text stringlengths 1 1.32k |
|---|
bara hili UNK vitu vizuri vya kujivunia kama vile juu ya chimbuko la binadamu utamaduni na UNK |
hivi sasa tuko katika mwendo mzuri UNK na rushwa kwa nguvu zote uwekezaji unaongezeka uchumi UNK |
ingawa inashangaza kuwa kwa miongo kadhaa watu wengi katika nchi zilizoendelea wamekuwa na mtazamo hasi juu ya bara la afrika kama vile hakuna cha maana kinachopatikana hapa alisema rais kikwete |
rais kikwete alisema waafrika waliotawanyika duniani kote wanapaswa kuwa jasiri na kutokuogopa kuja nyumbani pamoja na picha mbaya inayooneshwa juu ya bara hili |
aliongeza kuwa kongamano hilo linapaswa kuwa daraja la kuwezesha harakati za maendeleo miongoni mwa waafrika |
kwa upande wake waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mwangunga alisema kongamano hilo linafanyika katika wakati mwafaka ambapo dunia iko katia harakati za kusaka amani na umoja ili kupata maendeleo hivyo kukutana kwa waafrika katika bara la asili yao ni moja ya fursa ya maendeleo inayopaswa kutumika |
bibi mwangunga alisema kuwa kongamano hilo ni moja ya mikutano yenye hadhi kubwa ambayo inapaswa kutumika kama jukwaa kutangaza utajiri wa kitamaduni na vivutio mbalimbali vilivyopo tanzania |
tanzania imekuwa nchi ya kwanza katika bara la afrika kuandaa kongamano hilo la mtawanyiko wa waafrika lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika oktoba thebathini mwaka huu |
mwanaharakati bwana UNK msemakweli UNK mawaziri sita na wabunge wanne kuwa na vyeti vya kughushi ameburutwa katika mahakama kuu ya tanzania ambapo mahakama hiyo imeombwa iamuru alipe shilingi bilioni tatu kama fidia ya kashfa hiyo |
kwa mujibu wa hati ya madai iliyofunguliwa mahakamani hapo jana na naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga inaomba fidia ya kiasi hicho kwa madai kuwa habari hizo zilikuwa za uongo na zilizojaa chuki |
kesi hiyo yenye namba mia moja na arobaini na tano ina walalamikiwa wanne akiwemo bwana msemakweli bwana UNK said mkurugenzi mtendaji wa gazeti la nipashe pamoja na kampuni ya UNK ambayo ndiyo UNK wa gazeti UNK na habari za mawaziri hao kughushi vyeti vya vya shahada ya UNK |
hati inadai kuwa kutokana na maelezo yaliyomo kwenye habari UNK kughushi vyeti vya taaluma zao na kuwalaghai wananchi wa majimbo yao ililenga kuonesha kuwa mlalamikaji ni mtu wa kughushi mwanasiasa UNK asiyefaa kushika nafasi ya kisiasa aliyonayo pamoja na kupata ubunge kwa njia za jinai au kutofuata maadili |
mlalamikaji anadai kuwa habari hiyo ambayo ilichapwa na UNK la nipashe na kusambazwa nchi nzima UNK heshima yake kwa wananchi ambayo UNK kwa muda mrefu lakini pia UNK utendaji kazi wake katika mambo ya kisiasa |
hati hiyo inadai kuwa mdai ana wadhifa mkubwa serikalini lakini pia ni mbunge hivyo kutokana na chapisho hilo ambalo halikuwa na uthibitisho wowote UNK kuathirika kisaikolojia kudharauliwa katika jamii na kuishi katika hali ya majonzi |
kutokana na hali hiyo mlalamikaji anaomba kulipwa shilingi bilioni tatu au kiwango UNK na mahakama ambacho UNK shilingi milioni ishirini sifuri madai ya kiasi hicho cha fedha ni kutokana na kudhalilishwa kisiasa kijamii na kuathiriwa katika mambo mbalimbali |
mbali na fidia hiyo mlalamikaji anaomba kuombwa radhi na gazeti hilo katika ukurasa wake wa kwanza lakini pia kutolewa zuio la kuchapisha habari zozote zinazomhusu mlalamikaji huyo bila ya kuwa na kibali chake |
hivi karibuni UNK wa kwanza ambaye alijitambulisha kuwa ni mwanaharakati aliwataja mawaziri sita na wabunge wanne kuwa UNK vyeti vya taaluma zao hali iliyosababisha kujipatia nafasi UNK serikalini |
matukio ya vurugu na kupigana masumbwi yaliyoanza juzi wakati wa upigaji kura yaliendelea hadi wakati wa kusubiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa huku UNK vifo viwili na ushindi wa UNK wa chama cha mapinduzi |
mshindi afa kwa furaha kibaha mkoani pwani UNK UNK anaripoti kuwa aliyeshinda uenyekiti wa kitongoji cha UNK kijiji cha UNK wilaya ya kisarawe mkoani pwani aliyetambulika kwa jina moja la bwana shaban amefariki dunia muda mfupi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa hapo |
akitoa taarifa za kifo hicho katibu wa ccm pwani bibi UNK UNK alisema kuwa bwana shaban juzi jioni baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi wa nafasi ya mwenyekiti katika kitongoji hicho aliondoka na wapambe wake kuelekea nyumbani |
alidai kuwa mara baada ya shamrashamra kumalizika bwana shaban aliingia ndani kwake kujipumzisha na akiwa amelala alifariki dunia na kwamba hakuwa anaumwa na wala hakuwahi kuumwa siku za karibuni |
siwezi kujua kifo hicho kimetokana na nini au kwa sababu ya furaha aliyokuwa nayo kutokana na ushindi alioupata alisema bibi UNK |
UNK katika ugomvi geita katika tukio jingine faida muyomba anaripoti kutoka geita kuwa mfuasi mmoja wa chama cha mapinduzi katika kitongoji cha UNK kijiji cha UNK wilayani geita bwana fabian pani amefariki baada ya kupigwa katika ushabiki wa vyama kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa |
habari zinasema kuwa bwana pani alifariki baada ya kupigwa na watu wasiojulikana wakati wakibishana kuwa ni chama kipi kitashinda kati ya chadema na ccm ambapo UNK ugomvi |
wakati mfuasi huyo akipoteza maisha katika kijiji cha UNK mfuasi mwingine wa chadema amejeruhiwa vibaya katika kipigo baada ya kutokea vurugu kubwa ambapo masanduku ya kupigia kura yalidaiwa kuvunjwa huku karatasi za kupigia kura UNK |
vile vile katika mji mdogo wa katoro hali haikuwa shwari baada ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa chadema kuchoma jiko kuvunja mlango na madirisha ya nyumba ya msimamizi msaidizi wa kijiji hicho kwa madai kuwa alichelewa kutangaza matokeo na kwenda kujificha nyumbani kwake |
wakati hali ya mambo ikielezwa hivyo wilaya jirani ya sengerema habari zinasema kuwa wafuasi wa udp wamedaiwa kuchoma moto masanduku yaliyokuwa na karatasi za kupigia kura katika kijiji cha UNK kata ya UNK |
habari kutoka wilayani chato zinasema kuwa waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo bwana john magufuli UNK na uchaguzi huo baada ya chadema kushinda kiti cha serikali ya kijiji cha nyumbani kwake cha UNK |
kondoa UNK vibaya ccm mwandishi wetu rehema UNK anaripoti kutoka dodoma kuwa wilaya ya kondoa imeonekana kuwa ndio eneo pekee ambalo limetoa upinzani mkubwa kwa ccm matokeo ya awali UNK katika wilaya mbalimbali mkoani hapa yanaonesha kuwa ccm UNK kwa zaidi ya asilimia tisini na nane katika maeneo mbalimbali isipokuwa ... |
chama UNK ushindi wa vijiji sitini na mbili kati ya mia moja na sabini na saba na vitongoji ishirini mbili kati ya mia saba na tisini na nne huku UNK mitaa kumi kati ya kumi na moja cuf wataka kombani UNK |
katika hatua nyingine rabia bakari anaripoti kuwa mbunge wa viti maalumu mkoani lindi kwa tiketi ya cuf bibi mwanawetu zaraf amemtaka waziri wa serikali za mitaa na tawala za mikoa bibi celina kombani kuingilia kati hali ya utata wa uchaguzi wa serikali za mitaa wilaya ya kilwa baada ya baadhi ya wananchi kushindwa ku... |
akizungumza na waandishi wa habari jijini jana bibi zaraf alisema kuwa uchaguzi huo ulijaa utata mkubwa ambapo kuna baadhi ya wananchi walishindwa kupiga kura baada ya vifaa kucheleweshwa na hivyo kuahirishwa hadi jana huku waziri akitangaza utafanyika kabla ya oktoba thebathini na moja mwaka huu hali inayotishia kuon... |
selelii kimaro wataka afikishwe kortini |
UNK serikali kwa kutoa majibu ya ovyo |
lowassa UNK na vyombo vya habari wakati mkutano wa bunge unaanza leo mzimu wa mkataba tata wa richmond umeendelea kumwandama aliyekuwa waziri mkuu bwana edward lowassa baada ya baadhi ya wabunge kudai kuwa anastahili kuchukuliwa hatua zaidi ya ile ya kujiuzulu kutokana na kutajwa kwake katika kashfa hiyo |
wabunge hao kwa nyakati tofauti wamesema kuwa urafiki ambao bwana lowassa alisema upo baina yake na rais jakaya kikiwete UNK urais serikali na UNK ifanye kazi yake kwa kumchukulia hatua kutokana na kuliingizia taifa hasara |
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana mbunge wa nzega bwana lucas seleli bwana selelii alisema kutochukuliwa hatua za kisheria kwa bwana lowassa kunatokana na urafiki uliopo kati rais kikwete na mbunge huyo wa UNK |
alisema rais kikwete anapaswa kuamua kusuka au kunyoa kwa kuacha urafiki na kufuata sheria za nchi kwa kumfikisha bwana lowassa katika vyombo vya sheria kwani alionekana wazi kushiriki kupitisha mkataba huo tata |
tulipokuwa UNK taarifa ya kamati teule ya bunge tulibaini kuwa bila shaka alishiriki katika uamuzi huo hivyo UNK apime UNK akaamua kujiuzulu |
huu ulikuwa ni uamuzi wake binafsi lakini sisi UNK hapo |
UNK na serikali nayo iamue nini cha kufanya lakini hadi sasa imekuwa UNK majibu ya ovyo ovyo tu tunajua hawa watu ni marafiki tangu muda mrefu lakini urafiki na urais ni kitu tofauti |
hapa ni kazi wanatakiwa kuweka urafiki pembeni na kuwatumikia wananchi alisema bwana selelii |
alisema kama kweli nchi inafuata sheria na utawala bora serikali inatakiwa kumshtaki bwana lowassa kutokana na kosa alilofanya kwani limekuwa UNK nchi pato kubwa hadi sasa |
alisema kuwa sheria ni sawa na moto kwa kuwa moto unaweza UNK UNK lakini UNK |
alisema katika mkutano wa kumi na saba unaoanza leo mjini dodoma UNK kumaliza suala hilo na kuhakikisha kuwa sheria UNK mkondo wake kwa UNK hatua watu wote walihusika katika mkataba huo tata |
kauli ya UNK imekuja siku moja baada ya gazeti moja kutoa vielelezo vinavyoonesha jinsi bwana lowassa alivyohusika kushinikiza kusainiwa kwa mkataba wa UNK |
lakini bwana lowassa alipoulizwa hakuwa tayari kuzungumza na gazeti hili |
sikusikia vizuri swali lako kwa kuwa simu UNK lakini siko tayari kuzungumza na vyombo vya habari kwa sasa hadi hapo UNK alisema bwana lowassa na kukata simu |
mapema mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro naye aliungana na bwana selelii akisema kuwa rais kikiwete anatakiwa kuuweka pembeni urafiki wao na kuchukua uamuzi UNK wananchi UNK madarakani |
alisema rais anatakiwa kukumbuka kuwa madaraka aliyonayo ni ya milele na UNK na wananchi hivyo hatakiwi kufanya UNK kwa kuchanganya urafiki na madaraka hayo kwani UNK hatua bwana lowassa ni sawa na kuwadharau wananchi UNK |
iwapo atachukua uamuzi mzito wa kumfikisha bwana lowassa katika vyombo vya sheria utakuwa si uamuzi wake bali ni wa wananchi kwa kuwa cheo hicho si mali ya lowassa au ya kikwete bali ni mali ya wananchi alisema bwana kimaro |
alisema hadi sasa hajui ni kwa nini rais anakuwa mzito katika kutoa maamuzi katika jambo hilo kwani mapendekezo ya kamati teule ya bunge na maoni ya wabunge yako wazi |
mwansheria wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana tindu lisu alihoji lowassa mwenye alishasema kuwa urafiki wake na rais kikwete UNK barabarani sasa kwenye mazingira ya aina hiyo anaweza UNK |
mtu wa kumshitaki mahakamani ni dpp ambaye anachaguliwa na rais na rais ni rafiki yake bwana lowassa sasa UNK kumshitaki katika mazingira hayo |
alihoji bwana lissu |
alisisitiza kuwa rais akitaka anaweza kumfikisha bwana lowassa katika vyombo vya sheria kujibu mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake |
kuna ushahidi mkubwa unaoonesha jinsi bwana lowassa alivyohusika ukisoma ripoti yote ya daktari mwakyembe utaona inavyoeleza wazi jinsi UNK |
barua zipo nyingi UNK alivyoshiriki alisema na kuongeza kuwa lowassa ni rafiki wa karibu wa rais kikwete bado ana nguvu serikalini ndiyo maana UNK |
alisema hata makosa aliyofanya bwana lowassa UNK macho lakini baadaye anaweza kushitakiwa |
makosa yanayomkabili ni ya jinai ambayo UNK hadi baada ya miaka sitini alisema na kufafanua kuwa hata serikali zijazo zinaweza kumfikisha mahakamani |
akizungumza na majira kwa njia ya simu aliyekuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge iliyochunguza kashfa ya richmond daktari mwakyembe alisema yeye kama mwenyekiti hawezi kusema lolote kuhusu taarifa hiyo bali anasubiri kile UNK na serikali |
unajua mimi nilikuwa mwenyekiti wa kamati sasa siwezi kusema lolote waache wabunge wengine waseme mimi nikisema inaweza kutafsiriwa vibaya kwa kuwa nilikuwa mwenyekiti alisema daktari mwakyembe |
kauli hizo za wabunge zimekuja wakati serikali inatarajia kuwasilisha taarifa yake ya utekelezaji ya maazimio ishirini na tatu ya bunge kuhusu richmond muda wowote kuanzia leo |
ubalozi wa uturuki nchini umesema shirika la ndege la nchi hiyo litaanza kufanya safari zake nchini tanzania kuanzia mwaka ujao |
balozi wa uturuki hapa nchini daktari UNK gurbotz amemweleza makamu wa rais daktari ali mohamed shein kuwa wamefikia makubaliano na mamlaka ya anga tanzania kwa ajili ya safari za moja kwa moja kutoka uturuki hadi dar es salaam |
daktari gurbotz ambaye alikwenda kumsalimia daktari shein ofisini kwake ikulu alisema hatua ya shirika hilo kuanza safari zake nchini itasaidia kuendeleza mahusiano ya kiuchumi biashara na utalii kati ya tanzania na uturuki |
balozi huyo alisema ana mpango pia wa kuwasiliana na wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ili kufikia makubaliano juu ya biashara huria na kuanzisha tume ya kudumu ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili |
alisema katika kipindi cha miezi mitatu UNK nchini amefanya jitihada ya kushawishi wafanyabiashara wa uturuki waweze kuja kuwekeza nchini tanzania akiamini kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kuongeza ajira na kukuza uchumi |
kwa mfano tuna viwanda vya nguo vya kisasa kabisa uturuki ambavyo UNK na ukosefu wa malighafi wafanyabiashara watakuwa katika nafasi nzuri ya kusafirisha ili sote tuweze kunufaika alisema |
aliongeza kuwa tayari nimefanya mkutano mkubwa na bodi ya pamba tanzania juu ya kuhamasisha uwekezaji katika pamba |
katika mazungumzo hayo makamu wa rais alimtaka balozi huyo kuhamasisha wawekezaji wa uturuki waje UNK mikoa inayolima pamba ikiwemo ya shinyanga mwanza tabora na mara badala ya kutegemea taarifa pekee |
alisema serikali hivi sasa kupitia kaulimbiu yake ya kilimo kwanza UNK wafanyabiashara wakiwemo wa kutoka uturuki kuwekeza kwenye kilimo ili nchi iweze kujitosheleza kwa chakula na kuinua uchumi kwa ujumla |
utafiti wa kina unahitajika kufanywa ili kubaini uhalisia na kupata undani wa mahusiano waliyonayo watu wenye asili ya afrika UNK sehemu mbalimbali ndani na nje ya bara la afrika |
hali hiyo itawezekana iwapo waafrika wataweza kujikita katika kufundisha elimu itakayowasaidia kujua chimbuko lao pia kuelewa umuhimu wa kutunza maeneo mbalimbali kwa ajili ya UNK wa kihistoria na kuvutia utalii |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na watoa mada katika kongamano la tano la mtandao wa mtawanyiko wa waafrika sehemu mbalimbali duniani lililoanza juzi |
akizungumza katika moja ya midahalo iliyofanyika jana naibu waziri wa hoteli na utalii kutoka angola bwana UNK UNK alisema kuwa kongamano la UNK na tafiti zingine kama ile inayoendeshwa na shirika la elimu sayansi na utamaduni la umoja wa mataifa ni hatua nzuri katika kutafiti na kugundua asili ya mtawanyiko wa waafri... |
hii ni nafasi UNK kuvumbua na kujua madhara ya historia ya biashara ya utumwa katika angola afrika na duniani kote ni fursa ya kuwapatia watu wenye asili ya afrika habari za uhakika juu ya historia yao yale ya kale pamoja na ya karibuni |
nchini angola bado kuna upungufu kuhusu mtawanyiko wa watu wenye asili ya angola UNK ulimwenguni |
lakini huko brazil na marekani kuna ushahidi wa vitu UNK na utamaduni wetu ikiwa ni dhahiri kuwa kuna watu wa asili yetu |
kwa mfano ngoma ya samba huko brazil alisema bwana UNK |
mtoa mada mwingine bwana UNK UNK ofisa mchumi katika ubalozi wa afrika kusini huko marekani alisema kuwa elimu inayotolewa katika nchi nyingi za afrika ina lengo la kufuta kumbukumbu muhimu zinazohusu mtawanyiko wa waafrika na uelewa wa masuala ya historia yao kwa ujumla |
alisema mathalani afrika kusini hawafundishwi elimu ya historia inayoweza kuwapatia ufahamu kuwa kuna watu kutoka nchini humo UNK maeneo mbalimbali barani afrika ikiwa ni pamoja na afrika mashariki hususani kusini mwa tanzania kama vile songea |
elimu ya historia hiyo UNK |
kinachofundishwa na kile kinachohusu historia ya kuanzia mwaka elfu moja na mia sita na hamsini na mbili pale wazungu UNK afrika kusini lakini UNK zaidi ya hapo kujua hasa waafrika wenzetu UNK na kufika wapi |
si hivyo tu hata maeneo yenye kumbukumbu muhimu kwa waafrika kama vile mapambano ya kupinga utawala wa kikoloni na kibaguzi UNK thamani halisi mfano halisi ni eneo UNK marehemu steve UNK huko kings UNK halipewi umuhimu pamoja na kwamba ndipo hasa UNK vuguvugu la kumsaidia mwafrika kujitambua alisema bwana UNK |
kwa upande wake UNK mdahalo bwana jenerali ulimwengu UNK suala la utafiti na kuyapatia heshima maeneo ya historia ya mwafrika ili kuwa maeneo ya vivutio vya kitalii |
UNK kufanya utafiti wa kutosha kwa kweli ili kujua asili na mahusiano ya waafrika walioko katika maeneo mbalimbali mathalani hivi karibuni UNK waziri shamsa mwangunga akisema kuna watu huko nchi ya UNK UNK kuwa na uhusiano na eneo la rufiji nchini tanzania hilo ni UNK la kutafiti alisema |
wilaya ya bagamoyo mkoani pwani inakabiliwa na upungufu wa chakula wa tani thebathini na sita sifuri sifuri sifuri za mazao ya nafaka zinahitajika |
akizungumza na wananchi wa bagamoyo mwishoni mwa wiki iliyopita mkuu wa wilaya hiyo bwana magesa mulongo alisema wilaya yake inakabiliwa na upungufu huo hivyo akawataka wananchi kukitumia vizuri chakula UNK |
alisema tayari wilaya imepokea tani mia tatu na sabini na mbili za mazao ya nafaka kutoka serikali kuu kwa ajili kuwanusuru na njaa wananchi wenye upungufu huo |
nusu ya chakula hicho UNK bure kwa wananchi wasio na uwezo na kilichobaki UNK wenye uwezo kidogo kwa bei ya shilingi hamsini kwa kilo |
bwana mulongo aliyataja maeneo yaliyoathirika zaidi na upungufu huo kuwa ni kata ya UNK UNK ruvu darajani kibindu na kwa UNK ambayo yamefikiwa na msaada huo |
aliwataka wananchi kuendeleza kilimo cha mazao ya muda mfupi ikiwa ni pamoja na zao la muhogo ili kuweza kukabiliana na upungufu huo kwani kilimo cha muhogo kimesaidia sana kunusuru baadhi ya familia |
asema hawezi kuwaziba midomo wabunge |
asisitiza chanzo ni kashfa ya richmond mbunge wa kyela |
daktari harison mwakyembe amemshukia mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzua na kupambana na rushwa daktari edward hosea na kumtaka aache mara moja kutafuta njia ya kujihami kwa kuwahoji ili kuwaziba midomo wabunge badala yake izingatie utawala wa sheria |
daktari mwakyembe aliyeongoza kamati teule ya bunge iliyochunguza kashfa ya kampuni tata ya kuzalisha umeme wa dharura ya richmond na kumtuhumu daktari hosea kwa kuisafisha anaungana na mbunge wa bumbuli william shelukindo kuhusisha kashfa hito na hatua ya takukuru kuwahoji wabunge kuhusiana na posho UNK |
madai ya wabunge hao yamekuja wakati takukuru ikiendelea kuwahoji baadhi ya wabunge UNK kupokea posho mara mbili kutoka serikalini na kwenye mashirika ya umma huku wakiwa wameshalipwa na ofisi ya bunge |
tofauti na bwana shelukindo aliyekiri kuhojiwa na kutoa ushirikiano daktari mwakyembe ambaye kitaaluma ni mwanasheria amesema hawezi kukubali kuhojiwa na takukuru kwa sasa hadi hapo serikali itakapomaliza kutekeleza maamizio ishirini na tatu ya kamati teule ya bunge mojawapo UNK kumwajibisha daktari UNK |
akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari wa bunge jana daktari mwakyembe alisema amesikitishwa na kitendo cha takukuru kuwaita wabunge katika kundi kwa kuwapigia simu kuwahoji kuhusu malipo ya posho ya vikao mbalimbali huku taasisi hiyo nayo ikiwa inawalipa wabunge pale inapokutana nao dar es salaam |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.