text stringlengths 1 1.32k |
|---|
walioteuliwa kuwa ni kamishna msaidizi wa polisi stiven buyuya aliyekuwa afisa mnadhimu mkoa wa mara ambaye sasa anakuwa kamanda mpya wa mkoa wa mtwara na kamishna msaidizi wa polisi augustine UNK aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa mkoa wa mwanza kuwa kamanda mpya wa mkoa wa kusini unguja |
wengine ni mrakibu mwandamizi wa polisi deusdedit UNK aliyekuwa afisa mnadhimu mkoa wa arusha ambaye ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa upelelezi mkoa wa mwanza na mrakibu wa polisi joseph UNK kutoka makao makuu ya upelelezi jijini dar es salaam anayekwenda kuwa mkuu mpya wa upelelezi mkoa wa kigoma |
kamanda mssika amesema kuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa kigoma mrakibu mwandamizi wa polisi UNK UNK amehamishiwa mkoa wa pwani kuchukua nafasi ya mrakibu mwandamizi wa polisi gabriel njau anayehamishiwa ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini |
makamanda UNK na kupangiwa vituo vipya vya kazi ni kamanda wa polisi mkoa wa mtwara kamishna msaidizi wa polisi robert UNK anayekwenda mkoa wa mara kuchukua nafasi ya acp liberatus lyimo aliyehamishiwa mkoani tabora kuchukua nafasi ya kamanda acp UNK mmari ambaye amehamishiwa makao makuu ya idara ya upelelezi jijini d... |
mwingine ni kamanda wa polisi mkoa wa kusini unguja acp rashidi UNK anayehamishiwa makao makuu ya jeshi la polisi kusaidiana na naibu kamishna venance tossi katika operesheni maalum za polisi |
amesema mrakibu msaidizi wa polisi mnada UNK aliyekuwa ofisi za polisi wa kimataifa interpol tawi la tanzania ameteuliwa kuwa mkuu wa kwanza wa kitengo cha uchunguzi wa makosa yatokanayo na mitandao ya kompyuta mkoani dodoma |
viongozi wenye tabia ya kubadilisha katiba kwa lengo la kuendelea kuwepo madarakani moja kwa UNK wanakuwa wamejiondoa katika kinyangganyiro cha tuzo ya uongozi bora afrika UNK na mfanyabiashara mo ibrahim kila mwaka kwa viongozi wastaafu wa afrika |
kauli hiyo ilitolewa jana dar es salaam na mjumbe wa taasisi hiyo daktari salim ahmed salim alipozungumza na waandishi nyumbani kwake |
daktari salim alifafanua kuwa hakuna kiongozi asiye na matatizo katika taifa lake lakini UNK zaidi katika tuzo hiyo ni kwa kiasi gani kiongozi wa taifa husika alikuwa UNK matatizo kwa haraka na njia aliyotumia kufanya hivyo |
alisema katika tuzo hiyo UNK viongozi ila huangalia walio na sifa husika sisi UNK viongozi katika tuzo hii ila tunaangalia wale viongozi walio na sifa husika pia ndani ya muda unaohitajika katika kipindi cha miaka mitatu baada ya kuondoka madarakani alisema daktari salim |
alisema oktoba tano nchini afrika kusini taasisi hiyo ilishindwa kumpata mshindi wa tuzo hiyo kutokana na kutokuwepo mwenye sifa |
matokeo ya viongozi walio na sifa hufanywa na taasisi hiyo kwa kushirikiana na michango ya watafiti UNK kamati ya ushauri inayojumuisha wasomi wa afrika |
vigezo UNK huzingatia usalama na utawala wa sheria UNK na haki za binaadamu fursa na uchumi endelevu pamoja na maendeleo ya watu |
taasisi hiyo hupima utawala bora kwa kutumia vigezo themanini na nne aidha alisema kwamba kutokana na kutopatikana mshindi wa tuzo hiyo mwaka huu hakutakuwepo na sherehe za tuzo hiyo UNK kufanyika dar es salaam na badala yake siku hiyo itatumika katika kutilia mkazo umuhimu wa uongozi bora afrika |
kuna matukio mawili yatafanyika jioni ya novemba kumi na nne kutakuwa na tukio la kitamaduni ambalo licha ya shughuli nyingine watakaohudhuria watashuhudia michango ya wasanii mahiri kama UNK n UNK na UNK UNK na kutangazwa moja kwa moja katika vituo vya redio na runinga mbalimbali barani afrika alisema daktari salim |
pia alisema tukio la pili litakalofanyika ni uzinduzi wa jukwaa ambalo UNK wadau mbalimbali wakiwemo viongozi maofisa wakuu wa serikali wafanyabiashara wanaharakati wasomi wanafunzi na vijana kutoka nchi mbalimbali barani afrika |
mada ya kwanza katika mjadala huo utahusu haki na mabadiliko ya hali ya hewa duniani ambapo mwenyekiti wake atakuwa rais mstaafu wa botswana bwana festus UNK ambaye pia ni mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka ishirini sifuri nane mjadala wa pili utahusu kilimo na usalama wa chakula ambapo mwenyekiti wa mjadala huo atakuwa k... |
umeme UNK baada ya kuwashwa kwa na mitambo ya independent power tanzania limited UNK bei ya UNK hiyo kwa watumiaji wa kawaida |
waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akitoa taarifa ya kuwasili kwa shehena ya kwanza ya mafuta yenye ujazo wa tani saba mia tano na ishirini na nne yatakayotumika kuwasha mtambo wa kufua umeme wa iptl mitambo ya iptl inayozalisha megawati kumi sifuri za umeme inatarajiwa ... |
mafuta hayo iwapo UNK kwa bei ya shilingi moja ishirini sifuri kwa lita inakadiriwa kuwa UNK shilingi bilioni ishirini na tatu kwa mwezi jambo ambalo UNK wasiwasi kuwa UNK kwa watumiaji wa umeme |
bwana ngeleja alisema kutokana na mgawo huo bei za umeme UNK kwa mtumiaji wa kawaida kwa kuwa kuwa mpangaji wa bei hizo ni mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji na si tanesco shehena hiyo iliwasili jana jijini ambapo taratibu zote za kuyatoa mafuta hayo UNK leo ili kuwasha mitambo ya iptl kama alivyoahidi awali na hi... |
bwana ngeleja alisema iptl imekubali kuirekebisha mitambo yake ili kutumia gesi asilia badala ya dizeli katika kipindi cha miezi miwili ya mkataba jambo ambalo linaweza kupunguza mzigo kwa serikali |
mazungumzo yalikwenda vizuri na tumekubaliana kimsingi na kuanzia kesho wataalamu wataanza UNK moto mitambo hiyo kesho ili kupunguza mgao unaoendelea sasa nchini alisema bwana ngeleja aliongeza kuwa gharama za uendeshaji wakati wa makubaliano zitakuwa dola za marekani milioni mbili nane kwa mwezi ambazo UNK kutokana n... |
hata hivyo bwana ngeleja alisema kuwa makubaliano hayo siyo ya kudumu bali yatakuwa ndani ya miezi miwili kipindi ambacho tatizo la mitambo ya kihansi litakuwa UNK na kumaliza mgawo wa umeme |
uchaguzi wa serikali za mitaa ulifanyika nchini kote huku UNK na vurugu kupigana UNK madai ya wizi wa kura na kucheleweshwa UNK vua uchaguzi |
waandishi wa majira katika maeneo mbalimbali nchini wameshuhudia mambo mbalimbali huku ikitarajiwa kuwa ccm itaibuka na UNK mkubwa |
geita UNK ngumi UNK wetu faida muyomba anaripoti kutoka geita akuwa kada wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha UNK kata ya kharumwa amejeruhiwa vibaya kichwani baada ya kutwangana na mwenzake wa chama cha demokrasia na maendeleo katika ugomvi wa kisiasa |
msimamizi msaidizi wa kata ya kharumwa bwana edward UNK alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi katika pilikapilika za mwisho za UNK wagombea wa ambapo bwana UNK joseph UNK |
alisema kuwa kada huyo wa ccm alipigwa kwa kitu chenye ncha kali kichwani hali iliyosababisha kulazwa katika kituo cha afya kharumwa kwa ajili ya matibabu baada ya kupewa hati ya matibabu toka kituo cha polisi UNK |
mganga mfawidhi wa kituo hicho daktari leonard mgema alisema baada ya majeruhi kufikishwa hapo UNK nyuzi kadhaa kichwani kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani |
ccm na wapigakura UNK kutoka korogwe tanga yusuph mussa anaripoti kuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi wilaya ya korogwe bwana saburi ally ambaye alikuwa anagombea uenyekiti wa mtaa wa manundu kati amesema ccm imepeleka mamluki kwenda kupiga kura kwenye mtaa huo |
bwana saburi ambaye alikuwa UNK na bwana mashaka ally wa ccm alisema wapigakura zaidi ya thebathini wametoka kwenye mitaa UNK UNK UNK na UNK |
wakala wa cuf wa kituo cha shule ya msingi mazoezi bwana ibrahimu abdillah alisema mamluki hao walikuwa wanataka kufanya fujo baada ya kutaka kukataliwa kupiga kura lakini walikuwa wanapata nguvu kutoka kwa mgombea wa ccm bwana mashaka |
msimamizi wa uchaguzi katika mtaa wa manundu kati kituo cha mazoezi alikiri kuwapo wapigakura sita ambao si wakazi wa mtaa huo lakini bwana mashaka alikana kuhusika kwa watu hao wala kushinikiza wapige kura |
bwana mashaka alishinda kwa kura arobaini na sita dhidi ya kumi na tisa za bwana ally |
wanane wakamatwa chadema iringa mwandishi wetu kutoka iringa eliasa ally anaripoti kuwa uchaguzi huo umeingiwa na dosari baada ya wafuasi wanane chadema katika kijiji cha maperamengi kata ya UNK kushikiliwa na polisi wakidaiwa kuleta vurugu |
katibu wa chadema wa mkoa wa iringa UNK UNK alisema kuwa wanachama hao walikamatwa walipokwenda kuchukua vifaa vya chama ambavyo UNK na katibu mwenezi wa chadema bwana mussa UNK aliyehama chama hichi oktoba ishirini na tatu mwaka huu kwenda ccm akiwa na nyaraka za chama chao |
nyaraka hizo ni kadi hamsini za chama bendera kumi na UNK ya majina ya wananchama zaidi ya ishirini na tano ambavyo UNK vurugu na kurushiana makonde kati ya wanachama wa ccm na chadema baada ya vurugu hizo uongozi UNK uchaguzi UNK na polisi na kikosi cha kutuliza ghasia kilifika na kuwakamata UNK wanane wa chadema wal... |
mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa iringa bwana deo sanga alisema hana taarifa yoyote na kuwa amewaagiza viongozi wa ngazi za chini kufanya uchunguzi wa tukio hilo |
lakini kamanda wa polisi wa mkoa wa iringa bwana UNK mangalla alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo lakini alisema kuwa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa katika vurugu hizo |
singida vifaa UNK taarifa kutoka mkoani singida zilisema kuwa vifaa vya kupigia kura UNK kufika vituoni UNK katika jimbo la singida kusini linalodaiwa kuwa na nguvu kubwa ya upinzani |
habari kutoka katika eneo hilo zilisema kuwa hadi saa tisa mchana vifaa hivyo vilikuwa UNK katika maeneo ya kupigia kura |
asema UNK bila kufuata taratibu kanuni |
shellukindo akiri kuhojiwa UNK na richmond |
takukuru tuko sahihi hakuna aliye juu ya sheria sakata la uchunguzi unaofanywa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa dhidi ya wabunge kupokea posho mara mbili UNK hatua mpya baada ya spika wa bunge bwana samuel sitta kusema kitendo hicho UNK wabunge kwani taasisi hiyo haikufuata utaratibu |
kauli hiyo ya bwana sitta imekuja siku moja baada ya takukuru kutoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi tuhuma za kuchukua posho katika taasisi mbalimbali UNK huku wakiwa wameshalipwa na ofisi ya bunge |
katika taarifa yake iliyokaririwa na vyombo vya habari jana takukuru ilisema ofisi ya bunge ndiyo iliomba ufanyike uchunguzi dhidi ya wabunge UNK na kulipwa takrima serikalini na katika mashirika UNK katika ziara zao za kazi |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana bwana sitta alisema hatua iliyofikiwa na takukuru ni udhalilishaji na imekiuka utaratibu na kanuni na sheria za nchi dhidi ya bunge kama taasisi UNK |
mimi sijui kama kuna jambo hilo kwani UNK na kama UNK bila UNK huu utakuwa ni udhalilishaji mkubwa katika ofisi yangu na wabunge pia alisema bwana sitta |
alisema hata hivyo yeye kama spika hadi sasa hajui ni nini UNK na taasisi hiyo kutokana na kutokuwa na taarifa yeyote katika ofisi yake bali anashangaa kuliona jambo hilo katika vyombo vya habari |
bwana sitta alisema kimsingi ofisi ya takukuru ilitakiwa kuandika barua katika ofisi yake juu ya tuhuma hizo za wabunge kuwa inahitaji kufanya uchunguzi huo na ilipaswa kuwataarifu wabunge juu ya suala hilo kuliko UNK na taasisi hiyo |
natoa tahadhari kwa taasisi nyingine za uchunguzi kama takukuru kuwa linapotokea jambo kama hilo ni lazima watoe taarifa kwa maandishi katika ofisi za bunge ili bunge liwe na taarifa ya bunge litoe utaratibu |
wabunge wana kinga kama walivyo viongozi wengine wa serikali ona kitendo kilichofanywa na polisi morogoro kwa kumdhalilisha mbunge kwa kumburuza katika pick up kisa shilingi saba sifuri sifuri sifuri za UNK ya maji tena UNK askari wa ngazi ya chini UNK nini maana ya kinga ya mbunge kuwa ni moja ya udhalilishaji alisem... |
alisema kisheria mbunge anapaswa kukamatwa au kuhojiwa na mtu wa ngazi ya juu wa chombo chochote cha UNK kwa kufuata utaratibu kanuni na sheria za nchi kwani mbunge UNK kukimbia na siyo askari wa ngazi za chini kama ilivyofanya takukuru na jeshi la polisi mkoa wa morogoro |
lakini msemaji wa takukuru doreen UNK alipozungumza na majira jana alisisitiza kauli ile ile ya juzi kuwa wabunge hawako juu ya sheria na katiba ya nchi inasema hivyo kwa hiyo walistahili kuhojiwa |
takukuru inapenda UNK umma kwamba wabunge kama ilivyo kwa mwananchi mwingine yeyote wanawajibika kisheria kuitikia wito katika ofisi za takukuru iwe ni kwa kuhojiwa au kwa kutoa ushahidi kwani hakuna raia yeyote aliye juu ya sheria na katiba ya nchi iko wao wazi kwa hili alisema |
wakati taarifa ya juzi ya takukuru iliweka bayana kuwa ofisi ya bunge iliiomba rasmi taasisi hiyo UNK nyendo za wabunge hao katibu wa bunge daktari thomas UNK alikana kufanya hivyo badala yake akasema ofisi yake UNK barua na uongozi wa juu wa serikali ikimtaka kutoa ushirikiano |
bwana kashililah alisema barua hiyo iliitaka ofisi yake itoe ushirikiano kwa taasisi hiyo pale inapobidi na hivyo aliandika kukubali ombi hilo lakini alitegemea kupata majibu ya utekelezaji wa uchunguzi huo lakini hadi leo hajui nini UNK wabunge hao |
wakati taasisi hizo UNK mbunge wa jimbo la bumbuli bwana william shelukindo ambaye vyanzo vyetu ndani ya takukuru vilidai kuwa amegoma kutoa ushirikiano katika uchunguzi huo alizungumza na gazeti hili na kukiri kuhojiwa na taasisi hiyo kuhusu tuhuma hizo na kuwa alitoa ushirikiano wa kutosha |
hawa watu wananitaka nini mie au kwa kuwa mkurugenzi wao UNK wiki UNK ndiyo wanatufanyia visa hivi nilipigiwa simu na mtu mmoja anaitwa UNK mwezi mmoja uliopita UNK mafuta yangu kutoka jimboni kwangu hadi dar es slaam UNK na UNK ushirikano wa kutosha sasa wanataka ushirikano upi |
niliwaambia kuwa kweli UNK posho hiyo kama takrima na wala si kosa kwani ni taasisi tofauti kama ingekuwa ni ofisi moja hili lingekuwa ni kosa |
hapa ninaona kuna kuna jambo UNK hapa kwanini hoja hii ije wakati huu tunapojadili jambo la richmond ambapo bosi wao anahusika naomba niwambie kuwa UNK nyuma katika hili tunaingia bungeni na UNK kwa kina jambo hilo hadi hapo UNK ukweli wasitubabaishe alisema bwana shelukindo |
alisema kitendo kilichofanywa na takukuru kumhoji bila kutoa taarifa katika ofisi yake ni udhalilishaji mkubwa kwa bunge |
alisema kuwa kama inafanya fitina hizo ili kumnusuru bosi wao wamechelewa kwani walitakiwa kufanya hivyo kabla hajatoa uamuzi kuutangazia umma kuwa hakukuwa na rushwa katika kuingia mkataba wa kampuni tata wa richmond |
kwa upande wake waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu UNK sera utaratibu na bunge |
bwana philip marmo alisema iwapo wabunge hao wanaona kuwa UNK wanapaswa kwenda katika vyombo vya sheria ili sheria ifuate mkondo wake na sio kukimbilia katika vyombo vya habari |
kwa miezi mwili takukuru imekuwa ikifanya uchunguzi na kuwahoji wabunge wa wanaotuhumiwa kuchukuwa posho mara mbili katika UNK ya umma UNK katika ziara UNK za kikazi |
hospitali ya taifa muhimbili ipo mbioni kuanzisha wodi kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu UNK na uwezo wa kulaza watu ishirini na sita mkakati huo UNK huku kukiwa na taarifa kuwa hospitali hiyo imekuwa UNK na wingi wa wagonjwa hadi kufikia hatua ya wale wa icu kuhamishiwa wodi za kawaida madai ambayo ... |
akizungumza na gazeti hili ofisa uhusiano wa hospitali hiyo bwana aminiel aligaesha alisema kwa sasa hospitali hiyo ina wodi mbili za icu moja ikiwa na uwezo wa kulaza wagonjwa wanane na nyingine ya moyo yenye vitanda UNK |
alifafanua kuwa uongozi wa hospitali hiyo upo mbioni kuanza kuweka vifaa maalumu kwenye wodi hiyo mpya ili ianze kutumika |
alipinga madai kuwa hospitali hiyo UNK na wingi wa wagonjwa kiasi cha wale waliolazwa icu kuhamishiwa wodi za kawaida lakini waandishi UNK wodi hiyo UNK wagojwa watatu badala ya wanane wanaohitajika |
hata hivyo bwana aligaesha alikiri kuwapo kwa wagonjwa wengi lakini siyo kwa kiwango cha kutisha |
hospitali yetu haina mlundikano wa wagonjwa kama ilivyo hospitali za ilala mwananyamala na temeke hapa kunakuwepo msongamano kama kuna dharura ya wagonjwa lakini hiyo ni kwa siku moja na baadaye ufumbuzi unapatikana alisema bwana aligaesha |
aliongeza kuwa |
hata nyumbani kwako una vyumba vitatu wakija wageni wengi wengine watalala sebuleni hiyo ni hali ambayo UNK kufurika wagonjwa wa UNK |
alisema bwana aligaesha |
mkazi wa kijiji cha UNK darajani kata ya maramba wilayani mkinga mkoani tanga UNK fransis anayesadikiwa kuwa na matatizo ya akili anatuhumiwa kumuua baba yake mzazi kwa kumchinja shingoni kwa kutumia panga |
tukio hilo la kuhuzunisha limetokea oktoba ishirini na nne mwaka huu saa saba mchana wakati baba huyo alipokuwa amejipunzisha nyumbani kwake |
kamanda wa polisi mkoa wa tanga bwana simon sirro alimtaja aliyeuawa kuwa ni fransis yohana ambaye ni baba mzazi wa mtoto mtuhumiwa |
kamanda sirro alisema kuwa wakati baba huyo akiwa amejipunzisha ghafla kijana huyo alikwenda na kumlaza UNK UNK kwa kutumia panga ana kufa papo hapo baada ya kupoteza damu nyingi |
tukio hilo UNK umati mkubwa wa watu ambao walifika katika eneo hilo mara baada ya kusikia kelele za kuomba msaada zilizopigwa na baba huyo kabla ya kukata UNK |
hata hivyo baada ya kufika eneo hilo watu hao walitoa taarifa polisi na kijana huyo alikamatwa na kupelekwa polisi |
kamanda sirro alisema hadi sasa bado wanamshikilia kijana huyo kwa uchunguzi na hatua zaidi |
mahakama kuu maalumu wilayani kahama imemhukumu kunyongwa hadi kufa bwana joseph lugata baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kinyama bibi kizee mmoja |
bwana lugata ambae ni mkazi wa UNK wilayani kahama alihukumiwa wiki iliyopita na jaji gabriel rwakibalila kwa kumtia hatiani kwa kosa la kumkata mapanga kikongwe bibi |
nggwama UNK wa kijiji cha UNK kata ya UNK wilayani hapa katika mwendelezo wa mauaji ya vikongwe yanayoendelea katika kanda ya ziwa |
akitoa hukumu hiyo jaji rwakibalila alisema kutokana na ushahidi uliotolewa na upande wa jamhuri umethibitisha bila shaka kuwa mshitakiwa alimuua kinyama kwa kumkata mapanga kikongwe huyo kutokana na imani za kishirikina |
jaji rwakibalila alisema ushahidi uliotolewa ikiwamo kofia UNK mshtakiwa kukutwa na nguo zake zikiwa na UNK ya damu ya bibi aliyeuawa na baada vipimo vya vinasaba kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali UNK kunyongwa mpaka kufa |
awali ilidaiwa mahakamani hapo na upande wa mashitaka kuwa bwana lugata alimuua kinyama kwa kumkata mapanga kikongwe bibi |
nggwama januari nane ishirini sifuri tisa saa nane usiku akiwa amelala nyumbani mwake |
kabla ya hukumu hiyo upande huo wa jamhuri uliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mshtakiwa ili liwe fundisho kwa wengine kutokana na kukithiri kwa vitendo vya mauaji ya kinyama kwa kuwakata mapanga vikongwe katika mkoa wa shinyanga |
hukumu hiyo ya kunyongwa hadi kufa itakuwa ya pili kutolewa na mahakama hiyo na jaji rwakibalila baada ya ile ya watu watatu wa mauaji wa albino waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa hivi karibuni |
waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya albino ni masumbuko madata emmanuel masangwa na charles masangwa ambao walimuua albino matatizo dunia aliyekuwa akiishi kijiji cha bunyihuna wilayani bukombe |
rais jakaya kikwete ametoa rai kwa watu wenye asili ya afrika waliotawanyika sehemu mbalimbali duniani watumie uwezo wao walionao kuwekeza katika bara hilo kuondoa umaskini na kusaidia kuleta maendeleo |
rais kikwete pia amepinga mtazamo hasi uliotawala katika nchi nyingi za magharibi hasa katika vyombo vya habari kuonesha kuwa afrika ni bara lisilokuwa na kitu kizuri bali machafuko magonjwa njaa na umaskini |
rais kikwete aliyasema hayo jana dar es salaam alipokuwa akifungua kongamano la tano la mtandao wa mtawanyiko wa afrika duniani lililoanza jana |
alisema kuwa kongamano hilo lina maana kubwa mbili kuonesha jinsi watu wenye asili ya afrika walivyo pamoja na pia kulitangaza bara hili kiuchumi kwa UNK maeneo ya kihistoria yanayohusiana na mtawanyiko wa waafrika kuwa vivutio vya kitalii |
rais kikwete alisema kuwa kwa namna ile ile ambayo watu wenye asili ya afrika waliotawanyika sehemu mbalimbali duniani UNK kiutamaduni na wenzao walioko afrika hawana budi kuendelea kuungana nao kwa kuwasaidia kupambana na umaskini kutokana na uwezo wa kitaalamu teknolojia na pesa |
tumieni uwezo UNK katika teknolojia maarifa ya utaalamu mbalimbali na pesa kuwasaidia kaka na dada zenu walioko afrika wanaopambana na umaskini |
kama vile historia na utamaduni UNK basi hatuna budi pia kuwa pamoja katika katika masuala ya maendeleo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.