text stringlengths 1 1.32k |
|---|
wito huo ulitolewa dar es salaam juzi na katibu mkuu wa wizara ya fedha na uchumi bwana ramadhan kijjah katika maadhimisho ya siku ya takwimu afrika ambayo huadhimishwa novemba kumi na nane kila mwaka |
bwana kijjah alisema takwimu zinapotolewa kwa wakati muafaka zitasaidia UNK sera na watoa maamuzi kupanga mipango yao ya maendeleo UNK |
bila takwimu hatujui tumetoka wapi tuko wapi na tunakwenda wapi takwimu zitasaidia kufanya uboreshaji ili kufikia malengo tuliyojiwekea iwapo zitatolewa kwa wakati muafaka alisema |
alisema utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya millenia unategemea sana jinsi tunavyoweza kuandaa takwimu zetu |
akizungumzia suala la vitambulisho vya utaifa |
bwana kijjah alisema mpango huo utakapo kamilika utasaidia kupunguza tatizo la uhamiaji haramu |
tunaingia katika jumuiya ya afrika mashariki wenzetu wana vitambulisho sisi hatuna itakuwa vigumu sana kumtambua mtanzania pasipo kitambulisho hicho alisema |
alisema gharama zinazotumika kuandikisha wapiga kura kila mara zinaweza UNK iwapo kila mtanzania atakuwa na kitambulisho cha utaifa |
aidha bwana kijjah alisema kuwa vitambulisho hivyo UNK kupunguza ufisadi kwa kuwa taarifa za kila mtanzania zikiwemo za kifedha UNK kupitia kitambulisho hicho |
kwa upande wake kaimu mkurugenzi ofisi ya taifa ya takwimu bwana stanley UNK alisema UNK yake UNK changamoto nyingi katika ukusanyaji wa takwimu likiwemo suala la ubovu wa miundombinu na baadhi ya idara kukusanya takwimu UNK na matakwa yao tu |
kauli mbiu ya mwaka huu ni uimarishaji wa mfumo wa takwimu za raia uzazi na vifo katika kusaidia maendeleo ya taifa na malengo ya millenia afrika ambapo idara mbalimbali wa takwimu zilishiriki |
hukumu dhidi ya washitakiwa kumi na moja wanaokabiliwa na kesi ya wizi wa mamilioni ya fedha za benki ya nbc ubungo itatolewa desemba kumi na saba mwaka huu |
uamuzi huo ulitolewa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa kwa ajili ya kupangwa siku ya hukumu |
mwanzoni mwa mwezi huu pande zote zinazopingana UNK ushahidi na kuwasilisha majumuisho ya kesi ambapo upande wa mashitaka uliiomba mahakama kuwaachia huru washitakiwa watatu baada ya kupitia ushahidi kwa makini na kuona hakuna ushahidi wa kuweza kuwatia hatiani |
miongoni mwa walioombewa kuachiwa huru ni hussein masoud UNK kuwa UNK mashtaka baada ya kuwadai polisi UNK dawa za kulevya UNK nazo |
wengine ni rahma galus na martin mndasha kwa sababu ya kukosa ushahidi |
maombi hayo yaliwasilishwa na wakili wa serikali bwana edgar luoga alipofanya majumuisho ya kesi mbele ya hakimu UNK khaday anayesikiliza kesi hiyo |
alidai katika mashahidi wote ishirini waliofika mahakamani hakuna UNK kuwa washitakiwa walihusika katika wizi huo |
wakili huyo aliomba mahakama UNK hatiani washitakiwa wengine tisa waliobakia kwa sababu walikiri kuhusika na walisaidia kupatikana kwa silaha zilizotumika siku ya tukio pia mashahidi wote waliwatambua washitakiwa kwa kuwa wakati wa uhalifu huo hawakuficha nyuso zao |
kesi hiyo ilifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza juni ishirini sifuri sita ambapo ramadhani abdulrahaman na wenzake kumi wanadaiwa kupora shilingi mia moja na sitini na nane mia tano na sabini na saba mia mbili na sabini na tano themanini na nne mali ya benki nbc upungufu wa umeme katika gridi ya taifa umepungua ku... |
upungufu huo uliotokana na kuharibika kwa moja ya mitambo ya kampuni ya songas ubungo na ile ya kihansi na hale na kusababisha kero kubwa kwa watumiaji wa nishati hiyo na kupanda wa bidhaa h |
meneja mawasiliano wa tanesco bibi badra masoud alisema jana kuwa makali ya mgawo wa umeme yamepungua kutokana na ongezeko hilo la umeme kwenye gridi ya taifa |
alisema hali hiyo imetokana na kuongezeka kwa uzalishaji katika mitambo iliyokuwa imeharibika ya kihansi mtera hale na songas hivyo kusababisha upungufu wa megawati kushuka kutoka megawati mia moja na hamsini hadi hamsini |
hata hivyo hakuwa tayari kubainisha muda ambao mgao wa umeme utaendelea kuwaathiri wateja wa shirika hilo bali alisema hadi sasa megawati zinazopatikana katika gridi ya taifa ni zaidi ya hamsini sifuri mkurugenzi mtendaji wa shirika la makazi la umoja wa mataifa profesa anna tibaijuka wiki ijayo atakabidhiwa tuzo ya m... |
profesa tibaijuka ambaye ni mmoja wa watanzania wanaoshikilia nyadhifa za juu katika jumuiya za kimataifa atapokea tuzo hiyo mnamo novemba ishirini na nne mwaka huu mjini goteborg sweden |
kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotiwa saini na afisa habari wa un habitat bibi zahra hassan profesa tibaijuka atakuwa mmoja wa watu watatu ambao watapokea tuzo hiyo kutokana na mchango wao katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazokabili mazingira hususani ukuaji wa miji UNK kwa kasi duniani |
mwaka huu tuzo hiyo imelenga zaidi masuala ya changamoto zinazosababishwa na ukuaji wa miji duniani kwa kuwa nusu ya watu wote duniani wanaishi katika miji na majiji huku idadi hiyo UNK kuongezeka kwa theluthi mbili ndani ya miongo mitatu ijayo |
zaidi ya kuchafua mazingira ukuaji wa miji pia unachangia kwa kiasi kikubwa miji ndiyo iko katika hatari kubwa ya kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa pindi yanapotokea ilisema sehemu ya taarifa hiyo |
wengine UNK tuzo hiyo pamoja na profesa tibaijuka ni UNK UNK kutoka colombia na soren UNK kutoka denmark |
washindi waliopita wa tuzo hiyo ni aliyekuwa makamu wa rais wa marekani al UNK na UNK UNK UNK |
na benedict kaguo tanga jeshi la polisi mkoani tanga limewatia mbaroni nahodha na mmliki wa jahazi la amana pemba lililoteketea kwa moto na kuzama baharini wakati likisafiri kutoka tanga kwenda zanzibar usiku wa aprili kumi na nne mwaka huu na kusababisha vifo vya watu kadhaa |
jahazi hilo lenye namba za usajili z mia saba na thebathini na tatu linalomilikiwa na bibi sabiha salehe suleiman likiongozwa na nahodha wake bwana ngwali haji ali mkazi wa pemba UNK katikati ya bahari ya hindi na kusababisha vifo vya abiria ambao hadi sasa idadi kamili haijafahamika UNK wengine |
akizungumza jana na majira makao makuu ya polisi mkoa wa tanga kaimu kamanda wa polisi wa polisi bwana simon mgawe alisema UNK na nahodha huyo UNK polisi juzi jioni |
kamanda mgawe aliongeza kuwa katika maelezo ya awali nahodha wa jahazi hilo alisema chanzo cha ajali ni hitilafu iliyotokea kwenye injini na kusababisha magodoro yaliyokuwa ndani kushika moto kisha jahazi lote kuteketea na kuzama |
hata hivyo nahodha huyo hakutaja idadi kamili ya abiria waliokuwamo kwani chombo hicho ni maalum kwa ajili ya kusafirisha mizigo |
kamanda mgawe alisema watuhumiwa hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili |
katika hatua nyingine serikali ya mapinduzi ya zanzibar imewataka abiria wa vyombo vya usafiri majini kutumia vilivyosajiliwa kisheria ili linapotokea tatizo iwe rahisi kwa waathirika wa kupata haki stahiki |
naibu katibu mkuu ofisi ya waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar bwana UNK abdallah hamisi alitoa rai hiyo juzi alipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa wa tanga kujua kiini cha ajali hiyo |
alisema hadi sasa hawajapata taarifa zozote za kupatikana miili ya watu hao na kuwataka wananchi kukata tiketi wanaposafiri kwa kutumia vyombo vilivyosajiliwa kisheria ili kupunguza uwezekano wa kupoteza haki zao |
viongozi wa smz wako tanga kutathmini ajali hiyo |
maadhimisho ya miaka ishirini mkataba wa kimataifa wa haki ya mtoto unafanyika leo duniani wakati tanzania ikiwa imetekeleza mkataba huo kwa bunge la kupitisha sheria ya haki ya mtoto hivi karibuni |
mwakilishi wa unicef nchini bwana UNK laakkonen alisema jana dar es salaam kuwa wakati dunia ikiadhimisha kufikiwa mkataba huo uliofikiwa mwaka elfu moja na mia tisa na tisini tanzania inajivunia mafanikio kuzingatia haki ya mtoto ya kuishi afya watoto wenye ulemavu na kuwakinga na maambukizi ya vvu bwana laakkonen al... |
alisema tanzania pia imepiga hatua katika utekelezaji wa haki ya mtoto ya kupatiwa elimu ya msingi bila malipo ulioanza mwaka ishirini sifuri moja na watoto wanaotoka kwenye familia duni kiuchumi kuandikishwa shuleni |
mwakilishi huyo alisema bado ipo haja ya kuinua ubora wa elimu na kupunguza tofauti za uwezo wa kimapato ili watoto wote UNK nafasi ya kujiunga na elimu |
alisema watoto wenye ulemavu na wale wanaotoka katika makabila ya wafugaji UNK na wanaotoka katika familia zilizoathiriwa na vvu na ukimwi mara nyingi ndio ambao hushindwa kuhudhuria shuleni na idadi kubwa ya watoto hao hukatisha masomo kabla ya kuhitimu elimu ya msingi |
bwana laakkonen alisema hata hivyo kuna mabadiliko yanayokuja tanzania ambako wanafunzi wa kike ambao watapata ujauzito na kujifungua watakuwa na haki ya kurejea shuleni na kukamilisha elimu yao na kuongezeka idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya sekondari |
mkurugenzi mkuu wa unicef duniani bwana ann veneman alisema UNK kusikia nchi nyingi UNK mkataba wa haki ya kuwahudumia mtoto |
bwana veneman akizungumza kutoka new york marekani jana alisema idadi ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano duniani imeshuka kutoka milioni kumi na mbili tano mwaka elfu moja na mia tisa na tisini hadi milioni nane nane mwaka ishirini sifuri nane ikiwa ni asilimia ishirini na nane na kati ya mwaka elfu moja na mia ... |
serikali ya oman imeahidi kuendeleza ushirikiano kati yake na tanzania katika nyanja mbalimbali ili kufikia ustawi wa wananchi wa nchi zote mbili |
hayo yalisemwa juzi usiku dar es salaam na balozi wa nchi hiyo nchini bwana yahya UNK al UNK alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya sherehe kuadhimisha miaka thebathini na tisa ya kumbukumbu ya sultan wa oman |
tuko katika mchakato wa kusaini mikataba miwili ambao mmoja utahusu masuala ya kodi na mwingine utahusu kupeana mazingira mazuri ya uwekezaji |
pia hivi karibuni tumetoka kusaini mkataba wa makubaliano kuhusu ushirikiano wa kibiashara kwa hakika tunafanya biashara vizuri alisema bwana al UNK |
akizungumzia masuala ya siasa za zanzibar hasa baada ya kuulizwa kwa kuwa oman imekuwa na mahusiano ya UNK na watu wa visiwa hivyo alisema kuwa wanategemea nchi hiyo itafanya uchaguzi wenye amani |
ingawa UNK sana na masuala ya ndani ya nchi huko zanzibar lakini tumekuwa UNK mkono juhudi za serikali ya zanzibar katika kuleta amani miongoni mwao |
bila shaka tunategemea watafanya uchaguzi wa amani |
pia alizungumzia juu ya utaratibu wa kubadilishana wanafunzi kati ya nchi yake na tanzania ambapo alisema kuwa katika utaratibu wa kuanzisha nafasi za masomo ili wanafunzi kutoka tanzania waweze kwenda kusoma oman |
akizungumzia juu ya mkutano wa copenhagen denmark juu ya mabadiliko ya tabia nchi balozi huyo alisema kuwa msimamo wa nchi yake ni kuona kuwa hatua madhubuti zinachukuliwa na jumuiya ya kimataifa ili kusaidia dunia kuepuka madhara ya mabadiliko yao |
askofu mkuu wa kanisa anglikana tanzania daktari valentino mokiwa ametangaza masharti anayopaswa kutimiza rais mstaafu bwana benjamini mkapa ili watanzania wamsamehe kutokana na kashfa zinazomwandama |
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana askofu mokiwa alisema ili bwana mkapa hajajutia makosa yake na kuonesha moyo wa toba ili asamehewe |
alisema ili kiongozi huyo asamehewe serikali ya awamu ya nne inapaswa kuboresha huduma zote za jamii ikiwa ni pamoja na kukomesha mgawo wa umeme kuboresha vituo vya afya na kumaliza kero zote zinazowakabili watanzania |
kauli ya daktari mokiwa imekuja siku moja baada ya rais mkapa kukaririwa akisema tuhuma zote zinazomwandama na mambo yote yanayosemwa kuhusu utawala wake anamwachia mungu |
bwana mkapa alitoa kauli hiyo wakati akimkaribisha makamu wa rais daktari ali mohamed shein kufungua mkutano wa kujadili hali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi nchi jijini dar es salaam juzi |
tuhuma zinazomkabili bwana mkapa ni pamoja na kutajwa kusajili kampuni ya anben anayoimiliki na mkewe mama anna na kufanya biashara akiwa ikulu |
rais mkapa pia anatuhumiwa kushirikiana na aliyekuwa waziri wake wa nishati na madini bwana daniel yona kupitia kampuni ya tanpower resources kununua mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya shilingi bil |
nne kwa bei poa ya shilingi milioni sabini sifuri na kulipa shilingi milioni sabini tu |
tayari serikali imetangaza kurudisha mgodi huo |
kiongozi huyo pamoja na serikali yake kujipatia mafanikio makubwa kiuchumi amekuwa akitajwa kutumia madaraka kwa kuiongezea mkataba kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ambayo mkaguzi mkuu wa hesabu za serikalia bwana ludovick utouh alisema ilikiuka sheria ya manunuzi ya mwaka ishirini sifuri nne askofu m... |
mkapa angekiri makosa aliyofanya wakati wa uongozi wake angekuwa sahihi nikifikiri ukimya wake wa muda mrefu alikuwa anatafakari nini cha kuwambia watanzania lakini jibu lake limekuwa tofauti na matakwa ya watanzania kwani anasema tuhuma zote anamwachia mungu huko si kukiri alisema askofu mokiwa aliongeza kuwa alitara... |
ameishauri serikali kuwachunguza viongozi walioko madarakani na wale walio nje kama ili wachukuliwe hatua kama wamekwenda kinyume taratibu za uongozi |
kuna viongozi wengine wamekuwa wakipiga kelele majukwani kuhusu mkapa lakini hatujui usafi wao uko vipi bora tumeambiwa rais mkapa alinunua magodi wa kiwira na uko hapa tanzania kama ungekamilika ungeajiri watu wetu je hawa wanaojenga majumba nje tunawafanyaje kwani hayatusaidii |
watanzania wanataka kujua kampuni ya kagoda na meremeta zinamilikiwa na nani |
serikali ina maslahi gani kwa ticts hadi waikumbatie kiasi hicho |
bado kuna trl inatusumbua na wahusika wapo |
dawa katika vituo vya afya hakuna umeme wa uhakika hakuna na mambo mengine yasiyo na maslahi kwa watanzania |
alisema askofu mokiwa |
kwa upande wake daktari sengondo mvungi alisema huu si wakati wa kutafuta mchawi tugange yajayo kwani rais mkapa alikosa kutokana na makosa yaliyosababishwa na katiba |
alisema katiba ya sasa inampa madaraka makubwa rais wa nchi hali ambayo inamfanya ajikute anaingia katika kashfa iwapo kila rais aliyepita atachuguzwa atakutwa na makosa ambayo yanatokana na mfumo wa katiba iwe kwa rais wa awamu ya pili alhaji ali hassan mwinyi bwana mkapa au rais jakaya kikwete |
alisema kutokana na katiba nchi imekuwa na matatizo mengi yanayotokana na miundombinu ya utawala bora hivyo mambo mengi yanayofanywa ni ovyo kutokana na katiba na kushauri kubadilishwa katiba |
naye mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro alisema kwa kuwa rais mkapa ametambua makosa yake naye ni binadamu ambaye si mkamilifu sasa amefungua ukurasa mpya na imekuwa fundisho kwa wengine watakaofanya makosa wakiwa madarakani |
bwana kimaro ndiye aliyeibua hoja bwana mkapa kununua mradi wa makaa ya mawe kiwira kwenye mkutano wa kumi na moja wa bunge huku baadhi ya wabunge wakiunga mkono hoja hiyo na kushinikiza kiongozi huyo avuliwe kinga na kushitakiwa kwa kufanya biashara akiwa madarakani |
wakati mji wa arusha ukiwa katika hekaheka ya ugeni wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki polisi mkoani hapa wamezima tukio la ujambazi UNK kufanywa chini ya uratibu wa mganga maarufu wa kienyeji wa jijini dar es salaam |
katika tukio hilo lililofananishwa na sinema askari wa kikosi cha pikipiki zaidi ya kumi kwa kushirikiana na askari kanzu iliwachukua zaidi ya saa tano kufuatilia nyendo za watuhumiwa na kufanikiwa kuwanasa wakiwa katika baa moja eneo la UNK huku moja ya risasi ya bastola yao ikiwa tayari UNK |
watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi sugu akiwemo mganga huyo wa kienyeji walinaswa wakiwa na bastola hiyo na risasi tisa rungu panga na tunguri wakiwa katika harakati za kuvamia kwa mfanyabiashara moja maarufu mjini arusha |
kwa mujibu wa shuhuda mmoja wa tukio hilo UNK na kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa arusha bwana leonard paul watu hao walikutwa katika baa ya zumbukuku wakiendelea na vinywaji kujiandaa na uvamizi huo na UNK |
kamanda paul lisema juzi jioni kuwa watuhumiwa hao pia walikutwa na gari aina ya toyota corolla t mia moja na hamsini na tatu any UNK kutumika katika uporaji huo na pikipiki aina ya UNK UNK mia mbili na hamsini t mia tatu na sabini na tano UNK ambayo huitumia kwa uchunguzi kabla ya kufanya uharamia wao |
waliokamatwa wakihusishwa na tukio hilo ni bwana UNK omari mkazi wa kibonde maji jijini dar es salaam anayesadikiwa kuwa ndiye mganga wao bwana frank UNK bwana fredy mkenya wote wa sombetini arusha bwana gift mushi wa sakina na bwana UNK msechu wa makao mapya mjini hapa |
kuondoa huyo mganga hao wengine wanne UNK katika baa ya zumbukuku iliyopo kwa mromboo wakijiandaa kufanya uvamizi huo baada ya kupata taarifa za kiuchunguzi kutoka kwa timu yetu na kufuatilia nyendo zao kabla ya kuwatia mbaroni alisema kamanda paul |
wakulima wawili wakazi wa kijiji cha UNK kata ya UNK singida vijijini bwana UNK mathias na bwana joseph UNK wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja na kisha kumuua |
mwanamke huyo lucia UNK alipoteza maisha kutokana na kubakwa huku akiwa UNK mdomo kwa matambara UNK shingo hivyo kukosa pumzi kutokana ugomvi wa mashamba |
kamanda wa polisi mkoani hapa bibi celina kaluba alisema tukio hilo lilitokea juzi saa kumi na mbili jioni huko katika kijiji hicho |
alisema siku ya tukio hilo kaka wa marehemu bwana peter petro mkulima wa kijiji hicho aligundua kuuawa kwa dada yake na chanzo cha mauaji hayo kinachosadikiwa kuwa ni ugomvi wa mashamba baina ya marehemu na watuhumiwa hao |
baada ya mwili wa marehemu kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya mkoa wa singida ilibainika kuwa alibakwa kubakwa na shingo yake ilikuwa UNK |
watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote mara baada ya upelelezi kukamilika |
kampuni ya UNK corporation ya malaysia inayomiliki mitambo ya kampuni binafsi ya kuzalisha umeme yenye asilimi sabini ya hisa katika kampuni hiyo imekubali mitambo yake kubadilishwa ili iweze kutumia gesi asilia badala ya mafuta |
taarifa hiyo imetolewa kwenye vyombo vya habari jana dar es UNK na wizara ya nishati na madini ilifafanua kuwa kampuni hiyo ilitoa ridhaa hiyo oktoba kumi na tatu mwaka huu ili yafanyike mabadiliko yaliyokusudiwa |
kutokana na makubaliano hayo mpango wa kubadilisha utaanza kutekelezwa sambamba na mradi wa kuongeza kuongeza miundombinu ya kusafirisha gesi asili kutoka kisiwani songosongo ili kukabili kuongezeka kwa mahitaji ya gesi hiyo katika jiji la dar es salaam |
mradi wa kusafisha na kusafirisha gesi asili uko kwenye mchakato unaoendeshwa na mdhibiti wa sekta za nishati na maji alisema sehemu ya taarifa hiyo |
taarifa hiyo ambayo UNK na mtu yeyote lakini ikiwa na nembo rasmi ya serikali ilikuwa inafafanua habari zilizoandikwa na vyombo vya habari likiwamo gazeti hili UNK kamishna wa nishati bwana bashir mrindoko akisema kuwa mgogoro uliopo mahakamani kati ya serikali na iptl ndio unakwamisha mitambo hiyo kubadilishwa na kua... |
kuhusu UNK kwa mitambo ya iptl kutumia gesi asili badala ya mafuta ni suala la kihistoria |
sababu ya msingi siku za nyuma iliyokwamisha kubadilishwa kwa mitambo hiyo ilikuwa ni kwa wenye mitambo kutotoa ridhaa ya kufanyika mabadiliko yaliyokusudiwa UNK sehemu ya taarifa hiyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.