text stringlengths 1 1.32k |
|---|
kwa sasa utafiti wa chanjo ya hiv unaonekana kwenda haraka sana kuliko nyakati zote za awali kwa miaka ishirini na sita iliyopita |
hata hivyo bwana UNK UNK anayeshughulikia kitengo cha kupambana na hiv na malaria nchini humo alionesha wasiwasi wa mataifa husika kutokuwa na uwezo wa kuchangia mfuko wa kimataifa wa programu ya ukimwi hasa baada ya mtikisiko wa uchumi kutokea |
mtikisiko wa uchumi kwa kiwango fulani umeathiri na utaendelea kusababisha wadau wakuu kushindwa kuchangia maendeleo ya mfuko huo |
wakati wataalamu hao UNK chanjo hiyo baadhi ya watu wanasema kutangazwa kwa chanjo hiyo katika hatua za awali kunaweza kusababisha UNK la maambukizi kutokana na watu kushawishika kufanya ngono zaidi |
vile vile waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo juzi alitoa onyo kali kwa wanaotangaza matokeo ya chanjo hiyo bila kibali cha wizara ya afya na ustawi wa jamii na tume ya sayansi |
watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya bibi muhoja kulwa mkazi wa sweya nyegezi mtaa wa silivia wakimtuhumu kuwa ndiye alihusika kumficha binti ambaye anadaiwa kufariki dunia mwaka ishirini sifuri tano na baadaye kupatikana akiwa hai mapema wiki iliyopita |
tukio hilo limekuja wakati biti huyo anayesadikiwa kuwa ni bibi juliana gembe akiwa amelazwa katika hospitali ya rufaa bugando kwa ajili ya uchunguzi wa akili huku ikifanyika mipango ya kuchukua vipimo vya dna kwa lengo la kubaini kuwa ana uhusiano na mama anayedai ni mzazi wake |
lakini wakati vipimo hivyo vya kitaalamu UNK imani potofu za wenyeji wa eneo hilo UNK kuwa huenda tukio ni la kishirikina na UNK UNK hilo bibi kulwa kuwa ndiye mhusika |
bibi kulwa alisema kuwa ijumaa iliyopita sasa kumi usiku watu wasiojulikana walifika katika nyumba yake na kubomoa dirisha la chumba UNK na kutoa vitisho kwamba wanataka kumkata mapanga kutokana na kifo cha kutatanisha cha bibi gembe na baadaye kupatikana hivi karibuni akiwa hai lakini UNK |
alisimulia kuwa watu hao ambao alidai huenda wamo katika ukoo wake UNK mlango wa mbele huku wakiwa UNK mapanga katika mlango wake na kutoa vitisho zaidi kuwa wana lengo la kumjeruhi kwa UNK UNK |
bibi kulwa alidai kuwa kutokana na sauti alizokuwa anasikia kundi hilo UNK na mjomba wa bwana gembe |
alisema kuwa mbali ya kupiga kelele na filimbi kwa ajili ya kuomba msaada kutoka kwa majirani hakuna mtu aliyejitokeza ili kusaidia kuokoa maisha yake |
hata hivyo mume wa mama huyo bwana mashindano njashi alisema kuwa tangu aishi na mke huyo hajawahi kusikia kuwa alikuwa UNK na vitendo vya ushirikina |
huyo binti ni mjukuu wangu na wala siwezi kukubali kuona mke wangu ambaye ni bibi yake wa UNK anamfanyia vitendo vya ushirikina |
huo ni uzushi ambao utaweza kuleta mfarakano miongoni mwa familia yetu alisema bwana njashi kwa uchungu |
balozi wa ccm shina nambari kumi na saba katika mtaa wa silivia alikiri kupokea malalamiko kutoka kwa bibi kulwa na kuongeza kuwa yeye alichofanya ni kumwandikia barua ya malalamiko na kumshauri kwenda kituo cha polisi cha igogo kwa UNK |
hata hivyo bibi kulwa alipofika katika kituo hicho aliambiwa UNK shilingi kumi sifuri sifuri sifuri kwa ajili ya petroli ya gari la polisi na hakuweza kuzitoa kwa wakati huo na hivyo hakupata msaada |
hadi juzi majira ilipofika katika eneo la tukio polisi walikuwa hawajafika kunusuru maisha ya bibi kulwa anayeishi kwa mashaka |
ofisa mmoja wa polisi kituo cha igogo ambaye hakupenda jina lake UNK gazetini kwa kuwa kuwa siyo msemaji alikiri kupokewa malalamiko ya bibi kulwa na kuwa bado wanajitahidi ili kufika katika eneo hilo kufanya uchunguzi zaidi bila kufafanua kama kweli fedha zilidaiwa au vinginevyo |
mahakama ya wilaya ya temeke imewahukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri kila mmoja washitakiwa watatu baada ya kuwatia hatiani kwa makosa matatu likiwemo la kutengeneza pombe haramu kwa kutumia nembo ya konyagi |
katika hukumu yake hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya temeke bibi hellen riwa alisema mahakama imeridhika kuwa washtakiwa hao wamepatikana na hatia ya kutenda makosa matatu |
alisema washtakiwa hao UNK UNK mohamed rashid na aden karim wamekutwa na makosa ya kutengeneza pombe ya konyagi bandia kutumia nembo ya konyagi kwa nia ya kuziuza na kupatikana na mali ya wizi kinyume cha sheria |
hakimu riwa alisema kutokana na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka uliongozwa na mrakibu wa polisi bwana basil pandisha washtakiwa hao walihusika katika kosa hilo hivyo wanastahili adhabu kali |
alisema kutokana na makosa hayo aliwahukumu kwenda jela miaka tano au kulipa faini ya shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri kila mmoja |
washtakiwa hao walikamatwa na jeshi la polisi septemba saba mwaka jana katika eneo la makangarawe temeke UNK pombe na kuweka nembo ya konyagi na nembo ya mamlaka ya kodi ya mapato tanzania kwa nia ya UNK |
washtakiwa hao kwa pamoja UNK faini ya shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri kila mmoja na kuachiwa huru |
wakati kampuni ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ya songas imetangaza UNK kwa jenereta ya megawati ishirini keshokutwa serikali imeelezwa kuwa haiwezi kujivua lawama kutokana na uzembe uliosababisha nchi kuwa na magawo umeme kwa kipindi kirefu |
kauli hiyo ya UNK lawama serikali imetolewa na mbunge wa tabora mjini bwana siraji kaboyonga muda mfupi baada ya mwanasheria wa kampuni songas bwana reuben UNK UNK kamati ya bunge nishati na madini kuwa kuna uwezekano mkubwa megawati ishirini kurejea kwenye gridi ya taifa ingawa haziwezi kuleta unafuu mkubwa |
akizungumza na waandishi wa habari ofisi ndogo za bunge dar es salaam jana mbunge wa tabora mjini bwana kaboyonga ilisema lawama zozote zinazotolewa na kuhusu magawo huo zinapaswa kuelekezwa serikalia kuu na wala si kwa shirika la umeme tanzania kama ilivyo sasa UNK kumi sifuri kwa shirika hilo |
bwana kaboyonga alisema wananchi wamechoshwa na majibu na sababu nyepesi katika masuala ya msingi kama nishati ya umeme na kuitaka serikali kuwa na mipango ya muda mrefu badala ya hii ya muda mfupi ambayo UNK serikali na wananchi kila mwaka |
tunapaswa kuwa na mipango ya muda mrefu UNK na UNK za dharura kila mwaka suala la upungua kwa kina cha maji si la dharura serikali ilipaswa kuwa na ufumbuzi tayari sielewi ni kwanini inashindwa kuona mbali alisema bwana UNK |
alisema kuwa wataalamu kutoka katika shirika hilo walitoa tahadhari mapema lakini serikali ilizembea na kushindwa kuzingatia ushauri huo badala yake sasa inafanya mambo ya zimamoto |
alisema serikali inapaswa kuweka mikakati ya kudumu na madhubuti katika suala zima la kuzalisha nishati ya umeme kwani kushindwa kufanya hivyo taifa litaendelea kuingia hasara kubwa na kushusha pato la nchi |
alisema tanesco kwa sasa UNK na inahitajika igawanywe katika sekta tatu sekta ya uzalishaji usafirishaji na usambazaji na kila sekta ijitegemee ili kuboresha ufanisi |
kama UNK waandishi kampuni hizi nyingi zimekuja kwa maelezo kuwa UNK umeme wa dharula tulitegemea kuwa wakati vina vya maji katika mabwawa yetu UNK basi umeme huu utumike sasa huu mgao unatoka wapi |
aliuliza bwana kaboyonga alisema sheria ya ewura inaruhusu uzalishaji wa umeme wa jenereta binafsi hivyo kuitaka serikali kuondoa ukiritimba katika suala la nishati ya umeme kwa kuruhusu uzalishaji binafsi wa umeme |
bwana kaboyonga ilisema kama suala hili lingetokea nchi za ulaya ilikuwa inatosha kwa wahusika kuwajibika kwa kujiuzuru na kushauri tamaduni hizo za uwajibikaji kuigwa na watanzania ili kuonesha uzalendo na UNK na uzembe |
mfanyabiashara maarufu bwana mohamed raza na ametahadharisha kuwa dodoma kamwe isiwe machinjio ya wazanzibar wanaoshinikiza umiliki wa mafuta ya zanzibar na kwamba hakuna mwanachama atakayefukuzwa ndani ya ccm kutokana na msimamo huo |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana bwana raza alisema inashangaza kuona mafuta ya zanzibar UNK ya muungano wakati gesi asilia dhahabu na mafuta yaliyopo upande wa bara yanabaki kuwa ya UNK |
kauli ya bwana raza inakuja huku kamati ya iliyoundwa mjini dodoma na halmashauri kuu ya ccm inaendelea kuchunguza sababu za kauli za mfarakano zinazotolewa na wajumbe wa baraza la wawakilishi zikiwamo zinazohusiana na mafuta pamoja na hadhi ya zanzibar kama nchi au la |
mji wa dodoma una historia ya kuwa mchungu kwa wazanzibari kwani maamuzi ya vikao vya ccm yamekuwa UNK viongozi wengi akiwamo aliyekuwa rais wa visiwa hivyo aboud jumbe waziri kiongozi maalim seif sharif hamad na kufuta ndoto za rais mstaafu salmin amour kutaka kujiongezea kipindi cha kuwa madarakani |
ili tujenge mawasiliano mema ni lazima uamuzi ya baraza mapinduzi kuwa mafuta siyo ya muungano uheshimiwe na dodoma kamwe isiwe machinjio ya wazanzibar alisema bwana raza |
alisema hata mtu ambaye haoni wala kusikia hawezi kukubali gesi asilia mafuta na dhahabu zilizopo upande wa bara yasiwe kwenye muungano lakini mafuta ya zanzibar yawe ya muungano |
hii UNK hoja vinginevyo UNK mgogoro wa kikatiba na siyo kutaka UNK watu katika kipindi hiki alisema bwana raza |
alisisitiza kuwa suala la mafuta halina mjadala kwa sababu uamuzi uliotolewa ulikuwa ni kwa maslahi ya wazanzibar |
alisema inashangaza kuona suala la mafuta linafanywa ni la chama wakati baraza la mapinduzi na wawakilishi wote wakiwemo ya ccm na cuf UNK suala hilo kuwa ni la wazanzibar |
nadhani umefika wakati kama suala hili limekuwa la muungano basi tuoneshwe UNK za vikao UNK kuwa mafuta ya zanzibar yawe ya muungano na tuoneshwe sahihi za rais UNK jambo hili alisema bwana raza |
alisema masuala yote yanayotokana na katiba pande zote mbili za muungano zinatakiwa kukaa na kuamua kwa pamoja |
hiyo ndiyo itaondoa fitina |
kama UNK hivyo hata kamati ya mwinyi UNK alisema bwana raza na kuongeza UNK mimi raza mafuta ya muungano lakini gesi asilia na dhahabu siyo ya muungano naona hakuna ccm zanzibar katika kipindi hiki UNK UNK |
alisema matamshi yaliyotolewa bungeni na katika baraza la wawakilishi ambayo UNK kamati yametolewa na wana ccm wenyewe tena ambao ni wajumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu ya taifa hivyo inaonesha wazi kuwa kuna tatizo |
alisisitiza kuwa suala la uchumi halipo kwenye muungano |
bunge halina mamlaka ya kuliambia baraza la wawakilishi nini lifanye hata wawakilishi hawana ubavu huo alisema na kuongeza kuwa tukijenga mawasiliano mema uamuzi wa baraza la mapinduzi kuwa mafuta siyo ya muungano UNK |
alisema pande zote mbili UNK jamhuri ya muungano zina nguvu sawa hivyo kinachotakiwa ni viongozi UNK |
alikuwa UNK amchome sindano daktari wa hospitali ya mkoa wa rukwa iliyopo mjini hapa daktari UNK UNK UNK kisu tumboni na mgonjwa wakati akijaribu kumshawishi amchome sindano |
tukio hilo lilitokea jana saa kumi na mbili asubuhi katika wodi namba tatu ambapo kwa mujibu wa mashuhuda daktari huyo aliyekuwa zamu ya usiku alifika katika kitanda cha bwana UNK UNK ili ampe huduma hiyo |
walisema mgonjwa huyo alimwambia daktari kuwa UNK huduma yoyote kutoka kwake na daktari huyo akiwa katika harakati za kumshawishi ndipo mgonjwa huyo UNK kisu chini ya godoro na kumchoma daktari huyo tumboni |
mganga mkuu wa hospitali hiyo daktari UNK UNK alisema daktari huyo ameshonwa tumboni na kuruhusiwa kurudi nyumbani kwa mapumziko ambapo hali yake inaendelea vizuri |
alisema kuwa tukio hilo la aina yake ni la kwanza kutokea katika hospitali hiyo na kuwataka wauguzi na madaktari wa hospitali hiyo kuwa makini wakati UNK wagonjwa |
kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa rukwa bwana isunto mantage alisema kufuati tukio hilo UNK chini ya ulinzi mgonjwa huyo na kwa uangalizi maalumu |
alisema lengo ni kuhakikisha hawezi kuwadhuru madaktari wengine na wagonjwa wenzake waliolazwa katika wodi hiyo UNK wagonjwa wa majeraha |
mwanyika mgonja mwakapugi UNK |
wasomi wanasiasa wataka hatua zaidi |
wadai kikwete anashindwa kuchukua hatua kustaafu kwa baadhi ya vigogo wa serikali UNK kuhusika kwa namna moja au nyingine na kashfa ya zabuni ni mitambo ya umeme wa dharura ya richmond UNK maswali ya wasomi wanasiasa na wabunge huku wakipendekeza hatua zaidi dhidi yao zichukuliwe |
pia wasomi hao waliozungumza na majira wamesema kuwa kushindwa kuwachukulia hatua kama serikali ilivyoagizwa na bunge kunasababishwa na rais jakaya kikwete kutokuwa na misimamo katika uamuzi wake |
kauli hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti jana dar es salaam na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini wakati walipokuwa wakizungumzia kustaafu kwa katibu mkuu wa nishati na madini bwana arthur mwakapugi johnson mwanyika na gray mgonjwa ambao iliazimiwa na bunge wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa kushindwa kuish... |
mbunge wa karatu daktari UNK slaa alisema kuwa matatizo yanayojitokeza ni kutokana na nchi kutokuwa na maamuzi na kwamba hakuna kiongozi UNK maamuzi |
kikwete mwenyewe UNK maamuzi ndio maana nchi UNK |
nchi hii viongozi hawana maadili mema na ndio maana mambo yanakwenda kinyume |
kuna watu UNK kwamba UNK nchi vizuri ili waweze kulindwa matokeo yake ndio haya tunayaona nchi kuingia gizani alisema |
daktari slaa alisema kuwa aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha bwana gray mgonja UNK na kupewa haki zake zote wakati UNK serikali hasara ya mabilioni ya fedha |
na mwakapugi naye UNK na kupewa haki zake zote na inawezekana baadaye UNK mahakamani kwa UNK tu hakuna hatua zozote UNK |
ninachosisitiza hapa ni kwamba nchi inazidi kuporomoka kutokana na kulindana alisema |
alisema kuwa UNK nchi ni watanzania ambao UNK upuuzi unaoendelea kwa kuchukua hatua mwakani ili kuhakikisha kuwa UNK tena rais kikwete |
daktari slaa alisema bunge UNK tangu mwaka ishirini sifuri saba viongozi wote waliotajwa katika kamati teule ya bunge iliyochunguza mkataba wa kifisadi wa richmond kuchukuliwa hatua lakini UNK kabla ya kuchukuliwa hatua |
inaonyesha ni jinsi gani watu wanakwenda kinyume na taratibu za bunge hata rais mwenyewe hana mamlaka ya kwenda kinyume na bunge lakini tunashangaa anaingilia alisema |
kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha wananchi professa ibrahim lipumba alisema kuwa matatizo yanayojitokeza yanatokana na rais kikwete kutokuwa makini katika uongozi wake |
bwana mwakapugi hana tatizo kwa sababu yeye alikuwa akitekeleza matakwa ya rais anayeongoza baraza la mawaziri na ndio maana anastaafu bila kuchukuliwa hatua yoyote kutokana na rais kuwa mhusika mkuu wa richmond alisema |
alisema kuwa mtu anayetakiwa kuwajibishwa kwa misukosuko yote UNK nchi hususani katika suala la kuingiza nchi gizani ni rais kikwete pekee na wala si vinginevyo |
akizungumzia suala hilo wakili wa kujitegemea bwana theonest rutashoborwa alisema inashangaza watuhumiwa kustaafu na kulipwa mafao yao yote |
alisema kustaafu ni sehemu ya kutambua utumishi mwema wa mfanyakazi ndio sababu analipwa mafao yake mtuhumiwa UNK maana yake hajapewa adhabu |
kumlipa mafao mtuhumiwa ni kumwonesha kwamba hana tuhuma kitendo hicho UNK umma wa watanzania alisema |
bwana rutashoborwa alisema hatua hiyo imekiuka katiba na sheria ya nchi kwa kuwa mafao ya watuhumiwa hao yanatakiwa UNK hadi uchunguzi na hatua zinazostahili zichukuliwe dhidi yao |
naye wakili damas ndumbaro alisema kama muda wa kustaafu umefika ni lazima wastaafu hata kama wanakabiliwa na tuhuma za jinai |
alisema kustaafu inawezekana ingawa ni njia moja wapo ya kukwepa tuhuma hizo lakini UNK kwani sheria UNK huko huko alipo na kushitakiwa kama inaonekana kuna haja ya kufanya hivyo |
hata kama mtuhumiwa akiamua kuacha kazi mwenyewe hiyo UNK kosa la jinai UNK na sheria itachukua mkondo wake alisema |
vyama viwili vya upinzani jana UNK kwa nyakati tofauti kuchezewa rafu katika kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinazoendelea nchini kote |
cha kwanza kutoa malalamiko hayo kilikuwa chama cha wananchi ambacho kilitangaza kutokuwa na imani na mchakato wa uchaguzi kwa madai kuwa umegubikwa na mizengwe mwenyekiti wa cuf profesa ibrahimu lipumba alisema karatasi za kupigia kura tayari UNK mitaani hali inayozua wasiwasi kuwa matokeo huenda UNK kabla ya uchaguz... |
karatasi za kupigia kura hizi hapa UNK mitaani kwa hiyo watu wanaweza kupiga kura wakati tayari masanduku yenye kura tofauti UNK alisema |
pia aliongeza kuwa wagombea wa cuf wamewekewa pingamizi na kusababisha maeneo mengi wagombea wa ccm kupita bila kupingwa |
mfano wilaya ya handeni tanga wagombea wa cuf katika vijiji kumi nne UNK kugombea kwa madai kuwa fomu zao zimedhaminiwa na kata na ilitakiwa kudhaminiwa na ngazi ya chini lakini wakati huo huo wagombea wa ccm UNK na ofisi zao za kata wameruhusiwa kuendelea kugombea tabora nako hivyo hivyo alisema |
lakini malalamiko UNK UNK mbali na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bibi celina kombani aliyesema kuwa hafahamu karatasi za kupigia kura profesa lipumba UNK wapi kwani karatasi zinatengenezwa na nembo ya halmashauri husika na mpiga kura lazima ahakikishe karatasi UNK kura ina nembo ya halmashauri yake |
hakuna UNK matokeo labda hiyo kazi ifanywe na hao cuf kwa sababu siku ya kupiga kura majina ya watu wote waliojiandikisha na ya wagombea UNK katika vituo vya kupigia kura |
kwa upande wake chama cha nccr mageuzi UNK ccm wilaya ya ngara mkoani kagera kwa kutaka mtendaji wa kata UNK bwana abdul ngangula kuhamishwa kituo cha kazi kwa tuhuma za kupigia kampeni chama hicho |
mkuu wa idara ya sheria na haki za binadamu wa UNK r daktari sengondo mvungi alisema kuwa barua hiyo ilidai kuwa mtendaji huyo akiendelea kukaa kijijini hapo UNK chama tawala |
mbali na hayo barua hiyo ilidai kuwa bwana ngangula alitakiwa kuhamishwa katika kata hiyo kwa kuwa uchaguzi wa jumapili UNK ukweli kuwa mtendaji huyo anajihusisha na masuala ya siasa kinyume cha waraka wa mkuu wa utumishi wa umma |
vyama vyote vilivyosajiliwa vina haki ya kusaidiwa na watendaji na hakuna chama kilicho na mamlaka ya kumkatalia mtendaji kuwasaidia wananchi wake alisema daktari mvungi sakata la mbunge kishapu mkoani shinyanga bwana fred mpendazoe limechukua sura mpya baada kukataa kutoa maelezo yake polisi akitaka kwanza apate waki... |
katika kesi hiyo inayofanana na ile inayomkabili mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka ya kumpiga mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoani arusha james ole millya mbunge huyo wa kishapu anatuhumiwa kumshambulia bwana abdulkadir mohamedi ambaye pia ni kada wa ccm wilayani humo |
bwana sendeka katika kesi yake inayoendelea mkoani arusha na kuvuta hisia za watu wengi hasa wanasiasa mbali na kudaiwa kumpiga kibao bwana ole millya pia anatuhumiwa kumtishia kwa bastola jambo ambalo pia UNK kwenye kesi ya bwana mpendazoe |
wabunge hao wawili wamo kwenye kundi moja la wanaojipambanua kuwa UNK wa mbele katika mapambano dhidi ya ufisadi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.