text
stringlengths
1
1.32k
waziri huyo amewahakikishia wadau hao kuwa misaada hiyo UNK bure bali itafanyiwa kazi kama ilivyokusudiwa ili kupunguza vitendo UNK na kuimarisha hali ya UNK nchini
mgogoro kati ya viongozi wa umoja wa vijana katika wilaya ya arumeru pamoja na wanachama wake umechukua sura mpya baada ya wanachama hao kumkataa katibu wa umoja huo wilaya bwana UNK saidi kwa madai kuwa hawana imani naye
sambamba na hilo umoja huo ambao ulikutana mwishoni mwa wiki iliyopita ulimtaka katibu wa umoja wa vijana mkoa wa arusha bwana athumani shesha kutojihusisha na mgogoro huo kwa madai kuwa ni miongoni kati ya viongozi wanaochangia kuwepo kwa UNK huo
kaitka kikao cha wanachama hao cha kutafuta suluhu wanachama hao walimvika madaraka kwa muda katibu wa umoja huo bwana kenedy UNK huku wakimtaka katibu aliyekuwepo madarakani kutojihusisha na masuala ya umoja huo
chanzo cha mgogoro huo ndani ya uvccm arumeru kinadaiwa kusababishwa na baadhi ya viongozi akiwemo katibu aliyesimamishwa pamoja na viongozi wengine wa ngazi ya mkoa na wanachama kumpitisha bwana goodluck ole mendei kuwa kamanda wa vijana arumeru bila kufuata kanuni
wanachama hao wakizungumza na majira kwa sharti la kutotajwa majina yao walidai kuwa licha ya UNK katibu huyo lakini pia wametaka katibu wa vijana mkoa bwana shesha kutoingilia masuala ya uvccm arumeru kwa kuwa alichangia kuvunja kanuni za uchaguzi huo
waliomchagua kamanda ole mendei na kumpitisha ni kamati ya utekelezaji ya wilaya na viongozi wa mkoa bila ya kutushirikisha sisi wanachama hii si kanuni waliofanya hivyo hatutaki UNK kwenye mpango wa kuleta UNK ndani ya uvccm alisema mmoja wa wanachama hao
mwishoni mwa wiki iliyopita kulitokea vurugu kwenye kikao cha wanachama hao baada ya baadhi ya wanachama kudai kukiukwa kwa kanuni katika kumchagua kamanda wa ccm vijana mkoani humo
kampuni ya simu za mkononi tigo imekabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mchezo wa promosheni ya tigo bingwa iliyokuwa UNK kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita
zawadi zilizokuwa UNK katika mchezo huo kwa mshindi wa kwanza ni moja UNK tv nchi ishirini na sita mshindi wa pili ni laptop na mshindi wa tatu ni digital kamera ambapo washindi UNK wote ni wa mkoa wa dar es salaam
akizungumza dar es salaam jana wakati UNK washindi zawadi zao ofisa uhusiano wa tigo jackson mbando alisema promotion hiyo imefanywa na tigo kwa ajili ya watanzania wanaotumia mtandao huo ambapo washindi waliofanikiwa kunyakuwa zawadi hizo ni jamal jumbe UNK mohamed na UNK alex
mbando alisema promotion hiyo ya tigo bingwa ilizinduliwa oktoba kumi na mbili mwaka huu na kufikia kilele chake novemba kumi na mbili na washindi hao kupatikana
tunajisikia fahari sana kuendesha promosheni hii ya kipekee kwa kuwa kila mteja wetu alipoamua kushiriki alijiwekea lengo la kushinda zawadi anayotaka kutoka kwetu alisema UNK
alisema bado kampuni hiyo inaendelea kuwazawadia watanzania UNK mtandao huo kwa kupitia promotion ya UNK inayoendelea na kwamba UNK sasa wamefikisha zaidi ya washindi mia mbili na thebathini walioibuka na zawadi za shilingi milioni moja hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri na thebathini sifuri sifuri sifuri sifuri wafa...
wafanyakazi waliosimamishwa novemba kumi na nne mwaka huu ni mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa viwandani na taasisi za fedha tawi la cello bwana UNK UNK na mjumbe wa chama hicho bwana mohamed UNK
wakizungumza na majira dar es salaam jana wafanyakazi hao walisema wameamua kufanya hivyo kutokana na uonevu unaofanywa wa na mmiliki wa kiwanda hicho kwa kuwa wamekuwa wakifanya kazi zaidi ya muda wa nyongeza kwa malipo duni tofauti na mikataba ya ajira UNK
tumeamua kufanya hivi ili kuonesha umoja wetu kwani bila kufanya hivi hawa watu UNK wanasema eti viongozi waliosimamishwa UNK macho sisi ambao elimu yetu ni ya chini lakini si kweli kwani hata sisi tunaona kuwa UNK alisema mmoja wa UNK hao kwa hasira
alisema wamekuwa wakipunjwa malipo ya muda wa nyongeza kwa zaidi ya miezi mitano lakini wanapokwenda kudai huambiwa kuwa hawastahili kulipwa kwani wamekuwa wakifanya kazi kwa kutegea
alisema wamekuwa wakifanya kazi kwa zaidi ya saa tisa kutoka saa mbili sifuri sifuri asubuhi hadi saa moja sifuri sifuri jioni bila kupumzika na zamu nyingine saa moja sifuri sifuri hadi mbili sifuri sifuri usiku hivyo kwa kuwa mwajiri wao ameshindwa kulipa nyongeza ya muda wa ziada walimtaka aongeze zamu nyingine ya ...
meneja UNK wa kampuni hiyo bwana UNK UNK alipoulizwa na majira kuhusu madai ya wafanyakazi hao alisema hakuwa na habari hiyo na hakuwa na cha kusema
wananchi UNK gari la polisi na reuben kagaruki geita vuguvugu la uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la busanda wilayani geita mkoani mwanza limeanza kupamba moto baada ya polisi wenye bunduki aina ya smg na mabomu ya machozi kuwashusha jukwaani viongozi wa kitaifa wa chadema waliokuwa UNK wananchi
katika sakata hilo polisi nao walijikuta UNK na wananchi wenye hasira UNK kumwachia huru kijana mmoja aliyekamatwa na askari hao wakitaka kumpeleka kituoni
tukio hilo lilitokea jana mjini hapa katika kijiji cha katoro baada ya msafara wa viongozi wa kitaifa wa chadema kuwasili kijijini hapo na kupokewa na umati wa watu pamoja na msafara ya pikipiki na magari
baada ya msafara huo kufika kijijini hapo viongozi wa kitaifa wa UNK wakiongozwa na mkurugenzi wa oganazesheni na mafunzo wa chama hicho bwana benson UNK walianza kupanda jukwaani kusalimia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kuwapokea
wakati viongozi hao UNK na kusalimia wananchi ndipo walifika askari wakiwa ndani ya gari la polisi namba tp elfu moja na mia moja na hamsini na tano aina ya land UNK wakiongozwa na mkuu wa polisi wa wilaya ya geita bwana kimei na kuwataka viongozi hao washuke jukwaani kwa kuwa mkusanyiko huo haukuwa halali
hata hivyo vingozi wa chadema waliendelea na ratiba yao ya UNK ndipo askari wa kikosi cha kutuliza ghasia akiwa na bunduki aina ya smg akiongozana na askari kanzu walipoenda moja kwa moja kwenye gari la matangazo la chama hicho lililokuwa likitumiwa kama jukwaa na kuwaamuru wateremke chini na kuondoka
hata hivyo hatua hiyo ilipingwa na viongozi wa chadema wakidai hawafanyi mkutano wa hadhara bali wamesimama kusalimiana na wananchi waliojitokeza kuwapokea
polisi UNK sisi hapa hatufanyi mkutano bali UNK kuwasalimia wananchi kwani chama chetu hakina tofauti na ccm alisema mkurugenzi wa kampeni na uchaguzi wa chadema bwana msafiri mtemelwa
hata hivyo polisi hao waliendelea na msimamo wao ambao ulionekana wazi kuwakera wananchi waliokuwa na shauku ya kuwaona viongozi wa kitaifa
kufuatia hali hiyo wananchi walianza kuwatia moyo viongozi hao wa chadema wakidai kama waliweza kupambana na vitendo vya aina hiyo katika uchaguzi wa tarime ambapo walimwagwa askari wengi iweje waogope askari wachache
baada ya viongozi wa chadema kutii amri ya polisi na kuanza kuwatangazia wananchi UNK ndipo polisi walimkamata kijana mmoja bwana safari manyama na kutaka kuondoka naye
baada ya wananchi kuona hivyo walizingira gari la polisi na kuliweka katikati huku wakishinikiza aachiwe huru wakidai kuwa hakuna kosa lolote
hata hivyo polisi walikataa kumwachia ndipo wananchi walianza kuvutana nao huku na wao wakijiandaa kufyatua hewani mabomu ya machoni
baada ya wasiwasi kuzidi kuongezeka viongozi wa chadema waliwafuata polisi na kuwasihi UNK kijana huyo kwa kuwa siku zote mtutu wa bunduki haujawahi kuibuka na ushindi
baada ya majadiliano ya muda mrefu polisi walikubali kumwachia kijana huyo hali iliyowafanya wananchi waanze kushangilia kwa kuimba nyimbo za kukipongeza chama hicho
wakati huo huo kamati kuu wa chadema inatarajia kumtangaza mgombea ubunge wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda kesho
baada ya kutangazwa kwa mgombea huyo timu ya kampeni ambayo tayari imewasili mjini hapa itaenda kupiga kambi mkoani kagera kwa takribani siku tisa ikiendelea na mikutano yake ya operesheni UNK ikisubiri muda wa kampeni ufike
kampeni katika jimbo hilo zinatarajia kuanza aprili ishirini na tisa mwaka huu ambapo chadema itazindua kampeni zake mei mosi
akizungumza na gazeti hili mkurugenzi wa oganazesheni na mafunzo bwana UNK alisema wanachama wawili wa chama hicho wamejitokeza kuwania nafasi hiyo
aliwataja wanachama hao ambao jana walipigiwa kura za maoni kuwa ni bwana magesa finias na bwana nasoro bakari
alisema taratibu zote za kampeni za chama hicho zimekamilika na kinachosubiriwa sasa ni uzinduzi
uchaguzi mdogo wa jimbo la busanda unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya ccm bwana kabuzi UNK
hatma ya wakurugenzi na mameneja sita waliofukuzwa kazi katika wakala wa barabara tanzania itajulikana kesho baada ya kamati iliyoundwa kukamilisha uchunguzi wa majalada yao
akizungumza na majira jana kaimu mwenyekiti wa tanroads bwana samwel nyatahe alisema kamati hiyo ilianza kufanya uchunguzi kwa wafanyakazi hao tangu ijumaa iliyopita ili kupata kumbukumbu za utendaji kazi wao
kamati inaendelea na uchunguzi wa majalada na kesho itakutana na wafanyakazi hao ili kusikiza malalamiko yao kabla ya kutoa uamuzi alisema bwana nyatahe hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroad bwana ephraem mrema aliwafukuza kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa kinyume na maagizo ya bodi hali ambayo UNK mkanganyiko nd...
kumekuwa na mgongano kati ya bodi ya tanroads bwana mrema na wizara baada ya mtendaji huyo bwana mrema kuitisha kikao cha wafanyakazi oktoba thebathini mwaka huu na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji waandamizi
waliokumbwa na sakata hilo ni mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge meneja mkoa wa morogoro bwana charles madinda meneja mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william ...
mchungaji wa kanisa la evangelical assemblies of god tanzania lililopo katika eneo la sakina mkoani arusha bwana fanuel UNK anashikiliwa na polisi mkoani arusha baada kutaka kujiua kwa kutumia kamba
tukio hilo lilitokea saa chache baada ya mchungaji huyo kufunga ndoa lakini akadai kuwa mchungaji mwenzake aliyepaswa kufungisha ndoa hiyo alichelewa kufika katika shughuli hiyo na kumsababishia usumbufu kwa wageni waalikwa na mke wake huyo waliyekuwa wakifunga naye ndoa
kaimu kamanda wa polisi mkoani hapa bwana leonard paulo alisema kuwa ndoa hiyo ilipangwa kufanyika jumamosi saa nne sifuri sifuri asububi na kwamba ilichelewa hadi saa saba sifuri sifuri mchana
kitu ambacho UNK bwana harusi
kamanda alisema kuwa mchungaji aliyepaswa kufungisha ndoa hiyo bwana marko haule alichelewa kufika na alimkuta bwana harusi akiwa hana raha na alikubali kufungishwa ndoa hiyo kwa shingo upande
siku iliyofuata mchungaji marko alifika nyumbani kwa bwana harusi ili kumuomba msamaha kwa UNK kinyume na matarajio yake kulitokea kutokuelewana kiasi cha kujibizana kwa maneno yasiyofaa
baada ya hapo bwana harusi alichukua kamba ya manila na kutaka kujiua kwa kujitundika chumbani kwake na ndipo raia wema walifika na kumuokoa
alipohojiwa na waandishi wa habari ni kwanini alifikia uamuzi wa kutaka kufupisha maisha yake alisema kuwa UNK na shetani ambaye anapaswa UNK
wakati huo huo mwanafunzi wa shule ya msingi ngurdoto aliyefahamika kwa jila la mbonea UNK amefariki dunia mara baada ya kuanguka kutoka katika trekta alilokuwa UNK
polisi wanamshikilia mmiliki wa trekta hilo charles mbise baada ya dereva wake aliyefahamika kwa jina la lameck victor kukimbia
mbunge wa zamani wa jimbo la morogoro kusini mashariki bwana UNK pawa amewaomba wanachama wa chama hicho kumchagua wakati utakapofika kwa kuwa bunge UNK sana
akizungumza na majira mjini morogoro bwana pawa alisema atagombea ubunge katika jimbo hilo na kwamba ana uhakika kuwa wakazi wa jimbo hilo UNK kuanzia kura za maoni kupitia ccm na baadaye katika uchaguzi mkuu kwa kuwa UNK na wanasikitika kukosa kwake kuwawakilisha katika kipindi UNK
kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa nina uhakika hawatafanya makosa na kwa kweli wamekuwa wananiambia UNK kweli jimboni nami pia UNK sana wananchi wangu wote na pia nataka wajue kuwa bunge nalo UNK zaidi kwani huwa UNK simu na wabunge wenzangu na wengine tunakutana wanatamani sana uwepo wangu na uwakilishi...
bwana pawa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mkoa wa morogoro alisema kabla ya kumaliza kipindi chake cha ubunge mwaka ishirini sifuri tano alikuwa anatoa burudani ya pekee bungeni kwa misemo iliyokuwa UNK mbavu wabunge na watu wengine UNK
anachofahamu yeye uongozi ni kupokezana vijiti na kwamba kama awali alikuwepo yeye sasa ni zamu ya bwana sameer lotto aliyeshinda mwaka ishirini sifuri tano na wakati ujao itakuwa zamu yake yeye au mtu mwingine na kwamba suala kubwa linalotakiwa kufanywa na yeyote atakayechaguliwa ni kuwaletea wananchi maendeleo na ku...
alisema zipo changamoto nyingi UNK bado zingali UNK wakazi wa jimbo hilo ambazo ni pamoja na kuwaongoza wananchi kuondokana na ujinga umaskini maradhi na kukosa mawasiliano mazuri ya barabara
kauli hiyo ya bwana pawa imekuja siku chache baada ya mbunge wa sasa kunukuliwa na gazeti hili akiwatahadharisha wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm katika jimbo hilo UNK kwa kuwa wataishia aibu kwa kuwa anaamini atashinda kutokana na mapenzi makubwa waliyo nayo wananchi na wanachama wa ccm kwake
mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maeneo huru ya biashara daktari adelhelm meru ameshauri kaulimbiu ya kilimo kwanza ibadilishwe na kuitwa kilimo na viwanda vyake kwanza ili kuleta maana halisi inayokusudiwa
daktari meru alikuwa akiwasilisha mada juu ya uhusiano kati ya kilimo na viwanda katika mchakato wa uzalishaji bidhaa na umuhimu wa kuuza bidhaa zilizopita viwandani katika kongamano la siku ya viwanda jijini dar es salaam
kwa kuuza malighafi nje ya nchi tunapoteza pesa ajira kwa watu wetu bidhaa utaalamu na mwisho tunakuwa soko la bidhaa za viwandani zilizotengenezwa kutokana na bidhaa zetu wenyewe hivyo ili tufanikiwe katika kilimo kwanza tuseme wazi kilimo na viwanda vyake kwanza alisema daktari meru
kongamano hilo la siku mbili lilianza jana na UNK leo likiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya viwanda UNK UNK kila novemba ishirini hapa nchini yanakwenda sambamba na maonesho ya viwanda katika viwanja vya karimjee
katika kongamano hilo wasomi mbalimbali waliotoa mada zao walikuwa na lugha moja wakitaka mapinduzi ya kilimo yanayotarajiwa kufikiwa kupitia kilimo kwanza yatafanikiwa iwapo yatakwenda sambamba na yale ya viwanda na ushirikiano wa dhati kati ya sekta ya umma na binafsi
akifungua kongamano hilo waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa kuna umuhimu wa kubadili mfumo na muundo wa kiuchumi miongoni mwa nchi za afrika ili kuongeza kasi ya ukuaji wa viwanda viweze kuongeza mchango wake kwa pato la taifa mpaka asilimia ishirini na tano badala ya asilimia kumi na tan...
nilazima tufanye kila linalowezekana kuzifahamu na kukabiliana na changamoto zilizopo ili kuchochea maendeleo ya viwanda afrika alisema bibi nagu
mwenyekiti wa baraza la kilimo tanzania bwana salum shamte alisisitiza ushirikiano wa dhati baina ya sekta ya UNK na binafsi katika kufanikisha nguzo kumi za kampeni ya kilimo kwanza
mpaka sasa asilimia sitini na tano ya malighafi inayotumika viwandani inatokana na kilimo bila kuwa na mapinduzi ya kilimo hakuna njia ya mkato kufikia maendeleo UNK
hivyo tunahitaji kuwa na viwanda vinavyozalisha nyenzo na kusaidia kilimo kama vile mbegu UNK kusindika na kuhifadhi alisema bwana shamte
hatimaye kundi la mahujaji lililokuwa UNK katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere kwa takribani siku nne jana liliondoka baada ya kukamilisha taratibu za usafiri
wakizungumza na majira dar es salaam jana mahujaji hao walisema safari yao UNK jana baada ya taasisi ya taibah iliyokuwa na jukumu la kuwasafirisha kuwapatia tiketi
mmoja wa maafisa wa taibah bwana ali saleh alisema kuwa kwa sasa mahujaji wote wana uhakika na safari yao baada ya taratibu zote kukamilika
aidha aliongeza kuwa taasisi hiyo ililazimika kuwarudishia fedha mahujaji saba kutoka familia mmoja ambao hawakupenda kusafiri kwa ndege tofauti wakihofia kupata usumbufu mbele ya safari
mmoja wa mahujaji waliorudishiwa pesa ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini aliliambia majira kuwa wamekusudia kuifikisha mahakamani taasisi hiyo baada ya kurejea kutoka makka kutokana na kuwasababishia usumbufu mkubwa
wakati huo huo baraza kuu la waislam tanzania linatarajia kuzindua mpango wenye lengo la UNK waislamu wengi zadi hasa wenye kipato cha chini kumudu gharama za kwenda kuhudhuria UNK ya takatifu hijja
akizungumza dar es salaam jana katika mkutano na waandishi wa habari uliolenga kutoa taarifa juu ya hali za mahujaji walioko makka na meddina kaimu katibu mkuu bakwata sheikh suleiman lolila alisema mpango huo utazinduliwa hivi karibuni baaada ya mufti kurejea kutoka UNK
katika mkutano huo kaimu mufti sheikh ismail makusanyo alieleza kuwa hali za mahujai walioko katika miji ya makka na meddina zinaendelea vizuri na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepata matatizo mpaka sasa
akizungumzia suala la mahujaji waliokwama dar alisema bakwata haina mamlaka ya kuiingilia taasisi iliyosajiliwa kisheria kutoa huduma za kusafirisha UNK
hata hivyo aliongeza kuwa bakwata iko tayari wakati wowote kutoa msaada kwa taasisi hizo iwapo tu UNK msaada na si kwa kusikia kupitia vyombo vya habari
katibu mkuu wa chama cha maendeleo na demokrasia daktari willibrod slaa amesema hawezi kuzungumza kuhusu kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ishirini moja sifuri kwa sasa kwani bado ni mbunge wa jimbo la karatu
kauli hiyo daktari slaa imekuja siku kadhaa baada ya baadhi ya vyombo vya habari UNK kuwa anatarajia kugombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu ujao
mchakato wa kugombea kiti hicho ndani ya chadema ulianza kuzungumzwa baada ya mwenyekiti wa chama hicho bwana freeman mbowe ambaye aligombea mwaka ishirini sifuri tano kutangaza kugombea ubunge katika jimbo la hai mkoa wa kilimanjaro katika mchakato huo daktari slaa amekuwa akitajwa kuwania nafasi hiyo lakini chama hi...
akizungumza na majira kwa njia ya simu jana daktari slaa alisema taarifa hizo ni propaganda na hazina ukweli wowote kwani iwapo atahitaji kufanya hivyo atafuata utaratibu na kanuni zilizowekwa na chama chake ili kumpata mgombea wa kiti hicho
yameandikwa mengi sana juu yangu kuhusu kugombea lakini katika habari hizo hakuna hata moja UNK kama nina nia ya kugombea au la jamani UNK chadema UNK mgombea wake kwa kufuata taratibu kanuni na sheria kama katiba inavyosema akipatikana UNK alisema daktari slaa
juzi gazeti moja lilimkariri mwenyekiti wa chadema mkoa wa kilimanjaro phillemon ndesamburo akihutubia wananchi wa karatu wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa akiwataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua mtu ambaye UNK badala ya daktari slaa kwa sababu chama kimeamua kumpa majukumu mengine
hata hivyo gazeti hilo lilidai kuwa kauli hiyo ilipingwa na umati wa watu waliohudhuria mkutano huo akiwemo mwenyekiti wa halmashauri ya karatu titus lazaro ambaye amekuwa akitajwa kutaka kumrithi daktari slaa
bwana lazaro alisema hadi sasa anaamini hakuna mtu wa kumrithi daktari slaa karatu hivyo ni bora akaachwa aendelee kuwa mbunge wa jimbo hilo na kuwa kitendo cha kuanza kutafuta mrithi wa daktari slaa sasa kunaweza kulipoteza jimbo hilo ambalo limekuwa likinyemelewa na ccm hata hivyo uchuguzi ulifanywa na majira tangu ...
chanzo chetu ndani ya chama hicho kimeeleza kwamba kwa kutumia wabunge watakaopatikana katika uchaguzi mkuu wa mwakani chama hicho kitajenga mtandao mkubwa ndani ya nchi na kujenga imani kwa wananchi na kujihakikishia kushika dola mwaka ishirini moja tano UNK wataka kulipwa mbegu zao
moto wasambaa matawi yote nchini mwandishi wetu tanga washiriki wa mchezo wa upatu uliokuwa ukiendeshwa na kampuni deci jijini tanga wameitisha mkutano wa dharura ili kutafuta uwezekana wa kuwafikisha mahakamani viongozi wa kampuni hiyo wakidai hawaoni matumaini ya kulipwa fedha zao
wakizungumza katika kikao cha dharura UNK nje ya ofisi za deci mabanda ya papa jijini tanga jana washiriki hao walielezea kuchoshwa na kwenda kila siku katika ofisi hiyo bila kupewa maelezo ya kuridhisha
baadhi ya washiriki waliokuwa katika kikao hicho walionekana kuwa na jazba kwa jazba UNK mahali wataifikisha deci mahakamani ili haki iweze kutendeka
serikali imeshatoa msimamo kuwa wake kuwa shughuli za deci UNK sheria
kwa nini sasa wao deci UNK serikali kuhusu uhalali wake ili kuondoa migongano hii ambayo mwisho wake ni mbaya alisema bibi UNK UNK mkazi wa UNK
katika kikao hicho washiriki hao wa deci UNK kikundi maalum kuelekea jijini dar es salaam ili kukutana na vongozi wa juu wa deci ili kujua hatma ya fedha walizopanda
aidha baadhi ya washiriki hao walisikika wakiendelea kulalamika juu ya hatma yao na wengine UNK katika eneo la mkutano kutokana na kukata tamaa