika nyadhifa walizonazo |
kuanzia walioko bungeni ndani ya kamati kuu na halmashauri kuu wote waondoke |
haiwezekani |
bunge ndicho chombo kinachosimamia serikali |
cc na nec zina nguvu ya kuongoza nchi kote huko kuna watu wamejaa tuhuma za ufisadi vyombo hivyo vinapaswa kuwa safi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.