text stringlengths 1 1.32k |
|---|
katika mahafali hayo wahitimu mia tatu na sabini kati yao wakiwemo mia mbili na sabini na sita wa cpa na tisini na nne katika ngazi ya utunzaji vitabu vya hesabu walipata vyeti vya UNK |
serikali imetakiwa kuacha siasa katika suala la umeme badala yake itoe nafasi kwa watalaamu kulipatia ufumbuzi tatizo hilo |
ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha nccr mageuzi bwana james mbatia alipozungumza na waandishi wa habari dar es salam jana katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa |
bwana mbatia alisema kuwa badala ya kuleta umeme serikali imekuwa ikitumia muda mwingi katika malumbano badala ya kutafuta ufumbuzi wa kitaalamu katika suala la umeme |
tuache siasa na lawama zisizo na msingi bali tukae na kufikiria namna ya kuyapatia ufumbuzi masuala muhimu katika jamii ikiwa ni pamoja na tatizo hili la umeme ambalo UNK nyuma shughuli za uzalishaji alisema |
alisema serikali imekuwa ikipoteza zaidi ya shilingi bilioni tatu sita kila mwezi kutokana na mkataba wa iptl huku maisha ya watanzania yakiendelea kuwa duni |
mimi mwenyewe UNK masuala ya umeme kama UNK kutoa mchango wangu niko tayari kufanya hivyo na UNK kabisa masuala ya kisiasa katika masuala yenye maslahi kwa taifa aliongeza |
aidha bwana mbatia ameiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria wale wote waliohusika katika mikataba mibovu ya dowans richmond na iptl na kuisababishia serikali hasara kubwa |
akizungumzia suala la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini oktoba ishirini na tano bwana mbatia aliwataka wagombea wa nafasi mbalimbali kujenga hoja zinazolenga kuboresha maisha ya watanzania na si kuwalaghai kwa rushwa na ahadi za uongo |
kwa upande wake mwanasheria wa chama hicho daktari sengondo mvungi alisema kuwa wakati umefika sasa kwa chaguzi za serikali za mitaa kusimamiwa na tume huru ya uchaguzi na si ofisi ya waziri mkuu |
alifafanua kuwa serikali ya tanzania imeundwa na chama kimoja na kwamba uchaguzi huo kusimamiwa na ambayo ni wakala wa serikali ni sawa na mchezaji kuwa mwamuzi kwa wakati mmoja |
mwaka ishirini sifuri nne UNK kesi kupinga uchaguzi huu kuendeshwa na tamisemi mahakama haijatoa uamuzi mpaka sasa tumeamua kushiriki uchaguzi si kwa kuunga mkono sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa bali kuwapa wananchi haki yao ya msingi ya kuchagua alisema |
daktari mvungi alisema kuwa wagombea wa vyama vya upinzani wamekuwa wakati mgumu kwa kufanyiwa vitendo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kunyimwa fomu za kugombea na kuenguliwa kwa visingizio vya kukosa sifa za kugombea |
raia wa china bwana zhang hong fa ameuawa na wenzake watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na majambazi juzi jioni |
kufuatia tukio hilo raia wengine wa chini UNK kuwa mwenzao amefariki dunia hawakukubali UNK tafrani na kuwatishia madaktari wa hospitali ya tumbi mkoani pwani |
msemaji wa hospitali ya tumbi bwana gerald UNK alisema walipokea mwili ya marehemu na majeruhi wa tukio hilo lakini baada ya wachina hao kuelezwa kuwa mwenzao amefariki walipinga kauli hiyo wakaanza kufanya vurugu hospitalini kwa kuruka sarakasi na kuwatisha madaktari na UNK wa hospitali hiyo |
alisema baada ya kumaliza mbwembwe hizo UNK mwili wa mwenzao na majeruhi na kuondoka katika eneo la hospitali bila kupewa ruhusa ya daktari na kutokomea kusikojulikana |
wakati wa uhai wake marehemu na wenzake walikuwa UNK mabomba ya maji katika kijiji cha kwa mathias wilaya kibaha mkoa wa pwani |
waliojeruhiwa katika tukio hilo na kupelekwa katika hospitali teule ya tumbi ni bwana UNK UNK bo bwana UNK bwana UNK UNK UNK bwana UNK na bwana UNK UNK |
mkuu wa mkoa wa pwani bibi amina said alisema wachina hao walivamiwa na majambazi hayo wakati UNK posho ya wiki vibarua waliokuwa wakifanya kazi ya kutandaza mabomba ya maji |
bibi amina alisema kuvamia na kuporwa kwa wachina hao ni uzembe ulisababishwa na kutofuata taratibu na sheria za fedha kwani walipaswa kuomba ulinzi wa jeshi la polisi wakati UNK posho hizo |
alisema kiasi cha fedha UNK kutoka kwa wachina hao bado hakijafahamika na kwamba serikali kwa kushirikiana na polisi inafanya uchunguzi na msako mkali ili kuwabaini majambazi hao |
madaktari bugando UNK sikuamini macho yangu baada ya kugundua mwanangu ambaye UNK katika hospitali ya rufaa ya bugando kuanzia septemba thebathini mwaka ishirini sifuri tano na baadaye kufariki dunia oktoba tatu mwaka ishirini sifuri tano UNK baadaye UNK naye akiwa hai |
hayo ni maneno ya bibi stella joseph ambaye ni mama mzazi wa binti anayedaiwa kufariki na baadaye kukutwa shambani miaka minne baadaye bibi juliana gembe |
baada ya kifo chake inadaiwa kuwa mwili wake UNK katika makaburi ya sweya nyegezi kata ya mkolani wilayani nyamagana kwa heshima zote zikiwemo misa sala na maombolezo kutoka kwa wakazi wa maeneo ya UNK |
UNK na gazeti hili kwa uchungu bibi joseph amesema kuwa binti yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria na alikuwa amelazwa katika wodi namba nane katika hospitali ya rufaa ya bugando jijini mwanza |
UNK baada ya binti yake kufariki dunia uongozi wa hospitali ya bugando ulitoa kibali cha mazishi chenye nambari sifuri nane sita moja nane sifuri sifuri cha oktoba tatu ishirini sifuri tano na marehemu kuzikwa siku hiyo hiyo kwa kufuata utaratibu wote wa mazishi na baba paroko wa parokia ya mtakatifu augustino aliende... |
mama huyo anasema UNK hisia wala imani zozote za kishirikina kwa sababu yeye ni mcha mungu na kuwa anajali sana maombi hata kuliko dawa za hospitali au UNK kwa ajili ya kuponya magonjwa mwilini |
anasema kuwa wakati UNK mwanawe mgonjwa huyo alikuwa akimwambia kuwa alikuwa anaona watu kadhaa UNK kwa wingi kitandani mwake na kutaka kumchukua na kuwa hata UNK atarudi tu na wala hawezi kuishi nao milele |
mama naona watu UNK kwa wingi kitandani hapa eti wanataka UNK eti UNK UNK ila mimi UNK kunipeleka mie ni jeuri nitarudi tu muda wowote alisikika binti huyo UNK mama yake maneno ambayo UNK na mama huyo |
akisimulia jinsi binti huyo UNK akiwa hai mjumbe wa ccm shina nambari tano kitongoji cha UNK UNK nyegezi bwana sadik ramadhani amesema kuwa mnamo UNK kumi na tano mwaka huu majira ya saa kumi sifuri sifuri jioni UNK umati wa watu ukifika nyumbani kwake na kumweleza kuwa kwenye ubalozi wake ametokea kiumbe wa ajabu mwe... |
bwana sadik alisema kuwa aliongozana na umati huo wa watu hadi mahali ambapo binti huyo alikuwa amekaa huku akiwa akionekana kuchoka UNK UNK akiwa hawezi kuongea ila kwa UNK wakati alipokuwa akiulizwa kama anahitaji chakula |
bwana sadik amesema kuwa UNK binti huyo hadi nyumbani kwake huku UNK na watu hao na kumpikia ugali ambao alikuwa UNK bila UNK |
amesema wakati UNK zaidi aligundua kuwa ulimi wake ulikuwa ndani na UNK huku akiwa na meno mawili moja likiwa juu na lingine chini |
pia UNK mwake kulikuwa na michirizi kama ya mtu ambaye alikuwa UNK fimbo |
bwana sadik anasema binti huyo kwa muda mrefu alikuwa UNK macho hata mtu akijaribu UNK UNK tena hali ambayo anaendelea nayo hata wakati huu akiwa katika wodi c moja katika hospitali ya bugando UNK akili yake |
bwana sadiki amesema kuwa kadri watu walivyokuwa UNK kwenda kumwangalia baadhi yao walimtambua kuwa ni binti ambaye alifariki mwaka ishirini sifuri tano na baadaye UNK |
wengine ni wale ambao walikuwa wanasoma naye katika shule ya msingi UNK iliyoko nyegezi jijini mwanza |
amesema kuwa giza UNK ilibidi UNK watu wote waliokusanyika katika nyumba yake hadi siku iliyofuata wakati alipowasiliana na mtendaji wa kata ya mkolani ambaye alifika nyumbani kwake akiwa na polisi wakamchukua hadi bugando kwa uchunguzi zaidi |
mama mzazi wa binti huyo anasema UNK UNK zote alizokuwa nazo binti yake wakati wa uhai wake alithibitisha kuwa ni mtoto wake ambaye alifariki mwaka ishirini sifuri tano daktari rodrick UNK wa hospitali ya rufaa bugando katika wodi c moja UNK wagonjwa wenye matatizo ya akili amesema kuwa ugonjwa alionao binti huyo unat... |
naye bwana UNK UNK ambaye ni mkuu wa idara ya afya katika hospitali hiyo alisema kuwa tayari idara yake UNK matukio mawili ya aina hiyo lakini hili la sasa lina utofauti kidogo kutokana na kujitokeza mtu mmoja tu ambaye anadai kuwa mgonjwa ni binti yake |
amesema kesi aliyowahi kuipokea ni ile ya mtoto mmoja aliyejulikana kwa jina la peter ambaye alifariki huko ukerewe na baadaye akaonekana na kukajitokeza ndugu wawili ambao walikuwa wakimgangania na matokeo yake alipopima vipimo vya dna kwa ndugu waliokuwa wakimgangania mmoja wapo ndiye aliyeonekana kuwa ana uhusiano ... |
amesema kuwa serikali ilipotoa kibali cha kufufua kaburi hiyo walikuta kisiki ndicho kilikuwa UNK katika kaburi hiyo badala ya kukuta mifupa ya binadamu |
amesema kuwa hata hospitalini bugando itabidi UNK vipimo vya binti huyo pamoja na wazazi wake ambavyo vitasaidia kubaini kama huyo binti ni wa kwao au vinginevyo ndipo ndugu zake wataweza kupata fursa ya kwenda polisi ili kupata kibali cha kumchukua katika hospitali hiyo akipata nafuu |
hata hivyo kiongozi mmoja wa ngazi ya juu katika hospitali alisema hakuna haja ya vipimo hivyo ambavyo ni gharama kwa vile ndugu walimtambua kutokana na alama na UNK picha UNK akiwa hai ambao ni ushahidi tosha wa kuruhusu jamaa kumchukua binti yake endapo atapata nafuu |
mzozo wa mafuta ambao umekuwa UNK katika baraza la wawakilishi zanzibar unatarajiwa kuibuka katika kamati ya rais mstaafu wa awamu ya pili ali hassan mwinyi ambayo ilianza kukutana na wajumbe wa baraza hilo jana |
kamati hiyo inakutana na wajumbe kupitia chama cha mapinduzi katika ofisi kuu ya ccm UNK mjini hapa kutafuta kiini cha malumbano na uhasama baina ya wabunge wa ccm kwa upande mmoja na wawakilishi UNK chama hicho kwa upande mwingine |
mbali na bwana mwinyi ambaye ni mwenyekiti kamati hiyo iliyoteuliwa na halmashauri mkuu ya ccm UNK pia makamu mwenyekiti wa ccm pius msekwa na mjumbe wa kamati kuu abdulrahman kinana |
jana kamati hiyo ilikutana na wajumbe wa kamati ya uongozi ya baraza la wawakilishi ambayo ipo chini ya waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar shamsi vuai nahodha |
miongoni mwa wajumbe waliohudhuria kikao hicho ni mawaziri waandamizi wa UNK akiwamo waziri wa maji ujenzi nishati na ardhi mansoor yussuf UNK |
ingawa hakukuwa na maelezo ya moja moja mambo UNK kutawala katika kikao hicho ni suala la mafuta na gesi asilia ambalo UNK katika mkutano wa bajeti wa baraza la wawakilishi julai mwaka huu na kusababisha wajumbe kutoa maneno makali UNK serikali ya muungano |
kwa upande wa zanzibar kauli za wezi wa mchana pamoja na wakoloni wanaotaka UNK ndiyo kwa kiasi kikubwa zilizoleta kutoelewana na pengine kusababisha kamati hiyo kuundwa na kutafuta ukweli na sababu ya kuwepo kwa kauli hizo ambazo UNK vikali na rais jakaya kikwete |
mjadala wa mafuta UNK zaidi na hoja ya zanzibar sio nchi iliyotolewa na waziri mkuu mizengo pinda ziliwafanya baadhi ya wawakilishi wakiwamo mawaziri kutoa kauli kali UNK hatua ya kutikisa misingi ya muungano |
baada ya kamati hiyo kumaliza shunguli zake zanzibar itaelekea dodoma kuendelea kukutana na wabunge wakati wa mkutano wao utakaoanza oktoba ishirini na saba mwaka huu pia kuangalia mahusiano baina yao hasa baada ya mgawanyiko uliotokana na mkataba tata wa richmond uliosababisha aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa kuj... |
baada ya mgawanyiko huo UNK kundi la wabunge wanaojipambanua kama wapambanaji dhidi ya ufisadi na wengine UNK nao hali ambayo UNK na mwenyekiti wa chama hicho rais kikwete kuwa kuna uhasama mkubwa kati yao kiasi kwamba mtu hawezi kumwachia mwenzie glasi ya maji |
na grace michael aliyekuwa balozi wa tanzania nchini italia profesa costa mahalu na ofisa utawala wa ubalozi huo bibi grace alfred wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wamekutwa na kesi ya kujibu katika mashitaka yote yaliyokuwa yakiwakabili |
kitendo cha kukutwa na kesi ya kujibu UNK washitakiwa hao kupanda kizimbani na kutoa utetezi wao kuhusiana na kesi hiyo ambapo mei nne wataanza kutoa utetezi huo |
uamuzi huo ulitolewa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam mbele ya naibu msajili wa mahakama ya rufani bwana sivangilwa mwangesi baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi watano wa upande wa mashitaka uliotolewa mahakamani hapo |
akitoa uamuzi huo bwana mwangesi alisema kutokana na ushahidi na vielelezo vilivyowasilishwa korti pasipo shaka imeona ni vyema washitakiwa hao UNK kizimbani kwa ajili ya kutoa utetezi wao katika makosa hayo |
baada ya kutolewa kwa uamuzi huo mahakama UNK washitakiwa wana haki ya kujitetea na kuita mashahidi wa kueleza wanachokifahamu kuhusiana na kesi hiyo |
hata hivyo kwa upande wa profesa mahalu aliiambia mahakama kuwa ataanza kutoa utetezi wake mwenyewe na atakapoona kuna umuhimu wa kuita shahidi mwingine atafanya hivyo |
kuhusiana na bibi alfred katika utetezi wake alisema ataanza kujitetea mwenyewe na baadae UNK kuwa na mashahidi watatu |
washitakiwa walifikishwa kortini hapo wakidaiwa kula njama kuiba matumizi mabaya ya nyaraka za hesabu kwa nia ya kumpotosha mwajiri wizi na kuisababishia jamhuri ya muungano wa tanzania hasara ya mabilioni ya fedha |
katika mashitaka ya kwanza walidaiwa kula njama ya kuiba kinyume cha kifungu cha mia tatu na themanini na nne cha sheria ya kanuni ya adhabu ambapo ilielezwa kuwa wote katika muda na mahali ambapo UNK nchini italia na maeneo mengine walikula njama za kutenda kosa la UNK serikali ya tanzania |
walidaiwa septemba ishirini na tatu ishirini sifuri mbili katika ubalozi wa tanzania nchini italia kwa pamoja wakiwa na nia ya kumdanganya mwajiri wao walitumia hundi namba d mbili tisa ikiwa na maelezo ya uongo kuhusu bei ya ununuzi wa jengo ambalo walidai UNK kwa euro tatu sifuri tisa nane mia saba na arobaini na mo... |
pia ilidaiwa oktoba moja ishirini sifuri mbili wakiwa waajiriwa wa serikali walitumia mkataba wa mauzo ukiwa na maelezo ya uongo wakionesha gharama zilizonunuliwa jengo hilo wakijua taarifa hizo sio za kweli |
ilidaiwa wakiwa katika ubalozi wa tanzania walitumia hati hizo kuonesha mwenye jengo alipokea euro tatu sifuri tisa nane mia saba na arobaini na moja hamsini na nane ikiwa ni gharama halisi ya jengo hilo wakati wakijua UNK serikali |
katika mashitaka ya tano walidaiwa kuiba euro mbili sifuri sita tano mia nane na ishirini na saba sitini wakiwa watumishi wa serikali na vile vile kuisababishia serikali hasara ya euro mbili sifuri sita tano mia nane na ishirini na saba sitini mfanyabiashara wa ndani UNK kwa jina UNK athumani mkazi wa sombetini mjini ... |
kaimu kamanda wa polisi mkoani hap deusdedit nsimeki alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa tatu katika eneo la UNK |
nsimeki alisema kuwa binti huyo alikuwa ni mfanyakazi wa ndani katika nyumba ya bibi UNK mjema ambaye ni mstaafu wa jeshi la polisi |
siku ya tukio binti huyo alimwambia mwajiri wake kuwa anahitaji kufanya kazi zake haraka na baada ya kauli hiyo bibi mjema alimuacha nyumbani akaenda kanisani na alipoondoka mfanyakazi hiyo akanywa sumu ya mimea na kufa |
bibi mjema aliporudi alikuta milango wazi na alipoingia alikuta binti huyo akiwa UNK huku UNK UNK katika chumba alichokuwa UNK |
binti huyo UNK kumuambia mwajiri wake kuwa anataka kufanya uamuzi huo |
polisi wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na kifo cha binti huyo ikiwa ni pamoja na kumtafuta aliyempa mimba UNK |
serikali imeshindwa kueleza kwa uhakika ni lini mgawo wa umeme unaoendelea nchini utaisha badala yake imesema inafuatilia kwa karibu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme ya songas na kihansi UNK |
ni vigumu kutaja tarehe ambayo mgawo utamalizika lakini serikali inafuatilia matengenezo ya mitambo iliyoharibika tatizo limekuwa kubwa kwa sababu ya mashine hizo kuharibika kwa wakati mmoja alisema waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja waziri bwana ngeleja aliyekuwa anajibu maswali ya waandishi wa habari ... |
alifafanua kuwa wataalamu kutoka norway wanaendelea kutengeneza mtambo wa kufua umeme wa kihansi |
alipoulizwa kama kauli iliyowahi kutolewa na mkurugenzi wa shirika la umeme tanzania daktari idrisa rashid kuwa shirika hilo UNK endapo nchi UNK gizani bwana ngeleja hakutaka kuongelea suala hilo kwa undani na kusisitiza kwamba hakuna aliyekuwa akijua kama kutatokea tatizo la umeme |
daktari rashid alitoa kauli hiyo baada ya mapendekezo ya tanesco UNK baraka za mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma zitto kabwe ya kutaka kununuliwa kwa mitambo ya dowans kukataliwa na serikali |
bwana ngeleja alisema kazi iliyopo sasa ni kwa serikali kuendelea kuboresha miundombinu ya tanesco ili kutatua tatizo hilo |
alisema tayari serikali kupitia kwa mawakili wake imewasilisha maombi kuiomba mahakama iruhusu mitambo ya iptl ianze kuzalisha umeme ili kukabiliana na makali ya mgawo wakati kesi ya msingi inaendelea |
mbali na mkakati huo bwana ngeleja alisema tanesco ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kutafuta mzabuni wa kununua mitambo miwili ya kufua umeme UNK mikoa ya dar es salaam na mwanza |
pamoja na juhudi hizo bwana ngeleja alipoulizwa kama kuna uwezekano mgawo wa umeme UNK alijibu suala hilo watu wa UNK ni wataalamu alisema |
alipoulizwa kuhusu mawazo ya baadhi ya wabunge ya kutaka mitambo ya dowans itaifishwe alisisitiza kuwa UNK hatua kama hizo tutakuwa UNK wawekezaji |
taifa lina misingi yake kama kuna jambo UNK na sheria tufanye nini |
alihoji endapo serikali itaamua kutaifisha mitambo ya dowans siku nyingine likitokea tatizo jingine linalohitaji kuchukuliwa kwa mali za watu UNK |
serikali imewataka wakazi wa eneo la kipawa ilala dar es salaam waliohamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kutumia fedha walizolipwa fidia kujenga nyumba badala ya kuchanga kufungua kesi mahakamani |
akizungumza jana na gazeti hili ofisini kwake dar es salaam waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi kapteni mstaafu john chiligati alisisitiza kuwa wakazi hao wanapaswa kuhamishwa kwa sheria ya ardhi ya mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba na si vinginevyo |
UNK wananchi hawa wanataka walipwe kwa sheria mpya ya ardhi ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa lakini wakumbuke uthamini wa nyumba zao UNK miaka kumi na mbili iliyopita kabla ya sheria mpya kutungwa hivyo wanapaswa kulipwa kwa sheria ya zamani alisema bwana chiligati |
alisema chini ya sheria ya mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba wanaohamishwa wanapaswa kulipwa kile UNK juu ya ardhi bila kulipwa gharama ya ardhi yenyewe kwani walipatiwa bure |
alisema sheria mpya ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa iliyoanza kutumia mwaka ishirini sifuri moja kwa kutambua mazingira ya wakati UNK kulipwa kile UNK juu ya ardhi na ardhi UNK pia kulipa posho ya usumbufu wa kubeba mizigo |
alisema kilichotokea kipawa ni kwamba baada ya wizara ya miundombinu kukamilisha tathmini hiyo miaka kumi na mbili iliyopita haikuwa na pesa za kuwalipa wakazi hao jambo UNK mgongano wa sheria |
kama wizara ya miundombinu UNK wakati huo UNK mgogoro huu lakini haikuwa na pesa malipo UNK kwa miaka kumi na mbili sasa wamepata pesa hawa wanataka walipwe kwa sheria ya sasa |
kumbuka sheria UNK UNK nyuma inakwenda mbele |
mimi kama waziri mwenye dhamana ya sheria ya ardhi nasema lazima walipwe kwa sheria ya wakati ule jambo lao UNK |
jambo la leo UNK kwa sheria ya leo la juzi sheria ya juzi waziri chiligati alisema pamoja na wakazi hao kulipwa kwa sheria ya zamani wizara ya miundombinu kupitia mamlaka ya viwanja vya ndege imewapatia viwanja kwa ajili ya ujenzi jambo linalotoa nafuu kubwa |
mtu UNK UNK kiwanja UNK sana |
kwa mfano baadhi ya wakazi hao walikuwa na viwanja vyao hapo kipawa lakini hawakuwa na hati miliki sasa wamepatiwa viwanja na hati miliki vinavyoweza kuwasaidia hata kupata mikopo benki alisema bwana chiligati |
aliongeza kuwa pamoja na malalamiko ya wakazi hao kuna unafuu mkubwa wanaoupata kwenye operesheni hiyo kwani watalipwa pia asilimia sita ya riba kila mwaka kwa kipindi chote tangu ilipofanyika tathmini hiyo |
nawashauri wakazi hao UNK UNK pesa hizo kuwachangia watu kusimamia kesi yao mahakamani kesi ambayo hawajui hata kama watashinda |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.