text
stringlengths
1
1.32k
alisema hali hiyo inasababisha chuki ndani ya chama hicho katika ya wanachama waliokulia na kulelewa ndani ya chama hicho wakiwa hawana madaraka makubwa hali ambayo ni sawa na kuingiza mamaluki ndani ya chama na kuhatarisha usalama ndini ya chama hicho
bwana molleimet alisema kutoka na kukithiri kwa wafanyabiashara ndani ya ccm imefika hatua unapozungumua suala la rushwa ndani ya chama hicho unajenga uadui miongoni mwa wanachama ndani ya chama hicho
alisema kuzuka kwa mambo ya ufisadi ndani ya chama hicho yametoka na kuifanya siasa ya tanzania kuwa ni biashara na ili kukidhibiti suala hilo na kutojilimbikizia madaraka kama ilivyo sasa
mbunge wa zamani wa jimbo la monduli bwana lepilall ole molleimet amesema umefika wakati rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania asiwe mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kwa sababu wanachama wake wanashindwa kumkosoa kumshauri na kumdhibiti pindi anapokosea
akizungumza kwa njia ya simu kutoka monduli jana bwana molleimet alisema angefurahi iwapo katika kipindi kijacho chama hicho kitafanya marekebisho ili anayekalia kiti cha urais asiwe mwenyekiti wa chama kwani chama kwa sasa chama kinashindwa kumkemea au kumpa ushauri pale anapokosea
nitafurahi iwapo katika siku zijazo rais kama akatoka katika moja ya ngazi yeyote ya chini ndani ya chama ili kusudi chama kiweze kumkosoa na kumwajibisha pale anapofanya makosa kuliko ilivyo sasa kwani rais anapokuwa pia mwenyekiti wa chama inasababisha kushindwa kumkosoa kwa kuwa anakuwa anaogopwa hata katika vikao ...
luteni molloimet aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa alisema hatua ya kujilimbikizia madaraka ndani ya chama kwa wakati huu ni sawa na kukiuwa na kukifanya kionekane kuwa kimeshikwa na wateule wachache hali ambayo inasababisha makundi ndani ya chama hicho na kukipeleka pabaya
alisema chama hicho kina mpasuko mkubwa ambao kwa sasa hauwezi kuzibika hadi hapo kitakapozaliwa upya kwani kwa sasa kimepoteza mmelekeo wake kutokana kukifanya kuwa cha kibiashara na kuwatelekeza walengwa ambao ni wakulima na wanfanyakazi wa hali ya chini tofauti na ilivyokuwa wakati wa marehemu baba wa taifa mwalimu...
alisema hivi sasa chama hicho kimekuwa ni cha wafanyabishara wakubwa ambao wameingia katika ulingo wa siasa kwa kutafuta na kulinda maslahi binafsi na si kwa manufaa ya wananchi waliowachagua
bwana molleimet ambaye amekuwa mbunge wa monduli kwa miaka tisa kuanzia mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na saba hadi elfu moja na mia tisa na tisini na tano alimshutumu katibu mkuu wa ccm bwana yusuf makamba kuwa anakiharibu chama hicho kuwa kuwarubuni na kurudisha ndani ya ccm kisha kuwapa madaraka makubwa w...
alisema hali hiyo inasababisha chuki ndani ya chama hicho katika ya wanachama waliokulia na kulelewa ndani ya chama hicho wakiwa hawana madaraka makubwa hali ambayo ni sawa na kuingiza mamaluki ndani ya chama na kuhatarisha usalama ndini ya chama hicho
bwana molleimet alisema kutoka na kukithiri kwa wafanyabiashara ndani ya ccm imefika hatua unapozungumua suala la rushwa ndani ya chama hicho unajenga uadui miongoni mwa wanachama ndani ya chama hicho
alisema kuzuka kwa mambo ya ufisadi ndani ya chama hicho yametoka na kuifanya siasa ya tanzania kuwa ni biashara na ili kukidhibiti suala hilo na kutojilimbikizia madaraka kama ilivyo sasa
nyota za kisiasa za waziri kiongozi mstaafu daktari mohamed gharib bilali na katibu mkuu wa chama cha wananchi maalim seif sharif hamad zinaendelea kunggara kisiwani pemba huku viongozi hao kupewa nafasi kubwa ya kushinda urais wa zanzibar katika uchaguzi mkuu ishirini moja sifuri kupitia vyama vyao
uchunguzi wa kina uliofanywa hapa katika mikoa miwili ya kisiwa cha pemba unaonesha kwamba majina ya viongozi hao ndiyo yenye nafasi kubwa katika vinywa vya wananchi wa kisiwa cha pemba
uchunguzi huo hauko mbali na ule wa kisayansi uliofanywa na kampuni ya UNK UNK viongozi hao kuwa juu kisiasa maalim seif UNK daktari balali
uchunguzi wa mwandishi wa habari hizi unaonesha kwamba makamo wa rais wa muungano daktari ali mohamed shein UNK nafasi yoyote huku akiwa UNK kabisa
akizungumza na majira mohamed bakari wa ccm huko micheweni kiuyu UNK alisema wafuasi na wananchama wa ccm wanamkubali bilali kama mgombea na rais mtarajiwa wa zanzibar kwa tiketi ya ccm mwakani
mapenzi yetu hapa kwa wanaccm yapo kwa dokta bilali na UNK chama cha ccm kuacha kabisa mpango wa kupindisha suala hilo alisema
hadi sasa hakuna mwana ccm yoyote aliyejitokeza na kutangaza nia ya kuwania nafasi ya urais kwa tiketi ya ccm lakini baadhi ya majina yamekuwa UNK
miongoni mwa wanaotajwa ni waziri kiongozi wa sasa shamsi vuia nahodha waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais mohamed seif khatib balozi ali karume na naibu waziri afrika mashariki mohamed aboud mohamed
hivi karibuni dokta bilali UNK wananchi katika kisiwa cha pemba na watu wengi walihudhuria licha ya kuwepo kwa juhudi za kutaka UNK baadhi ya wafuasi wa ccm kuhudhuria
mimi UNK salamu na kuambiwa kwamba UNK lakini UNK na kupinga wazo hilo kwa sababu halikuwa agizo halali alisema mwana ccm mmoja ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake katika UNK
kwa upande wa cuf maalim seif bado ni tishio kwa ccm huku kasi yake ikiwa haina kizuizi katika uchaguzi huo ambao rais aman karume atakuwa anamaliza muda wake
mwanachama mmoja wa cuf hamad salim alisema nyota ya maaalim seif katika duru za kisiasa pemba haina mpinzani kutokana na kukubalika na kuwa kipenzi cha wengi
kwa upande wa chama chetu maalim UNK kuwa ni nguzo imara isiyokuwa na mpinzani katika harakati za kisiasa zanzibar
ndiye mgombea wetu asiye na mpinzani alisema hamad
asema ameshindwa kutatua kero nzito za kitaifa adai anajali masuala mepesi akerwa na UNK mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahimu lipumba amesema kuwa imani ya wananchi kwa serikali ya ccm imeanza kupungua kwa sababu mwenyekiti wake rais jakaya kikwete na washauri wake hawana msimamo katika kutatua kero nzito...
badala yake amesema kiongozi huyo anajihusisha na masuala yanayotokana na sera za chama cha mapinduzi yasiyokuwa na tija kwa taifa
alisema kutokana na hali hiyo wananchi wanatakiwa kuzinduka ili kuleta mabadiliko kwa kuchagua viongozi UNK katika chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani kwa kuwa hatima ya taifa iko mikononi mwao
niwaambie wananchi kuwa rais kikwete ameshindwa kutoa maamuzi katika kutatua kero kubwa za kitaifa bali ni rais anayependa usanii na kutoa majibu mepesi yasiyoridhisha kuhusu namna gani taifa liwe na mshikamano alisema bwana lipumba
baadhi ya kero UNK rais UNK vikali ni mpasuko wa kisiasa zanzibar ufisadi katika akaunti ya madeni ya nje kashfa ya richmond dowans kashfa ya rada ndege ya rais tatizo la umeme na mikakati ya kudumu ya kuondoa umaskini kwa watanzania
pia profesa lipumba alirejea kauli yake kuwa kutokana na nafasi ya rais kikwete kuwa kiongozi wa baraza la mawaziri moja kwa moja anahusika katika kashfa ya ufisadi wa richmond
napenda pia wananchi watambue kuwa baraza la mawaziri liko chini ya rais hivyo mkataba wa richmond UNK vizuri na hii ndio maana hawataki kulitolea uamuzi alisema profesa lipumba
kashfa ya mkataba tata wa richnond iliibuliwa na bunge na kusababisha aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa kujiuzulu UNK na mawaziri wa wawili waliokuwa wamewahi kuongoza wizara ya nishati na madini nazir karamagi na daktari UNK msabaha februari ishirini sifuri saba tangu wakati huo suala hilo limekuwa UNK mjadala kat...
aidha profesa lipumba ameonesha kukerwa na picha moja UNK hivi karibuni katika gazeti moja la kila siku UNK rais kikwete UNK keki mkewe salma kwamba kitendo hicho UNK kiongozi wa nchi kwa kuwa haikuwa na maana yoyote kwa wananchi
viongozi hao wa kitaifa wa wako mkoani mara ambapo wanaendesha kampeni ya zinduka inayolenga kuelimisha wananchi kujua hali ya nchi ilivyo hivi sasa na namna wanavyoweza UNK kwa kuchagua viongozi wanaofaa
shahidi wa saba katika kesi ya shambulio na kutishia kwa silaha inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka ameiambia mahakama ya hakimu mkazi arusha kuwa mbunge huyo UNK wala kumyooshea silaha mlalamikaji bwana james ole millya
badala yake shahidi huyo shahidi huyo bwana UNK akyoo ambaye ni daktari wa mifugo alisema kwamba mlalamikaji ndiye alimfuata ole sendeka ambaye alikuwa akizungumza na baadhi ya wabunge waliokuwa wamealikwa katika semina hiyo
bwana akyoo aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na wakili wa upande wa utetezi bwana mpaya kamara na kusema kuwa alikuwepo katika eneo hilo wakati wa tukio lakini hakuona bwana sendeka akimpiga wala kumyooshea UNK bwana millya ila alishangaa kumuona bwana millya akiwa ameanguka chini na ndipo UNK na watu wengine UNK
hata hivyo shahidi huyo alipotakiwa kuieleza mahakama kama aliona au alisikia bwana sendeka UNK na bwana millya alisema kuwa hakusikia kitu chochote
nilimwona james ole millya akitoka mbele alipokuwa amekaa na kwenda nyuma alipokuwepo mheshimiwa ole sendeka UNK na baadhi ya wabunge baada ya muda mfupi nilishangaa kumuona ole millya akiwa amelala chini na UNK kulikoni niliambiwa kuwa UNK ila mimi sikuona wakati UNK wala kupigwa alisema shahidi huyo alipokuwa akihoj...
wakili unafahamu bwana christopher ole sendeka anashitakiwa kwa makosa gani hapa mahakamani
shahidi sifahamu wakili katika tukio hilo uliona mshtakiwa anatoa bastola shahidi sikuona wakili uliona UNK na kumyooshea ole millya
shahidi sikuona wakili UNK ole sendeka akimpiga ngumi ole millya
shahidi hapana wakili na wewe ulikuwepo kwenye tukio kuanzia mwanzo hadi mwisho shahidi ndio hata hivyo shahidi huyo alipotakiwa kueleza ni kwa nini baada ya watu UNK ole millya UNK katika chumba alisema kuwa hajui
kesi hiyo imeahirishwa hadi novemba ishirini na tatu katibu wa kamati ya wazee wa chama cha mapinduzi iliyoteuliwa na halmashauri kuu ya taifa kufuatilia mahusiano ya wabunge wake na serikali bwana pius msekwa amesema kuwa utaratibu wa kuwajadili wabunge wa chama hicho utaendelea na sio mpya kwa kuwa ulikuwepo tangu a...
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana kuhusu kazi za kamati hiyo bwana msekwa ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa ccm bara alisema kuwa kutokana na serikali kuundwa na ccm si jambo la kushangaza kwa chama kuwajadili wabunge wake ili kuleta UNK
ni utaratibu wa chama kwamba wabunge wakibishana mpaka kuleta mpasuko UNK katika halmashauri kuu kwa hiyo watu UNK kwanini tunaanza leo kwani UNK tangu awamu ya kwanza alisema
alifafanua kuwa kazi ya kamati hiyo iliyoundwa na halmashauri kuu ya ccm chini ya uenyekiti wa rais mstaafu wa awamu ya pili alhaji ali hassan mwinyi ni kurejesha mshikamano wa wabunge ccm hata hivyo alisema mwongozo wa ccm wa mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na moja unaotumika mpaka sasa unaruhusu kiongozi ku...
hata mimi niliwahi kujadiliwa wakati nikiwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano baada ya kuruhusu mjadala wa kuundwa kwa serikali tatu kwa hiyo tunapojadili mwenendo wa wabunge wetu spika ambaye ni miongoni mwa wabunge hao lazima UNK alisema
aidha bwana msekwa alisema kuwa kamati hiyo bado haijaanza kazi yake tangu iundwe na kwamba UNK kuanza kwa kikao cha kumi na saba cha bunge
kamati UNK mbunge mmoja mmoja bali tutazungumza nao wote katika kikao cha wabunge na kikao cha baraza la wawakilishi tutaanza na baraza la wawakilishi zanzibar ambalo UNK vikao vyake wiki ijayo aliongeza bwana msekwa
akijibu swali la mwandishi aliyetaka kujua ni hatua gani kamati itachukua dhidi ya wabunge watakaobainika kuwa chanzo cha makundi hayo bwana msekwa alisema UNK kumtafuta mtu ili kumwadhibu bali kuchunguza kwa undani kiini cha makundi hayo ili kujiridhisha kama kweli suala la ufisadi tu ndio chanzo cha wabunge wetu kut...
ukweli ni kwamba hii ni serikali ya chama hivyo wabunge wa ccm wanalazimika kuunga mkono masuala ambayo kama UNK UNK uhai wa serikali kama vile suala la kupitisha bajeti lakini bado wana uhuru wa kuikosoa serikali alisema
pia bwana msekwa aliongeza kwa kusema kuwa hana ugomvi wowote na spika bwana samuel sitta na kuvitaka vyombo vya habari kuacha UNK
kamati ya wazee wa ccm inayoundwa na wajumbe watatu ambao ni rais mstaafu alhaji hassani mwinyi bwana pius msekwa na bwana UNK kinana inatarajiwa kutoa ufumbuzi kutokana na kuibuka kwa makundi UNK kati ya wabunge wa chama hicho
benki kuu ya tanzania inatarajia kutoa noti mpya hivi karibuni baada ya kampuni ya crein carens ya sweden na dela rue ya uingereza kushinda zabuni ya kuchapisha noti hizo
noti UNK mpya ni zile za shilingi kumi sifuri sifuri sifuri tano sifuri sifuri sifuri mbili sifuri sifuri sifuri moja sifuri sifuri sifuri na hamsini sifuri akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kikao cha kamati ya bunge ya hesabu za serikali ambacho kilikuwa kikijadili hali ya kiuchumi na mfumuko wa b...
kati ya kampuni kumi zilizojitokeza lakini kati yao kampuni mbili ndizo UNK na kupatiwa zabuni hiyo ya uchapaji wa noti hizi ambapo zitaanza kuchapishwa hivi karibuni alisema
wakati kampuni ya crein carens ya swiden UNK noti za shilingi kumi sifuri sifuri sifuri tano sifuri sifuri sifuri mbili sifuri sifuri sifuri na hamsini sifuri ile dela rue ya UNK noti za shilingi moja sifuri sifuri sifuri bwana ndulu alisema kuwa baada ya miezi tisa kazi ya uchapishaji itaanza na kuingiziwa kwenye mzu...
taarifa hiyo ya gavana imekuja wakati vitendo vya kughushi noti vikiwa UNK na watu mbalimbali wamekuwa UNK na kufikishwa mahakamani kuhusiana na matukio hayo
hata hivyo bwana ndulu alisema bot inakusanya taarifa za watu UNK fedha ili waweze kuchukuliwa hatua na kwamba sasa hivi kuna mashine maalumu ambayo imekuwa UNK kila noti UNK kwenye mzunguko na kuangalia kama UNK au la
alisema kuwa bot pia imekuwa ikitoa elimu kwa wananchi ili waweze kugundua fedha ambazo siyo salama na kwamba ubora wa fedha ni mzuri kwa sababu zinatengenezwa na kampuni zenye uzoefu
wakati huo huo bwana UNK alisema kuwa hali ya uchumi bado ni tete tanzania japo kuna matumaini ya uchumi kuendelea kuimarika kidogo kidogo na mapato yatokanayo na uuzaji wa mazao nje siyo mbaya licha ya bei kuwa ndogo
alisema kuwa bot imetoa shilingi bilioni kumi na sita kwa benki ya nmb na shilingi bilioni ishirini na mbili kwa crdb kwa ajili ya kuwakopesha wananchi ambao UNK na mikopo ya mwanzo hasa katika mikoa ambayo UNK wakati wa awamu ya kwanza
bwana ndulu alisema kuwa mpango huu utaendelea tena kwa awamu ya tatu lengo ni kuhakikisha kwamba wananchi wote wanakopeshwa ili waweze kujiimarisha kiuchumi
baadhi ya wanasiasa hapa nchini wamemtaka rais jakaya kikwete kuhakikisha anatekeleza sheria ya viongozi kutaja mali walizonazo kabla hajaanza kutunga sheria mpya ya kuwabana matajiri
kauli za wanasiasa hao zinakuja siku moja baada baada ya rais kikwete akiwa mkoani mara kwenye maadhimisho ya miaka kumi ya kifo cha baba wa taifa mwalimu nyerere kusema kuwa miswada ya sheria ya kuwabana matajiri kwenye siasa na ule wa kudhibiti matumizi ya fedha kwenye chaguzi itapelekwa bungeni kwenye mkutano ujao
mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba alisema rais hana uhakika na kauli zake kwani ni UNK wa kauli ambazo amekuwa akizitoa kwa watendaji wake na kwa wananchi bila kufuatilia UNK wake
alisema wazo la kupelekwa kwa UNK miwili ya sheria bungeni yenye lengo la UNK wanasiasa na wafanyabiashara ni kupoteza wakati kwani hata sheria zilizopo zinazotoa mwanya wa kuwabana watu wa namna hiyo bado hazitekelezeki
itakuwa kazi ngumu kwa rais kujinasua kutoka kwenye makucha ya hao UNK matajiri ikizingatiwa kuwa ni miongoni mwa wanachama wenzake na UNK alisema
katika hilo wala sina imani kabisa kuwa UNK UNK kitu cha namna hiyo alisema na kuongeza kuwa matajiri hao ndio wanaoiongoza nchi je UNK hatua nchi itaongozwa na nani sasa
kwa upande wake mwanasheria mwandamizi chuo kikuu cha dar es salaam daktari sengondo mvungi alisema rais kikwete amechelewa kufanya hivyo na anashangaa yeye kuzinduka sasa hivi
daktari mvungi alisema siasa ya tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa pesa jambo ambalo ni doa kubwa kutokana na wanasiasa wake kukaa kibiashara zaidi
yeye ni shuhuda mzuri katika chaguzi fedha zinavyotumika bila mpangilio kwa kuwa naye ni miongoni mwa watu walioshiriki uchaguzi wa ishirini sifuri tano hivyo alishiriki kikamilifu aliona na anajua yanayofanyika alisema alisema matajiri ni watu hatari sana katika kuliongoza taifa la tanzania na kusema kuwa utajiri huo...
kwa msingi huu basi ni rahisi matajiri kuwanunua wanasiasa kwa sababu hawawezi kufanya siasa bila UNK
matajiri UNK kuwa wanasiasa UNK wanasiasa na kufanya utajiri wao kuwa siasa alisema
kichaa mmoja mkoani arusha amemuua mwanafunzi wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha dar es salaam na baadaye wananchi wenye hasira UNK muuaji kwa mapanga kisha kumchoma moto
kamanda wa polisi mkoani arusha bwana basilio matei amemtaja mwanafunzi aliyeuawa kuwa ni bwana jeremia lucas mkazi wa sanawari mjini hapa na kwamba tukio hilo lilitokea juzi saa kumi jioni katika eneo hilo la sanawari
UNK
matei alisema kuwa kichaa huyo alifika katika mgahawa unaomilikiwa na mama wa mwanafunzi huyo na kutaka apewe chakula kwa nguvu na UNK alianza UNK vitu na kuanza kumpiga mama huyo
kijana huyo aliyeuawa alipoona mama yake UNK aliingilia ili kumwokoa mama yake na ndipo kichaa huyo alipochukua kisu na kumchoma shingoni upande wa kushoto
kijana huyo alifia njiani wakati UNK hospitali alisema bwana matei
baada ya wananchi kugundua tukio hilo UNK kichaa huyo na walipomkamata UNK kwa mapanga hadi kufa na kisha UNK moto
serikali imetakiwa kutumia nguvu yake kufanya uamuzi UNK na wengi wa kutaifisha mitambo ya umeme ya dowans ili kunusuru uchumi wa nchini kutokana na kuwepo kwa mgao wa umeme kwani inapoteza shilingi milioni ishirini sifuri kwa siku
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo zitto kabwe alipozungumza na waandishi wa habari
alisema hilo linawezekana kutokana na utata kuhusu uwepo wa mitambo hiyo nchini mitambo hiyo itaifishwe nani kasema kuwa mitambo hiyo haiwezi kutaifishwa serikali UNK dola kwanini hilo UNK alisema
alifafanua kuwa serikali ifanye maamuzi ya kutaifisha mitambo hiyo licha ya kuwa madhara madogo yanaweza kujitokeza ikiwa ni pamoja na wasiwasi kutoka kwa wawekezaji kuwekeza nchini
alisema kuwa kama marekani imeweza kufanya hivyo katika mabenki nchini humo katika harakati za kuokoa hali ya mtikisiko wa uchumi hivyo hata tanzania inaweza kufanya hivyo kwa kuwa mitambo hiyo inaweza kuzalishwa megawatt mia moja na ishirini alisema kuwa serikali imekuwa kimya huku taifa UNK na matokeo ya mgao huo al...
serikali lazima wazungumze na iptl wakubaliane iptl UNK mitambo yao na kuendelea kutoa umeme huku mazungumzo yakiendelea
haiwezekani nchi kwenda kizani wakati tunayo mitambo nipo tayari kupoteza umaarufu wangu kwa kulitetea taifa alisema bwana zitto
aidha alisema kuwa kwa kufanya hivyo serikali itakuwa UNK taifa katika kuongeza uzalishaji umeme
bwana kabwe alisema kuwa UNK serikali kutokana na UNK kimya tatizo hilo ambalo linaonekana kuathiri sehemu kubwa ya uchumi wa nchi aliongeza kuwa viongozi wanapaswa kujali zaidi madhara yake ambapo kwa wananchi si rahisi kutambua madhara hayo
alisema kuwa kutokana na utafiti mbalimbali alioufanya kutokana na mgao huo ni dhahiri kuwa sekta mbalimbali za uchumu UNK kwa kiwango kisichotarajiwa alitoa mfano kuwa kiwanda cha simenti ambacho kilikuwa kikitumia umeme kwa dola za marekani kumi kwa siku baada ya mgao kiwanda hicho kinatumia dola za marekani arobain...
gharama hizo zinashuka moja kwa moja mpaka kwa mwananchi ambaye ndio UNK zaidi kwa kuwa hakuna mtu UNK kuendesha biashara kwa hasara kutokana na mgao huo bei ya simenti itaongezeka juu kwa UNK cha shilingi kumi sifuri sifuri ambapo hiyo ni bei ya mlangoni
alisema kuwa mpaka sasa serikali haijafanya kitu chochote aliongeza kuwa awali kulikuwa na tetesi kuwa tatizo la umeme lilitokana na hujuma lakini baada ya kutumia wiki mbili kuangalia chanzo cha tatizo hilo waligundua kuwa si hujuma lakini kitu cha kushangaza serikali haifanyi lolote katika kutafuta suluhisho
sioni hatua zozote zikichukuliwa na serikali suala la umeme ni suala la kitaifa sio suala la kuchezea UNK na wanasiasa kurushiana maneno kila mmoja amekaa kimya kusubiri nani ajibu alisema bwana kabwe
alisema kuwa hivi karibuni kutakuwa na mikutano UNK ya kimataifa nchi mmoja wako ni ule unaohusu masuala ya uwekezaji ma kudai kuwa wawekezaji hawawezi kuja kuwekeza wakati nchi UNK kwa UNK
alisema kuwa tatizo kubwa la viongozi wa nchi hii wamekuwa na majibu mepesi katika maswali magumu kwa mtazamo wake alisema kuwa katika nchi hii hajawahi kuona mkurugenzi makini kama mkurugenzi wa shirika la umeme tanzania daktari idrisa rashid