text stringlengths 1 1.32k |
|---|
tuangalie skills zipi zianze zipi UNK |
sio kwamba tujipange UNK hapana tunawaambia wenzetu katika hili UNK miaka miwili au mitatu baada ya muda huo tunakuwa tumejiandaa kikamilifu alisema profesa wangwe |
akizungumzia suala la mgawanyo wa uzalishaji wa bidhaa profesa wangwe ambaye alipata kuwa mwenyekiti wa kamati ya kukusanya maoni juu ya ama kuharakisha shirikisho la kisiasa la eac au la alisema hilo UNK lenyewe bila UNK kupangwa |
alisema kama nchi mwanachama ana uwezo wa kuzalisha bidhaa fulani zinazofahamika vizuri kwa mfano tanzania inavyoweza kuzalisha ndizi huko bukoba au konyagi inapaswa kuendelea kuongeza ubora kwa kuwa kizuri UNK |
kwa upande wake profesa ibrahim lipumba alisema kuna ulazima wa wananchi kushirikishwa kwa kuanzia na ngazi ya chini ili kila mmoja aweze kujua soko la pamoja ni kitu gani na namna gani litaweza kusaidia maisha ya mtu wa kawaida mpaka wa juu |
pia alizungumzia suala la misingi imara ya kisiasa kwa kuepuka migogoro akisema kuwa hilo lina umuhimu mkubwa kwa sababu ndilo UNK mustakabali wa ushirikiano wa soko la pamoja baina ya nchi za eac na malengo mazuri UNK |
mpaka sasa wananchi UNK ni kitu gani hasa kinaendelea sasa ili tuweze kupata ushirikiano na maridhiano ni vyema wananchi wakapewa taarifa juu ya masuala haya ili waweze kutoa ushiriki wao ipasavyo tukiwa tunasubiri hayo masuala ya free movement of labour na freedom of UNK |
lakini pia suala la misingi imara ya siasa na demokrasia ni muhimu |
migogoro hasa ya kisiasa UNK masuala mazuri |
ukiangalia kenya bado kuna matatizo ya mungiki na wakimbizi wa ndani walioambiwa hawana makazi nchini humo |
hapa tanzania wazanzibar wamekuwa wakisema wazi kuwa mambo mengi yanayozungumziwa katika eac wao hawana ushirikishwaji wa moja kwa moja |
hivyo ni muhimu tukawa na mifumo ya kidemokrasia inayolingana ili isije UNK malengo mazuri alisema profesa lipumba ambaye ni UNK wa masuala ya uchumi |
profesa mwesiga baregu alisema zipo changamoto ambazo eac inapaswa kuzitatua ili iweze kufanikisha malengo ya soko la pamoja ambapo alisisitiza suala la mgawanyo wa uzalishaji wa bidhaa kama ilivyokuwa katika jumuiya iliyokufa kwa kufuata makubaliano ya kampala |
alisema uzalishaji ndio unaoleta biashara hivyo tanzania na eac kwa ujumla hazina budi kujikita katika sehemu hiyo kwa kuvipatia umuhimu viwanda na kilimo ili kujenga soko la bidhaa zao wenyewe |
uzalishaji ndio UNK eac hapa tulipo |
ili tuweze kutumia soko kubwa la eac lazima tuzalishe sisi wenyewe sio bidhaa za kutoka sehemu nyingine |
ni vyema kujua nani UNK nini kulingana na uwezo wake |
tukizungumzia hali ya siasa kama UNK hilo nalo lina umuhimu wake |
ukiangalia rwanda wana katiba mpya kenya wamekuwa UNK bila kufika mwisho burundi bado uganda hali kadhalika hapa tuko nyuma pia |
maana yake ni kuwa hatuna utamaduni wa kisiasa unaofanana kama wenzetu wa ulaya ambao majuzi wamesaini makubaliano ya lisbon kwa kuwa katiba zao zinaendana na ile inayowaunganisha katika jumuiya alisema profesa baregu ambaye amebobea katika masuala ya siasa na uhusiano wa kimataifa |
tahadhari hiyo ya wasomi hao imekuja siku chache baada ya wakuu wa nchi wanachama wa eac kutia saini itifaki ya makubaliano ya soko la pamoja ambapo inahusu UNK mbalimbali kama vile uhuru wa biashara ajira na uhamiaji |
akizungumza na waandishi wa habari mara bada ya wakuu wa nchi kusaini makubaliano hayo waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana UNK kamala alisema kuwa masuala mbalimbali yaliyoko katika itifaki hiyo yatakayoanza rasmi julai mwakani yatatekelezwa kulingana na sheria za kila nchi |
akizungumzia masuala kadhaa kama vile ajira uhamiaji na umiliki wa ardhi alisema mbali ya kufuata sheria na taratibu za kila nchi husika bado nchi mwanachama ina uhuru wa kukubali au la |
kusainiwa kwa itifaki hiyo kunafanya idadi ya masuala UNK katika mkataba wa eac mpya ambayo yamekwisha kusainiwa kufikia mawili kati ya manne kama inavyoelezwa katika kifungu cha tano cha mkataba huo |
la kwanza lilikuwa ni ushuru wa forodha |
wananchi wa makwalu na ndavindavi kata ya mtibwa katika wilaya ya mvomero wamekumbwa na hofu kiasi cha kushindwa kwenda shambani wakiogopa kundi la wafugaji wa asili ya kimang ati baada ya mwenzao bwana duseni mejaragili kuuawa na mkulima mmoja kwa kukatwa na jembe kichwani |
tukio la mauaji hayo lilitokea UNK kumi na sita ishirini sifuri tisa baada ya mfugaji huyo kuingiza mifugo kwenye shamba la mkulima huyo na kula mazao yake na alipojaribu kumhoji mfugaji huyo alichampa fimbo mbili mbavuni zilizompa hasira naye akaamua kumkata na jembe kichwani na kufa |
mwenyekiti wa kijiji cha kunke bwana joseph kihombo amekiri kuwepo kwa hofu miongoni mwa wananchi wake katika vitongoji vya makwalu ndavindavi na kunke wanaolima huko kutokana kundi la wafugaji kuingiza ovyo mifugo mashambani na kuharibu mazao na kuchafua kisima cha maji ya kunywa |
katika kikao nilichofanya nao nimewaambia kama walivyokuja kinyemela waondoke hivyo hivyo kabla sijachukua hatua za kisheria kuliko kuwatisha wananchi wasilime wakati mkoa umefanywa ghara la chakula |
nimewauliza kwa nini wamekuja kwa wingi baada ya taarifa za kuuawa mwenzao wamesema wanatafuta nggombe wao sitini walioibiwa na nilipowauliza sababu za kuvamia na mifugo mingi na kuharibu mazao na kuchafua kisima cha maji ya kunywa walinyamaza kimya alisema bwana kayombo |
wakati huo huo wananchi wa mgongola wakiwemo wafugaji wenye asili ya kimasai wameweka pingamizi mahakamani kutokana na eneo lao lililotengwa kwa ajili ya mifugo kupewa vigogo na watu wenye uwezo kutoka nje ya mkoa watumie kwa kilimo cha mpunga kwa kisingizio cha kaulimbiu ya kilimo kwanza |
mmoja wa viongozi wa wafugaji aliliambia majira kwamba vurugu nyingi na za mauaji kati ya wafugaji na wakulima zinasababishwa na viongozi wa chama tawala au wa serikali kukiuka ahadi zao wakati wa kampeni wakishapata wanachokitaka husahau ahadi zao alisema |
mkuu wa jeshi la polisi mtaafu omary mahita amesema chuo kikuu cha kiislamu morogoro hakitakiwi kuajiri wahadhiri kwa imani za kidini bali kitumie kigezo cha ubora wao |
akizungumza katika mahojiano na majira wakati wa mahafari ya pili ya chuo hicho jana bwana mahita alisema kama uongozi wa chuo hicho utakubali kuajiri wahadhiri wazuri pasipo kujali imani zao za kidini elimu inayotolewa na chuo hicho itaendelea kuwa bora nchini |
alisema kuwa kama uongozi wa chuo hicho utakuwa na msimamo wa kidini na kungganggania kuwa wahadhiri wake ni lazima wawe waislamu bila kuzingatia uwezo wao wa kufundisha malengo ya chuo hicho ya kutoa elimu bora yenye kuwawezesha wahitimu kumudu ushindani wa soko la ajira UNK |
kama tunataka vijana wetu wapate elimu bora kama UNK na ili waweze kushindana na wahitimu wa vyuo vikuu vingine ni lazima uongozi usiangalie imani ya walimu na kama tukiweka imani ya kidini nadhani hatuwezi kufanikiwa alisema mahita |
alisema ili kuweza kuajiri wahadhiri wa aina hiyo ni lazima waislamu kote nchini kukisaidia chuo hicho kwa hali na mali kwa kuwa wahadhiri wa aina hiyo wanapaswa kulipwa vizuri haki zao zote kuishi mahali pazuri na kuwa na vitendea kazi vya kutosha ikiwemo vifaa vya kufundishia na maabara za uhakika |
mfanyabiashara wa temeke yombo bwana daniel UNK amefikishwa mahakamani akidaiwa UNK watu watatu UNK kuwatafutia ajira ndani ya jeshi la polisi |
mshitakiwa huyo alifikishwa jana katika mahakama ya wilaya ya kinondoni mbele ya hakimu bwana ferdnand UNK alidaiwa kuwa aprili ishirini na tatu mwaka huu eneo la hospitali ya magomeni UNK mohamed hassan shilingi sitini sifuri sifuri sifuri sifuri kwa makubaliano kuwa atampa kazi polisi |
katika shtaka jingine mtuhumiwa huyo huyo anadaiwa kumtapeli bwana pius UNK shilingi sitini sifuri sifuri sifuri sifuri pia kwa ahadi ya kumpa ajira polisi |
mtuhumiwa huyo pia alifikishwa mbele ya hakimu bibi hilda lyatuu akidaiwa kuomba shilingi milioni mbili tatu kutoka kwa bwana omari UNK akitumia njia hiyo hiyo kuwa UNK ajira katika jeshi la polisi jambo ambalo si kweli |
wakati huo hu o mkazi wa tabata kimanga bwana peter john amefikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kuiba fedha katika mashine ya kutolea hela ambako alijipatia shilingi milioni nne sita kutoka kwenye akaunti ya mtu mwingine |
wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania wameunga mkono kauli ya waziri wa miundombinu daktari shukuru kawambwa kuwa serikali haitavumilia kukaa kimya na UNK mwekezaji katika kampuni hiyo rites kutoka india kufanya kazi anavyotaka huku ufanisi ukiendelea kudidimia |
kauli hiyo imekuja siku chache baada ya daktari kawambwa kutembelea shughuli za maendeleo katika stesheni ya reli za tabora na mpanda na kuzungumza na abiria baada ya kushuhudia shehena ya mahindi katika ghala la serikali iliyotakiwa kusafirishwa kwenda mikoa mbalimbali inayokabiliwa na njaa |
kutokana na kauli hiyo wafanyakazi walio katika vitengo mbalimbali trl makao UNK walisema kuwa kauli hiyo imewapa nguvu katika utendaji kazi wao |
walisema kuwa kauli kama hizo ndizo zinazotakiwa kutamkwa kama kiongozi wa serikali na sio kutegemea michango ya mawazo ya wengine |
mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa kuhofia uongozi alisema kuwekwa hadharani kauli ya serikali kutasababisha hata menejimenti ya trl kueleza bayana sababu za kuipa serikali notisi ya siku sitini huku wakitishia kusitisha ubia wao |
daktari kawambwa alikaririwa na gazeti moja akisema kuwa hadi sasa wanaendelea na mazungumzo na rites kuhusu utendaji wake na migogoro inayoendelea lakini hakuna mwelekeo mzuri wa makubaliano hayo kwani kumejitokeza baadhi ya maeneo kuwa tete |
aliongeza kuwa endapo muafaka kamili hautapatikana ndani ya mazungumzo hayo serikali itachukua jukumu la kurejesha kampuni hiyo trc na kuliendesha wenyewe ili kuepuka hasara na adha UNK mara kwa mara kwa abiria na wafanyakazi |
wakazi wa mabondeni katika eneo la jangwani wametakiwa kuhama ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea wakati wa mvua zinazonyesha na kuepukana na maafa na magonjwa ya mlipuko kikiwamo kipindupindu |
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama kuwa watu hao wanatakiwa kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa bwana william lukuvi ili kuepuka usumbufu katika kipindi cha mvua hasa zile za el nino UNK kunyesha wakato wowote |
wanatakiwa kuondoka eneo hilo kwa kuwa maji ya mvua zinazoendelea kunyesha yanaingia ndani hivyo ugonjwa wa kipindupindu unaweza kuenea kwa kasi sana alisema bwana balama |
baadhi ya wakazi wa eneo hilo walisema kuwa hawataondoka eneo hilo kwa bila fidia kwa sababu hawana mahali pa kwenda na wameishi hapo kwa miaka thebathini na mbili mkazi mmoja wa eneo hilo bwana hatibu omary alisema kuwa kama kama serikali inawataka waondoke eneo hilo iwalipe fidia za nyumba na mali ili watafute eneo ... |
alisema sisi hapo UNK kwani hakuna mvua inayoweza kunyesha na kutuzuia kulala ndani ya nyumba zetu walidai wakazi hao |
rais jakaya kikwete atakuwa kuwa mgeni rasmi katika baraza la idd al hajj inayotarajia kufanyika nchini kote novemba ishirini na nane mwaka huu |
akizungumza dar es salaam jana na waandishi wa habari kaimu mufti wa tanzania sheikh ismail habibu alisema kuwa sherehe hizo zitafanyika kitaifa jijini dar es salaam |
alisema kuwa swala ya idd itafanyika katika msikiti wa UNK uliopo bakwata makao makuu kinondoni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kufuatiwa na baraza la idd saa tatu asubuhi |
sheikh habibu alisema kuwa UNK wa mwezi dhul hajj umeonekana novemba kumi na nane mwaka huu na kuashiria kuanza kwa mwezi mtukufu wa dhul hajj mfungo tatu |
bakwata inapenda kuungana na waislamu wote nchini katika kusherekea sikukuu ya idd al hajj na kuwataka waumini kutimiza nguzo za ibada alisema sheikh habibu |
aliwataka waumini nchini kusherekea sikukuu kwa amani na kuhakikisha inawalinda watoto wao ili wasipate majanga mbalimbali ambayo yanakuwa yanatokea katika kipindi cha sikukuu |
aliongeza kuwa bakwata imeimarisha ulinzi kuhakikisha usalama ili kuzuia kosa lililotokea mwaka jana ambapo rais mstaafu wa awamu ya pili al haji hassan mwinyi alipigwa kibao |
watu hujifunza kutokana na makosa tumejipanga vizuri na tunaamini tutamaliza salama kama kuna mwenye nia mbaya atakamatwa kabla ya kukamilisha azma yake alisema sheikh habibu |
makamu mwenyekiti wa ccm bwana pius msekwa amesema kauli ya rais wa zanzibar amani karume juu ya kurejea kwa amani visiwani na kuundwa serikali ya mseto ndiyo kauli ya chama |
akizungumza dar es salaam jana mara baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano wa UNK wa kirafiki kati ya ccm na chama cha UNK cha cuba bwana msekwa alisema haoni cha kuongeza juu ya kauli za rais karume |
rais karume ni makamu mwenyekiti kama mimi hivyo sioni cha kuongeza katika yale aliyosema chukueni hayo na huo ndio msimamo na kauli ya chama chetu alisema bwana msekwa |
vyombo vya habari jana vilimnukuu rais karume akisema kuwa hatimaye amani ya kweli imepatikana zanzibar na kwamba siasa za chuki uhasama zimefikia mwisho wake visiwani humo na kuwa hatma ya kisiasa ya zanzibar iko mikononi mwa ccm rais karume alitoa kauli hizo juzi katika viwanja vya kibandamaiti zanzibar wakati akiwa... |
alilazimika kutoa kauli hiyo kutokana na kuwepo na shauku kutoka kwa wananchi wakitaka kufahamu nini kilichojadiliwa wakati wa kikao cha siri kati yake na katibu mkuu wa cuf seif sharif hamad ikulu ya zanzibar siku chache zilizopita |
rais karume aliiambia hadhara hiyo kuwa pamoja na kuwa maalim seif ndiye aliyeomba wakutane naye lakini ccm kama chama UNK maazimio na kutangaza kuwa milango ya ikulu iko wazi kwa majadiliano yanayolenga kuleta suluhu |
bwana msekwa alimwambia balozi wa cuba nchini bwana ernesto diaz kuwa kumekuwa na migogoro ya kisiasa visiwani zanzibar kila baada ya uchaguzi mkuu lakini ana matumaini hali hiyo UNK tena baada ya viongozi hao kukutana |
naye balozi diaz akizungumza baada ya utiaji saini wa makubaliano ya uhusiano wa kirafiki kati ya ccm na UNK aliipongeza ccm kwa juhudi zake za kukuza amani nchini na kuimarisha mahusiano kati yake na vyama vingine |
alisema tanzania ina historia ya muda mrefu ya uhusiano wa kirafiki kati yake cuba hasa kutokana na mchango wa mwalimu nyerere na harakati zake za kupinga ukoloni na unyonyaji |
rais fidel castro na mwalimu nyerere wamekuwa karibu kwa muda mrefu katika kupigania uhuru wa nchi zao ni katika uhusiano huo tanzania ilimpokea na kumhifadhi kwa muda mwanaharakati wa cuba che UNK alisema |
ujenzi wa nyumba na uendelezaji makazi kwa kutumia teknolojia ya kati inayopatikana kwa urahisi ndani ya nchi UNK nchi zinazoendelea kutengeneza ajira kulinda viwanda vya ndani na kupunguza matumizi ya pesa za kigeni |
halikadhalika suala la makazi linapaswa kupewa kipaumbele na watunga sera katika nchi husika na kuwajali watu wasiokuwa na uwezo kuliko ilivyo sasa ili nchi husika iweze kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi |
hayo yameelezwa na mkurugenzi mtendaji wa shirika la umoja wa mataifa UNK na makazi duniani profesa anna tibaijuka katika kitabu chake kiitwacho UNK UNK housing and economic UNK katika kitabu hicho ambacho kitazinduliwa leo huko nchini denmark profesa tibaijuka amezungumzia uhusiano uliopo kati ya ujenzi wa nyumba na ... |
uzinduzi wa kitabu hicho utakwenda sambamba na UNK wa tuzo maarufu ya masuala ya mazingira iitwayo goteborg ambayo umaarufu wake unakaribiana na ule wa tuzo maarufu ya amani ya nobel |
profesa tibaijuka ni mmoja kati ya watu watatu UNK tuzo hiyo leo ikiwa ni ishara ya kutambuliwa kwa mchango wao hasa katika kutafuta suluhisho kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili mazingira hususani hali ya ukuaji wa miji na makazi holela |
taarifa kwa vyombo vya habari kutoka un habitat nairobi kenya ilisema profesa tibaijuka ametoa ushauri huo kwa kuangalia fursa zinazoweza kupatikana katika UNK katika ujenzi wa nyumba kwa sababu itatoa fursa ya kutumia teknolojia ya nyumbani na ile ya kuangiza pale UNK |
kwa sababu ya kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira na maendeleo duni nchi zinazoendelea zinapaswa kuzingatia teknolojia ya kati inayopatikana maeneo waliyonayo karibu katika kujitimizia mahitaji ya ujenzi wa makazi ambayo yanaongezeka kila siku |
faida ya kutumia teknolojia inayopatikana katika maeneo ya karibu ni kwamba inaimarisha viwanda vya ndani inapunguza gharama kutunza fedha za kigeni inatumia njia rahisi zenye manufaa inatengeneza na kuimarisha nafasi za ajira ndani ya nchi amenukuliwa profesa tibaijuka akisema katika kitabu hicho |
katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana ban ki moon alisema kitabu hiki kina mchango mkubwa katika mdahalo uliopo hivi sasa duniani kuhusu mchango wa sekta ya nyumba katika maendeleo ya uchumi |
UNK mapendekezo yaliyomo yatasaidia kupatikana kwa ustawi mkubwa duniani kote kwa ajili ya watu wasiokuwa na uwezo waishio mijini |
kitabu hicho kimekuja wakati dunia nzima sasa inazungumzia namna ya kuwa na makazi bora kwa sehemu ya mijini ikiwemo ujenzi wa nyumba na miundombinu ili kukabiliana wimbi kubwa la uhamaji wa watu kutoka maeneo ya vijijini kwenda mijini |
imetaarifiwa kuwa kwa mwaka ishirini sifuri saba pekee na kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia idadi ya wakazi wa mijini imezidi ile ya watu wa vijijini |
hivyo nchi zinazoendelea zina changamoto ya kuwekeza katika makazi bora kwa ajili ya watu bilioni moja walioko katika makazi holela |
mwanamke fatuma nassoro mkazi wa kisiwani kigamboni amelalamikia kitendo cha kuzuiwa na walinzi wa ikulu na wale wa taasisi ya wanawake na maendeleo inayoongozwa na mke wa rais mama salma kila anapokwenda kueleza matatizo yake |
kinachomsumbua bibi huyo ni kutaka kumwomba rais jakaya kikwete au mkewe mama salma wamsaidie fedha za kulimia shamba lake la ekari tatu |
nimejaribu kufika mara kwa mara kwenye ofisi za viongozi hao lakini sikupata msaada wowote kutokana na ugumu wa kuingia alilalamika |
akizungumza katika ofisi za majira jijini dar es salaam jana bibi nassoro alisema endapo viongozi hao UNK basi anaomba aonane na waziri wa kilimo chakula na ushirika bwana stephen wasira |
alisema shamba lake hilo limeshindikana kulimwa baada ya mume wake kufariki mwaka huu hivyo kufanya liendelee kukaa bila kulimwa wakati ndilo tegemeo kupata mazao ya chakula na kuuza ili kupata fedha za kujikimu kimaisha |
naomba ofisi husika inisaidie kuwaona viongozi hawa ili UNK shida yangu hiyo kwani shamba hili ndilo UNK na wajukuu wangu |
kitendo cha kukaa bila kulimwa kinasababisha UNK huku na kule alisema bibi nassoro |
gavana balali yalikuwa maji marefu kwake rais mkapa pekee angeweza kumwajibisha waziri wa fedha wa zamani bwana basil mramba amedaiwa kufahamu kilichokuwa kinaendelea katika ujenzi wa majengo pacha ya benki kuu ya tanzania lakini alishindwa kutoa uamuzi wa kumwajibisha gavana wa benki hiyo kwa sababu anateuliwa na kuw... |
hayo yalidaiwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu bwana edson mkasimwongwa wakati mkurugenzi wa shirika la ndege la precision bwana michale shirika akitoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa utawala na utumi... |
shahidi huyo wa nne kwa upande wa mashitaka aliwahi kuwa mkurugenzi wa bodi katika benki hiyo tangu mwaka ishirini sifuri mbili hadi januari ishirini sifuri sita kipindi chake kilipomalizika baada ya kuteuliwa na waziri wa fedha wakati huo bwana mramba |
shahidi huyo alidai kuwa katika vikao vya bodi kulikuwa na taarifa zilizokuwa zikiwasilishwa na menejimenti ya benki zikionesha kuongezeka kwa matumizi katika mradi na waliomba bodi kuidhinisha pamoja na kuwa tayari matumizi hayo yalishafanyika |
shahidi alidai bodi haikuridhika na nyongeza ya matumizi katika mradi huo na walikuwa wakiidhinisha kwa sababu menejimenti ilikuwa ikitoa sababu mbalimbali |
alidai menejimenti iliiambia bodi kwamba isipoidhinisha malipo hayo hasara kubwa ingepatikana kutokana na jinsi mkataba na mkandarasi wa ujenzi majengo pacha ya bot ulivyokuwa |
mkurugenzi huo kwa kutoridhika kwake anadai aliamua kumtaarifu waziri mramba na kumuuliza kama wizara yake inafahamu na kuafiki matumizi hayo |
bwana shirika alidai waziri alijibu kwamba anafahamu matumizi hayo lakini gavana wa bot ndiye mwenye maamuzi na anawajibika kwa rais kwani ndiye aliyemteua |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.