text stringlengths 1 1.32k |
|---|
tumepokea taarifa kuwa kuna kijana aliyekuwa katika mtandao wa mauaji hayo UNK na yuko tayari kutaja orodha ya viongozi wanaohusika katika mauaji hayo alisema |
aidha mchungaji mwanalanga alisema kuwa umoja wa wachungaji nchini utafanya maandamano makubwa kushinikiza viongozi UNK na mauaji hayo waondolewe madarakani na kuchukuliwa hatua za kisheria pale ushahidi UNK |
alieleza kuwa serikali inatakiwa kutangaza hali ya hatari katika mkoa wa mwanza ikiwa ni pamoja na kuunda kikosi maalum cha askari kufanya msako na kuwakamata wanaohusika na vitendo hivyo |
alisema anasikitishwa na kitendo cha wabunge wa mkoa wa mwanza kukaa kimya kama UNK nini kinatokea na kuwataka wachukue hatua za kukemea vitendo hivyo bungeni na kwenye majimbo yao ya uchaguzi |
kongamano hilo linahusisha wachungaji na baadhi ya waislamu wenye utaalamu mbalimbali UNK kutafuta UNK ya kuisaidia serikali katika sekta ya afya maji na utunzaji wa mazingira |
vyama vya ccm na chadema UNK kuchuana vikali katika mpambano wa kuwania uongozi wa serikali za mitaa katika vijiji na vitongoji vilivyopo katika mji mdogo wa tunduma wilayani mbozi mkoani mbeya |
katika kampeni za vyama hivyo ccm ambayo inadai UNK kwa asilimia tisini katika jumla ya vitongoji mia tisa na arobaini na tisa na vijiji mia moja na themanini na nne ambavyo UNK wagombea na kupita bila kupingwa wilayani mbozi chadema kwa upande wake inasema katika vitongoji ishirini na mbili UNK wagombea katika kata y... |
wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye kampeni za uchaguzi uliofanyika katika kitongoji cha unyamwanga viongozi hao wa vyama walisema kwa kujinadi kila mmoja kwa wakati wake kuwa wana uhakika wa kushinda uchaguzi huo kutokana na kukubalika na wananchi |
akizungumza wakati akimnadi mgombea wa uenyekiti wa kitongoji cha unyamwanga bwana samson simbeye mwenyekiti wa wilaya wa ccm bwana aloyce UNK alisema chama chake UNK uchaguzi huo kutokana na wagombea wake kupita bila kupingwa katika vitongoji mia tisa na arobaini na tisa vya wilaya hiyo |
alisema hivi sasa wanatekeleza ratiba na kusafisha njia kwa UNK vichache ambavyo wapinzani UNK wagombea hata hivyo vyama hivyo havina sera mbadala ambayo inaweza UNK wananchi ili UNK vyama hivyo |
kwa upande wake viongozi wa chadema ambao nao walipata fursa ya kumnadi mgombea wa uenyekiti wa kitongoji hicho bwana omar sikazwe mwenyekiti wa kata ya tunduma wa chadema bwana herode jivava alisema kuwa ana uhakika wa kushinda uchaguzi huo kutokana na kushindwa kwa watendaji wa chama tawala kutekeleza ilani ya uchag... |
imebainika kuwa hali chakula kwa mwaka ishirini sifuri tisa kumi katika wilaya ya njombe mkoani iringa ni nzuri kwani hadi kufikia septemba wakulima walikuwa wamekwisha UNK mavuno ya msimu uliopita |
akitoa taarifa ya maendeleo ya kilimo katika wilya ya njombe kwa waziri wa kilimo chakula na ushirika bwana stephen wasira aliyekuwa katika ziara ya siku moja wilayani humo mkuu wa wilaya ya njombe bwana UNK charles alisema hali ya chakula kwa mwaka katika wilaya hiyo ni njema na kwamba kipo chakula cha UNK |
bwana charles alisema uongozi wa wilaya katika jitihada za kumpunguzia mkulima mzigo wa kazi ya kuongeza eneo UNK unasisitiza matumizi ya zana za kilimo badala ya kulima kwa jembe la mkono |
alisema hadi hivi sasa wilaya ina jumla ya maghala arobaini na tano yenye uwezo wa kuhifadhi tani ishirini sifuri sifuri sifuri za mazao kwa mwaka na kwamba ili UNK wakulima wanaendesha kilimo cha kisasa zaidi wilaya ina vituo vinne vya mafunzo na zana mbalimbali za kilimo |
pia alisema mpango wa serikali wa kuleta mbolea ya ruzuku kwa miaka sita UNK wakulima kwa kuzalisha mazao mengi ya chakula na biashara tofauti na miaka ya nyuma ambapo sasa wakulima wamepata vocha za mbolea ya ruzuku karibu mara mbili ya mgao wa vocha za msimu uliopita |
aidha bwana wasira alisema serikali inatambua mchango wa UNK hiyo katika kuzalisha kwa wingi chakula na kuwataka viongozi kuwahimiza wakulima kutumia vyema mbolea wanayopata kwa utaratibu wa vocha ili kuweza kupata mazao mengi zaidi |
baadhi ya wakulima wanaomiliki wa mashamba madogo ya chai tarafa ya lupembe wilayani njombe mkoa wa iringa wamemtaka mkuu wa wilaya yao kuiga mfano wa mkuu wa wilaya ya korogwe bwana UNK UNK aliyeamuru UNK wakulima wa wilaya yake kuuza chai yao kwenye kiwanda cha mponde wilayani lushoto wakamatwe na UNK |
wakizungumza na majira jumapili wakulima hao walisema kuwa wavamizi wa kiwanda cha chai lupembe wanaojiita mungiki hawana mashamba lakini wanaendeleza mgogoro UNK na kusababisha chai yao kuharibika mashambani huku serikali ikiwa UNK kuondokana na ugumu wa maisha huku wakilazimika kufanya vibarua vya kuvuna chai kwenye... |
UNK kauli zinazotolewa na viongozi muungano wa ushirika wa lupembe UNK dhidi ya mwekezaji kuwa ameshindwa kutimiza masharti ya ununuzi wa hisa za serikali na kudai kuwa kauli hiyo ilikuwa itolewe na serikali yenyewe badala ya viongozi hao wa ushirika kwa vile wao UNK hisa zao asilimia thebathini tangu mwekezaji huyo a... |
alihoji mmoja wa wakulima aliyeomba UNK jina kwa hofu ya kuvamiwa na mungiki |
waliendelea kudai kufungwa kwa kiwanda hicho kumesababisha hasara kubwa ambayo itabidi wabia wa kampuni hiyo UNK wafanyakazi zaidi ya kumi sifuri kukosa kazi chai ya wakulima wadogo kuharibika mashambani na malengo ya uzalishaji wa chai kiwilaya kimkoa na kitaifa UNK na hivyo serikali kukosa mapato kwa njia ya kodi |
inashangaza viongozi wa serikali kila mara kuahidi kulinda wawekezaji wa ndani na wa nje lakini hapa njombe UNK kimya wakati wenzao wa mufindi wawekezaji mkoani humo humo mwekezaji wa msitu wa UNK UNK uvamizi na baadhi ya wananchi mkuu wa mkoa na wilaya hiyo walitoa askari wa ffu kuwaondoa wavamizi |
waliendelea kuwashutumu viongozi kwa kurefusha mgogoro huo kwa kudai ni wa kisiasa na kuongeza kudai hailingani na sera za ccm na uchumi wa kisasa kwani mwisho wa yote raslimali UNK na kampuni lazima mikopo yake ilipwe na migogoro ya wanahisa ambao na viongozi wa UNK wenyewe ni sehemu ya hasara |
nyaraka zinaonesha kuwa mchakato wa ubinafsishaji wa mali za kiwanda ulikamilika ishirini sifuri nne ambapo mali zilizokuwa za mamlaka ya chai na mvyulu zilibinafsishwa kwa kampuni ya dhow UNK kwa masharti mwekezaji lazima aingie ubia na mvyulu ili kukiendesha kiwanda hicho |
makubaliano ya ununuzi kati ya mwekezaji huyo na iliyokuwa tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya umma psrc ilikuwa ya nipe nikupe mwekezaji alilipa fedha hizo kupitia benki ambapo muuzaji alitakiwa kuwasilisha hati za kumiliki kiwanda hicho ili benki iruhusu fedha hizo jambo ambalo psrc ilishindwa kulitekeleza hadi... |
uchunguzi wa gazeti hili umebaini chanzo cha mgogoro huo ni baadhi ya wanasiasa na viongozi serikalini ambao UNK mabadiliko ya uongozi katika ushirika wa mvyulu kutaka kuvuruga taratibu za ubia za uendeshaji wa kiwanda na kushinikiza kupata mgao wa sehemu ya fedha zilizolipwa UNK na manunuzi ya kiwanda hicho |
hivi karibuni mkuu wa mkoa wa iringa bwana mohamed UNK UNK wakulima hao kuwa kilio chao UNK kwa rais jakaya kikwete na kwamba hata yeye mwenyewe ameamua UNK njuga mgogoro huo na kudai kwa vyovyote mvyullu hawawezi kufungua kiwanda hicho bila kukaa na mbia mwenzao lakini wakazi hao walipinga wakisema kuwa hana haja ya ... |
vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi gasper elikana aliyeuawa kwa kukatwa shingo kwa imani za kishirikina huku chama cha maalbino mkoani mwanza UNK serikali kuongeza mapambano dhidi ya watu UNK kama inavyofanya kwa mafisadi |
mazishi ya mtoto huyo yalifanyika katika kijiji cha nyawilimilwa wilayani geita |
mtoto huyo aliuawa na watu wasiojulikana oktoba ishirini mwaka huu saa mbili thebathini usiku |
katika tukio hilo baba yake mzazi wa mtoto huyo bwana elikana ngelela alijeruhiwa vibaya kichwani wakati akijaribu kumnusuru UNK |
mazishi ya mtoto huyo yaliyofanyika juzi saa moja usiku na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa kijiji hicho waliokuwa UNK vilio kutokana na kuguswa jinsi gasper UNK kikatili |
akizungumza mara baada ya mazishi hayo mwenyekiti wa chama cha maalbino mkoani mwanza bwana alfred UNK alisema serikali bado UNK mkazo vita dhidi ya wanaoua walemavu hao |
alisema viongozi wa serikalini wanatoa kauli za kuwafariji zikiwa ni za kisiasa zaidi bila kuonesha vitendo |
pamoja na kutoa madai hayo tayari watu wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatia hatia ya kuua albino |
pia kesi zingine zinaendelea kusikilizwa mahakama kuu |
alisema hata kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni za kuwabaini wauaji wa albino bado matokeo yake UNK |
naye mkurugenzi wa asasi ya new light for child centre wilayani geita bibi paulina alex alisema kuwa serikali bado UNK njuga mauaji hayo ndio maana vitendo hivyo UNK kufanyika |
alisema kuwa wananchi na mashirika yasiyo ya kiserikali nayo lazima UNK na vitendo hivyo |
katika maziko hayo halmashauri ya wilaya ya geita iliwakilishwa na ofisa utamaduni wa wilaya bwana mfungo mfungo ambapo ilitoa ubani wa shilingi mia mbili na hamsini na sita mia mbili na hamsini kwa upande wake kaimu kamanda wa polisi mkoani mwanza bwana elias kalinga aliliambia gazeti hili kwa njia ya simu kuwa jeshi... |
mmiliki wa mabasi ya super UNK yaendayo mwanza bwana hassan khan anadaiwa kuamuru wafanyakazi wake wawili kumpiga na UNK UNK UNK mfanyakazi mwenzao wakimshinikiza aseme mafuta ya dizeli UNK yalipelekwa wapi |
hayo yalibainika juzi katika mahojiano kati ya aliyepigwa bwana UNK kahindi na UNK bwana bwana baraka kimaro na bwana silaji maganga maeneo ya jangwani dar es salaam ilipo gereji ya magari hayo |
akizungumzia kipigo UNK kwa shida bwana kahindi alisema tuhuma za kuibwa kwa mafuta hayo lita ishirini zilisababisha bosi wao bwana khan kutoa amri kwa wafanyakazi wake ya kutoa dozi kwa mlalamikaji hadi aseme UNK mafuta hayo |
kijana huyo ambaye ni mtunza stoo UNK hapo imedaiwa alipigwa ngumi mateke na UNK na kiwembe mdomoni bila msaada wowote kutoka kwa bosi wake na watu wengine waliokuwa wakishuhudia tukio hilo |
walipoulizwa bwana kimaro na maganga UNK kumpiga walidai kwa nyakati tofauti kwamba amri hiyo ilitolewa na bwana khan ambaye aliwaagiza UNK hadi UNK ambapo nao walifanya hivyo wakiwa nyumbani kwa mmiliki huyo |
tungekuwa tunataka kumpiga wenyewe UNK mapema kwa sababu UNK naye gereji amri ilitoka kwa bosi alisema bwana baraka na kudai hata yeye baadaye alisikia uchungu |
alipohojiwa bwana khan kuhusiana na tukio hilo alisema si kweli hakutoa amri ya mfanyakazi wake kupigwa yeye alikuwa akizungumza na aliyejeruhiwa ghafla kina kimaro na maganga wakatokea na kuanza kumpiga mwenzao |
sikuweza UNK kwa sababu sina nguvu ni mgonjwa waswahili wenzao walikuwepo na walishindwa kutokana na nguvu walizonazo vijana hao mimi mhindi ningeweza wapi alihoji |
alisema kitendo cha kuteswa kijana huyo UNK sana na taarifa UNK polisi hivyo wakati wowote waliohusika UNK |
kweli walimpiga wanataka UNK mzigo mimi walikuwa na visa vyao tangu wakiwa ubungo alisema |
bwana kihindi alifungua kesi katika kituo cha polisi msimbazi na kupewa rb namba UNK UNK |
elfu kumi na mbili na mia tatu na sitini na tano ishirini sifuri tisa ni endapo serikali UNK mshahara wafanyakazi nchini kupitia shirikisho la vyama vya wafanyakazi wametishia UNK kura chama cha mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao mwakani iwapo serikali UNK kilio chao cha muda mrefu cha kutaka UNK maslahi yao |
mbali ya kutoichagua ccm pia wafanyakazi hao wanakusudia kuitisha mgomo wa nchi nzima kushinikiza kuboreshwa kwa maslahi yao na UNK serikali miezi mitatu kuanzia jana iwe imefanya marekebisho ya mishahara ya kima cha chini |
mkutano mkuu wa tucta umeazimia kutoa muda wa miezi mitatu tu kuanzia oktoba ishirini na tano ishirini sifuri tisa hadi januari ishirini na tano mwaka ujao serikali iwe UNK mishahara ya wafanyakazi kupunguza kodi katika mishahara ya wafanyakazi na kurekebisha kero zote za mifuko ya hifadhi ya jamii walieleza wafanyaka... |
walisema kitendo cha serikali kutojali kabisa kurekebisha kima cha chini cha mishahara licha ya wafanyakazi kulalamika kwa muda mrefu UNK mahali pabaya na kusababisha waanze kufikiria njia mbadala za kudai maslahi yao badala ya kuendelea na majadiliano na serikali ambayo UNK matunda kwa muda mrefu |
kwa upande mwingine wajumbe wa mkutano huo walilaani tabia ya ubinafsi inayooneshwa na wabunge wa tanzania ya kutetea zaidi maslahi yao na kusahau yale ya wanyonge wakiwemo wafanyakazi nchini |
wajumbe hao wameiomba serikali UNK kiwango cha kima cha chini cha mshahara ili UNK shilingi mia tatu na hamsini sifuri sifuri sifuri kwa mwezi ambacho walisema kinaweza kumpa mfanyakazi unafuu wa kuhimili makali ya maisha pamoja na punguzo la kodi kwa kiasi cha asilimia kumi kwa mshahara UNK shilingi mia tatu na hamsi... |
wanajeshi helikopta kuimarisha ulinzi |
itatua kila UNK simu penye fujo |
uchaguzi umeishajaa mizengwe lipumba kinyangganyiro cha uchaguzi wa wagombea uongozi ngazi ya serikali mitaa vitongoji na vijiji UNK leo ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu jijini dar es salaam ambako polisi UNK na askari wa jeshi la kujenga taifa pamoja na mgambo kukabili matukio UNK kuvuruga uchaguzi huo |
ili kuhakikisha usalama zaidi unakuwepo jeshi la polisi limesema litatumia helkopta itakayokuwa ikizunguka viunga vya jiji la dar es salaam na kila eneo UNK kuwepo matukio yanayoashiria vurugu |
upigaji kura katika uchaguzi huo UNK na rais jakaya kikwete ambaye atapiga kura yake katika kituo kilichoko katika shule ya msingi bunge leo asubuhi na saa kumi jioni atarudi tena kusikiliza matokeo UNK UNK |
akizungumza na waandishi wa habari jana kamanda wa polisi mkoa wa dar es saalam bwana suleiman kova alisema jeshi lake limejipanga kuhakikisha hakuna fujo UNK ambapo vituo vya polisi vitakuwa na askari wa jkt na mgambo tofauti na ilivyozoeleka |
alisema katika ofisi za wilaya ulinzi utakuwa chini ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia watakaokuwa na magari yenye maji ya kuwasha tayari kukabiliana na ghasia zozote UNK |
bwana kova alisema wakati huo kutakuwa na helikopta itakayokuwa UNK kubaini UNK wa amani |
aliwataka wananchi wenye taarifa za UNK kwa matukio ya vurugu kupiga simu namba sifuri saba tano nne sifuri tatu nne mbili mbili sifuri sifuri na sifuri saba nane tatu sifuri tatu nne mbili nne sifuri sifuri na itatua eneo husika |
UNK ulinzi siyo kwa nia ya kuwatisha wananchi bali ni kuhakikisha wanapata fursa ya kuchagua viongozi wao kwa amani alisema bwana kova na kuongeza kuwa ulinzi kwa siku ya leo UNK na yeye mwenyewe |
alisema wameamua kuimarisha ulinzi kiasi hicho kutokana na uzoefu waliopata katika chaguzi zilizopita |
kuna wakati ililazimika polisi kuwapiga wananchi safari hii tutahakikisha UNK wale tu watakaofanya fujo alisema bwana kova |
aliwataka wananchi kupiga kura na kurudi nyumbani kwao kwa amani |
akizungumzia uchaguzi huo mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi alisema mtu atakayepatikana na kosa UNK kuvuruga uchaguzi UNK na kifungo cha mwaka mmoja au faini ya shilingi hamsini sifuri sifuri sifuri bwana lukuvi alisema ili kuhakikisha watu wanapata fursa ya kupiga kura uongozi wa mkoa UNK shirika la ... |
dawasco ilikuwa imetangaza kukata maji katika maeneo mbalimbali ya jiji la dar es salaam kuanzia juzi ili kutoa nafasi ya kufanyia matengenezo mitambo yake ya kusambaza maji |
bwana lukuvi alisema katika mkoa wake waliojiandikisha kupiga kura ni mia tano na ishirini na moja mia saba na ishirini na mbili sawa n asilimia arobaini na tatu arobaini na tano alifafanua kuwa rais kikwete ataongoza wananchi kupiga kura ambapo kura yake UNK kituo cha bunge na jioni kurudi kusikiliza matokeo |
aliongeza kuwa waziri mkuu bwana mizengo pinda atapiga kura yake katika kituo cha shule ya msingi oysterbay |
alisema vituo vya kupiga kura UNK mbili sifuri tano nane tofauti na ilivyotarajiwa |
alisema awali walitarajiwa UNK moja ishirini sifuri mia tano na thebathini na saba na vituo vilivyokuwa UNK vilikuwa mbili mia nne na ishirini na saba tumegundua katika baadhi ya vituo UNK watu wachache hivyo hakuna sababu ya kuweka vituo vya upigaji kura alisema bwana lukuvi |
kwa upande wake UNK wa manispaa wa ilala bwana gabriel fuime alikiri kuzagaa kwa karatasi za kupigia kura katika UNK ya wilaya |
tumewahi kudhibiti tatizo hilo na UNK karatasi nyingine zenye namba mbili za siri tofauti alisema |
bwana fuime alikiri kuzagaa kwa UNK zilizokuwa UNK kwa ajili ya uchaguzi huo ikiwa ni siku chache tangu mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba aitishe mkutano na waandishi wa habari na kuongelea tatizo hilo |
akizungumzia UNK kwa karatasi za kupigia kura profesa lipumba alisema uchaguzi huu umeishajaa mizengwe UNK tangu mwanzo tayari karatasi za kupigia kura zimeisha UNK hivyo inawezekana mtu akaenda kupiga kura yake wakati matokeo UNK |
ndiyo maana tunataka tume huru |
hata hivyo kauli hiyo ya profesa lipumba ilipingwa vikali na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa bibi celina UNK |
alihoji kuwa profesa lipumba UNK kupata karatasi hizo wakati hazijatolewa kwa mtu yeyote |
taarifa hiyo imeandaliwa na stella aron rabia bakari na reuben kagaruki wananchi wa madizini kata ya mtibwa wilaya ya mvomero wamemlalamikia msimamizi wa uchaguzi kutokana na hitimisho la kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana kutawaliwa na lugha ya matusi fujo na takrima ya kuni za kupikia |
hayo yametokea katika siku mbili za mwisho wa kampeni za uchaguzi katika viwanja mbalimbali vya mji wa madizini ambapo viongozi wa chama cha mapinduzi na chama cha mapinduzi walianzisha matusi na chama cha wananchi kujibu siku UNK |
wakizungumza na majira juzi ukiwa mwisho wa kampeni wananchi wa madizini walisema wamesikitishwa na kampeni za matusi ya nguoni zilizoanzishwa na viongozi wa ccm UNK kuwa dira ya kauli nzuri na takrima ya kugawa kuni za kupikia |
mwandishi umeona na kusikia mwenyewe kiongozi wa ccm kutoka kijiji cha UNK anayeheshimika UNK ccm na wananchi kwa kutoa lugha ya matusi ya nguoni alisema mpiga kura wa kikubwa bwana mike UNK |
cuf kilishindwa kuvumilia na kujibu mashambulizi kupitia msemaji wake kwamba mgombea wa ccm ni mcheza ngoma UNK lakini tangu huko nyuma alikuwa jambazi na kama UNK atoe nguo waone makovu yaliyosababishwa na kipigo |
hata hivyo chadema na tlp UNK kampeni kwa kusema haviwezi kurudisha matusi kama UNK kwa sababu lugha ya matusi ni tabia ya mtu aliyeshindwa kutoa sera ambaye silaha yake kila siku ni kinywa UNK |
polisi wawili na afisa misitu mmoja wa taarafa ya bereko wilayani kondoa dodoma wamenusurika kifo baada ya kuvamiwa na wananchi zaidi ya ishirini sifuri kwa lengo la kuwaokoa wenzao wawili waliokuwa wamekamatwa kwa uharibifu wa mazingira |
askari hao walivamiwa na wanakijiji wa mkekena kata ya masange wilayani kondoa |
katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki watumishi hao UNK kwa jina moja moja la jerry na ramadhani na askari mwenzao ambaye jina lake halikupatikana iliwachukua takribani saa moja kujinasua katika mikono ya wananchi hao kwa sharti la kuwaachia huru UNK |
chanzo cha mgogoro huo ni shamba linalomikiwa na watu watatu wa kijiji cha UNK bwana mohammed duru mohamed UNK na adamu hussein ambalo inadaiwa UNK na wakazi wa mkekena akiwemo UNK UNK aliyekuwa amekamatwa na askari hao kabla ya kuokolewa na wananchi na abbas UNK UNK mara baada ya askari hao kufika eneo hilo |
wana kijiji wa mkekena zaidi ya watano wanadaiwa kuvamia eneo hilo linalosadikiwa kuwa ni hifadhi ya mazingira kwa kuwa limepandwa miti hivyo wamiliki wa awali kulalamikia hali hiyo na kulazimika askari hao kuingilia kati |
habari zaidi zimedai baada ya askari hao na afisa misitu huyo UNK kufanya kazi yao walilazimika kurudi bereko UNK hadi uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa uliofanyika jana utakapomalizika ili wajipange upya kuwasaka watuhumiwa hao |
siku ya tukio wakazi wa mkekena walijikusanya na kufika eneo la tukio wakiwa na silaha mbalimbali za jadi kama mikuki UNK na mishale pamoja na mapanga wakiwa tayari kwa lolote hadi afisa mtendaji wa kata ya masange bwana iddi UNK alipofika na kuwasihi kuachana na vita |
mkuu wa wilaya ya kondoa bwana saidi bwanamdogo alipoulizwa na majira kwa njia ya simu alisema hakuwa na taarifa yoyote na kwamba atawasiliana na serikali ya kata na suala hilo litashughulikiwa kikamilifu |
mkuu wa jeshi la polisi nchini inspekta jenerali saidi UNK amefanya mabadiliko madogo kwa makamanda wa polisi na wakuu wa upelelezi wa mikoa kadhaa hapa nchini |
msemaji mkuu wa jeshi hilo kamishna msaidizi wa polisi abdallah mssika alisema jana kuwa katika mabadiliko hayo igp mwema amewateua makamanda wawili wapya wa mikoa na wakuu wawili wa upelelezi wa makosa ya jinai wa mikoa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.