text stringlengths 1 1.32k |
|---|
hayo yalisemwa juzi dar es salaam na balozi wa ufaransa nchini bwana jacques de labriolle katika siku ya asasi za kiraia juu ya mabadiliko ya tabia nchi iliyoandaliwa na ubalozi huo |
balozi de labriolle alisema huu ni wakati mwafaka wa mataifa yote maskini na tajiri kuungana kuchukua na kutekeleza hatua madhubuti ili kuinusuru dunia na athari hasi zinazotokana na mabadiliko hayo UNK nayo kwa sasa |
alisema kuwa umuhimu wa kuchukuliwa hatua hizo haraka iwezekanavyo ambazo ni pamoja na kuongeza kasi ya kufanya utafiti wa kisayansi kubadili misimamo katika uendeshaji wa shughuli za biashara na viwanda na kuhamasisha tabia ya utunzaji mazingira miongoni mwa wanajamii yanafanya mkutano wa copenhagen utakaofanyika maj... |
kama mnavyojua UNK majuma UNK kabla ya mkutano wa copenhagen ambayo ni moja ya majukumu makubwa jumuiya ya kimataifa imejipatia ili kufikia maamuzi yatakayosaidia kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi |
mkutano huu ni moja ya mikutano ya kihistoria mabadiliko ya tabia nchi yanasababisha athari kubwa mno katika dunia hii kwa jamii nzima na malengo yetu ya kimaendeleo |
uamuzi wa haraka unatakiwa kuamuliwa na kutekelezwa la sivyo dunia nzima itakuwa katika matatizo makubwa sasa na vizazi vijavyo hapo matatizo makubwa sasa na vizazi vijavyo baadaye alisema balozi de labriolle |
alisema kwa sababu ya athari zinazotokana na mabadiliko hayo kuongeza umaskini kwa nchi zinazoendelea ufaransa na hata jumuiya ya nchi za ulaya kwa ujumla imedhamiria kuchukua msimamo imara huko copenhagen kwa kutilia maanani matatizo UNK nchi zote kutokana na suala la athari hizo |
kwa sababu kila mmoja anahitaji kuona watoto wetu wakiishi katika mazingira mazuri na kupata maliasili wanazostahili hatuna budi kufikia makubaliano ya msingi huko copenhagen |
nawahakikishia kuwa ufaransa pamoja na jumuiya ya nchi za ulaya zitakuwa na msimamo madhubuti kupigania hatua madhubuti alisema balozi de labriolle |
aidha balozi de labriolle alisisitiza umuhimu wa asasi za kiraia katika kuleta msukumo wa kimaendeleo akisema kuwa asasi hizo kama vile mashirika yasiyokuwa ya kiserikali hazipaswi kuwa mashahidi wa mabadiliko katika jamii bali washiriki wakubwa |
aliahidi kutokana na kutambua muhimu na mchango wa asasi za kiraia ufaransa imekuwa ikitoa nafasi na kusikiliza maoni yao |
mkutano wa copenhagen utakaofanyika baadaye mwaka huu unasubiriwa kwa hamu na jumuiya ya kimataifa ambapo njia za kukabiliana na mabadiliko tabia UNK |
mkutano huo utafanyika huku kukiwa na kumbukumbu jinsi marekani UNK kutekeleza makubaliano ya mkutano wa kuhusu mazingira uliofanyika kyoto japan |
pia kumekuwepo na hali ya nchi tajiri kutokuonesha utayari pamoja na kuwa zinachangia kwa kiasi kikubwa kuathiri kwa mabadiliko ya tabia nchi duniani |
gari la mahakama ya ardhi dar es salaam land cruiser hard top limeibwa kwenye maegesho ya tawi la chama cha mapinduzi kibamba juzi usiku |
habari ambazo majira imezipata na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni bwana mark kalunguyeye zimesema walinzi wa ccm tawi la kibamba na dereva wa gari hilo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi |
akisimulia tukio hilo bwana kalunguyeye alisema kuwa baada ya dereva kuegesha gari hilo juzi usiku alielekea nyumbani kwake na baadaye wezi walifika na kuwafunga kamba walinzi wa tawi hilo UNK kwa silaha UNK gari kwa funguo bandia na kuondoka nalo |
alisema kuwa dereva wa gari hilo aligundua kuibwa kwa gari hilo asubuhi alipokwenda kulichukua na kupewa taarifa na walinzi kuwa limeibwa na majambazi |
katika tukio lingine mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya nas jijini bwana hassan mohamed anashikiliwa na polisi kwa kumjeruhi kwa risasi mpita njia ambaye ni kondakta wa daladala bwana martin UNK |
kamanda wa polisi mkoa wa temeke bwana liberatus sabasi alisema kuwa tukio hilo lilitokea jana saa kumi na mbili asubuhi maeneo ya tandika baada ya bunduki yake kufyatuka risasi wakati akiwa lindoni |
huyu mlinzi baada ya kuamka leo asubuhi alisahau kama silaha yake ina risasi tisa na ndipo UNK kwa chini risasi moja kufyatuka na kumjeruhi mguuni mpita njia huyo alisema |
kamanda alisema kuwa mlinzi huyo ambaye alikuwa akilinda kisima cha mafuta cha bwana yassir ahmed anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi na majeruhi amelazwa katika hospitali ya temeke |
same kilimanjaro alhamisi novemba kumi na mbili ishirini sifuri tisa miili ya watu kumi na tisa kati ya ishirini na tano wanaohofiwa kufariki kutokana maporomoko ya miamba na udongo kwenye vijiji viwili vya UNK na goha vilivyopo kata ya mamba myamba wilaya ya same mkoani kilimanjaro UNK leo katika maeneo mawili tofaut... |
naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika mh |
UNK mathayo na mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mama monica mbega ni miongoni mwa viongozi wa ngazi ya juu walioshiriki katika mazishi hayo ambayo ibada ya mazishi UNK na UNK UNK wa kanisa la sabato parokia ya same akisaidiwa na wachungaji tisa wa kanisa hilo kutoka mkoani kilimanjaro na makao makuu ya dayosisi ya sabato m... |
hata hivyo idadi hiyo imeongezeka kutoka watu kumi na nane UNK jana na kufikia kumi na tisa leo baada ya kupatikana kwa mwili wa mwanamke mmoja aitwaye UNK UNK mwili ambao ulifukuliwa kutoka kwenye kifusi cha udongo ndani ya nyumba UNK akiishi |
aidha baada ya vikao mbalimbali vya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya na mkoa kwa kuwashirikisha ndugu wa marehemu imeamuliwa kuwa maiti zote zilizopatikana UNK kwa heshima zote katika viwanja vya makaburi ya pamoja kwenye vijiji hivyo |
naye kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro acp lucas UNK UNK amesema kuwa bado vikosi vya uokoaji kutoka polisi mkoani tanga na wenzao wa kilimanjaro kwa kushirikiana na wananchi wa vijiji hivyo na maeneo UNK vimeendelea na zoezi la kutafuta miili mingine ya watu waliobaki ambao hadi sasa hawajulikani walipo |
amesema UNK utafutaji wa miili hiyo lilianza tene mapema asubuhi leo baada ya kusitishwa kwa muda jana jioni kutokana na kuingia kwa giza |
wakizungumza wakati UNK hayo mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mama monica mbega na naibu waziri wa chakula |
kilimo na ushirika mh |
mathayo wamesema kuwa taifa limepoteza nguvukazi kubwa kwa kuondokewa na idadi hiyo ya wanakijiji kwa pamoja |
wananchi hao UNK baada ya kunyesha kwa mvua kubwa usiku wa kuamkia jana ambapo UNK miamba miti na mawe makubwa yenye UNK wa zaidi ya tani ishirini hadi arobaini UNK kutoa kwenye mlima manka kupitia kwenye nyumba za wananchi wa kijiji hicho mengine UNK na mengine UNK wasiweze UNK |
vijiji hivyo vimejengwa kandokando ya milima hiyo iliyoungana na milima ya upare jambo ambalo liliweza kusababisha mawe UNK kutoka katika milima hiyo kupoteza maisha ya viumbe wote waliopo kwenye eneo hilo |
pamoja na wananchi hao pia mifugo zikiwemo nggombe zaidi ya ishirini mbuzi kondoo mbwa na paka pamoja na kuku pia wamepoteza maisha katika janga hilo la UNK |
mbunge wa bariadi magharibi bwana andrew chenge amebaki peke yake kwenye kesi ya kusababisha vifo vya watu wawili kwenye ajali ya gari baada ya dereva wa bajaj bwana majid gharib aliyekuwa anashtakiwa naye kuachiwa huru |
bwana chenge na bwana gharib walikuwa wameunganishwa katika kesi hiyo iliyosababisha vifo vya victoria george na beatrice UNK lakini jana upande wa mashtaka umeomba dereva huyo wa bajaj aachiwe chini ya kifungu tisini na nane |
uamuzi wa kuachiwa huru kwa dereva huyo ulitolewa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni mbele ya hakimu mfawidhi bwana emilius mchauru baada ya wakili anayeendesha kesi hiyo bwana richard rweyongeza kuomba kuachiwa kwa mshitakiwa huyo |
baada ya bwana chenge kubaki mshtakiwa pekee hatua inayofuata ni kusomwa kwa maelezo ya awali ya kesi hiyo na kuanza UNK |
kesi itatajwa desemba kumi na tano mwaka huu kwa ajili ya kupanga tarehe ya kuanza kusikilizwa |
bwana chenge UNK yuko nje kwa dhamana alifikishwa kortini machi thebathini mwaka huu kwa makosa ya kusababisha vifo vya watu wawili kutokana na uendeshaji gari kizembe tukio lililotokea machi ishirini na saba mwaka huu saa kumi thebathini alfajiri katika barabara ya haile UNK dar es salaam |
pia alishtakiwa kwa kuendesha gari bila kuwa na bima jambo ambalo ni kosa kisheria |
baraza la watumiaji usafiri wa majini na nchi kavu limeitaka serikali kupitia mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi kuharakisha kutekeleza mradi huo ili kuondoa msongamano wa magari na usumbufu wanaoupata abiria katika daladala |
hayo yalisemwa dar es salaam jana na katibu mkuu wa baraza hilo bwana oscar kikoyo wakati akizungumza na majira kuhusu mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi ambao umekuwa ukisuasua |
alisema mradi huo ulitangazwa kuwa awamu ya kwanza kuwa ungeanza na barabara ya morogoro mwaka ishirini sifuri nane lakini UNK hadi kipindi hiki huku shida ya usafiri dar es salaam ikizidi kuongezeka |
sasa hivi tumeambiwa kuwa basi la kwanza litaanza kufanyakazi mwaka ishirini moja sifuri yaani kabla ya uchanguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani hivyo tunaomba watekeleze kama walivyopanga alisema bwana UNK |
alisema baraza UNK serikali kwa kuanzisha mradi huo na linaona kuwa ukikamilika tatizo la msongamano wa magari na abiria litakuwa limeisha na itasaidia kuharakisha maendeleo kwa wakazi wa dar es salaam |
hata hivyo alipongeza hatua ambazo zimeshaanza za kupanua barabara ya morogoro ambapo tayari watu wameshaanza kulipwa fidia kupisha upanuzi wake kwa ajili ya mabasi hayo |
bwana kikoyo alisema mradi huo ukikamilika utapunguza gari binafsi za watu kuingia mjini kutokana na usafiri wa uhakika ambao hautakuwa wa purukushani na utakuwa wa haraka kufika sehemu ambayo abiria UNK |
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi ametangaza kuwa ifikapo oktoba thebathini mwaka huu wamachinga wawe wameondoka katika maeneo yasiyo rasmi vinginevyo timuatimua itaanza upya |
bwana lukuvi alisema hayo dar es salaam katika mazungumzoa yake na watendaji wa manispaa ya ilala wakiwamo wenyeviti wa serikali za mitaa watendaji na madiwani juzi |
alisema biashara zote ambazo zinafanywa katika maeneo yasiyo rasmi yakiwemo maeneo ya barabara zinatakiwa kuondoshwa kabla ya tarehe hiyo ambayo imetangazwa kwa lengo la kufanya jiji kuwa tofauti na lilivyo hivi sasa |
jiji la dar es salaam limekuwa chafu sana kutokana na uzembe wa kusimamia sheria sasa wakati umefika kwa wakazi kubadirika na nitahakikisha jiji hili linakuwa safi na kufanana na halmashauri ya moshi ambayo imetumia sheria zake kuyaweka mazingira katika hali ya usafi |
alisema timuatimua hiyo UNK biashara zote zinazofanywa katika maeneo UNK zikiwemo biashara za maji ya kunywa ya chupa nguo miwa machungwa na aina ya zote za vyakula |
kwa mujibu wa bwana lukuvi shughuli hiyo ya timuatimua itafanywa na askari wa jeshi la polisi na wale wa jiji ambao watawakamata watakaokaidi kuondoka |
alisema UNK hiyo pia UNK wenye gereji katika maeneo yasiyo rasmi baa UNK muziki wa juu katika makazi ya watu vyoo UNK maji ya vyooni UNK UNK barabarani kutupa taka ovyo UNK maeneo yasiyo rasmi |
naye kamanda wa kanda maalumu ya dar es salaam bwana UNK kova alisema jeshi lake limejipanga vizuri kwa kuwakamata na kuwafikisha watu wanaovunja sheria kwa kufanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi |
alisema shughuli hiyo haitakuwa nguvu ya soda kwani yeye hapendi kushindwa jambo hivyo machinga watakaokaidi amri yake UNK huruma kwa sababu mpango huo ni wa kuliweka jiji katika mazingira ya usafi |
siku chache baada ya wafuasi wa chama cha wananchi kutaka kumshambulia katibu mkuu wao maalim seif sharif hamad kwa kukubali kumtambua rais wa zanzibar amani abeid karume jumuiya za chama hicho zimetangaza kuunga mkono hatua inayoashiria muafaka mpya |
wakati jumuiya ya wanawake wa chama hicho zanzibar imeandaa maandamano ya kuunga mkono mazungumzo hayo ile ya vijana UNK maalim seif kwa hatua hiyo |
maandamano ya wanawake hao yamepangwa kufanyika jumapili na kupokewa na makamu mwenyekiti wa chama hicho machano khamis ali yakiwa na ujumbe wa kuwaeleza wafuasi hao faida ya muafaka huo |
mkurugenzi wa uenezi na mawasiliano ya umma bwana salim bimani aliwaambia waandishi wa habari jana matayarisho yote yameshakamilika na mzungumzaji mkubwa atakuwa maalim seif sharif hamad |
lengo kubwa ni kuunga mkono mazungumzo ya viongozi ambayo yamesaidia cuf kuondosha mpasuko wa kisiasa siku nyingi na sasa wazanzibari wameamua kuungana na kusahau tofauti zao alisisitiza bwana bimani |
alisema mbali na maandamano hayo viongozi wa kitaifa wameanza kufanya ziara za kutembelea majimbo na kukutana na wanachama ili waweze kuwafahamisha sababu zilizofanya baraza kuu la uongozi wa cuf kumtambua rais karume |
maandamano hayo yataanzia uwanja wa komba wapya kupitia mikunguni na kumalizikia viwanja vya kibandamaiti |
wakati hayo UNK zanzibar jijini dar es salaam sekretarieti ya vijana wa cuf imetoa pongezi kwa bwana hamad kwa hatua aliyofikia |
mwenyekiti wa sekretarieti hiyo bwana mohamed UNK alisema kuwa hiyo ni njia muafaka ya kufikia suluhisho la amani visiwani humo |
kitendo cha kukutana kwa maalim seif na rais karume na hatimaye cuf kuitambua serikali ya rais karume ni ishara njema ya kulimaliza tatizo la zanzibar alisema bwana babu |
aliongeza kuwa matatizo ya kisiasa visiwani zanzibar yamefikia katika hali mbaya sana na ni viongozi pekee wanaotakiwa kuchukua hatua madhubuti za kumaliza tatizo hilo |
watu wamekuwa wakipigwa mara kwa mara kujeruhiwa vibaya kukamatwa na kukoseshwa haki yao ya msingi ya kuandikishwa kupigwa kura |
vijana wa chama cha cuf tunaamini matatizo haya na mengine yatamalizika kutokana na kitendo cha cuf kuitambua serikali ya rais karume na tunatoa wito kwa wanachama wote kwa ujumla kutoa nafasi kwa viongozi wetu wafikishe mwisho hatua waliyoanza ili kumaliza kabisa mtafaruku wa kisiasa zanzibar alisema |
novemba tano mwaka huu rais karume alikutana na maalim seif kuzungumzia mpasuko wa kisiasa wa zanzibar ambayo UNK zote mbili zilisema ni ya mafanikio makubwa |
mwenyekiti wa ccm rais jakaya mrisho kikwete ametakiwa kuchukua maamuzi magumu kukisafisha chama hicho kabla ya matokeo yake UNK mwaka ishirini moja sifuri rai hiyo imetolewa na kada wa chama hicho wa muda mrefu bwana UNK ole molloimet alipozungumza na majira juu ya hali ya kisiasa ndani ya chama hicho na kulaani kaul... |
ukimya wa mwenyekiti unaendelea UNK katika utawala wake kwa kuwa hakuna UNK bali malumbano ya muda mrefu yasiyo na tija kwa wananchi huku UNK mambo ya msingi kwa wananchi |
alimtaka mwenyekiti huyo UNK haya kuwanyooshea kidole viongozi waovu kwa kuwa wanaonekana kubinafsisha ccm ambayo ni chama cha wakulima wafanyakazi |
akizungumzia kauli ya bwana makamba alisema mimi ni kada wa ccm wa muda mrefu tumekuwa UNK na UNK wa chama hiki mwalimu nyerere |
yeye hakuwa na kauli ya UNK hii hata siku moja na ndio maana hata leo hii tunaendelea kumuenzi yale yote mazuri aliyoyafanya alisema ole molloimet |
alisema kauli hiyo inaonyesha ni ya kibabe yenye utovu mkubwa wa nidhamu kisiasa sio ya wana ccm UNK upotoshaji ambayo inaonyesha kuwa chama hicho ni cha watu wachache kwa maslahi yao waliyopo madarakani |
alisema ccm UNK mtu uongozi na ndio maana kuna demokrasia ambayo inatakiwa kuzingatiwa kwa kauli za bwana makamba hazina mafunzo ya kuiga kwa kizazi kijacho |
alisema kauli hiyo inakatisha tamaa wanachama wa ccm na kujiona kuwa hawana chao bali chama ni cha akina makamba na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi ambao wamekaidi kujiuzulu badala yake wamekuwa UNK ang UNK |
chama kimekuwa kichaka cha baadhi ya watu kuficha maovu yao ambao wananeemeka wakidhani wananchi hawayafahamu na kujipa moyo kuwa wao ndio wasemaji wakuu kuliko wenye chama |
maamuzi ya chama ni kauli za wanachama wakiongozwa na katiba na si kauli isiyokuwa na maadili kama ya bwana mkamba kwa wanachama ambao ni waadilifu na wenye uwezo mkubwa kimaamuzi kuliko yeye alisisitiza ole molloimet |
akizungumza na majira jana bwana makamba alisema kauli yake haikuwa na lengo baya bali alitaka UNK watoto kwenye mahafali kuwa waipende nchi yao kwa kuwa muda wake UNK |
bwana makamba hivi karibuni alikaririwa akisema wanaotaka UNK wasubiri amalize miaka minne iliyosalia kwenye maisha ya binadamu ambayo ni miaka sabini na tano wakati yeye amefikisha sabini na moja kada huyo alitolea mfano malumbano UNK muda mrefu yasiyo na tija kwa wananchi ya viongozi UNK kuitana mafisadi huku wengin... |
alisema maadili ya uongozi UNK na hao hao walioko madarakani kwa kuheshimu pesa kuliko utu na hata baadhi ya wanaoingia madarakani hasa wanasiasa lengo lao ni kuchuma pesa tu |
wakati zimebaki siku kumi na tano za wakazi wa magomeni kota kuondolewa katika nyumba hizo wameomba waongezewe miezi mitatu ili watafute nyumba za kupanga |
mbali ya maombi hayo mkutano wa wakazi hao uliofanyika jana dar es salaam UNK mwenyekiti wa kamati yao bwana lucas UNK na kumlalamikia diwani wa kata ya ndughumbi kupitia ccm bwana charles mgonja kuwa hana msaada kwao |
mkutano huo UNK na jazba baada ya nyumba zao zote mia sita na arobaini na nne za kota magomeni kukatiwa umeme wiki iliyopita huku kukiwa hakuna majibu sahihi kuhusu hatma yao waliazimia kuchanga shilingi kumi sifuri sifuri sifuri kila mkazi za kumlipa mwanasheria UNK kisheria kuhusu UNK yao |
bibi mwajuma hamisi ambaye hoja yake ya kuomba kuongezwa miezi mitatu waendelee kuishi magomeni kota kupitishwa wakazi hao pia waliomba malipo ya mwaka ishirini sifuri sita ya shilingi mia saba na ishirini sifuri sifuri sifuri UNK kwa sababu thamani ya fedha hizo imeshuka |
makamu mwenyekiti wa kamati hiyo bwana nkurumah munjoli aliyejitahidi kuwatuliza wakazi hao UNK diwani kujibu tuhuma UNK kwake na wakazi hao |
diwani mgonja akijitetea kwa wananchi hao alisema hakuwa anahudhuria vikao vya wakazi wa UNK kota kwa sababu hajawahi kupata taarifa rasmi za kimaandishi na kuwepo kwake jana ni utashi wake akitokea hospitali kupata matibabu |
UNK UNK wakazi wa magomeni kota katika kipindi hiki kigumu ambacho ufumbuzi wake utatokana maamuzi ya kikao cha baraza la madiwani wa manispaa ya kinondoni UNK ili suala hilo |
kwa hili mimi UNK mawe lakini UNK kwa sababu asilimia tisini na tisa ya kura zangu zimetokana na ninyi wale UNK sifai inawezekana kutokana na mawazo yao lakini hii ni kazi ngumu sana alisema diwani mgonja |
wakazi hao pia walisema wana wasiwasi na viongozi wa juu wa manispaa ya kinondoni kutoa maamuzi bila kujali ni wapangaji wa nyumba hizo kutoka mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na suala lao linahitaji maafikiano ya kimaandishi na si kuweka mabango na kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari |
jeshi la polisi nchini limekabidhiwa vifaa vitendea kazi na kampuni mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi sifuri kwa ajili ya kusaidia juhudi za jeshi hilo katika kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa wananchi na mali zao |
akizungumza dar es salaam jana wakati wa hafla ya makabidhiano hayo waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana lawrence masha alisema vifaa hivyo vimekuja wakati muafaka ambapo jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na uhaba wa vitendea kazi ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikichangia jeshi hilo kushindwa kufanya kazi k... |
UNK jeshi la polisi nchini kwa jitihada kubwa wanazofanya katika kuwatambua wadau mbalimbali ambao wamekuwa wakishirikiana na jeshi hili na kuwa karibu na jamii katika utendaji kazi wao alisema bwana masha |
bwana masha aliwapongeza wadau mbalimbali ambao walichangia vifaa hivyo katika kutekeleza dhana jamii ya polisi na ulinzi shirikishi na kwamba huo ni mfano wa kuingwa kwa wadau wengine kuweza kushirikiana bega kwa UNK na jeshi hilo ili kuleta maendeleo nchini |
kampuni zilizotoa msaada huo ni pamoja na kampuni ya UNK UNK iliyotoa viatu pea hamsini sifuri aina ya buti jm traders ambayo pia imetoa viatu pea ishirini sifuri vya kawaida na makoti ishirini sifuri ya UNK UNK tanzania iliyotoa kofia kumi sifuri sifuri za UNK na UNK internation iliyotoa mipira nane jezi za mpira wa ... |
kampuni nyingine ni UNK enterprise iliyotoa UNK tape mita kumi sifuri sifuri sifuri na vitabu vya kurekodi taarifa za uhalifu arobaini sifuri chama cha riadha tanzania kilichotoa UNK na sare za mbio za riadha UNK traders iliyotoa UNK vitano mikanda ya filimbi hamsini sifuri na UNK hamsini sifuri open UNK waliotoa mahe... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.