text stringlengths 1 1.32k |
|---|
naamini kuwa the best UNK in tanzania ni daktari rashidi |
alisema bwana zitto |
alifafanua kwa huu si wakati wa wanasiasa kuviziana ama kumtafuta mchawi kwa kuwa taifa linaendelea kuathirika kiuchumi isipokuwa ni kufanya maamuzi UNK taifa |
alisema kuwa kama serikali itashindwa kufanya maamuzi ya haraka katika kuinua maisha ya wananchi basi wananchi UNK kwa kushindwa kuwapatia maisha bora kutokana na gharama za maisha kuwa juu |
ni wakazi wa kipawa wanaotakiwa kuhama |
walitaka kufikisha kilio chao cha fidia eneo la shule ya msingi kipawa na maeneo yanayozunguka jana iligeuka uwanja wa mapambano baada ya wenye nyumba wa kipawa kupigwa mabomu ya machozi wakati wakijiandaa kufunga barabara kumsimamisha rais jakaya kikwete UNK awalipe fidia kwa sheria mpya ya mwaka elfu moja na mia tis... |
katika UNK hizo kikosi cha kutuliza ghasia na baadhi ya askari polisi na makachero wakiongozwa na kamanda wa polisi mkoa wa ilala bwana faustine shilogile na mkuu wa kituo cha stakishari bibi komba wakazi hao UNK kilio cha nguvu wakidai UNK katika nchi yao |
haikuishia hapo polisi hao walimkamata mwenyekiti wa wenye nyumba wa kipawa bwana magnus mulisa na wengine wanne kuwapeleka katika kituo cha polisi |
askari wa ffu polisi na makachero wakiwa katika sare na wengine wamevaa nguo za kiraia walitoa matangazo ya kuwataka wenye nyumba hao UNK lakini walikaidi na hakuna aliyeondoka ndipo waliporusha mabomu ya machozi na kurusha maji ya kuwasha UNK na kuwafanya wakimbie hovyo |
gari lililokuwa UNK maji ya kuwasha lilizunguka eneo hilo na kurusha maji hayo ambayo mengine UNK abiria waliokuwa wakipita barabara ya nyerere ambao UNK na kukimbia huku na huko kutafuta hifadhi na wengine kutafuta maji ya kunawa usoni ili kuondoa UNK wa mabomu hayo |
wakati wakazi hao UNK na polisi wengine ambao UNK walikuwa wakichukua hundi zilizoanza kutolewa jana magereza ukonga na kuridhika na kiwango UNK |
mgogoro wa ulipwaji wa fidia eneo la UNK uwanja wa ndege ulianza baada ya serikali kuu kupitia wizara ya miundombinu kutoa tamko kuwa italipa fidia ya nyumba za wakazi wa kipawa UNK na UNK kwa sheria ya mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba ambayo inapingwa na wakazi hao |
wenye nyumba waliochukua hundi zao jana na kugoma kutaja majina yao kuhofia usalama wao walisema wamefikia uamuzi huo kwa sababu hawataki malumbano na serikali kwani wanaamini walicholipwa ni haki yao |
walisema kiasi walicholipwa kinatosha kwenda kujenga nyumba nyingine kauli ambayo inapingwa na wale ambao wanapinga kuchukua hundi hizo ambao wanadai waliokwenda kuchukua ni watu wenye uwezo na UNK zaidi ya moja ambao UNK na fidia kiduchu |
ofisa ardhi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana edgar japhet alisema UNK iliyofanyika haikuwa na kasoro na watu watalipwa kutokana na thamani ya nyumba yake UNK wa uthamini mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na saba wenye nyumba hao wamepewa viwanja na hundi zao na waliosaini kuchukua hundi zao UNK na h... |
malipo ya fidia ya wakazi wa kipawa yalianza kwa awamu ya kwanza kwa watu kumi sifuri wa mwanzo na yataendelea kwa siku arobaini na tano habari za uchunguzi wa gazeti hili zinaonesha kuwa kuna ujanja uliotumika wakati wa uthamini wa nyumba hizo ambao kuna baadhi ya watu ambao nyumba zao zilikuwa UNK kulipwa milioni th... |
serikali ya mapinduzi ya zanzibar imesema inaendelea na maandalizi ya sera ya nishati na kwamba haitabadilisha uamuzi huo |
hayo yalisemwa na waziri wa maji ujenzi nishati na ardhi wa smz bwana mansoor yussuf himid alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu swali lililoulizwa na mwakilishi wa jimbo la mikunguni kwa tiketi ya ccm aliyetaka kujua maandalizi ya sera ya nishati yamefikia wapi |
bwana suleiman alisema aliuliza swali hilo baada ya kuelezwa kuwa wajumbe waliambiwa kwamba UNK mbele ya baraza la wawakilishi |
bwana mansoor alisema tatizo kubwa UNK kwa serikali kushindwa kuwasilisha sera hiyo mapema ni kujitokeza kwa kasoro ndogondogo na kamati za baraza kushindwa kukutana kwa wakati |
dhamira na malengo ya kuwasilishwa kwa sera ya nishati yapo pale pale hakuna mabadiliko yoyote |
itawasilishwa katika vikao vijavyo vya baraza la wawakilishi alisema bwana UNK |
alisema kinachofanyika kwa sasa ni kwa wizara kuwasiliana na baadhi ya wafadhili kuhakikisha vijana wanapatiwa mafunzo ya kitaalamu nchi za nje |
mkuu wa mkoa wa iringa bwana mohamed abdulaziz anatarajia kumwona rais jakaya kikwete kumweleza mateso wanayoyapata wakulima wa chai wa tarafa ya lupembe wilaya ya njombe mkoani iringa |
mateso hayo yanatokana na mgogoro wa muda mrefu kati ya mwekezaji wa kiwanda cha lupembe tea factory na muungano wa vyama vya ushirika lupembe |
ni kweli mimi ndiye mwakilishi wa rais UNK kilio chenu kwake ili naye aweke baraka zake kuhusu ufunguzi wa kiwanda hiki |
UNK na mwekezaji waondoe tofauti hizo ili kiwanda UNK na mzunguko wa fedha kwa wananchi uanze alisema |
mkuu huyo wa mkoa alisema hayo wiki hii katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kitongoji cha UNK tarafa ya lupembe baada ya mmoja wa wakulima wa chai wa tarafa hiyo kutaka kujua kwa nini kiwanda kimefungwa huku yeye akiwa kimya wakati ni mwakilishi wa rais katika mkoa huo |
akijibu swali hilo bwana abdulaziz alikiri kuwa kiwanda kilifungwa baada ya wafuasi wa chama cha ushirika chenye ubia kwenye kiwanda hicho kumfanyia vurugu mwekezaji ambaye alikwenda mahakamani |
alisema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa suala hilo liko mahakamani |
UNK kusema hapa ni kwamba walichofanya muvyulu ilikuwa ni hasira tu lakini kwa sasa wote mwekezaji na muvyulu wanatakiwa kukaa pamoja haraka iwezekanavyo na kuangalia namna ya kufungua kiwanda hicho bila kuathiri kesi zilizopo mahakamani alifafanua |
kauli hiyo ya rc UNK na uamuzi wa jaji mziray wa mahakama kuu kitengo cha ardhi aliyetoa uamuzi mapema mwaka jana kuwa kiwanda hicho kiendelee na uzalishaji kama awali huku kesi za pande zote mbili zikiendelea mahakamani lakini muvyulu UNK uamuzi huo wa mahakama na kuendelea kushikilia kiwanda kimya kimya hadi leo huk... |
kiwanda cha lupembe tea factory kilifungwa agosti moja mwaka jana baada ya wafuasi wachache wa muvyulu kuvamia kiwanda na kuwatimua wafanyakazi na menejimenti ya kiwanda hicho hadi leo |
imekuwa ikidaiwa kuwa munguki wanapata kiburi kwa kuwa UNK na baadhi ya vigogo wa ikulu akiwamo katibu mkuu kiongozi philemon luhanjo ingawa amekuwa akikanusha jambo hilo |
tangu kufungwa kwa kiwanda hicho uongozi wa muvyulu UNK vijana wa kihuni wanaolinda kiwanda hicho maarufu kama mungiki ambao wamekuwa UNK watu wakiwemo waandishi wa habari watano waliopigwa na kujeruhiwa walipokwenda kuandika habari za mgogoro huo |
watu wa kwanza kushambuliwa na mungiki hao ni mawakala wa mahakama kumi na moja waliokwenda kiwandani kutekeleza amri ya mahakama ya kuwaondoa septemba mwaka jana lakini UNK kipigo cha mungiki hao na kulazwa huku serikali ikiwa haijachukua hatua yoyote hadi leo |
wengine kortini kwa kutaka kuzuia msafara wa kikwete wakati serikali ikiendelea kulipa fidia za kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu nyerere dar es salaam baadhi ya wenye nyumba waliochukua hundi zao wamegawanyika katika makundi ya wenye furaha na huzuni |
mgawanyiko huo umetokana na malipo kiduchu kwa baadhi yao na wengine kulipwa fidia UNK wakati nyumba zao hazikuwa na thamani inayolingana na malipo hayo |
bibi fatuma juma alisema hundi ya shilingi milioni tano UNK hailingani na thamani ya nyumba yake ambayo ina vyumba vinne na ilikuwepo wakati wa tathmini iliyofanywa na kampuni ya uthamini ya tan UNK ya dar es salaam |
haya ni maumivu makali sijui fedha hizi UNK kufanya nini kwa sababu UNK kujenga vyumba viwili tu wakati familia yangu ni kubwa alisema bibi UNK |
mwingine bibi modester UNK aliliambia gazeti hili kuwa amelipwa shilingi milioni kumi na tatu saba ambayo hailingani na thamani ya nyumba yake na kusema huo ni uonevu kwa sababu wengine ambao hawana nyumba yenye thamani kubwa kuliko yake wamelipwa fedha nyingi |
fedha hizi hazitoshi kujenga nyumba ya kuishi familia yangu kama ya kipawa nilijenga nyumba yangu kutokana na UNK mgongo UNK baada ya kuachishwa kazi mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita kwa shilingi milioni kumi na mbili tano hata majirani UNK malipo haya alisema bibi UNK |
wakati hundi hizo zikiendelea kutolewa wakazi wengine ambao wanapinga fidia hiyo kulipwa kwa sheria ya mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba walisema hawakubali kuchukua malipo hayo hadi serikali UNK kulipa kwa sheria ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama a... |
katika hatua nyingine watu tisa akiwemo mwenyekiti wa wenye nyumba wa kipawa bwana magnus mulisa waliokamatwa juzi wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya ilala UNK kwa makosa matatu ya kuandamana kufanya usumbufu na kumpiga askari polisi |
wakisomewa mashtaka hayo mbele ya hakimu mfawidhi bibi joyce minde washtakiwa hao bwana athumani UNK bwana abdallah dadi bwana ali abdallah bwana joseph laizer bwana juma mussa bwana samuel gidion bwana mathew thomas na bibi teddy UNK |
washtakiwa hao kwa pamoja UNK dhamana hadi oktoba ishirini na tatu upelelezi utakapokamilika na kupewa dhamana |
juzi saa tatu asubuhi wakazi hao wa kipawa zaidi ya hamsini sifuri walikusanyika wakiwa na mabango yaliyokuwa UNK kuwa hawaridhiki na viwango vya malipo yanayotolewa ya UNK kutoka eneo hilo huku wakipania kuzuia msafara wa rais kikwete kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere |
alikuwa akisubiri matokeo darasa la saba ajuza mwenye umri unaokadiriwa miaka kati ya themanini na tisini mkazi wa kijiji cha UNK kata ya UNK wilayani same mkoa wa kilimanjaro bibi fatuma UNK UNK kwa kile kinachodaiwa kukerwa na kitendo cha mjukuu wake mwenye umri wa miaka kumi na nne kuozwa na wazazi wake wakati akis... |
bibi huyo UNK kwa UNK inadaiwa enzi za uhai wake alisisitiza sana umuhimu elimu kwa mjukuu wake huyo aliyemaliza elimu ya msingi mwaka huu |
tukio hilo lilitokea oktoba tano mwaka huu usiku ambapo mwili wake UNK asubuhi oktoba sita kwenye mti nje ya nyumba aliyokuwa akiishi |
baadhi ya majirani wa eneo hilo walisema ajuza huyo kabla ya kifo chake aliacha ujumbe kuwa endapo mjukuu huyo aliyekuwa akiishi naye UNK katika umri mdogo asije kwenye msiba wake wala asirudi tena kwao na atapata matatizo maishani mwake |
mjukuu wa marehemu bwana rashidi UNK alisema baada tukio hilo alitoa taarifa ya kifo hicho katika ofisi ya ofisa mtendaji wa kijiji hicho bibi zaituni abeid ambaye alikiri kutokea tukio hilo na kueleza kuwa iliwalazimu kutoa taarifa polisi |
habari zaidi kutoka kijijini hapo zilieleza kuwa baada ya ajuza huyo kujinyonga majirani walimshusha kwenye mti huo na kwenda kumzika haraka kisha kukata mti huo na UNK kwa mujibu wa mila zao |
akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu kamanda wa polisi mkoa wa kilimanjaro bwana lucas ng UNK alikiri kupokea taarifa za tukio hilo na kueleza kuwa jeshi hilo linaendelea na uchunguzi kubaini kiini cha tukio hilo |
aidha kamanda UNK alitumia nafasi hiyo kuwaonya wazazi kuacha tabia ya UNK mabinti zao na kueleza kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wazazi wa aina hiyo |
wakati serikali ikikemea malumbano ya kidini na kuonya kwamba ni hatari kwa mshikamano na amani ya taifa waraka UNK chama cha demokrasia na maendeleo na ukristo UNK nchini |
waraka huo ambao majira inayo nakala yake unadaiwa kuandaliwa na viongozi wa madhehebu ya kikristo nchini na kusisitiza kuwa kanisa lina nafasi kubwa ya kushiriki katika masuala ya umma tofauti na kauli UNK kuwa jukumu lake ni la UNK |
waraka huo umedai kuwa kanisa litaendelea kushika hatamu za uongozi na kamwe halitakubali kupoteza sauti katika masuala yanayohusu nchi na kueleza mkakati wa kuunga mkono chadema kwenye uchaguzi mkuu ujao |
waraka huo UNK masikitiko ya kanisa kukataliwa baadhi ya mambo ambayo UNK kuwa yana athari kwa mshikamano wa taifa kama vile suala la kuanzishwa mahakama ya kadhi na tanzania kujiunga na jumuiya ya kiislamu duniani |
suala la mahakama ya kadhi na kujiunga na oic yalipingwa na kanisa lilisisitiza hapo awali kwa kuwa lilieleza madhara yatakayotokea kwa vyombo hivyo lakini serikali ya awamu ya nne UNK kauli ya kanisa ilidai sehemu ya taarifa hiyo na kuendelea kueleza vile vile ikumbukwe kuwa kanisa halina manufaa kwa serikali hii kwa... |
masuala haya yote kanisa UNK kuvumilia kuna haja za maksudi kukabiliana na serikali hii ya ccm katika chaguzi zijazo |
muelekeo wa kanisa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu kwa wakristo wote wa tanzania kwa chama chetu cha chadema katika uchaguzi ujao |
waraka huo ulidai kuwa maandalizi yote yamekamilika ikiwa ni pamoja na kukutana na viongozi na kutengeneza mtandao mzuri UNK endelevu kazi iliyobaki ni kuhamasisha wakristo wote kupigia kura chadema ili kulinda maslahi ya kanisa |
ofisa habari wa chadema bwana david kafulila alipoulizwa na gazeti hili kwa simu alikiri kuwepo kwa taarifa hizo ofisini kwake kwa zaidi ya wiki mbili zilizopita na kueleza kwamba hizo ni propaganda zinazoenezwa na chama kimoja cha upinzani kujaribu UNK chama chake |
nimezipata taarifa hizo zaidi ya wiki mbili waraka huo waligawa viongozi wa chini ili kukimaliza chadema sisi hatutaki kabisa kujihusisha na masuala ya dini chama hiki ni cha wote hatuwezi kukataa kuungwa mkono na wakristo alisema bwana kafulila |
alisema kuhusisha dini na vyama vya siasa ni hatari kwani inaweza kusababisha umwagaji damu na kuongeza kuwa kufanya hivyo UNK dini husika pia ni dhambi kwa mwenyezi mungu |
alipoulizwa naibu katibu mkuu wa chadema bwana zitto kabwe kuhusu taarifa hizo alisema kuwa hana jibu lolote no UNK |
msaidizi wa rais wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki tanzania father UNK alipoulizwa kuhusu suala hilo alisema kanisa katoliki halina taarifa zozote kuhusu waraka huo na kueleza kuwa jambo hilo si la kweli kwa kuwa msimamo wa kanisa ni kutounga mkono chama chochote cha siasa |
sina taarifa hizo pia naamini hazina ukweli |
kanisa kamwe haliwezi kuungana na chama chochote cha siasa kama taarifa hizo UNK basi hazina ukweli wowote alisema father UNK |
wasema serikali UNK UNK popote |
pia haiwezi kudaiwa malipo hata ya shilingi kumi baadhi ya wanasheria na wanasiasa nchini wamesema serikali haiwezi kuingia kwenye kesi ya aina yoyote ile kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji endapo itachukua uamuzi wa kutaifisha mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya dowans na kutowalipa hata shilingi moja |
kauli hizo zinakuja siku moja baada ya naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana zitto kabwe kuitaka serikali kutaifisha mitambo hiyo huku akiitaka umeme unaozalishwa na UNK ni ya independent power tanzania limited yenye uwezo wa kuzalisha megawati kumi sifuri kuingizwa kwenye gridi ya taifa ili kui... |
akizungumza jana na majira kwa kutoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu hoja hiyo mwanasheria mwandamizi nchini bwana tundu lissu alisema kauli ya mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini bwana william shellukindo kuwa endapo serikali itakubali mapendekezo hayo taifa UNK kwenye kesi si sahihi kwani mikataba hiyo UNK kuwa U... |
hoja ya shellukindo finyu |
nchini haiwezi kushitakiwa popote pale kama UNK mitambo ya dowans tena watu hao hawatakiwi kulipwa hata hata shilingi kumi ndivyo sheria za uwekezaji UNK alisema alisema kuwa haoni sababu ya serikali kuchelewa kufanya hivyo kwani UNK mzigo mzito na kupata hasara kutokana na nchi kukosa UNK kuishauri kufanya kila linal... |
kwa upande wake katibu mkuu wa chadema daktari wilbroad slaa alisema anashangaa kuona serikali inaogopa kutaifisha mitambo hiyo huku ikitambua kuwa UNK hapa nchini UNK sheria ya rushwa UNK wala hatuhitaji UNK serikali wala mtu yoyote katika hili kwenye kuchukua maamuzi au UNK |
lakini bado UNK hata moja |
alisema mmoja wa wananchi bibi hellen mgomba alisema upungufu huo unasababishwa na utendaji mbovu wa serikali kushindwa kuchukua hatua za uhakika kwenye matatizo ya namna hii na kujikuta ikiingia kwenye hasara |
hatuwezi kuingia gharama bila sababu za msingi wakati UNK wetu wataalamu lakini mambo UNK hayaendani na hali halisi wanatakiwa kuchukua hatua madhubuti ili UNK na mgawo UNK alisema waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu hatua hiyo alieleza kuwa alikuwa kwenye mkutano |
sasa niko kwenye vikao vyangu bwana nitafute baadae |
alisema na kukata simu |
tanzania inayo nafasi kubwa kutumia fursa zilizopo katika nyanja ya biashara ya kimataifa iwapo sekta muhimu katika usafirishaji na uchukuzi kama vile bandari na reli zitaongeza ufanisi katika kutekeleza majukumu yake tofauti na ilivyo sasa |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri wa biashara viwanda na biashara bibi mary nagu alipozungumza na gazeti hili baada ya kuuliza nafasi ya sekta hizo katika kuisaidia tanzania kushindana vizuri katika ushindani uliopo katika biashara ya kimataifa |
ili tuweze kushindana vizuri na kutumia fursa kadhaa zilizopo katika biashara ya kimataifa lazima kuwepo na ushirikiano wa sekta nyingi kwa mfano bandari na reli lazima UNK ufanisi wake |
bandari inajaribu kujitahidi lakini kwa kweli bado sana |
bibi nagu aliongeza kuwa kukosekana kwa ufanisi unaotakiwa katika sekta kama hizo kunasababisha ongezeko la gharama na hatimaye gharama katika bei ya bidhaa hivyo kufanya ushindani kuwa mgumu |
mkurugenzi mkuu wa shirika la biashara duniani bwana pascal lamy alisema kuwa wako tayari kuisaidia bandari hiyo hasa katika maeneo ya kuratibu shughuli zake na kuwawezesha wafanyakazi UNK |
bwana lamy alisema UNK hawatoi misaada ya kifedha moja kwa moja kama mashirika mengine UNK na isipokuwa wanaweza kutumia nafasi waliyonayo kushawishi ili kusaidia bandari hiyo kushindana na kuisaidia nchi katika biashara ya kimataifa |
mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya bandari nchini bwana ephraim mgawe alisema pamoja na changamoto UNK bandari ya dar es salaam wamekuwa wakichukua hatua ili kuboresha utendaji kazi UNK bandari ya dar es salaam kutimiza wajibu wake kulingana na mahitaji yaliyopo |
chama cha maendeleo na demokrasia manispaa ya morogoro UNK naibu mstahiki meya wa manispaa ya UNK amir nondo kuwa anaingilia mchakato wa demokrasia katika maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa mjini hapa |
katika barua yao ya malalamiko ya oktoba kumi na nne mwaka huu kwenda kwa msimamizi wa uchaguzi manispaa ya morogoro katibu mwenezi wa chadema bwana elias mwalusako amedai kuwa bwana nondo amekuwa UNK mgombea wao kwa nafasi ya uenyekiti wa mtaa kata ya mlimani bwana richard chacha ajitoe kuwania nafasi hiyo vinginevyo... |
amedai mgombea wao ambaye kwa sasa ni mtumishi wa halmashauri hiyo amekuwa akishinikizwa na bwana nondo ambaye pia ni diwani wa kata ya mlimani kujitoa katika uchaguzi huo hali ambayo inaweza kuhatarisha demokrasia na hivyo kumuomba msimamizi wa uchaguzi kuchukua hatua haraka |
bwana mwalusako pia amedai kuwa mchakato mzima umegubikwa na kasoro mbalimbali katika kata za bigwa UNK kiwanja cha ndege na sabasaba |
alitaja baadhi ya kasoro kuwa ni madaftari ya wapiga kura kutoandikwa jina la mtaa vituo UNK kwa majina karatasi kwenye daftari la UNK wapiga kura kutokuwa na namba na uandikishaji wa watu wasiokuwa na sifa ya ukaazi katika eneo husika |
akijibu tuhuma hizo bwana nondo alisema kuwa UNK mgombea huyo kujitoa na kwa nafasi aliyonayo katika siasa unaibu meya na ujumbe wa vikao mbalimbali vya ccm kutoka ngazi ya tawi hadi taifa angekuwa ametumwa na ccm kuwarubuni wagombea wa vyama vingine UNK katika uchaguzi angepata faraja na UNK maagizo hayo |
haraka sana |
hata hivyo ametahadharisha kwamba watumishi wa halmashauri ya manispaa ya morogoro na UNK kugombea ni lazima wachague moja kuendelea na utumishi wao kwenye manispaa hiyo au kuingia kwenye uongozi wa serikali za mitaa kwa kuwa endapo UNK nafasi zote mbili kutakuwa na mgongano wa kimaslahi katika uwajibikaji |
jengo la ghorofa moja jijini dar es salaam UNK na kusababisha uharibifu wa mali kutokana na ujenzi uliokuwa ukiendelea pembezoni mwa jengo hilo |
taharuki hiyo ilitokea jana saa tano asubuhi katika makutano ya barabara za UNK na UNK katika jengo lililopo pembezoni mwa barabara hizo lililokuwa likiendelea kujengwa huku wenyeji na majirani wakiendelea na shughuli zao kama kawaida |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.