text
stringlengths
1
1.32k
suala hili linacheleweshwa makusudi halafu mbaya zaidi hatupewi taarifa za kuridhisha mapema
haya ni matumzi mabaya ya kodi za watanzania alisema mbunge mmoja ambay hakutaka kutaja jina lake
jana spika wa bunge samwel sitta kabla ya kumkaribisha waziri mkuu kuahirisha bunge alieleza kuwa ripoti ya richmond pamoja na ile ya ticts na trl zitatolewa katika mkutano wa bunge lijalo
wakati huo huo kikao cha faragha kati ya wabunge wa ccm na wazee wa chama hicho chini ya rais mstaafu ali hassan mwinyi kilimalizika juzi saa sita na nusu usiku huku mtihani wa kumaliza mpasuko miongoni mwa wabunge ukizidi kuwa ngumu zaidi
dalili za wazi za kuota mizizi kwa mpasuko huo UNK na majibizano makali yaliyotawala kikao hicho kilichokaa siku tatu huku jana UNK kwa mbunge wa nzega bwana lucas selelii kutoa maelezo ambayo alidai ni ushahidi wa jinsi watuhumiwa wa ufisadi walivyohusika moja kwa moja na kashfa ya richmond
kuna shahidi mmoja aliyekuwa akiishi dar es salaam alituambia wazi kwamba nyumba alimokuwa UNK UNK na rostam na kwamba mwandishi mmoja aliyekuwa ikulu alisema alipewa kazi ya kuhakikisha richmond UNK vizuri wafanyakazi wa richmond walikuwa ni walewale wa UNK kampuni ya rostam sasa UNK nini kutohusika na richmond kilis...
aliendelea kama wanaona wameonewa kama wanavyodai basi waende mahakamani au tumieni kanuni kurudisha upya hoja ya richmond bungeni barua zote za wizara ya nishati na madini kila moja ina msisitizo wa kwa agizo la waziri mkuu lakini pia ile richmond iliyopo marekani ni ya printing haijui hata kufunga balbu richmond llc...
ilielezwa kuwa mbunge huyo machachari aliweka wazi jinsi richmond UNK kwamba iliwahi kujenga uwanja wa taifa imetengeneza barabara ilijenga bomba la mafuta mambo ambayo katika uchunguzi UNK kuwa ya uwongo
awali mbunge wa igunga bwana rostam aziz alitaka kuundwa kwa tume huru kuchunguza ukweli wa taarifa ya richmond kwa maelezo kwamba taarifa hiyo UNK yeye aliyekuwa waziri mkuu edward lowassa na watendaji wengine waliotajwa
kutokana na hali hiyo baadhi ya wabunge waliozungumza na majira kwa masharti ya kutotajwa majina kwa madai kwamba kikao hicho ni cha ndani walieleza UNK kwao na yaliyojiri katika kikao huku wakihofia hatma ya ccm kwanza nafikiri kama mimi ningekuwa sophia simba UNK yeye ni waziri wa utawala bora UNK kuzungumza yale UN...
mbunge mwingine alisema anamwonea huruma sana mwenyekiti wetu wa chama akisema ana mtihani mgumu sana wa kuchambua pumba na mchele
lakini ukweli UNK kama UNK maamuzi sahihi na bila kujali sura ya mtu tutakwenda pabaya zaidi kuwa UNK nguo sasa hatua za haraka zinahitajika alisema mbunge mwingine
wakati hayo yakiendelea vyanzo vya majira vilieleza kwamba waziri simba amesikitishwa na jinsi watu UNK mchango wake huku akiweka wazi kwamba hawezi kutukana mtu kwa kuwa yeye anajua umuhimu wa kuzingatia maadili ya ccm naye kulwa mzee anaripoti kuwa hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chama cha mapinduzi anayepinga u...
madai hayo yalitolewa na wakili maarufu nchini profesa abdallah safari alipokuwa akizungumza na majira kuhusiana na malumbano yanayoendelea kati ya wabunge na mawaziri kuhusu nani fisadi
profesa safari alisema aliyozungumza waziri ofisi ya rais sophia simba ni kweli na kwamba walioguswa watalalamika lakini ukweli utabaki pale pale
jana waziri huyo UNK kwenye kikao kinachoendeshwa na rais mstaafu ali hassan mwinyi akiwatetea bwana edward lowassa na andrew chenge kwamba tuhuma za ufisadi dhidi yao UNK na kwamba mbunge wa same mashariki anne kilango ni nio mumewe john malecela UNK na mafisadi wakati wa uchaguzi mwaka ishirini sifuri tano kama kuna...
alisema viongozi wanaacha kushughulikia vitu kama hivyo UNK wanashughulikia UNK na vilivyo katika uchunguzi
akizungumzia hilo shekhe ponda issa ponda alisema hali ni mbaya kwa upande wa serikali lakini ni nzuri kwa upande wa wananchi kwani sasa wanafahamu kuwa viongozi wote walioko madarakani si wazuri
alisema kutokana na hali iliyopo ni wazi kwamba viongozi waliopo madarakani wanaendelea kuwepo kutokana na mfumo uliokuwepo awali ambao unatakiwa kubadilishwa
shekhe ponda alisema bila kuwepo kwa mfumo huo viongozi wote wanaonekana hawana sifa za kuendelea kushika nyadhifa walizonazo
mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewaachia huru wanafunzi watano wa chuo kikuu cha dar es salaam ambao walituhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali baada ya upande wa mashitaka kushindwa kupeleka mashahidi wa kesi hiyo
uamuzi huo wa kuachiwa huru kwa wanafunzi hao ulitolewa jana mahakamani hapo na hakimu mkazi bibi victoria nongwa ambaye kabla ya kufuta kesi hiyo alitoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka
mahakama ilitoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka ili waweze kuleta mashahidi lakini imeshindikana hivyo washitakiwa wanaachiwa huru kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuleta mashahidi wa kesi hii ilisema amri ya mahakama
wanafunzi UNK huru ni antony machibya UNK steven UNK UNK titus UNK na paul issa ambao walifikishwa mahakamani hapo januari ishirini na moja mwaka huu wakikabiliwa na makosa ya kufanya mkusanyiko usio halali chini ya sheria ya kanuni za adhabu kifungu cha sabini na nne ambapo mkusanyiko huo ulisababisha uvunjifu wa ama...
ilidaiwa kuwa katika mkusanyiko huo walikuwa na mabango ambayo yalikuwa na ujumbe uliosema laiti nyerere angefufuka leo UNK machozi ya damu
kweli kikwete umesahau umasikini wa watanzania
ilisema sehemu ya bango hilo
sehemu nyingine ilisema kuwa hivi pinda kweli wewe ni mtoto wa mkulima wazazi wetu UNK huruma tunateseka vyuo vya umma vimeuzwa kwa matajiri yalisema mabango hayo
upande wa mashtaka katika kesi hiyo UNK kuita mashahidi sita kutoka jeshi l polisi ambao ni ssp gervas mapunda sp nyangasa c elfu nane na mia saba na sabini na sita d UNK nyangasa pc hamis pc william na pc nsajigwa
serikali ya japan imesaini mkataba wa dola za marekani mia moja na sabini na tatu mia mbili na arobaini na nane kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji mkoani iringa na ujenzi wa kituo cha afya mkoani dodoma
mkataba huo ulisainiwa jana dar es salaam kati ya balozi wa japan bwana hiroshi nakagawa na wenyeviti wa miradi hiyo
bwana stephano mgina alisaini mkataba wa mradi wa maji wa kijiji cha mlangali na UNK wilayani ludewa mkoa wa iringa wenye thamani ya dola za marekani themanini na nane mia tisa na arobaini na moja msaada huo kwa ajili ya ujenzi wa matangi mawili na kusambaza bomba katika vijiji hivyo
mkataba wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha mkonze manispaa ya dodoma wenye thamani ya dola za marekani themanini na nne thebathini saba ulisainiwa na bwana yona wami
fedha hizo kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha matibabu na mapokezi ambapo watu kumi sifuri sifuri sifuri UNK
balozi nakagawa alisema sekta ya afya ni muhimu na serikali ya tanzania inajitahidi kwa nguvu zote kuhakikisha wananchi wanapata huduma inayostahili
pia alisema mradi wa maji wa mlangali utasaidia kuwapatia maji safi na salama wakazi saba themanini sifuri wa vijiji hivyo na kupunguza magonjwa ya kuhara na mengine yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama
balozi aliiomba kamati ya maji kuhamasisha wananchi kuchangia huduma hiyo na fedha zinazokusanywa zifanye kazi iliyokusudiwa
akishukuru baada ya kusaini mkataba huo mwenyekiti wa mkonze bwana wami alisema watatumia fedha hizo kwa matumizi yaliyokusudiwa na si vinginevyo ili kuwapunguzia wananchi adha wanayokabiliana nayo
naye mwenyekiti wa mlangali bwana mgina alisema wananchi watashiriki kwa hali na mali katika kufanikisha mradi huo na fedha hizo zitatumika kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa
watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na sita kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya super UNK lenye namba t mia tisa na thebathini na tano UNK kugongana na fuso lenye namba t mia mbili na arobaini na tatu UNK maeneo ya dakawa barabara ya morogoro dodoma
kamanda wa polisi mkoa wa morogoro bwana thobias andengenye amesema tukio hilo lilitokea novemba tisa majira saa moja kumi na tano usiku maeneo hayo ya dakawa wilaya ya mvomero ambapo alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa madereva hao
andengenye amesema dereva wa basi hilo lilikuwa likitokea mwanza kwenda dar es salaam alikimbia baada ya tukio hilo na dereva wa fuso aliyefahamika kwa jina la bwana aron UNK mkazi wa kibaigwa anashikiliwa na polisi
amewataja watu waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni bibi UNK paschal mkazi wa mkoani mwanza bwana issa mwezi ambaye ni kondakta wa basi ambapo marehemu wawili bado hawajatambulika ambapo miongoni mwao mmoja ni mwanaume mtu mzima na mwingine ni mwanamke UNK kuwa na umri kati ya miaka kumi na saba na kumi na tisa kaman...
wengine ni mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka moja ramadhan mohamed mkazi wa singida bwana pascal sungura bibi UNK pascal mkazi wa mwanza na matiku protas mkazi wa dar
kamanda andengenye amesema majeruhi wote wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa morogoro kwa matibabu na maiti UNK katika chumba cha kuhifadhia maiti katika UNK hiyo ya mkoa
na mashaka mhando handeni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilayani hapa imeingilia na kusimamisha zoezi la usaili walioomba nafasi za ajira katika halmashauri ya wilaya ya handeni akidai kwamba mchakato mzima wa zoezi hilo umetawaliwa na mazingira ya rushwa na uwepo wa dalili za ukabila
hatua hiyo inafuatia malalamiko yaliyowasilishwa takukuru na baadhi ya waliomba ajira kufuatia matangazo mbalimbali waliyoona kwenye magazeti na mbao za matangazo ambao afisa mmoja wa halmashauri hiyo UNK majina yao bila kuzingatia sifa zao na taratibu za usaili wa awali UNK
baadhi ya watu walioomba ajira na kukatwa majina yao walisema kuwa baadhi ya wanzao walitakiwa chochote ili waweze kupewa upendeleo ikiwemo kuitwa kwenye usaili ambao ulipangwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia aprili kumi na nne hadi kumi na sita na UNK hao tayari wakiwa wamefika wilayani hapa wakitokea mikoa ya dar es...
mimi niliomba nafasi ya ugavi nina sifa zote zinazotakiwa lakini cha kushangaza walioitwa kwenye usaili hawana sifa na vigezo vinavyotakiwa hii inaonyesha ofisi ya utumishi iliyokuwa ikishughulikia zoezi hili imetumia mazingira ya yasiyoeleweka alisema mkazi wa dodoma
bwana UNK hashim aliyeomba nafasi ya maendeleo ya jamii akitokea wilayani handeni aliyezungumza na majira jumapili kwa njia ya simu alisikitishwa na hatua ya kusimamishwa kwa zoezi hilo akielezea kwamba limewatia hasara UNK ambao wametokea mbali na handeni na kwamba UNK kabla ya kufika kituoni
kamanda wa takukuru mkoa wa tanga bwana UNK UNK alipoulizwa jana juu ya hatua hiyo alikiri kusimamisha zoezi hilo lakini akasema kwa kuwa yupo nje ya ofisi atazungumzia suala hilo jumatatu
bwana kimaro ambaye ni ofisa utumishi UNK suala hilo lililoleta matafaruku mkubwa alipoulizwa alisema suala hilo litazungumzwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo bwana hassain UNK
alisema tatizo kubwa katika zoezi hilo ni suala la kupendekeza majina kwa kutumia mfumo wa short UNK ambao UNK majina ya watu kutokana na namna UNK akitoa mfano kwamba sehemu iliyokuwa na watu ishirini UNK majina UNK pekee
wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania jana walitangaza uamuzi wa kutofanya kazi na mwekezaji kampuni ya rites kutoka nchini india hadi mkataba kati yake na serikali UNK
wafanyakazi hao wametoa tamko hilo ikiwa ni siku moja baada ya kumalizika notisi ya siku sitini iliyotolewa na mwekezaji huyo kuitaka serikali kutekeleza makubaliano ya mkataba wao juu ya uendeshaji wa kampuni hiyo
mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa reli tanzania bwana juma lema alibainisha jijini dar es salaam katika mkutano wa wafanyakazi hao kuwa hawako tayari tena kufanya kazi na mwekezaji huyo na hawamtambui kuanzia jana
mwenyekiti huyo alisema kitendo cha serikali kushindwa kutoa ufafanuzi na uamuzi wowote baada ya kupokea notisi hiyo kimedhihirisha udhaifu na woga dhidi ya mwekezaji huyo na ndio maana wamechukua uamuzi wa mwanzo wa UNK
hali hii inazidi kuongeza utata wa hatma ya kampuni hiyo kwani ni muda mrefu sasa tangu mvutano huo uanze pamoja na mwekezaji huyo kuonesha kasoro kadhaa serikali imekuwa ikipinga kuchukua uamuzi mzito katika suala hilo
hakuna sababu kuendelea kuogopana huku wananchi waliokuwa wakitegemea huduma ya usafiri wa treni kuzidi kusota stesheni kila siku kutokana na udhaifu wa mwekezaji
reli ya kati ni kongwe iliyojengwa enzi za ukoloni leo hii watanzania walipaswa kuona UNK na kufikia kiwango cha kuendeshwa kwa umeme lakini maamuzi UNK yanazidi kuirudisha nyuma na huduma zake kuwa na taswira ya enzi ya UNK
serikali ifike mahali iseme inatosha na kuachana na mwekezaji huyu na kutangaza zabuni upya kuwapa nafasi wawekezaji wengine wenye uwezo kuendesha kampuni hiyo
serikali UNK huruma wananchi UNK kila siku kwa kukosa usafiri na ikubali kuchukua maamuzi mazito
rais wa zamani wa jamhuri ya afrika ya kati bwana UNK felix patasse ambaye alirejea nchini humo kutoka uhamishoni mwezi uliopita amekutana na UNK oa madarakani na kisha kutangaza kuwa atawania kiti hicho tena kwenye uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwakani
bwana patasse alikutana na rais francois UNK juzi ambaye UNK oa madarakani mwaka ishirini sifuri tatu ikiwa ni baada ya kukalia nafasi hiyo kwa muda wa miaka kumi naweza kuthibitisha kuwa nitakuwa mgombea kwenye uchaguzi wa rais mwaka ishirini moja sifuri bwana patasse alieleza katika taarifa yake
ningependa kumshukuru kiongozi wa nchi ambaye UNK tujadiliane kuhusu matatizo yanayokabili nchi aliongeza katika taarifa hiyo
yeye na mimi tumeipokea kwa mikono miwili hali hiyo kwa sababu UNK wazi na inaeleweka kila mmoja UNK mwenzake vizuri jambo ambalo nilikuwa UNK wakati nikirejea nchini iliongeza sehemu ya taarifa hiyo ya bwana UNK
bwana patasse sabini na mbili alirejea nchini oktoba thebathini mwaka huu akiwa ni baada ya miaka saba ya kuishi uhamishoni nchini togo
aliitumikia nchi hiyo kuanzia mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tatu hadi machi ishirini sifuri tatu wakati UNK na jenerali UNK
mwishoni mwa mwezi agosti mwaka huu rais huyo wa zamani ndipo alipotangaza kuwa angerejea nchini humo kwa ajili ya uchaguzi mkuu
mwezi juni mwaka huu bwana patasse alitimuliwa ndani ya chama chake cha central african people s UNK movement ambacho kimemteua waziri mkuu wa zamani bwana martin UNK kuwa mgombea wake wa kiti cha urais
serikali imeanzisha sensa ya kupata idadi halisi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kujua chanzo chake
naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto bibi lucy nkya alisema katika maadhimisho ya miaka ishirini tangu ufikiwe mkataba wa haki ya mtoto na umoja wa mataifa jana kuwa sensa hiyo imekwishaanza kwa wizara yake kushirikiana na shirika la kimataifa lisilo la kiserikali
alisema katika utafiti wa awali serikali imebaini kuwa sheria ya watoto ambayo imepitishwa na bunge hivi karibuni itawabana wazazi ambao wanajificha na kuwatuma watoto wao kuomba barabarani na kuwabana UNK watoto kwa ajira
naibu waziri huyo alisema maadhimisho hayo UNK tanzania ikiwa imefanikiwa katika sheria mpya ya mtoto kwa kutoa elimu ya msingi sekondari na kupunguza vifo vya watoto kwa kutoa huduma za afya
mwakilishi wa haki za watoto kutoa kituo cha dogodogo hussein cheyo alisema wanaomba serikali ianzishe mabaraza ya watoto kutoka ngazi ya mitaa wilaya mikoa na taifa ili kueleza matatizo UNK nayo
mwakilishi wa haki za watoto nchini bwana UNK nyange alisema ili elimu ya sheria ya haki ya watoto nchini iwafikie walengwa shirika lake litaendelea kutoa vipeperushi vya kutoa elimu kwa watoto
mmoja wa wadau wanaoshughulikia matatizo ya watoto nchini bwana geofrey mhagama aliomba serikali isaidie kuisambaza sheria mpya ya watoto kuanzia mahakama za mwanzo na mahakama kuu ili sheria hiyo ifahamike kwa watu wote na UNK kutumika ipasavyo
kampuni ya uwakili ya malegesi law chambers imewasilisha pingamizi la awali katika mahakama kuu ya tanzania ikitaka kufutwa kwa madai UNK mahakamani hapo na benki kuu ya tanzania ikitaka kulipwa zaidi ya shilingi bilioni moja
pingamizi hilo liliwasilishwa jana mahakamani hapo na mdaiwa huyo UNK na sababu nne zinazopinga kusikilizwa kwa madai hayo
sababu zilizowasilishwa ni kwamba malalamiko ya bot yaliyotolewa kwenye hati ya madai yamejaa tuhuma uzushi na UNK
pingamizi hilo lilidai kuwa mlalamikaji hana lalamiko la msingi kwa kuwa upotoshwaji unaolalamikiwa ni juu ya misingi ya sheria na mkataba ulitekelezwa na pande zote mbili
sababu zingine ni kwamba mahakama hiyo haina mamlaka ya awali ya kusikiliza shauri hilo kwa mujibu wa taarifa za gazeti la serikali namba mia tano na kumi na tano ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na moja juu ya mishahara na kodi za mawakili
mbali na hayo pia pingamizi hilo linadai kuwa kutokana na upotoshwaji shitaka hilo linapaswa kutupiliwa mbali kwa kuwa linapingana na kanuni ya sheria ya mwenendo wa makosa ya madai
kesi hiyo iko mbele ya jaji UNK shekhe ambayo imepangwa kusikilizwa kwa pingamizi hilo aprili saba mwaka kesho
awali bot ilifungua kesi hiyo mahakamani hapo ikiomba kulipwa na kampuni hiyo ya uwakili kiasi cha dola za marekani mia tisa na tisini na nane sifuri sifuri sifuri kutokana na udanganyifu katika mkataba waliokuwa wameingia kwa ajili ya ushauri wa kisheria katika kesi mbili zilizokuwa UNK bot polisi wanachunguza vifo v...
kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni bwana mark kalunguyeye alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa tisa sifuri sifuri jioni maeneo ya boko bus UNK UNK maiti ya bwana jongo ikiwa imelala kitandani bila ya jeraha lolote mwilini
pia bwana kalunguyeye alisema baadaye jioni katika eneo la kunduchi beach ilikutwa maiti nyingine ya mwanaume aliyetambulika kwa jina bwana pascal msomaji ikiwa imelala kwenye kochi na kuharibika vibaya
bwana kalunguyeye alisema inadaiwa marehemu alifariki siku tatu nyuma na kwa taarifa za majirani marehemu hakuwa na maradhi yoyote ila inadaiwa alikuwa mnywaji mkubwa wa pombe za kienyeji
miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala na uchunguzi unaendelea UNK na vifo hivyo
wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi jana ilishindwa kuanza ugawaji wa samaki waliokamatwa kwa wavuvi haramu kutokana na kutokamilika kwa taratibu
naibu waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana james wanyancha alisema kuwa wamesitisha utaratibu wa ugawaji wa samaki hao kutokana na UNK kwa utaratibu wenye lengo la kuhakikisha kuwa samaki hao wanawafikia walengwa na sio kuwakuta wakiwa sokoni kwa malengo ambayo UNK
ni kweli tulitakiwa kugawa samaki hao leo lakini UNK kwa utaratibu ndio kumekwamisha maombi ya ugawaji wa samaki kwa kuwa wako watu wengi ambao UNK macho na sisi kama wizara lengo letu ni kuhakikisha wanawafikia walengwa bwana wanyancha alisema
awali taarifa zilizolifikia gazeti hili zilisema kuwa samaki hao UNK kutokana na kukosekana kwa UNK maalumu ya kuwakatia kwa kuwa ni wakubwa lakini zilikanushwa na bwana wanyancha
naibu waziri alitoa wito kwa wananchi kutokuwa na wasiwasi kuhusu suala hilo ila waendelee kuwa na subira na UNK tena pindi taratibu hizo za ugawaji wa samaki hao UNK
samaki hao UNK baada ya kuvuliwa na wavuvi haramu katika bahari ya hindi na mahakama UNK kuwa samaki hao wauzwe kwa utaratibu wowote lakini wizara hiyo ikaamua kugawa bure taasisi kama hospitali shule magereza na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
mahakama ya wilaya ya ilala jijini dar es salaam imemhukumu mfanyabiashara bwana mohamed yusuph mkazi wa kariakoo kutumikia kifungo cha miaka thebathini jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka kumi na moja kabla ya hukumu hiyo kutolewa mahakama iliamuru mshitakiwa huyo kufungwa kifungo cha maisha...
akitoa hukumu hiyo hakimu wa mahakama hiyo bibi janeth kinyage alisema ametoa hukumu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ambao UNK hatiani mshitakiwa
awali ilidaiwa kuwa februari ishirini na moja mwaka jana maeneo ya feri mshitakiwa UNK mtoto wa miaka kumi na moja na kumsababishia maumivu makali
hatua madhubuti na nia makini ya kuzitekeleza zinahitajika kuchukuliwa sasa ili kuinusuru dunia na uchafuzi wa mazingira unaosababisha mabadiliko makubwa ya tabia nchi
endapo jumuiya ya nchi za kimataifa haitafanya hivyo sasa maisha ya binadamu na viumbe wengine yatakuwa hatarini kuanzia sasa na vizazi vijavyo