text
stringlengths
1
1.32k
kuna wajanja wanafanya mambo haya kama mradi wa kuishi mjini alionya bwana chiligati
kuhusu madai ya wakazi hao kutaka kufanywa tathmini upya eneo hilo alisema hilo haliwezekani kwani kufanya hivyo ni kuongeza gharama zisizo za lazima
narudia tena kuwashauri wakazi wa kipawa pesa walizolipwa fidia UNK mahakamani waelekeze kujenga alisema wizara ya afya na ustawi wa jamii imepata kibali cha ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma UNK na kuwapangia UNK vituo vya kazi wahitimu wote wa kada mbalimbali za afya
kibali hicho cha septemba ishirini na mbili ishirini sifuri tisa UNK masharti ya kuajiri watumishi wa kada za afya na kuwachukua wahitimu hao UNK maombi ya ajira serikalini katika wizara idara za serikali zinazojitegemea sekretarieti za mikoa na halmashauri za wilaya kwa mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa kumi wahiti...
hata hivyo msemaji wa wizara ya afya na ustawi wa jamii bwana nsachris mwamwaja alisema si rahisi kwa sasa kufahamu ni wahitimu wangapi wataajiriwa kwa kuwa idadi yao inategemea maombi UNK na kupitishwa
kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na wizara hiyo jana UNK anatakiwa awe raia wa tanzania na umri usiozidi miaka arobaini na tano masharti mengine ni pamoja na mhitimu kuambatanisha cheti chake cha taaluma nakala ya cheti cha kumaliza elimu ya sekondari maelezo binafsi picha mbili za hivi karibuni na nakala ya cheti c...
aidha waombaji wametakiwa nakala za vyeti vyao vya taaluma na vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari UNK na hakimu ama UNK
kamati ya bunge ya hesabu za serikali imesema haitavumilia kuona hati chafu zinaendelea kutolewa kwa ofisi ya bunge kutokana na kuwepo matumizi mabaya ya fedha za serikali
katika kupitia ripoti ya matumizi ya ofisi hiyo mwaka ishirini sifuri saba sifuri nane iliyotolewa na katibu wa bunge daktari thomas kashililah kamati hiyo imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali yaliyosababisha kupewa hati chafu kutoka kwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali
akizungumza katika kikao cha mahojiano ya kamati na bwana kashililah mwenyekiti wa pac bwana john cheyo alisema taarifa za ufujaji wa fedha katika ofisi za bunge UNK bunge na kumtaka katibu huyo kutoa ufafanuzi juu ya matumizi hayo
kamati hiyo iliomba kupata ufafanuzi juu ya matumizi ya zaidi ya shilingi bilioni moja moja zisizo na mchanganuo sahihi wa jinsi gani fedha hizo UNK
ripoti hiyo inaonesha kuwa fedha hizo UNK na bodi ya matumizi ya bunge oktoba ishirini sifuri saba wakati mkataba wa ujenzi na malipo UNK februari ishirini sifuri saba jambo ambalo ni kinyume na sheria za matumizi
kamati hiyo pia UNK ofisi hiyo kwa kutofuata taratibu na sheria za manunuzi na matumizi ya fedha za umma kwa kuidhinisha fedha kwa watumishi bila stakabadhi jambo UNK serikali hasara kubwa
akijibu tuhuma hizo bwana kashilila amekiri kuwepo kwa mkanganyiko katika mchanganuo wa matumizi ya fedha zilizoainishwa kwenye ripoti huku akidai kuwa matatizo yaliyojitokeza UNK
mh
mwenyekiti taarifa hizi mimi UNK usingizi kwa sababu UNK maoni ya cag na kuona kuwa kwa timu niliyonayo ninaamini kuwa UNK na UNK radhi kwa utendaji wa awali lakini UNK
alisema
bwana kashilila alisema kuongezeka kwa UNK za ujenzi wa ofisi ndogo ya bunge kutoka shilingi milioni mia nne na ishirini na tano hadi milioni mia nane na kumi na tatu na baadaye shilingi bil
moja kumi na tatu ni kutokana na kubadilika badilika kwa aina ya mradi na wala si kutokana na nia ya ubadhilifu kama UNK
awali mradi ulikuwa juu ya ujenzi wa maegesho ya magari peke yake UNK shilingi UNK milioni arobaini sifuri lakini baadaye tukaambiwa zijengwe ofisi ndogo za bunge hivyo ikabidi bajeti UNK hadi kufikia shilingi milioni mia nane na kumi na tatu alidai bwana UNK
kuhusu kuidhinishwa kwa malipo yasiyo na stakabadhi tena kwa watu wasio watumishi wa ofisi za bunge bwana kashilila alisema mtu pekee anayetajwa na kamati hiyo ni bwana UNK ambaye ni msaidizi binafsi wa spika ambaye amekuwa akichukua fedha kwa niaba ya spika
zaidi ya shilingi milioni sabini anapewa mtu kwa imani tu mtaweza vipi kuzirejesha fedha hizo ikiwa hata jumla ya mshahara wake kwa miaka hamsini hauwezi kufikia hapo hata wasaidizi wa rais kwa ujumla hawajawahi kufikia kiwango hicho cha matumizi alilalamika bwana cheyo
hatahivyo kamati imemwamuru katibu huyo kuhakikisha kuwa ndani ya miezi sita fedha zilizotolewa bila stakabadhi ziwe UNK huku UNK kutoa msimamo wa kamati juu ya matumizi mabaya ya shilingi bil
moja kumi na tatu baada ya kukaa kuchambua utetezi alioutoa katibu huyo
mbunge wa maswa bwana john shibuda amesema kauli ya makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius msekwa kuwa hana ubavu wa kumvaa na kumpiku rais jakaya kikwete katika kinyangganyiro cha urais ni sawa na kumpa kadi nyekundu hata kabla ya kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo
bwana shibuda ambaye tayari ametangaza nia yake ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka ishirini moja sifuri kwa tiketi ya ccm aliliambia gazeti hili jana kuwa kauli ya bwana msekwa ni maoni yake binafsi kwani uamuzi wenyewe utatolewa na vikao vya chama
akihojiwa na shirika la UNK la uingereza mwishoni mwa wiki bwana msekwa alisema bwana shibuda hana ubavu wa kumpiku rais kikwete katika nafasi ya urais
UNK bwana msekwa kwa kutoa maoni ambayo ni yake binafsi vikao ndivyo UNK dira ya nani atakuwa mbadala wa jk kwani uwezo sifa na vigezo vyote UNK nia na dhamana ya urais siyo ya kukurupuka na ndio maana sasa tupo wawili UNK alisema
alisema kuwa mwalimu nyerere enzi za uhai wake alisema mtu yoyote anayetaka kugombea urais anapaswa kujitangaza mapema na ndio maana aliamua kufanya hivyo mapema
alisema kwa sasa watu ambao wametangaza kuwania kiti hicho ni yeye na rais kikwete
nasisitiza kama kuna mtu mwenye uwezo na shabaha ajitokeze na UNK na siyo mtu aje kuotea kwenye mpira wa kuvizia watuache mimi na jk ndio tulio na uwezo wa kujipima ubavu alisema bwana shibuda na kuongeza
bwana msekwa ni refarii anaanza kunipa red card mapema kabla UNK mpira wenyewe
kauli yake inanipa shaka kuwa anaweza UNK haki katika vikao vya kupendekeza wagombea kwa sababu yeye ndiye msimamizi mkuu alisema
bwana shibuda alisema anamshangaa ni kwa bwana msekwa UNK mapema na kwamba inawezekana ana wasiwasi nafasi yake ya makamu mwenyekiti wa ccm UNK pindi akichaguliwa kuwa rais
napenda UNK wasiwasi kuwa UNK UNK haki nikiwa kama rais na mwenyekiti wa ccm hivyo UNK aondoe wasiwasi ila kwa wale UNK nafasi zisizo na wajibu wa dhamana UNK UNK huruma alisema
alisisitiza kuwa bwana msekwa asianze kumuonesha kadi nyekundu kwani yeye ni mcheza mpira asubiri dakika tisini za mchezo na siyo kuanza kumuonesha red UNK
alibainisha kuwa hadi sasa wagombea UNK ni wawili na kutaka wengine wanaotaka kuwania kiti hicho UNK na siyo kuzungumza UNK
bwana shibuda alisema anashukuru ccm UNK lolote baya tangu atangaze nia yake ya kugombea ila anamshangaa refarii mkuu kuanza kutangaza matokeo ya mchezo kabla ya mpira kuwekwa uwanjani
nampongeza katibu mkuu wa ccm UNK kimya na wengine wanatakiwa kumuiga kwani UNK kwa uamuzi wangu wa kutangaza kuwania kiti hicho alisema bwana shibuda na kuongeza ninachoomba ni jina langu lifikishwe katika vikao husika na UNK na UNK kwani mimi ni UNK jipya na nuru ya UNK kwa wanyonge ambayo ndiyo sera ya ccm aliishuk...
kuhusu baraza la mawaziri UNK UNK pindi akichaguliwa kushika wadhifa huo bwana shibuda alisema hiyo ni siri yake
alisema kama mungu ameamua kwamba yeye ndiye atakayekuwa rais basi itakuwa hivyo na kama amempangia jk kuwa rais basi akishinda UNK mkono uteuzi huo
alitoa mwito kwa wabunge UNK watu kwenda kugombea katika majimbo UNK kwa kuwa ni haki ya kila mtu mwenye uwezo kupeleka UNK
wabunge ni lazima UNK ukomavu wa demokrasia ndani ya ccm alisema
mwaka ishirini sifuri tano bwana shibuda alichukua fomu za kuomba kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya ccm lakini jina lake UNK kwenye vikao vya vyanzo vya ccm hivi karibuni alitangaza nia yake ya kuwania kiti hicho ndani ya ccm katika mahojiano hayo bwana msekwa alisisitiza kuwa rais kikwete ndiye mwenye sifa za kuendel...
naye UNK likizo ya kustaafu kwa lazima
utekelezaji wa richmond kujadiliwa leo wakati kamati ya bunge ya nishati na madini inakutana leo kujadili utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu mkataba wa kifisadi wa richmond imebainika kuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini bwana athur mwakapugi ambaye iliazimiwa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kushindw...
kigogo huyo ni wa tatu kustaafu katika orodha ya watumishi wa umma UNK kwenye kamati teule ya bunge iliyochunguza mkataba huo UNK mwanasheria mkuu wa serikali bwana johnson mwanyika ambaye pia yuko likizo ya kustaafu akitarajia kukamilisha ngwe yake novemba sita mwaka huu
mwingine UNK katika orodha hiyo ni aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha gray mgonja ambaye pia anakabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi
habari za uhakika ambazo gazeti hili limezipata zimeeleza kuwa bwana mwakapugi ameshaanza likizo na anatarajia kustaafu januari mwakani
habari hizo zimekuja wakati bunge UNK hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na serikali UNK mapendekezo ya kamati teule ya bunge
kwa sasa yupo likizo ya kustaafu atastaafu wowote kuanzia sasa kama sikosei itakuwa ni januari kilisema chanzo chetu cha habari kutoka wizara ya nishati na madini
bwana mwakapugi anastaafu huku azimio la kumi na nne la bunge la kutaka achukuliwe hatua kali za kinidhamu kwa kuliingiza taifa kwa makusudi kwenye mkataba wa kampuni ya mfukoni likiwa UNK
wengine waliopendekezwa kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu ni aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha bwana gray mgonja na mwanasheria mkuu wa serikali bwana mwanyika
bwana mwakapugi alikuwa kwenye kamati ya makatibu wakuu iliyoundwa na baraza la mawaziri UNK februari ishirini sifuri sita ikiwa na jukumu la kusimamia mchakato mzima wa zabuni ya richmond
ili kuharakisha kazi hiyo serikali iliunda kamati ya wataalamu ili kuisaidia kwa karibu kamati ya makatibu wakuu
watalaamu hao pia wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria
katika kutekeleza pendekezo la kamati serikali UNK barua bwana mwakapugi kumtaka UNK katika maeneo ambayo kamati teule ya bunge iliyoongozwa na mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe ilibaini kuwa hakuzingatia maslahi ya taifa
hatua hii imechukuliwa kwa kuzingatia sheria na kanuni za nidhamu katika utumishi wa umma na misingi ya kanuni asilia ya haki ya kusikilizwa kwanza kabla ya hatua nyingine kuchukuliwa alisema waziri mkuu bwana mizengo pinda wakati akieleza utekelezaji wa maazimio ya bungeni agosti mwaka jana
bwana mwakapugi UNK maelezo yake kwa katibu mkuu kiongozi ambaye ndiye mamlaka yake ya nidhamu katika muda UNK
baadhi ya maeneo ambayo bwana mwakapugi alitakiwa kujieleza ni kutozingatia maagizo ya baraza la mawaziri kuhusu suala la ununuzi wa mitambo ya umeme wa dharura kutozingatia ushauri wa kitaalamu uliotolewa na mamlaka ya udhibiti wa manunuzi ya umma kuhusu kufuata sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka ishirini sifuri nne...
katika ripoti ya utekelezaji wa maazimio hayo iliyosomwa na naibu waziri wa nishati na madini bwana adam malima kwenye mkutano wa bunge uliopita alisema serikali UNK watendaji wake
watendaji waliotajwa kuwajibishwa kwa mujibu wa kanuni namna arobaini na tisa ya sheria ya utumishi wa umma ya mwaka ishirini sifuri mbili ni pamoja na bwana UNK
juhudi za gazeti hili kumpata bwana mwakapugi kuzungumzia suala hilo hazikuweza kuzaa matunda
kamati ya nishati na madini inakutana leo kujadili utekelezaji wa mapendekezo ishirini na tatu ya richmond kabla ya kuwasilishwa katika kikao kijacho cha bunge
na mwandishi wetu mfanyabiashara maarufu wa zanzibar na kada wa chama cha mapinduzi bwana mohamed raza naye UNK kwenye sakata la mafuta na kuhoji uhalali wa kuwa suala la muungano
akizungumza dar es salaam jana bwana raza alikiri kuwa mafuta UNK katika orodha ya masuala ya muungano lakini alielezea wasiwasi kuwa UNK nje ya utaratibu
kama mafuta yako ndani ya muungano UNK minutes na saini za wakuu UNK suala hilo kwenye muungano
mimi kama raza nakuhakikishia hakuna minutes hizo alisema bwana raza
alisema muungano wa tanganyika na zanzibar ulikuwa wa kuaminiana ambapo waasisi bwana julius nyerere na bwana abedi karume walifanya hivyo kwa maslahi ya pande zote mbili
mfanyabiashara huyo alisema pande zote mbili za muungano lazima UNK UNK na UNK kwa zote zina haki sawa ndipo utakuwa wa kushikamana zaidi
kusema mafuta ya zanzibar yawe ndani ya muungano halafu dhahabu na gesi isiwe kwenye muungano labda UNK minazi na UNK alisema mfanyabiashara huyo
bwana raza alisema waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais bwana muhammed seif khatib alikosea kutoa tamko kuwa mafuta ni suala la muungano na badala yake alipaswa kwanza kuwasiliana na mwanasheria mkuu kuliko kuchukua ushabiki wa kisiasa
alisema kwa vile suala hilo liko kwenye katiba angewasiliana kwanza na wanasheria wakuu wa tanzania na zanzibar ambao UNK kwa mtazamo wa kisheria
katiba UNK kuwepo au kutokuwepo kwa muungano UNK hivyo suala la mafuta ni dogo kama watu watakaa na kuzungumza huku pande zote mbili zikiwa na haki sawa kwani wakati UNK kila moja ilikuwa ni nchi huru alisema
alisema wanaoweza kuondosha kero za muungano ni marais na marais wastaafu wa pande zote mbili kwa vile kamati zote zilizoundwa UNK hadi miaka kumi sifuri ijayo kwa sababu haziwezi kwenda ndani ya misingi ya muungano
nawaambia viongozi waandamizi huwezi kuziba pua UNK pumzi itokee masikioni
ili watanzania waweze kushikamana zaidi kwa nini UNK mkataba wa muungano wetu kuna siri gani
alihoji bwana raza
wafanyakazi wawili wa kampuni ya ujenzi ya UNK inayotengeneza barabara ya mkuranga UNK UNK kwa moto hadi majivu baada ya gari UNK kugonga mti na kulipuka
tukio hilo lilitokea juzi mchana eneo la kurungu mkoani pwani wakati wafanyakazi hao wakirejea katika kituo chao cha kazi
wafanyakazi waliokufa wametajwa kuwa ni dereva aliyekuwa akiendesha gari hilo aina ya toyota corolla namba t mia tano na arobaini na moja UNK aliyejulikana kwa jina moja la charles na meneja mradi william UNK
pia katika ajali hiyo mtu mwingine aliyetajwa kwa jina martine samweli alijeruhiwa vibaya na amelazwa katika hospitali ya temeke dar es salaam
baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo wamedai kuwa marehemu hao wakiwa na mwenzao mmoja walionekana wakinywa pombe katika baa ya dream na baadaye kuhamia baa nyingine ya UNK na kuendelea kunywa
watoa habari hao walieleza kuwa ilipofika saa sita thebathini mchana waliondoka kwenye baa hiyo ili kuelekea katika kituo chao cha kazi
chanzo hicho kilieleza kuwa ndani ya gari hilo walikuwa UNK madumu ya petroli waliyokuwa wakipeleka kazini kwao
baada ya kupita eneo la kilima cha kurungu kwa karibu mita kumi sifuri gari hilo liliyumba na UNK UNK na kisha kulipuka moto
watu walifanikiwa kuokoa mtu mmoja lakini meneja wa mradi na dereva UNK ndani ya gari na kubaki majivu kilisema chanzo chetu cha habari
UNK UNK majivu na mifupa iliyokuwa kwenye kiti cha dereva UNK pamoja na mengine sehemu yake kwa kuwa hatukuwa na namna nyingine alisema mmoja wa UNK
habari zilisema kuwa majeruhi katika ajali hiyo atakuwa amepata majeraha kichwani kwani baada ya kutolewa ndani ya gari alikuwa akitokwa damu puani na UNK sifuri ni
hiyo ni ajali ya tatu ya magari kuungua moto wilayani humo na tukio la kwanza lilitokea aprili mwaka huu na lingine wiki mbili zilizopita
kamanda wa polisi mkoani pwani UNK mwakyoma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lakini hakuweza kuzungumzia kiundani kutokana na kuwepo kwenye UNK
baadhi ya wajumbe katika mkutano unaofanyika leo nchini ufaransa kujadili maendeleo ya utafiti wa chanjo ya virusi vya ukimwi wameonesha matumaini makubwa kuhusu matokeo ya chanjo yaliyotolewa hivi karibuni na chuo kikuu cha afya na sayansi muhimbili kuwa yana ubora kuliko yale yaliyofikiwa nchini thailand
wakizungumza na vyombo vya habari nchini humo UNK kuwa matokeo hayo UNK kwa watu sitini yanaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya hiv kwa asilimia hamsini wakati chanjo UNK thailand kwa watu kumi na sita sifuri sifuri sifuri ilifanikiwa kwa asilimia thebathini tu
utafiti UNK na wataalamu hao unafanyika muhas kwa msaada wa shirika la maendeleo la kimataifa la sweden
tuna matumaini kwamba chanjo hiyo nchini tanzania inaweza kuongeza usalama katika UNK kwa asilimia hamsini alisema profesa UNK UNK kutoka taasisi ya UNK iliyopo nchini ufaransa
chanjo hiyo iitwayo UNK UNK kwa askari polisi sitini mwaka ishirini sifuri saba na matokeo yake yakawa mazuri
katika mkutano huo wataalamu mbalimbali watapata fursa ya kuuliza na kufafanua baadhi ya mambo ikiwa ni pamoja na mjadala kuhusu udhaifu wa chanjo ya hiv ya nchini thailand
hata hivyo baadhi ya wataalamu wamekataa kutoa tathmini yao kuhusu chanjo hiyo mpaka watakapopata maelezo ya kina na kuona matokeo yake
tunahitaji kupata taarifa kamili za utekelezwaji wake na kisha tuanze kujadili na UNK alisema daktari alan UNK ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa shirikisho la chanjo ya hiv duniani
aliongeza kuwa tunakutana katika mkutano muhimu wa kujadili UNK hii