text stringlengths 1 1.32k |
|---|
katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji bwana wilson mukama ameziagiza mamlaka za majisafi na majitaka mijini kupambana na upotevu mkubwa wa maji yanayozalishwa na ili kufanikisha azma ya serikali ya kufikiwa lengo la kutoa maji safi kwa wakazi wa mijini kwa asilimia tisini ifikapo mwakani ishirini moja sifuri bw... |
katika taarifa zao mamlaka hizo zilisema zinakabiliwa na upotevu mkubwa wa maji UNK kutokana na wateja wao UNK huduma hiyo kinyemela kuharibu mita za maji na uchakavu wa mabomba akisisitiza suala la ubunifu bwana mukama alizitaka mamlaka hizo kuiga ubunifu uliofanywa na mamlaka ya majisafi na majitaka dodoma ambayo hi... |
mita nyingine UNK kwa wajumbe ni ile yenye uwezo wa kusoma mita zilizofungwa umbali wa mita mia moja bila kubisha hodi ndani ya nyumba za wateja ambazo maofisa wa mamlaka wanatembea nazo pia kuweza kuuza maji kwa wateja na kutoa risiti na taarifa zake kufikishwa kwenye ofisi za mamlaka husika |
kwa mujibu wa mkurugenzi wa duwasa bwana peter mokiwa mamlaka yake ilituma maofisa wake wawili kwenda afrika kusini kuona na kutafiti jinsi mita hizo zinavyofanya kazi na kujiridhisha kuwa ni vigumu kwa wateja kuzichezea au kuiba na kuziuza kwenye vyuma chakavu kwa vile ni plastiki akisisitiza matumizi ya teknolojia m... |
alisema deni ambalo mamlaka zote za maji nchini UNK wateja wao sasa linafikia shilingi bilioni thebathini sakata la wakurugenzi na mameneja wa wakala wa barabara tanzania waliofukuzwa kazi limeingia katika sura mpya baada ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata hilo kushidwa kutoa majibu jana kama ilivyoahidiwa na kaim... |
akizungumza na majira jana bwana nyatahe alisema mchakato huo unaendelea baada ya kupata maelezo pande zote mbili ambapo kinachosubiriwa ni ushauri kati ya bodi na waliofukuzwa ili kubaini aliyekosea kati ya bwana mrema bodi ya tanroads na wizara ya miundombinu |
taasisi mbalimbali zinatakiwa kupitia mchakato mzima toka walipofukuzwa wafanyakazi hao ili kupata ukweli na uhalali wao bila kupendelea wiki ijayo kila kitu kitakuwa tayari alisema na kuongeza kwa sasa hatupo tayari kutoa taarifa katika vyombo vya habari UNK wananchi tutatoa taarifa ya maamuzi hayo baada ya kuridhian... |
hivi karibuni mtendaji mkuu wa tanroad bwana ephraem mrema alipuuza maagizo ya bodi ya tanroads na UNK kazi wakurugenzi na mameneja wa mikoa bila kufuata utaratibu za utumishi serikalini |
awali alitii agizo la kusitisha UNK baadaye alibadili maamuzi yake na kuwafukuza ambayo UNK mkanganyiko ndani ya bodi ya tanroad na wizara ya miundombinu |
sakata hilo liliingia katika sura mpya baada ya kuwa na mgongano kati ya bodi ya tanroads bwana mrema na wizara ya miundombinu ambapo oktoba thebathini mwaka huu bwana mrema aliitisha kikao cha wafanyakazi na kutangaza kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji waandamizi na baadhi ya mameneja |
waliokubwa na sakata hilo ni pamoja na mkurugenzi wa matengenezo ya barabara bwana thomas mosso mkurugenzi wa mipango bwana jason rwiza meneja wa tanroads mkoa wa dodoma bwana gerson lwenge mkoa wa morogoro bwana charles madinda mkoa wa ruvuma bwana abraham kissimbo na mhandisi makao makuu tanroads bwana william shill... |
katibu mkuu wa chama cha UNK taifa bwana yussuf makamba amekerwa na kitendo cha chama cha wananchi kushinda UNK kimoja kati ya kumi na tano vilivyomo katika kijiji cha mdaula kata ya chalinze bagamoyo mkoani pwani |
bwana makamba UNK baada ya kusikia taarifa hiyo ambayo kwake ni mbaya kwa kuwa eneo hilo ndiko anakotoka mwenyekiti wa ccm rais jakaya kikwete |
hivi mwenye chama chake rais jakaya kikwete akifika hapa UNK kitu gani kutokana na makosa UNK na kupoteza kitongoji |
alihoji |
bwana makamba aliendelea kijijini kwangu wana ccm wenyewe walianza kujiuliza endapo watapoteza hata kitongoji kimoja nini UNK iweje hapa ambako ndiko alikotoka mwenye chama chake |
bwana makamba ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa na rais alitoa kauli hiyo baada ya kusikia maelezo ya mwenyekiti wa ccm kata ya chalinze bwana nassa tamimu kuwa wameshinda kwa kishindo katika vitongoji kumi na nne lakini wakapoteza kimoja UNK na cuf katibu mkuu huyo aliyekuwa safarini kuelekea morogoro alisimama kwa d... |
aliwataka wana ccm wa kijiji hicho kuwa karibu na mfanyabiashara bwana nilesh suchak kwa kile alichoeleza kuwa amekuwa na mchango mkubwa wa kuhakikisha chama hicho UNK kwa kuwa na miradi |
taarifa ya UNK wa kata bwana nassa tamimu imeeleza kuwa ndugu yetu suchak amekuwa mstari wa mbele katika kukiletea maendeleo chama hiyo ni faraja hivyo nawaomba watu kama hawa UNK vizuri kwani ni tunu tuliyopewa wana ccm alisema |
kwa upande wake bwana suchak alisema kuwa ataendelea kujitolea kwenye shughuli mbalimbali za kimaendeleo ndani ya chama na katika jamii ikiwa na lengo la kuona kijiji hicho kinapiga hatua kuelekea katika maendeleo |
polisi mkoani kilimanjaro wameua watu wawili na wengine wawili kutoroka katika kile walichoeleza yalikuwa majibizano ya risasi na majambazi walioteka baa na kuwapora wateja |
waliouawa katika tukio hilo ni antony mandela maarufu kama mandeu mkazi wa UNK katika manispaa ya moshi na peter massawe maarufu kama mashaka mkazi wa rongai wilayani rombo |
miili yao imehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya UNK |
kamanda wa polisi mkoani humo bwana lucas ng hoboko alisema tukio hilo lilitokea jana saa nne sifuri sifuri usiku eneo la baa ya UNK iliyopo soweto mjini moshi ambako majambazi walikuwa wamevamia kuwateka wateja na kumjeruhi kwa risasi mtu mmoja bwana wilfred charles ambaye amelazwa katika hospitali ya mawenzi na hali... |
kamanda ng hoboko alisema majambazi hao walikuwa wanne wakiwa na bunduki aina ya short gun yenye risasi kumi na sita na bastola ambayo walikuta maganda matatu ya risasi zake katika eneo la tukio |
wakati majambazi hao wakiendelea kuwapora wateja polisi walipata taarifa na kuwahi katika eneo la tukio na kukuta uporaji ukiendelea na kutoa amri ya kuwataka wahusika kujisalimisha lakini walikaidi na kuwafyatulia askari risasi |
kutokana na jeuri ya majambazi wale polisi nao walijibu na majibizano yaliendelea kwa muda kidogo ndipo polisi walipofanikiwa kuwauwa wawili kati ya wanne |
juhudi za kuwasaka waliokimbia zinaendelea alisema |
kamanda ng hoboko aliwataja watu wawili wanaotafutwa wakihusishwa na tukio hilo kuwa ni UNK hendry mkazi wa UNK kibosho na mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la emmanuel maarufu kama UNK |
bwana ng hoboko alisema watuhumiwa waliokimbia walitoroka na bastola moja na mali ndogo ndogo zilizoporwa eneo la tukio |
uchunguzi wa awali wa polisi ulibainisha kwamba majambazi hao walikuwa wakishiriki katika matukio mbalimbali ya uhalifu mkoani humo ingawa pia polisi ilikuwa ikimsaka mmoja wa majambazi hao UNK |
baada ya kuuawa mandeu alikutwa na bunduki aina ya short gun namba mv elfu themanini na nane na mia moja na arobaini na tatu h ikiwa na risasi kumi na sita ambayo UNK novemba nne kwa mlinzi wa kiwanda cha sukari tpc UNK katika lindo lake alisema |
mandeu pia anadaiwa kushiriki katika tukio jingine la ujambazi lililotokea novemba kumi na moja mwaka huu eneo la rongai kikavu wilayani hai nyumbani kwa fabian victor ambaye aliporwa bunduki aina ya UNK namba elfu ishirini na tatu na mia tisa na sabini na tisa na risasi ishirini na tano za UNK |
katika tukio hilo polisi UNK mmoja wa watuhumiwa ambaye ni abel UNK akiwa na silaha hiyo na alipohojiwa na alimtaja mandeu kwamba walishiriki pamoja katika tukio hilo alisema |
kamanda ng hoboko alisema baada ya mandeu kubaini kwamba polisi inamsaka alipiga simu kituo cha polisi na kueleza kuwa ameacha ujambazi na kusalimisha silaha aina ya shortgun namba mia nane na kumi na mbili iliyokatwa kitako na mtutu ikiwa na risasi tisa |
baada ya taarifa hiyo nilimwita mandeu ofisini kwangu ili tuzungumze lakini alikataa huku akisisitiza kuwa yeye si jambazi lakini UNK jana ni miongoni mwa watu waliouawa |
huu ni ushahidi kuwa hakuacha ujambazi alisema |
rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miaka mitatu jela iliyofunguliwa na mfanyabiashara deus mallya imeshindwa kuanza kusikilizwa jana kutokana na jaji aliyetakiwa kuisikiliza kesi hiyo kuwa mgonjwa |
hukumu UNK ilitolewa machi kumi na nane mwaka huu na hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya dodoma bwana thomas simba UNK ya mshtakiwa huyo kupatikana na hatia ya makosa mawili kuendesha gari kwa mwendo kasi na kusababisha kifo cha aliyekuwa mbunge wa tarime chacha wangwe |
mashtaka hayo yalitokana na ajali ilitokea julai ishirini na nane mwaka jana katika kijiji cha pandambili kongwa ambapo wangwe na bwana mallya walipata ajali wakiwa njiani kuelekea dar es salaam na mbunge huyo kufa pale pale |
bwana mallya alikata rufaa dhidi ya hukumu hiyo na sasa itasikilizwa januari nne ishirini moja sifuri na jaji mfawidhi wa kanda ya dodoma bibi mary UNK ambaye hakutokea jana kwa sababu ya maradhi |
awali akizungumza mbele ya msajili wa mahakama hiyo bwana richard UNK UNK rufaa hiyo mwanasheria wa serikali bibi maria UNK aliomba mahakama ipange tarehe nyingine ya kuanza kusikiliza rufaa hiyo |
akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama bwana godfrey wasonga ambaye ni wakili wa bwana malya alisema rufaa ya mteja wake ilichelewa kuanza kutokana na kucheleweshwa kwa hati ya hukumu |
mkurugenzi wa fedha wa benki kuu ya tanzania bwana julius andrew amesema malipo mengi makubwa yaliyofanywa katika ujenzi wa majengo mapacha ya benki hiyo yaliidhinishwa bila idhini ya bodi na aliyekuwa gavana marehemu daud balali |
shahidi huyo watatu kwa upande wa mashitaka alidai hayo jana alipokuwa akitoa ushahidi katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu watatu linaloongozwa na bwana edson UNK |
akiongozwa na mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa bwana ben UNK shahidi alidai julai kumi na moja mwaka ishirini sifuri sita alikuwa miongoni mwa waliohudhuria kikao cha bodi ya wakurugenzi |
alidai ajenda kuu ya kikao hicho ilikuwa kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo pacha ya bot ambapo menejimenti UNK |
bwana andrew alidai baada ya kuwasilisha taarifa hiyo bodi ilikemea matumizi yaliyofanyika nje ya bajeti iliyopangwa na UNK |
shahidi alidai malipo mengi makubwa UNK na bodi yaliidhinishwa na marehemu balali na mshitakiwa liyumba aliidhinisha malipo madogo madogo kulingana na utaratibu wa benki hiyo bila baraka za bodi |
alidai maoni na mapendekezo ya kufanyika kwa malipo hayo nje ya bajeti yalitoka kwa meneja wa mradi bwana deogratius kweka UNK kwa mkurugenzi wa utawala na utumishi bwana amatus liyumba na kumalizia kwa gavana wa bot wakati huo marehemu balali |
alidai malipo hayo yalifanyika bila kupata baraka za bodi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama za kodi ya vifaa vya ujenzi na sababu zingine za kitaalamu |
akiendelea na ushaidi alikubaliana na wakili wa utetezi bwana majura magafu wakati akimuhoji kwamba uamuzi wa mwisho kuhusu ujenzi wa majengo hayo ni wa bodi na mshitakiwa liyumba hakuwa na uwezo wa kutoa uamuzi |
UNK ya ushahidi huo upande wa mashitaka uliomba kuahirisha kesi hadi jumatatu na kwamba UNK maombi ya kuongeza idadi ya mashahidi badala ya kumi waliotaja awali |
mahakimu walikubali maombi yao na kesi hiyo itaendelea kusikilizwa jumatatu |
mshitakiwa katika kesi hiyo bwana amatus liyumba anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi yake na kusababisha hasara ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja moja kutokana na kuidhinisha malipo ya mradi huo bila idhini ya bodi ya wakurugenzi |
na hillary shoo singida mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake wa ccm mkoa wa singida bibi diana chilolo amesema madai kwamba misaada anayotoa mwenyekiti mtendaji wa kampuni za ipp bwana reginald mengi inalenga kumsafishia njia kisiasa ni upuuzi usio na msingi |
mwenyekiti huyo alitoa kauli hiyo juzi wakati akikabidhi kwa niaba ya bwana mengi hundi za misaada mbali mbali zenye thamani ya shilingi milioni mia moja na hamsini kwa vikundi mkoani hapa |
hafla hiyo iliyofanyika viwanja vya ccm mkoa |
watu wanaosema hayo ni kwamba hawajiamini katika uongozi wao na ni woga alisema bibi chilolo |
vikundi vilivyokabidhiwa hundi hizo na thamani yake kwenye mabano ni kikundi cha wenye ulemavu cha faraja kikundi cha wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi uwt saccos mkoa wa singida na kikundi cha wanaoishi katika mazingira hatarishi |
bibi chilolo alisema bwana mengi ni mtu safi ambaye si mwanasiasa na hana mawazo wala nia ya kuwania nafasi yoyote ya kisiasa |
alisema misaada anayotoa kwa makundi ya watu yenye mahitaji kama wenye ulemavu yatima na masikini ni moyo wake wa kuunga mkono juhudi za serikali kusaidia makundi mbalimbali kuondokana na umasikini |
ukiacha wadhifa wangu huu wa uenyekiti wa uwt mkoa mimi ni mbunge wa viti maalum mkoa na ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya ccm sijawahi kusikia wala kuona dalili yoyote inayoashiria kuwa bwana mengi UNK au mwenye nia ya kuomba uongozi yeye ni mtu safi wa kusaidia watu wenye shida mbalimbali na kufanya biashara ... |
alisema hatua ya kujitokeza kukemea na kulaani kwa nguvu zote mafisadi ni juhudi zake za kumuunga mkono rais jakaya kikwete na serikali yake katika vita dhidi ya watu wachache wenye uchu wa kutumia rasilimali ya nchi UNK |
kutokana na ukweli huo ndugu zangu ninyi wenye kutawaliwa na hisia na woga wa kutokujiamini acheni mambo hayo mwacheni bwana mengi aendelee na kazi yake ya kusaidia makundi haya yanayohitaji misaada kutoka kwa watu wema alisistiza |
aliyataka makundi UNK na misaada hiyo ya bwana mengi kuitumia vizuri kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo |
serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imesema inatarajia kufungua benki ya wakulima tanzania UNK kutoa fedha na mikopo kwa wakulima nchini |
hayo yalisemwa dar es salaam jana na daktari wa kilimo na mifugo manispaa ya ilala bwana UNK asenga wakati wa ziara ya ufunguzi wa mafunzo ya kilimo kwanza kata ya chanika |
bwana asenga alisema mpango huo ni mikakati ya serikali iliyojiwekea kwa lengo la kuwakwamua wananchi wake wa mijini na vijijini kama UNK benki ya wanawake |
miaka ya nyuma wakulima wa nchini walikuwa wakisaidiwa kwa asilimia kubwa na benki ya crdb ambayo kipindi lakini kipindi hichi serikali imejidhatiti kufungua benki ya wakulima kwani kilimo ni uti wa mgogo wa taifa letu alisema |
alisema kuwa asilimia kumi ya bajeti ya serikali kila mwaka inatenga kwa ajili ya wakulima ambapo fedha hizo zinapitia katika kila halmashauri za manispaa nchini |
naye bwana jeremiah UNK alisema malengo ya kilimo kwanza kwa wakulima ni kuongeza uzalishaji kwa hekta kwa kutumia zana za kisasa kama vile matrekta ya UNK tillers pamoja na kufundisha wahandisi wa umwagiliaji |
pia alisema wakulima na wafugaji wana majukumu ya utekelezaji wa dhana ya kilimo kwanza katika ngazi ya wilaya UNK kwenye utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kilimo ya wilaya chini ya mpango wa kitaifa wa uendelezaji wa sekta ya kilimo kampuni ya precision air imeendelea kupata mafanikio baada ya abiria wa ndani ku... |
akizungumza dar es salaam jana mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo bwana UNK UNK alisema kampuni hiyo imefanya maboresho kwa kununua ndege nne na kuongeza huduma za safari ndani na nje ya nchi hali iliyochangia kupata wateja wengi |
kampuni hii imenunua ndege nne kutoka kampuni ya atr nchini ufaransa ambapo mpaka kufikia julai mwakani kampuni itakuwa na ndege mpya saba alisema na kuongeza tuko katika mchakato wa kuboresha huduma zetu ikiwa ni pamoja na kubadili vitendea kazi vya zamani kwa kuleta vipya pia safari za kigoma na tabora UNK kwa muda ... |
tumeadhimia kupanua huduma ya safari zetu ili zifike sehemu nyingi zaidi tumenunua ndege aina ya UNK mia saba na thebathini na saba ambayo itafanya safari kati ya afrika kusini lubumbashi na lusaka alisema |
meneja wa mawasiliano wa kampuni ya kusambaza vifaa vya maji bibi desta laiser amesema kushindwa kwa miradi mingi ya visima kunachangiwa wakandarasi na washauri wanaoshindwa kutoa ushauri sahihi katika ununuzi ya sampuli na mashine zinazofaa |
akizungumza katika semina ya wahandisi dar es salaam jana bibi desta laiser alisema ni makosa kutoa ushauri usio sahihi katika miradi hiyo kwani kunasababisha upotevu wa fedha za wahisani na serikali |
tumeamua kutoa semina hii baada ya kugundua kuwa washauri na wahandisi wengi wa maji wamekuwa wakichangia kukwamisha miradi kwa kushindwa kutoa ushauri mzuri katika manunuzi ya vifaa alisema bibi UNK |
alisema kampuni yake imeamua kutoa semina hiyo kwa wahandisi wa maji kutoka katika mikoa ya tabora singida dodoma arusha na dar es salaam ili kuwapa elimu itakayowasaidia kubaini makosa hayo |
bibi laizer alisema kampuni yake imepata malalamiko kutoka katika maeneo mbalimbali ya vijiji kuhusu mashine UNK kwa ajili ya visima kuwa ni vibovu lakini baada ya uchunguzi walibaini kuna tatizo katika utoaji wa ushauri au takwimu za vipimo wakati wa manunuzi |
kampuni hiyo inasambaza vifaa ikiwa ni pamoja na mita za maji mabomba vifaa vya umeme wa jua jenereta na kuchimba visima pia ilizindua pampu mpya na ya kisasa kwa ajili kuvuta maji katika kisima chenye urefu wa mita thebathini sifuri benki ya taifa ya biashara kupitia mpango wake endelevu wa kuchangia maendeleo ya jam... |
akizungumza wakati wa kukabidhi dar es salaam jana mhasibu wa nbc tawi la mbezi beach bibi UNK kibisa alisema benki ya nbc imejiwekea mikakati ya kuinua kiwango cha elimu nchini hasa katika shule za msingi na sekondari ambazo mara nyingi hukabiliwa na upungufu wa vitendea kazi |
bibi kibisa alisema benki imetoa msaada huo wa vitabu ambao utawawezesha watoto kupata fursa ya kuazima vitabu kwa kujisomea wenyewe na kuelewa |
sisi mpango wetu endelevu wa kuchangia maendeleo ya jamii hasa UNK katika kutoa misaada ya kimaendeleo inayolenga miradi ya kielimu yenye thamani ya kuanzia shilingi milioni mbili tano au zaidi ya hapo katika shule mbalimbali na tutaendelea kusaidia pale UNK alisema |
akipokea msaada huo kwa niaba ya shule ya msingi wanafunzi na walimu wengine mwalimu mkuu wa shule hiyo bibi UNK UNK alitoa shukrani za kipekee kwa nbc kwa kuwapa vitabu ambavyo vitawawezesha kujifunza na kuinua kiwango chao cha elimu kwa ujumla |
hatimaye watalaamu wa chuo kikuu cha kilimo sokoine wanatarajia kwenda kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini kama kuna mabomu yaliyosalia katika eneo la mbagala |
mabomu hayo yalisambaa kutokana na milipuko iliyotokea aprili ishirini na tisa mwaka huu baada ya ghala ya kuhifadhia silaha la katika kambi ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania lililoko mbagala kizuiani kulipuka na kusababisha vifo vya watu ishirini na sita kuteketeza nyumba mali na ulemavu wa kudumu kwa baadhi... |
siku chache baada ya milipuko hiyo watalaamu wa chuo hicho walisema UNK kupeleka panya waliofuzu mafunzo ya kutambua mabomu kwa sababu wangeweza kuchanganyikiwa kutokana na harufu ya mabomu yaliyokuwa yanaendelea kulipuka |
akizungumza dar es salaam jana na waandishi wa habari makamu mkuu wa chuo hicho profesa UNK monela alisema kwa sasa hali imetulia hivyo wataangalia uwezekano wa panya kufanya shughuli hiyo |
kwa mwanzo panya wasingeweza na UNK kwani bado kulikuwa na harufu fulani ya moshi wa mabomu kila mahali UNK kwa sasa tutajaribu kufanya hivyo alisema |
napenda kusema kuwa uwezo wa panya hao ni mkubwa lakini wanafanya kazi ya kugundua bomu moja moja na kwa kufanya hivyo itasaidia kubaini mabomu yaliyosalia ili tuweze UNK na kuwaondoa hofu wakazi wa mbagala ambao kwa sasa wanakaa kwa hofu ya kulipuka kwa bomu alisema profesa monela |
profesa monela alikuwa anazungumzia maadhimisho ya miaka ishirini na tano ya chuo hicho yatakayofanyika novemba ishirini na tatu mwaka huu yakiambatana na maonesho ya wazi ambayo yatasaidia wananchi kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya kilimo mgeni rasmi akiwa waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi profesa jum... |
mtu mmoja amekufa na wengine kumi na nne wamelazwa katika vituo vya kutibu ugonjwa wa UNK katika jiji la dar es salaam huku wilaya ya temeke ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa saba |
kaimu mganga mkuu wa jiji la dar es salaam daktari hawa kawawa alisema hadi kufikia jana wilaya ya temeke ndiyo inaongoza kwa kuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa ina wagonjwa saba waliolazwa katika vituo vya afya wakati manispaa ya ilala ina wagonjwa wa nne na kinondoni mmoja |
maeneo yaliyokumbwa na ugonjwa huo ni pamoja na pugu vingunguti tabata buguruni kipawa mchikichini jangwani na ukonga |
maeneo mengine ni tandale manzese UNK na kunduchi kibaoni katika manispaa ya kinondoni wakati katika manispaa ya temeke ugonjwa huo upo mbagala kuu mbagala mission makangarawe na UNK |
daktari kawawa alisema kuwa wananchi wanatakiwa kuweka mazingira safi wakati wa kipindi cha mvua ili ugonjwa huu usienee kwa kasi kwani maeneo UNK maji watu wanaweza kuathirika zaidi |
aliwataka wakazi wa dar es salaam waache tabia ya kula ovyo katika maeneo ambayo siyo safi na kuepuka kula matunda yanayosambazwa mitaani kwani yanaweza kusababisha kuenea kwa ugonjwa huo |
idara zinazohusika na takwimu nchini zimetakiwa kutoa taarifa kwa wakati muafaka badala ya kusubiri mwisho wa mwaka ili kuwezesha kufanyika kwa mipango mbalimbali ya maendeleo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.