text stringlengths 1 1.32k |
|---|
halafu haijasajiliwa na haina ramani |
utaratibu UNK si sahihi waziri kabaka alikaririwa UNK kikao cha kamati ya maendeleo ya kata ya nshamba alipotakiwa kutolea ufafanuzi wa suala hilo |
akizungumzia sakata hilo mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya muleba ernest UNK alisema utaratibu wa serikali ni down up lakini mheshimiwa masilingi alifanya up down hakufuata utaratibu amevamia alishangaa mkurugenzi huyo |
habari zinasema mzozo huo ni matokeo ya hofu UNK nayo bwana masilingi kwamba mwekezaji huyo anashirikiana na bwana tibaigana ambaye inadaiwa ana nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo katika uchaguzi wa mwakani |
alipoulizwa kuhusu madai hayo bwana tibaigana alikiri kuwa ana nia ya kuwania ubunge kwa kuwa aliombwa na wananchi kufanya hivyo lakini UNK kuhusika katika mzozo huo |
ni kweli nina nia kugombea ubunge katika jimbo hilo lakini kama yanayotendeka yanatokana na hofu juu yangu hilo UNK yeye |
kwanza huyu UNK UNK alisema tibaigana |
mmoja wa wakazi wa jimbo hilo alisema katika kata ya nshamba kuna shule mbili za sekondari za kata nshamba na UNK zenye kuhitaji msaada wake na kwamba kama ana nia ya kutoa msaada kwa nini UNK eneo ambalo tayari mwekezaji ameanza ujenzi |
alipotakiwa kuzungumzia madai ya kuvamia eneo la mwekezaji huyo bwana masilingi UNK waziri kabaka mkurugenzi wa halmashauri ya muleba pamoja na viongozi na wanakijiji wa bunyagongo akidai kwamba hawana mamlaka ya kuingilia suala hilo ambalo alidai linashughulikiwa na ikulu |
waziri UNK |
hata hivyo hana mamlaka ya kuingilia suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na takukuru kwa kuwa takukuru iko chini ya rais na naibu waziri anateuliwa na rais hivyo hana uwezo wa kuingilia mamlaka ya ofisi ya rais |
wote UNK hawawezi kuingilia mamlaka ya rais alisema masilingi alipohojiwa katika ofisi ndogo ya bunge jijini dar es salaam juzi |
bwana masilingi ambaye aliwahi kuwa waziri anayeshughulikia utawala bora katika serikali ya awamu ya tatu alisema hana uhusiano mzuri na halmashauri hiyo |
hata hivyo hakusema sababu UNK uhusiano huo kuwa mbaya |
kuvamiwa kwa eneo hilo na vijana wanaodaiwa kutumwa na masilingi ulisababisha dalili za kuvunjika kwa amani ambapo aliyekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa kagera wakati huo abdallah msika alishauri upande unaopinga mwekezaji kuendelea na ujenzi katika eneo hilo UNK kesi katika baraza la ardhi la kata ya UNK |
ushauri kama huo wa kufungua kesi katika baraza la ardhi iwapo kuna upande ulikuwa unahisi kuwepo kwa ukiukwaji wa taratibu katika kumpatia mwekezaji eneo hilo ulitolewa pia na halmashauri ya wilaya ya muleba |
lakini licha ya shauri hilo kufunguliwa walalamikaji ambao masilingi ni miongoni mwao UNK baraza hilo na badala yake baada ya muda kupita bwana masilingi aliwaongoza wenzake kuwafungulia kesi inayohusiana na rushwa mwekezaji huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa kijiji |
katika kesi hiyo iliyoko katika mahakama ya wilaya ya muleba mwekezaji na viongozi hao wa kijiji wanatuhumiwa kushiriki vitendo vya rushwa katika UNK kipande cha ardhi kilichotolewa kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo ya binafsi |
kesi hiyo UNK mara kumi na nane lakini walalamikaji hawajawahi kuhudhuria mahakamani |
cwt yadai malipo yao yamejaa ufisadi chama cha walimu tanzania kimetangaza mgomo wa walimu nchi nzima kuanzia novemba saba mwaka huu kutokana na kutolipwa kikamilifu madeni yao UNK serikali huku UNK kasoro zilizojitokeza kwenye malipo hayo kuwa ni ufisadi wa kitoto |
kasoro nyingi za malipo ya walimu tunayo na UNK ufisadi wa kitoto kwa sababu hundi walizopewa walimu zinatofautiana na hundi UNK alisema bwana gratian mkoba rais wa cwt alipozungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana |
akitolea mfano alisema kuna mwalimu salama UNK alitakiwa kulipwa shilingi mia moja na sabini na sita mia nane na hamsini badala yake amelipwa shilingi elfu themanini alisema mwalimu mwingine UNK UNK anayedai fedha za uhamisho wa shilingi mia nne na thebathini na tano sifuri sifuri sifuri alilipwa kwa hundi ya shilingi... |
bwana mkoba alisema mgomo huo utahusisha walimu wote wa shule za msingi sekondari vyuo vya ualimu na wakaguzi wa shule |
pamoja na serikali kuanza kulipa baadhi ya walimu wa shule za msingi malipo hayo hayaendi kihalali kwa kuwa baadhi yao wanalipwa fedha nusu kinyume na UNK |
je hizi nyingine zinakwenda wapi na zitalipwa lini |
alihoji bwana mkoba |
akitolea UNK wa mkoa wa dar es salaam hususan manispaa za temeke na ilala alisema kuna walimu wengi waliolipwa kinyume na hundi zao UNK huku UNK kuandika majina na kusaini katika karatasi na kuambiwa kuwa fedha zilizobaki watalipwa baadaye |
bwana mkoba alisema kuwa katika malipo ya walimu yanayoendelea ofisi za wakurugenzi UNK kufanya hila ya kuvuruga zoezi zima la ulipaji kwa kuwalipa kiasi kidogo UNK na kile UNK na timu za uhakiki |
bwana mukoba alisema kuwa pamoja na serikali kutoa shilingi bilioni thebathini na mbili na kuanza kuwalipa walimu wa shule za msingi bado wapo walimu wa sekondari vyuo na wakaguzi ambao wanadai jumla ya shilingi bilioni kumi na nane ambazo hazijulikani siku ya kulipwa |
akizungumzia mgomo huo alisema walimu watatakiwa kwenda shuleni kama kawaida ila hawataingia darasani kufundisha na badala yake watakaa ofisini kujadili hatima ya malipo yao nchi nzima |
alisema kuwa kama itapita wiki moja tangu waanze mgomo huo na serikali haijafanya lolote cwt itatoa mwongozo wa mgomo wao huo na kuwataka viongozi wa cwt wa ngazi za mkoa na wilaya kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao |
najua serikali UNK kutoa vitisho kutokana na kutangaza mgomo wetu huu lakini napenda kuwatangazia walimu nchi nzima kuwa wasiwe na wasiwasi na UNK mshikamano katika kulitatua hili kwani tunachokidai ni haki yetu ya msingi na hakuna mwalimu atakayefukuzwa kazi alisema na kuongeza nashangaa kuona wabunge wakitetea na ku... |
hii inaonesha serikali UNK walimu |
alisema kuwa endapo serikali UNK UNK mgomo huo hayuko tayari na kama atakwenda atakwenda kudai madeni yake kwani wanachotaka ni kulipwa kwa madeni ya walimu wote |
huu utakuwa mgomo mwingine wa walimu ukiacha ule wa novemba mwaka jana UNK na mahakama kuu divisheni ya kazi novemba kumi na saba ambapo walimu walidai jumla ya shilingi bilioni hamsini ataka watanzania kamwe UNK |
adai ukweli UNK kuficha uwongo spika wa bunge bwana samwel sitta amewataka watanzania kutokubali kuyumbishwa na watu wenye nia ya kupotosha ukweli kuhusu mjadala wa uhalali wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kuwahoji wabunge bila kufuata taratibu na badala yake watafute kwanza ukweli kabla ya kutoa hukumu |
amesema watu UNK ukweli UNK mambo mawili tofauti ambayo kimsingi kila moja lina utaratibu wake wa kushughulikiwa |
amesema wamefanya hivyo kwa lengo la kuwachanganya wananchi ili waondoke katika ajenda kuu muhimu yaliyopo mbele yao kwa manufaa yao binafsi |
akizungumza na majira ofisini kwake jana bwana sitta alisema anasikitishwa na sura inayotaka kujengeka kwa jamii kwamba bunge lina dosari bila kufuata utaratibu na kujua ukweli halisi na kwamba watanzania wanatakiwa kuwa macho na watu hao kwa kuwa huenda wanafanya hivyo kwa kuhofia utendaji wa bunge la kasi na viwango... |
mimi nisingependa kuzungumzia suala hili tena lakini kwa kuwa umeomba ufafanuzi wa kina ni hivi kwanza kuna mambo mawili katika jambo hili na kila moja linatakiwa lishughulikiwe kwa taratibu tofauti moja kuna taarifa kwamba yupo mtumishi wa kamati ya bunge aliandika barua tanapa kutaka walipwe milioni hamsini katika k... |
alisema kama kuna mbunge alihusika ilitakiwa takukuru UNK ofisi yake ili wafuate taratibu za kushughulikia tatizo hilo kama wabunge walihusika wakati wakitekeleza shughuli zao kama wabunge |
jamani tuwasaidie wananchi wetu kujua ukweli juu ya haya mambo mawili badala ya kuwapotosha na maneno ya uwongo kwa lengo la kuficha ukweli au kutaka kupaka matope bunge UNK bunge kwa maneno haya ya ovyo UNK zaidi ni wananchi wetu ambao wanataka kuona UNK na kuwatoa katika hali ya umasikini alisisitiza |
alisema suala la mtumishi UNK barua linatakiwa lishughulikiwe na katibu wa bunge kwa kufuata taratibu za utumishi na suala la wabunge kushiriki katika suala hilo linatakiwa kushughulikiwa kwanza na kamati ya maadili ya bunge baada ya spika kupata barua kutoka kwa taasisi husika au takukuru kwa mujibu wa kanuni zetu mb... |
alipoulizwa hatua UNK kuchukuliwa mbunge iwapo kamati hiyo ya maadili itaona UNK mbunge ni kinyume cha sheria hata kama alikuwa katika shughuli zake za bunge alisema hatua zitakazochukuliwa dhidi ya mbunge ni juu ya mwanasheria mkuu wa serikali si juu yangu wala mtu mwingine alisisitiza |
alisema chini ya sheria hiyo ya kinga na madaraka ya bunge ni makosa kumhoji mbunge kwa jambo lolote alilofanya wakati akitekeleza kazi zake kama mbunge bila kupitia utaratibu huo |
kuhusu suala la wabunge kulipwa posho mara mbili alisema kwa kuwa suala hilo linagusa kazi za mbunge anapotekeleza kazi zake za kibunge utaratibu wake ni uleule wa mhusika UNK kuwasilisha malalamiko yake kisha kufikishwa katika kamati ya maadili ambayo baadaye maamuzi huwasilishwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali amba... |
hata hivyo ni lazima tujue kwamba mbunge UNK mtu huko barabarani UNK na mtu uko barabarani hana kinga kinga hii ni pale tu anapotekeleza wajibu wake kama mbunge haya ndio mambo ambayo wananchi wanatakiwa wajue alisema |
alisema maneno yanayotolewa na baadhi ya watu kuhusu wabunge kulipwa posho mara mbili UNK kwa kuwa wakati wa bajeti ya serikali ya mwaka ishirini sifuri tisa kumi mbunge moja aliitaka serikali kufuta fungu hilo kwa madai kuwa ilikuwa na shilingi bilioni kumi na tisa UNK ni za kunywa chai lakini bunge ilipitisha fedha ... |
alisema iwapo suala hilo linaonekana kuwa ni tatizo ni bora serikali UNK UNK bungeni ya kufuta takrima na kuondoa kabisa fungu hilo la hospitality katika bajeti zake vinginevyo UNK suala hilo wanapoteza muda |
wakati za kampuni ya development entrepreneurship for development initiative zikiendelea kufungwa wanachama waliopanda mbegu zao na kutarajia kuvuna jana walipanga jaribio la maandamano dhidi ya viongozi wao ambalo UNK na polisi |
katika kile kinachoonesha wateja hao wanazidi kuchanganywa na kinachoendelea zimeibuka dalili za baadhi ya wanachama kutoamini kauli zinazotolewa na viongozi wao hususani wale waliotarajiwa kupata mavuno yao jana |
pamoja na uongozi wa deci kusisitiza UNK zote za wateja hao zipo salama na kuwataka wanachama hao kuwa watulivu wakati suala hilo UNK wanachama hao wanazidi UNK imani siku hadi na kushinikiza kulipwa pesa zao |
majira lilibaini jana kuwepo mkakati wa kuandamana baadhi ya wavunaji watarajiwa ambao walikubaliana kutekeleza jambo kwenye kikao maalumu |
uchunguzi huo ulibaini kuwepo kundi la wanachama wa deci UNK kuandamana kwenda kituo cha polisi urafiki ubungo kuomba kibali cha kufanya maandamano kushinikiza kurejeshewa fedha zao |
wakati wanachama hao wakijipanga kukamilisha lengo hilo walijitokeza baadhi ya watu na kujifanya wanaweza kuwasaidia kwa kutoa namba za simu ili UNK na viongozi wa deci kabla ya kufika kituoni hapo |
baada ya kupiga simu hiyo kabla UNK eneo la kituo walikutana na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa viongozi wa deci ambaye aliomba kuzungumza na mmoja wa wanachama vinara waliokuwa kwenye heka heka za kutaka kukamilisha taratibu za maandamano hayo |
kiongozi huyo ambaye hakufahamika jina mara moja UNK pembeni na kuzungumza na mwanachama huyo ambaye baadaye alirudi kwa wenzake bila kufahamika UNK jambo hilo nusura UNK mzozo mkubwa miongoni mwa wanachama hao kwa madai kuwa mwenzao alikwenda UNK chochote ili kushawishi wenzake wasifanye maandamano |
tetesi za baadhi ya wanachama kupewa chochote ili kutoandamana zilitawala hadi eneo la makao makuu ya deci mabibo ambapo baadhi ya wateja hao waliwaambia waandishi wetu kuwa kuna baadhi ya wenzao wanapokea chochote ili kuzima moto wa mkakati wa maandamano UNK |
katika kituo cha polisi urafiki wanachama hao wa deci walionekana kukaa katika vikundi vikundi huku wakijadili namna ya kukamilisha mkakati huo lakini hata hivyo inaonesha polisi UNK wazo lao kwa kuhofia hatua hiyo ingeweza UNK uvunjifu wa amani |
mkakati wa mzima wa kutaka kufanya maandamano hayo ulizimwa na mkuu wa kituo cha polisi urafiki majira lilishuhudia mmoja wa makamanda kituoni hapo UNK wanachama hao kutawanyika eneo hilo na kuwaeleza kuwa hawaruhusiwi kuchukua hatua yoyote kwa sasa kwani viongozi wao bado wanaendelea na mazungumzo ya suala hilo |
mimi mwenyewe nina machungu naomba tusubiri viongozi wetu wanaongea na viongozi wa serikali wakishamaliza kama UNK jana UNK wamefikia wapi |
hivyo tunaomba wote tuliokuwa hapa UNK na kuondoka eneo hili |
nalazimika kuangalia usalama wenu kwa muda wote kwa sababu shida imetokea katika eneo langu alisema kamanda huyo na kuongeza nikiita vijana wangu patakuwa safi dakika chache hivyo naomba tutumie UNK UNK |
kuna watu wamekaa UNK hapa wanachochea maandamano |
maandamano yanakwenda kisheria hatufanyi hivyo kwa maana hiyo mnatakiwa kuomba kibali na UNK mtafanya lakini hilo si suluhisho kwa sasa alisema kamanda huyo |
hata hivyo baadhi ya wanachama walionekana kukaidi agizo hilo kwa madai kuwa hawawezi kuondoka wakati hawajui nini hatma ya fedha zao ingawa UNK kuwa ziko salama |
hatuwezi kuambia tuondoke wakati hatujui fedha zetu UNK ama la tutaendelea kukaa hadi tusikie kauli za viongozi UNK |
kama UNK basi serikali ndio UNK ya kulaumiwa alisema mmoja wa wanachama hao |
kwa upande mwingine wanachama hao walisema hawawezi kuilamu serikali kwa sababu haijui kinachoendelea na kama lawama basi UNK kwa viongozi wa deci suala la kusitishwa huduma za deci limeonesha kuwagawa kwa kiasi kikubwa wateja hao ambapo wakati wengine wakishinikiza kurudishiwa pesa wapo walisikika wakisema mavuno wal... |
mbali na mkanganyiko huo wanachama hao wameunda kamati nyingine ya watu ishirini ambayo jukumu lake ni kukutana na viongozi wa deci kisha kurudisha ujumbe kwa wanachama hao |
kama hiyo jana ilitarajia kutoa majibu kabla ya saa sita mchana lakini hawakuweza kufanya hivyo hali UNK kuwa huenda na wao UNK |
idadi ya wanachama waliofika ofisi za deci jana ilionekana kupungua kwa sababu walikuwa wakifika na baada ya muda wanaondoka tofauti na siku zingine ambapo walikuwa wakishinda siku nzima |
kwa mujibu wa sehemu ya tangazo UNK na mkuregenzi mtendaji wa deci bwana timotheo ole UNK na UNK katika ofisi hizo lilisema uongozi umelazimika kusitisha kwa muda shughuli zote kwa sababu wanaheshimu tamko la waziri mkuu bwana mizengo pinda alilotoa kupitia vyombo vya habari na sasa wanatafuta njia ya kufanya mazungum... |
kwa tangazo hili napenda kuwafahamisha washiriki wetu kwamba pesa zenu zipo salama viongozi wote wapo salama tunaomba UNK vizuri risiti zenu mpaka hapo huduma UNK na UNK radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza ilisema sehemu ya tangazo hilo |
naye rehema mohamed anaripoti kuwa democratic party kimesema kitaendelea kuitetea deci kwa madai kuwa ni mkombozi wa walala hoi wengi waliokata tamaa kimaisha kiuchumi kutokana na kipato chao duni |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana UNK dp mchungaji UNK mtikila alisema hakuna haja ya kuendelea kupinga deci kwa kuwa taasisi zingine za fedha zimeshindwa kuwakomboa walala hoi kutokana na masharti magumu ya mikopo UNK |
mchungaji mtikila alisema masharti magumu ya mikopo ya taasisi hizo yamekuwa UNK nyuma wananchi kimaendeleo ndiyo maana wengi wao waliamua kwenda UNK deci deci inafanyakazi ya kuwakomboa watu wa hali ya chini kama walimu wakulima na wengine ambao kipato chao hakiwezi kukidhi haja ya mahitaji yao ya kila siku kama kuwa... |
katika hatua nyingine mchungaji mtikila alimuomba waziri mkuu bwana mizengo pinda kuiunga mkono taasisi hiyo badala ya kuipinga kwakuwa mafanikio yake yameonekana kwa muda mfupi kwa wananachi wengi |
kuendelea kuipinga ni sawa na kufanya ukatili mkubwa kwa wanyonge walio wengi kinachotakiwa ni kutafuta njia ya kuweza kuiboresha ili iweze kuleta mafanikio kwa walio wengi kama ilivyoanza awali na ukizingatia hakuna mwanachama wa deci UNK alisema |
mchungaji mtikila alisema kuwa UNK malengo ya deci yalikuwa ni kuifanya iwe benki ambapo asilimia kubwa ya wanahisa wake wangekuwa wanachama waliopanda mbegu |
alisema hatua hiyo UNK kwa kushirikiana na benki kuu ya tanzania ambayo tangu awali walionesha nia ya kuisaidia kwa kuwapa kibali cha kuanzisha biashara ya kukopesha watu |
akizungumzia utofauti wa kauli za baadhi ya viongozi wa dini juu ya deci akiwemo kiongozi wa kanisa la full UNK bible fellowship askofu zakaria kakobe alisema kila mtu ana imani yake hivyo wana wajibu wa kusema kile UNK wakati huo huo christina gauluhanga anaripoti kuwa baada ya wanachama wa deci kupigwa butwaa kutoka... |
akizungumza na gazeti hili diwani wa kata ya kipawa bwana UNK stambuli alisema kuwa wameamua kuifungia taasisi hiyo kutokana na kushindwa kutoa maelezo ya kina juu ya biashara zao na vilevile kutokuwa na leseni na tahadhari iliyotolewa na waziri mkuu mizengo pinda |
alisema kuwa kutokana na adha wazipatazo wana deci uongozi wa kata uliamua kuifanyia uchunguzi taasisi hiyo ambapo UNK na ofisa biashara wa kata bibi mary UNK na baada ya kufika walibaini upungufu mwingi |
aliongeza kuwa wamebaini kuwa mali ngumu inamilikiwa na mfanyabiashara mmoja na inadaiwa kuwa ofisi zake zipo kitunda kivule na haina uhalali wa kuwepo majumba sita pia hawana taarifa kamili jinsi ya kuendesha shughuli zao |
kwakweli UNK katika ofisi ile UNK jinsi wananchi wanavyohatarisha fedha zao kwani haina hadhi wanachama wanakaa kwenye UNK pia hawana nyaraka zozote zinazoonesha uhalali wa kuwepo kwa biashara yao alisema |
alisema kuwa baada ya wafanyakazi waliokuwepo katika ofisi hiyo kushindwa kutoa maelezo ya kina wameamua kuifungia taasisi hiyo hadi hapo UNK maelezo ya kina |
bwana stambuli amewaomba wakazi wake kuwa macho na taasisi za fedha UNK kinyemela kwani zitawaingiza katika umasikini na kuua mitaji yao |
mbunge wa jimbo la ziwani kisiwani pemba bwana ali said salim amelitaka jeshi la polisi visiwani humo kuwabana askari polisi waliokuwa zamu wakati wafuasi wawili wa cuf UNK na watu wasiofahamika kwani mazingira yanaonyesha kuwa UNK vyema watuhumiwa wa tukio hilo |
akizungumza na majeruhi hao baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya taifa ya muhimbili dar es salaam jana bwana ali said salim alisema kuwa wavamizi hao UNK kuwaua wafuasi hao wa chama cuf alisema kutokana na mazingira ya tukio hilo jeshi hilo UNK watu hao na taarifa zao zipo katika jeshi hilo lakini anashangaa kusiki... |
kabla ya kufika katika eneo walilokuwa wanaishi majeruhi hawa ni lazima UNK katika kizuizi cha polisi na walikuwa na gari pamoja na silaha ina maana UNK na gari inajulikana na polisi walikuwa zamu katika kizuizi hicho |
bada ya tukio tukio kutokea na sisi UNK na difenda ya polisi katika kizuizi hicho lakini UNK lolote na wala kuhoji wana maana gani ina maana tukio walikuwa UNK fika mwanzo mpaka mwisho alisema bwana |
ali said salim |
akizungumzia tukio hilo mmoja wa majeruhi bwana said amour hamis alisema kuwa alinusurika kufa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana ambapo walimwambia UNK roho yake na si kitu kingine |
bwana UNK tukio hilo na matukio ya kisiasa yanayoendelea visiwani pemba |
walivamia watu kama saba wakiwa na silaha mbalimbali walinipiga marungu kichwani na nikaamua kulala chini wakaanza UNK kwa mnyororo wa pikipiki na mkia wa taa UNK tumboni |
kisha UNK pumzi kuhakikisha kama nimekufa na waliporidhika waliondoka huku wakisema wanaenda kummaliza bwana mdogo aliyebaki sikujua cha kufanya nilipopata nafuu nilipiga simu na kuomba msaada polisi alisema bwana amour UNK |
majeruhi mwingine katika tukio hilo ni bwana mbarouk salum hamis ambaye naye alinusurika kufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kutupwa msituni huku wahalifu waliofanya tukio hilo wakiamini kuwa amekufa |
tukio hilo lilitokea oktoba ishirini na nane mwaka huu katika kijiji cha mchanga wa pwani jimbo la ziwani pemba saa saba sifuri sifuri usiku ambapo majeruhi hao UNK kwa ndege ili kupata matibabu katika hospitali ya taifa muhimbili baada ya hali zao kuwa mbaya |
askofu wa kanisa la moravian tanzania mhashamu alinikisa cheyo amesema chanzo cha matatizo makubwa nchini ukiwemo ugumu wa maisha na ufisadi unasababishwa na wasomi wanaoshindwa kutumia vema elimu yao |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.