text
stringlengths
1
1.32k
mmoja wa wapangaji katika UNK hilo bwana bashir UNK na mfanyabiashara katika jengo hilo UNK alisema kuwa wakati ujenzi ukiendelea ghorofa hilo UNK wamepanga kwenye vyumba vya chini ilikuwa UNK dalili zote za kuanguka jambo UNK waishi hapo kwa hofu siku zote
alisema mkandarasi wa jengo lililokuwa likijengwa aliwaeleza kuwa kuporomoka kwa jengo hilo unatokana na kuchimbwa vibaya kwa msingi ambao UNK kwa kuingia ndani na kulifuata jengo hilo UNK
palikuwa UNK kienyeji sana kwani UNK kabisa namna ya kuchimba ambayo UNK madhara alisema na kuongeza kuwa huenda mkandarasi huyo alikuwa anatumia mafundi wasio na uwezo
baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo bibi elizabeth joseph alisema kuwa ujenzi huo haukuwa na kibao kinachoonesha mmiliki wa jengo hilo wala mkandarasi wake jambo linalotia shaka
baada ya tukio hilo lilikuja gari likiwa UNK bango linaloonesha kibali cha ujenzi mkandarasi na mmiliki wa jengo hilo
muda mfupi baada ya tukio hilo kwa mujibu wa mashuhuda hao jeshi la polisi lilifika katika eneo hilo na kuwachukua baadhi ya mafundi waliokuwapo katika eneo hilo kwa ajili ya mahojiano zaidi
siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa iringa mohamed abdulaziz kuahidi mbele ya wakulima wa chai wa lupembe kuufikisha mgogoro wa kiwanda cha chai kwa rais jakaya kikwete baadhi ya wakulima wamedai uwezo wa kukifungua kiwanda hicho upo mikononi mwa mkuu mwake na siyo rais
wakizungumza na majira jumapili baadhi ya wakulima wamedai kiutawala mkuu huyo anao uwezo wa kulimaliza tatizo hilo kutokana na kuamuru kutekelezwa kwa maagizo ya kamati ya ulinzi ya wilaya njombe UNK agosti kumi na mbili mwaka jana ambayo viongozi wa uvamizi wa kiwanda hicho UNK hata hata kipengele kimoja
mmoja wa wakulima aliyezungumza na gazeti hili aliyeomba jina lake lisitajwe UNK mwandishi wa habari UNK barua iliyokuwa na maagizo ya kamati hiyo na nakala yake kufikishwa kwa mkuu wa mkoa ambapo uongozi huo wa wilaya ilitoa siku saba wavamizi wanaojiita mungiki wawe wameondoka na kufuata mkondo wa sheria katika kuda...
walidai kuwa sasa ni zaidi ya mwaka mmoja bado wavamizi hao wapo kiwandani hapo na kuzuia uzalishaji jambo linaloendelea kuwatia umaskini wananchi wengi na kudai pia viongozi hao UNK vyama tisa UNK muungano wa vyama vya ushirika vya lupembe UNK mkutano na kujadili maslahi ya wanachama agizo ambalo UNK hadi leo
sisi UNK huku wavamizi hao kwa mujibu serikali UNK sheria na UNK kiwanda na walipewa siku saba kuhakikisha kiwanda na mali zote pamoja na watumishi wanakuwa katika hali ya usalama sasa tunashangazwa na mkuu huyo UNK hatua na UNK mzigo rais kikwete alisisitiza mkulima huyo
pia alisema kuwa iwapo mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya njombe walishinda kutumia njia za utawala kuwachukulia hatua mungiki hao wengeweza kutumia njia ya kutekeleza amri ya mahakama kuu ya ardhi ambayo iliamua kiwanda UNK katika hali yake ya awali wakati mgogoro wa wanahisa ukiendelea
wakulima hao walidai kauli hiyo ya mkuu wa mkoa ina nia ya kutaka UNK mgogoro huo huku wao wakiteseka
pia ina lengo la UNK wao na serikali kwa kuwa UNK utawala wa sheria
endapo viongozi wa wilaya na mkoa UNK basi bila shaka kuna watu wazito waliopo kwenye UNK huo wanaohitaji amri ya rais alisema mmoja wa wakulima hao
katika siku za nyuma baada ya madalali wa mahakama kupigwa na kundi la wavamizi wanahabari UNK habari juu ya mgogoro huo nao walipigwa mkuu wa mkoa UNK kamati ya kukifungua kiwanda lakini kamati hiyo ilijikuta inashindwa na hatimaye mgogoro huo kuchukua zaidi ya misimu miwili ya uvunaji wa zao la chai
na kulwa mzee mashahidi watatu wa upande wa mashitaka katika kesi ya mauaji yaliyotokea ubungo dar es salaam wamedai kortini kuwa shilingi bilioni moja zilizotolewa na benki kuu ya tanzania kwa ajili benki ya nmb tawi la wami morogoro UNK
ushahidi huo ulitolewa mahakama kuu dar es salaam jana mbele ya jaji UNK rugazia mashahidi hao walikuwa wakiongozwa na wakili wa serikali mwandamizi bwana obadia UNK
shahidi wa kwanza ambaye ni kaimu meneja wa nmb kibaha ambaye wakati wa tukio aprili ishirini ishirini sifuri sita alikuwa meneja shughuli wa tawi la wami morogoro bwana abdul kirumbu alidai aliandaa barua ya kuomba shilingi bilioni moja nmb tawi la benki house dar es salaam
alidai barua nyingine alipeleka ffu morogoro kwa ajili ya kuomba askari wa kumsindikiza mfanyakazi wa benki hiyo bwana evarist manyoni aliyekuwa na jukumu la kufuata fedha dar es salaam maombi UNK na askari wanne waliambatana na marehemu manyoni katika safari hiyo
msafara huo ukitokea morogoro UNK fedha chakavu UNK kwa matumizi kwa ajili ya kuzirudisha dar es salaam na kufuata shilingi bilioni moja UNK
shahidi alidai fedha chakavu zilizokuwa UNK ni dola za marekani tatu ishirini tano euro mia moja na ishirini na shilingi milioni mia moja na ishirini na nne ambazo UNK salama
bwana kirumbu alidai shilingi bilioni moja UNK dar es salaam kwa ajili ya tawi la wami UNK na alipata taarifa kuwa msafara ulivamiwa maeneo ya ubungo
shahidi wa pili ofisa wa benki hiyo tawi la mbagala bwana ibrahim mfaume ambaye wakati wa tukio alikuwa ofisi ya kanda dar es salaam alidai aliidhinisha gari moja kwa ajili ya kubeba shilingi bilioni moja kwenda wami morogoro lakini muda mfupi baada ya kuondoka alipewa taarifa msafara UNK aende hospitali ya taifa muhi...
alidai alipofika mnh alimkuta dereva wa gari alilotoa bwana juma nyundo na ali omari wakiwa wamejeruhiwa na mfanyakazi wa nmb wami bwana manyoni amekufa
majehuri wengine ambao ni askari kutoka morogoro UNK
naye shahidi wa tatu bwana UNK UNK ambaye ni meneja wa nmb tawi la dodoma katika ushahidi wake alidai akiwa meneja uendeshaji tawi la benki house dar es salaam alikuwa UNK kiwango cha fedha UNK na matawi husika UNK
alidai alipokea maombi kutoka benki ya wami morogoro aprili kumi na nane ishirini sifuri sita ya shilingi bilioni moja
siku iliyofuata alipeleka maombi ya kiasi hicho cha fedha bot na aprili ishirini mwaka huo fedha hizo zilipatikana na kukabidhiwa kwa marehemu evarist manyoni kwa ajili ya kuzifikisha tawi la wami
washitakiwa katika kesi hiyo ni mashaka mahenge rashid lembresi john mndasha martine mndasha philipo mushi jackson wangu haji hamisi yasin juma hamisi mjata musa mustafa mt elfu sabini na saba na mia saba na hamsini na nne pte UNK UNK wickliff angaruki rashid abdikadiri james chamangwana na hussein iddi
awali ilidaiwa aprili ishirini ishirini sifuri sita maeneo ya ubungo dar es salaam washitakiwa walimuua evarist manyoni
pia siku hiyo hiyo maeneo ya ubungo washitakiwa walimuua kwa makusudi askari d elfu sita na mia tatu na sitini na moja pc abdallah maro
kesi inaendelea leo
mizengwe ya kurudisha nyuma juhudi za mbunge wa maswa john shibuda kutaka kukamilisha nia yake ya kumnggoa rais kikwete katika uchaguzi wa kiti cha urais mwakani inazidi kutokota baada ya makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi pius msekwa kusema kuwa hana ubavu wa kumpiku rais kikwete
alisema kuwa licha ya katiba ya ccm kuruhusu kila mwanachama aliye na sifa kugombea lakini bado mbunge huyo hawezi UNK rais kikwete katika nafasi hivyo
bwana msekwa alitoa kauli hiyo alipozungumza na shirika la utangazaji la uingereza la bbc jana
bwana UNK pia aliwahi kuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
alisema kuwa kila mwanachama anayo sifa na kuongeza kuwa baada ya mwanachama kuchukua fomu na kurejesha mchakato hupita na kuwa yule aliye na sifa ndio UNK hatamu huku akimtaja rais kikwete kuwa ndiye aliye na sifa kwa sasa
bwana shibuda amekuwa akikumbwa na misukosuko mbalimbali ndani ya chama chake
julai mwaka jana alijikuta UNK nje ya kikao cha kamati ya siasa ya ccm ya wilaya ya maswa
ilidaiwa kuwa hakuwa mjumbe halali wa kamati ya siasa
alitimuliwa na mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo bwana peter UNK na katibu mwenezi na itikadi bwana jeremiah UNK
baada ya kutangaza nia yake ya kumnggoa rais kikwete kwa kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu mwakani UNK huku akisema ana uwezo wa UNK na kuongoza nchi
pia alionesha kushangazwa na uamuzi wa kamati kuu na halmashauri kuu kuondoa jina lake katika UNK UNK cha nafasi ya uenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa
kipindi hicho alikaririwa na vyombo vya habari akisema potelea mbali liwalo na liwe nimechoka kuwa mfungwa wa kisiasa ndani ya ccm wakati nina uwezo wa kuwaongoza watanzania
UNK suala la rushwa jinsi UNK katika uchaguzi bwana msekwa alisema suala la fedha kuhusishwa katika uchaguzi ni suala la kawaida kwa kuwa hakuna uchaguzi unaofanyika bila kutumia fedha
aliongeza kuwa rushwa na matumizi ya fedha lazima UNK
ni kwa UNK magari nyumba kutokana na ukosefu wa nyumba na usafiri wa uhakika kwa watumishi wa idara ya mahakama serikali inapoteza shilingi milioni mia mbili na arobaini na sita kila mwezi kwa ajili ya kupanga nyumba na gharama za usafiri wa majaji arobaini na moja uchunguzi uliofanywa na majira jumapili kwa miezi miw...
kiasi hicho cha fedha inayotumiwa kwa usafiri na malazi kwa maafisa hao ni sawa na shilingi bilioni mbili tisa kwa mwaka mmoja tu
mara baada ya uteuzi wa baraza la mawaziri na watumishi wengine wa serikali ya awamu ya nne walijikuta wakiwa hawana nyumba za kuishi baada ya kuwa UNK katika utaratibu UNK kelele wa kuuza nyumba za serikali
wapo baadhi walioripotiwa kuishi katika hoteli za kitalii kwa gharama za UNK
wengine walilazimika kuishi katika nyumba za ndugu zao baada ya kutakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
hata hivyo serikali UNK nyumba mpya UNK eneo la mikocheni watumishi wa serikali wakiwamo mawaziri makatibu wakuu na watumishi wengine huku ikiwaacha majaji wakiendelea kuishi katika hoteli hadi serikali ilipoamua UNK nyumba za kuishi
uchunguzi umeendelea kubaini kuwa serikali inalazimika kulipa kodi ya shilingi milioni tatu kwa mwezi kwa ajili ya jaji mmoja
kuna majaji arobaini na moja ambao hawana nyumba na hivyo kuilazimu serikali kupoteza shilingi milioni mia moja na ishirini na tatu kila mwezi kiasi ambacho kingeweza kuokolewa ikiwa wangekuwa wakiishi kwenye nyumba za serikali
mbali na nyumba majaji hao wamekuwa UNK teksi kwa ajili ya usafiri ili kurahisisha majukumu yao ya kikazi baada ya kukosa magari na kuilazimu serikali kulipa kiasi cha shilingi kumi sifuri sifuri sifuri sifuri kwa siku ambazo ni jumla ya shilingi milioni tatu kwa mwezi kwa jaji mmoja
katika kipindi cha mwaka mmoja serikali inatumia takribani shilingi bilioni tatu kwa ajili kugharimia usafiri na malazi ya majaji hao
uchunguzi huo umeendelea kubaini kuwa kuna uwezekano kuwa majaji hao wataendelea kupanga na kutumia magari hayo ya kukodi kwa muda mrefu kwa kuwa huo ni mradi mzuri kwa waliowekeza kwenye nyumba na usafiri kwa maafisa hao wa serikali
gazeti hili wiki iliyopita liliandika kuhusu serikali UNK kwenye gharama kubwa bila ulazima wowote kwa kutumia shilingi bilioni kumi na tano kununua mashangingi kwa vigogo wa serikali huku sekta za huduma za jamii UNK kutokana na hali mbaya ya kiuchumi
adaiwa pia kumtishia kwa bastola
ni mpendazoe mpiga vita ufisadi
yeye asema hayo ni mambo ya siasa mbunge wa jimbo la kishapu mkoani shinyanga bwana fred mpendazoe amejikuta matatani baada ya kutuhumiwa kumshambulia mmoja wa makada wa chama cha mapinduzi wilayani UNK
tukio hilo linadaiwa kutokea juzi usiku mjini shinyanga jirani na kiwanda cha UNK mikate UNK na kanisa katoliki
imedaiwa mbunge huyo alimshambulia kada huyo wa ccm aliyetajwa kwa jina la bwana abdulkadir mohamed mkazi wa kishapu kwa UNK makofi na kumsababishia maumivu
akizungumza na majira jumapili jana katika kituo cha polisi cha mjini shinyanga bwana mohamed alidai alifikwa na mkasa huo juzi saa nne thebathini usiku alipokuwa akitokea kununua UNK ambapo ghafla aliitwa na bwana mpendazoe aliyekuwa jirani na UNK hiyo ya mkate akiwa na vijana wengine wawili
bwana mohamed alidai alipokuwa akirejea katika nyumba ya wageni aliyofikia ya mtemi alisikia mtu akimwita na UNK ni mbunge wake alikwenda mpaka eneo alilokuwa amesimama lakini hata hivyo baada ya kumsalimia ghafla alianza kutukanwa matusi ya nguoni huku akimuhoji kwa nini ameacha kumsaidia
kwa kweli nilishangaa na kushitushwa na uamuzi wa mheshimiwa mbunge maana UNK ghafla na kuanza UNK makofi usoni mpaka UNK sehemu ya mdomo wa chini na kusababisha shati nililokuwa nimevaa UNK alieleza bwana mohamed
hata hivyo alidai kuwa baada ya kubaini kuwa bwana mpendazoe alikuwa hafanyi mzaha aliamua kujinasua kutoka mikononi mwake na kutaka kukimbia lakini ghafla alitoa bastola yake na kumwelekezea akidai kuwa akikimbia angeweza UNK mara moja
UNK sana ilibidi UNK lakini wakati huo wenzangu niliokuwa nao bwana isaack UNK na bwana paulo charles walikuwa UNK ili waweze kunisaidia baada ya kubaini kuwa nilikuwa UNK alipowaona UNK UNK silaha yake mfukoni na kuondoka katika eneo hilo wenzangu walifika na UNK kilichotokea alieleza
alisema kutokana na hali hiyo waliamua kwenda katika kituo cha polisi kutoa taarifa ambako alipatiwa fomu namba tatu kwa ajili ya kwenda kutibiwa lakini hata hivyo alidai kuwa polisi walikataa kufunga jalada usiku huo kwa madai kuwa hayo yalikuwa ni mambo ya kisiasa
kwa upande wake bwana mpendazoe alikanusha madai ya kada huyo wa ccm na kueleza kuwa kwa usiku huo wa juzi UNK mtu ye yote na kudai kuwa kijana huyo ana matatizo yake
mimi UNK huyo kijana wala UNK kabisa nafikiri haya ni mambo ya siasa tu anatunga mimi UNK UNK na watumishi wa basi la mombasa raha ambao walikuwa UNK eneo ambalo nilitaka kuteremka sasa kama yeye anadai UNK basi aende polisi waje wanikamate alieleza bwana mpendazoe
kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga bwana daud siasi alikiri kupata taarifa kuhusu tukio hilo
hata hivyo alisema angeweza kutoa maelezo kwa kina mara baada ya kupelekewa taarifa rasmi kwa maandishi
bwana mpendazoe ni kati ya wabunge wa ccm ambao wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita ufisadi na kutaka viongozi waliotumia madaraka yao vibaya akiwamo rais mstaafu benjamin mkapa wachukuliwe hatua za kisheria
waziri mkuu mizengo pinda UNK baadhi ya wakazi UNK eneo la shamba kubwa la mngeta wilayani kilombero mkoani morogoro kuondoka kistaarabu kupisha uwekezaji mkubwa katika kilimo cha kibiashara wa pamoja kati ya shirika la umma na kampuni ya binafsi
pinda alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara mngeta juzi katika siku yake ya pili ya ziara ya siku nne ya mkoa wa morogoro kukagua shughuli za kilimo hasa mashamba na vituo vya utafiti
alisema wakazi hao wapatao mbili sifuri sifuri sifuri wa eneo la mngeta na UNK ambao UNK hekta thebathini sifuri katika shamba hilo la zaidi ya hekta tano sifuri sifuri sifuri lenye hati miliki itabidi waondoke na wapatiwe eneo jingine la karibu na wasaidiwe kuanzisha upya shughuli zao za kilimo
viongozi wa mkoa wa morogoro na hasa wilaya ya ifakara kwa kushirikiana na halmashauri na wamiliki wa shamba la mngeta wafanikishe shughuli hii kwa njia za kistaarabu badala ya kutumia nguvu alisema
shamba hilo la mpunga linamilikiwa kwa pamoja baina ya mamlaka ya kuendeleza bonde la mto rufiji na kampuni binafsi ya kuendeleza kilimo ya wawekezaji wa uingereza UNK
UNK na UNK wameunda kampuni ya pamoja UNK kilombero UNK limited UNK kilimo cha kibiashara cha aina yake nchini kwa ushirikiano wa shirika la umma na kampuni binafsi
shamba hilo lilianzishwa mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na sita chini ya uwekezaji wa pamoja wa kampuni ya pamoja ya korea ya kaskazini na tanzania lakini UNK baada ya mradi huo wa kushindwa kuendelea
rais jakaya kikwete amesema kuwa kwa UNK mabenki yote duniani hayana tabia ya kukopesha watu maskini na badala yake hukopesha wale ambao tayari UNK
alisema wananchi wanatakiwa kuwezeshwa ili waweze UNK na kisha wapate sifa ya kuaminiwa na kukopeshwa na mabenki kwa lengo la kuinua vipato vyao
alitoa kauli hiyo juzi dar es salaam katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na mbunge wa same mashariki bibi anne kilango kwa ajili ya harambee iliyolenga kuchangisha fedha za ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha kusindika tangawizi kilichopo wilayani same mkoani kilimanjaro ambapo pesa taslimu shilingi mia mbili na th...
benki UNK maskini hukopesha wale UNK
maskini wa mamba lazima wasaidiwe na ifike mahali benki UNK na tukisubiri UNK mpaka yesu atarudi alisema rais kikwete
katika UNK hiyo rais kikwete alichangia ya shilingi milioni tano na kuahidi kuwa serikali UNK na kuangalia sula UNK ili kujua namna gani UNK
rais kikwete alitaka mambo matano yanayoweza kufanikisha kilimo kuwa ni maji mbegu bora mbolea dawa za wadudu na ujuzi wa kutosha
alisema kuwa kitendo cha bibi kilango kufikiria suala la kuwawezesha wakulima katika jimbo lake UNK kuungwa mkono kwa kuwa UNK na UNK watu hao kuwa na sifa ya kupata mkopo kutoka katika mabenki
rais kikwete alisema kuwa miongoni mwa sababu zilizomfanya kukubali dhana ya bibi kilango ni kutokana na kulenga kauli mbiu ya kilimo kwanza hivyo aliona uwepo wa sababu za kumsaidia kukamilisha malengo hayo
bibi kilango alisema kuwa amefarijika baada ya kuona kuwa jambo lake linafanikiwa kila mtu UNK kinamna yake mimi UNK kitu changu lazima mpaka nione mwisho wake nimefurahi sana hasa baada ya kuona UNK mkono alisema
waziri wa fedha na uchumi bwana mustapha mkulo amesema kuwa kuna upungufu mkubwa katika utayarishaji wa taarifa za hesabu katika sekta mbalimbali hapa nchini
akizungumza dar es salaam juzi wakati wa mahafari ya thebathini na moja ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu bwana mkulo alisema baadhi ya wanataaluma UNK taarifa za fedha kwa kufuata kanuni na viwango vya UNK
alisema ripoti zinazotolewa na mdhibiti na mkaguzi mkuu hesabu za serikali zinaonesha baadhi ya wizara idara taasisi za umma na halmashauri hazikupata hati safi kutokana na kutofikia viwango vinavyohitajika
mhasibu UNK na kuifahamu vyema kazi yake anahitajika kutumia ujuzi alioupata katika mafunzo yake ili kuongeza ufanisi sehemu yake ya kazi na si kupindisha taratibu za kifedha kwa maslahi binafsi alisema
aidha bwana mkulo aliongeza kwa kusema kuwa ripoti za tafiti mbalimbali kutathmini hali ya rushwa na utawala bora nchini hivi karibuni zimeonesha kuwa matatizo mengi ya kiuchumi kisiasa na kijamii yanatokana na UNK kwa misingi ya utawala bora
uzoefu unaonesha kuwa mashirika mengi hasa yale ya umma ambayo yanazingatia utawala bora ari ya utendaji kazi upande wa wafanyakazi huwa ni kubwa kutokana na uhusiano mzuri kikazi na hivyo kuleta maendeleo katika taasisi husika alisema
alisema katika kutekeleza dhima nzima ya utawala bora serikali UNK UNK bodi hiyo ili iwe na uwezo zaidi wa kusimamia na kuhakikisha kuwa taarifa zote za fedha zinafuata miongozo UNK
kwa upande wake mwenyekiti wa bodi ya taifa ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu daktari mussa UNK alisema idadi ya wahitimu katika shahada ya juu ya uhasibu imepungua ukilinganisha na mwaka jana kutokana na mabadiliko katika mitaala na mitihani