text
stringlengths
1
1.32k
kukubali kwa iptl kubadili mitambo hiyo kunaweza kuwa ni mwanza wa serikali kupunguza gharama za kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila siku zinatumika lita hamsini sifuri sifuri sifuri sifuri kupata megawati kumi sifuri endapo kila lita inauzwa shilingi moja ishirini sifuri kila siku mitambo hiyo UNK shilingi...
umeme unaozalishwa wakati wa majaribio ya kituo hicho unaingizwa kwenye gridi ya taifa na kufikia novemba kumi na tisa mwaka huu jumla ya megawati ishirini na sita zimekuwa zikizalishwa na kuingizwa kwenye UNK
kwa mujibu wa taarifa hiyo mchakato wa majaribio ya kuzalisha unatarajiwa kuendelea hadi kukamilisha megawati arobaini na tano mwisho wa mwezi huu
hata hivyo taarifa hiyo ya wizara inapingana na iliyotolewa na shirika la umeme iliyosema kwamba kinachofanyika sasa kwenye mtambo wa tegeta ni majaribio ya kiufundi na kwamba bado mtambo huo haujaanza kufanyakazi na umeme wake UNK rasmi kwenye gridi ya taifa
barua pepe iliyotumwa juzi kwa gazeti hili na meneja mawasiliano wa tanesco badra masoud ilisema taarifa za kuanza kufanya kazi rasmi na umeme wa mtambo huo kuingia katika gridi zitatolewa baadaye baada ya majaribio ya kiufundi kukamilika na mtambo huo kuanza kazi rasmi na si vinginevyo
mtambo wa umeme unaotumia gesi wa tegeta una injini tano na kila moja inakadiriwa kuzalisha megawati nane saba na leo jumatano novemba kumi na nane injini tatu zinatarajiwa kufanyiwa majaribio ilisema
na israel mwaisaka mtafaruku mkubwa umezuka ndani ya kikao cha kamati ya maadili ya chama cha mapinduzi wilayani kyela uliosababisha polisi kuingilia kati na kumwokoa katibu wa chama hicho wilaya bibi maria UNK
polisi walichukua hatua hiyo baada ya bibi mwambanga kupokea kipigo kutoka kwa wanachama hao waliomtuhumu kuwa ni kibaraka wa baadhi ya wanasiasa huku wajumbe wengine UNK makonde wao kwa wao
kikao hicho cha kamati ya maadili UNK makatibu kata wa chama hicho wa kata za kyela mjini UNK UNK UNK katumba songwe UNK na diwani wa kyela mjini bwana UNK mahenge wakidaiwa kuwa UNK mbunge wa kyela daktari harrison mwakyembe kwenye kikao cha halmashauri kuu ya ccm wilaya kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti bwana jap...
kwa mujibu wa mmoja wa watuhumiwa hao ugomvi uliibuka baada ya wao kuhoji hatua ya kuitwa peke yao bila pande zote zinazohusika kwenye mvutano huo
baada ya suala hilo kuzua mtafaruku mkubwa polisi walifika eneo hilo la ofisi ya ccm wilaya kumwokoa katibu huyo aliyekuwa akipokea kipigo huku wajumbe wa kikao hicho UNK kila mtu na njia yake kwa hofu ya kukamatwa na polisi
mwenyekiti wa ccm wilaya bwana japhet mwakasumi alipotakiwa kuzungumzia sakata hilo alisema kwa muda huo akili yake ilikuwa haijatulia hadi hapo baadae
naye mwandishi grace michael anaripoti kuwa katika kile kinachoonesha kuwa hali si shwari katika majimbo mengi ndani ya ccm kuelekea uchaguzi mkuu mwakani mbunge wa ukonga daktari makongoro mahanga ameonya dhidi ya tabia ya wana ccm kuchafuana
daktari mahanga amewataka badhi ya wanachama wenye nia ya kugombea udiwani na ubunge kuacha mara moja tabia ya kupitapita kwa wananchi na kuchafua majina ya viongozi waliopo madarakani kwa lengo la kujipatia umaarufu kisiasa
alidai mbali ya kuchafua majina ya vingozi pia wanakwamisha utekelezaji wa ilani ya ccm kwa kuwachanganya wananchi na kupoteza mwelekeo wao wa kushirikiana na viongozi katika shughuli mbalimbalia za maendeleo
akifungua semina ya jumuiya ya wazazi katika kata ya ukonga dar es salaam juzi daktari mahanga alisema ni vyema wanachama wa ccm wakatumia muda huu kuweka mikakati ya namna chama hicho UNK na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa
wapo baadhi ya wana ccm ambao tayari wameanza kuwapitisha wagombea wao kwa wananchi ili kufanya kampeni za ubunge mwakani hatukatai watu kujitokeza kugombea kwani ni haki yao kidemokrasia lakini ni lazima kanuni na taratibu za uchaguzi za ccm zifuatwe kwa maana ya muda wa kuanza kampeni hizo alisisitiza daktari mahang...
alisema kuwa tatizo kubwa linalofanywa na wagombea hao ni kupita kwa wananchi huku wakitoa kashfa kwa viongozi ambao bado wako madarakani UNK kuacha mara moja tabia hiyo na kujikita katika kumaliza kero za wananchi zilizobaki katika kipindi hiki
daktari mahanga alisema kuwa vitendo vya kuchafuana kwa sasa UNK kukwama kwa utekelezwaji wa ilani ya ccm ambapo kiongozi aliyepo madarakani anatakiwa kushirikiana na wananchi wake katika utekelezaji huo
kuanza kuvutana kwa sasa ni kupoteza dira kwani uchaguzi ni mwakani hivyo ni bora UNK kwanza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sio kuweka nguvu katika uchaguzi ambao muda wake bado lakini wanaotumia jina la mbunge kusaka udiwani hilo nalo pia ni tatizo linaloweza kunigombanisha na wanachama wangu haya mambo tuya...
naye mjumbe wa kamati ya utekelezaji bwana ahmad mkude alisema kuwa vitendo vya watu kupita kwa wananchi huku UNK majina ya viongozi si sahihi hivyo aliwataka wanajumuiya hiyo kuwa makini na watu hao
hawa UNK na viongozi wetu tunatakiwa kuwa makini zaidi na sio kusikiliza maneno ya watu bila kuangalia wamefanya nini ndani ya jamii yetu wanatakiwa kuja kwa hoja lakini si kwa kashfa kwa kiongozi aliyepo na UNK UNK na madhara makubwa yatatokea ndani ya chama chetu alisema bwana mkude
tanzania UNK masharti ya kuonesha jinsi misaada ya wafadhili UNK na ilivyojipanga kushughulikia masuala ya utawala bora hasa mapambano dhidi ya ufisadi ili iendelee kunufaika na misaada ya wahisani
masharti hayo yalitolewa jana na mwenyekiti mwenza wa nchi wafadhili bwana UNK dorst dar es salaam wakati wa kongamano la mwaka juu ya masuala ya sera ya taifa katika kutimiza malengo ya maendeleo ya millenia na mpango wa kupambana na kupunguza umaskini tanzania na zanzibar mbele ya waziri wa fedha na uchumi mustapha ...
bwana dorst alisema ufisadi na usimamizi mbovu wa fedha za umma vimeendelea kuwa kikwazo cha maendeleo kiuchumi na kijamii na akaweka msimamo kwamba wahisani wengine wanapata shida kuchangia wakihofia matumizi mabaya ya misaada hiyo
alisema kwa kuwa shughuli za maendeleo nchini zimekuwa UNK na mfuko wa pamoja wa kuchangia bajeti za nchi ambao pia UNK na ufisadi na usimamizi mbovu wa fedha za umma
suala la rushwa UNK sana wadau wa maendeleo hadi kwa walipa kodi wetu nchini kama ilivyoonyeshwa kuwa tanzania inapokea misaada wa jumla kwa bajeti na UNK kwa mwaka uliopita jinsi watanzania wanavyozungumzia madhara ya rushwa katika maendeleo ya taifa na mkakati wa kupunguza umaskini alisema
alisema wanaamini kuwa ni muhimu kwa serikali kuendelea kuonesha juhudi zake za kupambana na rushwa zaidi hasa rushwa kubwa kwani hivi karibuni vyombo vya habari vilisema kuwa tanzania imeshuka kwa nafasi ishirini na nne katika suala la uwazi wa kupambana na rushwa ya kimataifa
hii inatuonyesha kwamba mtazamo wa watu katika mapambano dhidi ya rushwa nchini inazidi kuwa mbaya badala ya kuwa nzuri jambo ambalo linaweza kuwawia vigumu wadau wa maendeleo kuendelea kuisaidia tanzania alisema
alisema jambo la kuangalia ni kwamba watanzania wapaswa kuwa na ujasiri wa kuhakikisha kuwa rasilimali zilizopo zinatumika kuboresha maisha yao badala ya raslimali hizo kupotea kutokana na rushwa
akizungumzia suala la kilimo kwanza alisema kuwa sera hiyo inaweza kupunguza umaskini vijijini kama mpango huo utasimamiwa vema lakini kilimo pekee yake hakitakuwa mbadala wa punguza umaskini hivyo serikali inapaswa kuboresha sekta zingine kwa pamoja ili kuongeza thamani ya mazao
ni jambo la msingi kukuza sekta nyingine pia kwani baada ya mazao kupatikana inatakiwa kuwepo mazingira bora ya biashara za ndani na za kimataifa pamoja miundombinu ya nishati na usafirishaji pamoja na viwanda alisema
UNK kuonesha uwajibikaji katika maeneo hayo na matokeo yakaonekana ni wazi tutakuwa katika nafasi nzuri ya kujadili kuendelea kuchangia mpango wa maendeleo nchini UNK jina la mkukuta ii alisema bwana UNK
akizungumza baada ya kauli hiyo waziri mkulo alikiri kwamba suala la rushwa nchini ni gumu kutokomezwa kutokana na kasi ndogo ya kushughulikia kesi za rushwa hizo ambazo ziko mahakamani
waziri huyo alisema kuwa kesi hizo zimeongezeka kutoka hamsini na nane mwaka ishirini sifuri tano hadi moja mia tano na sabini na nane mwaka huu hata hivyo alishindwa kutoa sababu za kushindwa kushughulikia tatizo la rushwa kwa madai kuwa ni mapema mno
bwana mkulo alisema kuwa mkukuta wa awamu ya kwanza unamalizika mwakani na kwamba hawataweza kuingia katika mkukuta wa pili hadi hapo UNK kwa wafadhili fedha za mkukuta wa kwanza UNK
kwa wastani tunaweza kukiri kwamba tumeshindwa kuondoa umaskini hiyo yote inatokana na matatizo ya miundombinu ya barabara na kilimo japo sehemu UNK hazijafanikiwa na hilo UNK kwa wafadhili na kuahidi kuendelea kusaidia alisema
alisema kuwa lengo la majadiliano hayo na wadau wa maendeleo ni kujaribu kuangalia jinsi serikali inavyotekeleza malengo ya maendeleo ya millenia ya kupunguza umaskini duniani
mkutano huo utafanyika kwa siku tano kujadili mafanikio ya UNK na mkukuta pamoja na kuangalia ni jinsi gani serikali UNK fedha za wafadhili katika kutoa huduma kwa jamii
maeneo mengine yatakayojadiliwa ni kuendelea kukua kwa umaskini vijijini mazingira ya biashara changamoto za utoaji huduma sawa matumizi ya bajeti na utawala wa fedha katika mamlaka ya serikali kuu na serikali za mitaa
askofu mkuu wa kanisa anglikana tanzania daktari valentino mokiwa ametangaza masharti anayopaswa kutimiza rais mstaafu bwana benjamini mkapa ili watanzania wamsamehe kutokana na kashfa zinazomwandama
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana askofu mokiwa alisema ili bwana mkapa hajajutia makosa yake na kuonesha moyo wa toba ili asamehewe
alisema ili kiongozi huyo asamehewe serikali ya awamu ya nne inapaswa kuboresha huduma zote za jamii ikiwa ni pamoja na kukomesha mgawo wa umeme kuboresha vituo vya afya na kumaliza kero zote zinazowakabili watanzania
kauli ya daktari mokiwa imekuja siku moja baada ya rais mkapa kukaririwa akisema tuhuma zote zinazomwandama na mambo yote yanayosemwa kuhusu utawala wake anamwachia mungu
bwana mkapa alitoa kauli hiyo wakati akimkaribisha makamu wa rais daktari ali mohamed shein kufungua mkutano wa kujadili hali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi nchi jijini dar es salaam juzi
tuhuma zinazomkabili bwana mkapa ni pamoja na kutajwa kusajili kampuni ya anben anayoimiliki na mkewe mama anna na kufanya biashara akiwa ikulu
rais mkapa pia anatuhumiwa kushirikiana na aliyekuwa waziri wake wa nishati na madini bwana daniel yona kupitia kampuni ya tanpower resources kununua mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira wenye thamani ya shilingi bil
nne kwa bei poa ya shilingi milioni sabini sifuri na kulipa shilingi milioni sabini tu
tayari serikali imetangaza kurudisha mgodi huo
kiongozi huyo pamoja na serikali yake kujipatia mafanikio makubwa kiuchumi amekuwa akitajwa kutumia madaraka kwa kuiongezea mkataba kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ambayo mkaguzi mkuu wa hesabu za serikalia bwana ludovick utouh alisema ilikiuka sheria ya manunuzi ya mwaka ishirini sifuri nne askofu m...
mkapa angekiri makosa aliyofanya wakati wa uongozi wake angekuwa sahihi nikifikiri ukimya wake wa muda mrefu alikuwa anatafakari nini cha kuwambia watanzania lakini jibu lake limekuwa tofauti na matakwa ya watanzania kwani anasema tuhuma zote anamwachia mungu huko si kukiri alisema askofu mokiwa aliongeza kuwa alitara...
ameishauri serikali kuwachunguza viongozi walioko madarakani na wale walio nje kama ili wachukuliwe hatua kama wamekwenda kinyume taratibu za uongozi
kuna viongozi wengine wamekuwa wakipiga kelele majukwani kuhusu mkapa lakini hatujui usafi wao uko vipi bora tumeambiwa rais mkapa alinunua magodi wa kiwira na uko hapa tanzania kama ungekamilika ungeajiri watu wetu je hawa wanaojenga majumba nje tunawafanyaje kwani hayatusaidii
watanzania wanataka kujua kampuni ya kagoda na meremeta zinamilikiwa na nani
serikali ina maslahi gani kwa ticts hadi waikumbatie kiasi hicho
bado kuna trl inatusumbua na wahusika wapo
dawa katika vituo vya afya hakuna umeme wa uhakika hakuna na mambo mengine yasiyo na maslahi kwa watanzania
alisema askofu mokiwa
kwa upande wake daktari sengondo mvungi alisema huu si wakati wa kutafuta mchawi tugange yajayo kwani rais mkapa alikosa kutokana na makosa yaliyosababishwa na katiba
alisema katiba ya sasa inampa madaraka makubwa rais wa nchi hali ambayo inamfanya ajikute anaingia katika kashfa iwapo kila rais aliyepita atachuguzwa atakutwa na makosa ambayo yanatokana na mfumo wa katiba iwe kwa rais wa awamu ya pili alhaji ali hassan mwinyi bwana mkapa au rais jakaya kikwete
alisema kutokana na katiba nchi imekuwa na matatizo mengi yanayotokana na miundombinu ya utawala bora hivyo mambo mengi yanayofanywa ni ovyo kutokana na katiba na kushauri kubadilishwa katiba
naye mbunge wa vunjo bwana aloyce kimaro alisema kwa kuwa rais mkapa ametambua makosa yake naye ni binadamu ambaye si mkamilifu sasa amefungua ukurasa mpya na imekuwa fundisho kwa wengine watakaofanya makosa wakiwa madarakani
bwana kimaro ndiye aliyeibua hoja bwana mkapa kununua mradi wa makaa ya mawe kiwira kwenye mkutano wa kumi na moja wa bunge huku baadhi ya wabunge wakiunga mkono hoja hiyo na kushinikiza kiongozi huyo avuliwe kinga na kushitakiwa kwa kufanya biashara akiwa madarakani
UNK akaunti zake zote
viongozi wake UNK kutoka
yachunguza ziliko fedha zingine hatimaye serikali imetangaza rasmi kufuta shughuli za kupanda na kuvuna fedha zilizokuwa zikiendeshwa na kampuni ya development enterpreneurship for UNK
tamko hilo la serikali lilitolewa jana na waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake dar es salaam ambapo alibainisha kuwa upatu huo ni kinyume cha sheria
serikali ilishatoa taarifa kuhusu uharamu wa shughuli za deci ltd hii ni kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya adhabu sura ya kumi na sita ya sheria ya tanzania kama ilivyorekebishwa na sheria ya mabadiliko mbalimbali ya mwaka ishirini sifuri sita na ile ya michezo ya kubahatisha ya sura ya arobaini na moja ya sheria ya t...
hili ni tamko la serikali mpaka nakuja hapa ni kwamba tayari waziri mkuu makamu wa rais na rais mwenyewe wameridhika na uchunguzi na wameafiki deci isitishwe alisisitiza bwana mkulo
alisema iko mifano hai ambako mipango kama hii iliendeshwa na UNK na kuutaja wa UNK mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na sita tisini na saba na ule wa kenya ambako madhara makubwa UNK ikiwa ni pamoja na watu kupoteza maisha
alisema taarifa mbalimbali kupitia vyombo vya habari kuhusu deci kusitisha shughuli zake zimesababisha wasiwasi mwingi miongoni mwa wanachama na serikali imeamua kuchukua hatua kadhaa kukabili hali hiyo
hatua hizo ni pamoja na kuhakikisha maeneo yote ya shughuli za deci yanadhibitiwa sambamba na kuzuia pesa zote zilizopo kwenye akaunti za waendeshaji wa deci na deci yenyewe hadi hapo hatma ya shughuli za chombo hicho itakapojulikana
bwana mkulo alisema serikali inafanya jitihada za kujua ziliko fedha zingine ambazo hazipo kwenye mabenki na UNK kuhakikisha zinawekwa salama
hatua nyingine ni kukusanya na kutunza kumbukumbu zote za wanachama ikiwa ni pamoja na kiasi walichopanda na UNK tangu deci ilipoanza shughuli zake hapa nchini
kuendelea na uchunguzi wa kina juu ya waendeshaji na wamiliki wote ikiwemo deci ltd iliyosajiliwa nchini kenya ambayo shughuli zake UNK na deci ltd kutokana na wamiliki wake kuwa wa kanisa hilo hilo la UNK
alisema serikali pia inaendelea na hatua ya kuhakikisha waendeshaji na wamiliki wote wa deci UNK nchini
alisema serikali itaendelea kuelimisha wananchi uelewa vyema kuhusu madhara ya upatu wa pyramid bwana mkulo aliwataka wananchi wawe watulivu na kuepuka ushabiki na uchochezi unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani wakati wa kushughulikia suala hili
alisema madhumuni ya serikali kuchukua hatua hizo kwanza ni kukinga umma wa watanzania kutorubuniwa kirahisi na watu UNK
alisema lingine ni kuhakiki kumbukumbu zitakazopatikana katika ofisi za deci ili kuwezesha kuweka mikakati ya kurudisha kwa wanachama chochote kitakachopatikana
bwana mkulo alisisitiza kuwa deci ni kampuni ya kitapeli inayofanya shughuli za upatu ambazo ini kinyume cha sheria za nchi
alisema taasisi kadhaa zilithibitisha kutotoa leseni kwa deci ikiwa ni pamoja na mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana benki kuu ya tanzania wizara ya mambo ya ndani wizara ya biashara viwanda na masoko bodi ya michezo ya kubahatisha na wizara ya kilimo chakula na ushirika
alikiri serikali kupitia bot kuchelewa kuchukua hatua kutokana na uchunguzi wa kina walioufanya ili kupata ukweli namna deci UNK ikiendesha shuguli zake
deci ilisajiliwa januari ishirini sifuri saba na walijiandikisha kama kampuni ya kanisa kwa ajili ya kuwasaidia waumini la kipentekoste hivyo serikali awali haikuwa na wasiwasi nayo alisema
bwana mkulo alisema baada ya bot kukataa maombi ya deci ya kupewa kibali cha kukusanya fedha kwa wananchi kutokana na kutokuwa wametimiza masharti walikiuka maagizo ya bot na kuanza kukusanya fedha
alisema kuwa pamoja na bot kuita deci itoe mchanganuo wao namna wanavyopata faida na riba kubwa bado UNK agizo hilo hadi leo
bwana mkulo alisema katika wasiwasi huo serikali kupitia chombo chake maalum cha kuchunguza fedha haramu ilibaini kuwa deci ilikuwa imekusanya fedha nyingi na kuweka kiasi kidogo benki nyingine zikiwa mikononi mwa wamiliki
hapa kuna utata mwingi kuhusu deci mambo yao mengi hayakuwa wazi waliomba kufanya kazi kama kampuni ya kanisa baadae UNK deci sasa hapa mtaona kanisa deci na wamiliki kila mmoja ana akaunti yake alidai
aliongeza kuwa katika uchunguzi huo wamestushwa kukuta mmoja wa wanahisa ambaye awali alikuwa na kiasi kidogo cha fedha lakini ghafla na kwa muda mfupi akaunti yake ina mamilioni yasiyo na ufafanuzi UNK
bwana mkullo alisema kuwa kiuchumi serikali haijapata hasara yoyote kutokana na deci isipokuwa hasara inaweza kuwa kwa wananchi ambao katika kurudishiwa fedha zao inawezekana wengine wakakosa kutokana na mfumo ulivyokuwa unatumika kutoeleweka faida UNK
aliwataka wananchi UNK kuwa na subira kwa kuwa hatua zitakazochukuliwa na serikali kwa wamiliki zitaonekana hivi karibuni kulingana na ukweli utakavyokuwa unapatikana
tamko la serikali UNK mijadala ya wiki kadhaa sasa ambayo iliibuka nchini kote ambako baadhi ya wanachama wa deci walizidi kuonesha imani yao kwa chombo hicho huku wakishinikiza UNK UNK shughuli zake
hivi karibuni waziri mkuu bwana mizengo pinda alikaririwa akisema upatu wa si lolote bali ni mchezo bali ni mchezo unaoendeshwa na wajanja wajanja na kuwatahadharisha wananchi kuepuka jambo hilo kwa manufaa ya mitaji yao
bwana pinda aliwataka wananchi kuzingatia onyo lililotolewa hivi karibuni na bot na soko la mitaji kuepuka upatu huo ili kuponya pesa zao
waziri mkuu alitoa kauli hiyo alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake jijini dar es salaam jana na kubainisha kuwa deci inaendeshwa kinyume cha sheria na kamwe serikali haiwezi kukaa kimya kuacha wananchi wake wahatarishe mitaji yao
nilipokaa na wataalamu nikawauliza kuhusu jambo hili wameniambia mfumo huu ni upatu
upatu unaendeshwa kwa kuchukua pesa kutoka kwa mtu mwingine bila kumlipa riba ila ni fedha inayolipwa kutokana na ongezeko la wateja wapya nikasema makubwa haya
mbona itatuletea mgogoro
alikaririwa akisema bwana pinda na kuongeza upatu unaoeneshwa na deci haujawahi kufanikiwa sehemu yoyote duniani ni mfumo uliojaa ujanja ujanja mwisho wa siku watu wanalia alieleza waziri mkuu halmashauri ya wilaya ya mwanga mkoani kilimanjaro na manispaa ya arvidsjaur nchini sweeden zimefikia makubaliano ya kushiriki...
meya wa manispaa ya arvidsjaur bwana jerry johansson alisema hivi karibuni wameridhishwa na mazingira ya wilaya ya mwanga na wameamua kuwekeza katika nyanja za viwanda vidogo vikiwemo vya kukoboa na kuanika kahawa afya uvuvi na elimu
alisema makubaliano hayo yatawawezesha wananchi wa wilaya ya mwanga kuwa na maendeleo ya kiuchumi na kujikwamua na umaskini yamefikiwa katika kikao cha pamoja UNK na mkuu wa wilaya hiyo bwana athuman UNK