text
stringlengths
1
1.32k
kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga bwana daudi siasi aliwaeleza waandishi wa habari mjini hapa kuwa baada ya mbunge huyo kutoa maelezo akiwa na wakili wake atafikishwa mahakamani kujibu mashitaka dhidi yake
kamanda siasi alisema kwa mujibu wa sheria za nchi hairuhusiwi kwa mtu ye yote anayemiliki silaha ya moto kumtishia mtu mwingine na kwamba iwapo UNK sheria itachukua mkondo wake
mbunge huyo anadaiwa kumshambulia kwa kumpiga makofi bwana mohamedi UNK nguo aliyokuwa UNK na kumtisha kwa bastola mambo ambayo tayari mbunge huyo amekanusha vikali kuwa ni uongo dhidi yake wenye lengo la kutaka kumchafua kisiasa
waziri mkuu bwana mizengo pinda amezindua maonyesho ya asali na kutangaza nia yake ya kuhakikisha kila kaya ina mzinga wa nyuki
nitahakikisha kila kaya inakuwa na mzinga wa nyuki
ili kuona umuhimu wake na matumizi ya ufugaji hivyo ni vema kila mtu akaona umuhimu wa kuwa na mizinga ya nyuki kwani asali ni dawa asali ni chakula na asali ni mali alisema bwana pinda
pia amezitaka taasisi zinazoshughulikia ubora wa viwango mamlaka ya chakula na dawa na shirika la viwango tanzania UNK mbinu mbadala ili kuiwezesha asali ya tanzania ikubalike kimataifa
kauli hizo alizitoa jana dar es salaam wakati wa uzinduzi wa maonesho ya tatu ya kitaifa ya asali ambako UNK wizara ya maliasili na utalii kusimamia vizuri sekta hiyo kwa kuweka mikakati ya na kuwasaidia wazalishaji wa mazao ya nyuki
alisema serikali imeandaa mazingira mazuri kwa kuhakikisha kuwa kuna sera na sheria kuhusu ufugaji nyuki na kuendeleza sekta hiyo ili iwe endelevu
shirikisho la wenye viwanda tanzania limeonya kuwa endapo mgawo wa umeme utaendelea hadi mwishoni mwa oktoba mwaka huu viwanda nchini UNK UNK kwa asilimia kumi hadi kumi na tano na kupoteza ajira za wafanyakazi wasio wa kudumu kwa asilimia ishirini angalizo hilo lilitolewa dar es salaam jana na mkurugenzi wa sera na u...
hali hiyo inafuatia mgao wa umeme UNK kutokana na kuharibika mitambo ya songas UNK na hale na kusababisha mgao umeme wa kuanzia saa kumi na nne na kuendelea kila siku
bwana kamote alibainisha pia kuwa mapato ya serikali UNK kwa asilimia kumi na tano kutokana na mgao huo unaosababisha kushuka kwa uzalishaji viwandani
mgawo wa umeme kwa mwaka huu haukuwa wa lazima kama serikali ingechukua tahadhari mapema kuhakikisha kuwa umeme uliokuwa umepungua wa megawati themanini katika grid ya taifa unapatikana ufumbuzi alisema bwana kamote
alifafanua kuwa kuna njia nyingi za kukabiliana na mgawo wa umeme katika kipindi hiki kama serikali ingefanya mipango ya haraka ya kutumia UNK kubwa za kuzalisha umeme zilizokuwa zikitumika katika migodi ya UNK na buzwagi kabla ya kuanza kutumia umeme wa grid ya taifa
UNK haya yanaweza kutumika kuzalisha umeme na kuingizwa katika gridi ya taifa ili kupunguza upungufu ya megawati themanini alisema bwana kamote
ameitaka serikali kuwapunguzia kodi ya mafuta kwa wenye viwanda nchini ambao wanatumia jenereta katika uzalishaji kwa kipindi hiki cha mgao ili kuzuia kushuka kwa uzalishaji
bwana kamote alisema kwamba jitihada zinatakiwa ili kuondokana na mgawo wakati nchi ikiingia katika soko la pamoja katika shirikisho la afrika mashariki ili kutoa ushindani wa kibiashara
tanzania ina uwezo mkubwa wa kiushindani katika shirikisho hilo lakini ikiwa tatizo la umeme nchini UNK tanzania itakuwa soko la bidhaa za nje alisisitiza
alisema kuna hatari pia ya kupoteza soko la bidhaa zinazozalishwa nchini kutokana na walaji kuzoea bidhaa za nje na hivyo kuwa vigumu UNK
polisi mkoani manyara wanamshikilia bwana UNK shauri kwa kosa la kumkeketa binti yake UNK daniel na kumsababishia kifo
mtoto huyo UNK oktoba kumi na moja mwaka huu na kuendelea kuvuja damu sehemu za siri hadi oktoba kumi na nane alipofariki dunia
kamanda wa polisi mkoa wa manyara parmena sumary alisema kuwa tukio hilo lilitokea siku hiyo saa kumi sifuri sifuri jioni katika kijiji cha UNK wilayani UNK
kamanda sumary alisema kabla ya kifo chake mtoto huyo alikuwa akiishi na mtuhumiwa baada ya mama yake mzazi bibi UNK daniel kupata kichaa na kumtelekeza akiwa mdogo
kutokana na hali hiyo mtoto huyo alikosa afya na kupata na homa za mara kwa mara kwa sababu ya kukosa maziwa ya mama hali iliyosababisha wazazi wa mtuhumiwa kushauri UNK ili kuondokana na matatizo hayo
kamanda alisema kuwa mtuhumiwa alitekeleza ushauri potofu wa wazazi wake lakini alishangazwa na hali ya mtoto huyo kuendelea kuwa mbaya hadi alipofariki dunia kwa kupoteza damu nyingi
baada ya kifo hicho kutokea mtuhumiwa alitaka kuuzika mwili wa mtoto huyo bila ya watu kujua lakini wasamaria alitoa taarifa kwa mtendaji wa kijiji hicho UNK UNK ambaye alifika nyumbani kwa mtuhumiwa na kukuta maandalizi ya mazishi na kuwaamuru kusimamisha shughuli hiyo hadi hatua za kisheria UNK
baada ya UNK hiyo mwili huo ulichukuliwa hadi hospitali ya wilaya ya babati kwa uchunguzi zaidi na ndipo iligundulika kuwa marehemu alipatwa na mauti hayo baada ya UNK na kuvuja damu nyingi
kwa mujibu wa kamanda huyo UNK aliyehusika kumkeketa mtoto huyo mama UNK alitoroka baada ya hali ya mtoto inakuwa mbaya na polisi wanaendelea kumsaka kujibu shtaka hilo
mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi nyawilimilwa wilayani geita mwanza mwenye ulemavu wa ngozi gasper elikana ameuawa kwa kukatwa shingo na mguu wake kunyofolewa
mbali na kumuua albino huyo saa mbili thebathini usiku juzi wauaji hao walimjeruhi vibaya kwa mapanga baba yake mzazi elikana UNK
kufuatia tukio hilo jeshi la polisi limetangaza zawadi ya shilingi moja sifuri sifuri sifuri sifuri sifuri sifuri kwa yeyote UNK taarifa za kukamatwa kwa wahusika kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani mwanza bwana elias kalinga alipozungumza na majira jana jioni baada ya kufika eneo la tukio
mkuu wa mkoa wa mwanza bwana abbas kandoro alisema kuwa alipokea taarifa za tukio hilo kwa masikitiko makubwa na kwamba kitendo hicho lazima UNK na kila mtanzania anayejali maisha ya binadamu wenzake
bwana kandoro alisema utajiri haupatikani kwa kukata viungo vya albino bali ni watu kufanya kazi kwa bidii ili UNK maendeleo
alisema kuwa serikali inatoa wito kwa jamii kutoa ulinzi kwa walemavu wa ngozi mkoani mwanza na si kuiachia serikali pekee katika mapambano dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo hivyo vya kinyama
bwana kandoro alisema ameagiza timu maalumu kutoka mkoani mwanza ikiongozwa na bwana kalinga kwenda wilayani geita kufanya uchunguzi kuungana na kikosi kazi kinachoongozwa na mkuu wa wilaya ya geita bwana philemon UNK
mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya geita daktari cassian kabuche alisema kuwa majeruhi ambaye amelazwa wodi namba nane hospitali hapo hali yake si ya kuridhisha kutokana na majeraha aliyopata kichwani
alifikishwa hapa jana usiku akiwa hajitambui kiasi kwamba iwapo hali UNK hivyo hadi leo UNK katika hospitali ya rufaa bugando jijini mwanza lakini kutokana na juhudi UNK hali yake angalau inatia moyo kidogo alisema daktari UNK
habari zilizopatikana kijijini hapo zinasema wauaji hao wakiwa na mapanga walifika nyumbani kwa bwana ngelela na kuanza kumshambulia kwa mapanga na kisha kumuua UNK
mkazi wa kijiji hicho bwana UNK UNK alisema majirani walisikia kelele za kuomba msaada kutoka kwa mama wa mtoto huyo na walipofika walikuta wauaji UNK na mguu wa kulia wa mtoto huyo huku mwili wake ukiwa UNK UNK huku baba yake akiwa UNK
baada ya kuona hali hiyo wakazi wa kijiji hicho walimchukua majeruhi na mwili wa marehemu hadi hospitali ya wilaya ya geita ambako maiti imehifadhiwa na majeruhi akiendelea na matibabu
mwanasheria mkuu wa serikali UNK jana jaji fredrick werema amesema hatafanya kazi hiyo kwa kushinikizwa na mtu au umma bali kulingana taaluma yake
jaji werema aliapishwa jana katika viwanja vya ikulu baada ya kuteuliwa na rais jakaya kikwete kushika nafasi iliyoachwa wazi na bwana johnson mwanyika UNK kwa lazima
wengine UNK na rais kikwete ni naibu mwanasheria mkuu george UNK bwana david UNK bwana UNK UNK na bwana mbarak UNK
mara baada ya kuapishwa kwake jaji werema UNK na waandishi wa habari na kuweka msimamo wake kuwa kufanya kazi kwa kufuata mtu au umma unavyosema ni kukiuka madili ya taaluma yake
nitafanya kama nilivyoapa wengi UNK kwa hiyo kana nitafanya kinyume na nilivyoapa nitakuwa nimeingia katika maeneo mengine hilo hata UNK analifahamu alisema jaji werema
jaji werema ambaye anashika kiti hicho huku UNK wake bwana mwanyika akituhumiwa kushindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya richmond na UNK hasara taifa alikataa kabisa kuzungumzia jambo hilo na kuwaomba waandishi waliotaka kujua jambo hilo kuliacha kwani bado liko katika UNK wa kupata ukw...
moja ya mambo UNK ni kuropoka na ni kosa kubwa kwa jaji kuropoka bila kufanya utafiti
jaji UNK halafu jambo likaja kuwa siyo kuna madhara makubwa katika jamii hivyo naomba niingie ofisini kwanza nione ofisi ilivyo ndiyo UNK hayo
mikataba ni mambo ya ofisi ya mwanasheria mkuu na katika ofisi yangu kuna wanasheria wa kutosha hivyo naamini nitafanya kazi zangu vizuri kulingana na katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ibara ya hamsini na tisa inavyosema alisema jaji werema
akizungumzia ufisadi jaji werema alisema hawezi kuzungumzia suala hilo kuwa kuwa tayari liko katika mkono ya sheria na UNK maamuzi hivyo si vema kulizungumzia kwa sasa
UNK mtu kuwa fisadi lazima uwe na ushahidi wa kutosha jamani UNK UNK kabla UNK hili UNK alisema jaji werema
UNK waandishi kutoandika habari ambazo ziko mahakamani na bado hazijatolewa maamuzi kwani kwa kufanya hivyo kuingilia uhuru wa mahakama na zinatoa hisia tofauti kwa umma na kuonekana maamuzi yatakayotolewa na mahakama kuwa si sahihi bali yaliyoandikwa na kusemwa katika vyombo vya habari ndiyo sahihi
jaji werema alizaliwa april kumi elfu moja na mia tisa na hamsini na nne na kusoma katika vyuo vikuu vya dar es salaam uingereza marekani italia ambako alisoma mambo ya mikataba na bolivia UNK mambo ya kuzalisha kuuza na kusambaza umeme
serikali UNK kamati ya shellukindo
yadai si busara kujadiliwa dar es salaam
wabunge UNK tena kuitoa jasho bungeni mzimu wa kampuni tata ya richmond umezidi kuitesa serikali baada ya kushindwa kwa mara ya tatu kuwasilisha maelezo ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kwenye kamati ya nishati na madini na kuhamishia mjadala huo mjini dodoma
kwa mara ya tatu jana serikali ilitarajiwa kuwasilisha hatua ya mwisho ya utekelezaji wa maazimio ishirini na tatu ya bunge dhidi ya mkataba wa kitapeli wa richmond uliosababisha aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa kujiuzulu lakini haikufanya hivyo wala kutoa sababu za kuhamishia mjadala huo dodoma
waziri wa ni
wabunge wapania kuitoa jasho UNK na madini bwana willliam ngeleja jana alifika mbele ya kamati hiyo lakini badala ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kama ilivyotarajiwa aliiomba kamati UNK maelezo hayo kwenye mkutano wa bunge mjini dodoma badala ya dar es salaam
hata hivyo bwana ngeleja hakuweza kutoa sababu za msingi kueleza ni kwanini hakutaka ripoti yake ijadiliwe na kamati hiyo dar es salaam kama ilivyokuwa taarifa za nyingine badala yake akasema tu serikali imeona ni busara taarifa hiyo ijadiliwe katika vikao vya bunge UNK jumanne ijayo
mwenyekiti wa kamati hiyo bwana william shellukindo alisema haoni sababu ya kukataa ombi hilo hivyo kamati wakakubali maazimio hayo kujadiliwa mjini dodoma badala ya dar es salaam
kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na ofisi ya bunge serikali ilitakiwa kuwasilisha taarifa hiyo oktoba sita UNK UNK oktoba ishirini na ishirini na moja pia UNK hadi jana UNK dodoma
wachunguzi wa mambo wanasema kuwa serikali UNK kuwasilisha maelezo ya utekelezaji wa maazimio hayo kwa sababu za kiusalama jambo ambalo UNK hisia ya kuwepo kwa siri nzito huku wabunge wakipania kuitoa jasho ikiwa majibu UNK
mkutano ujao wa bunge unatarajiwa kufunga jamvi la mjadala wa richmond kufuatia ahadi ya rais jakaya kikwete aliyotoa hivi karibuni alipozungumza moja kwa moja na wananchi kuwa suala hilo litakuwa UNK ifikapo novemba
katika siku za karibuni kumekuwa na dalili za kumaliza suala hilo baada ya watuhumiwa waliotajwa na bunge na kutakiwa kuchukuliwa hatua kuanza kustaafu kwa lazima na rais kikwete kuteua wengine kuchukua nyadhifa zao
miongoni mwa waliostaafu ni mwanasheria mkuu wa serikali johnson mwanyika katibu wa wizara ya nishati na madini arthur mwakapugi na aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi gray mgonja huku macho na masikio UNK mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kupambana na UNK rushwa daktari edward hoseah
baada ya ofisi za kampuni ya upatu ya deci kufungwa juzi na jana sasa uongozi wa kampuni hiyo UNK wanachama wao kusubiri hatma yao wiki ijayo
kwa mujibu wa taarifa zilizotangazwa jana kwa wanachama waliokuwa wakisubiri kufahamu hatma yao baada ya kufungwa kwa ofisi hizo ziliko mabibo dar es salaam wanatakiwa UNK hadi wiki ijayo hali iliyosababisha baadhi kuanza kukata tamaa juu ya fedha walizopanda
akitangaza mbele ya wanachama hao mmoja wa viongozi wa deci akiwa na ulinzi mkali wa polisi pamoja na askari wa kampuni hiyo alidai kwa vile wanataka kuonana na viongozi wa serikali wanatarajia kutoa hatma ya upatu huo wiki ijayo
wale ambao wamepanda mbegu bila kuvuna watarudishiwa fedha zao wiki ijayo na baada ya kufungua ofisi wale ambao UNK na kuvuna tutangalia ni jinsi gani UNK suala lao alisema na kuondoka katika eneo la akiwa chini ya ulinzi
pia aliwataka washiriki wote kutokuwa na wasiwasi na fedha zao kwani ziko salama na zitaendelea kutunzwa hadi serikali itakapotoa maelekezo mengine
akizungumza na majira kwa simu mmoja wa kiongozi wa deci bwana dominic kigendi alisema hadi sasa bado UNK na viongozi wa serikali kama wanavyotaka lakini wanatarajia kuonana nao kuanzia jumatatu
kwa sasa UNK suala la kukutana na viongozi kama UNK hivyo kuhusu suala la kupanda au kuvuna tunasubiri kwanza majibu yao alisema bwana UNK
wakati kiongozi huyo akitoa kauli hiyo baadhi ya wanachama waliofika ofisi za deci walionekana kukata tamaa ya kutopata fedha zao huku wengine UNK matumaini kuwa UNK
wapo walionekana wakiwa na furaha baada ya taarifa hiyo na wengine wakiwa katika hali ya huzuni na pia wapo waliokuwa wakilaumu uamuzi wa serikali kuifungia kampuni hiyo
washiriki hao walikuwa katika makundi madogo madogo wakijadiliana kuhusu taarifa hiyo ya kiongozi huyo huku ofisi hiyo ikiwa katika ulinzi mkali wa polisi na askari wa kampuni hiyo huku wakitoa amri ya UNK ukuta wa jengo hilo
mijadala katika makundi hayo ilikuwa ni ya kulaani tamko hilo la serikali lililotolewa jumanne na waziri mkuu mizengo pinda na mjadala mwingine ulikuwa ni kuweka mikakati ya UNK kura chama cha mapinduzi katika uchaguzi mwakani
wakati mijadala hiyo ikiendelea kulikuwa na uvumi kuwa watu watatu walizirai na mmoja kufa baada ya kubaini kuwa uwezekano a kuvuna ni mdogo
anayedaiwa kufariki ni mwanamke ambaye aliweka fedha zake katika kampuni hiyo baada ya kuuza nyumba ili aweze kuzalisha zaidi na kisha kununua nyumba nyingine baada ya kushauriwa na rafiki yake wa karibu
mtu mwingine aliyeonekana kuwa na majonzi ni kutoka mkoa wa kigoma ambaye alisema UNK jamaa yake fedha na kupanda katika kampuni hiyo kwa makubaliano ya kurudisha aprili ishirini lakini hadi jana alikuwa hajui hatima ya fedha hizo
akizungumza na majira bwana robert milozi mlemavu UNK mkazi wa mbagala kiburugwa alisema amekuwa mshiriki wa deci kwa miaka miwili na kupata amepata mafanikio makubwa lakini sasa hajui hatima ya maisha yake
kama serikali imesema kuwa hawa jamaa hawako sahihi basi watafute utaratibu mwingine UNK alisema bwana UNK
alisema deci ambayo imetafsiriwa kuwa ndiyo mkombozi wa walalahoi iwe funzo kwa serikali ili iweze kusimamia vizuri mabilioni ya shilingi yaliyotolewa kwa ajili ya kuinua maisha ya watanzania wa kipato cha chini
bwana milozi alisema mabilioni hayo yaliyotolewa na rais jakaya kikwete UNK walengwa kama UNK kwani asilimia tisini na tisa hawana uwezo wa kumiliki nyumba ambazo zitatumika kama dhamana katika benki ili kukopeshwa fedha hizo
katika hatua nyingine kwa mujibu wa UNK cha habari kutoka benki kuu ya tanzania na jeshi la polisi pamoja na kuundwa tume inayochunguza kampuni hiyo tayari bot na soko la mitaji na dhamana UNK uchunguzi deci kwa miaka miwili na kinachofanyika sasa ni uhakiki tu
baada ya uchunguzi huo gavana wa bot profesa benno ndulu aliwasiliana na jeshi la polisi makao makuu na kisha kuunda kamti UNK maofisa kutoka jeshi hilo soko la mitaji na dhamana na bot wafanyakazi wa benki ya biashara makao makuu dar es salaam jana walikumbwa na taharuki na kulazimika kuziacha ofisi zao kukimbia tish...
hali hiyo iliyoshuhudiwa na gazeti hili ilitokea baada ya mitambo inayotoa tahadhari ya majanga kutoa viashirio vya kuwepo kwa moto na kudumu kwa karibu nusu saa kuanzia majira ya saa kumi thebathini akizungumza na gazeti hili mmoja wa wafanyakazi wa kitengo UNK na kuzuia na kupambana na majanga katika benki hiyo amba...
unajua umeme wetu hauko UNK ulikuwa UNK kwa hivyo inaonekana umerudi mwingi hivyo wakati jenereta lina pick UNK kuwa kutakuwa na tatizo la umeme mitambo yetu ya UNK UNK na kutoa tahadhari
mkazi wilaya wa tunduru katika kijiji cha UNK amani bibi UNK chande ambaye alifika dar es salaam kwa matibabu amepotea wakati UNK watoto wake
akizungumza kwenye ofisi za gazeti hili jana bibi chande alisema kuwa alifika dar es salaam juzi usiku akitokea tunduru na hadi sasa hajawaona watoto wake
bibi chande alisema kuwa hana mawasiliano na watoto hao na wala UNK sehemu wanazoishi ila anasikia wanaishi katika maeneo ya tandika na mbagala
aliwataja UNK kuwa ni bwana mohamed rashidi amour ambae anaishi tandika na bwana UNK rashidi amour anayeishi mbagala
alisema kuwa kabla ya kufika dar es salaam watoto wake walimtumia nauli lakini tangu watume fedha hizo hakukuwa na mawasiliano yoyote nao hadi akaamua aje mwenyewe
alisema kuwa mpaka sasa hajui UNK vipi katika jiji ili kwani hana sehemu ya kufikia na jana alilala katika kituo cha basi cha sudan
kwa sasa bibi chande anaishi kwa bwana yusufu UNK ambaye ni mkazi wa tandika ameomba watoto wake hao au yoyote UNK UNK simu namba sifuri saba tatu saba sifuri sita tisa nne mbili sita wafuasi saba wa cuf katika kijiji cha kwale wilayani mkinga mkoa wa tanga wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya tanga wakikabiliwa ...
watuhumiwa hao fadhili bakari omari mwaita hamisi UNK UNK mamboleo UNK mwaita mwaita ayubu na UNK mohamed walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya hakimu mkazi bibi UNK UNK
akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali bwana andrew UNK alidai mahakani hapo kuwa mnamo oktoba ishirini mwaka huu saa saba thebathini usiku watuhumiwa hao UNK kwa moto nyumba ya ofisa mtendaji wa kijiji hicho bwana tamimu na kusababisha hasara kubwa
wakili huyo wa serikali aliiambia mahakama hiyo kuwa watuhumiwa siku na saa ya tukio UNK nyumba na kusababisha hasara ya shilingi thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri hakimu UNK aliiambia mahakama kuwa kosa hilo UNK na kwamba watuhumiwa hao kila mmoja alitakiwa kwa na wadhamini wawili watakaoweza kusaini dhamana ya ...
hata hivyo washitakiwa hao walikana shtaka hilo na kushindwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na kwamba wamerudishwa rumande hadi hapo novemba tatu mwaka huu kesi hiyo itakapojatwa tena
mwenyekiti wa mtaa UNK mkoani iringa bwana aldo kaduma ambaye ni mgombea wa nafasi hiyo tena kwa tiketi ya ccm amefikishwa katika mahakama ya hakimu ya mkazi mkoa wa iringa kwa tuhuma za kujifanya ofisa takukuru na kupokea rushwa ya shilingi mia mbili na hamsini sifuri sifuri sifuri kutoka kwa padri wa parokia ya ifun...