text
stringlengths
1
1.32k
suala la masoko kwa bidhaa za wakulima ni muhimu sana katika kilimo kwanza kutakuwa hakuna haja ya mkulima kuzalisha vitu kwa wingi kama anajua kuwa baada ya matumizi yake vinavyobaki ataishia kuvitupa badala ya kuuza
ndiyo maana tunakutana hapa ili UNK katika kuboresha sera mikakati au utekelezajiwa sera mbalimbali kumsaidia mkulima alisema bibi nagu
kongamano juu ya mchango wa sekta binafsi katika kampeni ya kilimo kwanza lilifanyika kwa siku mbili tangu jumatatu
siku ya jana mada zilizokuwa UNK kwa hamu ni mikakati ya serikali juu ya hali ya umeme nchini athari za mgogoro wa uchumi kwa tanzania na mfuko wa kusisimua hali ya uchumi nchini na suala la mswada wa sheria ya ajira
serikali imewataka walimu wa shule za msingi waliojiendeleza na kuhitimu katika ngazi za stashahada shahada na shahada za uzamili kujiorodhesha kwa makatibu tawala wa mikoa wakurugenzi na wakurugenzi watendaji wa halmashauri zote nchini ili wapangiwe kufundisha katika shule za sekondari kuanzia januari mwakani
hatua hiyo ya serikali imekuja baada ya kubaini kuwepo kwa walimu waliojiendeleza na kuhitimu katika ngazi hizo lakini wanaendelea kufundisha katika shule za msingi jambo ambalo ni kinyume na maendeleo ya mtumishi
akizungumza na waandishi wa habari ikulu jana katibu mkuu kiongozi bwana phillemon luhanjo alisema tayari ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa tanzania bara imetangaza orodha ya walimu kwa kila halmashauri ikionesha viwango vya elimu kwa kila walimu hadi novemba thebathini ambapo mwezi ujao walimu...
madhumuni ya taarifa hii ni kusisitiza na kuwasihi walimu wote ambao UNK hadi kufikia katika ngazi ya stashahada na hata shahada na uzamili kwenda kwa maofisa elimu UNK elimu ya sekondari UNK kutoa vyeti vyao kwa UNK hao alisema bwana luhanjo
alisema lengo la serikali ni kupunguza tatizo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari kwa kuwatumia walimu hao waliojiendeleza na kupata sifa na UNK zinazotakiwa
alisema uamuzi huo haulengi kusababisha upungufu wa walimu katika shule za msingi bali unalenga kuwapangia walimu hao kufundisha kulingana na viwango vya elimu yao kutokana na sera ya elimu
alisema kutokana na taifa kuwa na upungufu wa shule zilizojengwa na kwa nguvu ya wananchi serikali inaendelea kuwapandisha madaraja walimu wote wa shule za msingi UNK kwa sasa ili kufikia ngazi ya kufundisha katika shule za sekondari
bwana luhanjo alisema tayari mkoa wa dar es salaam UNK majina ya walimu waliohitimu katika ngazi hizo katika wilaya zake tatu
kwa upande wa wilaya ya ilala idadi wahitimu ikiwa katika mabano shahada stashahada mia moja na kumi na tano katika wilaya ya temeke shahada stashahada na kinondoni shahada na UNK
alisema kutokana na takwimu hizo walimu hamsini na saba wa shule za msingi wamepata shahada kutoka vyuo vikuu vinavyotambulika walimu ishirini na saba wanaendelea na masomo katika vyuo hivyo walimu mia nne na themanini na tano wamejiandikisha kupata stashahada ya elimu na walimu mia moja na thebathini na tano wanaende...
bwana luhanjo alisema shughuli hiyo itaenda sanjari na kufidia pengo la walimu katika shule za msingi UNK walimu hao kwa kuwianisha na shule zenye walimu wengi ili kuwapeleka katika shule zilizo na upungufu jambo ambalo UNK na kuajiri walimu wengine
na thomas dominick mkuu wa mpya wa wilaya ya ilala bwana evance balama amewataka watendaji wanaofanya kazi kiujanja ujanja na UNK ipasavyo kwa wananchi wilayani humo kujiondoa serikalini UNK kazi zingine
hayo yalisemwa dar es salaam mwishoni mwa wiki na mkuu huyo wa wilaya wakati UNK kwa viongozi mbalimbali wa manispaa hiyo wakiwemo madiwani wenyeviti wa mitaa watendaji wa mitaa na baadhi ya viongozi wa ccm bwana balama alisema kuwa viongozi wote wanapaswa kuwajibika mbele ya wananchi na kuwaheshimu pia kuwatendea hak...
pia aliwataka viongozi hao kushirikiana na wananchi wao katika kutekeleza usafi wa mazingira ili kuiweka manispaa hiyo katika hali ya usafi zaidi
inatubidi tushirikiane na wananchi wetu sio kuwaachia UNK mambo kinyume na taratibu za usafi wa mazingira kama UNK UNK tunaweza kukumbwa na magonjwa ya mlipuko alionya bwana balama
aliwatahadharisha mabwana na mabibi afya wa manispaa hiyo kufanya kazi zao kikamilifu bila kuonea wananchi
tujipange vizuri kutekeleza kanuni za usafi ambazo zitasaidia kuiweka manispaa yetu katika hali ya usafi zaidi nitashangaa kuona mkurugenzi UNK hatua watendaji wabovu ambao hawatekelezi wajibu wao alisema
aliongeza kuwa usafi ni jambo la kawaida na wasisubiri kukumbushwa na viongozi wa ngazi za juu kuhusu suala hilo ndipo UNK wananchi wao mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewaachia huru waliokuwa wabunge wa chama cha wananchi kutoka pemba na mashehe waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma za kula njama kuwasilisha nyaraka za u...
lakini furaha ya washitakiwa hao ilitumbukia nyongo ghafla baada ya polisi waliokuwa mahakamani hapo kuwatia mbaroni upya na kuwapeleka kituo kikuu cha polisi
washitakiwa walioachiwa huru na kukamatwa tena ni khamis salehe na khalifa mohamed ambao walikuwa wabunge kutoka pemba
kwa upande wa mashehe ni abdul wakati khamis UNK na abdallah UNK pamoja na aliyekuwa mfanyakazi wa idara ya uhamiaji augustino haule
kesi hiyo ya mwaka ishirini sifuri sita iliondolewa jana mahakamani hapo na kuachiwa huru kwa washitakiwa hao mbele ya hakimu mkazi bibi UNK wambura baada ya upande wa mashtaka kuieleza mahakama kuwa hawana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo hivyo kuomba kuachiwa huru
washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo tangu mwaka ishirini sifuri sita ambapo walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ishirini na moja yakiwemo ya kula njama kuwasilisha hati za uongo kughushi vyeti vya ndoa kwa nia ya kujipatia visa za kusafiria nchini ujerumani
kesi hiyo ilitakiwa kuwa na mashahidi ishirini wa upande wa mashitaka lakini mpaka kesi hiyo inaondolewa jana mahakamani hapo ni shahidi mmoja wa upande huo ndio alikuwa ametoa ushahidi dhidi ya washitakiwa hao
kitendo cha kukamatwa tena kwa washitakiwa hao kiliwafanya wafuasi wao kuanza kulalamika nje ya mahakama huku wakidai kuwa hawatendewi haki kwa kitendo hicho kwa kuwa tayari mahakama UNK huru
mtanzania mmoja ambaye ni miongoni mwa mahujaji zaidi ya moja hamsini sifuri UNK nchini saudi arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hijja amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa madina na kutozwa fani ya UNK thebathini sifuri baada ya kukutwa na vitabu vinavyodaiwa kuhusika na mambo ya kishirikina
taarifa kutoka nchini saudi arabia kama UNK na mwandishi wetu bwana juma UNK UNK kuwa mtanzania huyo amepigwa faini hiyo ambayo ni sawa na dola ishirini sifuri za marekani baada ya kuonekana ni mgeni lakini kwa nchi ya saudia arabia UNK kufungwa kifungo cha mwaka mmoja jela au miezi sita
imedaiwa kuwa vitabu hivyo vinavyosadikiwa kuwa ni vya kishirikina ni vile vya kuunga na vinavyotumiwa na watu ambao huitumia kuran vibaya na ambavyo huleta athari kwa jamii ikiwa ni pamoja na kumfanya mtu kupoteza akili
wakati huo huo mahujaji moja mia tano na tisini kutoka tanzania tayari UNK katika uwanja wa ndege wa madina na gida ambapo sasa njia za kuelekea katika mji mtakatifu zimefungwa
imeelezwa kuwa kutokana na hali hiyo mahujaji wote sasa UNK uwanja wa ndege wa gida watalazimika kwenda moja kwa moja makka kusubiri kutekeleza rasmi ibada ya UNK
akizungumza na gazeti hili jana katibu mkuu wa baraza la waislamu tanzania suleiman lolila alisema bakwata haina taarifa zozote kuhusiana na tukio hilo
mbona hizo taarifa sisi hatuna
alihoji katibu huyo na kuongeza ndiyo kwanza nasikia kutoka kwako
sielewi kitu chochote kuhusiana na suala hilo alisema
katika hatua nyingine rehema mwakasese anaripoti kuwa hofu ya kulipuka kwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe kwa mahujaji wanaoshiriki ibada ya hijja UNK na mambo kuendelea kuwa shwari
awali kulikuwa na hofu kuwa huenda mlipuko wa ugonjwa huo UNK nchini humo kutokana na idadi kubwa ya mahujai kutoka nchi mbalimbali duniani ambao wanashiriki ibada hiyo
akizungumza na majira kwa njia ya simu kutoka madina saudi arabia kiongozi wa kundi la UNK sheikh abdallah amani alisema hadi sasa hakuna taarifa zozote za matatizo ya kiafya kwa mahujaji wa tanzania wala hofu ya kutokea kwa ugonjwa huo
sheikh abdallah alisema mahujaji wote wa tanzania wanaendelea vyema na maandalizi ya ibada hiyo ambapo kesho wanatarajia kuondoka kwenye mji wa madina kwenda makka ili kuanza rasmi ibada
kwa upande wake sheikh muharami juma doga amewaomba watanzania kuwaombea mahujaji wote waliopo nchini humo ili waweze kumaliza vyema ibada zao na hatimaye warejee nyumbani wakiwa salama
mpango wa rais jakaya kikwete kuwa endapo atachaguliwa tena kuwa rais mwakani atateua mawaziri vijana UNK na kuelezwa kuwa analenga UNK karibu ili wamuunge mkono katika uchaguzi wa mwaka ishirini moja sifuri hiyo ni kampeni kwenye siasa tunasema anawakonyeza vijana ili wamuunge mkono katika uchaguzi mkuu lakini ukweli...
alisema rais kikwete anafahamu kuwa katika uchaguzi ujao anahitaji kuungwa mkono na vijana ndiyo maana UNK mbinu ya kuwavuta karibu kwa ahadi ya kuwapa uongozi
akitoa mfano jinsi rais kikwete UNK ahadi zake profesa lipumba alisema mwaka ishirini sifuri tano aliahidi ajira za vijana na kuongeza mapambano dhidi ya ufisadi mambo ambayo alidai ameshindwa kuyatekeleza
anawakonyeza vijana ili wawe na matumaini kuwa watapata uongozi alitakiwa kuonesha ni jinsi gani UNK mapema kushika nafasi hizo alisema
kwa upande wake mwenyekiti wa tpp maendeleo bwana peter mziray alisema ahadi ya rais kikwete ya kuwapatia vijana uongozi hawezi kuitekeleza kwa kuwa na wenyewe UNK ufisadi wakiwa ndani ya ccm hao vijana UNK wapi
ndani ya chama hicho vijana wanajifunza ufisadi wengine wana digrii zenye matatizo sasa hao UNK madaraka UNK
alihoji bwana mziray
alisema kama ana mpango huo basi hata yeye aachie nafasi yake ya urais UNK vijana kwani amekuwa ndani ya serikali tangu awamu ya kwanza
tangu awamu ya kwanza alikuwa kiongozi ikafuata awamu ya pili na ya tatu vipindi vyote akawa waziri leo hii ni rais ana jipya gani
aliuliza bwana mziray
bwana mziray alisema anachoweza kufanya rais kikwete ni kuongeza idadi ya wanawake katika safu ya uongozi ili kuleta uwiano
kwa upande wake mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema alisema kauli ya rais kikwete ni ya kuhamasisha vijana waunge mkono serikali yake
anawapa matumaini ili waishi kwa imani na tumaini jipya alisema
wakati wanasiasa hao UNK mpango huo wa rais kikwete umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi umepokea mpango huo kwa kicheko kwamba umedhihirisha jinsi alivyo na imani nao
katibu mkuu wa uvccm bwana martin shigela alisema rais kikwete anajua uwezo wa vijana hivyo kauli yake hiyo inatoa matumaini makubwa kwao
rais anajua alikuwa kiongozi wa vijana anaelewa vijana wana uwezo na elimu ya kutosha wanaweza kuongoza bila matatizo yoyote alisema na kuongeza tunapenda kuwa na uhakika wa taifa la kesho uhakika huo utapatikana kwa kuongeza vijana katika safu ya uongozi alisema
alisema vijana hawana mashaka na mpango huo wa rais kikwete
kwa upande wake mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm bwana nape nnauye alisema mpango huo wa rais ni mzuri na amekuwa nao tangu alipoingia madarakani lakini hoja si idadi ya vijana bali vijana wenye uwezo na uzalendo wa kweli kwa maneno na matendo yao
tangu aingie madarakani mtazamo wake umekuwa wa aina hiyo hivyo alichosema ni ahadi kuwa atafanya zaidi
UNK ni nzuri kama itatekelezwa kwani vijana wana haki ya kutoa mchango wao kwa maendeleo ya nchi yao leo na kesho wasiache mpaka wamechoka ndo waanze kupewa dhamana alisema bwana nnauye
naye katibu wa uhamasishaji na chipukizi wa uvccm bibi esther UNK alisema mpango huo wa rais utaondoa dhana iliyojengeka kuwa maisha ni ndani ya siasa baada ya kustaafu
akizungumza na vijana wa nchi kadhaa za afrika rais kikwete alisema wale viongozi wa rika langu lazima waanze kuwaachia nafasi vijana tunahitaji wakuu wa wilaya vijana zaidi wakuu wa mikoa vijana zaidi na hata mawaziri vijana zaidi
ndivyo ilivyotokea kwetu tulipokuwa vijana
polisi dar es salaam UNK wananchi makampuni taasisi na wafanyabiashara kujihadhari na wimbi la utapeli wa kutumia majina ya viongozi wakiwemo mawaziri
kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana suleiman kova alisema kumezuka wimbi la utapeli wa kupiga simu na kutapeli mamilioni ya fedha
mtu anapiga simu na kujifanya yeye ni waziri fulani na hata kuiga sauti yake na kusema ana shida ya fedha kiasi fulani kwa ajili ya ada safari au hata matumizi mengine na kisha huambiwa azifuate huyo muhusika alisema bwana kova
alisema UNK UNK matapeli hao UNK madereva wenye magari ya serikali yenye namba za bandia za stk na UNK kujifanya ni madereva wa mawaziri
alieleza kuwa matapeli hao hawapendi kukutana ana kwa ana na watoaji fedha kwa kuhofia kukamatwa hivyo ni vyema tahadhari UNK kwani inaharibu sifa za viongozi
katika tukio jingine polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za tuhuma za kuiba magari kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo ya UNK madereva kwa dawa za kulevya
bwana kova aliwataja watu hao kuwa ni bwana ibrahimu abdallah bwana hassani UNK bwana alfred masawe na mwanamke mmoja bibi happy ali mkazi wa UNK
mwanamke huyo hutumia mbinu mbalimbali kama dawa za kulevya baada ya kufanya hivyo huondoka na gari na kukimbia nalo na kuwapelekea wanaume ambao ni wezi wenzake alisema bwana kova
aidha bwana kova aliwatahadharisha wananchi hasa wanaume kuwa makini wakati wa kuwapa watu lifti
serikali imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya biashara ikiwa ni njia ya kuwajengea uwezo wafanyabishara wa kitanzania kushindana ndani na nje ya nchi
mazingira yanayopaswa kuboreshwa ni pamoja na na miundombinu kama vile umeme usafiri wa reli huduma za bandari maji na nyingine ambayo yatawasaidia wafanyabishara wa tanzania kujiandaa na soko la pamoja la nchi za afrika mashariki
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana shamsi vuia nahoda alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya viwanda afrika inayotarajiwa kuadhimishwa novemba ishirini mwaka huu
nawahakikishia kuwa serikali yenu itafanya kila linalowezekana kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya ya biashara
lazima tujenge mazingira ili hata soko la pamoja la jumuiya ya nchi za afrika mashariki likija tusiogope tudiriki na kututhubutu kushindana na wenzetu alisema bwana nahoda
kwa upande wake waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa sekta ya viwanda ina jukumu la kubadilisha uchumi kuwa wa kisasa unaojitegemea na kisha kuendeleza teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa sekta nyingine kama vile kilimo mifugo uvuvi na maliasili
katika kufikia azima hiyo ni lazima tufikie malengo ya kuhakikisha ukuaji wa sekta ya viwanda kufikia kumi na tano ifikapo ishirini moja sifuri mpaka sasa mchango wake ni tisa nne hali ambayo inaonesha kuwa juhudi zaidi na mikakati mipya inapaswa
serikali imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya biashara ikiwa ni njia ya kuwajengea uwezo wafanyabishara wa kitanzania kushindana ndani na nje ya nchi
mazingira yanayopaswa kuboreshwa ni pamoja na na miundombinu kama vile umeme usafiri wa reli huduma za bandari maji na nyingine ambayo yatawasaidia wafanyabishara wa tanzania kujiandaa na soko la pamoja la nchi za afrika mashariki
hayo yalisemwa jana dar es salaam na waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana shamsi vuia nahoda alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya viwanda afrika inayotarajiwa kuadhimishwa novemba ishirini mwaka huu
nawahakikishia kuwa serikali yenu itafanya kila linalowezekana kuhakikisha kunakuwepo mazingira bora ya ya biashara
lazima tujenge mazingira ili hata soko la pamoja la jumuiya ya nchi za afrika mashariki likija tusiogope tudiriki na kututhubutu kushindana na wenzetu alisema bwana nahoda
kwa upande wake waziri wa viwanda biashara na masoko bibi mary nagu alisema kuwa sekta ya viwanda ina jukumu la kubadilisha uchumi kuwa wa kisasa unaojitegemea na kisha kuendeleza teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa sekta nyingine kama vile kilimo mifugo uvuvi na maliasili
katika kufikia azima hiyo ni lazima tufikie malengo ya kuhakikisha ukuaji wa sekta ya viwanda kufikia kumi na tano ifikapo ishirini moja sifuri mpaka sasa mchango wake ni tisa nne hali ambayo inaonesha kuwa juhudi zaidi na mikakati mipya inapaswa
waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais daktari batilda burian amewataka wavuvi katika mwambao wa bahari ya hindi kuwa makini kutokana na ongezeko la maji baharini
daktari burian alitoa tahadhari hiyo jana wakati akizindua ripoti ya idadi ya watu duniani iliyotolewa na shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu
alisema kuwa pia ni vema wazazi wakawa makini na watoto wao kwa kuwakataza kwenda kuogelea katika maeneo hayo ya mwambao kutokana na maji kuongezeka baharini siku hadi siku ili kuepusha maafa
katika kipindi hiki ambacho mvua zimekuwa zikinyesha katika maeneo mbalimbali ninawashauri watanzania kuhakikisha kwamba wanajenga nyumba imara ambazo haziwezi kusombwa na upepo UNK na mvua za el nino alisema
alisema madhara ya mabadiliko ya tabia nchi yanatokea kwa kasi tofauti na ilivyotarajiwa hadi kusababisha kuongezeka kwa kina cha bahari yameathiri maisha ya watu waishio mwambao wa bahari
daktari burian alisema kuwa maisha ya watu wanaoishi katika maeneo hayo wanakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kubadilika kwa hali hewa hivyo kuathiri kilimo walichokuwa UNK
zaidi ya asilimia sitini ya tanzania inakabiliwa na hali ya jangwa na kupungua kwa vyanzo vya maji kutokana kuadimika kwa kipindi cha mvua kwa kipindi kirefu jambo ambalo UNK tu maisha ya watu bali hali ya kijamii na kiuchumi kwa ujumla alisema
akitolea mfano maporomoko ya udongo yaliyotokea same athali UNK za mvua katika maeneo ya bagamoyo na kongwa daktari alisema kuwa hali hiyo imetokana na mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyosababishwa na uharibifu wa mazingira
waziri huyo alisema kuwa ripoti ya idadi ya watu duniani ya mwaka huu inakumbusha kwamba mabadiliko ya tabia ya nchi ni zaidi ya teknolojia inayozungumzia upunguzaji wa hewa chafu ya ukaa lakini pia inakumbusha kuwa na ubinadamu
mwakilishi wa unfpa daktari UNK UNK alisema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza kupoteza mafanikio ya maendeleo yaliyopatikana katika miongo kadhaa iliyopita na hasa katika jitihada za kufikia malengo ya milenia ya maendeleo
hali hii inatokana hasa na tatizo la maji mvua kubwa mafuriko kupotea udongo wenye rutuba kukosekana kwa vyakula vya kutosha na hata kuletea matatizo ya afya alisema