text stringlengths 1 1.32k |
|---|
akisoma mashitaka mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya mkoa wa iringa bibi consolata singano mwanasheria wa takukuru mkoa wa iringa bwana UNK mizizi alisema kuwa mtuhumiwa anakabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kujifanya ofisa wa takukuru na kisha kuomba rushwa ya shilingi arobaini sifuri sifuri sifuri sifuri kutok... |
ilielezwa kuwa mtuhumiwa alimfuata tena padri kudai fedha iliyobaki ambapo padri huyo alikwenda takukuru kwa nia ya kumtafuta ambapo ilibainika kuwa si ofisa wa takukuru na ndipo mtego UNK na kufanikiwa kukamatwa akipokea shilingi mia moja na hamsini sifuri sifuri sifuri kutoka kwa padri septemba ishirini na nane mwak... |
mtuhumiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo baada ya uchunguzi kukamilika ambapo mshitakiwa alikana mashitaka yote na yuko nje kwa dhamana ya shilingi milioni mbili na kesi itatajwa tena novemba tisa mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza maelezo ya awali |
shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka bwana seif mohamed ameieleza mahakama kuwa bodi ya wakurugenzi wa benki kuu ya tanzania iliidhinisha mabadiliko ya mradi wa majengo pacha baada ya kazi kufanyika |
mabadiliko hayo yalidaiwa kufanyika kutokana na maelekezo yaliyotolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba na baadaye yalipelekwa kwenye bodi kwa ajili ya UNK |
bwana mohamed ambaye ni afisa wa takukuru aliyasema hayo jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu chini ya mwenyekiti bwana edson mkasimongwa wakati akitoa ushahidi wake kuhusiana na uchunguzi alioufanya katika mradi huo |
akihojiwa na wakili wa upande wa utetezi bwana hillary mkate ilikuwa kama hivi swali je mabadiliko ya mradi wa majengo hayo yalifanywa na nani |
shahidi mabadiliko hayo yalifanywa na bwana liyumba kwa maelekezo aliyokuwa akiyatoa kwa njia ya barua kwa mhandisi mshauri wa mradi huo |
swali je liyumba angewezaje kufanya mabadiliko kama hayo akiwa kama mkurugenzi wa utawala na utumishi na ukizingatia alikuwa sio mjumbe wa bodi |
shahidi uchunguzi unaonesha kuwepo kwa maelekezo yake katika mabadiliko ya mradi ukilinganishwa na mkataba wa awali |
swali je UNK mabadiliko hayo yalifanywa na bodi UNK |
shahidi uchunguzi wangu wangu UNK hilo ila idhini zote za bodi zilikuwa zikitolewa baada ya kufanyika kwa mabadiliko ambayo moja kwa moja yalikuwa UNK kwa liyumba na kwenda kwa mhandisi UNK |
swali je huyo mhandisi alikubali kufanya mabadiliko hayo |
na kama ndiyo kwani mkataba ulikuwa kati yake na liyumba |
shahidi alikubali kwa kuwa mradi huo ulikuwa ukiratibiwa na kurugenzi yake lakini mkataba ulikuwa kati ya bot na kampuni ya group five east ltd |
swali je katika mabadiliko haya gavana wa benki hiyo bwana balali hakuhusika |
shahidi hakuhusika |
swali je uchunguzi wako umeona kweli liyumba amefanya makosa ya rushwa |
shahidi yanayohusiana na rushwa swali je kama yeye amefanya makosa hayo ambayo bodi nayo iliidhinisha utakubali kuwa na bodi nayo UNK |
shahidi wajumbe wa bodi wakija UNK |
swali je ni hasara gani ambayo serikali imepata na wakati majengo UNK yapo na UNK |
shahidi mkataba uko wazi ambao awali ulikuwa unagharimu dola za marekani milioni sabini na tatu sita na baada ya mabadiliko hayo gharama yake ilifikia dola za marekani milioni mia mbili na hamsini na tatu tisa swali je balali UNK kuhusiana na mchakato huo |
shahidi UNK |
swali kwa nini bodi UNK kuwa mabadiliko ambayo UNK UNK mradi huo kwa kulinda maslahi ya benki na serikali |
shahidi uchunguzi unaonesha kuwa bodi ilikuwa ikikemea kwa nguvu lakini hapakuwa na mafanikio yoyote |
swali utakubaliana na mimi kama liyumba alifanya makosa UNK kazi |
shahidi UNK swali utakubali kuwa mkataba una vipengele UNK na mabadiliko yoyote |
shahidi ndiyo kipengele hicho UNK |
swali je UNK mshitakiwa sababu iliyomfanya aongeze ghorofa hizo |
shahidi ndiyo alisema kuna ongezeko la watumishi |
swali je barua za liyumba UNK gharama UNK |
shahidi hapana ila hesabu hiyo UNK baada ya kufanya hesabu ambazo nilifanya mwenyewe |
swali utakubaliana kuwa mpaka sasa hujui hasara iliyotokana na mradi huo |
shahidi najua ni iliyopo kwenye mashtaka |
awali akifanyiwa mahojiano na wakili wa serikali bwana juma ramadhan shahidi huyo alidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa ni pamoja na kuongezwa ghorofa nne kila jengo eneo la kutua helkopita eneo la kupaki magari ukumbi wa mikutano na vingine ambavyo UNK kuongezeka kwa gharama |
hatima ya kulipwa au UNK kwa malipo ya hisa za wamiliki wa mgodi wa kiwira familia ya rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa na daniel yona UNK katika mkutano wa kumi na saba wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania utakaoanza jumanne ijayo huku baadhi ya wabunge wakitaka viongozi hao watoke UNK |
taarifa kuhusu jinsi serikali UNK mradi wa mgodi wa kiwira ilikuwa ijadiliwe dar es salaam jana na kamati ya bunge ya nishati na madini lakini ghafla uamuzi huo UNK na UNK suala hilo UNK katika vikao vya kamati hiyo UNK mjini dodoma jumanne ijayo |
hoja hiyo ni ya pili kuahirishwa hatua za mwisho baada ya ile ya utekelezaji wa maazimio ishirini na tatu ya bunge kuhusu mkataba tata wa richmond lakini katika hali ya kushangaza suala hilo UNK na kupangwa kujadiliwa mkoani dodoma |
wakati mjadala huo UNK dodoma baadhi ya wabunge waliozungumza na gazeti hili bila kupenda kutajwa walisema UNK UNK huo urudi mikononi mwa umma bila kuwalipa wawekezaji wake hata senti moja |
licha ya kwamba kilichomo kwenye taarifa hiyo bado ni siri lakini jambo moja UNK wabunge hao ni kuwa mgodi huo umerudi mikononi mwa watanzania |
akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo ya bunge waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alisema hoja ya kiwira itajadiliwa mkoani dodoma lakini hakutaka kuingia ndani kueleza ni kwa nini imeamuliwa hivyo |
UNK kichwa cha habari kuhusu kile UNK kwenye kamati ya bunge ni taarifa ya jinsi serikali inavyoshughulikia mgodi wa kiwira alisema bwana ngeleja na kuongeza suala hili linashughulikiwa na serikali kwa kufuata na kanuni na taratibu za bunge |
bwana ngeleja alisema tayari mgodi huo upo mikononi mwa serikali na itaanza kuwalipa wafanyakazi wote kuanzia mwishoni mwa mwezi huu ambapo watalipwa malimbikizo ya mishahara ya miezi kumi na tano hata hivyo bwana ngeleja hakuwa tayari kuzungumzia juu ulipwaji wa hisa anazomiliki bwana mkapa na mwenzake bwana daniel y... |
alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusu hatima ya kulipwa hisa zao bwana mkapa na bwana yona waziri ngeleja alijibu kwa kifupi hayo yatajulikana bungeni |
kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini bwana william shellukindo alisema kamati yake imepokea taarifa na imeridhia kulipwa kwa wafanyakazi hao |
cha kufurahisha zaidi ni taarifa ya mgodi huo kuwa mikononi mwa serikali alisema |
kuhusu kulipwa kwa hisa za wawekezaji wa mgodi huo alisema kuna mambo ambayo UNK |
tuhuma za rais mtaafu bwana mkapa na bwana yona kujimilikisha mgodi wa kiwira ziliibuliwa na mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro katika mkutano wa kumi na moja wa bunge |
baada ya kuibuliwa kwa hoja hiyo baadhi ya wabunge walitaka kiongozi huyo mstaafu aondolewe kinga na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa kutumia vibaya madaraka yake akiwa rais lakini hivi karibuni halmashauri kuu ya ccm UNK kifua na kuwataka wabunge wa chama hicho pamoja na wanachama wengine wamwache apumzike |
wakati wabunge hao wakipendekeza hivyo tayari bwana yona anakabiliwa na mashitaka tofauti ya kutumia madaraka vibaya na kuliingizia taifa hasara ya shilingi bilioni kumi na moja saba mamlaka ya chakula na dawa imeanza kufanya uchunguzi mpya wa kimaabara wa dawa zote zinazoingizwa nchini hasa za malaria ili kubaini UNK... |
akizungumza na majira jana dar es salaam mkurugenzi wa tfda bibi UNK ndomoko alisema kuwa hatua hizo za ufuatiliaji ndizo UNK kufahamu kuwepo kwa dawa bandia za kutibu malaria aina ya due co tecxin ambazo zimesambazwa kwa wingi mitaani |
tumegundua kuwepo kwa dawa hizo bandia baada ya kufuatilia na kufanya uchunguzi wa kimaabara na kugundua kuwa haziwezi kutibu ugonjwa huo na mpaka sasa tunaendelea kufanyia uchunguzi dawa zingine alisema |
alisema kuwa timu ya tfda pia imewekwa mipakani mwa nchi kuakikisha kwamba wanakagua dawa zote zinazoingizwa nchini kama ni halisi au bandia kabla ya kusambazwa mitaani |
alisema dawa hiyo bandia UNK co tecxin toleo namba mia nane na ishirini tatu sifuri nane UNK novemba ishirini na sita mwaka juzi na mwisho wa matumizi yake ni oktoba ishirini na sita mwaka kesho |
bibi ndomoko alisema moja ya tofauti iliyoko katika dawa hiyo halisi imeandikwa tarehe ya kutengenezwa na tarehe ya kuisha muda wake wa matumizi na namba ya toleo UNK kwa muhuri wa moto UNK vizuri |
alisema tofauti nyingine iliyoko katika dawa hiyo kuna maandishi ya nyuma ya UNK na jina la dawa na kiasi cha dawa pamoja na jina la mtengenezaji ambavyo vyote vinasomeka na kuonekana vizuri katika eneo lenye vidonge wakati kwa upande wa dawa feki vitu vyote hivyo havionekani vizuri |
tofauti nyingine iliyoko katika dawa halisi ni kwamba vidonge vina rangi ya bluu iliyokolea na upande mmoja kuna mstari katikati na upande wa pili kuna neno d c vyote hivyo vinasomeka vizuri wakati ile feki UNK vizuri alisema |
mkurugenzi huyo alisema kuwa karatasi maelezo ya dawa halisi ina urefu wa sentimeta ishirini na moja na upana wa sentimita kumi na tano tano na upande mmoja umechapishwa kwa lugha ya kiingereza na mwingine ni lugha ya UNK |
dawa bandia ina urefu wa sentimita kumi na tatu tisa na upana wa sentimita kumi nne na pia upande mmoja umechapishwa kwa lugha ya kiingereza na mwingine UNK maandishi alisema |
bibi ndomoko aliitaka jamii kuwa kuwa makini katika ununuzi wa dawa za malaria ili waweze kufahamu tofauti UNK ili waweze kuepuka kununua dawa hiyo pamoja na UNK |
mkurugenzi huyo aliwataka pia wamiliki wa maduka ya dawa kuhakikisha kuwa wananunua katika maeneo UNK na tfda na kutoa taarifa haraka iwezekanavyo pale UNK kuuziwa dawa bandia |
alisema kwa sasa mamlaka hiyo inawasaka watu wanaojihusisha na uuzaji wa dawa bandia na hatua kali zitachukuliwa kwa wale watakaogundulika kuwa ndio wahusika wakuu |
UNK uteuzi wa dc temeke rais jakaya kikwete amefanya mabadiliko madogo ya vituo vya kazi kwa baadhi ya wakuu wa wilaya nchini ikiwa ni pamoja na kufanya uteuzi mpya wa mkuu wa wilaya mmoja |
wakati huohuo rais UNK uteuzi wa bwana said mkumbo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya temeke na kumhamishia katika idara nyingine ya serikali |
taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na kusainiwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu ilieleza kuwa rais amemteua bwana anatory choya kuwa mkuu wa wilaya ya mbulu ambapo uteuzi huo umeanza oktoba kumi mwaka huu |
rais pia amefanya mabadiliko madogo ya vituo vya wakuu wa wilaya ambapo bwana francis isaack aliyekuwa mkuu wa wilaya ya mbulu sasa UNK wilaya ya bunda na bibi chiku gallawa amehamishiwa wilaya ya temeke akitokea wilaya ya bunda |
bibi gallawa amehamishiwa wilaya ya temeke kuziba nafasi inayoachwa wazi baada ya rais kutengua uteuzi wa aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo bwana saidi mkumbo |
taarifa hiyo inaeleza kuwa kutokana na utenguzi huo rais ameagiza bwana mkumbo ahamishiwe katika ofisi ya waziri mkuu |
hata hivyo taarifa hiyo haikueleza sababu za utenguzi huo |
yadaiwa ni mzigo UNK milioni mia saba na hamsini kwa siku siku chache baada ya serikali kutangaza kuwashwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya iptl baadhi ya wadau wamekuja juu wakisema uamuzi huo unatarajia kuwa mzigo mkubwa kwa wananchi |
akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mtaa wa UNK wazo hill dar es salaam jana naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi tanzania visiwani bwana juma duni haji alisema kuwa uamuzi utazidi UNK wananchi kwa kuwa gharama za umeme zitapanda na UNK gharama hizo si serikali bali mwananchi wa kawaida |
umeme wa iptl na richmond si wa serikali bali ni wa watu binafsi hivyo UNK UNK mitambo yake atataka kufanya biashara kwa hiyo si ajabu UNK umeme umepanda na wananchi UNK kwa gharama kubwa |
rais jakaya kikwete ni wazi suala la kusimamia umeme UNK na si umeme tu bali hata mambo mengi tu UNK alisema bwana duni haji |
mitambo hiyo ya iptl ambayo UNK miaka miwili iliyopita UNK kwa saa ishirini na nne itatumia mafuta lita mia sita na ishirini na tano sifuri sifuri sifuri endapo yatakuwa yakiuzwa shilingi moja ishirini sifuri kwa UNK |
kiwango hicho UNK serikali kulazimika kutumia zaidi ya shilingi bilioni ishirini na tatu hadi itakapofika mwishoni mwa mwezi novemba |
bwana duni aliwataka wananchi hao kusimama imara na kudai haki zao za msingi ili kuondokana na maisha magumu wanayokabiliana nayo sasa |
mabadiliko hayawezi kutokea bungeni dodoma wala hayawezi kutokea popote zaidi ya huku chini kwanza ninyi mfanye mabadiliko na ndipo yatakuja huko juu alisema |
aliwataka wananchi kuwa jasiri na kupambana na uonevu na ujasiri wao utatokana na kupiga kura sambamba na kukataa kuibiwa kura hizo |
mkiamua na UNK hata aje simba mwenye meno makali UNK UNK na UNK nyama alisema |
bwana juma duni alikuwa katika ziara ya operesheni zinduka wilaya ya kinondoni sambamba na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali za wilaya hiyo pia alikuwa UNK wagombea wa cuf wa serikali za mitaa |
wakati huo huo reuben kagaruki anaripoti kuwa shehena ya kwanza ya mafuta yenye ujazo wa tani saba mia tano na ishirini na nne yatakayotumika kuwasha mtambo wa kufua umeme wa iptl inatarajia kuwasili nchini wakati wowote ifikapo kesho |
akizungumza na waadishi wa habari ofisini kwake dar es salaam jana waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alisema meli yenye shehena ya mafuta hayo itakuwa imewasili ifikapo kesho na kwamba fedha za malipo ya shehena hiyo zipo tayari |
tuna uhakika wa kupata UNK wa kwanza wa mafuta ifikapo oktoba ishirini na tano na novemba mosi mwaka huu mitambo ya iptl itakuwa imeanza kupasua anga alisema bwana ngeleja na kuongeza kuwa tatizo la mafuta siyo changamoto tena |
alipoulizwa shehena hiyo itagharimu kiasi gani cha fedha bwana UNK alisema wataalamu kutoka kampuni inayoleta mafuta hayo ya total tanzania wasimamizi wa mitambo ya iptl na wale wa shirika la umeme tanzania walikuwa wakiendelea kukusanya takwimu ili kujua gharama zake |
bwana ngeleja alisema mara baada ya kukamilisha hesabu UNK ndipo wizara ya fedha na uchumi UNK malipo |
alisema mafuta hayo UNK nchini na kampuni ya total tanzania kwa kuwa ndiyo yenye mkataba wa kusambaza mafuta hayo kwa iptl alibainisha kuwa pindi mtambo huo utaanza kufanyakazi utapunguza kwa kiasi kikubwa makali ya mgawo |
alipoulizwa ni kwa nini rais jakaya kikwete aliamuru mitambo hiyo iwashwe wakati kuna kesi ya msingi mahakamani bwana ngeleja alisema msimamizi wa mitambo hiyo ana mamlaka ya kuruhusu UNK |
maagizo ya rais UNK kesi kwani utekelezaji wa kuwasha mitambo hiyo unapitia kwa msimamizi wa muda aliyeteuliwa na mahakama |
hilo lipo chini ya mamlaka yake ndiyo maana serikali imeamua kugharimia gharama za mafuta alisema bwana ngeleja |
rais kikwete aliagiza mitambo hiyo inayotumia mafuta iwashwe baada ya nchi kuingia gizani kutokana na kuharibika kwa mitambo ya songas na kihansi |
asema biblia inasema auaye kwa upanga atakufa kwa upanga |
ni mwenyekiti wa kongamano la wachungaji maaskofu mia moja na hamsini kutokana na wimbi la mauaji ya albino kuendelea kuitikisa nchi serikali imetakiwa kutunga sheria mpya ili wale wote wanaohusika na mauaji hayo wauawe hadharani |
hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi nyawilimilwa mkoani mwanza ambaye alikuwa na ulemavu wa ngozi kuuawa kwa kukatwa shingo na mguu wake kunyofolewa |
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na mchungaji wa kanisa la pentekoste mbeya bwana william mwanalanga ambaye pia ni mwenyekiti wa kongamano la wachungaji na maaskofu wapatao mia moja na arobaini na tisa kutoka mikoa mbalimbali linaloendelea hapa jijini |
mchungaji mwanalanga alisema kutokana na wimbi la mauaji hayo kuibuka tena siku za hivi karibuni serikali inatakiwa kuchukua hatua kali zaidi ili kukomesha mauaji hayo ikiwa ni pamoja na kutunga sheria itakayotoa hukumu ya kunyongwa hadharani kwa wauaji wa UNK |
alisema kuwa haki za binadamu zimekuwa UNK ndivyo sivyo jambo ambalo limechangia kuongezeka kwa uharifu katika jamii |
mimi pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu lakini haki hizo UNK kutetea uhalifu katika jamii zetu kama ilivyo sasa bali kuleta amani na utulivu hata biblia inasema auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga sasa ni vipi UNK adhabu ya kifo kwa watu kama hawa |
alisema |
akizungumza kwa uchungu mwingi mchungaji mwanalanga alisema inasikitisha sana kuona albino UNK kama mnyama katika nchi yake na wahusika wakiendelea kuishi kupitia UNK wa haki za binadamu |
aidha mchungaji mwanalanga alisema kuwa kuna siri nzito inayowahusisha baadhi ya viongozi na wafanyabiashara maarufu hapa nchini na vitendo hivyo vya kinyama |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.