text stringlengths 1 1.32k |
|---|
naye said mwishehe anaripoti kuwa ikiwa leo ni siku ya tano tangu ofisi za kampuni ya deci makao makuu UNK kufuli hali inaonekana kuendelea kuwa tata kutokana na uongozi wa kampuni hiyo kuendelea kukaa kimya bila kueleza kinachoendelea |
baada ya tamko la waziri mkuu bwana mizengo pinda ambalo alilitoa kupitia vyombo vya habari kuhusu utata wa kampuni hiyo uongozi wa deci uliamua kufunga ofisi zake kwa madai kuwa watafungua baada ya kufanya mazungumzo na serikali |
uchunguzi uliofanywa na majira jumapili umebaini kuwa washiriki wa deci waliokuwa wakipanda na kuvuna fedha zao wameanza kukata tamaa juu ya hatma yao huku wengine wakionesha kuwa na shauku ya kusikia kauli ya viongozi wao kama watawalipa fedha zao ama laa |
baadhi ya wanachama waliokuwa katika makao makuu ya deci mabibo dar es salaam walisema kuwa huu ni wakati wa kuonesha mshikamano hadi UNK kwa kuhakikisha watu UNK fedha zao badala ya kuendelea kusikia kauli za kusubiri kutoka kwa viongozi wao |
hatuwezi kusubiri bila kujua ni lini muafaka utapatikana wao wafungue watu tunaotakiwa kuchukua fedha zetu tuchukue haiwezekani kuacha fedha ikae sehemu ambayo inaanza kutia mashaka |
binafsi nipo tayari wakati wowote kurudishiwa fedha zangu UNK kwa sababu sijavuna zaidi ya kuingia katika mtego alisema mmoja wa washiriki waliokuwa eneo hilo |
mbali ya kauli ya mshiriki huyo pia kumekuwepo na mazungumzo ya kila aina kutoka kwa washiriki lakini wengi wao wakionesha wapo tayari kwenda kutoa malalamiko ili waweze kusaidia suala lao na kupatiwa ufumbuzi ikiwa ni pamoja na kurudishiwa fedha walizopanda na wengine wakisema wapo tayari kwenda mahamani kudai haki y... |
kwa mujibu wa taarifa za viongozi hao ambazo walizotoa wakati wameamua kufunga kwa sababu wanataka kufanya mazungumzo na serikali na baada ya hapo watafungua ili kuendelea na huduma |
kwa bahati mbaya hawakuweza ni lini wataweza kufungua ofisi zao |
tangazo ambalo lilikuwa UNK katika ofisi za deci kutoka kwa uongozi wa juu wa kampuni hiyo ulieleza kuwa washiriki wasiwe na hofu kwani fedha zao zipo mahali salama |
pia walisema kuwa wanatarajia kuanzia kesho wanaweza kukutana na viongozi wa serikali na hasa wanatarajia kuonana na bwana pinda ili kuweza kufanya mazungumzo ya kina juu ya mwenendo mzima wa shughuli za deci kwa jana jioni eneo hilo la deci hali ilikuwa shwari kutokana na kukosa washiriki ambao wamekuwa wakishinda ha... |
baadhi ya washiriki walifika eneo hilo asubuhi ambapo kila walipofika walikaa na baada ya kuona kimya walikuwa wakiondoka baada ya kujadiliana wenyewe kwa wenyewe |
wakati hali ikiwa hivyo katika makao makuu ya deci jijini dar es salaam mikoani washiriki hao wameendelea UNK ili hatma ya fedha zao UNK |
wakati huo huo thompson mpanji anaripoti kutoka mbeya kuwa kufuatia ofisi za kampuni ya deci kufungwa nchi nzima baadhi ya washiriki ambao ni wafanyakazi katika serikali na mashirika ya watu binafsi wenye dhamana ya kutunza fedha UNK kukumbwa na matatizo makubwa kazini kutokana na kile walichodai kujiingiza katika mch... |
wakizungumza na majira jumapili baada ya kutembelea katika ofisi za kampuni hiyo tawi la mbeya zilizoko maeneo ya forest ya zamani jijini mbeya baadhi ya washiriki hao walisema kuwa kuna baadhi ya washiriki wenzao ambao ni wahusika na utunzaji wa fedha katika maeneo yao ya kazi walitumia nafasi hiyo kwa kuchukua fedha... |
kibaya zaidi waliendelea kuingiwa na tamaa na kuchukua fedha nyingi za ofisi ili waendelee kuvuna na sasa ofisi zimefungwa huduma hiyo haieleweki itarudi lini kwa hiyo pesa UNK kwa ajili ya shughuli za kiofisi hakuna kwa hiyo wataishia jela alisema mmoja wa washiriki UNK kwa jina moja la UNK |
mbunge wa UNK na rais bwana kingunge ngombale mwiru amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi waliopewa za ukamanda wa vijana wa mikoa na wilaya nchini UNK kuwa wamepewa tiketi ya kugombea ubunge kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao |
bwana kingunge ametoa ufafanuzi huo siku chache baada ya UNK makamanda wa vijana mkoani mbeya na kitendo hicho kudaiwa ni hatua ya UNK vijana hao kuwania ubunge na kuwanggoa wabunge wa sasa wanaotajwa machachari katika vita ya ufisadi |
UNK vijana hao mwezi mmoja uliopita bwana kingunge anadaiwa kutamka kuwa kuwa kipindi hiki ni cha vijana na kuwa utafiti unaonyesha kuwa katika bunge lijalo kutakuwa na mabadiliko makubwa kwani asilimia arobaini ya wabunge watakaoingia watakuwa ni sura mpya |
kauli hiyo iliyobeba baadhi ya magazeti ilitoa UNK tofauti kwa vijana wa umoja huo hapa nchini kusababisha wengi wao kujipanga na wengine kujitokeza kuwania nafasi za kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali |
lakini ghafla jana akizungumza wakati UNK kamanda wa vijana wa ccm mkoa wa morogoro bwana mustapha mkulo makamanda na manaibu wao wa wilaya za mkoa huo bwana kingunge alisema dhana hiyo ya UNK ukamanda na ubunge ni potofu na isiyofaa miongoni mwa wanachama wa chama hicho |
juzi tu nilikuwa mbeya |
UNK makamanda kama hawa |
baada ya kutoka nikaona kwenye vyombo vya habari kingunge UNK njia ya ubunge sasa nikajiuliza nani UNK pale anawania ubunge |
nikakuta hakuna hata mmoja UNK naye |
sasa nanyi tambueni hii si tiketi ya ubunge fanyeni kazi UNK na hizi nafasi za ubunge UNK bado wanastahili kuwa nazo hadi itakapofika wakati alisema aliyewahi kuwa mshauri wa rais wa masuala ya kisiasa |
bwana kingunge ambaye pia ni naibu kamanda mkuu wa vijana taifa alisema kamwe si malengo ya chama hicho kuwapatia nyadhifa hizo makamanda wake kwa lengo la kuwapa tiketi ya kuwania ubunge kama inavyotafsiriwa na baadhi ya makamanda na wanaccm bali lengo lake ni kuwapatia nafasi za kuwashauri na kuwaongoza vijana ili k... |
kwa mujibu wa taarifa za awali baadhi ya majimbo yanayotishiwa na makamanda waliosimikwa na bwana kingunge mkoani mbeya ni lile kyela la daktari UNK mwakyembe na rungwe magharibi ambalo kwa sasa liko chini ya profesa mark mwandosya |
makada wa ccm waliosimikwa kuwa makamanda wa vijana wilaya za mkoa wa mbeya ni pamoja na laurent mwakajumulo ambaye anakuwa kamanda wa vijana wa mkoa wa mbeya kuchukua nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa mbeya nawab mullah aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo na naibu wake alikuwa ni profesa mwandosya |
profesa mwandosya sasa ameshushwa cheo kwa kuchaguliwa kuwa kamanda wa vijana wilaya ya rungwe uteuzi ambao umefanywa na kamati ya utekelezaji ya uvccm katika kila wilaya na kisha kuidhinishwa na kamati ya utekelezaji ya mkoa |
mwakajumulo ambaye ni mtumishi wa benki kuu tanzania tawi la mbeya alishatangaza kugombea ubunge mwakani katika jimbo la rungwe magharibi kupambana na profesa mwandosya |
makamanda wengine wa vijana wa wilaya waliosimikwa ni philemon msomba anayekuwa kamanda wa wilaya ya chunya |
msomba UNK nia ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo la songwe kuchuana na mbunge wake wa sasa UNK UNK |
kada mwingine ni elias mwakalinga ambaye anakuwa kamanda wa vijana wilaya ya kyela ambaye haikuweza kufahamika kama ana undugu na george mwakalinga anayeishi nje ya nchi ambaye pia anataka kugombea ubunge jimbo la kyela kupambana na daktari harrison mwakyembe |
katika hafla hiyo ya jana bwana kingunge aliwaeleza vijana hao kuwa njia rahisi ya kufuatilia maendeleo ya vijana wa chama hicho kitaaluma katika vyuo vikuu sekondari na shule za msingi ili kuwaonesha kuwa wanatambua uwepo wao na ushiriki wao katika shughuli za kimaendeleo badala ya kuwaacha hadi pale wenyewe wanapopa... |
awali katika taarifa yake mwenyekiti wa uvccm mkoa wa morogoro bwana jonas nkya alimweleza bwana kingunge kuwa jumuiya hiyo mkoa wa morogoro imekuwa ikiimarika siku hadi siku na hasa katika masuala ya uongozi kiuchumi na kijamii |
wananchi wanaojihusisha na shughuli za kilimo wilaya ya ilala wametakiwa kutumia mpango wa serikali wa kilimo kwanza kuboresha kilimo uvuvi na ufugaji ili kuongeza uzalishaji wa mazao na kuondokana na hali duni ya maisha inayowakabili |
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama katika semina ya mafunzo elekezi kuhusu kilimo kwanza kwa wananchi wa kata ya msongola ambao wanajihusisha na kilimo cha zao la korosho na minazi |
bwana balama alisema wananchi wa kata hiyo wanatakiwa kutumia zana za kisasa na dawa zinazohitaji kusaidia kuzalisha mazao bora ili kupata soko la uhakika na kukidhi mahitaji yao |
wananchi wanaweza kuondokana na umaskini kama watatumia fursa mbalimbali ambazo serikali imejiwekea katika kuendeleza kilimo kuwa cha kisasa na kuzitumia pia benki kukopa fedha kuendeleza kilimo alisema bwana balama |
alisema kampeni ya kilimo kwanza unalenga kuingiza nchi katika kilimo ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kutosheleza mahitaji ya nchi na kuachana na tabia ya kutegemea bidhaa kutoka nje ya nchi huku taifa likiwa limejaliwa maliasili nyingi |
ofisa kilimo na mifugo wa manispaa ya ilala daktari assenga severine alisema lengo la kilimo kwanza ni kuingiza wananchi katika kilimo uvuvi na ufugaji wa kisasa ili kuongeza uzalishaji unaokidhi mahitaji na kuwaondolea hali duni ya maisha |
alisema pia kuanzisha na kuendeleza viwanda katika sekta ya kilimo ili kuongea thamani ya mazao na kupanua sekta ya uvuvi na mifugo |
na gladness mboma wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia inatarajia kujenga chuo cha nelson mandela katika eneo la karangai mkoani arusha kitakachokuwa kikitoa mafunzo katika kiwango cha elimu ya juu ya sayansi |
mwenyekiti wa kamati ya bunge ya miundombinu bwana godfey zambi aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mara baada ya wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia kuwasilisha taarifa kuhusu ujenzi wa chuo hicho |
bwana zambi alisema kuwa pamoja na chuo hicho kutoa mafunzo ya sayansi kwa kiwango cha elimu ya juu pia UNK shahada ya uzamili na uzamivu wizara UNK kuwa kikosi kazi UNK na ujenzi wa kituo hicho maendeleo yake ni mazuri na ujenzi unatarajia kuanza mwaka ishirini sifuri tisa kumi alisema |
alisema februari kumi na sita mwaka huu kamati yake ilitembelea eneo la karangai ambapo kituo hicho kitajengwa walihoji mambo mbalimbali na kuitaka wizara iwasilishe taarifa katika kikao chao |
wametuletea taarifa nzuri kuhusiana na chuo hicho na jinsi walivyojipanga na wametuambia kuwa kuna mradi mwingine unaoitwa sayansi UNK sector utakuwa unafanya tafiti mbalimbali zitakazosaidia nchi alisema |
alisema kuwa kutokana na taarifa hiyo kuwavutia wabunge watahakikisha kwamba UNK serikali kusaidia ikiwa ni pamoja na kutafuta wafadhili mbalimbali wa UNK |
rais mstaafu wa awamu ya tatu bwana benjamin mkapa leo atakutana na wadau wa ukimwi jijini dar es salam na kuzungumzia suala la uongozi kwenye mazingira yenye rasilimali hafifu |
pamoja na mambo mengine pia bwana mkapa UNK vyeti wafanyakazi waliomaliza mkataba wa miaka mitatu wa taasisi ya benjamin mkapa |
mgeni rasmi katika mkutano huo UNK na wajumbe zaidi ya ishirini sifuri atakuwa makamu wa rais daktari ali mohamed shein ambaye atazindua kitivo cha wataalamu wa masuala ya ukimwi nchini |
akizungumza na waandishi wa habari jijini jana mkurugenzi wa UNK bibi ellen senkoro alisema kuwa mkutano huo utahusisha majadiliano ya kitaalamu yenye lengo la kuboresha utoaji huduma na kutafuta mbinu za kuongeza watumishi wa masuala ya ukimwi pia waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa atatoa mada n... |
wataalamu wapya wa afya watapata ujuzi kutoka kwa wenye UNK wa kutoa huduma vijijini ili kusaidia sekta ya afya kupambana na maambukizi ya vvu aliongeza |
ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kutesa jiji la dar es salaam kutokana na idadi ya wagonjwa wapya kuendelea kuripotiwa katika vituo vya afya na hospitali za wilaya |
kutokana na hali hiyo manispaa za jiji zimeanza ukaguzi wa mazingira na maeneo ya biashara ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya afya ili kupunguza kuenea kwa ugonjwa huo |
taarifa hiyo iliyotolewa dar es salaam jana na kaimu mganga mkuu wa mkoa bibi hawa kawawa ilisema kuwa kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa kila siku katika manispaa zote |
kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa kila siku katika manispaa za wilaya zote ambapo kwa sasa kuna wagonjwa wapya kumi na saba ambao wametoka maeneo mbalimbali ya jiji alisema bibi kawawa |
bibi kawawa alisema hakuna kifo hata kimoja na manispaa zote zinafanya ukaguzi wa usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji na kuwataka wananchi wazingatie usafi kama vile uondoaji wa taka UNK vyoo UNK maji ya kunywa |
serikali imebadilisha siku ya taifa ya kupanda miti kutoka januari mosi iliyokuwa ikiadhimishwa kila mwaka kuwa aprili mosi |
naibu waziri wa maliasili na utalii bwana ezekiel maige alisema dar es salaam jana kuwa uamuzi huo umetokana na waraka namba moja wa waziri mkuu bwana mizengo pinda wa mwaka ishirini sifuri tisa kubadilisha siku ya taifa ya kupanda miti nchini |
alisema kwa mujibu wa waraka huo kuanzia mwaka huu maadhimisho hayo yatakuwa yanafanyika kila aprili mosi lakini kila mkoa utaendelea kujipangia siku ya kupanda miti kutokana na majira ya mvua UNK |
kubadilishwa kwa siku ya taifa ya kupanda miti mapendekezo ya rais jakaya kikwete UNK maadhimisho mwaka jana kuwa yahamishiwe kipindi ambacho sehemu nyingi nchini zitakuwa zimepata mvua |
naibu waziri maige alisema waraka huo umeagiza kuwa kazi ya kupanda miti itekelezwe na wadau wote na kuagiza wizara mikoa wilaya halmashauri za jiji manispaa za miji midogo tarafa kata vijiji na mitaa kuandaa programu za utekelezaji mapema iwezekanavyo |
waraka huo umemtaka kila kiongozi ahakikishe upandaji miti unatekelezwa na kusimamiwa ipasavyo kwenye eneo lake na kiongozi atapimwa kwa juhudi zake za kuhamasisha kutekeleza na kusimamia wananchi kupanda miti alisema naibu waziri maige |
alisema maofisa misitu walioko mijini mikoani wilayani na vijijini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu aina ya mbegu na miche inayofaa katika eneo husika na kushauri utayarishaji vitalu vya miche kwa wakati |
alisema waziri mkuu pinda katika waraka huo pia ametahadharisha kuwa kupanda miti pekee hakutoshi kukabiliana na jangwa kama hatua za makusudi za kutunza na kulinda uoto wa asili hazitachukuliwa |
alisema waziri mkuu pinda pia alisema halmashauri zote zihakikishe zinapanda miti kando kando ya barabara zote nchini |
bwana maige alisema mbali ya wizara yake kukabiliwa na uchache wa maofisa misitu lakini itasimamia kikamilifu uharibifu wa misitu unaofanywa na baadhi ya wananchi kukabiliana na tishio la jangwa |
wawekezaji kutoka brazil wanatarajia kuwasili nchini mwaka ishirini moja moja kuwekeza katika uchimbaji wa gesi maeneo ya kilwa mkoani lindi |
balozi wa brazil nchini bwana francisco luz aliyasema hayo jana dar es salaam wakati akizungumza na mwenyekiti mtendaji wa ipp bwana reginald mengi |
bwana luz alisema kuwa tayari wawekezaji hao UNK dola milioni moja kwa ajili ya kuchimba gesi katika maeneo hayo |
UNK ofisi katika nchi mbalimbali za afrika ikiwemo tanzania kwa ajili ya kuangalia jinsi gani UNK hasa katika masuala ya gesi na kilimo cha nafaka zinatumika kuzalisha mafuta ya kuendeshea mitambo mitambo na magari |
hata hivyo alisema kuwa wawekezaji wengi wa brazil wanaogopa kuwekeza nje ya nchi yao kwa sababu ya soko kubwa walilonalo kwao lakini serikali nchini humo imekwishaanza kuwashauri waende kuwekeza nje |
UNK waziri wa viwanda na biashara aje tanzania ili aweze kukutana na kuongea na baadhi ya wizara kuangalia maeneo ambayo tunaweza kusaidia alisema |
mtoto benson laswai mkazi wa kijiji cha UNK kata ya mashati wilayani rombo mkoani kilimanjaro ameuawa kwa kuchinjwa kisha muuaji akanywa damu yake |
mtuhumiwa wa mauaji hayo ni agrey joseph mkazi wa kijiji hicho ambaye sasa anatarajiwa kupimwa akili ili kuandaa taratibu za kumfikisha katika vyombo vya sheria kwa tuhuma za mauaji |
kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro bwana lucas ng hoboko alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tano ishirini asubuhi kijijini humo |
akizungumza na majira mmoja wa wananchi aliyeshuhudia tukio hilo bibi asteria tesha alisema tukio hilo si la kawaida na kwamba wananchi walimpiga mtuhumiwa na kumjeruhi vibaya |
alisema siku ya tukio mtuhumiwa alikwenda nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na kuwakuta watoto watatu akiwamo marehemu na kumkamata kisha kuanza kumchinja kama mbuzi |
mtuhumiwa alikuwa ameshika panga na alikwenda nyumbani kwa wazazi wa mtoto wakati hawapo na kumlaza chini mtoto na kumchinja kikatili kisha kuanza kunyonya damu alisema |
alisema wakati wa tukio walisikia kelele za watoto lakini UNK walikwenda kuangalia ndipo UNK mtuhumiwa kamshikilia mmoja wa watoto huku akimnyonya damu baada ya kumchinja |
tulimkuta mtuhumiwa amepiga magoti huku kamshikilia marehemu akimnyonya damu tulipiga kelele kuomba msaada kwa wanaume ili UNK alisema |
mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya huruma wilayani rombo ukisubiri taratibu za mazishi huku mtuhumiwa akitarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote |
matukio ya mauaji ya kikatili yameendelea kukithiri mkoani humo ambapo hivi karibuni mtu mmoja UNK mushi mkazi wa kibosho kindi wilayani moshi vijijini alimuua UNK mushi na kisha kula utumbo na UNK |
hata hivyo katika tukio hilo lililotokea novemba mosi mwaka huu mtuhumiwa huyo UNK na polisi alidaiwa kuwa mgonjwa wa akili |
mgogoro uliopo kati ya serikali na kampuni binafsi ya umeme ni kikwazo kwa serikali kubadili matumizi ya mitambo hiyo kutumia gesi katika kufua umeme badala ya mafuta kama ilivyo sasa |
hali hiyo inamaanisha kuwa serikali haitaweza kuepuka gharama kubwa za kuzalisha umeme kwa mafuta mazito wakati matumizi ya gesi yangeweza kupunguza gharama kwa kiasi kikubwa lakini ufanisi wa kuzalisha UNK palepale |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na kamishna wa wizara ya nishati na madini bwana bashiri mrindoko alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwa amewasilisha mada juu ya mstakabali wa hali ya umeme nchini katika kongamano la maadhimisho ya siku ya viwanda katika ukumbi wa karimjee |
kwa kweli kama mnavyojua umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi unatumia gharama kidogo ukilinganisha na ule unaotumia mafuta kama iptl sasa UNK kwa nini UNK ili kupata hiyo nafuu nitawaambia kuwa ni kwa sababu ya mgogoro uliopo baina ya serikali na iptl umesababisha kushindwa kubadili mitambo ile itumie gesi |
mnajua kuwa tumeomba kutumia mitambo ile kuzalisha umeme kwa sasa lakini hatuwezi kwenda kwa undani zaidi mpaka kubadili matumizi yake |
pia kitu kingine UNK kutumia gesi ni mfumo wa kusafirisha gesi kuileta bado sio mzuri |
hivyo tumeamua UNK tatizo la miundombinu hiyo kwanza alisema bwana mrindoko |
kauli hiyo ya bwana mrindoko imekuja wakati jana kampuni hiyo imeanza kuzalisha megawati arobaini baada ya kuwasha mashine ya nne kati ya kumi zinazofanyiwa kazi ili kuzalisha megawati kumi sifuri iwapo mitambo hiyo itawashwa yote itakuwa inatumia lita hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri za mafuta kila siku sawa na sh... |
akizungumzia suala la mtambo mpya wa tegeta unaotarajiwa kuingiza megawati arobaini na tano kwa kutumia gesi asilia bwana mrindoko alisema kwa sasa wanafanya UNK lakini ukiondoa masuala juu ya matengenezo na utaalamu yanayoweza kujitokeza tunategemea kuwasha mtambo ule mwisho wa mwezi huu au mapema mwanzoni |
makadirio hayo ya muda wa kukamilika kwa mtambo huo yanazidi kuwakanganya watanzania hasa wakikumbuka tamko la awali la waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja UNK UNK huo na ule wa iptl ungewaka novemba mosi jambo ambalo UNK |
katika kuonesha kuwa suala la umeme wa uhakika na wenye gharama nafuu ni la muhimu kwa nchi inayotaka kukuza uchumi waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu UNK suala hilo |
naomba kusisitiza hili na kamishna akiwepo hapa suala la umeme wa uhakika na wenye gharama nafuu ni kilio cha walio wengi nchini |
kutokuwa na umeme wa uhakika na gharama kuwa juu ni moja ya sababu za kuongeza gharama za uzalishaji alisema bibi nagu |
pia aliongezea kuwa suala la kilimo kwanza na kusema kuwa linapaswa kufanyiwa kazi na watu wote na sio suala la watu wachache |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.