text stringlengths 1 1.32k |
|---|
leo nimesoma gazeti moja likiwa limeandika habari kwamba sijui mwakyembe amechanganyikiwa ameitwa na takukuru ameomba hifadhi kwanza hili ni gazeti la mafisadi na si mara ya kwanza kuandika habari kama hizi gazeti hili linamilikiwa na mafisadi |
waandishi wa wapo hapa UNK kagoda ni nani richmond ni nani hili gazeti linamilikiwa na mafisadi na mnawajua sina haja ya kuwataja na UNK alisema |
mbunge huyo aliongeza lakini ninachotaka niseme ni kwamba kwa muda wa karibu mwezi sasa takukuru wamekuwa wakiwaita wabunge kwa makundi tena kwa kuwapigia simu na mimi walinipigia simu nikiwa jimboni nikakataa kwenda sasa huo ni ujasiri kwa sababu bado tunasubiri utekelezaji wa serikali kuhusu takukuru katika suala la... |
huo siyo utawala wa sheria hili ni bunge la tisa lakini hata sisi tumekuta wabunge wakilipwa posho au kuandaliwa chakula sisi UNK mawaziri kila siku katika maeneo yetu hatujawahi kusema kwamba leo UNK chakula kwa kuwa amelipwa hapana |
hata wao takukuru UNK pale dar es salaam UNK posho tena mpaka ya kulala yapo masuala mazito ambayo tunataka takukuru UNK watanzania si michezo michezo hii alisema |
alisema fedha zinazotumika katika fungu hilo hupitishwa bungeni kila mwaka kwa jina la hospitality na kwamba ni jambo la kawaida UNK mgeni UNK na kwamba kama mtu hapendi kufanya hivyo UNK lakini kuwahoji wabunge juu ya malipo hayo ni kutaka kuwaziba midomo ili wawe na hofu kuhoji utekelezaji wa serikali kuhusu mkuu wa... |
alisema yeye kama mbunge mwana taaluma ya sheria hawezi kukubali kuona watu wanatumia baadhi ya vyombo vya habari kuendelea kupotosha ukweli kwa maslahi yao na kuwaomba wanahabari kusaidia jamii kuelewa hoja za msingi za taifa badala ya baadhi yao kupotosha ukweli kwa maslahi yao |
eti mafisadi wanataka kuniangusha kule jimboni kwangu najua leo kuna ndege imepeleka magazeti ya fulani kyela na kugawa bure lakini nawaambia wananchi ni waelewa mafisadi UNK oa kyela UNK wao na wake zao wapige kambi na wahamie kyela kwa miaka mitano alisema daktari mwakyembe |
kauli hizo za daktari mwakyembe zimekuja siku mbili baada ya spika wa bunge samuel sitta UNK takukuru kupitia gazeti kuwa UNK wabunge kwa kuwahoji bila kufuata taratibu ikiwamo UNK ofisi yake |
lakini taasisi hiyo kwa upande wake inasema ilipata baraka za bunge kufanya hivyo na wabunge wanastahili kuitikia wito kwa kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria |
malumbano hayo yanaendelea wakati mkutano wa kumi na saba wa bunge unaotarajia kuhitimisha kashfa ya richmond kwa serikali kueleza UNK maazimio ishirini na tatu ya bunge ukiendelea |
idadi ya wagonjwa wa mafua makali ya nguruwe katika wilaya ya mbulu mkoani manyara imezidi kuongezeka na sasa imefikia mia tano na kumi na moja tangu ugonjwa huo ulipoingia septemba ishirini na mbili mwaka huu |
mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya mbulu bwana mohamed ngwalima aliyasema hayo jana alipozungumza na majira ofisini kwake na kubainisha kuwa ugonjwa huo umeenea kwa kasi ndani ya wilaya hiyo |
bwana ngwalima alisema kuwa idadi hiyo ni jumla kuu ya wagonjwa wa zamani na wapya kati yao waliothibitishwa ni mia mbili na arobaini na tano UNK dawa aina ya tamiflu ni wagonjwa mia mbili na ishirini na tisa idadi hii ni jumla ya wagonjwa wa zamani na wapya na pamoja na vipimo ambavyo UNK zamani na sasa hivyo hii ndi... |
alifafanua kuwa ugonjwa huo hadi sasa umewakumba watumishi sita wa hospitali hiyo ambao UNK wakati wakitoa huduma kwa wagonjwa wengine |
hata hivyo bwana ngwalima alifafanua kuwa idadi ya wagonjwa UNK nayo inaongezeka kutoka watatu oktoba kumi na tisa na sasa kufikia kumi na nne jambo ambalo litaweza kusababisha wagonjwa hao kuendelea kuambukiza watu wengine huko UNK |
idadi ya wagonjwa waliopo kambini kwa sasa ni themanini na sita kati ya hao themanini na nne ni wa zamani na wapya ni wawili huku wagonjwa UNK kwenda majumbani kwao ni mia nne na kumi na moja bwana ngwalima alisema serikali inajitahidi kuhakikisha wagonjwa waliotoroka wanapatikana ili kumalizia dozi zao na kuwadhibiti... |
mfungwa semayoga michael kutoka gereza la ukonga dar es salaam anatarajiwa kutunukiwa cheti cha kuhitimu shahada ya sheria katika chuo kikuu huria keshokutwa |
mfungwa huyo ni wa pili kupata shahada hiyo katika chuo hicho baada ya haruna pembe UNK kuhitimu katika gereza hilo oktoba mwaka juzi |
makamu mkuu wa chuo hicho profesa tolly mbwette aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mahafali ya watakaohitimu shahada na vyeti mbalimbali |
profesa mbwette alisema miongoni mwa watakaohitimu ni viongozi mawaziri na wanasiasa akiwemo bibi anna kilango malecela UNK shahada ya kwanza akiwa tayari UNK kuanza shahada ya uzamili chuoni hapo |
mkuu huyo wa chuo hakuwa tayari kutaja majina wala idadi ya viongozi watakaokuwa miongoni mwa wahitimu moja mia tatu na arobaini wakiwemo wanawake mia tano na ishirini na moja na wanaume mia nane na kumi na tisa kwa madai kuwa hilo ni suala binafsi |
hata hivyo kuna wanafunzi ambao UNK vyeti kutokana na matokeo yao kutia shaka uchunguzi dhidi yao umeanza kufanyika na endapo wataonekana hawana hatia UNK vyeti vyao katika mahafali mengine |
kesho waziri mkuu bwana mizengo pinda atazindua UNK ya UNK ya ualimu wa shule ya msingi na shahada ya uzamili ya sheria ili kuwa na uelewa katika matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano |
pia bwana pinda atatoa zawadi kwa kamati bora tatu za ushauri walimu bora watatu watafiti bora washauri wakurugenzi wa mikoa na wafanyakazi bora wa utawala watatu |
profesa mbwette alisema chuo hicho pia UNK kuwa mwenyeji wa kuratibu masuala ya ualimu baada ya kushindana na vyuo kumi huria afrika |
ikiwa imesalia miezi kumi na mbili kufanyika kwa uchaguzi mkuu serikali imeweka wazi kwamba itawasilisha bungeni muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi katika mkutano wa kumi na nane wa bunge januari mwakani |
katika mkutano huo pia itawasilisha muswada wa kurekebisha sheria ya maadili ya viongozi kwa lengo la kutenganisha siasa na biashara kama sehemu ya UNK wa ahadi ya rais jakaya kikwete |
akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari wa bunge jana waziri nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo alisema katika muswada huo wa sheria ya garama za uchaguzi hakuna chama UNK kupata fedha au msaada wa aina yoyote kutoka nje ya nchi |
katika sheria hiyo ya garama za uchaguzi kuna kipengele cha fedha haramu na hizo fedha haramu ni pamoja na fedha kutoka nje ya mpaka wa tanzania alisema |
alisema hata kama mtoa msaada ni ndugu wa mgombea au kiongozi wa chama chochote akitoa msaada itakuwa ni kinyume cha sheria na haitaruhusiwa katika sheria hiyo mpya |
alisema kila chama kitalazimika kutaja vyanzo halali vya mapato yake na kwamba iwapo UNK fedha nje ya vyanzo vyake halali itakuwa ni kosa na kwamba wagombea pia UNK kutaja viwango vya fedha UNK kutumia katika uchaguzi na kueleza jinsi walivyopata fedha hizo |
kila mgombea UNK kwa msajili wa vyama vya siasa kiwango cha fedha UNK kutumia katika uchaguzi UNK wataweka wazi mchanganuo wa matumizi kwa kueleza wazi ni kwa nini anatumia fedha hizo na UNK kufanya tofauti na maelezo yake |
kwa hali hii ofisi ya msajili wa vyama vya siasa itakuwa na kazi kubwa sana alisema bwana marmo |
alisema kutokana na sheria hiyo serikali itafanya marekebisho makubwa katika sheria ya uchaguzi ya mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tano na ile ya vyama vya siasa ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na mbili ili iweze kuendana na utaratibu wa kusimamia mapato matumizi na gharama za uchaguzi kwa vyama v... |
muswada wa sheria hii tayari umekamilika baada ya waraka wa baraza la mawaziri kupitishwa upo katika hatua zake za mwisho kujadiliwa na wadau muda wowote kuanzia sasa alisema |
kuhusu marekebisho ya sheria ya maadili ya viongozi wa umma ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano inayolenga kutenganisha biashara na uongozi katika utumishi wa umma katika ngazi za juu alisema serikali iliunda timu ya kufanya UNK wa mapendekezo ya awali kutoka katika nchi mbalimbali na kwamba tayari UNK ma... |
wajumbe wa timu hiyo walitoka kutoka sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ofisi ya msajili ya vyama vya siasa tume ya taifa ya uchaguzi ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa |
alisema kutokana na umuhimu wa sheria hizo mbili kugusa jamii moja kwa moja serikali UNK wananchi vyama vya siasa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali UNK ya dini kujitokeza kutoa maoni yao kwa lengo la UNK ili UNK bungeni iwe imepata ridhaa ya wananchi na kuleta manufaa kwa taifa |
ofisi ya waziri mkuu imeagiza makatibu tawala wa mikoa nchini kuweka mikakati ya kukabiliana na mvua za el nino kwa kuwahamisha wananchi wanaoishi mabondeni ili kuepuka maafa yanayoweza kuepukika |
taarifa ya ofisi ya waziri mkuu iliyosainiwa na katibu mkuu bwana UNK lyimo inazungumzia taadhari iliyotolewa na idara ya hali ya hewa siku chache zilizopita kuwa kuna uwezekano wa tanzania kukumbwa na mvua za el nino kati ya oktoba ishirini sifuri tisa na machi ishirini moja sifuri bwana lyimo alisema makatibu tawala... |
mikoa iliyoko katika hatari zaidi ya kuathirika na mvua hizo ni dar es salaam pwani tanga kilimanjaro na arusha |
mikoa mingine ni manyara mwanza mara kagera shinyanga kigoma singida dodoma morogoro lindi na mtwara |
pia makatibu tawala hao wameagizwa kuhakikisha mikoa yao inakuwa na dawa za magonjwa ya milipuko kwa binadamu na mifugo kama vile UNK kipindupindu na dawa za kusafisha maji ya kunywa |
kwa upande wa chakula bwana lyimo amewaagiza viongozi hao kuhakikisha mikoa inaweka UNK ya chakula cha kutosha ili kuepuka baa la njaa |
kila katibu tawala UNK bajeti ya mkoa wake itakayosaidia kukabiliana na madhara ya mafuriko na UNK vifaa vya kukarabati miundombinu ya mawasiliano UNK |
kuhusu maeneo ya migodi ofisi hiyo imeagiza makatibu tawala kusimamia UNK wa mitaro UNK maji katika migodi ya wachimbaji wadogo wadogo na kuchukua taadhari zinazostahili kuepusha maafa yanayoweza kusababishwa na maji kuingia ndani ya migodi |
wananchi nao UNK kutumia mvua hizo kuzalisha mazao UNK mvua nyingi kama mpunga na ufugaji wa samaki |
siku moja baada ya gazeti hili kuripoti kuuawa kwa wafanyabiashara wawili mkoani kagera polisi mkoani humo wamekiri kuwaua kwa bahati mbaya wakati wakifuatilia majambazi walioteka magari na kupora mali za abiria |
waliouawa katika tukio hilo kuwa ni alex theonest na UNK simon wote wakulima wa muleba mkoani kagera |
katika tukio hilo pia polisi walimuua jambazi mmoja george UNK mwenye umri kati ya miaka thebathini na thebathini na tano kati ya sita waliokuwa UNK magari mawili juzi saa tatu thebathini usiku kwenye mlima UNK kamachumu wilayani muleba |
taarifa ya jeshi la polisi UNK kamanda wa polisi mkoani kagera kamishna msaidizi henry salewi akisema kuwa wafanyabiashara hao waliuawa kwa bahati mbaya baada ya polisi kuwasili katika eneo la utekaji kwa lengo la kuwaokoa mateka hao |
kwa mujibu wa kamanda huyo majambazi hayo yakiwa na silaha mbalimbali waliweka mawe barabarani na kuteka magari mawili yaliyokuwa UNK kati ya UNK na kamachumu yenye namba t mia tisa na thebathini na tisa UNK mitsubish na t mia nane na ishirini na tatu UNK pia UNK |
kamanda salewi amesema kuwa mara baada ya polisi kuwasili katika eneo hilo UNK watu wote wakae chini lakini majambazi hayo pamoja na abiria kadhaa waliokuwa kwenye magari hayo wote walitimua mbio na kutokomea UNK |
alisema polisi walifyatua risasi kwa kuamini kuwa waliokimbia kutoka kwenye eneo la tukio walikuwa ni majambazi na waliobaki walikuwa ni UNK |
jana majira lilimkariri akizungumza na na gazeti hili jana shuhuda wa tukio hilo bwana UNK angelo maarufu kwa jina la marco akisema kuwa polisi walifika dakika kumi baada ya majambazi kuondoka eneo la tukio na kuwakuta wafanyabiashara waliouawa wakiwa wanatafuta simu waliyokuwa UNK kwenye majani wakati wa UNK |
baada ya polisi hao kuwasili waliwataka watu hao wasimame lakini kwa kuhofia kuwa huenda majambazi mengine yamekuja kuwavamia walianza kukimbia na polisi UNK risasi na kuwaua papo hapo |
shuhuda huyo alidai pia kuwa baada ya tukio hilo wakazi wa vijiji jirani walijikusanya kufuatilia UNK hiyo ya risasi na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja UNK |
UNK aliwataja majambazi wenzake na kisha wananchi UNK kipigo hadi kufa |
kisha mwili wake UNK kwa moto |
kamanda salewi ametoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu na kutoa wito kwa abiria UNK UNK na badala yake kutoa ushirikiano kwa polisi katika kuwabaini hata wale watakaobaki UNK mwao |
amesema wakati polisi wakiendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo wananchi waendelee kutoa taarifa kama UNK mtu au watu waliojeruhiwa wakitafuta msaada wa chakula au tiba ili watiwe nguvuni |
mbunge wa bariadi magharibi bwana andrew chenge amesema hakuna mtu UNK kwa ufisadi na kama yuko UNK bariadi UNK |
vile vile bwana chenge amewataka wapiga kura wake kuwapuuza wanasiasa aliosema wanaeneza uvumi huo kwa madai kuwa ni wanasiasa uchwara UNK kisiasa |
mbunge huyo UNK kujiuzulu uwaziri wa miundombinu aprili ishirini mwaka huu baada ya akaunti yake ya nje kwenye kisiwa cha UNK kubainika ina zaidi ya shilingi bilioni moja zinazodaiwa kupatikana kwa rushwa ya rada alisema kuwa yeye ni safi na pia mbunge wa vitendo |
ndugu zangu nataka niwaambie kitu kimoja wapo wanasiasa uchwara hasa hawa wa chama cha wenye chama cha ukoo wanasema eti mie siwezi kuja kwenye jimbo langu |
ni waongo mimi UNK UNK wana nia ya kuwalaghai UNK kura kama UNK UNK niko bariadi waje wanikamate alisema UNK |
bwana chenge aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita mjini bariadi alipokuwa akihitimisha kampeni za wagombea wa uongozi katika uchaguzi wa UNK za mitaa uliofanyika jumapili iliyopita |
aliwalaumu mwenyekiti wa udp bwana john cheyo na mdogo wake bwana isack cheyo aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo mwaka ishirini sifuri tano kabla ya kiti hicho kuchukuliwa bwana chenge kuwa wanaeneza maneno ya uongo kwamba yeye hawezi kufika jimboni hilo kwa sababu anatafutwa na makachero wa uingereza |
bwana chenge UNK na taasisi ya kuchunguza rushwa ya uingereza kama alihusika na rushwa ya rada UNK taifa zaidi ya shilingi bilioni arobaini kutoka kwa kampuni ya kuuza zana za kijeshi ya uingereza |
serikali ya japan UNK kuwa itaendelea kuchangia maendeleo visiwani zanzibar kwa kufadhili miradi ya kusambaza maji katika kijiji cha fumba unguja na mradi wa umwagiliaji UNK pemba |
balozi wa japan nchini bwana hiroshi nakagawa ametoa ahadi hiyo dar es salaam jana wakati wa hafla ya utiaji saini wa msaada wa dola za marekani mia moja na sabini na sita mia tano na kumi zilizotolewa na japan kwa serikali ya mapinduzi zanzibar chini ya mpango wa usalama kwa watu wa hali ya chini |
bwana nakagawa alisema japan inatambua umuhimu wa kuwa na maji safi na salama pamoja kutumia mbinu mbadala ya kilimo cha umwagiliaji ndio sababu iliamua kufadhili miradi hiyo chini ya mpango UNK wa kufadhili maeneo yasio na huduma hizo |
UNK saini kwa niaba serikali ya tanzania waziri wa nchi ofisi ya rais UNK anayeshughulikia masuala ya fedha na uchumi bwana mwinyihaji makame aliishukuru japan kwa ushirikiano ambao imekuwa UNK katika kuchochea maendeleo nchini |
watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ilala kwa tuhuma za kujifanya usalama wa taifa na watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kisha kumtapeli mfanyakazi wa benki ya afrika bibi UNK temba mali yenye thamani ya shilingi milioni arobaini na tisa washtakiwa hao ni bwana mathew emmanuel bwana U... |
mwendesha mashitaka bibi UNK mwanga alisema mbele ya hakimu bwana samweli maweda kuwa washitakiwa wanakabiliwa na makosa manne tofauti likiwemo la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu |
kosa la pili ni la kujifanya ni watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa |
katika kosa la tatu washitakiwa hao wanadaiwa kumtaka bibi temba kufika pan beach hoteli na kujifanya ni wafanyakazi wa usalama wa taifa na kumtapeli kiasi cha shilingi milioni kumi na tano katika kosa la nne washitakiwa hao wanadaiwa walimtaka mfanyakazi huyo awape kiasi cha shilingi milioni thebathini na nne huku UN... |
washtakiwa wako nje kwa dhamana ya shilingi milioni kumi na sita kila mmoja na mali isiyohamishika kama vile nyumba au shamba |
kesi itatajwa tena desemba moja mwaka huu |
mbunge wa busega bwana raphael chegeni amemtaka waziri mkuu bwana mizengo pinda kueleza kama anatambua mvutano wa kibiashara uliopo kati ya kampuni mbili za bia serengeti breweries na tanzania breweries UNK amani ya nchi |
akijibu maswali ya papo kwa papo bungeni jana bwana pinda alikiri kuwepo kwa mvutano huo na kwamba tayari amekutana na baadhi ya wahusika akiwemo jaji mark bomani na kuzungumzia tatizo hilo |
katika swali lake la nyongeza bwana chegeni alimtaka bwana pinda kuona umuhimu wa kushughulikia suala hilo kwa karibu na hatua zaidi kuchukuliwa haraka kwa kuwa moja ya washindani hao ameagiza kung olewa kwa mabango ya mshindani UNK kwa UNK mawe jambo ambalo ni kinyume na ushindani wa kibiashara na hatari kwa amani na... |
bwana pinda alisema serikali haiwezi kuingilia kati tatizo hilo moja kwa moja kwa kuwa ipo mamlaka iliyoundwa kisheria kwa lengo la kushughulikia ushindani wa haki katika biashara bali serikali inaweza kuingilia kati pale tu UNK kwamba tume hiyo ya ushindani imeshindwa kumaliza tatizo hilo |
mgogoro huo umekuwa wa muda mrefu na hivi karibuni iliripotiwa kuwa kampuni mojawapo UNK baadhi ya wamiliki wa baa ili UNK bia za washindani wao |
katika hatua nyingine bwana pinda amekanusha tuhuma dhidi ya chama cha mapinduzi na serikali ya mapinduzi ya zanzibar kuhusisha na vurugu kila inapokaribia uchaguzi katika visiwa vya unguja na pemba na kuweka wazi kwamba hata chama cha wananchi nacho UNK vurugu hizo |
waziri mkuu alisema ni makosa kwa cuf kujivua lawama hizo UNK kuwa ni watakatifu wenye haki kwa kila jambo na kujiona kwamba wao wanaonewa na ccm siku zote wakati nao wanachangia kuwepo kwa tatizo hilo |
mara nyingi cuf UNK UNK katika suala hili UNK sana mnataka kujenga picha kwamba ni serikali ndio inahusika UNK kwamba ninyi ni watakatifu kabisa mna haki kwa kila jambo kila wakati UNK hili si kweli hata kidogo |
hapa kinachotakiwa ni kila moja wetu atambue kwamba anayo dhamana ya kusimamia amani na utulivu lakini katika hali hii ya kulaumiana na kulumbana haifai na haitasaidia sana alisema bwana pinda |
katika swali lake mbunge wa konde daktari ali UNK ali alimtaka waziri mkuu kueleza ni lini wananchi wa tanzania visiwani watakaa kwa amani na utulivu wakati wa uchaguzi kwa kuwa kila inapokaribia uchaguzi vijana wasio na hatia UNK na kuswekwa ndani bila kosa kwa madai kwamba ni agizo kutoka juu |
naye mbunge wa mkanyageni injinia mohamed habib mnyaa alimtaka waziri mkuu kueleza bunge kama ni haki kwa waziri wa serikali ya mapinduzi zanzibar kuamuru majeshi kutumika wakati wa uandikishaji wapiga kura wakati amiri jeshi mkuu ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania peke yake |
akijibu swali hilo waziri mkuu alisema kinachotakiwa kwa viongozi hao ni kuhakikisha watanzania wanaishi kwa hali ya amani na utulivu na kwamba iwapo kuna tatizo lolote la kiusalama lilitokea katika kazi ya uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa tanzania visiwani wahusika wanatakiwa kukaa pamoja na U... |
awali kabla ya kujibu swali hilo bwana pinda alimtaka mbunge huyo UNK swali lake UNK alisema UNK UNK rais katika suala hilo ni kwamba katiba ya nchi inatamka rais ndiye amiri UNK mkuu na kwamba waziri wa smz alitamba kwamba atatumia majeshi yote katika kazi hiyo jambo ambalo UNK hivyo kuleta picha kwamba alipata ridha... |
kiongozi wa upinzani bungeni bwana hamad UNK mohamed yeye alimtaka waziri mkuu kueleza utaratibu uliotumiwa na tume ya taifa ya uchaguzi kukusanya hadi kupata UNK la kadi za wapiga kura zilizochomwa moto septemba tisa mwaka huu |
akijibu swali hilo bwana pinda alisema suala hilo ni kubwa na linalohitaji taarifa sahihi kutoka kwa wahusika kwa kuwa linagusa maslahi ya watu hivyo kuomba apate muda kufanya mawasiliano na wahusika ili kutoa taarifa sahihi kulingana na uzito wake |
haya hivyo jibu hilo halikumtosheleza bwana hamad hivyo kumuuliza waziri mkuu swali la nyongeza akiitaka serikali kukubali kuundwa kwa tume ndogo kuchunguza suala hilo na kuwasilisha taarifa kutokana na uzito na ukubwa wa suala lenyewe |
akijibu swali hilo waziri mkuu alisisitiza msimamo wake kwamba kulingana na uzito na ukubwa kwa suala hilo ni bora zaidi mbunge huyo UNK subira ali apate taarifa sahihi toka kwa wahusika |
mwenyekiti wa kampuni ya uwekezaji ya taifa bwana felix mosha amesema fedha za wanahisa wa kampuni hiyo ziko salama |
bwana mosha alitoa kauli hiyo dar es salaam jana baada ya gazeti moja la kila siku kudai kuwa fedha za wanahisa wa kampuni hiyo UNK salama |
nataka kusisitiza UNK fedha za wanahisa ziko salama na zaidi ya asilimia themanini na tano ya mali za nicol UNK katika benki ya national microfinance na wanahisa wanazidi kuongezeka mara tatu kwani ndiyo taasisi pekee nchini inayofanya vizuri kwenye uchumi wa sasa hii ni rekodi nzuri kwa kampuni alisema bwana mosha |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.