text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kwa upande wake daktari moses UNK wa jijini dar es UNK alisema tatizo la ongezeko la damu halina madhara makubwa katika afya na huweza kudhibitiwa kwa kupunguza damu |
alisema kuwa wananchi UNK kuwa na wasiwasi kwakua hali hiyo haiwezi kumzuia kuendelea na majukumu yake |
pia amewataka viongozi na wananchi kuwa na UNK wa kupima afya zao ili kujiepusha na matatizo ambayo siyo rahisi kujitokeza hadi kufanyiwa uchunguzi na daktari |
naye bwana ridhiwani rashidi mkazi wa jijini dar es salaam alisema hatua ya rais kutoa taarifa ya afya yake ni kitendo cha kishujaa na mfano wa kuigwa na viongozi wengine |
raisi ni mtu muwazi kwani tangu alipopima virusi vya ukimwi katika viwanja vya mnazi mmoja aliweka wazi majibu yake haikuwa na ulazima kufanya hivyo bali ni kwa mapenzi yake kwa wananchi alisema bwana rashid |
bwana rashidi alisema kuwa rais anatakiwa kupunguziwa ratiba ya shughuli zake na kuwapatia viongozi wengine kwa kuwa wote wanatakiwa kuwatumikia wananchi |
aliongeza kuwa rais ni mfano wa kuigwa na viongozi hasa katika bara la afrika ambao wanafikiri kutangaza afya zao ni suala la siri na hakuna mtu anayetakiwa kupata taarifa hizo |
aidha alisema kuwa wananchi wana haki ya kujiridhisha kuhusu afya ya rais kwakua ni kiongozi wao na hali hiyo itasaidia kuondoa taarifa zisizo rasmi kuhusiana na afya yake |
hoteli kubwa ya kitalii inayokadiriwa kuwa ya nyota nne ipo hatarini kubomolewa kwa kujengwa katika eneo la hifadhi ya barabara mkoani arusha katika mpango wa ujenzi wa barabara ya njia nne ya jumuia ya afrika ya mashariki |
aidha hoteli hiyo inayojulikana kwa jina la snowcrest ambayo inaendeshwa chini ya kampuni ya snowcrest yenye vyumba themanini na nne na kumbi za mikutano zenye uwezo wa kubeba watu kuanzia hamsini mpaka thebathini sifuri kibali cha ujenzi wake kilitolewa na halmashauri ya manispaa ya arusha |
hoteli hiyo ambayo imeanza kutoa huduma hivi karibuni ambapo wageni wa kwanza kuingia hotelini hapo walikuwa washiriki wa mkutano wa wabunge wa jumuiya ya madola uliomalizika mwanzoni mwa wiki huu mkoani hapa ujenzi wake UNK kuleta mgongano baina ya tanzania na jumuia ya afrika ya mashariki |
mtaalamu kutoka sekretarieti ya jumuia ya afrika ya mashariki alisema wahisani waliojitokeza kufadhili mtandao wa barabara za afrika ya mashariki wanaweza kukataa kutoa fedha za ujenzi huo kutokana na nchi wanachama kutoweka mazingira mazuri ya ujenzi huo kwa kuhakikisha kuwa maeneo ya akiba ya barabara UNK |
alisema kuwa wahisani hao ambao wamekubali kugharamia ujenzi wa barabara ya njia nne kwa nchi za eac na ujenzi huo UNK katika pande za namanga ya kenya na namanga ya tanzania lengo likiwa kuziwezesha nchi za eac kuwa na mtandao wa barabara kuanzia kusini mpaka kaskazini magharibi mpaka mashariki |
hatua ya ujenzi wa hoteli hiyo kumega eneo la hifadhi ya barabara ya mkoa wa arusha ambayo ndiyo barabara kuu inayounganisha mkoa wa arusha na mkoa wa kilimanjaro imetafsiriwa kuwa inaleta mkanganyiko kuhusiana na matumizi bora ya ardhi na mpango mkakati wa eac wa barabara hiyo |
alipohojiwa na majira kwa njia ya simu meneja wa tanroads mkoa wa arusha bwana UNK UNK kuhusiana na hatua ya hoteli hiyo kujenga kwenye eneo la akiba ya barabara ya mkoa alisema kuwa ofisi yake imeanza kushughulikia suala hilo kwa UNK barua ya kuwataka hadi ifikapo novemba kumi eneo lote la akiba ya barabara iliyomegw... |
ni kweli tumekuwa UNK sheria mpya ya barabara ambapo hoteli hiyo imeingia kidogo kwenye eneo la akiba ya barabara kwa kujenga geti na uzio wa hoteli kwenye akiba ya barabara katika upande wa hoteli ya UNK |
UNK hiyo barua tangu julai na hii ni barua ya tatu UNK UNK kuhusu kumega eneo la akiba ya barabara alisema bwana UNK |
alibainisha kuwa tanroads arusha haijatoa barua kwa hoteli hiyo pekee isipokuwa kwa watu wote na taasisi zote UNK eneo la akiba ya barabara |
alisema lazima ieleweke kuwa eneo la akiba UNK za mkoa ambazo ni barabara za taifa ni mita thebathini kutoka katikati ya barabara huku barabara za wilaya zikiwa ni mita kumi na tano ambazo zinatakiwa UNK kwa matumizi yoyote yale zaidi ya matumizi ya barabara pekee |
mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya arusha bwana raphael UNK alikiri ofisi yake kutoa kibali cha ujenzi wa hoteli hiyo ambapo alifafanua kuwa ujenzi wa hoteli hiyo umeenda kama ilivyoagizwa na manispaa hiyo isipokuwa suala la hoteli hiyo kumega eneo la akiba ya barabara ni suala la tanroads ambao wao ndi... |
aidha alipohojiwa na majira jumapili meneja wa hoteli hiyo bwana marc dingiria kuhusiana na hoteli hiyo kujengwa kwenye eneo la akiba ya barabara sanjari na barua ya iliyoandikwa na tanroads UNK na kujenga kwenye eneo la akiba ya barabara alikataa kuzungumzia suala hilo |
ninachoweza kusema ni kuwa suala la hoteli kudaiwa kujengwa kwenye eneo la akiba ya barabara n na barua UNK na tanroads naona hilo UNK sipo tayari kulizungumzia kwa sasa alisema bwana dingiria wizara yasema wabaneni nhc sio sisi mvutano kati ya wapangaji na uongozi wa shirika la nyumba la taifa unazidi kuongezeka baad... |
wapangaji wanasema nhc UNK mchango wao wa muda mrefu ambao UNK nyumba hizo hadi hapo UNK licha ya rais kikwete kulitaka shirika hilo kuwauzia nyumba hizo wapangaji waliokaa muda mrefu |
mwenyekiti wa kamati maalum ya wapangaji wa nyumba za nhc UNK gwao alipozungumza na gazeti hili mara baada ya kamati yake kumaliza kuzungumza na kamati ya ardhi nyumba na mazingira ya bunge iliyo chini ya mwenyekiti wake job ndugai alisema nhc inachelewesha utekelezaji wa sheria mbili za unit titles na mortgage UNK am... |
kwa mujibu wa gwao kauli ya rais aliyoitoa agosti saba mwaka jana mkoani iringa wakati wa ufunguzi wa majengo mapya ya nhc kuwa haoni sababu kwanini wapangaji UNK na nyumba hizo baada ya kuishi humo kwa miaka mingi ndiyo ililazimisha kuanzishwa kwa sheria hizo haraka |
sheria ya unit titles inaruhusu mtu kununua na kumiliki sehemu ya jengo UNK wakati sheria ya mortgage financing UNK mtu kutumia sehemu aliyopanga katika jengo husika kuombea mkopo benki ili aweze kununua nyumba ama sehemu UNK |
hata hivyo sheria hiyo si kwa majengo ya nhc pekee bali hata kwa nyumba za watu UNK wanaweza kuuza sehemu tu ya jengo lao |
sheria hizo mbili zilipitishwa na bunge mwaka jana baada ya tamko la rais na zilipitishwa kwa hati ya dharura kutokana na kile kilichodaiwa kuwa unyeti na uzito wa suala lenyewe |
wiki UNK waziri wa UNK nyumba na maendeleo ya makazi john chiligati alikutana na wapangaji wa nhc wapatao hamsini sifuri katika ukumbi wa korea jijini dar es salaam na kutangaza kuwa ubia umesitishwa katika nhc na uuzaji wa majengo umegawanywa katika makundi matatu |
aliyataja makundi hayo kuwa la kwanza ni nyumba zile zitakazouzwa kama zilivyo bila kuvunjwa wala kukarabatiwa kundi la pili ni nyumba kawaida zilizopo katika kiwanja vikubwa kuwa UNK na kujengwa UNK ili ziweze kuuzwa kwa watu wengi huku haki ya wapangaji wa awali ikiwa palepale na tatu ni nyumba ambazo zipo maeneo mu... |
malalamiko hayo yamekuja wakati ambapo jengo lililopo mtaa wa kongo na uhuru ambalo linadaiwa kuuzwa kwa raia mmoja wa pakistan huku shirika likiendelea kutumia fedha nyingi kwa ukarabati hatua ambayo inaleta utata |
hata hivyo afisa habari mkuu wa nhc leonard maganga alitoa ufafanuzi kuwa jengo la mtaa wa kongo na uhuru UNK kama inavyodaiwa na wapangaji bali shirika limeingia ubia na kampuni moja ya raia wa UNK |
alikiri nhc kulifanyia ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni nane licha ya kuwa lipo katika mradi wa ubia na UNK huyo ingawa hakueleza ubia huo ulitangazwa katika vyombo vya habari au ulifanyika kwa siri |
akijibu swali wiki hii mkurugenzi wa nyumba wa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi profesa UNK nkya alisema habari zozote zinazo UNK nyumba za nhc yeye hapaswi kujibu isipokuwa nhc wenyewe |
nafahamu unachotaka kujua kwetu ni kuhusu hizi sheria mbili UNK kwa fast track na bunge ambazo ni unit titles act na mortgage financing act zote za mwaka jana lakini kwa protocol ya wizara mimi sipaswi UNK chochote isipokuwa msemaji wa wizara au nhc wenyewe alisema profesa nkya mwishoni mwa wiki hii |
wakati msimu wa ununuzi wa chai kutoka kwa wakulima umeanza katika maeneo yanayozalisha chai mkanganyiko juu ya hatima ya viwanda vya chai vya mponde mkoani tanga na lupembe wilayani njombe serikali imekaa kimya juu ya kulichukulia hatua kundi linalojiita munguki UNK viwanda hivyo kumtia hasara mwekezaji na kuwakosesh... |
majira jumapili UNK mgogoro huo imebaini kuwepo kwa kauli UNK juu ya msitu huo wa sakare UNK kuni za kukaushia chai ya kiwanda cha mponde ambapo consolidated holding UNK UNK shughuli za tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya umma wanasisitiza kuuza msitu na kiwanda kwa kampuni ya lushoto tea na ushirika wa wakulima ... |
nyaraka zote kutoka mchakato wa kuuzwa kwa kiwanda cha mponde uanze hadi kukabidhiwa kwa mwekezaji zinazonesha kiwanda kuuzwa pamoja na msitu wake kwa ajili ya kuni za UNK chai |
kwa mujibu wa nyaraka wawekezaji hao UNK mabilioni ya shilingi kwa ajili ya kuuendeleza msitu huo |
pia zipo barua kadhaa za iliyokuwa mamlaka ya chai tanzania tta zinazoonesha kuwa msitu wa sakare ulikuwa mikononi mwa mamlaka hiyo na iligharamia mamilioni ya fedha kila mwaka hadi UNK miaka kumi iliyopita kwa wabia hao ambao UNK hadi UNK kundi la mungiki mwaka jana |
lakini mtendaji mkuu wa bodi ya chai martin assenga alipozungumza na mwandishi wa habari hizi alisema msitu wa sakare kwa mujibu wa kumbukumbu za ardhi ni mali ya mzungu mmoja UNK law ambaye ndiye mmliki halali |
kauli hii imeifanya serikali kukumbwa na kigugumizi kwa UNK mungiki kwani nao ni wavamizi |
mwenyekiti wa utega william shelukindo mbunge wa bumbuli alisema anashangaza msitu huo UNK kwa miaka zaidi ya nane UNK leo |
huku wavamizi hao wamechukua mbolea na vifaa na serikali kuendelea kukaa kimya hadi wakulima kutafuta njia nyingine za kupata kuni na kuzalisha chai kwa gharama kubwa |
akizungumzia kauli ya assenga mwenyekiti mtendaji wa lushoto tea company nawab mulla alisema kauli ya mtendaji huyo inalenga kuhalalisha uvamizi na kuwaumiza wakulima wa chai ambao yeye ndiye wadau wake wakubwa na kwamba historia ya mashamba yote ya kuni za kusindika chai UNK kutoka kwa wazungu na wahindi |
kwa upande wa lupembe wilayani njombe assenga alipoulizwa kuhusiana na msitu wa UNK alisisitiza kuwa kwa vile kuna kesi mahakamani asingeweza kutoa maoni yake hadi hapo wanahisa hao dhow mercantile na muungano wa ushirika wa lupembe mvyulu UNK mbele ya vyombo vya kisheria |
majira UNK historia ya kiwanda hicho ilibaini mchakato wa ubinafsishaji wa mali za kiwanda ulikamilika mwaka ishirini sifuri nne ambapo mali zilizokuwa za tta na muungano wa ushirika wa lupembe mvyulu zilibinafsishwa kwa kampuni ya dhow mercantile kwa hisa za sabini na mvyulu kubaki na hisa zao za asilimia thebathini ... |
baada ya psrc kuvunjwa na shughuli zake kukabidhiwa consolidated holdings corporation UNK suala hili liliibuliwa ambapo mwekezaji alitakiwa kulipa fedha taslimu la sivyo UNK anywa kiwanda |
jambo hilo UNK mara moja lakini baada ya kukabidhiwa hundi ya malipo hayo shirika hilo UNK kimya hadi uvamizi UNK |
kujikanganya kwa serikali kuhusiana na uuzwaji wa viwanda hivi imeelezwa kuwa UNK katika wakati mgumu kwamba haina nia nzuri na wawekezaji wa ndani na unazidi kuweka alama ya kuuliza katika uwazi na uwajibikaji wa serikali |
watu watano wamefariki dunia wanne papo hapo kufuatia ajali mbaya UNK magari mawili ambayo UNK eneo la UNK moshi vijijini mkoani kilimanjaro usiku wa kuamkia jana |
UNK kutokea kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro lucas ng hoboko alisema jana kuwa ajali hiyo iliyotokea saa sita usiku ikihusisha gari aina ya toyota hiace pick up lenye nambari za usajili t mia nane na ishirini na tatu aea lililokuwa likiendeshwa na probe shirima na gari aina ya mitsubishi fuso lenye ... |
aliwataja waliofariki kuwa ni UNK UNK tumaini athumani mhina julius dafa david shirima na dereva wa toyota hiace probe shirima |
kamanda ng hoboko aliwataja waliojeruhiwa kuwa ni koplo hassan na koplo amiri wote askari wa jeshi la polisi kutoka chuo cha polisi moshi ambao alisema huwa wanashirikiana na wana kikundi hicho cha kidedea katika kutumbuiza |
aliwataja wengine kuwa ni mbonea athuman UNK gidion UNK manase UNK na UNK UNK aidha alisema koplo amiri bado amelazwa hospitali ya rufaa ya kcmc kwa ajili ya matibabu kufuatia majeraha mabaya aliyoyapata ambapo wengine walitibiwa hospitalini hapo na kuruhusiwa |
wakati huo huo polisi mkoani kilimanjaro inawashikilia watu wawili kwa kukutwa na silaha aina ya shortgun na risasi nne kinyume cha sheria |
kamanda wa UNK mkoani kilimanjaro kamishina msaidizi wa polisi lucas ng hoboko aliwataja watu hao kuwa ni yohana mwaipaja na UNK leonard ambao alisema wote kwa pamoja wanatuhumiwa kukutwa na silaha hiyo iliyokuwa na nambari elfu tisa na mia tisa na arobaini na moja watu hawa walikamatwa eneo la kambi ya raha boma nggo... |
alisema watu hao wamekuwa UNK na polisi kwa muda mrefu kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi katika miji ya moshi rombo na eneo la boma ng ombe wilayani hai katika siku za hivi karibuni |
UNK mashangingi themanini kwa kumi na tano bilioni |
ni baada ya pinda kutaka UNK matumizi wakati waziri mkuu bwana mizengo pinda UNK wizara idara na taasisi mbalimbali za serikali kuacha kununua magari ya kifahari serikali imenunua magari ya kifahari themanini maarufu kama mashangingi katika kipindi cha mwaka mmoja |
agizo hilo la bwana pinda ni la pili kutolewa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tangu ateuliwe UNK madaraka hayo |
hata juzi alipokwenda nchini indonesia UNK ziwe zinavaliwa nguo za UNK alizovaa kiongozi wa nchi hiyo UNK kumtembelea |
bwana pinda alisema na yeye na msafara wake waliamua kuvaa mavazi ya aina hiyo na kuondokana na suti |
uchunguzi ulifanywa na majira jumapili na kuthibitishwa na mmoja wa watumishi idara ya ufundi iliyo chini ya wizara ya miundombinu umebaini magari hayo aina ya toyota land cruiser vx v nane ambayo ni toleo jipya tayari yameanza kutumika katika wizara idara na taasisi mbalimbali za serikali |
magari hayo ambayo awali yalikuwa yakiuzwa shilingi mia moja na kumi na mbili mia nne na tisini na sita mia nne na tisini na saba kabla UNK marekebisho na kuwa ya kisasa zaidi sasa yanauzwa shilingi mia moja na themanini na saba mia saba na sitini mia mbili na sitini na moja uchunguzi huo umebaini magari yote themanin... |
endapo mawaziri wote arobaini na saba UNK magari hayo serikali italazimika kutumia shilingi nane mia nane na ishirini na nne mia saba na thebathini na mbili mia mbili na sitini na saba mbali na viongozi wengine wa taasisi za umma UNK kutembelea magari hayo mapya |
gharama hiyo itakuwa na ongezeko la shilingi bilioni mbili ikilinganishwa na gharama za magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya mawaziri na naibu mawaziri sitini na moja mwaka ishirini sifuri sita ambapo zaidi ya shilingi |
bilioni sita zilizotumika kwa ajili hiyo |
rais kikwete alilazimika kupunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri mwaka juzi ili kuongeza ufanisi na kupunguza gharama serikalini |
magari mengine yanayotumiwa na serikali nayo yamepanda bei kama land cruiser hard top milango mitano ambalo sasa linauzwa shilingi kumi sita mia tisa na kumi na nane kumi tatu wakati awali lilikuwa UNK kwa shilingi milioni sabini na toyota land cruiser lenye uwezo kwa kuchukua abiria kumi na tatu linauzwa kwa shilingi... |
mbali na UNK ya mahakama bajeti ya wizara ya afya na utawi wa jamii nayo bado ni ndogo hali inayosababisha kukosekana kwa vitendea kazi huku idadi ya vifo vitokanavyo na uzazi vikiwa bado tishio |
kwa sasa bajeti ya sekta ya afya ni asilimia kumi na moja na ili hali iwe shwari katika sekta hiyo bajeti yake inapaswa kufikia asilimia kumi na tano uchunguzi huo umebaini kuwa idara ya mahakama hadi sasa inatumia teknolojia ya kizamani katika UNK wa kesi usafiri duni na malazi kwa watendaji wake |
hadi sasa baadhi ya majaji wamekuwa wakitumia magari ya kukodi ili kufanikisha majukumu mengine ya kitaifa |
hata waliokuwa na magari hayana hali nzuri kutokana kutumika kwa zaidi ya miaka kumi hadi kumi na tano na wengine wakiwa hawana nyumba za kuishi |
malalamiko mengine ni upungufu wa walimu katika shule za kata ambapo majira jumapili imebaini kuwa shule nyingi za kata hazina walimu |
baadhi ya shule zina wanafunzi hadi mbili sifuri sifuri sifuri kwa shule moja yenye walimu wanne ikiwa na uhaba wa madawati vitabu maabara na nyenzo nyingine |
chanzo cha habari kutoka ndani wizara ya miundombinu UNK majira jumapili kuwa kilio bwana pinda kutaka kusitishwa kwa ununuzi wa magari hayo ni sawa machozi ya samaki ndani ya maji |
alisema kimsingi maombi ya ununuzi wa magari hayo hufanywa kupitia katika wizara ya miundombinu idara ya ufundi na baada ya kupitiwa kwa kina maombi hayo hupelekwa kwa katibu mkuu kiongozi bwana UNK luhanjo ambaye ni mtu pekee aliye na mamlaka ya kupitisha au kukataa kwa maombi hayo |
hata hivyo chanzo hicho kilisema kuwa utaratibu wa mwanzo ulikuwa kwa mtindo wa kuachiana magari kwa mtindo wa kigogo wa juu kulitumia kwa kilometa kadha na kumwachia aliye chini yake lakini kwa sasa jambo hilo limeshindikana kwa kuwa kila mkuu wa idara amekuwa akiomba gari jipya na kupewa tofauti na ilivyo mwanzo |
magari ya mawaziri UNK kwa kilometa fulani kutokana na madaraka yake hivyo kilometa hizo zikiisha UNK gari hiyo naibu UNK au katibu makuu ambaye naye ana kilometa zake na mwisho wake gari hilo UNK kuwa la kusambaza barua na kama UNK zaidi huuzwa kwa njia ya mnada alisema |
UNK maambukizi ya vvu asilimia kumi sifuri |
itazinduliwa rasmi ngurdoto ufaransa |
polisi sitini UNK UNK mashujaa |
profesa aonya isiwe kichocheo cha ngono chuo kikuu cha afya na sayansi kishiriki muhimbili kimesema majaribio ya utafiti wa chanjo ya kutengeneza kichocheo cha kinga dhidi ya maabukizi ya virusi umeonesha mafanikio makubwa |
makamu mkuu wa chuo hicho profesa UNK pallangyo akizungumza dar es salaam jana alisema utafiti ulioanza mwaka ishirini sifuri saba na UNK katika chuo hicho umepata mafanikio ambayo yamesaidia kupatikana kwa chanjo ya kukinga maambukizi ya virusi vya ukimwi majibu ya utafiti wa chanjo ya kukinga maambukizi ya vvu katik... |
alisema baada ya mafanikio hayo muhas inatarajia kuwasilisha ripoti hiyo wiki ijayo kwenye hoteli ya ngurdoto arusha na baadaye kwenye mkutano wa chanjo ya ukimwi utakaofanyika ufaransa oktoba kumi na tisa profesa pallangyo alisema matokeo ya majaribio hayo ambayo yameonesha kutengeneza vichocheo vya kinga dhidi vvu y... |
mkurugenzi wa mafunzo wa muhas daktari muhammad bakari alisema majaribio ya chanjo ya vvu kwa binadamu yalifanywa kwa askari polisi baada kutimiza masharti ya kutokuwa na maambukizi ya vvu ambao UNK majaribio ya chanjo ya kuangalia usalama na uwezo wa kutengeneza UNK |
daktari bakari alisema japokuwa chanjo hiyo imeonesha mafanikio katika kuzuia maambukizi ya vvu lakini hakuna uhakika kwamba inaweza kuua virusi vya ukimwi kwa wagonjwa ambao tayari wanaugua ugonjwa huo |
alisema chanjo hiyo UNK mwili kutengeneza vichocheo vya kinga ambavyo huenda UNK kinga dhidi ya maambukizi ya vvu na kuimarisha zaidi uwezo wa kitaalamu katika kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya vvu nchini tanzania |
daktari bakari alisema utafiti huo ambao UNK majaribio kwa washiriki ambao ni miongoni mwa askari polisi polisi sitini wa mkoa wa dar es salaam ambao walikubali kwa utashi na ridhaa yao na katika majaribio hayo hapakuwa na madhara yaliyotokea baada ya kupatiwa chanjo hiyo |
alisema majaribio hayo yalianza kufanyiwa polisi hao baada ya kutimiza vigezo vya kutokuwa na maabukizi ya ukimwi afya njema na wenye uwezekano mdogo wa kupata vvu ambao kutokana na ujasiri wao wanastahili kupewa heshima ya kishujaa kama wale wanaokwenda mstari wa mbele vitani |
katika warsha hiyo mratibu wa maabara wa muhas profesa UNK lyamuya alisema washiriki ishirini na nne kati ya hamsini na mbili walipatiwa chanjo hiyo walifanikiwa kutengeneza vichocheo vya kinga dhidi ya vvu baada ya kupata chanjo tatu za dna alisema washiriki thebathini na tano kati ya arobaini na nane nao walitengene... |
naye mtaalam wa kinga na magonjwa yanayosababishwa na virusi profesa fred mhalu na alisema chanjo hiyo isiwe kichocheo cha kufanya ngono bila kufuata ushauri wa kitaalamu wa kuacha kujamiiana na kuchelewesha ngono kwa vijana hadi umri wa kuoana au kuishi pamoja uaminifu kwa wenye ndoa ambao wamepima na matumizi ya mip... |
mbunge wa zamani wa jimbo la monduli bwana lepilall ole molleimet amesema umefika wakati rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania asiwe mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kwa sababu wanachama wake wanashindwa kumkosoa kumshauri na kumdhibiti pindi anapokosea |
akizungumza kwa njia ya simu kutoka monduli jana bwana molleimet alisema angefurahi iwapo katika kipindi kijacho chama hicho kitafanya marekebisho ili anayekalia kiti cha urais asiwe mwenyekiti wa chama kwani chama kwa sasa chama kinashindwa kumkemea au kumpa ushauri pale anapokosea |
nitafurahi iwapo katika siku zijazo rais kama akatoka katika moja ya ngazi yeyote ya chini ndani ya chama ili kusudi chama kiweze kumkosoa na kumwajibisha pale anapofanya makosa kuliko ilivyo sasa kwani rais anapokuwa pia mwenyekiti wa chama inasababisha kushindwa kumkosoa kwa kuwa anakuwa anaogopwa hata katika vikao ... |
luteni molloimet aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa alisema hatua ya kujilimbikizia madaraka ndani ya chama kwa wakati huu ni sawa na kukiuwa na kukifanya kionekane kuwa kimeshikwa na wateule wachache hali ambayo inasababisha makundi ndani ya chama hicho na kukipeleka pabaya |
alisema chama hicho kina mpasuko mkubwa ambao kwa sasa hauwezi kuzibika hadi hapo kitakapozaliwa upya kwani kwa sasa kimepoteza mmelekeo wake kutokana kukifanya kuwa cha kibiashara na kuwatelekeza walengwa ambao ni wakulima na wanfanyakazi wa hali ya chini tofauti na ilivyokuwa wakati wa marehemu baba wa taifa mwalimu... |
alisema hivi sasa chama hicho kimekuwa ni cha wafanyabishara wakubwa ambao wameingia katika ulingo wa siasa kwa kutafuta na kulinda maslahi binafsi na si kwa manufaa ya wananchi waliowachagua |
bwana molleimet ambaye amekuwa mbunge wa monduli kwa miaka tisa kuanzia mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na saba hadi elfu moja na mia tisa na tisini na tano alimshutumu katibu mkuu wa ccm bwana yusuf makamba kuwa anakiharibu chama hicho kuwa kuwarubuni na kurudisha ndani ya ccm kisha kuwapa madaraka makubwa w... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.