text stringlengths 1 1.32k |
|---|
watuhumiwa hao ni mameya wawili wa zamani wa rwanda UNK UNK wa wilaya ya UNK na mwingine kutoka wilaya ya UNK jean baptiste gatete |
kwa mujibu wa makadirio yaliyofanywa na un watu wapatao themanini sifuri sifuri sifuri sifuri wengi wao wakiwa watusi na wahutu wenye msimamo wa wastani walipoteza maisha |
shahidi wa tano wa upande wa mashitaka ambaye ni mkurugenzi wa benki kuu bwana emmanuel boaz ameieleza mahakama kuwa dokezo la kuomba idhini ya malipo ya kampuni ya changanyikeni residential complex kwa gavana liliandikwa na mkurugenzi wa idara ya madeni bwana imani mwakosya ambaye naye kwa sasa anakabiliwa na kesi ny... |
hayo UNK jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakati boaz akitoa ushahidi kuhusiana na wizi katika akaunti ya madeni ya nje uliofanywa na washitakiwa hao mbele ya jopo la mahakimu bibi sekela moshi sam rumanyika na bwana lameck UNK |
bwana boaz alisema kuwa mkurugenzi wa kampuni ya changanyikeni aliandika barua bot akiomba kununua deni kwa kampuni ya marubeni corporation la dola za kimarekani moja sifuri sita tisa mia moja na ishirini na tano na dola zingine hamsini moja mia mbili na kumi sifuri mbili baada ya kuandikwa kwa barua hiyo bwana mwakos... |
washitakiwa katika kesi hiyo ni bwana bahati mahenge bwana manase mwakale bibi eda mwakale bwana davis kamungu na bwana UNK mosha ambao wanakabiliwa na makosa ya wizi wa fedha hizo |
chama cha wananchi kimesema kuwa viashiria vyote vya kuvuruga uchaguzi mkuu mwakani tayari UNK na sasa kinachosubiriwa ni maamuzi ya baraza kuu la chama hicho |
chama hicho kimesema hali hiyo inatokana na jinsi uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura visiwani zanzibar UNK huku kukiwa hakuna mabadiliko yoyote yaliyofikiwa |
kauli hiyo ilitolewa jana na mkurugenzi wa uenezi na mahusiano na umma bwana salim bimani alipotakiwa kueleza maamuzi ya chama hicho kulingana na hali ya kisiasa ilivyo visiwani humo |
viashiria vya vurugu vimeongezeka na hofu yetu ni kuwa UNK mjini hali itakuwa mbaya zaidi nadhani wanataka mpaka waone watu wamekufa ndio waamini kuwa mambo si mazuri alisema na kuongeza kuwa kutokana na hali hiyo tume ya uchaguzi zanzibar isitishe uandikishaji huo |
naye mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni bwana hamad rashid mohamed ameonesha wasiwasi wake kuwa huenda hali hiyo UNK hapo baadaye kwa kile alichosema kuwa ni ukosefu wa demokrasia ya kweli nchini |
alisema kuwa hata mataifa ya nje UNK kuwa tanzania haina demokrasia |
tanzania UNK kuwa ipo nyuma kidemokrasia hata au un wanatambua kuwa yapo yanayofanywa nje ya katiba alisema bwana mohamed na kuongeza kwamba kuingia katika uchaguzi mwakani kunategemea na maamuzi ya baraza la chama hicho |
kwa upande wake naibu mkurugenzi wa uenezi na mahusiano na umma bibi ashura mustafa alisema serikali imeandaa mazingira ya UNK uchaguzi huo hasa visiwani zanzibar |
alisema kuwa hakuna anayeweza kukubali kuongozwa na rais atakayechaguliwa na watu wachache kwa kuwa wengi wao bado UNK kutafuta haki zao ikiwemo kitambulisho za kupigia kura kitu ambacho UNK kuwa na mizengwe mingi |
mazingira UNK na serikali katika uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura zanzibar ni kutokuwepo kwa uchaguzi zanzibar alisema pia alihoji kwa nini zanzibar kama ni tanzania wasitumie utaratibu wa kupata masheha kama huku ambako madiwani UNK na wananchi na si kuteuliwa masheha sasa wanafanya kazi kama mawakala... |
na mwandishi wetu rais jakaya kikwete amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa kwa UNK vituo vya kazi |
taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa dar es salaam jana na ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa na kusainiwa na naibu waziri wa wizara hiyo bwana aggrey mwanri ilisema mabadiliko hayo UNK wakuu wa mikoa kumi na moja bwana mwanri alisema mabadiliko hayo UNK kutoa msukumo zaidi wa shughuli za s... |
katika mabadiliko hayo mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana abbas kandoro amehamishiwa mkoa wa mwanza wakati mkuu wa mkoa wa dodoma bwana william lukuvi anakuwa mkuu mpya wa mkoa wa dar es salaam |
mkuu wa mkoa wa mwanza daktari james msekela anakwenda kuwa mkuu wa mpya wa mkoa wa dodoma |
wengine walioguswa na mabadiliko hayo ni mkuu wa mkoa wa kagera kanali mstaafu enos mfuru anayekwenda kuwa mkuu wa mkoa wa mara kuchukua nafasi ya luteni kanali issa machibya aliyehamishiwa morogoro |
mkuu wa mkoa wa morogoro meja jenerali mstaafu said kalembo amehamishiwa tanga na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo bwana mohamed abdulaziz amepelekwa iringa kuchukua nafasi ya UNK amina mrisho anayekwenda kuwa mkuu wa mkoa wa pwani |
aliyekuwa mkuu wa mkoa wa pwani daktari christine ishengoma UNK ruvuma kuchukua nafasi ya bibi monica mbega anayekwenda kilimanjaro |
mkuu wa mkoa wa kilimanjaro bwana mohamed babu amehamishiwa mkoa wa kagera |
mabadiliko ya wakuu hao wa mikoa yamekuja siku chache baada ya yale ya wakuu wa wilaya yaliyohusisha uteuzi wa sura mpya kumi na tano huku wengine UNK mbali ya wengi kuhamishwa vituo vya kazi |
wananchi wa kada mbalimbali UNK na ongezeko la gharama za vipimo na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa wagonjwa wa rufaa binafsi katika hospitali ya taifa muhimbili |
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi walihoji juu ya hatua hiyo na kudai kuwa kitendo cha mnh kupandisha gharama ni cha kutaka kuwakomoa wananchi |
nadhani sasa wanataka UNK |
gharama za mwanzo wengi walikuwa UNK sembuse hizo mpya |
kwanza wanatakiwa kutambua kwamba hospitali hiyo ni ya serikali na inategemewa na taifa zima na wala si hospitali binafsi sasa kitendo cha kuongeza gharama sisi UNK |
mfano mimi nilikuwa UNK katika hospitali ya amana halafu UNK rufaa kwenda muhimbili na nikifika huko baadhi ya huduma natakiwa kulipia hivi nitatoa wapi pesa |
alihoji mwananchi aliyejitambulisha kwa majina ya UNK idd |
lakini afisa uhusiano wa mnh aminiel aligaesha pamoja na kukiri kupandisha gharama hizo alisema bado huduma za hospitali hiyo ya taifa ni nafuu ukilinganisha na hospitali nyingine za binafsi |
alifafanua kuwa bei hizo ambazo UNK kwa miaka sita tangu mwaka ishirini sifuri tatu hadi mwezi huu haziwahusu wagonjwa wa kawaida wanaochangia matibabu wala wale wa magonjwa yenye msamaha maalumu wa serikali kama vile kifua kikuu wajawazito watoto na magonjwa UNK |
wakati aligaesha akitetea uamuzi huo wananachi wakiwamo wanasiasa wamesema hatua hiyo haikuzingatia hali hali ya wananchi |
mbunge wa same mashariki bibi anne kilango UNK na uamuzi huo na amesema ana imani kamati ya bunge ya huduma za jamii UNK suala hilo |
kwangu mimi ni mapema mno kuzungumzia suala hili lakini nina imani kamati ya huduma za jamii ya bunge UNK suala hili kama jambo la kufanyia kazi alisema bibi kilango |
mkazi mwingine wa jijini alisema inaeleweka wazi mtu anapokwenda katika hospitali ya serikali anatakiwa kuchangia huduma na si kulipia sasa iweje UNK |
kwanza huduma zenyewe mbovu kuna madai ya watu kufa kila siku kwa kukosa huduma badala ya kuboresha huduma UNK bei sijui wametumia vigezo gani alisema bwana said mhina |
bibi UNK daniel alisema rais jakaya mrisho kikwete anatakiwa kuingilia kati suala hilo kwani UNK wananchi wa kipato cha chini ambao wanaweza kupoteza maisha kwa kushindwa kumudu gharama hizo |
kwa upande wake bwana juma almasi mkazi wa mbagala kiburugwa alisema alipokea taarifa za kupanda kwa gharama hizo kwa masikitiko kwani serikali imeamua kufanya hivyo ili watu wa kipato cha chini wazidi kufa kwa kukosa fedha kulipia vipimo |
hata hivyo baadhi ya wananchi walikuwa na maoni tofauti kuwa huenda kuna mipango maalumu wa kuboresha huduma na hivyo kuna kila sababu ya kuueleza kwa umma |
sidhani kama watakuwa UNK bila UNK kwa maoni yangu mi najua kwamba serikali inafahamu kuna watu wasiojiweza na inajua fika wananchi wengi ni masikini na ndio wanaokwenda kupata huduma katika hospitali alisema bwana charles UNK |
viwango vipya UNK kutumika tangu octoba mosi mkwa huu UNK na uongozi wa mnh kusababishwa na kupanda gharama za uendeshaji vifaa tiba na matumizi mengine ya wagonjwa |
gharama zilizopanda ni pamoja na kulazwa kuona daktari na upasuaji ambapo kwa mujibu wa nyaraka mpya kutoka hospitalini hapo baadhi ya gharama za upasuaji zimepanda kufikia zaidi ya shilingi milioni moja huku zingine UNK kwenye UNK |
hilary komba rabia bakari reuben kagaruki na godfrida jola taarifa ya mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi aliyoitoa ikiwa na tuhuma za ufisadi papa imezidi kukwamisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili mfanyabiashara maarufu bwana jeetu patel na wenzake baada ya mahakama kukubaliana na maombi ya kusitish... |
bwana jeetu anakabiliwa na kesi nne tofauti katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na jana kesi ya pili UNK kusitishwa usikilizwaji wake hadi mambo ya msingi ya kikatiba UNK na mahakama kuu ya tanzania |
mahakama kuu imeombwa kupitia na kutoa ushauri kama shutuma za mengi kwamba mshitakiwa huyo jeetu patel ni fisadi papa UNK mwenendo wake |
pamoja na patel mengi UNK pia wafanyabiashara wengine rostam aziz tanil somaiya yusuf manji na subash patel |
kesi UNK jana mahakamani hapo ni ya wizi wa shilingi bilioni tatu tisa kupitia kampuni ya c UNK company ltd ya japan na kampuni ya UNK UNK ltd ya tanzania |
akitoa uamuzi wa kusitisha kesi hiyo hakimu bwana amir msumi alikubaliana na maombi ya upande wa utetezi ambao uliomba kusitishwa kwa kesi hiyo mpaka kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na washitakiwa hao ikitaka kufutwa kwa kesi zote za bwana patel kutokana na kuhukumiwa na jamii UNK |
bwana msumi alisema kuwa kutokana na taarifa ya bwana mengi ambayo iliandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari UNK bwana patel kuwa ni fisadi papa hali inayoonesha kumhukumu mshitakiwa huyo kabla ya mahakama kumtia hatiani |
upande wa utetezi katika hoja zake ulisema kuwa taarifa hiyo UNK jamii kuwa washitakiwa ni watu hatari ndani ya jamii hivyo kuifanya UNK kufungwa kwa washitakiwa hao |
kutokana na hatua hiyo upande huo ulisema kuwa tayari uhuru wa mahakama UNK na kuondosha usikilizwaji wa haki huku haki za kikatiba za washitakiwa UNK |
siku tano tangu rais jakaya kikwete UNK nguvu na kupumzishwa kwa muda katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza daktari wake binafsi daktari peter mfisi ameweka wazi vipimo mbalimbali vya afya ya rais ukiwamo ugonjwa wa shingo UNK |
rais kikwete alilazimika kukatisha hotuba yake katika sherehe za miaka kumi sifuri ya kanisa la african inland church baada ya kuishiwa nguvu na alipopata nafuu alisema ni uchovu uliotokana na safari zake nyingi |
kufuatia hatua hiyo watanzania wamekuwa wakizungumzia afya ya kiongozi wao na wengine kupendekeza afanyiwe uchunguzi wa kina ili kubaini ni kitu gani UNK hasa ikizingatiwa kuwa aliwahi kuanguka wakati akihitimisha kampeni zake katika uwanja wa jangwani dar es salaam mwaka ishirini sifuri tano akizungumza na waandishi ... |
alisema baada ya kumfanyia vipimo ushahidi wa kitaalamu umethibitisha kuwa rais kikwete hakuwa na matatizo yoyote ya kiafya ambayo yanaweza kuhusishwa na chanzo cha tukio lile isipokuwa tu alizidiwa na uchovu |
hata hivyo daktari mfisi alibainisha kuwa rais kikwete anasumbuliwa na maumivu ya shingo yaliyotokana na kuumia zamani utotoni na akiwa jeshini na wingi wa damu yake |
majibu ya vipimo vyake yanaonesha alikuwa na UNK mia moja na thebathini UNK ambayo ni kiwango cha kawaida kwa mtu wa umri wake mapigo ya moyo yalikuwa sabini na sita kwa dakika sukari kwenye damu ilikuwa tano tano UNK moja joto lilikuwa thebathini na saba tano ambavyo vyote ni viwango vya kawaida pia hapakuwa na kiung... |
aidha daktari mfisi alisema rais kikwete anasumbuliwa na tatizo la wingi wa damu ambalo UNK kutoa damu kila baada ya miezi sita |
aliongeza kwa kusema kuwa tatizo lingine ambalo limekuwa UNK mara kwa mara ni maumivu ya shingo yanayotokana na kuumia wakati wa utoto na ujana wake |
alisema maumivu hayo yanasababishwa na kuumia kwa baadhi ya pingili za uti wa mgongo sehemu ya shingo |
hata hivyo daktari mfisi alibainisha kuwa rais kikwete anasumbuliwa na maumivu ya shingo yaliyotokana na kuharibika kwa pingili moja kwenye uti wa mgongo na kuwa matatizo ya namna hiyo UNK wanamichezo na wanajeshi kama alivyokuwa rais kikwete |
pia ameshonwa na madaktari bingwa wa upasuaji wa mishipa ya fahamu hapa nchini na nje |
madaktari hao kwa dhati wameshauri kuwa kwa sasa maumivu yake hayahitaji upasuaji isipokuwa mazoezi ya viungo alisema |
daktari huyo alisisitiza kuwa rais kikwete amefundishwa mazoezi anayotakiwa kufanya na amekuwa akiyafanya kwa nidhamu ya hali ya juu |
hata hivyo daktari huyo alisema kutokana na maumivu hayo ndio maana rais kikwete UNK kunyoosha shingo mara kwa mara kama ilivyokuwa zamani kwa wale UNK |
alitaja vipimo ambavyo rais UNK kuwa ni pamoja na shinikizo la damu moyo ubongo ini figo UNK UNK mfumo wa njia ya chakula tezi la shingo tezi la kibofu macho masikio pua na damu ambapo vipimo vyote vinaonesha kuwa afya yake haiko hatarini |
mimi na daktari mwenzangu hatuna mashaka juu ya afya ya rais hana maradhi yanayotishia maisha yake au kupunguza uwezo wake wa kulitumikia taifa alisema daktari huyo ambaye alibainisha kuwa UNK na daktari mohamed UNK ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katika hospitali ya taifa muhimbili |
alisema uchovu uliokithiri ndio chanzo cha rais kuishiwa nguvu na kupumzishwa hata hivyo alisema watalazimika kuwa UNK zaidi katika kupanga ratiba ya kazi zake |
aidha daktari mfisi alisema bado wanaendelea kufuatilia kwa karibu na kwa umakini mwenendo wa afya ya rais ili kujiridhisha juu ya usalama wake kwa kuwa wao ndio wenye dhamana ya kuangalia afya yake |
baadhi ya walimu wa shule ya msingi kijiji cha mkundi UNK kata ya mnazi tarafa ya umba wilayani lushoto UNK shule hiyo kwa wengine kuacha kazi na kuhama vituo kutokana na kulazwa walimu sita kwenye nyumba ya vyumba viwili wake kwa UNK |
hayo yalisemwa juzi na baadhi ya walimu hao shuleni hapo walipokuwa wanazungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti ambapo walisema hawaridhiki na mazingira wanayoishi kijijini hapo tangu UNK septemba tatu mwaka huu |
bwana godfrey UNK alisema analazimika kulala na UNK kwa kuwa hana uhuru kutokana na UNK kwenye chumba kimoja walimu watatu wa kiume wanaotoka maeneo tofauti ya nchi lakini kibaya zaidi nyumba hiyo ya mwalimu haina choo hivyo usiku wanalazimika kwenda umbali wa zaidi ya mita kumi sifuri kujisaidia kwenye choo cha shule... |
naye bwana haji UNK alisema UNK nyumba mbili kabla ya kupelekwa kwenye nyumba hiyo iliyojengwa kwa ajili ya kuishi mwalimu mwenye familia moja kati ya nyumba hizo moja ilikuwa haina mlango na nyingine haina choo hata kwa jirani |
mwalimu mwingine bibi maria elia alisema wanalazimika kulala chini kwenye magodoro kwa kuwa kama kila mtu ataweka kitanda chake hataweza kupata nafasi hivyo hajui atafanya nini pindi akienda nyumbani kuchukua godoro lake kwenye likizo ya mwezi wa sita |
hata hivyo baadhi ya wanakijiji zaidi ya kumi na tatu waliozungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti walisema tatizo UNK walimu hao kukosa nyumba za kuishi linatokana na wananchi kususia shughuli za maendeleo ikiwemo kujenga nyumba za walimu na madarasa |
mmoja wa wana kijiji hao bwana adam mpemba alisema zaidi ya miaka miwili iliyopita walianzisha ujenzi wa nyumba ya mwalimu yenye uwezo wa kuishi familia mbili na darasa moja ambapo waliweza kujenga boma la darasa pamoja na nyumba ya mwalimu |
bwana mpemba alisema wakati wanajenga maboma hayo tayari UNK na uongozi wa kijiji kuwa serikali itatoa shilingi milioni tatu sita kwa ajili ya mbao na bati kwa ajili ya UNK nyumba ya mwalimu na shilingi milioni tatu moja kwa ajili ya bati na mbao za UNK |
alisema walijenga kwa shida majengo hayo ikiwemo kwenda kuchota maji kwa kutumia baiskeli zaidi ya kilomita saba kwa ajili ya kufyatua matofali huku wanawake UNK mchanga na mawe ili kuona wanakamilisha nyumba ya mwalimu na darasa |
mwandishi alipomuuliza mjumbe wa kamati ya shule ya ujenzi bwana saleh sabuni alisema wao kama kamati walipata kumuhoji takribani mwaka mmoja uliopita mwalimu mkuu wa shule hiyo bwana salim shemweta ni kwa nini UNK majengo hayo |
mimi na mwalimu mkuu ndiyo tuliokwenda benki ya nmb lushoto kutoa shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri kwa ajili ya kununua boriti za UNK nyumba ya mwalimu |
na UNK mbona nyumba UNK alisema ameshindwa kusafirisha boriti zilizopo mnazi kutokana na ubovu wa barabara |
mtendaji wa kijiji bwana seif UNK alisema kwa upande wa wananchi wao UNK kwa kuwa UNK kwenye kazi za UNK ila kuna mambo ya kuweka sawa kwenye shule hiyo ambayo alikiri kuingiziwa kiasi hicho cha fedha na serikali kuu |
tanzania imetajwa kuwa nchi ya mwisho duniani kutumia huduma ya posta ya kusafirisha barua nyaraka na vipeperushi na kusababisha kudumaa kwa shirika hilo |
takwimu zilizopo sasa UNK kuwa wastani wa barua kwa kila mtanzania kwa mwaka UNK barua moja huku nchi zinazoongoza kwa viwanda ikiwemo ulaya na marekani UNK barua arobaini tatu kwa mwaka kwa mtu mmoja |
vile vile hali hiyo UNK katika nchi nyingine zilizoko kusini mwa jangwa la sahara ambako kuna asilimia kumi ya idadi ya watu wote duniani ambapo bara la afrika lina asilimia moja ya idadi ya barua za ndani ambazo kila mtu huandika au kupokea wastani wa barua tatu |
hayo yalisemwa dar es salaam jana katika kilele cha maadhimisho ya siku ya posta duniani na naibu katibu mkuu wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia daktari patrick UNK |
daktari makungu alisema kuwa mawasiliano kwa njia ya posta ni nyenzo muhimu na rahisi sana ambayo inaweza kutumiwa na jamii yoyote katika kufanikisha masuala ya kijamii na kiuchumi |
hakuna njia mbadala au ya mkato kurekebisha huduma za posta bali inabidi zichukuliwe hatua za awali kuwajengea wananchi na hasa vijana wa shule tabia ya kuandika barua zenye mada na maudhui mbalimbali alisema |
pia alisema kuwa takwimu zilizoandaliwa na umoja wa posta duniani zinaonyesha kuwa kiwango cha barua katika nchi zilizoendelea UNK na kiwango cha nchi zilizo maskini |
katika hatua nyingine wanafunzi wa shule mbalimbali UNK zawadi zikiwemo fedha taslimu vyeti na vifaa vingine baada ya kushiriki katika uandishi wa barua duniani na kuwa washindi kati ya kumi bora |
wanafunzi hao ni UNK UNK wa shule ya msingi UNK ya mkoani tanga doreen UNK wa shule ya msingi brooke UNK ya mkoani iringa na UNK nassor wa shule ya brooke UNK |
hata hivyo ameiomba wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuandaa mashindano shuleni ya uandishi wa barua kitaifa sambamba na kuwashirikisha watalaamu wa posta kutoa semina pamoja na tawala za mikoa na serikali za mitaa |
alisema kuwa huduma za posta zinaweza kupunguza kero katika jamii hasa ikizingatiwa kuwa mitandao ya posta hapa nchini ina ofisi mia mbili na hamsini ambazo ni sehemu ya ofisi za posta mia sita na sitini sifuri sifuri sifuri duniani |
lengo letu kuu liwe ni kupanua vipaji na ubunifu wa vijana wetu ili waweze kushiriki ipasavyo kwenye utandawazi katika dunia ya soko huria na yenye mapinduzi ya kiteknolojia pia vijana sharti wawe wadau wa maendeleo sio kuwa watazamaji tu alisema |
tangu shirika la posta kuanzishwa duniani octoba tisa elfu moja na mia nane na sabini na nne limefikia umri wa miaka mia moja na thebathini na tano ambapo tanzania UNK mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na tatu kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa inasema huduma za posta zinazingatia utunzaji wa mazingira hatimaye mahak... |
uamuzi huo ulifikiwa jana mahakamani hapo mbele ya jaji UNK mushi baada ya kupitia malumbano ya kisheria yaliyokuwa yamewasilishwa na pande zote mbili kuhusiana na dhamana kwa washitakiwa hao |
washitakiwa hao ni mkurugenzi wa benki kuu ya tanzania bwana saimon jengo naibu mkurugenzi wa idara ya sarafu bwana kisima mkango mwanasheria wa bot bwana bosco kimera na bwana ally bakari ambaye ni ofisa wa bot ambao wote kwa pamoja wanadaiwa kusababisha hasara ya shilingi bilioni kumi nne akitoa uamuzi huo jaji mush... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.