text stringlengths 1 1.32k |
|---|
alisema kuwa baada ya kupitia vipengele na malumbano ya pande zote ameridhika kuwa washitakiwa hao wanatakiwa kudhaminiwa kwa kutumia kifungu namba thebathini na sita cha sheria ya uhujumu uchumi ambacho kinataka kuwekwa nusu ya fedha UNK mahakamani hapo |
yapo maamuzi mengine ambayo UNK UNK haya kwa washitakiwa ambayo UNK kuchangia kiasi hicho cha fedha hivyo kutokana na kiasi hicho ambacho nusu yake ingekuwa bilioni hamsini na mbili sasa watatakiwa kuweka kila mmoja bilioni kumi na tatu ili kukidhi matakwa ya sheria hiyo alisema jaji mushi |
kutokana na hali hiyo mahakama iliwataka washitakiwa hao sasa kuweka mahakamani shilingi bilioni kumi na tatu kila mmoja kuwasilisha nyaraka zote zinazohusiana na kusafiri kwa mkuu wa upelelezi wilaya ya ilala kuwa na wadhamini wawili ambao watasaini dhamana ya shilingi bilioni kumi na tatu kila mmoja pamoja na kutosa... |
sharti jingine ni kuripoti kwa UNK kila siku ya jumatatu ya wiki kabla ya saa sita mchana |
jaji pia alitumia mwanya huo kufafanua sheria na baadhi ya maamuzi ya kesi zinazohusiana na uhujumu uchumi ambapo alisema kuwa mahakama hiyo haiwezi kukiuka sheria zinazohusiana na makosa hayo hata kama dhamana ni haki ya kila mshitakiwa |
awali kupitia wakili wa washitakiwa hao bwana mpare mpoki aliomba mahakama hiyo kutoa dhamana kwa washitakiwa hao bila kuzingatia vifungu UNK kuweka nusu ya fedha mahakamani kwani kwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki zao za msingi |
mbali na hayo pia bwana mpoki alisema kuwa washitakiwa wataweza kutimiza masharti ya dhamana kwa kuwa wana wadhamini wanaoaminika lakini pia hawawezi kukimbia kwa kuwa wamekuwa waaminifu na kutoa ushirikiano kwa wachunguzi wa kesi hiyo tangu awali |
katika ukurasa wa kwanza wa gazeti hili toleo la jana UNK habari ya taarifa ya daktari wa rais aliyoitoa juzi kwa waandishi wa habari kuhusu afya ya rais jakaya kikwete |
habari hiyo ilikuwa na kichwa UNK daktari UNK ugonjwa wa jk ambacho kwa namna moja ama nyingine UNK tofauti na maana halisi iliyokusudiwa ambayo ni kutoa ufafanuzi wa kawaida kuhusu afya ya rais na si kuanika ugonjwa wake |
neno kuanika linaweza kuwa na tafsiri tofauti kwa wasomaji wetu |
katika maelezo yake daktari wa rais daktari peter mfisi alisema aliamua kufafanua masuala muhimu kuhusu afya ya rais kikwete ili kuondoa hofu kwa wananchi |
alisema baada ya kumfanyia vipimo ushahidi wa kitaalamu umethibitisha kuwa rais kikwete hakuwa na matatizo yoyote ya kiafya yanayoweza kuhusishwa na tukio la hivi karibuni la kuzidiwa na uchovu wakati akihutubia mjini mwanza |
hata hivyo daktari mfisi alibainisha kuwa rais kikwete anasumbuliwa na maumivu ya shingo yaliyotokana na kuumia zamani utotoni na wakati akiwa jeshini na wingi wa damu |
alisema maumivu hayo yanasababishwa na kuumia kwa baadhi ya pingili za uti wa mgongo sehemu ya shingo |
tunachukua nafasi hii kuiomba radhi ofisi ya rais ikulu na wale wote ambao kwa njia moja ama nyingine walipata usumbufu kutoka na tafsiri ya kichwa cha habari UNK |
nia yetu ni kuhabarisha na kuelimisha umma kwa kujenga na si kubomoa wala UNK |
mhariri vigogo wawili wa chama cha UNK wilayani kahama mkoani shinyanga juzi UNK UNK makonde wakigombea pikipiki ya msaada iliyotolewa kwenye ofisi ya chama hicho na mbunge wa jimbo la msalala bwana ezekiel maige ambaye pia ni naibu waziri wa maliasili na utalii |
viongozi hao UNK kuchapana makonde ni katibu mwenezi wa wilaya ya kahama bwana UNK mwanangolelwa na katibu wa uchumi na fedha wa wilaya bwana zacharia shinzi aliyekuwa akipinga pikipiki hiyo kuchukuliwa kama mali binafsi na katibu mwenezi huyo |
katibu wa ccm wilaya ya kahama bwana sospeter nyigoti alisema kutokana na ugomvi huo aliitisha kikao cha sekretarieti UNK hali hiyo huku kila upande ukidai una haki ya kumiliki pikipiki hiyo iliyotolewa kwa shughuli za chama |
bwana nyigoti alisema baada ya kuitisha kikao cha dharura juzi mchana na kuwaita wahusika na kuwahoji juu ya kugombea pikipiki hiyo chama UNK kuwepo kwa orodha ya mali za chama ili kuondoa mgongano wa umiliki wa mali hizo |
mwenezi wa wilaya bwana mwanangolelwa alipoulizwa alisema ugomvi huo ulikuwa ni utani japo alikiri alichukua piki piki hiyo na kuanza kuitumia toka ikabidhiwe na kukaa nayo nyumbani kwake |
kwa upande wake bwana shinzi alikiri kuwepo ugomvi huo na kusema kuwa alikuwa akitetea mali za chama zisitumike kama mali binafsi hali ambayo ilikuwa UNK na kiongozi mwenzie kwa madai amepewa kama mali yake na kwa kazi zake za UNK |
mbunge wa jimbo la msalala bwana maige alipokuwa akikabidhi piki piki hiyo alisema hiyo ilikuwa ni utekeleza wa ahadi zake kutokana na kutambua utendaji na shughuli za chama kuhusu changamoto kuhusiana na usafiri |
pikipiki hiyo aina ya UNK ambayo aliikabidhi jumatatu wiki hii katika ofisi ya ccm ya wilaya ina thamani ya shilingi moja arobaini sifuri sifuri sifuri sifuri ilitolewa kurahisisha usafiri katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa baadaye mwezi huu |
vilio simanzi butwaa na vurugu za hapa na pale zilitawala katika eneo la ofisi za makao makuu ya kampuni ya upatu ya deci iliyoko mabibo dar es salaam baada ya kukuta ofisi hizo zikiwa zimefungwa kutokana na tamko la waziri mkuu mizengo pinda kuwa kampuni hiyo UNK shughuli zake kihalali |
tamko hilo la serikali UNK juzi na kuwataka wananchi kuzingatia onyo lililotolewa hivi karibuni na benki kuu ya tanzania na soko la mtaji na dhamana kuepuka upatu huo kwa kuwa ni mfumo unaoendeshwa kwa ujanja ujanja |
majira ikiwa katika ofisi hizo jana ilishuhudia wanachama mbalimbali wakiwa wameshikwa na butwaa wengine UNK kwa UNK kwa lugha mbalimbali wengine wakiwa katika makundi madogo madogo |
pia wapo waliokuwa katika hali ya majonzi na simanzi na wengine wakiwa wamekata tamaa kabisa baada ya kukuta ofisi hizo zikiwa zimefungwa |
mbali na eneo la ofisi hizo za makao makuu majira ilishuhudia watu wakiwa wamekaa katika vikundi mbalimbali katika maeneo mengine ya jiji kama ubungo manzese na kinondoni wakiwa katika mijadala mizito kuhusu hatima ya fedha zao |
akizungumza na majira bwana joshua warioba ambaye ni mmoja wa wateja wa deci alidai anashangazwa sana na baadhi ya magazeti jinsi UNK habari za deci akidai UNK kuliko kawaida |
pia anashangazwa na baadhi ya wateja wa deci wanaojaribu UNK kampuni hiyo kwa UNK ofisi zake kwani hilo liko nje ya uwezo wao na kuwataka wawe na subira mpaka uongozi huo utakapotoa tamko |
mpaka sasa sijaona mtu UNK deci kwa kukosa mavuno yake ila haya yote yanasababishwa na serikali na kama UNK sisi UNK koo serikali kwani ndiyo UNK alidai bwana UNK |
alisema ni bora mabilioni ya jakaya kikwete UNK nguvu deci kwani iko tayari kuwakomboa maskini na serikali ni bora ingechukua jukumu la kuiboresha badala ya kuwasababishia watu kushindwa kuvuna fedha zao |
hadi jioni jana wateja wa deci walikuwa wakisubiri kwenye hizo kwa maelezo kuwa UNK wamiliki wa upatu huo UNK kuwa wako kwa waziri mkuu mizengo pinda |
nao zamzam abdul na said mwishehe wanaripoti kuwa viongozi wa deci jana UNK kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa sakata la kampuni hiyo na kuomba kukutana na serikali wakisisitiza kuwa UNK na UNK |
pia wakati wakiomba kufanya mazungumzo na serikali ni vema wanachama wao wakawa na UNK katika kipindi hiki cha mpito na kudai wamekuwa wakitoa huduma hiyo bila kupata faida yoyote bali UNK kwa maono ya mungu |
wakizungumza ukumbi wa idara ya habari walisema walianzisha deci kwa nia ya kuwakomboa watanzania wa kipato cha chini lakini kutokana na hali ilivyo sasa ni vema wakakutana na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ili kuzungumzia hatma yao |
meneja ushauri wa deci bwana arbogast kipilimba alisema nia yao ni kuwasaidia wananchi basi ni vema wakakutana na viongozi ikiwezekana waziri mkuu bwana mizengo pinda au rais jakaya kikwete ili kueleza sababu za kuamua kufanya shughuli hiyo |
tunaamini UNK na bot UNK na kututambua na hata yale matangazo yaliyotolewa kwenye vyombo vya habari inaonesha ni kwa kiasi gani inatupa muongozo wa sisi kuendelea na utoaji wa huduma hiyo |
kwa bahati nzuri hatutaki kulumbana na serikali wala hatupo kwa ajili ya kubishana na mtu au kiongozi yeyote alisema bwana UNK |
alidai kwa bahati mbaya wananchi wametiwa hofu na baadhi ya watu kutokana na kuichafua kwa kuifanya deci kama kundi la matapeli au watu wa upatu jambo ambalo sio kweli kwani ipo kwa ajili ya kuwakomboa wananchi dhidi ya umasikini |
kuhusu hatma ya deci alisema kwa sasa hawawezi kuzungumza lolote katika hilo kwa sababu kuna tume ambayo UNK lakini wanatarajia kufanya mazungumzo na serikali na baada ya hapo watatoa msimamo wao kama wataendelea ama la |
alidai hawawezi kutoa hatma wakati mazungumzo yanaendelea na kuongeza ni vizuri washiriki wao wakaendelea kupanda na kuvuna kwa wingi kama utaratibu ulivyo tangu wanaanza kutoa huduma hiyo ambayo kwa sasa ina wanachama zaidi ya sabini sifuri sifuri sifuri sifuri alisema wakati hayo yakiendelea tayari wananchi waliopan... |
aliongeza kuwa tangu walipoanza kupanda na kuvuna mbegu shilingi bilioni hamsini na nne UNK na katika hizo shilingi bilioni thebathini na nane UNK na fedha za washiriki ambazo zipo kwa sasa ni shilingi bilioni kumi na moja baada ya shilingi bilioni tano kunggolewa |
alisisitiza kuwa walisajiliwa rasmi julai mwaka ishirini sifuri saba na wamekuwa wakishirikiana kwa karibu zaidi na bot kupitia kitengo chake cha UNK UNK |
hata hivyo deci ilisajiliwa kwa ajili ya kutoa mikopo na si kupokea fedha za watu kama wanavyofanya |
alisema tunashangaa maneno yamekuwa mengi dhidi ya taasisi yetu ya deci lakini tunaomba ifahamike kuwa kama kuna mtu anapambana basi ajue hapambani na sisi bali anapambana na mungu |
naye mwenyekiti wa bodi ya deci bwana jackson mtaresi alidai kutoa kwao huduma za aina hiyo haina maana kuwa wameamua kupata faida lakini inatokana na maombi ya siku nyingi ya kufunga na kusali na mungu akaitikia kilio chao na kuwawezesha kuanzisha aina hiyo ya mradi wa kuwakomboa masikini |
alisema deci yao asili yake ni mabibo dar es salaam wala haina UNK wa nchi yoyote kama UNK kuwa inaweza kuwa ni ya nje na wamiliki wake sio watanzania |
viongozi hao walisema kuwa kwa sasa maisha yao yamekuwa hatarini tangu walipoanza kuandikwa kwenye vyombo vya habari kwa mtazamo hasi |
kuhusu usalama wa fedha zao walisema wanajua UNK na kuongeza hakuna sababu ya kusema ni wapi UNK kwa sababu hata bot hawasemi wanaweka wapi fedha zao lakini ifahamike kuwa zipo mahali salama |
kutoka tanga mashaka mhando anaripoti kuwa washiriki wa mchezo wa upatu unaoendeshwa na deci tawi la tanga wamekumbwa na wasiwasi mkubwa wa kujua hatma ya ushiriki wao na namna wavunaji wa leo watakavyoweza kupata fedha hizo |
hali hiyo inatokana na tangazo lililowekwa jana kwenye ofisi za kampuni hiyo jijini hapa ambalo UNK kwamba shughuli za upandaji na uvunaji zimesitishwa kuanzia aprili kumi na tano hadi UNK tena na makao makuu dar es salaam |
deci ltd inapenda kuwatangazia washiriki wake kuwa ofisi zote nchini UNK huduma ya kupanda na kuvuna kuanzia kumi na tano nne ishirini sifuri tisa hadi uongozi wa deci utakapotoa maelezo |
tunaomba kila mwanachama UNK risiti zake na tuwe UNK |
limetolewa na deci makao makuu UNK tangazo hilo |
wanachama waliokuwa UNK fedha zao jana UNK ofisini hapo na wengine walifika kujua hatma ya mchezo huo baada ya serikali kutoa onyo na kuwahadharisha wananchi kuendelea na upatu huo walikutwa baadhi ya wameshika vichwa wasijue la kufanya |
mimi nimefika hapa kujua hali ikoje kwa sababu kesho natakiwa kuvuna lakini nimekuta tangazo hili na hapa ofisini hakuna mtu hatujui ni nini hatma yetu wala ni nani UNK fedha zetu za mavuno |
tunalia na serikali sasa ni wao wametaka hali hii itokee kwani kama UNK tungeendelea kupanda na kuvuna na kuwa matajiri |
leo wapo waliokuwa wapande na wengine UNK |
hatujui twende wapi na UNK nani |
alihoji bwana paul UNK |
alisema kama hoja ni kuhofia kufilisika kwa mabenki nchini baada ya wananchi wengi kuyakimbia na kuwekeza fedha zao deci haina maana kwa sababu mpango mzima wa kampuni hiyo ni kuwasaidia wananchi waondokane na umasikini wa kipato |
bwana shekilango alisema washiriki wote wa mchezo huo wamepanga kukutana ofisi za deci ili kuzungumzia mustakabali wao na namna ya kuonana na viongozi ambapo UNK bwana ernest kimaya kuwa ndiye meneja wa upatu huo mkoani hapa |
bwana kimaya pia ni mwenyekiti wa albino nchini |
pia watachagua kamati ya watu wanane ambao wataonana na mkuu wa mkoa wa tanga bwana mohamed abdulaziz ili wapate taarifa rasmi ya serikali kuhusu kusitishwa kwa shughuli za kampuni hiyo na wapi wataweza kupata fedha zao walizopanda hivi karibuni |
naye reuben kagaruki anaripoti kuwa askofu mkuu wa kanisa la full gospel bible fellowship bwana zakaria kakobe UNK lawama viongozi wa serikali kwa kushindwa kuichukulia hatua za kisheria kampuni ya deci limited kwa lengo kulinda maslahi yao kisiasa huku sheria za nchi zikivunjwa UNK |
akizungumza dar es salaam jana askofu kakobe alisema inashangaza kuona serikali ikiendelea kukaa kimya ili kuwalinda watu wanaovunja sheria wasipate madhara makubwa kwa kuifungia deci mara moja |
viongozi wa kisiasa UNK kura kwa wananchi kwa UNK wakivunja sheria badala yake UNK sheria kwani kwa kufanya hivyo tutafanikiwa alisisitiza askofu kakobe |
askofu kakobe alihoji kwa nini serikali imekuwa UNK mashamba ya bangi na hata bidhaa feki zenye thamani ya mamilioni bila kuwaonea huruma wamiliki wake lakini linapokuja suala la deci ishindwe kusimamia sheria |
sheria ipo wazi mwendeshaji wa upatu na mshiriki wote wanavunja sheria tukitaka kuwasaidia deci tutaleta shida |
vinginevyo watu wanaolima bangi na kuingiza bidhaa feki nao wataomba UNK huruma alihadharisha na kusisitiza kuwa viongozi hawatakiwi kuwa na huruma wakati wa kusimamia sheria |
pia askofu kakobe hakusita kuwalaumu viongozi wa dini kwa alichodai walishindwa kuwa mwanga na dira ya kuipa jamii mambo mema badala yake UNK UNK sheria kwa kutumia vyombo vya dini na nyimbo za UNK kushawishi waumini wao kujiunga na deci alisisitiza kuwa deci ilianzishwa nchini kupitia mgongo wa kanisa kwa waumini kua... |
akieleza siri ya wamiliki wa deci UNK fedha zao benki askofu kakobe alisema ni kwa sababu wanaogopa sheria ya udhibiti wa fedha haramu ndiyo maana wamekaa nazo kwenye UNK |
wanajua wakipeleka benki itakuwa vigumu UNK wakitaka kutoweka alisema askofu kakobe na kutoa mwito kwa waliopanda fedha deci kwenda kuzidai vinginevyo UNK UNK |
hadi sasa wanachama wa deci wamepoteza fedha zao hivyo wale wajanja UNK kwenda kudai ndio UNK chochote alisema |
kuhusu miongoni mwa waumini wa kanisa lake kupanda mbegu deci alisema hadi sasa hakuna UNK wowote lakini akaonya kwa watakaobainika walifanya hivyo UNK na kanisa lake |
watu wanane wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea kijiji cha UNK wilayani geita mwanza baada ya mabasi madogo mawili ya abiria maarufu kama vipanya kugongana uso kwa uso |
akithibitisha tukio hilo kwa njia ya simu kamanda wa polisi mkoa a mwanza bwana jamal rwambow alisema ajali hiyo ilitokea juzi saa tisa thebathini mchana katika barabara kuu itokayo geita kwenda mjini mwanza |
aliwataja waliokufa katika na ajali hiyo kuwa ni bwana UNK masinde daktari mwanafunzi katika chuo cha udaktari cha muhimbili ambaye alikuwa UNK wilayani geita |
wengine ni bwana emmanuel UNK mwalimu shule ya msingi UNK wilayani ukerewe bibi lucy mussa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa pamoja na bwana festo UNK dereva wa gari lililopata ajali lenye namba t mia saba na hamsini na saba atg alisema miili ya maiti wengine bado UNK majina yao na ndugu zao na kwamba majeruhi ... |
ni ajali mbaya ambayo imepoteza watu wanane na tisa kujeruhiwa vibaya imetokea eneo ambalo barabara ni nzuri tena ya lami hakuna hata kona hivyo chanzo ni mwendo kasi pamoja na uzembe wa madereva wa magari hayo alisema UNK rwambow |
alisema kuwa ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili t mia tano na kumi na moja UNK ambalo dereva wake alikimbia baada ya ajali na kwamba mmiliki wake bado UNK na lingine lenye namba t mia saba na hamsini na saba atg mali ya bwana UNK ramadhan ambalo dereva wake alifariki papo hapo |
miili ya watu waliokufa pamoja na majeruhi ilichukuliwa toka eneo la tukio na kupelekwa hospitali ya wilaya ya geita ambako vilio na majonzi toka kwa watu waliofika kushuhudia UNK eneo hilo |
kwa upande wake mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya geita daktari cassian kabuche UNK majeruhi hao alisema kuwa majeruhi watatu kati ya tisa hali zao ni mbaya |
aliwataja majeruhi ambao hali zao ni mbaya kuwa ni bwana UNK masanja mkazi wa bugando jijini mwanza ambaye amevunjika nyonga bwana dotto UNK mkazi wa geita ambaye amepata majeraha makubwa kichwani na UNK pamoja na bibi asteria UNK ambaye hajitambui kutokana na hali yake kuwa mbaya |
alisema kuwa majeruhi hao walipelekwa katika UNK ya rufaa ya bugando jijini mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi kutokana na hali zao kuwa mbaya |
kikwete UNK kwa uwazi ujasiri |
madaktari wasema ni hali ya kawaida hatua ya ikulu dar es salaam kutangaza taarifa ya hali ya afya ya rais jakaya kikwete imeelezwa kwamba imesaidia kuepusha uvumi ambao UNK watanzania kuachwa njiapanda kuhusiana na afya ya mkuu huyo wa nchi |
watu waliozungumza na gazeti hili jana walisema kuwa uamuzi wa ikulu kutangaza kilichomsibu rais wakati alipoishiwa nguvu jijini mwanza wakati akihutubia katika jubilee ya miaka kumi sifuri ya kanisa african inland church ni wa busara na umetolewa wakati muafaka |
walieleza kufurahishwa na hatua hiyo wakisema imewaondolea watanzania hofu juu ya afya ya kiongozi wao |
mkuu wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa wawi hamad rashid mohamed alisema kuwa kitendo hicho cha kutangazwa hali ya afya ya rais kikwete ni jambo jema UNK mambo mengi ndani ya jamii hasa baada ya kuishiwa nguvu kwa mara ya pili akihutubia wananchi |
bwana hamad alisema nchi inapokuwa na rais mtendaji mwenye mamlaka makubwa ni vyema wananchi UNK afya na uwezo wake wa kuendelea kufanya kazi kwa ajili ya mstakabali wa nchi |
unajua rais ni public UNK na kwa nchi kama za kwetu huyu ni executive president anategemewa kufanya maamuzi mengi mbalimbali na anapokuwa UNK na mambo kama hayo hadharani ni vyema UNK ufafanuzi kuhusu afya yake maana UNK hivyo kila mmoja ata UNK anavyojua yeye alisema bwana hamad |
naibu katibu mwenezi na uhusiano wa umma wa cuf bibi ashura mustafa alisema ingawa hakukuwa na ulazima wa rais kutangaza majibu yake hadharani hatua hiyo UNK hofu wananchi kwa kuwa hali hiyo UNK kwa mara ya pili toka aingie madarakani |
hakukuwa na ulazima wa kutangaza majibu hadharani kwa kuwa kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa mtu cha msingi wananchi walitakiwa kupewa taarifa kuhusu afya ya rais na si majibu ya vipimo alisema bibi UNK |
aidha alisema kuwa kwa sasa rais anatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu ili kumaliza tatizo linalomsumbua na kuzuia hali kama hiyo kumtokea wakati mwingine |
mmoja wa madaktari kutoka huduma ya damu ya taifa alisema damu nyingi mwilini husababishwa na vitu kadhaa ikiwemo ugonjwa na kula chakula bora |
aliongeza kuwa mtu akiwa na damu nyingi mara nyingi UNK na kizunguzungu kuzimia kuumwa na kichwa na hata kutokwa damu UNK |
kwa ujumla kuwa na damu nyingi UNK isiwe tatizo kubwa sana na kuna wakati wanakuja watu hapa wana damu nyingi mpaka UNK lakini bado wanatembea tu barabarani bila kujitambua lakini ndiyo hivyo ikitokea UNK na matatizo kama hayo alisema daktari huyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.