text stringlengths 1 1.32k |
|---|
bwana johansson aliongeza kuwa kutokana na mazingira ya wilaya hiyo kuna muhimu kuwepo pia na nishati ya upepo na jua ili kuwa na uhakika wa uzalishaji wa bidhaa na UNK ya mawasiliano ya UNK |
naye mkuu wa wilaya ya mwanga bwana athumani mdoe aliipongeza manispaa ya arvidsjaur kwa kuja kuwekeza katika wilaya yake na kuwa kijiji cha UNK kimeteuliwa kuwa cha uwekezaji wa viwanda vidogo kwa kutumia rasilimali zilizopo na mafunzo ya ufundi yatatolewa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya UNK |
naye mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana UNK mamboleo amewataka wananchi kuwa tayari kuikubali na kuchangia miradi UNK na manispaa hiyo ya UNK |
wajasiriamali wadogo na wakubwa walioko katika maeneo ya migodi ya dhahabu inayomilikiwa na kampuni ya barrick tanzania wametakiwa kutumia fulsa za kufanya biashara zinazotolewa katika migodi hiyo kwa lengo la kuwainua kiuchumi |
changamoto hiyo ilitolewa hivi karibuni mjini kahama na ofisa maendeleo ya biashara wa barrick tanzania bwana UNK tenga kwenye semina kwa wafanyabiashara iliyohusu fulsa za kufanyabiashara na migodi zilizopo na zitakazo endelea kutolewa |
bwana tenga alisema migodi ya barrick imekuwa UNK fulsa mbalimbali kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa na kuwapa kipaumbele wale walioko maeneo ya migodi kwa lengo la kuwanufaisha na kuwainua kiuchumi lakini wamekuwa UNK |
alisema barrick inapenda sana kufanya biashara na wajasiriamali waliopo maeneo yao ili mradi wawe watimize wajibu wao na taratibu na sheria za inchi zilizopo katika maswala ya biashara na ambazo ndiyo zimekuwa zikitumiwa UNK fulsa za kufanya biashara na migodi |
alisema wajasiriamali wazawa wanaoishi maeneo ya migodi wataendelea kuwapa elimu mara kwa mara kwa njia ya semina ili waweze kufanya biashara katika migodi hiyo na kwa wale wanaofanya nao na kukiuka miongozo na maadili UNK UNK |
awali mkuu wa wilaya ya kahama bwana bahati matala akifungua semina hiyo aliwataka wajasiriamali hao kuzingatia fulsa zinazotolewa na barrick ili wanufaike kwa kufuata kanuni na UNK wawekezaji hao ambazo zinalenga kuwainua kiuchumi badala ya kukaa na kulalamika tu |
vikundi vya wakulima wadogowadogo wa uzalishaji wa zao la kahawa wilayani hai mkoani kilimanjaro vimefanikiwa kupanda miche bora ya kahawa arobaini sifuri sifuri sifuri sifuri katika kipindi cha miezi kumi kwa lengo la kuunga mkono jitihada za serikali za kufufua kahawa |
hayo yalibainishwa na mwenyekiti wa vikundi hivyo bwana UNK swai wakati wa uzinduzi wa umoja wa wakulima wa kahawa bora wilayani hai UNK katika kijiji cha UNK machame na kushirikisha vikundi thebathini na moja vya wakulima wa kahawa wilayani hapa |
alisema kupitia vikundi hivyo wakulima wataweza UNK kahawa kwa asilimia kubwa ambapo ilionekana kudidimia na kufanikisha jitihada za kuwakwamua wakulima kiuchumi na kuwakomboa katika lindi la umaskini |
lengo la kuunda umoja huu ni kuwaunganisha wakulima pamoja na kwamba baada ya kuvuna kahawa yao wataweza kuiuza wenyewe bila kupitia kwenye vyama vya ushirika kama ilivyo sasa na kila mmoja ataweza kujifunza namna ya kulima kahawa bora ambayo itamsaidia kuongeza pato lake alisema bwana swai |
bwana swai alisema kupita vikundi hivyo kila mwanachama amepewa shamba la majaribio ili kuweza kutambua mbinu na njia za kupanda na kuitunza kahawa hiyo ambayo UNK na wadudu na kwamba mche mmoja wa kahawa una uwezo wa kuzalisha kilo tatu kwa mara moja |
kwa upande wao baadhi ya wakulima hao walisema kuwa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali za kufikia malengo ya kuzalisha kahawa bora ikiwemo ukosefu wa pembejeo za kutosha sanjari na upatikanaji wa maji ya umwagiliaji |
serikali ikifanikiwa kudhibiti bidhaa kutoka nje wakulima wa tanzania watanufaika kwa kuuza malighafi zao katika kampuni mbalimbali nchini |
hayo yalisemwa hivi karibuni na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya bia ya tanzania bwana anold kileo wakati kifungua kituo kipya cha kuuzia vinywaji hivyo katika eneo la ngarenaro mkoani hapa |
alisema kampuni nyingi hapa nchini UNK vinywaji kwa kutumia mazao ya wakulima kama vile zabibu na ulezi na hivyo kampuni za nje ya nchi UNK bidhaa zao nchini kiholela UNK juhudi za mkulima kupata faida |
alisema bidhaa kutoka nje ya tanzania UNK nchini hutumiwa na kampuni kutengeneza bidhaa zao kwa kusema bidhaa zao UNK kutoka nje ya nchi na kuacha mazao asilia yanayozalishwa na mkulima wa tanzania ambayo huwa na ubora zaidi |
bwana kileo alizitaka kampuni zinazotengeneza vinywaji nchini kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini tanzania kwani zina ubora ambao husaidia mkulima katika kuondokana na umaskini wa kipato |
wakati wakazi wa magomeni kota wakisubiri waongezewe miezi mitatu ili watafute nyumba za kupanga jitihada mbalimbali zinafanyika kumuona waziri mkuu bwana mizengo pinda |
mwenyekiti wa kamati ya wakazi wa magomeni kota bwana nkurumah munjoli alisema katika mkutano wa wakazi hao jana dar es salaam kuwa wamegundua njia ya kupata msaada ni kumuona waziri mkuu pinda |
bwana munjoli aliwaambia wakazi hao kuwa kitendo cha kukatiwa umeme na kutakiwa kuondoka bila maombi yao kufanyiwa kazi wameona ni unyanyasaji ambao wamekilalamikia kituo cha sheria na haki za binadamu na taratibu za kwenda mahakamani UNK |
alisema kwa sababu sekeseke la kuhamishwa UNK utaratibu wa makubaliano kati yao na manispaa ya kinondoni wameanza kuandikisha watoto ambao UNK pasipo sababu kwa vile manispaa ya kinondoni UNK wazi kimaandishi kuhusu makubaliano ya pande mbili hizo |
tulitaka tutambuliwe kama wapangaji wanunuzi na tulipwe fedha za kukodisha nyumba wakati tukisubiri ujenzi wa nyumba za maghorofa ya kisasa kutoka shilingi mia saba na ishirini sifuri sifuri sifuri ya mwaka ishirini sifuri sita lakini pamoja na maneno mazuri ya mdomo hatujui ukweli wake alisema bwana UNK |
wakazi wa magomeni kota wapatao thebathini sifuri sifuri sifuri ambao wamekata tamaa ya kupewa kipaumbele cha kuendelea kuishi eneo hilo jumapili iliyopita walimlalamikia diwani wa kata ya ndughumbi kupitia ccm bwana charles mgonja kuwa hana msaada kwao |
nyumba mia sita na arobaini na nne za kota magomeni hazina umeme baada ya shirika la umeme tanzania tawi la magomeni kukata huduma hiyo kushinikiza wananchi hao wajiandae kuhama kupisha ujenzi wa nyumba za kisasa |
mwenyekiti wa wazazi wa chama cha mapinduzi mkoa wa kilimajaro bwana UNK ngawaiya ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuthibiti watu wanaopita chinichini kama mchwa kwa ajili ya kutaka UNK nchi kwa kutumia fedha zao |
UNK na majira dar es salaam jana bwana ngawaiya alionesha kukerwa na kupita katika maeneo mbalimbalia wakitoa misaada mikubwa ya fedha ambazo chanzo chake hakijulikani |
alisema kuwa hali hiyo inasababisha watu hao kuwa na sauti kubwa kuliko serikali kutokana na fedha ambazo wamekuwa wakizitoa kama misaada kwa jamii bila kueleza kuwa zimetoka wapi |
utashangaa mtu anatoa milioni ishirini sifuri hadi thebathini sifuri kwa jamii kama msaada lakini fedha hizo UNK amezitoa wapi hali hii inanitia mashaka kabisa kwani serikali inatakiwa iwe inahoji uhalali wake |
wakiwaachia na kuota mizizi wataifikisha serikali pabaya alisema bwana ngawaiya |
alisema kuwa watu hao wamekuwa wakitumia vyombo vya habari vibaya kwa kutangaza mambo yao na kwamba serikali isipochukua hatua mapema tanzania itaelekea pabaya |
hawa watu wanapata fedha hizo kutoka nje ya nchi haiwezekani wawe wanatoa misaada ya mabilioni ya fedha kila mara kutoka mifukoni kwao nchi UNK sasa na watu wachache nasisitiza serikali kuwa macho na kufanya utafiti kuhusu vyanzo vya fedha vya watu hao alisema bwana ngawaiya bila kuwataja majina |
bwana ngawaiya alihoji ukimya UNK na kitengo cha usalama wa taifa wakati nchi UNK na watu wachache na kufafanua kuwa kutokana na hali hiyo baadhi ya mataifa yameingia katika migogoro kutokana na hali hiuyo ya kutoa misaa ya kifedha lakini chanzo cha fedha hizo hakijulikani |
katika hatua nyingine bwana ngawaiya alisema anashangazwa na baadhi ya viongozi wanaomsema vibaya rais wa awamu ya tatu bwana benjamini mkapa kuhusu mambo UNK kufanya katika kipindi cha uongozi wake wakati alifanya mambo mazuri |
kama mkapa UNK kugombea tena baada ya kipindi cha miaka kumi baada ya kumalizika kwa uongozi wa rais kikwete watanzania wangemkubali na kumchagua kwa sababu kipindi anaingia madarakani hakukuta hata senti tano benki kuu ya tanzania lakini alikaa na kupanga mipango ambayo ni imara mpaka kukawepo kwa fedha za kutosha am... |
alisema anashangaza na jinsi watu UNK UNK uchumi nyuma pamoja na kumsingizia mambo mbalimbali bila kufikiria alipoingia madarakani ni mambo mangapi aliyoyafanya |
bwana ngawaiya alisema kuwa viongozi wanaotoa visingizio kwa ajili ya kumchafua mzee wa watu wamwache UNK |
kambi ya ulipaji fidia kwa wakazi wa kipawa dar es salaam imefungwa rasmi mwishoni mwa wiki baada ya watu mia nane na sitini na moja kulipwa jumla ya shilingi bilioni kumi na tatu tano ba matukio manane ya udanganyifu wa malipo |
baada ya kufungwa kwa kambi hiyo na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evance balama malipo kwa watu waliosalia yatafanyika kati ya novemba ishirini na sita na ishirini na nane katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam na baadaye hundi UNK na wadai wengine wataendelea kulipwa kwa utaratibu mpya |
tumeamua kufunga kambi ya ulipaji baada ya kuona idadi ya watu imepungua hivyo kutokana na watu kutojitokeza hali inayoashiria pengine kumalizika kwa UNK lakini kazi hiyo itaendelea novemba ishirini na sita hadi ishirini na nane mwaka huu alisema bwana balama |
alisema wakazi mia tatu na sitini wanaodai shilingi nne mia tano na thebathini na nane mia nane na sabini na mbili mia moja na kumi na nne ambao kati yao ishirini na tano ni wa UNK iliyofunguliwa kati ya oktoba ishirini hadi novemba kumi na tatu mwaka huu ambazo ziko mahakamani na kuwataka wanaodhani wana madai halali... |
ulipwaji wa fidia ulianza oktoba kumi na tano mwaka huu UNK wakazi moja mia mbili na ishirini na moja UNK jumla ya shilingi kumi na nane sifuri tano nne mia tatu na arobaini na sita sifuri sifuri sifuri ikiwa ni fidia za majengo na mali zilizokuwa katika eneo hilo wakati wa udhamini ili kupisha upanuzi wa uwanja wa nd... |
hata hivyo alisema shughuli hiyo UNK na wajanja ambao katika malipo yanayoendelea watatakiwa kwenda katika eneo zilipokuwa nyumba zao UNK |
akizungumzia kesi nane za udanganyifu katika malipo ambazo upelelezi unaendelea bwana balama alisema kuwa baadhi yao UNK fedha katika hundi zao tofauti na inavyotakiwa kwa kuzidishiwa kiwango vitendo vinavyodhaniwa kufanywa na watendaji waliofanya kazi hiyo ya ulipaji |
aliwaomba wakazi UNK kuondoa mali zao katika eneo hilo ndani ya muda wa notisi waliopewa badala ya kungoja nyumba zao kubomolewa kwa nguvu baada ya siku arobaini na tano za notisi kumalizika na hakutakuwa na mjadala mpya isipokuwa kuendelea na upanuzi wa uwanja huo |
waziri mkuu bwana mizengo pinda ametoa siku tatu kwa mhandisi ya maji wilayani newala kutatua tatizo la maji ambalo ni kero kwa wananchi |
ametoa kauli hiyo juzi wakati akijibu hoja za wakazi wa mji wa newala kuwa kabla hajaondoka mkoani humo jumanne apatiwe ufumbuzi kuhusu tatizo la maji katika wilaya hiyo |
katika watu sita UNK maswali watano waligusia tatizo la maji na umeme katika mji huo jambo lililomkera bwana pinda na kusema haelewi ni kwa nini wananchi hao wanateseka wakati rais jakaya kikwete alihangaika kutafuta jenereta la kuwasha pampu za kusukuma maji kutoka chanzo cha mkunya wilayani humo lakini amekuta UNK s... |
rais kikwete amehangaika kutafuta jenereta hadi UNK kule bondeni limekuja siku nyingi na hela za mafuta shilingi milioni thebathini zilikuwepo waliposikia waziri mkuu anakuja ndipo UNK alisema huku akishangiliwa na wakazi hao |
alisema kwa jitihada za rais kama kweli injinia huyo alikuwa ana nia ya kuwasaidia wananchi hilo tatizo lilipaswa kuwa limeisha kwa asilimia kubwa sana |
asubuhi wakati naenda kukagua chanzo cha maji cha mkunya UNK na mabango yanayosema maji ni mradi wa wakubwa |
nimemwambia UNK mkazi kuwa nataka aweke ratiba ya kugawa maji na kuyasambaza kwenye UNK vya maji ili watu wote wapate kwa bei nafuu alisisitiza |
alisema mtaalamu mzuri ni yule mwenye kuhangaika usiku na mchana kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kumtaka mhandisi mkazi wa maji katika mradi wa maji makonde injinia bernard UNK atafute ufumbuzi wa tatizo la maji katika kijiji cha UNK |
kabla UNK mkoa huu ninataka kujua hatua gani zimechukuliwa kutatua tatizo hili |
wakati wa majumuisho tarehe ishirini na nne nitapenda kupata taarifa alisema waziri mkuu huku akishangiliwa na wakazi hao |
alisema amepata taarifa kuwa wako watu wachache UNK maji na UNK katika visima vyao ili wayauze kwa wananchi wengine kwa shilingi hamsini sifuri kwa ndoo moja na wengine UNK maboza na kupita mitaani wakijifanya wasamaria wema kwa kuuza maji hayo kwa shilingi hamsini sifuri hadi sabini sifuri kwa ndoo moja |
waziri mkuu ambaye jana alikuwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani mtwara alisema amejifunza mengi katika ziara ya mikoa ya lindi na mtwara na anaondoka akiwa na changamoto ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake umefikia wapi |
nina timu yangu ambayo kila baada ya miezi mitatu huwa inafuatilia maagizo UNK katika ziara ole wenu warudi na kukuta tatizo la maji kule mkunya halijaisha na maboza bado yanauza maji hapa mjini UNK |
alisema anatambua mtihani mkubwa unaoikabili wilaya hiyo kuwa ni ubovu wa mfumo wa mabomba ya kusambazia maji kwani mengi yamechakaa na ndiyo maana akasisitiza kuwepo kwa mgao baina ya vijijini na mji wa newala ili watu wote wapate kidogo kidogo |
katika mkoa wa mtwara wilaya yenye kiwango cha chini cha watu wanaopata maji safi ni newala ambapo asilimia ishirini tu ya wakazi wake wanapata maji safi |
chama cha wazalishaji chumvi nchini UNK serikali kufuta kodi katika uingizaji wa madini joto na kuitoa kama ruzuku ili wazalishaji wadogo waweze kuichanganya vema na kupata chumvi yenye ubora unaokubalika kimataifa |
mwenyekiti wa taifa wa UNK bwana habib nuru alisema juzi kwenye mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mjini hapa kuwa moja ya matatizo yanayowakumba wazalishaji wa chumvi nchini ni upatikanaji wa madini joto ambayo yana umuhimu mkubwa kabla chumvi UNK mtumiaji |
madini joto UNK nchini UNK ushuru wakati fulani tuliiomba serikali UNK sasa tunataka utaratibu huu uwe wa kudumu ili UNK wa madini joto haya kwenye chumvi ufikie viwango kwa wazalishaji mashambani alisema bwana UNK |
matatizo mengine ni wingi wa kodi katika uzalishaji wa chumvi ambayo serikali katika ukusanyaji wa kodi UNK bidhaa hiyo kama madini mengine UNK ardhini wakati ni moja ya viungo vya chakula kwa UNK ya binadamu |
akifungua mkutano huo katibu tawala wa mkoa wa tanga bwana paul UNK alikipongeza chama hicho kwa kubeba jukumu la kulinda afya za watazania kwa kusimamia ubora wa uzalishaji wa chumvi iliyowekwa madini joto kuwakinga watumiaji na UNK makubwa yatokanayo na ukosefu wa madini joto katika mwili wa binadamu |
hata hivyo katibu tawala huyo alikiri kwamba mojawapo ya changamoto walizokuwa nazo ni kuhakikisha kwamba madini joto ambayo ni ghali katika soko la dunia lakini wanatakiwa kuwa na taratibu mbadala za kuyafikisha kwa wazalishaji wote nchini ambao wengi wao ni wazalishaji wadogo |
rais jakaya kikwete ametakiwa kutoa nafasi za uongozi kwa vijana sasa na si kusubiri mpaka atakapochaguliwa tena awamu nyingine kwa kuwa ilikuwa ahadi yake kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri tano mwenyekiti wa nccr mageuzi bwana james mbatia aliyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kadi ya ... |
bwana mbatia alisema rais kikwete anatakiwa kutimiza ahadi yake ya kutoa uongozi kwa vijana katika serikali kuanzia sasa ili kutoa fursa kwao kulitumikia taifa lao na kuleta mabadiliko katika sera za maendeleo ya taifa |
hatuwezi kuendelea kusema vijana ni taifa la kesho wakati kuna baadhi ya wazee hawataki kuwaachia nafasi za uongozi |
rais kikwete alipoingia madarakani vijana wengi walikuwa na matumaini makubwa ya kupata uongozi lakini hali imekuwa tofauti |
akizungumzia viongozi wanaongganggania madaraka bwana mbatia alisema ni vyema waige mfano wa watangulizi wao akiwemo mwalimu julius nyerere ambaye alinggatuka madarakani akiwa na umri wa miaka sitini na tatu alisema wakati watanzania zaidi ya milioni kumi na sita ni maskini wa kutupwa wakiishi chini ya dola moja kwa s... |
akizungumzia hatua ya bwana kafulila kujiunga na chama hicho bwana mbatia alisema kutoka chama kimoja cha mageuzi kwenda chama kingine cha mageuzi ni kuendeleza mageuzi kwa kuwa UNK wananchi walewale |
akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa nccr mageuzi yenye namba laki mbili na elfu thebathini na saba na mia tisa na themanini na tatu bwana kafulila alisema dhamira yake ya kujiunga na chama hicho ni kuleta mapinduzi katika siasa na si UNK |
alisema tangu akiwa mtoto amekuwa na ndoto ya kuleta mapinduzi katika mfumo wa siasa nchini kwa kutoa mchango katika ujenzi wa demokrasia ya kweli |
alisema vyama vya upinzani vinatakiwa kukubali kukosolewa pale UNK ili kujenga maamuzi imara ikiwa ni pamoja na kufikia malengo yao ya kuwatumikia watanzania |
ni vyema kuona kuwa mtu UNK anapinga hoja yako si wewe ukichukulia hivyo basi UNK ili kukubaliana kwa pamoja alisema bwana kafulila |
bwana kafulila ambaye alishatangaza azma yake ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kigoma kusini alisema amejiunga na chama hicho kwa ridhaa yake na ya wapiga kura wake na si shinikizo la mtu yeyote |
alisema chama cha mapinduzi kimeshindwa kusimamia rasilimali za nchi katika kuleta maendeleo ambapo kumekuwa na ongezeko la umaskini kutoka asilimia kumi na moja mwaka ishirini sifuri tano mpaka kumi na mbili saba mwaka huu |
sekta binafsi zimetakiwa kuwekeza katika miradi ya kupunguza gesi joto zinazotokana na takataka ili kujiongezea kipato na kushiriki katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya nchi |
wito huo umetolewa na kaimu mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini bwana raymond mbilinyi wakati akifungua mkutano wa kuhamasisha uwekezaji katika miradi ya kupunguza gesi joto uliofanyika jijini dar es salaam mwishoni mwa wiki |
kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi yanayoikumba dunia hivi sasa ni fursa pekee kwa sekta binafsi kuwekeza katika sekta hiyo ili iweze kushiriki kikamilifu katika kupunguza gesi joto na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya nchi alisema bwana mbilinyi |
bwana mbilinyi alisema kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi inayoendelea kuikumba dunia tic imeamua kuangalia na kuishawishi sekta binafsi kushiriki katika kuanzisha miradi ya kupunguza gesi joto |
alisema nchi nyingi zimekumbwa na mabadiliko ya hali ya nchi ikiwemo tanzania hivyo dunia nzima imeanza kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na hali hiyo ikiwemo kuanzisha miradi itakayoweza kusaidia kukabiliana na hali hiyo |
nchi nyingi zimekumbwa na mabadiliko ya hali ya nchi ikiwemo tanzania kama vile kule manyara mifugo inakufa kwa njaa kwa hiyo ni muhimu kuangalia ni jinsi gani tunaweza kukabiliana na hali hiyo alisema |
alisema tayari tanzania ina mradi mkubwa mmoja ambao pia ni wa kwanza afrika kufikia katika hatua ya juu ya utekelezaji katika kupunguza gesi joto nchini |
bwana mbilinyi aliutaja mradi huo ni ule wa dampo la mtoni ambao tayari kwa sasa hatua za awali zimekamilika na kinachosubiriwa ni fedha za utekelezaji |
naye afisa mtendaji mkuu wa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais bwana UNK manyika alisema tanzania imejipanga na msimamo wake UNK katika mkutano unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni huko copenhagen denmark kuhusu njia za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa baada ya mkataba wa UNK mkutano huo wa copenhagen u... |
bwana manyika alisema tanzania ni wadau muhimu katika mkutano huo na walipewa majukumu likiwamo la kujenga uwezo katika nchi zinazoendelea ili ziweze kushiriki UNK katika kupunguza mabadiliko ya hali ya nchi na tayari UNK kazi |
jukumu jingine ni upunguzaji gesi joto kupitia sekta ya misitu ambalo tayari wameshaandaa msimamo wa kuisemea afrika |
aidha aliwataka wadau wa miradi ya kupunguza gesi joto kwenda sanjari na maendeleo ya nchi kwa kuzingatia sheria za nchi na zile zinahusu mazingira na sera UNK |
naye mtafiti wa masuala ya UNK kutoka shirika la umoja wa mataifa UNK mazingira nchini denmark daktari UNK ngara aliipongeza tanzania kwa kuwa mfano mzuri wa kwanza katika kuanzisha miradi ya kupunguza gesi joto na hasa katika mradi wa dampo la mtoni |
wasomi katika nyanja za uchumi na siasa UNK juu ya ushirikiano wa soko la pamoja UNK ijumaa baina ya nchi wanachama wa jumuiya ya mashariki hukusu nafasi ya tanzania ili iweze kunufaika na kuendeleza ustawi wa uchumi |
wakizungumza na gazeti hili jana wasomi hao pamoja na kukubaliana na hatua hiyo ya kimaendeleo walitoa tahadhari kuwa tanzania kwa nafasi yake na eac kwa ujumla inapaswa kuchukua hadhari katika masuala kadhaa ili kudumisha malengo mazuri ya kuendeleza nchi hizo kiuchumi |
profesa samwel wangwe alisema tanzania inapaswa kuwa makini na sehemu ambazo inapaswa kujizatiti na kuchagua masuala yapi yaanze kuingizwa na kufanyiwa kazi katika ushirikiano huo na mengine UNK ili nchi iweze kujipanga vizuri |
alisema ili nchi iweze kushindana vizuri na kunufaika na fursa zitakazopatikana katika soko la pamoja ambapo kutakuwa na uhuru wa biashara na ajira ni muhimu nchi UNK maeneo ambayo yanahitaji kujipanga kwanza na hatimaye kuyaingiza baada ya muda ili UNK uwezo wa kushindana |
kitu cha kwanza ni kwamba jambo hilo ni kitu kizuri ambapo kutakuwa na wigo mpana wa kufanya na kuendeleza biashara ingawa bado kuna watu wana wasiwasi na baadhi ya masuala kama vile ardhi ambayo bila shaka tunadhani UNK utaratibu mzuri ili kusitokee matatizo |
kwa mfano hata katika muungano wetu hapa huwezi kutoka tu ukaenda kununua ardhi zanzibar lazima kuwepo na utaratibu fulani |
lakini lazima tuangalie na kuchagua sehemu UNK kujizatiti na kujikita vizuri kwanza ili tuweze kushindana kweli UNK muda wa kujipanga kwanza |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.