text
stringlengths
1
1.32k
mbunge wa tabora mjini bwana silaji kaboyonga ambaye alipata kumbana waziri mkuu juu ya suala hilo naye kukiri kuwa mkataba huo una dosari na serikali ilikuwa ikiangalia namna ya kuuvunja au kutafuta kampuni nyingine kushindana na ticts alisema anakubaliana na uamuzi huo wa serikali
kwa maoni yangu uamuzi huo wa serikali kuondoa ukiritimba ili kuleta ushindani katika uendeshaji wa kitengo cha makontena ni kitu ninachoweza UNK alisema
naibu waziri wa miundombinu bwana hezekiah chibulunje alipoulizwa alisema kuwa yuko singida UNK barabara hivyo waulizwe wenzake waliosaini mkataba huo jana dar es salaam lakini waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa hakupatikana UNK
hata hivyo katibu mkuu wa wizara hiyo bwana omari chambo alisema wana uhakika kuwa baada ya kuondolewa kwa ukiritimba ushindani utakuwepo kwa sababu UNK kampuni hiyo baadhi ya mageti iliyokuwa nayo hivyo watapewa washindani wengine
lakini alipoulizwa kuhusu hoja za wabunge chambo alisema kuwa hawezi kujibu mambo ya wanasiasa bali yeye anashughulikia utendaji
mimi UNK mambo ya wanasiasa mambo ya wabunge watafute wenye ubavu wa kuweza UNK mimi UNK mambo ya kiutendaji
suala lenyewe UNK UNK halafu bado UNK mambo kwa nini alisema bwana UNK
rufaa dhidi yake UNK mahakamani ni siku moja baada ya kusema hatishiki wamo pia askari polisi wenzake wanane hatimaye mkurugenzi wa mashitaka nchini amekata rufani dhidi ya askari polisi tisa akiwemo aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdalah zombe ambao waliachiwa huru na mahakama kuu kwa kesi ya...
rufani hiyo yenye namba mia mbili na hamsini na nne ya mwaka huu ina sababu kumi na moja zinazopinga kuachiwa huru kwa washitakiwa hao ambao wanadaiwa kuwaua kwa makusudi wafanyabiashara watatu wa madini kutoka mahenge morogoro pamoja na dereva UNK
waliouawa katika tukio hilo ni ephraim chigumbi UNK chigumbi mathias UNK ombe na dereva teksi juma ndugu wa UNK
tukio hilo lilitokea januari kumi na nne ishirini sifuri sita katika msitu wa pande mbezi luis dar es salaam
sababu zilizowasilishwa na dpp ni kwamba jaji salum massati ambaye ndiye aliyesikiliza kesi hiyo alikosea kisheria katika kujenga na kutoa tafsiri juu ya ushiriki wa wahusika katika kosa la mauaji
pia rufani hiyo ilidai kuwa katika mazingira ya kesi hiyo jaji UNK vibaya katika kutumia kanuni zinazolinda nia ya pamoja lakini pia alifanya makosa ya kisheria na ukweli katika kujenga na kutafsiri kanuni ya ungamo hatua iliyosababisha kufikia uamuzi usio sahihi
rufani hiyo inadai kuwa jaji massati alifanya makosa katika kumwachia huru mshitakiwa wa kwanza ambaye ni bwana zombe licha ya kuwepo ushahidi wa kutosha wa kimazingira ambao ungeweza kumtia hatiani
tayari zombe alikaririwa na gazeti moja jana akisema hatishiki kwa rufaa inayokatwa na serikali kwa kuwa inataka kujikosha kwa wananchi kuwa inafanya kazi nzuri wakati ikijua kuwa wapelelezi wake walikiuka taratibu na kuwa huo ni mwendelezo wa ufujaji wa fedha za walipa kodi
kwa upande wa mshitakiwa wa pili ambaye alikuwa ni sp UNK bageni dpp anadai kuwa jaji alikosea kisheria kumwachia mshitakiwa huyo kwa kuwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha ambao UNK na upande wa mashitaka
sababu za rufani kwa mshitakiwa wa tatu bwana UNK ahmed makelle zilidai kuwa yalifanyika makosa na kushindwa kutoa tafsiri na kutumia vizuri kanuni ya kukutwa na mali ambapo kwa mujibu wa ushahidi mshitakiwa huyo ndiye aliyehusika katika ukamataji wa marehemu hao
rufani hiyo pia inadai kuwa jaji alishindwa kutoa sababu za washitakiwa wa wp jane na d mia mbili na thebathini sifuri d cpl UNK ni waathirika wa kimazingira bila kueleza ni jinsi gani waliathirika UNK
washitakiwa wengine ni d mia moja na arobaini sita cpl mabula na d elfu nane na mia mbili na themanini na tisa pc shonza ambao sababu zilizomo kwenye rufani hiyo zinadai kuwa yalifanyika makosa ya kisheria katika kuwaachia kwa UNK katika utetezi wa kutokuwepo kwenye tukio
kuhusiana na mshitakiwa d elfu nne na mia sita na hamsini na sita d cpl rajab ambaye katika utetezi wake alielezea namna marehemu hao UNK rufani hiyo inasema yalifanyika makosa makubwa katika kumwachia kwa kuwa kulikuwa na ushahidi mzito dhidi yake
aidha ilielezwa kuwa jaji alishindwa kuwatia hatiani bwana zombe na mshitakiwa wa tisa d elfu moja na mia tatu na sitini na saba d cpl gwabisabi kwa kuzingatia kifungu cha thebathini sifuri cha cpa lakini pia yalifanyika makosa katika kufanya uchambuzi wa ushahidi uliotolewa mbele yake hali iliyosababisha kuwepo mkang...
washitakiwa hao waliachiwa huru na mahakama kuu ya tanzania ambayo ilisema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha bila kuacha shaka yoyote katika mashitaka yaliyokuwa yakiwakabili
kuachiwa kwao huru kulizua mtafaruku mbele ya jamii ambayo ililalamikia kitendo cha kuachiwa kwa washitakiwa hao
taasisi zinazotoa huduma ya afya na wataalamu wa afya wakiwemo madaktari wakunga na wauguzi wanaweza kushitakiwa endapo watafanya uzembe unaoweza kusababisha ulemavu au vifo vya wajawazito wanasheria wamesema
kila mwaka zaidi ya wanawake nane sifuri sifuri sifuri hufariki dunia kwa ujauzito hapa nchini ambapo ni wastani wa wanawake ishirini na nne kwa siku kitu UNK tanzania kuwa miongoni mwa nchi zilizo na idadi kubwa ya vifo vya namna hii vinavyoweza kuzuilika
kauli hiyo ilitolewa na majaji wawili wa mahakama kuu bibi aisha nyerere na UNK mbise wakiwa na wanasheria wengine katika jukwaa la wazi UNK jinsi ya kupunguza ulemavu na vifo vya wanawake
taarifa ya mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari tanzania bibi ananilea nkya UNK wanasheria hao wakisema kila UNK anayo haki ya kwenda mahakamani kudai haki yake kama uzembe umefanyika na kusababisha madhara au kifo cha mjamzito
walisema kuwa taasisi au mtu aliyesababisha kifo kwa uzembe anaweza kushitakiwa kwa kutumia ibara ya kumi na nne ya katiba ya tanzania
pia wanaweza kushitakiwa na kutiwa hatiani kwa kutumia ibara ya mia mbili na thebathini na tatu ya sheria ya makosa ya jinai UNK kuwa mtu yoyote atakayekuwa ametenda vitendo vya kizembe vinavyoweza kudhuru mtu mwingine au kutoa tiba isiyo sahihi mtu huyo atakuwa ametenda kosa la jinai
jaji nyerere pamoja na UNK waliwataka wananchi kutumia mahakama zao kudai haki zao dhidi ya ukatili wa aina yoyote UNK vifo vinavyotokana na ujauzito
mahakama ya mwanzo temeke UNK elizabeth massawe maarufu kwa jina la mama tema kumlipa aliyekuwa mfanyakazi wake martha elisha shilingi milioni nane tatu kama fidia baada ya kumfungia duka lake kinyume cha sheria
hukumu hiyo ilitolewa jana mahakama hapo na hakimu mfawidhi bibi mary goha baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa dhidi yake kuwa alichukua sheria mkononi
akitoa hukumu hiyo hakimu goha alisema mahakama UNK kuanzia katika baraza la kata ambapo kesi hiyo ilianzia na imeonekana madai ya bibi elisha ni ya haki na hivyo anatoa hukumu kwa mdaiwa bibi massawe kulipa fedha hizo ambazo zinajumuisha na usumbufu
bibi elisha alikuwa ni mfanyakazi katika kampuni ya mdaiwa iitwayo tema enterprises inayohusika na uuzaji wa vinywaji hadi april mosi mwaka huu UNK na bosi mpaka nyumbani kwake na kumfungia dukani akitaka amweleze amepata wapi mtaji wa kuanzisha UNK
mdai huyo alidai pia UNK kazi bila mshahara na ndipo alipochukua hatua za kisheria kudai haki zake
mhariri wa gazeti la mwanahalisi bwana saed kubenea UNK mshitakiwa wa kwanza bwana alex UNK na kuieleza mahakama kuwa alihusika katika tukio la kumjeruhi na kumwagia tindikali machoni
mbali na kumtambua mshitakiwa huyo bwana kubenea aliieleza mahakama hiyo namna alivyokuwa akipokea barua za vitisho na ujumbe mfupi kutoka kwa wanasiasa na watu mbalimbali wakiwemo mawakili kabla ya kutokea kwa tukio hilo
hayo aliyasema jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam mbele ya hakimu mkazi bwana UNK shamsham wakati akitoa ushahidi kuhusiana na tukio la kuvamiwa ofisini kwake ambako alijeruhiwa na kumwagiwa UNK
mwingine aliyejeruhiwa katika tukio hilo ni bwana UNK UNK ambaye alikatwa na UNK katika maeneo ya kichwa na kusababishiwa maumivu makali
bwana kubenea pia aliwatambua washitakiwa bwana hamisi ramadhan na bwana UNK moshi na akabainisha kuwa washitakiwa hao hawakuwepo siku ya tukio hilo bali anawatambua kwa kuwa ni majirani zake katika ofisi za gazeti hilo
alidai kuwa siku ya tukio hilo januari tano mwaka jana saa mbili usiku alisikia mlango wa ofisi yake UNK na alipokwenda kufungua na akakutana na watu ambao walimwambia wanamtaka yeye
UNK nje ni pamoja na mshitakiwa wa kwanza ambaye kabla hata ya kupigwa nilimwona nje na nilipowauliza wanataka nini mmoja UNK UNK mimi
aliyesema hivyo hapa mahakamani hayupo alidai bwana kubenea
alidai kuwa mbali na kukutana na mshitakiwa huyo kwenye tukio hilo lakini pia aliweza kumtambua kwenye gwaride la utambulisho ambalo UNK watu kumi na mbili na yeye UNK
mtoto wa darasa la awali katika shule ya msingi al UNK iliyoko kijiji cha pangani mashariki wilayani pangani mkoani tanga amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuunguzwa kwa kisu cha moto na shangazi yake aliyekuwa akiishi naye
mtoto huyo zuhura omari amejeruhiwa vibaya mdomoni sikioni mikononi na maumivu makali na kukimbizwa katika hospitali ya wilaya kwa matibabu zaidi
tukio hilo UNK juzi saa nne asubuhi baada ya mtoto huyo kumaliza kunywa chai na kutakiwa na shangazi huyo bibi madawa ramadhani kuosha vyombo lakini UNK kufanya kazi hiyo
mara baada ya hali hiyo mama huyo UNK na hasira na kuchukua kisu na UNK jikoni hadi UNK moto akaanza kumchoma mtoto mdomoni na sikioni na kumfungia ndani ya nyumba hiyo ili majirani UNK tukio hilo
ofisa mtendaji wa kata ya pangani mashariki bibi rehema salim aliliambia majira jana kuwa kabla ya kuchukua uamuzi huo wa kumchoma moto mama huyo alianza kwa UNK viboko sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha mtoto huyo kupoteza fahamu
ofisa huyo UNK kukamatwa kwa mzazi huyo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yake
jeshi la polisi mkoani hapa UNK kwa kukiuka haki za binadamu kufuatia kumweka rumande mfugaji UNK UNK rotiken aliyepigwa risasi na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wanaoendesha operesheni ya kuwaondoa wafugaji katika kitalu cha uwindaji kinachotumiwa na kampuni ya UNK business UNK
wakizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa ndugu wa rotiken walisema mara baada ya ndugu yao kupigwa risasi UNK jicho lake la kushoto septemba ishirini na nne mwaka huu UNK katika hospitali ya wasso wilayani humo kwa matibabu akiwa UNK na baadaye kuhamishiwa kwenye hospitali ya st
elizabeth mjini arusha
bwana lucas UNK mmoja wa ndugu zake alisema baada ya kupata matibabu madaktari walimruhusu kurudi nyumbani jumanne ya septemba ishirini na tisa mwaka huu lakini ghafla alikamatwa na polisi mjini arusha na kumweka rumande hadi sasa
sisi tunaona huu ni unyanyasaji ambao ndugu yetu anafanyiwa tunaomba serikali na wanaharakati UNK kati suala hili kwani ndugu yetu bado ni mgonjwa na ameruhusiwa tu aende nyumbani akaangalie afya yake ili aweze kurudishwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi alisema bwana UNK
kwa upande wake ndugu mwingine bwana jacob UNK alisema wamejaribu kuonana na viongozi husika katika kituo cha polisi mkoani arusha kwa ajili ya kumwekea dhamana lakini wamekosa msaada wowote
kamanda wa polisi mkoa wa arusha basilio matei alikana UNK huyo kupigwa risasi lakini akadai alijeruhiwa tu na askari wa ffu katika mapambano na askari wakati wa operesheni hiyo na UNK kuzungumzia kukamatwa na kuwekwa kwake rumande huku akiwa mgonjwa alisema ha taarifa hizo
kwa mujibu wa ndugu wa rotiken askari wa ffu walimpiga risasi ndugu yao huyo akiwa UNK mifugo yake katika eneo la makazi katika kijiji cha UNK na kwamba eneo hilo wamekuwa UNK kwa ajili ya shughuli hizo na sio eneo la kitalu cha uwindaji cha obc na gladness mboma kamati ya bunge ya nishati na madini imekataa kupokea t...
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana william shelukindo alisema dar es salaam jana kuwa wamekataa makabrasha hayo kwa sababu yalitakiwa kuwasilishwa kwao tangu aprili tisa mwaka huu
mwaka jana tanesco UNK kwenye hoteli ya kempinski ambapo waliwasilisha mpango kabambe wa umeme na sisi wabunge UNK maoni yetu na tuliwaambia mpango huo ukiwa tayari watuletee katika kamati ili UNK kwa ajili ya UNK katika bunge la wiki ijayo alisema
alisema mpango huo ambao ulikuwa UNK kwao ni taarifa ambayo ilikuwa UNK jinsi tanesco UNK na ilivyojipanga kwa kipindi chote cha mwaka ishirini sifuri tisa ishirini tatu moja bwana shelukindo alisema makabrasha hayo yenye muongozo mzima wa shirika hilo walitakiwa kupewa mapema ili UNK kwa siku tatu na kuwasilisha bung...
cha kusikitisha ni kwamba makabrasha hayo UNK juzi saa kumi na moja na saa nne asubuhi jana ndio wametuletea kwenye kamati kwa ajili ya UNK
kamati tumejadiliana na kuona kuwa tunahitaji kupata muda wa kutosha hivyo UNK kwa kuwa muda hautoshi na badala yake UNK UNK mapema ili UNK aprili ishirini na sita mwaka huu bungeni alisema
bwana shelukindo alisema kuwa cha kusikitisha zaidi ni kwamba tanesco UNK UNK moja la uwasilishaji na kuacha kuwasilisha lile lenye mpango kabambe kuhusu shirika hilo
alisema kuwa kamati ilitaka kujadili hali ya uzalishaji wa umeme ili kujua ni kitu gani kinafanyika ikiwa ni pamoja na kuangalia kama maoni waliyowasilisha siku UNK kempinski yametekelezwa
bwana shelukindo alisema kuwa moja ya mambo ambayo walipendekeza siku hiyo kwa tanesco walitaka umeme UNK kwa haraka sana kupitia nishati ya upepo na njia nyingine badala ya kutegemea chanzo kimoja
kuna kampuni moja ilikuja bungeni dodoma ya power pool east africa ya singida ambayo ina nia ya kuwekeza teknolojia ya wakorea na wana mitambo ya kisasa ya kuweza kuzalisha umeme wa upepo alisema
wakati serikali imewaondolea wananchi wasiwasi kuhusu sumu kwenye maji ya mto ruvu kampuni la maji safi na maji taka mkoa wa dar es salaam na pwani UNK kusaidia kuzuia uchafuzi wa maji yanayotumiwa na wateja wake
tamko la serikali kupitia kwa waziri wa maji na umwagiliaji profesa mark mwandosya limekuja ikiwa ni siku tatu baada ya wakazi wa jiji la dar es salaam kulalamika kuwa maji ya mto ruvu mkoani pwani yamewekwa sumu na watu waliokuwa UNK samaki
profesa mwandosya aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa uchunguzi wa awali umebainisha kwa hakuna sumu katika mto huo ambayo italeta madhara kwa watumiaji wa maji
hata hivyo waziri mwandosya alisema anasubiri majibu ya uchunguzi wa kina kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali ili serikali UNK zaidi na uchunguzi UNK
profesa mwandosya alikiri kuwekwa kwa sumu katika mto huo lakini kwa umbali wa kilomita sabini kutoka katika chanzo cha maji yanayotumiwa na wakazi wa dar es salaam na pwani
alisema kuwa maji hayo mpaka kufika katika eneo la ruvu juu ambapo dawa ya kusafisha maji aina ya UNK huwekwa sumu hiyo UNK
uchunguzi wa awali uliofanywa baada ya kutokea kwa tukio hilo ilibainika kuwa viumbe hai vinavyoishi katika mto huo UNK madhara ya aina yoyote kwa sababu sumu hiyo haikuwa na madhara alisema profesa mwandosya
alisema kuwa kwa sasa sampuli za maji zinaendelea kuchukuliwa na kupimwa kila baada ya dakika kumi na tano kabla ya UNK ili kuchunguza tofauti yoyote ile isiyokuwa ya kawaida katika tabia ya maji ghafi
kwa vile UNK yana samaki ndani yake tunaendelea kuchunguza kwa karibu kama kuna dalili yoyote ya tishio kwa uhai wa samaki sampuli za maji zimechukuliwa na kupelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali akiwemo samaki mmoja aliyekufa ili kubaini sababu ya kifo chake alisema profesa mwandosya
alisema kuwa mpaka sasa UNK wavuvi wanne ambao wanasadikiwa UNK samaki kwa kutumia sumu
katika hatua nyingine dawasco imesema uchafuzi wa vyanzo mbalimbali vya maji ukiwamo mto mto kizinga ambao maji yake yanatumika kwa wakazi wa wilaya ya temeke umekithiri kiasi cha kusababisha kina cha maji kupungua na kusababisha uzalishaji kuwa mdogo
meneja wa mtambo wa kuzalisha maji mtoni bwana masoud omari alisema sheria inasema shughuli zote za kibinadamu katika mto kama huu UNK maji kwa matumizi wa binadamu ni kuanzia mita sitini kando ya mto lakini watu UNK na kujenga kila kukicha hivyo UNK maji kwa kuoga kufua na kutupa takataka na magogo alisema bwana omar...
mto kizinga unaanzia wilayani kisarawe mkoa wa pwani unapita wilaya ya ilala hadi temeke ambako maji yake UNK na kuwekwa kwenye UNK kubwa katika mashine ya maji ya mtoni ambako kuwekwa dawa kwa ajili ya matumizi wa binadamu na kisha UNK
mbunge wa same mashariki anne kilango amesema UNK pesa za mafisadi ndio maana watuhumiwa wa ufisadi hawatakuwa na nafasi katika harambee ya kuchangia ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha kusindika tangawizi kwa manufaa ya wapiga kura wake
alitoa kauli hiyo jana dar es salaam alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee itakayofanyika octoba kumi na sita katika hoteli ya new afrika wakati wa chakula cha usiku UNK mgeni rasmi atakuwa rais jakaya kikwete
alikuwa akijibu swali la mwandishi aliyetaka kujua kama yupo tayari kupokea pesa za mafisadi endapo watajitokeza kumuunga mkono katika nia yake ya kumuunga mkono rais kikwete katika utekelezaji wa kaulimbiu ya kilimo kwanza
mbunge huyo ambaye katika siku za karibuni amekuwa mwiba kwa mafisadi alisema watu hao hawana nafasi katika harambee hiyo kwa kuwa UNK katika orodha ya watu UNK kuchangia
akijibu swali hilo alisema this is a technical UNK mpaka sasa tunayo list ya watu UNK UNK lakini hakuna jina lolote la mtu anayetuhumiwa kwa ufisadi katika list hiyo alisema bibi kilango
alisema wanatarajia kukusanya shilingi bilioni moja tano ili kukamilisha ununuzi wa mitambo hiyo ikiwa na lengo la kuwasaidia wakulima wa tangawizi jimboni humo
kilimo cha sasa hivi UNK na viwanda jengo lipo tayari tunahitaji vifaa ili tuanze kazi alisema bibi kilango
mbunge alisema kuwa hayupo tayari kuona wananchi wake wakiteseka katika kutafuta pesa kupitia mabenki ili kukamilisha ununuzi wa mitambo hiyo ndio maana kama mbunge wao ameamua kukutana na wadau mbalimbali ili kusaidia wananchi wake na kutoa wito kwa viongozi kuwa wateremke chini ili kuwasaidia watu wao
alisema kuwa same wamekuwa viongozi katika kujenga kiwanda hicho hivyo tabia hiyo UNK kwa viongozi wengine
alifafanua kuwa katika juhudi hizo viongozi wa serikali tayari UNK juhudi zao katika uchangiaji huo
waziri mkuu alichangia shilingi milioni kumi na rais UNK kwa kuwa ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo na sio lazima pesa hizo zitoke epa alisema
aliwataka wadau mbalimbali kujitokeza ili kukamilisha lengo la ujenzi wa kiwanda hicho ili kiweze kusaidia maisha ya wananchi katika kuinua kipato chao pia pato la taifa
kesi ya waziri wa zamani wa vijana nchini rwanda callixte nzabonimana iliyokwama kwa muda wa miezi ishirini na moja itaanza kusikilizwa novemba tisa mwaka huu mbele ya mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari ya rwanda
UNK wa ict r UNK UNK alithibitisha kwamba kesi hiyo itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe hiyo lakini hakutoa taarifa zaidi
nzabonimana sasa anakabiliwa na mashtaka tano katika hati ya mashtaka iliyofanyiwa marekebisho na kutiwa saini na mwendesha mashtaka wa ict r hassan UNK UNK oktoba nne ishirini sifuri nane ikiwa ni pamoja na mauaji ya kimbari kula njama za kufanya mauaji hayo uchochezi kuteketeza kizazi na mauaji
awali mtuhumiwa huyo alikana mashtaka kumi na moja dhidi yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya kimbari kuteketeza kizazi na ubakaji alipofikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani februari ishirini ishirini sifuri nane kwa mujibu wa hati ya UNK inadaiwa kwamba mtuhumiwa huyo alishiriki kikamilifu katika mauaji ya dhidi ya wat...
zaidi ya mara moja kati aprili na julai elfu moja na mia tisa na tisini na nne mkoani gitarama callixte nzabonimana aliwahamasisha raia kuanza kuwaua watusi na kisha kuchukua mali zao inasomeka sehemu ya hati ya UNK
hati hiyo ilieleza pia kwamba katika kipindi hicho hicho mtuhumiwa huyo UNK hadharani makundi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wanajeshi polisi wanamgambo wa UNK wakuu wa mikoa mameya kikosi cha usalama wa rais na watu wengine wenye mamlaka na raia wa UNK kwa ujumla kuua wenzao wa UNK
mtuhumiwa huyo alitiwa mbaroni mkoani kigoma magharibi mwa tanzania februari nane ishirini sifuri nane na kuhamishiwa UNK makuu ya ictr mjini arusha mara moja
watuhumiwa wengine wawili wanasubiri kupangiwa tarehe za kuanza kusikilizwa kwa kesi zao