text
stringlengths
1
1.32k
maazimio hayo yanataka waliohusika katika mkataba huo kuwajibishwa na mamlaka ya juu ya nchi kwa kuchangia kuingiza nchi katika mkataba wa aibu kuwajibishwa kwa maofisa waandamizi wa serikali kwa manufaa ya umma na kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa kuliingiza taifa kwa makusudi kwenye mkataba wa kampuni ya mfuko...
hata hivyo rais jakaya kikwete hivi karibuni alipozungumza moja kwa moja na wananchi alisema amemwagiza katibu mkuu kiongozi phillemon luhanjo kuhakikisha utekelezaji wa suala hilo utafikia mwisho kwenye mkutano ujao wa bunge kwa UNK watumishi wa umma UNK
hawa wachukuliwe hatua stahiki kwa sababu wangeweza UNK na madhara haya UNK hapa
nimemwagiza katibu mkuu kiongozi kuchukua hatua ili ifikapo novemba bunge UNK hatua hizo na umma ufahamu hatua zilizochukuliwa alisema rais kikwete
baada ya serikali kuwasilisha utekelezaji wake wa maazimio ya richmond wabunge waliijia juu serikali kwa madai taarifa hiyo ililenga UNK watuhumiwa katika sakata hilo
kamati ya nishati na madini UNK utekelezaji wa mapendekezo yaliyokuwa yametolewa katika suala la richmond ambapo iliitaka serikali kuandaa upya taarifa kuhusiana na utekelezaji wa sakata hilo
katika hatua nyingine kamati ya miundombinu nayo UNK na kujadili taarifa ya utendaji kazi wa shirika la reli tanzania
kamati hiyo itajadili suala hilo siku ya jumatatu wiki ijayo
kampuni ya trl imekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa uendeshaji wake hali iliyosababisha huduma ya usafiri wa reli kudorora na kuwa kero kubwa kwa wananchi
mbali na hilo pia kamati hiyo itajadili taarifa ya utendaji wa shirika la ndege la tanzania shirika ambalo nalo limekuwa na migogoro mikubwa na imeripotiwa kuwepo kwa mchakato wa kupunguza nusu ya wafanyakazi wake
sasa kufunga virago novemba sita rais jakaya kikwete amekubali kustaafu kwa lazima kwa mwansheria mkuu wa serikali bwana johnson mwanyika ifikapo novemba sita mwaka huu
bwana mwanyika anastaafu kwa lazima katika kipindi ambacho mkutano wa kumi na saba wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania utakuwa ukiendelea UNK kuhitimisha sakata la mkataba tata wa richmond ambao ulisainiwa wakati akiwa mshauri mkuu wa serikali wa mambo yote ya kisheria
habari za kustaafu kwa lazima bwana mwanyika ambaye amekanusha mara kadhaa kuhusika kwake na richmond zimethibitishwa dar es salaam jana na ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma
majibu ya maandishi kutoka ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma kwa gazeti hili iliyosainiwa na mkuu wa kitengo cha habari elimu na mawasiliano bibi UNK kawawa ilieleza bwana mwanyika UNK kustaafu atakapofikisha umri wa kustaafu kwa lazima wa miaka sitini ifikapo tarehe sita novemba ishirini sifuri tisa hatua...
kwa maana hiyo ya katiba bwana mwanyika angeweka kuacha kushika wadhifa huo ama kwa kuachishwa na rais au kusubiri mwakani baada ya uchaguzi mkuu kabla ya rais mteule kushika wadhifa wa rais
kutokana na wadhifa wake huo baada ya mkataba kati ya tanesco na richmond development company llc kusainiwa na baadaye bunge UNK kamati teule ya kuchunguza utata uliogubika mkataba huo chini ya daktari harrison mwakyembe ilibainika kuwa utiaji saini mkataba huo UNK makosa mengi
wakati akiwasilisha taarifa ya kamati UNK utiaji saini mkataba huo bungeni daktari mwakyembe alisema mkataba UNK makosa mengi ya kisheria yanayoashiria udhaifu mkubwa wa kitaalamu katika ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali au ukosefu wa umakini katika kuiwakilisha serikali
daktari UNK alisema mwanasheria mkuu wa serikali na wakili wa serikali bwana donald UNK ambaye ushiriki wake katika UNK haukuwa na tija yoyote hivyo wawajibishwe na mamlaka ya juu ya nchi kwa kuchangia kuiingiza nchi katika mkataba wa aibu alisema daktari mwakyembe wakati akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake kwa bu...
baada ya kamati hiyo kutoa mapendekezo hayo serikali kupitia waziri mkuu bwana mizengo pinda ilitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya kamati akisema kikatiba mamlaka ya nidhamu ya mwanasheria mkuu wa serikali ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania
kwa hiyo mwanasheria mkuu wa serikali ambaye alikuwa miongoni mwa watendaji wakuu watatu waliokuwa UNK serikali suala lake la kuhusishwa kwake katika mchakato mzima wa mkataba huo linashughulikiwa na ofisi ya rais ikulu alisema bwana pinda
hata hivyo katika mkutano wa kumi na sita wa bunge uliomalizika mjini dodoma serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madini bwana adam malima ilitangaza utekelezaji wa awamu ya pili mapendekezo ya kamati ya daktari mwakyembe ambapo alisema bwana mwanyika hakuwa na kosa UNK kutenda kutokana na wadhifa wake huo
bwana malima alisema iwapo mtumishi yeyote wa umma UNK na watuhumiwa walioko mahakamani kuwa alihusika katika makosa ya jinai serikali haitasita kumfikisha mahakamani hata hivyo utekelezaji wa mapendekezo hayo pamoja na yaliyohusu maofisa wengine UNK na bunge na kuiagiza serikali kuwasilisha upya utekelezaji mwingine ...
mamlaka ya rufaa katika ya usimamizi wa ununuzi wa umma UNK shirika la umeme nchini kurudia upya mchakato wa utoaji zabuni ya huduma za afya wa mwaka ishirini sifuri tisa kwa wafanyakazi wake
hatua hiyo inafuatia kushinda kwa rufaa iliyokatwa na mmoja wa waliokuwa wameomba zabuni hiyo tanzania consortium of UNK and UNK limited wakipinga vitendo vilivyojitokeza na kutia dosari mchakato mzima wa kumpata mshindi wa zabuni ya kutoa huduma hizo
kwa mujibu wa jarida la UNK la oktoba sita vol
ii toleo na
kumi na nne la mwaka huu katika rufaa yao tchc waliwatuhumu waombaji walioshinda zabuni hiyo consortium kwa kufanya vitendo UNK kanuni za zabuni kama zilivyoainishwa katika sheria ya manunuzi ya umma na
ishirini na moja ya mwaka ishirini sifuri nne baada ya kuzingatia ushahidi kutoka kila upande tchc tanesco consortium na matokeo ya uchunguzi wetu uliojikita katika mambo UNK ppaa UNK kuwa mchakato wa zabuni ulikuwa na kasoro nyingi na hivyo ushindi wa consortium UNK sheria na hivyo si halali
kutokana na ushahidi huo ppaa inakubaliana na rufaa na UNK tanesco kurudia mchakato wa zabuni hiyo kwa mujibu wa sheria ilisema sehemu ya taarifa ya hukumu hiyo katika jarida hilo
mbali ya kuvunjwa kwa sheria hiyo pia tchc ilidai kuwa walalamikiwa hao consortium ambao ni muungano wa consortium of alexander UNK ltd UNK UNK co
ltd na pharmaccess international wakati wakiwasilisha maombi yao ya zabuni hawakufanya hivyo kwa jina hilo moja na waliamua kuunda jina moja baada ya kuwa UNK katika ushindi wa zabuni hiyo
pia tchc katika rufaa yao walihoji uhalali wa pharmaccess international kuwemo katika mchakato wa kupata mshindi wa zabuni kwa sababu haikuwahi kutajwa sehemu yoyote wakati wa mkutano wa kufungua maombi hayo kuwa UNK na wengine na kuwa UNK
pia walilalamika kuwa pharmaccess international inajulikana kama shirika la kigeni UNK misaada kutoka jumuiya ya ulaya ili kusaidia shughuli za kijamii na uchumi katika nchi zinazoendelea na hapa nchini limefanya hivyo kwenye mipango ya hiv UNK ndani ya jeshi na polisi
hivi karibuni ilidaiwa katika vyombo vya habari kuwa mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa tanesco ana hisa katika moja ya UNK UNK zabuni hiyo jambo UNK mgongano wa UNK
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi profesa jumanne maghembe amesema kuwa wizara yake imejidhatiti vya kutosha kudhibiti uvujaji wa mitihani na kuahidi kuwa hakuna mtihani wowote UNK mwaka huu
pia ametumia nafasi hiyo kukanusha habari zilizochapishwa na gazeti moja kuwa kuna baadhi ya mitihani UNK
akizungumza na majira jana profesa maghembe alisema kama UNK UNK siyo mtihani wa taifa UNK yeye
alisema wapo kwa matapeli wanaojifanya wanauza mitihani jambo ambalo UNK jina la nchi na kujiwekea sifa mbaya hata kwa mataifa ya nje
mtihani ni jambo la siri sio la kuzungumzwa kila mahali tena kwa kusema inauzwa hao ni matapeli wa kweli na hizo feki UNK ni feki kweli hakuna mtu mwenye mtihani
alisema aliongeza kuwa baraza la mitihani limejipanga kikamilifu na kukiri kuwa mitihani inayofanyika ni migumu lakini lengo ni kupata wasomi bora ambao wamesoma na kuwaacha ambao UNK
katika hatua nyingine baadhi ya wanafunzi walilieleza majira juu ya kuwepo kwa tetesi za kuvuja kwa mitihani katika baadhi ya shule za sekondari hapa nchini wanafunzi hao wamesema huo ni uvumi na kuongeza kuwa mitihani inayodaiwa kuvuja ni feki wala si ile inayotolewa na necta mmoja wa wanafunzi hao boniphace warioba ...
taarifa ya utekelezaji wa maazimio hayo ishirini na tatu iliyokuwa iwasilishwe na serikali kwenye kamati ya kudumu ya nishati na madini ya bunge ilikwama jana kwa sababu ya UNK kwa waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana william shelukindo alisema suala la richmond UNK na taarifa yake itawasilishwa oktoba ishirini katika kamati hiyo
awali ratiba iliyotolewa na ofisi za bunge ilionesha kuwa taarifa hiyo UNK jana na leo lakini ilibadilishwa hadi oktoba ishirini mwaka huu baada ya bwana ngeleja kuwa katika shughuli nyingine za kitaifa
bwana shelukindo alisema anaamini majibu ya utekelezaji wa maazimio y ishirini na tatu ya bunge bunge yatakidhi matakwa ya wabunge na wananchi na iwapo UNK kamati yake UNK nini cha kufanya dhidi ya serikali
waziri wa nishati na madini anayetakiwa kusoma taarifa ya maazimio hayo amesafiri hivyo suala la kampuni ya richmond litajadiliwa kama ratiba UNK asubuhi inavyosema alisema bwana shelukindo
alisema anaamini serikali UNK maazimio yote yaliyotolewa na wabunge na hivyo majibu yatakuwa makini na ya kuridhisha
moja ya maazimio hayo ni kuwawajibisha watu UNK hasara serikali kwa kuingia mkataba huo tata wakiwamo maafisa waandamizi wa serikali na wengine waliokuwa na nyadhifa za kisiasa katika wizara hiyo nazir karamagi na daktari ibrahim UNK
baadhi ya maafisa hao ni mwanasheria mkuu wa serikali bwana johnson mwanyika katibu mkuu wa UNK ya nishati na madini bwana arthur mwakapugi mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa daktari edward hoseah aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi bwana gray mgonja ambapo walikuwa na jukumu la ku...
wengine ni timu ya wataalamu na idara wanazotoka katika mabano akiwamo bwana UNK madata daktari lutengano UNK bwana UNK UNK bwana stephen UNK bwana athanas mbawala bwana james UNK na bwana julius UNK wataalamu hao walikuwa na jukumu ya kutathmini UNK wote waliokuwa wameomba zabuni za mitambo ya kukodi ya dharura ya ku...
mkazi mmoja wa UNK dar es salaam bibi rehema UNK ambaye ni mlemavu wa macho jana alisababisha simanzi kwa umati wa watu baada ya UNK mkasa wa mtoto wake mmoja pacha kuibwa katika hospitali ya taifa muhimbili na kubakia na mmoja
miongoni mwa UNK na tukio hilo ni waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa aliagiza UNK na matukio ya namna hiyo kuripoti haraka ili hatua zichukuliwe
bibi rehema alitoa ushuhuda huo uliompata miaka kumi na tatu iliyopita katika kongamano la jukwaa la wazi la vifo vitokanavyo na uzazi na ulemavu ishirini sifuri tisa lililofanyika dar es salaam jana
leo nina mtoto mmoja UNK pacha mwenzake angekuwepo ningekuwa napata msaada mkubwa kutoka kwa watoto wote wawili alisema
alieleza kuwa wakati akiwa mjamzito mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na saba alikuwa akihudhuria kliniki alifanyiwa vipimo kikiwemo kile cha ultrasound ambapo alionekana alikuwa na mimba ya watoto mapacha
bibi rehema ambaye kitaaluma ni mwalimu alisema alipopata uchungu wa kujifungua alipelekwa hospitali ya amana lakini kutokana na hali yake kuwa mbaya alihamishiwa mnh ambapo alijifungua kwa UNK
baadaye daktari aliniambia nimejifungua watoto wawili mapacha na wauguzi UNK kamba mikono yote miwili zenye namba za watoto wangu alisimulia bibi rehema na kuongeza kuwa watoto wake walilazwa wodi za juu na yeye na wazazi wengine walikuwa chini na muda wa kunyonyesha ulipofika walienda UNK
hata hivyo kutokana na hali yake ya ulemavu na UNK uliotokana na operesheni hakutakiwa UNK kitandani isipokuwa watoto wake hao walikuwa wakipewa maziwa
alisema mama yake na bibi yake hawakutakiwa kwenda kuwaangalia watoto wake kwa kile UNK kuwa UNK ni baba wa watoto hao ambaye wakati huo alikuwa masomoni mkoani arusha
walipokuwa wakija hospitalini nao waliambiwa nimejifungua watoto mapacha na waliridhika kutokana na kamba UNK mikono yote miwili kuashiria UNK watoto mapacha
ilipofika siku ya tano mmoja wa wauguzi alinifuata na UNK kamba moja
alipohoji aliambiwa na muuguzi huyo kuwa kamba moja alifungwa kimakosa lakini wazazi wenzake walipokwenda kunyonyesha na kurudi walimweleza kuwa watoto wake wote wapo hai na UNK
aliongeza kuwa siku ya saba alitolewa nyuzi na bibi yake alipofuata tangazo la uzazi alipewa la mtoto mmoja
alieleza kuwa bibi yake alipohoji aliambia alijifungua mtoto mmoja
alisema katika mazingira ya kutatanisha hata kadi ya mahudhurio ya kliniki ambayo UNK kwenye kitanda ilipotea katika mazingira hayo
bibi rehema aliporuhusiwa kwenda nyumbani hakuweza kufuatilia kutokana na hali yake kuwa UNK hivyo kulazimika kukaa nyumbani bila kurudi UNK ili kujua UNK mtoto wake
baada ya kupona nilirudi muhimbili lakini nilikuta vielelezo vyote vinavyoonesha kuwa mimi niliwahi kujifungulia hapo UNK alisema
akizungumzia tukio hilo profesa mwakyusa aliwataka watu UNK na matatizo kama hayo UNK kuchukua hatua
alisema ikibidi wamuone moja kwa moja waziri ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa
mahakama ya hakimu mkazi kisutu imesitisha kusikiliza moja ya kesi za mfanyabiashara maarufu bwana jeetu patel na wenzake mpaka mahakama kuu ya tanzania itakapotoa uamuzi wake kuhusiana na kesi ya kikatiba inayotaka kufutwa kwa kesi zote UNK
uamuzi huo ulitolewa jana mahakamani hapo na bwana ruwaichi meela ambaye ni mwenyekiti wa jopo la mahakimu watatu wanaosikiliza kesi hiyo ya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni kumi katika akaunti ya madeni ya UNK
hatua ya kusitishwa kwa kesi hiyo ilitokana na upande wa utetezi ukiongozwa na bwana gabriel UNK ambaye aliiomba mahakama hiyo kusitisha kesi hiyo kutokana na ukiukwaji wa haki za kikatiba za washitakiwa hao ambao tayari wameitwa mafisadi papa na kuufanya umma UNK kufungwa kwao
akitoa uamuzi huo bwana meela alisema kuwa malalamiko ya utetezi kuhusiana na matangazo yaliyotolewa kwenye vyombo vya habari UNK washitakiwa hao kabla ya mahakama kuwakuta na hatia yanaweza kukiuka mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo hivyo ni vyema UNK
si vyema shauri likiwa mahakamani UNK kujadiliwa na kama walivyosema na kuwasilisha vielelezo kuwa hawa washitakiwa waliitwa mafisadi papa
tunaona jalada hili ni vyema UNK mahakama kuu ya tanzania kwa ajili ya kutoa mwongozo na kuona kama matangazo hayo UNK au kukiuka haki za kikatiba alisema bwana meela
ingawa UNK majina ya wahusika lakini aliyemtaja bwana patel kuwa ni fisadi papa ni mfanyabiashara maarufu bwana reginald mengi
wengine aliowataja ni bwana rostam aziz bwana tanil somaiya bwana subash patel na yusuf manji
alisema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha tisa cha sheria ya haki na wajibu UNK mahakama inayosikiliza kesi hiyo kuwasilisha jalada mahakama kuu baada ya kugundua kuwepo kwa malalamiko yanayokiuka haki za washitakiwa hao ili UNK mwongozo
sisi kama jopo tumeona malalamiko hayo hivyo majaji watatoa mwongozo wao baada ya kupitia na kuridhika alisema bwana UNK
mambo yanayotakiwa kujibiwa na mahakama kuu katika kesi ya kikatiba inayotaka kesi zote za mfanyabishara huyo UNK ni pamoja na kwamba kwa nini serikali haikuwa na jukumu la kufuta kesi hizo baada ya matangazo hayo
maswali mengine ni je kama shauri hilo litaendelea kusikilizwa kutakuwa na usikilizwaji wa haki na kama matangazo hayo UNK uhuru wa mahakama na haki za kikatiba za washitakiwa hao
washitakiwa katika kesi hiyo ni bwana jeetu patel bwana amit nandy na bwana UNK patel ambao kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni kumi kupitia kampuni ya bencon international ltd na kampuni ya japan ya UNK electric trading UNK
pia wanakabiliwa na kesi zingine za wizi wa epa hatua ya serikali kuiondolea ukiritimba wa kazi ya kuhudumia makontena bandarini kampuni ya ticts lakini UNK muda wa nyongeza wa miaka kumi na tano imeelezwa ni sawa na kiinimacho na huenda ikaendelea kuigharimu serikali katika mkutano ujao wa bunge
wakizungumza na gazeti hili baadhi ya wabunge ambao wamekuwa mstari wa mbele kuisimamia serikali kuupitia upya mkataba wa ticts walisema hatua hiyo ya serikali imekiuka ushauri wa wabunge waliotaka muda UNK na kuwezesha wawekezaji wengine kushindana nayo
bwana godfrey zambi mbunge wa mbozi mashariki ambaye aliwasilisha hoja binafsi kuhusiana na kampuni hiyo alisema hatua hiyo ya serikali kufikia makubaliano na ticts ni sawa na kiinimacho kwa watanzania kwa sababu kwa mujibu wa mkataba itaendelea kuwepo kwa miaka ishirini na tano hivyo kuwanyima fursa wawekezaji wengin...
pamoja na kuwa inawezekana kamati ya bunge ya miundombinu ikatoa maelezo yake zaidi bungeni kwa mawazo yangu mimi UNK hatua hiyo ya serikali kama kitendawili fulani hivi au UNK
UNK umeondoa ukiritimba wakati ticts bado ana uwezo wa kukaa hapo kwa miaka ishirini na tano ni sawa una nyumba yako UNK kwa mtu kwa muda mrefu mkataba UNK unasema kuwa iko wazi UNK mtu yeyote kukaa pale sasa UNK
mbali na hilo ticts bado inamiliki UNK nyingi na karibu zote za muhimu bandarini tena zingine wameongezwa hivi karibuni sasa huyo mshindani akija UNK wapi hata kama wanasema kazi sio kubeba makontena tu alisema bwana godfrey zambi
bwana zambi alisema kuwa jambo jingine ni kuhusu ukarabati wa bandari hiyo ambayo inatakiwa kufanyika kila baada ya miaka kumi hali ambayo UNK kusimama kwa shughuli bandarini lakini kwa jinsi UNK mkataba UNK serikali UNK ticts imalize muda wake wa miaka ishirini na tano ndipo ukarabati ufanyike
alisema anachoamini kutokana na UNK mkataba huo haitakuwa rahisi kwa kampuni hiyo kuiacha serikali kufanya ukarabati kwa sasa hivyo kuilazimu serikali kusubiri mpaka miaka ishirini na tano iishe ndio ukarabati ufanyike kitu ambacho itakuwa ni gharama kubwa na bandari itakuwa hali mbaya karibu ya kuoza
kwa kweli sijajua msimamo wa kamati juu ya suala hilo lakini ninachoweza kuona suala hilo bado lina utata hasa katika kutatua hoja kwa nini UNK kinyemela
hii UNK kama mtanzania sina ugomvi na mtu yeyote unajua wengine wana UNK haya mambo
walichofanya UNK tu katika vyombo vya habari lakini mambo bado alisema bwana zambi
msemaji mkuu wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa wawi bwana hamad rashid mohamed alisema serikali UNK kazi ushauri wa wabunge walioitaka kuangalia kwa nini suala la kuongezwa kwa mkataba wa ticts lililofanyika kinyume cha taratibu
alisema kuwa serikali inapaswa kujiandaa kutoa maelezo bungeni kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji huo wa utaratibu katika kuipatia kampuni hiyo zabuni ya kupakua makontena bandarini
pamoja na suala hilo la ukiritimba kitu kingine cha msingi kilichokuwa UNK katika mkataba wa ticts ni kuhusu ukiukwaji wa tendering system serikalini ambapo kampuni ile UNK mkataba wa muda mrefu bila kufuata utaratibu
hivyo mara ya mwisho UNK kuwa serikali UNK UNK mkataba huo kuangalia suala hilo lakini nasikitika haijafanya hivyo
sasa kama UNK ukiritimba UNK tendering upya ili kuruhusu kupata huo ushindani
labda UNK muda wa kuja kutoa maelezo katika kikao kijacho cha bunge alisema bwana hamad
aliongeza kuwa suala la ukiritimba wa kampuni hiyo UNK kuwepo wala kuwa hoja ya UNK kwa sasa kwani moja ya sababu ya kubinafsisha ni kuleta ufanisi wa utendaji kazi unaotokana na ushindani wa kibiashara