text
stringlengths
1
1.32k
UNK
kuna watu wana tuhuma nyingi tu wanaongoza kamati za maadili za chama UNK hao wakae pembeni mtu mzima akituhumiwa hukaa pembeni UNK alisema
alisema kuwa katika kipindi hiki cha miaka kumi bila kuwepo kwa mwalimu nyerere tanzania inapitia misukosuko ambapo maadili miongoni mwa viongozi na wananchi kwa ujumla yameshuka kwa kiwango cha kutisha
alisema inashangaza kusikia au kuona kiongozi anatembelea wananchi akiwa ndani ya gari la kifahari lakini wananchi wale hawapati huduma za msingi ambazo ziko ndani ya wajibu wa kiongozi huyo
unajua inashangaza labda ninyi UNK vijijini mimi UNK kote huko unguja na pemba kuna matatizo ya skuli vituo vya afya maji lakini unamuona mkurugenzi wa maji au afya akiwa na gari la mamilioni ya pesa anakwenda kuwatembelea wananchi ambao hawana hata uhakika wa kupata maji au dawa katika vituo vya afya
watu UNK kutafuta maji kilometa kadhaa
taabu kweli
mara unasikia shirika limejenga nyumba kwa milioni kama themanini sifuri halafu nyumba hiyo UNK kwa mkurugenzi kwa milioni chache kama sabini hivi kwa nini inakuwa hivi
UNK kuunda tume kama hatuwezi kuchukua maamuzi basi bora tume hizo UNK alisema bwana raza
huku UNK kutaja majina ya watu kama waandishi wa habari walivyokuwa wakitaka katika maswali yao kwake aliwataka wananchi kutokaa kimya katika masuala ambayo yanafanywa na viongozi na kurudisha maendeleo ya taifa nyuma
pia aliwataka kuwaunga mkono ikibidi kuwaombea wale wote wakiwemo wabunge wanaopinga vita ufisadi
akizungumzia suala la muungano bwana raza alisema unapaswa kuimarishwa kwa kuzingatia mambo ya msingi kama vile kuridhiana kuheshimiana UNK na kuaminiana
alisema ni suala la ajabu badala ya viongozi kuketi pamoja na kuyazungumza mambo ya muungano kama walivyokuwa wakifanya waasisi wa muungano mwalimu nyerere na hayati abeid karume wamebaki kutoleana kauli ambazo UNK mstakabali wa mahusiano baina ya pande zote mbili
watu wamesikia harufu ya mafuta tu hata hayajapatikana tayari imefanywa kuwa ajenda kubwa
wanagombea mafuta ambayo UNK
na kamwe suluhisho la muungano haliwezi kuwa serikali moja huu UNK kwa ajili ya serikali mbili basi
tena wengine wanaotoa kauli hizo za ajabu ni makada wa ccm na viongozi wa serikali alisema
katika suala la vurugu zinazoendelea tanzania visiwani juu ya uandikishaji vitambulisho vya makazi alisema kuwa kila mmoja anastahili kupata haki hiyo bila kujali itikadi ya kisiasa rangi kabila wala dini ilimradi sheria iliyowekwa kwa mujibu wa katiba UNK
alisema ilikuwa inasikitisha kuona vurugu zikiendelea hata wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani hivyo UNK tume ya uchaguzi na mamlaka nyingine husika UNK mambo kama hayo wakati mwingine wakati kaulimbiu ya kampeni UNK madarakani rais jakaya kikwete maisha bora kwa kila mtanzania ikizidi kuhojiwa na wananchi kama imesa...
taarifa iliyotolewa jana na kurugenzi ya mawasiliano ya rais ikulu UNK rais kikwete UNK sera hiyo kuwa wanaosema UNK yeye wanabeza wakati sera hiyo ilikuwapo na itaendelea kuwapo hata baada yake
wapo watu UNK kuwa hii sera ya maisha bora UNK na akina kikwete
sisi UNK sera ile ile ambayo taifa hili limekuwa UNK tokea uhuru wetu na wala kazi hii haitaishia kwangu mimi hata wale viongozi UNK wataendeleza sera hii kwa sababu kazi ya kujenga maisha bora kwa wananchi UNK haina kikomo alisema
rais kikwete alisema kuwa hata kabla ya uhuru mwalimu julius nyerere alitambua ili uhuru na umoja viweze UNK ni lazima wananchi wake wapate maisha bora na ndiyo maana UNK maadui wakuu watatu ujinga maradhi na umasikini na njia za kukabiliana na maadui hao
rais kikwete ameyasema hayo mjini mwanza juzi jioni alipozungumza na vijana wa ccm ambao walioondoka mjini mwanza jana kwenda butiama mkoani mara kwa matembezi maalum ya kumuezi mwalimu kwenye kumbukumbu ya miaka kumi tangu kifo chake oktoba kumi na nne elfu moja na mia tisa na tisini na tisa vijana mia moja na sitini...
kaulimbiu ya matembezi hayo ni uhuru na kazi na miongoni mwa mambo ambayo vijana hao watafanya njiani ni kukarabati shule ya msingi ya UNK ambako mwalimu nyerere alipata elimu yake ya msingi
rais kikwete UNK watanzania ambao wanabeza uhuru wa tanzania na kufurahia wakati jina la tanzania UNK na wageni na kuwasihi watanzania kuzidi kumuenzi mwalimu
wamarekani wale UNK george washington sisi tunaye mwalimu julius UNK nyerere na kila nchi ina mwasisi wake ambaye anakumbukwa kwa UNK amesema mwalimu na kuongeza la kwanza la kumkumbuka mwalimu ni uhuru wa nchi yetu
huyu alikuwa ni kiongozi UNK achague kati ya siasa ama kazi ya ualimu huyu mzee wetu akachagua siasa na utumishi wa umma bila hata kujua UNK nini
akachagua kupigania uhuru wa nchi yetu
kama mnavyojua UNK hii kazi ya siasa ni UNK
unakwenda kugombea ukijua kuna kupata ama kukosa
lakini yeye alifanya uamuzi sahihi wa kupigania uhuru rais kikwete alisema kuwa uhuru siyo mipaka bali ni heshima ya nchi na ndiyo maana tanzania haitasita kumkabili yoyote ambaye UNK kuchezea uhuru huo
kuhusu umoja wa taifa rais kikwete amesema kuwa mwalimu UNK kuwa uhuru wa nchi unazaa umoja ili nchi iwe moja na UNK vipande vipande kwa sababu yoyote ile
aliondoa viashiria vyote vya kuvunja umoja wa taifa tokea mwanzo kabisa
aliondoa UNK ili kuondoa nguvu za ukabila
alitambua hatari ya dini na UNK shule zote za dini ili vijana wetu waelimishwe na kulelewa kama vijana wa taifa moja na siyo vijana wa dini tofauti
UNK hotuba UNK na walinzi yaelezwa ni uchovu wa safari nyingi asema ubishi wake ndio umemponza rais jakaya kikwete jana alilazimika kukatisha hotuba yake na kuomba kukaa baada ya kuishiwa nguvu ghafla na kisha kubebwa na walinzi wake kwenda kupumzika
tukio hilo UNK jana mchana wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya UNK ya kutimiza miaka kumi sifuri ya kanisa la african inland church tanzania kwenye uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza
uwanja wa kirumba unaweza kuelezwa kuwa una bahati mbaya kwa rais kikwete kwani akiwa hapo aliwahi kunusurika kuanguka UNK miguu na mganga wa jadi oktoba mwaka ishirini sifuri tano wakati akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
katika tukio hilo kijana huyo UNK bwana kikwete miguu akiwa juu ya kigoda akisimikwa na mtemi wa wasukuma kwa kumuangusha lakini UNK na walinzi
kijana huyo alikamatwa na kushitakiwa baadaye kumhukumu kifungo cha miaka kumi jela
pia rais kikwete aliwahi kuanguka na kukimbizwa hospitalini wakati akihutubia mkutano wa kufunga kampeni zake katika uwanja wa jangwani
kama ilivyo kuwa jana tukio hili UNK kusababishwa na uchovu uliotokana na safari ndefu ya kampeni
baada ya kutokewa na mkasa huo jana rais kikwete aliomba kwenda kuketi ili aendelee na hotuba lakini hali yake ilizidi kuwa mbaya UNK nguvu na UNK mkuu wa mkoa UNK kandoro na ndipo UNK na wasaidizi wake kwenye chumba cha mapumziko UNK kwa takriban dakika kumi wakati rais akipewa huduma ya kwanza UNK mussa UNK UNK na k...
wote tumuombee rais wetu UNK mungu UNK afya yake alisema
wakati wananchi wakiendelea kujiuliza kilichomkuta rais wao bwana kandoro alirejea uwanjani na kutangaza kuwa rais anaendelea vizuri alipatwa na uchovu
baadaye aliporejea uwanjani rais kikwete alikuwa mchangamfu UNK kidogo tehe tehe nguvu zimerejea kisha akaongeza kwanza UNK radhi kwa UNK UNK
hii yote ni sababu ya ubishi wangu
nilikuwa marekani na nilirudi oktoba mbili juzi usiku saa saba kesho yake nikaenda arusha kufungua mkutano wa UNK
baadaye UNK dar es salaam na leo niko hapa kushiriki maadhimisho haya ya jubilee ya miaka kumi sifuri ya kanisa la UNK hivyo ni uchovu tu sasa UNK ushauri wa wasaidizi wangu UNK nipumzike lakini nikakataa kuwasikiliza alisema
baadaye rais kikwete aliendelea na shughuli yake ya kuzindua mfuko wa kuwachangia walemavu wa ngozi kwa kuchangia shilingi milioni moja na kisha kwenda ikulu ndogo kupumzika
watu saba wameripotiwa kufa kutokana na kuugua ugonjwa wa kichaa cha mbwa na homa ya uti wa mgongo kwa kipindi cha wiki moja iliyopita
taarifa iliyotolewa na wizara ya afya na ustawi wa jamii jana ilisema vifo vya ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni vinne kati yake tatu katika mkoa wa manyara na kimoja mkoa wa kagera
kwa mujibu wa taarifa hiyo homa ya uti wa mgongo UNK watu wawili katika mkoa wa kigoma na mmoja katika mkoa wa morogoro huku wagonjwa wengine wanne kutoka mkoa ruvuma na kagera wakiripotiwa kulazwa hospitalini
kwa upande wa ugonjwa wa kipindupindu taarifa hiyo ilibainisha kuwa hadi jana kulikuwa na jumla ya wagonjwa sitini sifuri nchini kote mia tano na sitini na saba wakiwa mkoa wa tanga kumi kigoma manyara wagonjwa ishirini na tatu aidha wananchi wametakiwa kufika vituo vya afya UNK huduma pindi wanapoona dalili za magonj...
idadi ya wagonjwa wa mafua ya nguruwe imezidi kupungua kutoka wagonjwa mia moja na sabini hadi kufikia wagonjwa thebathini na moja ambao wanatoka katika mikoa ya dar es salaam na manyara
hali hiyo inatokana na hatua za serikali kudhibiti ugonjwa huo mashuleni na kutoa tahadhari kwa wananchi kuwa UNK kwa njia ya kula nyama ya nguruwe bali kwa njia ya hewa
akizungumza na majira dar es salaam jana ofisa habari wa wizara ya afya bwana nsachris mwamwaja alisema kuwa idadi hiyo imepungua kutokana na udhibiti wa njia za kuingia wageni na kuboresha huduma za matibabu katika kila hospitali
bwana mwamwaja alisema kuwa wagonjwa wengi waliogundulika ni wanafunzi ambao wamekumbwa na ugonjwa huo kutokana na msongamano kwa kuwa ugonjwa huo huambukizwa zaidi kwa njia ya hewa
alisema mlipuko wa ugonjwa huo umewatia hofu wazazi na walezi ambao wengi wanahofia maisha ya watoto wao kutokana na ugonjwa huo kuenea zaidi nchini
kwa mujibu wa bwana UNK jiji la dar es salaam sasa limebaki na wagonjwa kumi na tatu kutoka mia moja na hamsini na moja wa awali wakati mkoa wa manyara UNK wagonjwa kumi na nane kutoka kumi na tano wa awali ikiwa ni UNK la wagonjwa watatu
bwana mwamwaja alisema kuwa wagonjwa hao wamelazwa katika vituo vya afya na hali zao zinaendelea vizuri
alisema kuwa serikali imechukua tahadhari ya ugonjwa huo kwa kuimarisha mfumo wa ufuatiliaji katika viwanja vya ndege mipakani na bandarini na utambuzi wa ugonjwa huo umeimarika katika hospitali za rufaa mikoa na wilaya na kuunda kamati za UNK kitaifa mikoa na wilaya ili kupambana nao
pia imetoa mafunzo kwa kwa watumishi wa afya katika hospitali zote kuhusiana na ugonjwa huo na kutoa vifaa kinga pamoja na dawa
waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi bwana john chiligati amekiri kuwapo uzembe wa baadhi ya watendaji kushindwa UNK makazi UNK serikali pesa nyingi na kusababisha usumbufu kwa wananchi UNK kuendeleza maeneo wanavyojua wao
waziri chiligati alisema hali hiyo inasababisha serikali badala ya UNK maeneo hayo kama inavyotakiwa kuishia kuyarekebisha kitu ambacho ni sawa na kushindwa kuzuia ugonjwa na baadaye kulazimika UNK kwa gharama kubwa
bwana chiligati aliyasema hayo jana dar es salaam wakati akijibu maswali aliyoulizwa na wadau mbalimbali walioshiriki kuadhimisha siku ya makazi duniani ambayo hufanyika duniani kote jumatatu ya kwanza ya oktoba kila mwaka
kunahitajika mapinduzi au mabadiliko ya kifikra kwa wanaohusika suala la kuendeleza makazi kwa kupima maeneo kabla UNK kukaliwa au kuendelezwa na watu linakuwa halipewi kipaumbele kama UNK
kwa mfano huko katika halmshauri halmashauri na manispaa wakati mwingine UNK hata bajeti wala hawataki kuona umuhimu wa kuajiri wafanyakazi wa kutosha
lakini wakikosa watu wa afya au walimu UNK wakipiga kelele kweli alisema bwana chiligati
katika ujumbe wake katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana ban ki moon alisema ushahidi unaonesha serikali nyingi duniani zimeshindwa kukabiliana na changamoto zinazokabili ukuaji wa miji katika karne ya ishirini na moja na akasisitiza suala la utawala bora UNK watu wote katika suala la mipango miji
kwa upande wake mwakilishi wa shirika la makazi la umoja wa mataifa bwana phillemon UNK aliyesoma ujumbe kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji bibi anna tibaijuka alisema kuwa kuwepo kwa makazi holela mijini ni alama ya kuwepo kwa umaskini jamii UNK na kutengwa katika dunia ya sasa
siku ya makazi huadhimishwa duniani kote kila jumatatu ya kwanza ya mwezi oktoba kila mwaka ikiwa ni utekelezaji wa azimio na
arobaini ishirini mbili la baraza kuu la umoja wa mataifa la disemba elfu moja na mia tisa na themanini na tano mwalimu wa shule ya sekondari dumila wilayani kilosa amekamatwa na walinzi wa shule hiyo akifanya mapenzi porini na mwanafunzi wa kidato cha nne shuleni hapo ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza mitihani ya ta...
wakizungumza kwa nyakati tofauti na mwandishi wa habari hizi mjini dumila mashuhuda wa tukio hilo walisema mwalimu huyo alikamatwa na walinzi wa shule hiyo oktoba mbili saa mbili sifuri sifuri usiku katika pori lilipo shuleni hapo
mwalimu huyo na mwanafunzi alikamatwa kutokana na mtego uliowekwa baina ya wanafunzi na walinzi wa shule hiyo baada ya kudaiwa kuwa na tabia hiyo kwa watoto wa kike kwa muda mrefu
mkuu wa shule hiyo bwana vitalis shija alikiri kuwepo kwa tukio hilo na kufafanua kuwa watuhumiwa wanashikiliwa na polisi katika kituo kidogo cha dumila kwa maelezo zaidi
siku hiyo mimi nilikuwa morogoro mjini kwa maandalizi ya mitihani nikapigiwa simu na makamu wangu akidai kuwa mwalimu huyo UNK akifanya mapenzi na mwanafunzi huyo wa kidato cha nne wakati huo kulikuwa na kelele wanafunzi wakiimba hatutaki fataki shuleni alisema bwana UNK
aliongeza kuepusha vurugu na pengine madhara kwa watuhumiwa niliomba msaada wa polisi kufika shuleni hapo ambapo walipofika UNK hadi kituo cha polisi UNK
akizungumzia adhabu za wahusika hao bwana shija alisema kwa UNK wa mwanafunzi shule imechukua hatua za dharura kuruhusu afanye mtihani huku mwalimu akisubiri vikao vya uongozi na bodi baada ya kukamilika kwa maelezo yao na walioshuhudia tukio hilo
chama cha wananchi UNK kauli aliyoitoa waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika kuwa hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa kati ya chama cha mapinduzi na cuf kuhusu uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa visiwani zanzibar
msemaji wa upinzani bungeni hamad rashidi mohamed alisema kuwa makubaliano kati ya vyama hivyo yalikuwepo na kutiwa saini na baadhi ya viongozi wa vyama hivyo kabla ya taarifa hizo kupelekwa butiama ambako hoja ya kukusanya maoni ya wananchi iliibuliwa ikiwa ni njia ya kukwepa utekelezwaji wa makubaliano hayo
aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa mkutano wa kumi na saba wa mpango wa utafiti wa elimu ya demokrasia tanzania unaoendelea leo katika ukumbi wa nkurumah katika chuo kikuu cha dar es salaam uliofanywa na bwana mkuchika kwa niaba ya rais jakaya kikwete
mimi nashangaa sana kauli yake sisi UNK kabla ya kuibuka kwa suala la kura za maoni zanzibar alisema mohamed na kuongeza kuwa yapo mambo mengi yaliyofanyika kinyume na katiba ya nchi alisema mohamed
alihoji kuwa kama suala la uundwaji wa serikali ya pamoja halitawezekana kutokana na kutokuwepo kwake katika katiba kama alivyodai bwana mkuchika mbona uendeshaji wa kura za maoni UNK kufanyika bila katika katiba ya nchi
je hili suala la kura za maoni UNK wapi
ni kwa nini wanasema UNK wakati jambo hilo UNK toka awali
ccm walianzisha kura za maoni lakini mbona pia halipo kwenye katiba
alihoji mohamed
alisema kuwa rais kikwete amekuwa akiahidi mara nyingi kushughulikia suala la zanzibar bila utekelezaji wowote hivyo hawawezi kumwamini tena alisema
bwana mkuchika pia alizindua kitabu kipya kilichoandaliwa na redet na kupewa jina la dini na siasa tanzania ambacho mchakato wake ulianza baada ya mwaka ishirini sifuri moja na kuzinduliwa na makamu wa rais daktari mohamed shein na marekebisho yake kufanyika mwaka ishirini sifuri tatu sifuri nne akitoa maelezo mafupi ...
akizungumzia kitabu hicho askofu mkuu wa kanisa la anglikana daktari valentine mokiwa alisema pamoja na uzinduzi wa kitabu hicho bado hakubaliani na neno migogoro ambalo analiona ni kali na UNK kutumika hata hivyo alisema kuwa ni vyema kuwepo kwa chombo hicho cha kushughulikia matatizo ya kidini
mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba alisema chombo hicho kinaweza kuanzishwa lakini kikawa hakina meno alidai kuwa jambo jema ni kuwepo kwa mawasiliano ya karibu kati ya viongozi wa kidini na viongozi wa nchi ili kutatua matatizo hayo kwa urahisi
mzimu wa kampuni tata ya kufua umeme wa dharura richnond development llc utazidi UNK taifa wakati kamati ya bunge ya nishati na madini kuketi leo na kesho kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya richmond
mjadala huo unakuja wakati serikali ikisubiriwa kuwasilisha majibu ya kuhitimisha mjadala huo kwenye mkutano wa bunge utakaoanza oktoba ishirini na saba mwaka huu baada ya taarifa ya utekelezaji iliyo UNK na naibu waziri wa nishati na madini bwana adam malima kukataliwa na bunge
kamati hiyo chini ya mbunge wa bumbuli william shelukindo na aliyekuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge iliyochunguza kashfa ya mkataba huo tata daktari harrison mwakyembe watakuwa wanapitia kifungu kwa kifungu kuona kama serikali imetekeleza maazimio ishirini na tatu kama UNK na bunge au la
baadhi ya maazimio UNK muda mfupi baada ya kamati ya mwakyembe kuwasilisha ripoti yake ambapo aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa alijiuzulu baada ya kutajwa katika mchakato wa mkataba huo akifuatiwa na waliokuwa wameshika uwaziri katika wizara ya madini na nishati katika vipindi tofauti wakati wa mchakato huo daktar...
wabunge waliendelea kushinikiza serikali UNK hatua ama za kisheria au za kinidhamu watumishi wa umma waliohusika katika mchakato wa mkataba huo akiwamo mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa daktari edward hoseah na mwanasheria mkuu wa serikali johnson mwanyika
pia waliokuwa mawaziri karamagi na msabaha pamoja na kujiuzulu nyadhifa zao walitakiwa kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria
maazimio UNK serikalini kwa ajili ya kufanyiwa kazi ni maazimio namba tano saba tisa na kumi na nne kwa utekelezaji unaozingatia misingi ya sheria na katiba