text
stringlengths
1
1.32k
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu bwana mosha alikili kuwepo kwa baadhi ya mambo ambayo mamlaka UNK UNK ikiwemo kusahihisha baadhi ya akaunti za mwaka ishirini sifuri nane alisema kuwa nicol haijawahi kukataa kufanya kazi zake isipokuwa kulikuwa na majadiliano marefu katika kusahihisha mambo yake ambao UNK U...
hivi karibuni nicol ilisimamishwa kufanya biashara zake katika soko la hisa la dar es salaam wadau wa muswada wa sheria mpya ya matumizi ya fedha kwenye chaguzi mbalimbali wameanza kupinga mapendekezo ya serikali UNK vyama vya siasa kuingiza fedha za uchaguzi kutoka nje ya nchi wakisema hatua hiyo ina lengo la UNK vya...
waliozungumza na gazeti hili jana na UNK utaratibu huo ni bwana james mbatia wa nccr mageuzi bwana freeman mbowe wa chadema bwana augustine mrema wa tlp na mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam idara ya sayansi ya siasa profesa mwesiga baregu
kwa upande wake mwenyekiti wa chadema bwana mbowe alisema hatua ya serikali ni ushuhuda mwingine wa tabia mbaya ya ccm ya kubomoa misingi ya demokrasia
akizungumza na gazeti hili dar es salaam jana bwana mbowe alisema ni jambo la kushangaza kwa serikali kuzuia vyama vya siasa kupata fedha kutoka nje wakati hata yenyewe inashindwa kujiendesha
serikali inashindwa kujiendesha inategemea misaada tume ya uchaguzi nayo hivyo hivyo sasa iweje vyama vya siasa UNK
alihoji bwana mbowe na kusisitiza kuwa mpango huu una dhamira mbaya
alisema wao wanakubali matumizi wa fedha kwenye uchaguzi UNK lakini kama zinatoka kwenye vyanzo vilivyo wazi na UNK hakuna sababu ya kuzuia
watu wanawekeza nje ninaweza kuwa nimewekeza nje ya nchi mfano afrika kusini au dubai na nikawa na watu UNK nao wakitaka kunisaidia kwenye uchaguzi kuna ubaya gani
alihoji bwana mbowe
naye mwenyekiti wa nccr mageuzi bwana mbatia alisema uamuzi huo ni wa kifisadi na umeandaliwa kwa ajili ya kusambaratisha vyama vya upinzani
bwana mbatia alisema ccm inatafuta mbinu za kudhibiti vyama vya upinzani ndiyo maana muswada huo UNK
kabla ya kuandaa muswada huo serikali ilipaswa kutengeneza mazingira mazuri ya demokrasia na kuboresha mfumo wa uchaguzi na kuweka uwakilishi wenye wa uwiano sawa alisema bwana mbatia
alibainisha kuwa muswada huo unaweza kupingwa mahakamani kwa kuwa ni wa kibaguzi na UNK kwa ajili ya tukio fulani kwa nia mbaya
siku zote walikuwa wapi kama siyo ujanja ujanja unafanywa kuhakikisha vyama vya upinzani UNK nguvu katika uchaguzi mkuu mwakani
alihoji bwana mbatia
alisema ccm inapata ruzuku ya shilingi bilioni mbili kwa mwezi na inatumia vyombo vya dola kuendesha shughuli za siasa hivyo UNK kuwepo muswada huo ili UNK midomo wapinzani
aliongeza kuwa kama vyama vya siasa UNK fedha kutoka nje kwa ajili ya shughuli za kisiasa kuna haja gani ya UNK
alitolea mfano kitendo cha mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi kutangaza matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wakati siyo kazi yake kuwa hiyo inaonesha jinsi ambavyo anafanya kazi kwa ajili ya ccm kwa upande wake mhadhiri chuo kikuu cha dar es salaam katika kitivo cha sayansi ya siasa profesa mwesig...
huu muswada UNK maisha ya kila mtanzania hivyo unatakiwa kujadiliwa kwa mapana hata ikibidi kwa mfumo wa white paper alisema profesa baregu na kusisitiza kuwa ni lazima wananchi washirikishwe kwa wingi
alisema nchi nyingi ikiwemo marekani zina sheria UNK michango ya fedha jinsi zinavyotumika alisema na kuongeza kuwa nchini tanzania suala la UNK lipo hivyo ni lazima kuwa na sheria UNK maeneo hayo
profesa baregu alisema kumekuwa na ongezeko la fedha wakati wa uchaguzi kiasi cha kuwafanya watu wengine kuingiwa na hofu ya kwenda kugombea
alibainisha kuwa suala la kudhibiti fedha ili UNK uchaguzi na kuwafanya watu washindwe kuchagua viongozi bora ni la msingi
pia mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustine mrema alisema muswada huo utapelekwa bungeni kwa ajili ya kuwaangusha wapinzani katika uchaguzi mkuu mwakani
kwa mazingira hayo hakuna sababu ya kuwepo kwa vyama vya upinzani nchini kwa sababu wengi tunategemea fedha kutoka nje wakati wa uchaguzi sasa muswada huo UNK UNK vyama
alihoji
bwana mrema alisema kwa mazingira hayo itakuwa vigumu kwao kuisambaratisha ccm alisema chama cha tlp hakina fedha yoyote ambayo kinapata kutoka nchini bali UNK misaada kutoka nje ya nchi hivyo ikizuiwa hakitaweza kushiriki uchaguzi kikamilifu
juzi waziri wa nchi ofisi ya rais bwana philip marmo alisema muswada huo UNK bungeni januari mwakani na serikali inakusudia kuzuia fedha zozote kutoka nje ya nchi
UNK waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana john magufuli ametangaza rasmi hatma ya samaki waliokamatwa mkononi mwa maharamia wa nchi za nje miezi saba iliyopita katika bahari ya hindi UNK bure kwa taasisi mbalimbali za kijamii
kuhusu ubora wa samaki hao bwana magufuli alisema bado ni salama kabisa kwa kuwa UNK katika ubaridi wa ishirini c hivyo wanaweza kukaa kwa miaka miwili bila UNK
natoa wito kwa wakuu wa taasisi hizo husika UNK kutuma maombi samaki waliopo wanaweza kulisha watu milioni moja gharama za kusafirisha samaki kutoka dar es salaam hadi eneo husika ni juu ya taasisi husika alisema bwana magufuli
akizungumza na waandishi dodoma jana bwana magufuli alisema serikali imefikia uamuzi huo baada ya kupata ridhaa ya mahakama na kuridhika na ushahidi UNK hivyo hakuna sababu ya kuendelea kuwatunza
samaki hawa watagawiwa kwa taasisi za kijamii kama vile hospitali shule za sekondari vyuo mbalimbali magereza vituo vya watoto yatima lakini si kwa watu binafsi
nakaribisha maombi kutoka taasisi hizo ili waweze kupatiwa samaki
alisema licha ya samaki hao tani mia mbili na tisini na sita thebathini na mbili kuwa na thamani kubwa ya shilingi bilioni mbili serikali haiwezi kufanya biashara kwa kuwauza kwa kuwa kufanya hivyo UNK manufaa yaliyokusudiwa ya kuwafanya watanzania wanufaike na UNK zao na kuzidisha moyo wa kutunza rasilimali za nchi
waacheni watanzania wale rasilimali yao ambayo walikuwa UNK kwa miaka mingi
watakapokuwa UNK UNK kulinda rasilimali yao kwa manufaa yao alisema bwana magufuli
alitaja faida zitakazopatikana kutokana na kukamatwa kwa samaki hao katika meli ya UNK one kuwa ni pamoja na serikali kufanikiwa kulinda rasilimali za nchi baada ya kukamata meli hiyo uwezekano wa nchi kuanza kunufaika na uvuvi yenye faida kwa taifa kutokana na nchi kadhaa kujitokeza kutaka kuvua katika eneo la tanzan...
faida nyingine kuwa ni uwezekano mkubwa wa serikali kushinda kesi hiyo ambapo kwa mujibu wa sheria za kimataifa kama serikali itaibuka na ushindi katika kesi hiyo itachukua meli hiyo yenye thamani kubwa kuwa mali ya tanzania
tangu tumepata uhuru inakadiriwa kuwa jumla ya meli ishirini sifuri zilikuwa UNK samaki katika eneo ambalo UNK hiyo meli ikiwa na hawa samaki sasa kama kwa siku meli ilikuwa inatoka na samaki kama wale maana yake ni kwamba kila siku tulikuwa tunapoteza shilingi bilioni mbili na sasa hatupotezi tena fedha hizo lile ene...
alisema mwaka ishirini sifuri nane ziwa victoria UNK serikali mapato ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na nne kutokana na uvuvi huku bahari ya hindi eneo la tanzania ambalo ni kubwa zaidi UNK taifa shilingi UNK mia tisa na themanini na moja tu hali iliyotokana na uvuvi haramu
alipoulizwa kuhusu mbinu itakayotumika kuhakikisha kwamba wale watakaopewa hao samaki hawafanyi biashara alisema ameweka utaratibu ambao hawezi kuuweka wazi wa kufuatilia kila UNK samaki hao na kwamba UNK kwamba anaweza kufanya biashara na hao samaki ni bora aache kutuma maombi kwa kuwa UNK
kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba kutunzwa kwa samaki hao UNK mzigo serikali kwa kutoa mamilioni ya fedha kuhifadhi wa samaki hao
barua inayodaiwa kuandikwa na aliyekuwa waziri mkuu bwana edward lowassa kwenda aliyekuwa waziri wa nishati na madini daktari ibrahim msabaha UNK UNK kwa karibu kampuni ya kufua umeme ya richmond imetafsiriwa kuwa ilikuwa ni ya kujikosha kwa kuwa alifanya hivyo baada ya kubaini mambo yamekwenda kombo
wachunguzi wa mambo wamesema tahadhari dhidi ya richmond iliyotolewa na bwana lowassa septemba ishirini na moja ishirini sifuri sita ikiwa ni miezi takribani mitatu baada ya kusainiwa kwa mkataba wa richmond juni ishirini na tatu ishirini sifuri sita haikuwa na lolote zaidi ya kuweka mambo sawa baada ya kuonekana kuwa...
watu mbalimbali waliozungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti walisema tahadhari hiyo ilipaswa kutolewa kabla ya mkataba kusainiwa na si miezi mitatu baadaye kama alivyofanya bwana UNK
wengine wameenda mbali zaidi wakisema licha ya bwana lowassa kukana kuhusika mara kwa mara kuhusika na mkataba huo ripoti ya kamati teule ya bunge iliyoongozwa na daktari harrison mwakyembe ilieleza vya kutosha uhusika wake
ripoti hiyo ilisema mambo mengi UNK mchakato wa mkataba huo ni viashiria vya nguvu kubwa iliyo juu ya wizara ya nishati na madini kutumika katika suala hilo na kuwa kutokana na ushahidi wa kimaandishi kimazingira na wa mdomo kamati teule iliona nguvu hiyo kuwa ni waziri mkuu
akizungumza na majira kuhusiana na barua hiyo kuandikwa baada ya mkataba mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe alisema hayo yanayojitokeza sasa ni ushahidi kuwa suala hilo UNK na UNK
kamanda unajua siku zote mwenye makosa anakuwa na hofu
penye nia mbaya UNK
mradi wa richmond ulikuwa dili ya wakubwa walifanya hivyo kwa nia ya kujinufaisha na baada ya kuona mambo hayaendi vizuri walianza kujihami alisema
bila kumtaja bwana lowassa moja kwa moja bwana mbowe alisema wakubwa baada ya kuona mambo hayaendi safi walianza UNK
alisisitiza kuwa barua za kujikosha ziliandikwa kwa lengo la kujihami baada ya kuona mambo UNK
hata hivyo bwana mbowe alisema picha ya jumla ya ccm na serikali yake imegubikwa na ufisadi hivyo wale wote UNK lao ni moja
ufisadi unafanywa katika maeneo mengi UNK lowassa ni haki yake lakini na wenzake nao UNK alisema bwana mbowe na kuwataka wana ccm wanaojiita wapambanaji wa ufisadi kugusa hata maeneo mengine badala ya kushikilia richmond peke yake
wale waliopo ndani ya ccm wana mambo ambayo wanaficha richmond inashughulikiwa kwa sababu zao za kimaslahi au za kiuchumi
lakini kuna vitu vya binafsi katika suala la richmond
nchi hii imejaa ufisadi katika maeneo mengi
kwa upande wake mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam profesa mwesiga baregu alisema yanayoendelea kujitokeza katika sakata zima la richmond ni kielelezo kuwa ukweli na undani wake UNK wazi
inaelekea ukweli na undani wa mambo mengine kuhusu richmond UNK yote tunabaki kujiuliza maswali mengi alisema profesa baregu na kuongeza ukisoma zile barua unaweza kusema alikuwa anajali sana au alikuwa kwenye utaratibu wa mgongano wa kimaslahi alisema na kuongeza sakata la richmond UNK huku serikali nayo ikishindwa k...
UNK kujua kuna nini ndani yake
haijulikani vizuri alisema na kuongeza kuwa wakati umefika sasa wa wananchi kuelezwa namna kila mmoja alivyoshiriki kwa kuwa kuna mambo ndani ambayo hayako wazi
barua inayodaiwa kuandikwa na bwana lowassa septemba ishirini na moja mwaka huu imekuwa UNK kwenye vyombo vya habari wiki hii huku vingine vikilenga kuonesha kuwa ndicho kielelezo cha uadilifu wa kiongozi huyo na vingine vikisema ni uthibitisho wa jinsi alivyoshiriki kwenye mchakato wa richmond
zaidi ya shilingi milioni hamsini sifuri zitatumika katika ulipaji fidia kwa wakazi wa manispaa ya temeke ili kupisha upanuzi wa ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na shule na zahanati katika halmashauri hiyo
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana mkurugenzi wa manispaa hiyo bwana stephen kongwa alisema kuwa fedha hizo zitalipwa kwa awamu kwa watu waliohamishwa makazi yao
alisema kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi waliohamishwa maeneo yao kwa ajili ya upanuzi wa kujenga shule na zahanati
fedha hizo UNK kwa awamu katika kipindi hiki cha mwaka wa fedha ishirini sifuri tisa na ishirini moja sifuri ili kila mmoja aweze kupata fidia ya kujenga nyumba sehemu nyingine alisema bwana kongwa pia maeneo hayo UNK watu yatatumika kujenga shule na zahanati za kwa ajili ya kuongeza huduma kwa watu wa halmashauri ya ...
bwana kongwa alisema baada ya kukamilika kwa ujenzi huo wa zahanati utapunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya temeke na wengi watapatiwa huduma ya matibabu kwa haraka zaidi
hata hivyo fedha hizo tunajitahidi UNK katika kipindi hiki ili kuharakisha kasi ya kulipa fidia pamoja na kujenga shule hizo kwa ajili ya kurahisisha wanafunzi wasiende shule za mbali
ofisi ya waziri mkuu UNK vikali na wakulima wadogowadogo wa chai kwa kushindwa kuumaliza mgogoro unaohusu msitu wa magogo wa sakare uliopo wilayani korogwe na kiwanda cha kusindika chai cha mponde kilichopo wilayani lushoto
wakizungumza kwa nyakati tofauti wakulima hao walisema UNK mgogoro huo uendelee kuwepo huku ukitishia kusimamisha uzalishaji wa kiwanda chao ni waziri mkuu mizengo pinda kutokana na kutotekeleza ahadi yake aliyoitoa mapema mwaka jana
bwana pinda alitoa ahadi kuwa atahakikisha anazungumza na rais ili kujua msitu wa sakare ni mali ya nani baada ya watu UNK na kuzuia wafanyakazi wa kiwanda cha mponde kukata magogo katika msitu huo uliokuwa mali ya mamlaka ya chai kabla kiwanda hicho UNK
mbali ya kuvamia wananchi hao walifanya uporaji wa mali za kiwanda cha mponde pamoja na kuzuia kuni zilizokuwa UNK tayari kwa kupelekwa UNK
akijibu swali la mwandishi wa habari hizi mkuu wa wilaya ya lushoto kilipo kiwanda cha mponde bibi
sophia mjema alikiri kuwa ni kweli msitu wa sakare ulivamiwa na wananchi wa wilaya jirani ya korogwe kwa kuwa upo katika wilaya hiyo licha ya madai kuwa miti UNK na kiwanda cha UNK
jibu la suala UNK lipo ofisi ya waziri mkuu tuliambiwa tusubiri hadi aonane na rais amweleze hali ilivyo katika mgogoro huo kwa hiyo bado tunasubiri majibu toka kwake alisema bibi
UNK
kwa upande wake mkuu wa wilaya ya korogwe bwana erasto sima alisema alizuiwa na sekeretarieti ya mkoa wa tanga kuwa UNK jambo hilo
nilipofika tu hapa wilayani na kuambiwa UNK mgogoro huo nilitaka kwenda kuwakutanisha watu wa pande zote mbili lakini sekeretarieti ya mkoa UNK UNK hadi hap UNK mkoani na nategemea kwenda kwenye kikao cha sekeretarieti ya mkoa kesho alisema sima wiki mbili zilizopita na kuahidi kuwa UNK mwandishi kuhusu UNK
mwandishi wa habari wa waziri mkuu bwana saidi nguba alizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wa habari hizi na kusema suala hilo anayetakiwa kutolea majibu ni mkuu wa mkoa wa tanga meja jenerali said kalembo
UNK rc kama UNK ushirikiano UNK ili niweze kuwasaidia alisema
hata hivyo juhudi za kumpata mkuu wa mkoa wa tanga kwa njia ya simu ambazo UNK matunda hadi tunakwenda mitamboni bado zinaendelea
waziri mkuu mizengo pinda amesema serikali itakuwa ikitoa shilingi bilioni mbili kila mwaka kufadhili chuo kikuu huria cha tanzania
waziri mkuu alisema hayo dar es salaam jana wakati akiweka jiwe la msingi la kuanza ujenzi wa makao makuu ya chuo hicho kibaha mkoani pwani katika eneo la UNK
bwana pinda alisema serikali itawatumia wakuu wa mikoa nchini ambao chuo hicho UNK kuwa wasimamizi wakuu wa vituo vya chuo hicho na kuhakikisha kila wilaya inapata kituo kwa ajili ya watanzania waishio vijijini na kuhakikisha wanapata elimu ya juu
tunatambua umuhimu wa mchango wa chuo hiki tunaahidi kuwa serikali itakuwa inachangia shilingi bilioni mbili kila mwaka ili kuhakikisha chuo kinafanya shughuli zake kwa ufanisi na kuwafikia watanzania wengi waweze kusoma kupitia mfumo wa elimu ya masafa mahali walipo alisema
alisema watanzania wanatakiwa kuondoa dhana kuwa elimu kwa njia ya masafa ni elimu ya kiwango cha chini kwani ulimwengu wa sasa mfumo huo ndio unaotumika na unaopendwa kutokana na mwanafunzi anakuwa anasoma huku akifanya kazi
bwana pinda alisema ofisi yake UNK waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi kuorodhesha wakuu wa vyuo vyote vikuu na matatizo UNK ili kuyafanyia kazi kwa ajili ya UNK elimu nchini
naye mkuu wa chuo hicho bwana john malecela alisema chuo chake kinalenga kuwafikishia watanzania wengi elimu mahali walipo hivyo serikali inatakiwa kuwa karibu na chuo hicho kiweze kufikia malengo ya kuwakomboa kielimu watanzania
adaiwa kutumia vijana kuvamia ujenzi wa shule
yaelezwa ni hofu UNK kugombea ishirini moja sifuri mbunge wa jimbo la muleba kusini bwana wilson masilingi yuko katika mvutano mkubwa na mwekezaji mmoja uongozi wa halmashauri ya wilaya ya muleba na naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi UNK UNK
bwana masilingi anadaiwa kutumia vijana kuvamia eneo hilo ambalo tayari mwekezaji huyo alikuwa ameanza kujenga shule akidai kuwa eneo hilo linapaswa kujengwa shule ya sekondari ya kata huku uongozi wa kijiji cha bunyagongo na halmashauri ya wilaya ya muleba UNK kuwa eneo hilo UNK kwa ajili ya mwekezaji
hata hivyo UNK wa masuala ya kisiasa wanasema mvutano huo unatokana kwa sehemu kubwa na mbio za uchaguzi mkuu jimboni humo unaotarajiwa kufanyika mwakani ambapo aliyekuwa kamanda wa polisi wa kanda maalum ya dar es salaam bwana alfred tibaigana anatajwa kuwa mmoja wa wanaolinyemelea jimbo hilo UNK na bwana masilingi
katika hatua UNK na wananchi wa jimbo hilo kuwa ni hofu ya kupoteza nafasi yake ya ubunge mwakani masilingi anadaiwa kukwamisha ujenzi wa shule ya sekondari ya binafsi inayojengwa na mfanyabiashara jackson faustine katika eneo la UNK katika UNK cha bunyagongo kata ya nshamba inadaiwa masilingi naye anataka kujenga shu...
akizungumzia suala hilo waziri kabaka alisema masilingi aliiambia wizara yake kuwa shule UNK eneo hilo ni ya kata lakini baada ya kufuatilia wamebaini si uongozi wa kijiji cha bunyagongo wala halmashauri ya wilaya ya muleba wanaotambua kwa mchakato wa ujenzi wa shule hiyo ya kata
masilingi ni rafiki yangu
ndivyo UNK
alikuja ofisini kwangu kuomba shilingi milioni nane akidai ni za ujenzi wa shule ya kata
lakini sasa UNK kwa sababu alichoeleza ni tofauti tulidhani shule ya wananchi kumbe ni yake